RAMMY GALIS AMCHANA JUX "THAMANI YA GARI ZAKE 2 HAZIFIKII GARI YANGU"/HAWEZI NUNUA HELCOPTER AMEKODI

  Рет қаралды 121,386

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 208
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Walimwengu mnambo nyiye na mpendaga uyo mkaka anajibu maswali wizuri kweli best interviews 👌♥from 🇸🇦
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@mozasultan5152
@mozasultan5152 3 жыл бұрын
I like the end of the interview 😂👌
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@Sokahabarika
@Sokahabarika 3 жыл бұрын
Me too
@barekesteve8679
@barekesteve8679 3 жыл бұрын
Huyu jama muonekano wake niwakistarabu kbs hand vyenye anajibu maswali hadirah ametulia anajib alico ulizwa kbs duh very humble man
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@batulyalihaji1262
@batulyalihaji1262 3 жыл бұрын
Nampenda mtu mwenye kujiamini nakuongeleaa kituu cha u hakikaa hongeraa👏👏👏
@ayoubmakori8680
@ayoubmakori8680 3 жыл бұрын
Jamaa anajibu maswali ki movie movie
@mselemhaji1969
@mselemhaji1969 3 жыл бұрын
Safi sana bro umejibu inavyo stahiki maana waandisha hao bwana wanapenda Sana kuweka chumvi
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
Sanaa
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 3 жыл бұрын
Asante isitugombanishe uko vzr kaka Rami
@nicklasog.2663
@nicklasog.2663 3 жыл бұрын
Jama nakuelewa sana upoo very smart. Unajua ujibu nini ama uzungumze nn...
@ab3ab313
@ab3ab313 3 жыл бұрын
jama nawerea sana kbs❤🇰🇼
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@Ramoocaraudio
@Ramoocaraudio 3 жыл бұрын
Safi sana kaka majibu yako ni sahihi sana
@jentahzawadi2758
@jentahzawadi2758 3 жыл бұрын
Like dis congratulations bro gud answers 👍
@Elimunamalezi
@Elimunamalezi 3 жыл бұрын
yaani kuhusu magari umeongea vizuri sana tena una uelewa mkubwa sana tena sana wa magari,wengine wanakurupuka tuuu ,wasaniii wanapesa za kawaida tuu eti jux kanunua chopa kweli??kwa pesa gani na show gani anazofanya,yaani wasanii wemehamia kwa magari na sio tena mziki hewa kabisa,bongo wanashindani magari na sio mziki khaaaa,very good dude,u spoken the hit shit man
@mbogofrank1154
@mbogofrank1154 3 жыл бұрын
Mbona Kama unapata tabu Sana kwani wwsanii wwnategemea shoo tu wengine wanabiashara zao nzur tu zakuingiza pesa acha ushamba nawewe chee
@abdulrahmansaid7875
@abdulrahmansaid7875 3 жыл бұрын
@@mbogofrank1154 anamatatz huyo😂😂😂😂
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 жыл бұрын
Shout out kwa duwe santana na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri🤝👏👏
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@carinamatt1031
@carinamatt1031 3 жыл бұрын
Kwa kweli umeongea vizuri sana na umetumia busara sana
@feisalissa3009
@feisalissa3009 3 жыл бұрын
Mimi na sema warambu na wasoma na hawachangishi mchango wa harusi hata siku moja family ya mwanamke wakisikia umechangisha Wana kunyima msicha wao ni kitu Cha haimbu sana kwetu 🤣🤣💖🇰🇪🇲🇿🇮🇶🇯🇴🇸🇦🇸🇴🇸🇩🇱🇾🇯🇴🇳🇫🇹🇷
@slywish4098
@slywish4098 3 жыл бұрын
Very smart 👾
@bakshmabrouk8621
@bakshmabrouk8621 3 жыл бұрын
Jamaa smart sana anajua kuongea mbele ya camera👏👏👏
@waganja4025
@waganja4025 3 жыл бұрын
Noma sana
@sixthesecret
@sixthesecret 3 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana kaka
@mohammedally2015
@mohammedally2015 3 жыл бұрын
Nc unajuwa kujibu brooo
@FadyFs
@FadyFs 3 жыл бұрын
Naona wabongo imewauma sana hapo kwenye muonekano😂
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 3 жыл бұрын
Ooooh unachambua gari vizuri nimependa unayajua magari..
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 3 жыл бұрын
Nimeipenda mwisho wa hii interview 😀
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 3 жыл бұрын
Huyu kaka mstaaarabu sana alichokisema msikifanye ndio mumekifanya kwa kuandika headline Hahaha walai wana habari nyinyi mungu ywawaona
@hadijandenga8892
@hadijandenga8892 3 жыл бұрын
Safi ramy
@princessj4157
@princessj4157 3 жыл бұрын
This dude is a savage killed jux pride n make it look like it is softly said...😖 he must be a libra😂😂😂 eti magari yake mawili hayafikii bado m90 ya gari yangu
@lucasmsogoti3435
@lucasmsogoti3435 3 жыл бұрын
Kamaliza kwenye finishing
@ninacuteninacute2567
@ninacuteninacute2567 3 жыл бұрын
ila waandishi wa wasafi wachonganishi xn tn huyo due ndy kbs ila huyu ramy anajua xn kuwajibu hawa waandishi
@bahathirashid1856
@bahathirashid1856 3 жыл бұрын
I like the look at 4:33 😍
@tituskidava2169
@tituskidava2169 3 жыл бұрын
Htr hiyo
@halima23862
@halima23862 3 жыл бұрын
Michango sio muhimu ni sawa kabisa.
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Aachwe jux hajawahi kumsema mtu
@timelessdaddy.2542
@timelessdaddy.2542 3 жыл бұрын
Wanahabari ndio huchonganisha wasanii sa wamuuliza issue za magari Kwan yy ni nan si utafute jux mwenyewe fala ww
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@halima23862
@halima23862 3 жыл бұрын
Waandandishi wa habari ni wagombanishi
@yusufomarbabayu1422
@yusufomarbabayu1422 3 жыл бұрын
Duwee anakulizaa Kwa isharaa ya mshangao atiii alfu mbili na tatuuu😂😂😂😂😂
@ericmobutu5402
@ericmobutu5402 3 жыл бұрын
Helicopter ya bei nafu ni dollar 250,000 $ robinson r22 / r44 raven I 3400,000$
@jonessalum6325
@jonessalum6325 3 жыл бұрын
Ok
@gracemamuu5937
@gracemamuu5937 3 жыл бұрын
Waandishi nyie wachongashi sana Huyu kaka mbona kajibu vizuri tu hajaongea negative yoyote kuhusu jux😏
@drizzlesly6009
@drizzlesly6009 3 жыл бұрын
Kweli kabisa..
@rosemaryuledi6616
@rosemaryuledi6616 3 жыл бұрын
Yn wanakera sn kiukwel utakuta haandk alichoulza anandk alchojbu😂😂😂
@drizzlesly6009
@drizzlesly6009 3 жыл бұрын
@@rosemaryuledi6616wamejawa na unafki tu kazi kuchonganisha wasanii
@athumanimafugalo9917
@athumanimafugalo9917 3 жыл бұрын
Umejibu kibabe na kitaalam kinoma
@carinamatt1031
@carinamatt1031 3 жыл бұрын
Sana
@allymatilda7519
@allymatilda7519 3 жыл бұрын
Nyie wasafi nanyie mmesha kua kama wale online tv wambea wasenge wasenge waongo ndio maana mmeshindwa vita na clouds mmekua wadaku kuma la mama zenu
@cymone6159
@cymone6159 3 жыл бұрын
Mwonekano mzuri😅😅
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Anajua kuongea huyu kaka mpaka basi
@abasishabani1151
@abasishabani1151 3 жыл бұрын
Ndo faida ya kukaa darasani nakuelewa sana unajibu kisomi na unachambua kisomi
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 жыл бұрын
Huyu hata akioa ndoa haidumu
@FatumaMzava-i9e
@FatumaMzava-i9e 9 ай бұрын
Naomba mkopo
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
Wasanii fiksi
@peterkapel5332
@peterkapel5332 3 жыл бұрын
Alafu nyie wasafi wachonganishi😁😁😁 mbona heading mlizoandika na vitu anavyosema haviendani
@leonardflavour7533
@leonardflavour7533 3 жыл бұрын
Et muonekano mzul pesa mzee😎😎😎😎
@Bongo365News
@Bongo365News 3 жыл бұрын
Huyu ramy gal hafai kuwa hata msanii.
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
Kwanini
@mkingasana400
@mkingasana400 3 жыл бұрын
Muonekano my foot...damn it
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
Kweli huku nnje hatuchangi mchango hasa kwenye nnchi za kiarabu hatuchangi
@DINGIFILM1019
@DINGIFILM1019 3 жыл бұрын
Rammy
@joseloveog
@joseloveog 3 жыл бұрын
Hana kitu huyo, kwani Jux alishawahi kuwaongelea mbona mnaropoka2
@bobwhite9252
@bobwhite9252 3 жыл бұрын
Kwel nmeamin wa Tz tunahitaj elimu kubwa sana..yaan kwel watu mmekaa mnasema jux kanunua helicopter..kweeeli😁..daaah
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 3 жыл бұрын
Kweli kabisa unaenda kuowa ww unataka kuchangiwa siku ukinikuta na mkewako nakwambia tu namm nimechangia niujinga sana kuomba mchango wa harusi
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
Bora ulivombia kweli wachonganishi hao
@luqmansingh5728
@luqmansingh5728 3 жыл бұрын
4:54 REPORTER HATA ROLLS ROYCE HAJUI KUTAMKA... ETI ROZIROZI
@suppasuppa8210
@suppasuppa8210 3 жыл бұрын
Rami u are right 🤣
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 жыл бұрын
Nyinyi niwachonganishi sana sasa hapo ame muchana wapi??
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@allymatilda7519
@allymatilda7519 3 жыл бұрын
Wasenge hawa
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 3 жыл бұрын
Wasenge sana kwakweli
@MITOBO
@MITOBO 3 жыл бұрын
Jux anausika nini apo Nyie wachonganishi saana
@popiya2368
@popiya2368 3 жыл бұрын
Wasomali hawachangishi kabisaa
@abdinasirshukri4652
@abdinasirshukri4652 3 жыл бұрын
Hapana tunachaga sisi kuwa sisi
@johnalembi2848
@johnalembi2848 3 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@chrissjoseph3760
@chrissjoseph3760 3 жыл бұрын
Mumbea uyo
@anniemtambo5549
@anniemtambo5549 3 жыл бұрын
Wandishi wa habari wachane ugombanishi nyooo wapi kamsema jux ebu achani magungu nyoko zenu🤔
@mdyoung5163
@mdyoung5163 3 жыл бұрын
Wanataka views wengi
@daddiefq
@daddiefq 3 жыл бұрын
Nice clickbaits for the title
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 жыл бұрын
Hiii nmependa sana interview ya akili sana
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 3 жыл бұрын
Sasa huyu nae anamuonekano ganiii
@danfordjasson259
@danfordjasson259 3 жыл бұрын
Mbn jamaa wamemuandama Sana. Jux jamaniiiii jux anajua anachokifanya uyo ni mwamba
@mosesmasha2355
@mosesmasha2355 3 жыл бұрын
Waandishi wanafiki sana nyinyi
@robartnkyami
@robartnkyami 3 жыл бұрын
Hiki kipindi kila knapoenda knapoteza radha sababu mnawapanga watu waseme kitu fran ambacho knawafanya nyie muonekane top
@jrsaid4270
@jrsaid4270 3 жыл бұрын
Usinich tu Ndio maana wasanii Wengi wa bongo maendeleo yao ni negative sifuri ( Negative mind)
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@jrsaid4270
@jrsaid4270 3 жыл бұрын
@@ovittv808 nimeshasubscribe asee Lete vitu vya maana asee sio huo utopolo tena
@zumatigdes9513
@zumatigdes9513 3 жыл бұрын
Wasafi apo mmenikerea kidogo kilicho andikwa na kilicho zungumziwa nitu viwili tofauti msiwe kama mido simba atutaki kuaribikiwa bhana 🤔🤔🤔
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 3 жыл бұрын
Wasafi nao wanakuwa kama ile chanel inaitwa Kalomba TV
@luisojr3480
@luisojr3480 3 жыл бұрын
@@alexkalonga3632 😂😂
@bumabuma2426
@bumabuma2426 3 жыл бұрын
Hawa wachafu washakua wanazingua ndonn kugombanisha watu
@khamisali6898
@khamisali6898 3 жыл бұрын
nosecut ndio unaita bodykit
@reubenmichael5826
@reubenmichael5826 3 жыл бұрын
Si anunue na yeye
@issakamangila4143
@issakamangila4143 3 жыл бұрын
Eti iyo ya 2003 tuiache kdg uyo jamaa anajua kuoji atari
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@mariamibrahim3162
@mariamibrahim3162 3 жыл бұрын
Watangazaji mkoo wachonganishi
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 3 жыл бұрын
daah jamaa anajua saan yuko vzuru saana kujib maswali
@fatmayusuf1656
@fatmayusuf1656 3 жыл бұрын
Huyu rami ni muslim just asking tu wa tz I lyk him yuko fasaha kbsa
@hannanommy302
@hannanommy302 3 жыл бұрын
Wacha kujisifia kwa uzuri gani mbona wakawaida tu, mnaacha kuuliza maswali yamaana mnatuletea habari ya uzuri, mara magari sijui tushike lipi
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶‍♀️Daaah 2013
@njonjolomahfudh3238
@njonjolomahfudh3238 3 жыл бұрын
choko choko
@flipflop8409
@flipflop8409 3 жыл бұрын
Wasafi hivi vichwa vya Habari muandike Kiswahili sanifu na kwa ufasaha. KISWAHILI SANIFU . Mfano “MAGARI YAKE” sio GARI ZAKE .
@m.jbluesea2711
@m.jbluesea2711 3 жыл бұрын
kzbin.info/door/6Bo-UPmgl_GyCwIZdZSLeg
@huntgame456
@huntgame456 3 жыл бұрын
Gari zake ndio kiswahili sanifu
@flipflop8409
@flipflop8409 3 жыл бұрын
@@huntgame456 Ndugu yangu unaua lugha yetu, tafadhali.
@mohamedzahor4992
@mohamedzahor4992 3 жыл бұрын
Tazama io title ya hii habar ni uchonganishi tu. Vzur kawambia ukwel mwishon.
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@umbrellanews9410
@umbrellanews9410 3 жыл бұрын
MKUU NIMEKUBALI UCHAMBUZI WAKO WA MAGARI
@m.jbluesea2711
@m.jbluesea2711 3 жыл бұрын
kzbin.info/door/6Bo-UPmgl_GyCwIZdZSLeg
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 жыл бұрын
msomali afu unadai una muonekano na mbwembwe nyiingi 😂👌 unamng'ata African by huku unapuliza ... wasomali wakorofi saana aise
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@MrNdanguza
@MrNdanguza 3 жыл бұрын
Ubaguzi wakijinga
@hishamally4846
@hishamally4846 3 жыл бұрын
Kila mtu na mtazamo wake
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 3 жыл бұрын
Wabongo want roho mbaya sana, Kwani mug akifanikiwa na kuna issue gain? Akifanikiwa ni Maisha yake ali jibidiisha akapata
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Mambo mengine watangazaji ndio waanzilishi wa chuki baina ya watu maswali yao mengine ni sumu isipokwepa unaweza jikuta umekosa hatawakukupa maji.jama amejibu Kisomi
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 3 жыл бұрын
Mko sure huyu reporter alifanyiwa interview ya kuajiriwa Wasafi? Mbona anasound ni ka anataka huyu jamaa aongelee Jux vibaya surely, so unprofessional🤨. Alafu hiyo point ya kukosa kunywa maji mbona anasound ni ka ana wivu? I thought ka alitaka kujua ka helicopter ni ya Jux ama magari yake ni which make angetafuta tu Jux amuulize. I'm sure angejibiwa vizuri in detail. He should be fired from Wasafi for his tactlessness na aibu za kujiekea. Besides I don't know about the BMW but nadhani huyu interviewee amekosea kwa make ya hiyo Mercedes. Hata hivyo he's very smart with his answers. Amerealize reporter ana agenda mbaya akamwambia
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
@hadijanyundo4527
@hadijanyundo4527 3 жыл бұрын
Akili mingi
@leonardmasanja5389
@leonardmasanja5389 3 жыл бұрын
Wewe usijitetee mwanaume unamfatilia mwanaume mwenzio mbwa kasoro
@omarykimamure7656
@omarykimamure7656 3 жыл бұрын
dunia hii inamb yk meng
@estherpascal3143
@estherpascal3143 3 жыл бұрын
Mbona aibu sasa hivi n kweli
@nginirasaire5876
@nginirasaire5876 3 жыл бұрын
Expant 😂😂
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 3 жыл бұрын
😂😂😂
@frankchilumba5953
@frankchilumba5953 3 жыл бұрын
Unacheka nn
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 3 жыл бұрын
@@frankchilumba5953 usijali ndugu yangu
@calvinmaimu3366
@calvinmaimu3366 3 жыл бұрын
We jamaa cjawahigi kukuelewa tuu
@dadisolomon3273
@dadisolomon3273 3 жыл бұрын
Mshamba
@ama7742
@ama7742 3 жыл бұрын
Yaani kipindi kimetengenezwa kwaajili ya kuwekea mkazo boss wao anahela na si nyau mwingine😂
@agaaah6697
@agaaah6697 3 жыл бұрын
Kbsa aiseeh
@Lambartini_tz
@Lambartini_tz 3 жыл бұрын
We jamaa ni noma kabisa umewagundua wana akili za kitoto sana asee juma ana pesa nyingi mnooo asee yule jamaa
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 3 жыл бұрын
Alafu kwani ana nini huyu
@Chimamy5242
@Chimamy5242 3 жыл бұрын
Huwezi amin nimejaribu kumtafakari wala cjaona huo uzuri wanao dai anao
@alicenice1711
@alicenice1711 3 жыл бұрын
Rammy bhana eti iyo ya kwake ni millions 60
@superdeeboy6100
@superdeeboy6100 3 жыл бұрын
Ongera san kaka ake
@notime4love345
@notime4love345 3 жыл бұрын
Mim ckuelewag brooo
@ovittv808
@ovittv808 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqmlg4CgnbFleqc
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН
RAMMY GALIS AMJIBU DUMA - "ANAJIDHALILISHA, AMEKOSA CHA KUFANYA"
7:40
Rammy:sababu ya kuachana na POSH QUEEN/Aibu/ananipigia simu/ Part 2
10:01