JUX AONESHA DUKA LAKE JIPYA LA AFRICAN BOY STORE, AFANYA PARTY KULIZINDUA, MASTAA WAHUDHURIA

  Рет қаралды 144,572

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mwimbaji Star na mfanya Biashara wa mavazi yenye brand ya African Boy, Juma Jux Leo amezindua African Boy Store, Duka ambalo litakua likiuza bidhaa zenye brand yake tu ambapo katika uzinduzi huo pia Jux ameshare na sisi historia fupi ya lilivyopatikana jina la African Boy na ule Mchoro wa Kwenye logo yake ni nani na Kwanini picha yake…

Пікірлер: 136
@cleverboy3812
@cleverboy3812 2 жыл бұрын
Umenispire sana jux.. Safi sana.. Kuna vitu vingi sana vya kujifunza ktk safari yako. Kwanza ulijiamini then ukathubutu kufanya.. Pia ulikuwa mvumilivu na ulikuwa na subira ya hali ya juu cz umesema ulianza tokea 2013.. Ulipofikia ni pazuri sana ila bado unasafari ndefu.. Jitaidi upenetrate soko la east africa then africa na dunia.. Endelea kukuza brand yako iwe juu zaidi ufikie na uzipite level za akina Adidas, NIKE, Reebook etc.. Nice work JUX...
@mwigaramadhani3687
@mwigaramadhani3687 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kijana mwenzetu mungu azidi kukujaalia inshallah 👏👏🙏🙏🙏
@petermusa4745
@petermusa4745 2 жыл бұрын
Katika maisha usikate tamaa aise hongera kwako jux
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Hongera Sana Jux Mungu Azid Kkubark Na Uzd Kutupa Iman Vijana Wenzako
@teychriss3248
@teychriss3248 2 жыл бұрын
Dah! Umenifurahisha Sana jux!! 👏🏿👏🏿👏🏿
@favorednasongaofficial5352
@favorednasongaofficial5352 2 жыл бұрын
pongezi kwa hilo hatua kubwa ambalo juma ame piga more love from your fan
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials 2 жыл бұрын
African Boy unaweza kuiuza dunia nzima maana hata huku ulaya tupo waafrica wengi na jina hilo linabeba bara zima la africa sasa imagine kuna waafrica wangapi na ambao tupo very proud to be africans nikiwa na maana kwamba jina la nguo ukitengeza za market ya Ulaya u will make good money, ninapozungumzia market ya ulaya namaanisha Quality na nguo ambazo ni za season yaani za baridi na summer. Think about it Jux
@s.n3733
@s.n3733 2 жыл бұрын
Na huku japan tunataka hata km fake
@janaakimu6171
@janaakimu6171 2 жыл бұрын
Just keep it up bro Mishe Mishe until the last breath ❤️
@paskarmkala7660
@paskarmkala7660 2 жыл бұрын
Lipo wapi
@planetteamfashion5167
@planetteamfashion5167 2 жыл бұрын
Uranyemeje baba jux mutu wanana sana juma jux
@justinkalugusha5731
@justinkalugusha5731 2 жыл бұрын
Félicitations jux moi je suis un congolais
@edgermwaitenda7539
@edgermwaitenda7539 2 жыл бұрын
Nakubali jux more insperied
@glorysamola1151
@glorysamola1151 2 жыл бұрын
Wa kwanza Leo nipen like zangu
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Ok kwa sasa toa na vitu vya kike na kwasababu upo kibiashara viitwe african girl
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 2 жыл бұрын
🙏🙏umeleta idea nzuri sana
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
@@stivejayngoga1403 yaah umeona eeh??😁
@abdulazizdaiclassic9752
@abdulazizdaiclassic9752 2 жыл бұрын
Na huku kampala kuna dduka kubwa la african boy sijui la kwake jux
@ibrahimntibonek3216
@ibrahimntibonek3216 2 жыл бұрын
Hongera Sana juma mungu aku bariki
@edwinihosea8825
@edwinihosea8825 2 жыл бұрын
Hongera kwa uzinduz wako African boy
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 2 жыл бұрын
Safi sana haya ndio mambo sasa
@ismailselemaniabedi6658
@ismailselemaniabedi6658 2 жыл бұрын
Sa wa mikoani tukitaka kuagiza half tunamuomba aweke bei wazi mitandaoni kam alivyo vunjabei na david sportwear
@dfinafriga9863
@dfinafriga9863 2 жыл бұрын
Mashalah
@jamilahrashed2642
@jamilahrashed2642 2 жыл бұрын
Hongera sana juma jux
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Hongera Sana Juma
@obbydisighiner9651
@obbydisighiner9651 2 жыл бұрын
Hakika mungu abariki kazi yamikonoyako.
@tatutatu1570
@tatutatu1570 2 жыл бұрын
hongera sana jux
@kagwilengaiza2050
@kagwilengaiza2050 2 жыл бұрын
Hongera sana.
@madalanasri2226
@madalanasri2226 17 күн бұрын
Sawa jux nimependa sana sema. nguo zako ziuzwa mpaka out of the country n iwewe au watu washagonga copy
@SuperBablii
@SuperBablii 2 жыл бұрын
Great hustle Jux
@michaelaletasmichael7514
@michaelaletasmichael7514 2 жыл бұрын
Nakubali jux
@joshuamichael7349
@joshuamichael7349 2 жыл бұрын
Next level 🇹🇿🇹🇿
@mwaminiramadhan632
@mwaminiramadhan632 2 жыл бұрын
Woooooh hongera bro jux 😃😃😃😃😃
@meshackwabomba9839
@meshackwabomba9839 2 жыл бұрын
Your big fan from 254 ,big up in Everything you do bro
@keizerkaundila8805
@keizerkaundila8805 2 жыл бұрын
Nakukubali sana jux
@mcblife24
@mcblife24 2 жыл бұрын
Mgeni mzuri sana huu
@neemariwa7732
@neemariwa7732 2 жыл бұрын
Safi sana kaka mola azidi kukutangulia
@joelibethueli5408
@joelibethueli5408 2 жыл бұрын
Naheleni masikion ulimbuken
@kapona927
@kapona927 2 жыл бұрын
Nomaaaa sana
@glodnkondo7776
@glodnkondo7776 2 жыл бұрын
umefanya fresh bro ❤️ ❤️
@heromanmwamba5000
@heromanmwamba5000 2 жыл бұрын
👍👍💪💪
@tatumussa6813
@tatumussa6813 2 жыл бұрын
Safi sanaaaaaaaaaaa Mungu akulinde
@moodyramadhan336
@moodyramadhan336 2 жыл бұрын
Sehem km hz nd ambapo wcb mnaniangusha. Why hamtokeag kw event z wenzenu km hzi. Mimi n die hard fan w wcb but this thing inankataga sana.
@allymackinga1823
@allymackinga1823 2 жыл бұрын
Jamaa anaroho mbay sn anasapot familia yke t y wcb
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Wakienda kununua ni support kubwa hata kama hawajatokea kwenye ufunguzi kaka,mond na jux ni washikaji na ana piga pamba za jux, halafu kupunguza attention maana akienda simba itakuwa vurugu hasa waandishi wa habari...
@brandscarlitos7992
@brandscarlitos7992 2 жыл бұрын
Live and make money, dont get broke for no reason
@tanzaniakidz4123
@tanzaniakidz4123 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@kelvinikibona742
@kelvinikibona742 2 жыл бұрын
Safi safi sanaaaaa
@luisojr3480
@luisojr3480 2 жыл бұрын
Duka lipo Dar Sehemu gani.
@clarantatubanganya9634
@clarantatubanganya9634 2 жыл бұрын
Africa sana
@ugisingoma9397
@ugisingoma9397 2 жыл бұрын
Wow story
@saidimakubi1727
@saidimakubi1727 2 жыл бұрын
Mze duka lipo dar maeneo gan #Africanboy1
@rewardhaindo8249
@rewardhaindo8249 2 жыл бұрын
That is Great, Hongera sana hii inafundisha sana na inatia wivu kimaendeleo
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 жыл бұрын
Hongera mwaya
@mohamedmbarak5677
@mohamedmbarak5677 Жыл бұрын
Leta mpaka mtwapa Duka ww .wacha Kenya .Kenya cmtwapa sawa
@geoffreykasanya2030
@geoffreykasanya2030 2 жыл бұрын
Tshirts zake ni quality sana
@kenyataschama3171
@kenyataschama3171 2 жыл бұрын
Is Best
@tatumussa6813
@tatumussa6813 2 жыл бұрын
Waooooo 😋 hongera 😋
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Mung akujalie sana jux uzidi kutusua zaid na zaid
@rockyaminiemp
@rockyaminiemp 2 жыл бұрын
Safi
@geraldmolell982
@geraldmolell982 2 жыл бұрын
Nakuja
@thewoo78tz
@thewoo78tz 2 жыл бұрын
salute
@shakaboy2622
@shakaboy2622 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana Kaka Mimi Naitwa E music
@sumisumi8181
@sumisumi8181 2 жыл бұрын
Congratulation Young Bro
@snyzermontana5192
@snyzermontana5192 2 жыл бұрын
💥💥
@niriacatering172
@niriacatering172 2 жыл бұрын
Safi sanaaa
@kelvinmassue3747
@kelvinmassue3747 2 жыл бұрын
Nakul n kupamban tyu
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 2 жыл бұрын
Iko poa sanaaaa
@mamylnkuzi8482
@mamylnkuzi8482 2 жыл бұрын
Vizuri MUNGU AKUBALIKI
@youngbilioners4631
@youngbilioners4631 2 жыл бұрын
🤣🤣kufunguwa duka sio kazi kazi kubadili izo bizaa kuwa pesa apo ndo mziki but all in all ongera
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Kweli maana inatakiwa faida ionekane,lkn kufungua nikazi namaani kuipata pesa kwaajiri yakufungua
@richmondgang3012
@richmondgang3012 2 жыл бұрын
So interesting, I will fight like you too brother
@rahimnexthustler146
@rahimnexthustler146 2 жыл бұрын
You speech well my G✊
@frizzy6766
@frizzy6766 2 жыл бұрын
So cool big up 😎
@tatumussa6813
@tatumussa6813 2 жыл бұрын
Jamani hadi rahaaaaaaaaaaaa 😋
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Maanshaallah kwakusubutu nakutimiza
@kakacharlesofficial1241
@kakacharlesofficial1241 2 жыл бұрын
Mmmmh that's nice Cong's my brother
@jerrysix3662
@jerrysix3662 2 жыл бұрын
💣💣💥💥
@pearsonboniface9515
@pearsonboniface9515 2 жыл бұрын
Nandy
@gresfrank8618
@gresfrank8618 2 жыл бұрын
Congratulation more successful bro
@saidmtiro6321
@saidmtiro6321 2 жыл бұрын
Hongera
@christianweteshi8599
@christianweteshi8599 2 жыл бұрын
Just keep it up my bro
@ismailselemaniabedi6658
@ismailselemaniabedi6658 2 жыл бұрын
Hongela kaka
@judymushi1283
@judymushi1283 2 жыл бұрын
God boy
@godfreymsemwa3137
@godfreymsemwa3137 2 жыл бұрын
Big up
@husseinkiza4177
@husseinkiza4177 2 жыл бұрын
👏👏👏🇺🇸🇺🇸🌎🌍
@richardmweri7918
@richardmweri7918 2 жыл бұрын
Hizi hereni jameni😭
@allinasser2024
@allinasser2024 2 жыл бұрын
✊🏾🙏🏾
@assanelourenco3183
@assanelourenco3183 2 жыл бұрын
As TVs deles só mostram animais em África, é forma de enganar o povo deles que tudo que África tem é sujo, mas quando os donos estão de férias, passam nas melhores praias quentes q aqui tem, triste realidade.
@dekanyaktown.255
@dekanyaktown.255 2 жыл бұрын
Turetee na mashati.
@mpmsafitz9936
@mpmsafitz9936 2 жыл бұрын
Never give up broo
@jumamponda9185
@jumamponda9185 2 жыл бұрын
🤞🤞🤞🤞🤞
@jumamponda9185
@jumamponda9185 2 жыл бұрын
Nabar jux
@jumamponda9185
@jumamponda9185 2 жыл бұрын
Noma mwajina
@hanifaalmasi5194
@hanifaalmasi5194 2 жыл бұрын
Lipo sehem gan
@abdulysalehe2785
@abdulysalehe2785 2 жыл бұрын
Keep it up bro
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 жыл бұрын
Huwaga nafraii San kuona mtuu kafanikiwaa
@europeanfootball6623
@europeanfootball6623 2 жыл бұрын
Sio lake
@salmadamsungi1326
@salmadamsungi1326 2 жыл бұрын
Onyesha lako😏😏😏 , halafu hayo aletagi habar za uongo
@rosehappy774
@rosehappy774 2 жыл бұрын
Ni lako
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Lako
@rahimkomba3149
@rahimkomba3149 2 жыл бұрын
Congr bro
@PhilipLusoloja-ss7qc
@PhilipLusoloja-ss7qc Жыл бұрын
Nahitaji hiz nguo
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 2 жыл бұрын
🔥
@mayroseclemence99
@mayroseclemence99 2 жыл бұрын
Ivi jux ni mmakonde ??
@juniornamao527
@juniornamao527 2 жыл бұрын
Yaap jux ni mmakonde
@mayroseclemence99
@mayroseclemence99 2 жыл бұрын
@@juniornamao527 OK nilihisi tyuu
@rosehappy774
@rosehappy774 2 жыл бұрын
Mama yake
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Mpare
@mayroseclemence99
@mayroseclemence99 2 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 ila sura ya kimakonde
@matukiosafaris6508
@matukiosafaris6508 2 жыл бұрын
Hongera sana very nice story keep it up bro
@ommy_sborn
@ommy_sborn 2 жыл бұрын
Congrats Bro
@borntown6945
@borntown6945 2 жыл бұрын
ulikua usisene siri ya mafananikio yako mbele ya umma shetani ni adui mkubwa
@emanuelsafari4910
@emanuelsafari4910 2 жыл бұрын
Usiwe na Imani haba
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 2 жыл бұрын
Kweli
@mwitaghasu6075
@mwitaghasu6075 2 жыл бұрын
Mwita ghas
@thegoldenpromoter3089
@thegoldenpromoter3089 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rmi9gHmapaine68 Sikiliza 👆👆👆 gisi Diamond na Harmonize 👆walivo sifia duka hilo sikiliza 👆👆👆👆
@hijaramadhan1608
@hijaramadhan1608 2 жыл бұрын
Is à
@serumichael615
@serumichael615 2 жыл бұрын
Xz
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g6GwhZeVj5qghLc Mdada wa kazi kafumaniwa akifanya mapenzi vichakani cha ajabu wakimbia uchi wote polis...
@msuyatztv5201
@msuyatztv5201 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y5qrn5yemMZ1aNk Utam hatar
Jux Kutarajia kuoa Mrembo kutoka Nigeria
6:07
TRISA MHOMBO
Рет қаралды 6 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 38 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 15 МЛН
Jux - Shows Off Small Part Of His Crib (Bedroom)
3:35
JUX
Рет қаралды 119 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 38 МЛН