VIDEO: WANANCHI WAMTAKA MUSHI AONDOKE ARUSHA,ANASINGIZIA WATOTO WAKE WAMEBAKWA ILI APATE MILIONI 2

  Рет қаралды 76,148

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 Жыл бұрын
Huyu mzee ni msenge sana
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Жыл бұрын
Arusha kuna tatizo kubwa la kiroho,Vituko haviishi,ukatili na mauaji.
@udazakikoti3419
@udazakikoti3419 Жыл бұрын
Huyu watoto wake kawatia mimba mwenyewe, ila anajificha kwa kuwasingizia watu kwa kukwepa aibu
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Ай бұрын
Kweli mahosp.wawe wakweli sio kutoa ushahidi wa UWONGO.na wakija wenye kusaidiwa hanawazungusha
@idrisapetto3234
@idrisapetto3234 Жыл бұрын
Sijui huyu mzee anaongea nini hata sielewi kabisa
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Жыл бұрын
Mama yao hayupo, huyu baba anawageuza watoto wake kuwa wake zake. Wawabane hao mabinti watasema.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Funjeni chungu akafie mbali awezekani mnaka mnamfuga huyo mpumbafu hapo
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 Ай бұрын
Niliwaza hilo mimi pia🤔
@KabijSaib
@KabijSaib Жыл бұрын
Sio vizur,,,,,jaman fanyen haki,na mungu ataweka wepes ktk shughul zenu za maisha ya kila siku
@JulithapouloJulithapoulo-st9ih
@JulithapouloJulithapoulo-st9ih Жыл бұрын
Baba anakaa Na watoto Wa kike bila Mama yawezekana baba amewapa wanawe mimba alaf anasingizia majiran maan shetani yupo kazin
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Kwakweli
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Ай бұрын
Majambazi.wauwaji.wanaharibu maisha na USALAMA WA WATU
@emmanuelnnko-dv1th
@emmanuelnnko-dv1th Ай бұрын
Arusha majanga ya mezidi Sana heeee Mwenyenzi Mungu tusaide
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Na watabakwa maisha Yao yote kama ni kweli anasingizia ni mbaya sana ,,yaani watabakwa kweli maisha Yao yote hawataami 😅😅😅 familia ya ovyo sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Huyo alie fungwa jela achiwe jamani sio vizuri 😢😢wamwachie haja kesi jaman JUSTICE FOR JACKIE
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Жыл бұрын
Huyo baba atakuwa amewapa mimba wanae anashindwa hata kujielezea
@qwqw1665
@qwqw1665 Жыл бұрын
Ww ndio umewatimimba ww hapo kwann hukai na mkeo ww pumbavu zakao👍👍👍👍👈👈👈👈
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 7 ай бұрын
😂😂😂wa tz washa Fanya uchunguzi na umeshakamilika mimba za baba
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 6 ай бұрын
@@RahimaMct-ik8mr😂😂😂😂😂
@ChristianSiwale-iw7ex
@ChristianSiwale-iw7ex Ай бұрын
😂😂 natunavojuwa kuchunguza mpaka tunawazid polis😂😂​@@RahimaMct-ik8mr
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Kuna DNA watoto wakizaliwa wapimwe, kwa sababu ukweli anaujua huyo baba mabinti na mtuhumiwa na kama wanaweza kuwa na ujauzito basi ni wanajitambua, wahojiwe ukweli ujulikane,
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Wanapigwa miti na babayao
@mussataliye7815
@mussataliye7815 Жыл бұрын
Sijui nieleze au chap chap 😂😂
@idrisapetto3234
@idrisapetto3234 Жыл бұрын
Poleni Sana ndugu zangu
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 Ай бұрын
Kuku ameamua kula mayai yake mwenyewe halafu anasingizia jogoo ambaye jirani yqke😂 Mpuuzi mmoja huyu😔😔
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani duniya imefika ukingoni sikuizi kubaka imekua ni dili ukiwa na mtoto imekua ni dili lakini mungu yupo
@DanielKombe-qn1lg
@DanielKombe-qn1lg Жыл бұрын
😊
@BeatriceKitembe-gs9si
@BeatriceKitembe-gs9si 2 ай бұрын
Mungu wangu
@isackeliphas690
@isackeliphas690 Жыл бұрын
Serikali ya mama iko macho itawasaidia afu kumbe huu msemo ni wa kweli ( every problem is an opportunity)
@KabijSaib
@KabijSaib Жыл бұрын
Noel anauchungu mno,,,nikwel katiba mpya ni muhim sana ,,watu maskin wanateseka mno,jaman jaman,
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 6 ай бұрын
Katiba Inausu nini apo sijaelewa
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 Ай бұрын
ARUSHA
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 5 ай бұрын
Kuna kijana amefungwa kama utani Kwa mambo kama haya, anamtumia binti yake kujiingizia fedha kijana wa watu ameshahukumiwa miaka 30, ila Mungu atamsimamia tunaamini, maskini hana haki
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Жыл бұрын
Nachooona uyo mama anapambaniwa na wananchinkwakua anapesa 😂😂ila huyonmzeee anasaidiwa na serikali hapo moto utawaka na swala lakubaka cyo lakumtetea mtu kisa yupo smart nilakuacha uchunguz ufanyike
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs Ай бұрын
Nikweli kabisa Mimi uyu mama sijamuerewa
@hazard7157
@hazard7157 7 ай бұрын
Jack akirudi kwenye huo mtaa ata waheshimu xana hao wananchi sijui atawaangakiaje wamemsaidia😊😊😊
@noelkaale5952
@noelkaale5952 Жыл бұрын
Jamani hizi Sheria za nchi yetu ni zaaina gani inakuwaje mtu asingiziwe kubaka alafu hata mtoto hajazaliwa afanyiwe DNA idhibitishwe ni kweli mimba ni ya mbakaji mtu anafungwa maisha mbona watu wanacheza na maisha ya watoto wawatu hii nchi kwa sasa inataka katiba mpya mama angalia idara ya mahakama rushwa na ufisadi vimetanda huko watoto wa maskini wanafia huko kwa kukosa haki
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hujajua kwamba mahakimu wa mchongo na matabibu wa michongo ndo wanaotamba kwa sasa !!
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j Ай бұрын
Wewe ndo unawapa mimba umemfukuza mke unawatia mimba mwenyewe
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Жыл бұрын
Waliobakwa wawe wanawekwa ndani pia,nawao ni wakosaji pia.Hiyo Sheria isipobadilishwa watoto wa kiume na wanaume sasa hivi wanasingiziwa sana kesi za kubaka.Huo ni mfano halisi.
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Жыл бұрын
Hakika hilo litakuwa suluhisho , maana watoto wetu wa kike nao wamekuwa wa moto ,ikitokea mwanamke kapata mimba wote wawekwe ndani itakuwa suluhisho kubwa
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 Жыл бұрын
@@neemamasimba2981 Na mfano wa maamuzi haya mwenda zake alijaribu kuonyesha mfano watu wanaojiita watu wa haki za binadamu wakaona mawazo yake hayafai
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi Жыл бұрын
Kwa hiyo watoto wako wana mimba ndiyo ukawabambikize watu wengine kesi wafungwe bila makosa,huo ni uzembe wako na mke wako kutengana,sheria ichukue mkondo wake.
@norahazan796
@norahazan796 Жыл бұрын
Huyu baba usikute ujauzito ni wake alikuwa anawala kimyakimya
@kennedythomas7282
@kennedythomas7282 7 күн бұрын
Haya masuala ya watu kutaka pesa kwa nguvu kwa wananchi yanasaidiwaje. Huyo jamaa ana mke? Mke atakukimbiaje kama huna matatizo? Huyu jamaa hata speech yake inatia shaka. Anatengeneza maneno. Na wanaotoa hukumu hizo wanagawana naye hizo fedha? Nani atasimama kukemea maovu,manyanyaso kama hayo? Kwa kweli kwa sasa dunia si mahali salama hata kidogo. Ushahidi wa matukio unaonesha. Mungu atusaidie tu.
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Жыл бұрын
Kuna wakati hila hutumika ili kumnyima maskini wa Mungu haki yake ila OLE WA MUNGU UKO JUU YENU mjue madaktari hawawezi kutoa majibu ya vipimo vya uongo
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Жыл бұрын
Arusha ooyeee
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
DNA ndo itasema.kweli maana huyo bwana Mushi ni mkorofi na atatafuta pesa kwa kuwatumia watoto wake wa kike. Solutiwananchi muuweni maana amekuwa tishio na amefunga Vijana wa Watu bila hatia
@DencerShao
@DencerShao 6 күн бұрын
Huenda wamebakwa kweli
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Wapimwe DNA
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Huu ugoroko wa hela ni wa level za fisi wa mapangoni, mambo ya aibu sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Huyo baba aache kuchukua hela za watu😢
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Subiri wajukuu waje wafananie na babuuu huyu Mzee mshenzii ata kuongea hawezi shenziii huyu Mzee
@prince.eric_msemwa1994
@prince.eric_msemwa1994 Жыл бұрын
Kesi zake ziwe reviewed..zimrudi!
@AndreaDaud-k2c
@AndreaDaud-k2c 6 ай бұрын
Wakizaliwa watoto wakapimwe DNA KATI YA WATOTO WATAKAO ZALIWA NA BABA HUYO
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Hiili swala lina shida linaitaji uchunguzi ,au kamati ya uchunguzi navipimo vya dnA
@pendo8082
@pendo8082 7 ай бұрын
Huyu baba anawatumia watt wake ili apate pesa na usikute huo ujauzito wa watt wake labda ni yy ndio kawajaza mimba
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 7 ай бұрын
Arusha Arusha Arusha mna nini jamani.Huu Mkoa unahitaji maombi
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 6 ай бұрын
Hawa watoto ningekuwa hiyo kidinga ningepiga wote makofi
@elikanasamwel
@elikanasamwel Ай бұрын
Huyo ni tapeli tu
@testarguy8609
@testarguy8609 Жыл бұрын
Eleza tu isiwe chap chap bhana aaiisseee mama wa kijana
@Abbellll001
@Abbellll001 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@halimajuma-c2u
@halimajuma-c2u 7 ай бұрын
ngoja wazaliwe wapimwe DNA ndoutajua maana ya sheria
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 6 ай бұрын
Eti serikali itachikua nafasi yake nakati wewe ushakua serikali mwenyewe .Na kama ulichukua pesa
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Huyu baba kawala watoto wake afu anasingizia vijana wa majirani oneni alivokosa hayaa
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Жыл бұрын
Kikubwa hapo sio kumfukuza kijijini! Ni kukataa au kuzuia watoto wenu kwenda kwa mtu yoyote! Watoto wakae nyumbani na mtoto wako akitoka ana safari maalmu na sio kwenda kwenye mji wa mtu! Afu inakuaje watotp wake tu ndo wanabakwa mtaa mzima?
@lordymawoiya5818
@lordymawoiya5818 11 ай бұрын
Au ni ndugu ya sambaya
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 Жыл бұрын
Kwamba hakuna mabinti wengine hapo mtaani?? Mungu ingilia kati
@mlamytz
@mlamytz Жыл бұрын
Wapo lkn wakwake ndio wanatoa ofa
@flavy_kipps4025
@flavy_kipps4025 Жыл бұрын
hiki kitu Arusha kipo sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 ай бұрын
Umeona sasa nawambiaga wengi waliopo jela wamesingiziwa usione mtu anasema mtoto wake amebakwa sengi wao ni waongo
@LearnwithMadamnaomi
@LearnwithMadamnaomi Жыл бұрын
Kwann asingiziwe kubak , subirn upelelez
@FekiHappy
@FekiHappy Жыл бұрын
Ila.kilimanjaro Kuna jamboree litaanzia hapo matukio ni mentioned mnomno cjui Kuna Kosar gani
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Sasa niulize mbona watoto wako ndiyo wapewe mimba na kulawitiwa na watu tofauti ama unawatumia mwenyewe unajitetea upewe matumizi 😂😂😂😂
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Alie bakwa na alie baka wote wakifinywa vizuri ukweli utajulikana tu, uwezi kusema ati mto wakwanza ametiwa mimba ,na mwingine tena ,ukiona ivyo mzee una malezi
@monerexshowz5200
@monerexshowz5200 Жыл бұрын
Watu wa kaskazini na uongo du hawa husiwasikilize
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Watoto wanafundishwa na babayao wawatege wanaume mjini shule
@MariahThomas-u3c
@MariahThomas-u3c 7 ай бұрын
Nyakati za mwisho ziko mlangani zinabisha hodi
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Hiyo ndo CCM Mmeipenda wenyewe Acheni muandamane eeee ccm mbele kwa mbeleeeee
@EmmaPonera
@EmmaPonera 7 ай бұрын
Ccm inamtuma mtu abake
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 6 ай бұрын
Tabia Zawatu Na CCM Niwapi Nawapi.
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 Ай бұрын
Ccm ndo walivyo hao ndo mambo yao
@mecksonjoseph2522
@mecksonjoseph2522 Жыл бұрын
Ww una uza watoto uta juta kuzaliwa wananchi washa kukataa
@thinktwice7176
@thinktwice7176 Жыл бұрын
NYIE ARUSHA NA MOSHI ACHENI TABIA ZA KUSINGIZIANA KESI ZA AJABU
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Iyo ni kama yule mzee wa kiislam nae alie ambiwa hivyo hivyo
@talents7934
@talents7934 6 ай бұрын
Kama kweli mtoto kabakwa Unataka hela za kazi gani?? Maanake unawauza au? Yani hao mabinti wakipepelezwa vizuri watasema huenda baba yao ndo anawabaka
@rodasanga1312
@rodasanga1312 Жыл бұрын
Hizo mimba ni za kwako wewe baba
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Huyu kaka nimmpenda hiyo ndio dawa
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 Жыл бұрын
Milady ayo isambaze tena iyo video viongozi waone walichukulie huzito huo
@AmosYusuph-cj6gb
@AmosYusuph-cj6gb Жыл бұрын
Serikali iweke sheria binti akibebashwa mimba nae aajibike maana kwa %furani nawao wanachangia sikuizi vijana wanategewa mitego mingi ili kuingizwa mtegoni pia ukiangalia hapa kuna janjajanja serikali litazameni hilo kwa Makin vijana tutaishia jera
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
mama usiwe mthaifu kiasi hicho hizo ela zenge mtokea puani awezekani nchi iwe kama aina uongozi nenge mfanya kuku mpumbafu huyo mpumbafu
@elikanasamwel
@elikanasamwel Ай бұрын
Alidhani hatajulikana dawa yake mngempa kichapo kwanza ili apate adabu
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Жыл бұрын
Wewe watoto wako ulikula mwenyewe mimba zako hizo inawezekana ndio maana mama yao alikukimbia
@annaurassa7082
@annaurassa7082 6 ай бұрын
Fukuza kijijini
@telkilo1240
@telkilo1240 Жыл бұрын
ndo tanzania 🇹🇿 iyo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wachaga hao hao watu hawana utu hata kidogo
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Жыл бұрын
Kwani sheria za Tanzania zikoje ushahidi uliotolewa mpaka kubaini kuwa watoto wamebakwa na huyo mtuhumiwa ni nini?
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Жыл бұрын
Kwani nini hukuwaonya watoto wako??watoto wako wenyewe walikuwa wataka kuwafuata wanaume
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Acha kizazi chake sasa kibakwe na shetani hadi madakitari waliotoa ripoti ya uongo nao vizazi vyao vishughulikiwe na shetani.
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 Жыл бұрын
Wewe baba ni mpumbavu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 7 ай бұрын
SERIKALI INGOJE HIZO MIMBA ZIZALIWE NA WAPIMWE DNA HUWENDA NI VITOTO VINATABIA YA UCHAFU MAJIBU YA DNA YATASEMA KWELI.
@KabijSaib
@KabijSaib Жыл бұрын
Mupeane nafas kuzungumza,,,,,,,hata wabunge wanatii hili suala lakuzungumza kila mtu kwa naras yake,,,,,😂,
@elibarikikivuyo5946
@elibarikikivuyo5946 Жыл бұрын
🤪🤪🤪🤪 jamaaa kageukia mayai yake noma sanaaaa
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
wasubiri watoto wazaliwe NDIPO DNA IFANYIKE
@erickmanyeck3913
@erickmanyeck3913 Жыл бұрын
Watoto wawili wote wawili wanaujauzito?
@FekiHappy
@FekiHappy Жыл бұрын
DNA wapimwe mimba za nani
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
hao WATOTO WANA MIAKA MINGAPI
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
DNA ihusike tu hahahahaaaaa kawajaza mimba mabinti zake na pia yaonyesha ni wale wababa wa ovyo
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaonekana kabisaaa kua mpigaji wa wanae 😅anakula mwenyewe huyu ila hao watoto 2 wana mimba na kama mama yupo mbalj basi huyu ndo anazagamua😅 anaonekana tu huyu sura yake😂
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
ina maana amna police hapo arusha
@RidhwanyIssa-nw9hz
@RidhwanyIssa-nw9hz Жыл бұрын
Ww jamaa ungekua huku mh
@saimonmloka8210
@saimonmloka8210 Жыл бұрын
Uyo baba ni muongo ata akiongea tu unajua
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Yaani huyo kijana kosa lake siyo kubaka ni kumpa mimba mwanafunzi Huyo baba anaongea kwa uchungu hata mngekua nyie mtoto wako wakike anafanyiwe hivyo mngejisikiaje Ila alichokosea tu ki kuomba hizo pesa tena uchumi wenyewe wa shida
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wachaga wana matatizo sana hawana utu hata kidogo wao pesa mbele ndio maana jamii zao zina migogoro mingi na mauaji, yaani wachaga wanaweza kuuwa hata ndugu mume mke kwa ajili ya hela .
@yorandayorandan4018
@yorandayorandan4018 Жыл бұрын
Ww una matatizo sana heri yako ww jamii yako ipo vizuri
@jacklinmacha2964
@jacklinmacha2964 Жыл бұрын
Hujielew jee familia yako ipo salama
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Жыл бұрын
Sio wote utakua unatukosea hiz shida ziko Duniani kote mpendwa tuombe tuu Mungu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@ireneshao7950 wachaga mmezidi hamna utu nyie kwenu pesa kila kitu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@yorandayorandan4018 wachaga mmezidi hamna utu nyie kwenu pesa kila kitu
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Subuhanna Allah 😭
@givenmabena4950
@givenmabena4950 Жыл бұрын
Huyo mjanja anazagamua
@JumaMsukwa-bu5nt
@JumaMsukwa-bu5nt Жыл бұрын
Wewe mumwongo kwanni uslipot polisi
@fettyramadhan622
@fettyramadhan622 Жыл бұрын
Kupatia mimba mtu ni kumbaka
@JumaMsukwa-bu5nt
@JumaMsukwa-bu5nt Жыл бұрын
Shida isihalibu undugu
@mmbando
@mmbando Жыл бұрын
Kidinga wa ujinga mwingi sana, mnao comment hapa hamjui, huyu jamaa yuko na mke wake, lakini mke hakai na watoto karibu, Hii kesi walitaka kumalizana nyumbani, baadae watetezi wa watoto ndio waliingilia kati, wakaendesha kesi, huyu jamaa hana pesa ya kumhonga hakimu amfunge mtu.. Nanyi jiulize, unadhani hakimu hana akili, mpaka amfunge mtu maisha kirahisi.. mtoto aliyelawitiwa ni mdogo, hao wenye mimba ni wakubwa. Kidinga wanaujinga sana, wamezoea kesi za ubakaji wanarudisha nyumbani, sasa hapo wameshindwa. Elimu bado ni ndogo sana kwa jamii hii.. hao waliopewa mimba, wamepewa na vijana wawili, mmoja amekimbia, mmoja ndio anaendesha kesi.. Mkisema amemsingizia, basi na hakimu wa serikali, ni mjinga kiasi gani amfunge mtu maisha..
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Жыл бұрын
Waty ndy walivyokuongea vitunwadivyo vijua kama wanajua
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 6 ай бұрын
Nyie Wachaga nyie kwanini hivi?
@giftmeela6250
@giftmeela6250 5 ай бұрын
Kwahiyo kila mtu Arusha ni mchaga?
LISSU AANIKA MPYA " HATUKUWEKA WAGOMBEA WA KUTOSHA"
23:26
JAMBO TV
Рет қаралды 3,2 М.
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 21 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
BabaJoan
Рет қаралды 1,9 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 373 М.
Wadudu wa Arusha watakuacha hoi wakati wakisoma Biblia ya Kichuga
3:19
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 14 М.