Wewe ni Mwanamuziki wa kizazi kipya uliyeandika tungo nzuri sana zenye mantiki. Hongera sana kwa msimamo wako duniani tunapita tu. Hakika pambana utabarikiwa. Allah SW Anatosha .
@simonheavenlightshoo1503 Жыл бұрын
Moja ya msanii niliyekuwa namkubali kipindi nasoma primary Ni twenty per cent 👏👏👏😅
@rumdeesonsoa1811 Жыл бұрын
20 percent anakubalika na kila mtu anaejua mziki mzuri
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Yesu Kristo azidi kumtunza Twenty percent
@irengebarhabana12 Жыл бұрын
hongera saana 20%.wewe ni mshindi ndugu yangu twenty..mema iko mbele Mungu ata kulipa tu,kwani Mungu ni mwaminifu kwa wanao muamini na kumutegemeya🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤝🙏🙏
@epmzmusifiwar6694 Жыл бұрын
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ainealazaro7321 Жыл бұрын
Jamaa ana upeo mpana sana so wonderfull
@mussasebatiano4787 Жыл бұрын
Sana Daddy kula jasho yako mtu wangu maana tamaa mbaya ulisema nimeshuhudia yakitokea kwa Sharo ngwea Kanumba na wakina recho nawengine kabis
Kaka 20 percent umenifundisha kitu nimekukubali nakushsuri mtafute YESU KRISTO kuwa ni mkombozi wa maisha yako
@jescameck7027 Жыл бұрын
Mwenzio Muislam.. unataka asaliti dini ksa ww? Wamemshindwa Freemason utaweza ww... Mungu Ni mmoja.
@blandinajoseph129111 ай бұрын
@@jescameck7027hee nguvu ya YESU KRISTO na freemason vinalingana?? Acha utani basi
@josephstephen204711 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri
@EzekiaMichael-jn5np9 ай бұрын
Nimempa ushauri tu kaka 20 Wala siko kwenye utani alinielewa ameelewa kua namshauri amfuate alie shinda kifo na Yu hai kama ni mtazamo ni huo mtazamo wangu
@Intertainment_896 Жыл бұрын
Kimbilia kwa Yesu Kaka ndiko kwenye salama na uzima hawakupati ng'o ukiwa Huku ila ukiendelea kubaki huko asee Neema ya Mungu ikufunike shetani ameona kitu kwako
@petermalema5702 Жыл бұрын
YES KWA YESU NI KUZURI SANAAAAAA
@jumaally2469 Жыл бұрын
Tusimame kwenye iman na tumuombe mungu atuongoze
@AlbertYangson Жыл бұрын
Maisha ndivyoyalivyo chamana nikumcha Yesu
@ShabaniAdamu-j5s Жыл бұрын
Kwan yesu anatoa hela
@NancyPatrick-il8zj Жыл бұрын
@@ShabaniAdamu-j5skwani yeye kasema Yesu anatoa hela
@robertrobert563 Жыл бұрын
Hapo umechanganya soda na chumvi, Bora ukae kimya.
@redpromediat.o.tstrongteam1679 Жыл бұрын
We twende tu,kwani hao unaowatesa nimewaumba mimi. Asante sana 20% . Nimekuelewa sana.
@saiddimarley844511 ай бұрын
Nakukubali mia kwa % Acha tujenge ahera Duniani tunapita.Kula kidogo uridhike usije ukawa kama hao wengine.Big up to you bro
@AhamadiMussa Жыл бұрын
Leo mimi wakwaza nipeni maua yangu
@handenitakuru6696 Жыл бұрын
Kuma wewe halafu mwanaume mzma unasema nimeni mauwa yangu
Mtu Tatu ndani ya Track Moja, Ebhana hii Team Ninawaelewa sana.. Ishini tu hamna baya.
@isaacvtv547 Жыл бұрын
Uku USA ni kanisa kabisa. Milan Ayo ukija Ohio Dayton nitakuonyesha uingie mwenyewe ila mimi nitabaki nyuma😂
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Hahahahahahahahahahha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shadrackdeogratius6760 Жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣tutaingia wote
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Isack tv
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Kwahyo inakuwaje sasa wakristo
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
Pole cn 20 zote ni changamoto za maisha kikubwa ni kumuamini mungu tu
@dashdiane Жыл бұрын
Hv kuwa na gari ndo kuwa na maisha mazuri,twenty akili kubwa
@marcojonline784711 ай бұрын
Ndo akili za watu weusi
@robertanold6846 Жыл бұрын
Jamaaa anajibu vizuri sana
@eliudmkumbwa5681 Жыл бұрын
Ukisema humpendi 20%ujue maisha yako yanakusumbua na una hasira na kila mtu
@frankkitelugwa9261 Жыл бұрын
Kusema na ule ukweli, nimemis ile amplifier ya zamani, ya habari 10...
@trapqueen7885 Жыл бұрын
ya clouds eeh
@peacemakune911 Жыл бұрын
Hiyo ndo ilikua yenyew
@titus_maridhia Жыл бұрын
Nyie mnapeleka maana kwenye utapeli, lakini sie tunajua jamii hiyo ipo na inaweza kufanya hayo, na ndivyo inavyofanya. Richa ya kuwa wapo matapeli wanaweza kufanya namna na wao. Ila binafsi siwezi kumpuuza 20 na hoja zake
@ScolaMwansasu9 ай бұрын
Ungekuwa kwenye dunia yake ungemwelewa
@nasekawanga1737 Жыл бұрын
Sio kweli awajamfata uyo we unafikili wangemfata asinge kubali😅😅😅
@bigtengwemela3153 Жыл бұрын
We unafikili kila mtu ana akiri kama za kwako we vp wewe
@AbdulMichael-g4o Жыл бұрын
Unadhan wote wanapenda kuishi na stress akiln
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
20% nakukubaliiii since day one mpk mwishooo
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Nawapat Kutoka 🇺🇸, Nakubal Xan Ila Watanzania Msahidiyeni Twenty20 Anahali Ngumu Xan Kihukwel
@JumaJuma-fu7ji Жыл бұрын
Sasa wamsaidie nn maisha ndivyo ya livyo nikupanda nakushuka kawaida tu 20 wew utamsadia nn kwaapo alipo kila kitu kakifanya uyo kamaliza kikubwa Aishi kikawaida
@JonathanNelson-l8h Жыл бұрын
Wewe hutaki kumsaidia maana huyo mungu tu yupo mbinguni anatusaidia sasa wewe hapo marekani jirani kabisa mtumie hela hata kwa M pesa😂😂😂
@katibampya8442 Жыл бұрын
Uwe marekani afu hujui kuandika?
@anoldkavishe9223 Жыл бұрын
Good 🎉🎉
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Hayo mambo hamuwezi kuyaelewa mbaka muyakute mm nisha kutana nayo hayo na hao huwa hawa kulazimishi isipokuwa wanakushawishi ili ww mwenyewe na nafsi yako uingie😢😢
@daimavlog Жыл бұрын
Siyo kweli wamejaa huku ulaya na hawafanyi kazi kiivyo. Hao ni fake wachawi tu
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Mtu wa peponi InshaAllah 🙏🙏🙏🙏
@einsteinchacha5797 Жыл бұрын
WaTanzania wengi hawajui maana ya Freemason, kila ushetani unatafsiriwa kama freemason. Freemason ni Taasisi ya kawaida tuu ambayo inasaidia sana katika sector tofauti tofauti Tanzania
@AbdulMichael-g4o Жыл бұрын
Unaumwa mavi wewe eti taasis ya kawaida je Kama ni taasisi ya kawaida unajua nn kinaendelea kwenye mahekalu yao.
@hilmykassim903 Жыл бұрын
awa watu wapo wengi wa mtandao wa frmson , walishawai nifata adi maelekezo yote adi kuja kufata tuongee ili tufanikishe
@MfizoCrypto Жыл бұрын
Wale jamaa hua wanafuata watu wenye vipaji tu.
@DeusAmos-lt9bx Жыл бұрын
Umeongea kwel broo
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Huyu jamaaa ni stopper..... Yaanii ni machine VIP
@issahamisi674 Жыл бұрын
nmewah skya kwa wale wakenya mtu na mkewe😢😢
@Upendo-gd6fn Жыл бұрын
Page yao KZbin inaitwa life is spiritual
@josephstephen204711 ай бұрын
@@Upendo-gd6fnNgoja niitafute hiyo page
@aslam_musa4190 Жыл бұрын
Kwanza cjawahi ona anaye tongozwa kueka jambo hadharani sasa hata kama kweli ukisema ndo nini, kikubwa aache bangi na ubishi atafanikiwa. Bila shaka alifuatwa tu na matapeli na si vinginevyo, vitu usivyo vijua na visivyo na maana kwako si vya kufikiri.
@mallemaOg Жыл бұрын
We nae freemason
@daimavlog Жыл бұрын
Yes ni matapeli wa kibongo wanamcheza
@daimavlog Жыл бұрын
@@mallemaOgfreemanson wasikie wewe hawako hivyo.
@frankdanford8245 Жыл бұрын
Mirlad mbona unazungumzia kiunyonge sana ikifika swala la kutaja Freemason yaani kama autaki kuongelea sana kama nafsi inakusuta hivi kuna nini kwani?
@epmzmusifiwar6694 Жыл бұрын
Unagusa Point Uyo Jama Mumja Wao
@MexiTanix Жыл бұрын
Mwenzao huyo, unafikiri hayo mafanikio yanakuja kiurahisi.
@ameenaameena422 Жыл бұрын
Huyo tunamjua ni free lichama la mashetani yumo
@HappyHangingGondola-zr7ke Жыл бұрын
Na yeye yumo maana anahofu sana😢
@Orinnazaqar6939 Жыл бұрын
Apo ukweli
@waragaronline578 Жыл бұрын
Me nahisi kama kweli clouds wanataka kutoa msaada Bora wamdaidie 20 maana huyu jamaa ana akili kuliko chidi
@gideonstanley2155 Жыл бұрын
Kwanini waskupe wew😢
@mercypeter162 Жыл бұрын
Ndio maana Vanesa mdee alijiongeza. Nimekundua wasanii ambao sio matajiri wamekataa masharti Ya kuzimu. Lakini Hamonaiz amesha imba kwamba mziki ushetani
@behindzscenes3826 Жыл бұрын
kwenye wimbo gani huo
@edsongamuga7375 Жыл бұрын
Kushoto kulia
@ismailabbas4197 Жыл бұрын
Muziki ni ushetani kweli we huoni Mzee yusuph pamoja na kutubu na akaenda kuhiji lakini bado alirudi kwenye musiki , sababu tayari alikuwa ni member wa freemason na baada ya kuamua kuacha muziki walimpokonya kilakitu na kumuacha mweupeee.... Kwakuwa hakuwa tayari kuyaishi ya tabu na hakuwa na (YAKINI) moyoni ndiomaana akarudi tena kwenye muziki lakini maisha yake bado ni yatabu tu kama zamani
@onesmomelkiol813 Жыл бұрын
Wimbo unatwa dunia by harmonize
@damianmachira7535 Жыл бұрын
Kumbe Katekela alisema kweli majamaa yalikuwa ya na mtafuta pole ila MUNGU nimwema mtumaainie Mungu
@AbibornAlex10 ай бұрын
Hii ni kweli nimeikumbuka na mimi, katekela aliwahi kusema hata tuzo wao ndio walimpa, alipogoma wakamfuta kwenye music industry
@OlivierKayige Жыл бұрын
Fire burn Dem ...meditation ya Hali ya juu toka kwa 20%..real rastaman
@howardbillionaire Жыл бұрын
kama waijua definition ya the real rastaman gonga like sema #wagwaan
@josephstephen204711 ай бұрын
20% ni msanii wangu bora wa muda wote na nyimbo zake zinaishi milele
@chenge322311 ай бұрын
Napenda interview zinatokea milard ayo
@ZachariaNgesse-el1ge Жыл бұрын
Nakuhakikishia huyo boss wenu wa millad Ayo, mwenyewe hapo nae ndie walewale waabudu shetani, 😏🤗na anajua kinachozungumzwa sema anajitoa ufahamu
@fedrickmwinama9862 Жыл бұрын
We jamaa umewaza ka mimi
@fedrickmwinama9862 Жыл бұрын
We jamaa umewaza ka mimi
@ZachariaNgesse-el1ge Жыл бұрын
@@fedrickmwinama9862 umeona kaka
@gentiljabpretty4 ай бұрын
Majibu ya akili ❤❤
@danielkenedy4357 Жыл бұрын
Bangi sio nzuri. Ona madhara yake
@MudaRamadhani Жыл бұрын
Acha ughanisi
@waragaronline578 Жыл бұрын
Usha wahi kuvuta mzee
@ZainabuJosephat Жыл бұрын
Bang poa
@calvenycachelu9778 Жыл бұрын
Mirady ayoo anawajua yuko freemason
@epmzmusifiwar6694 Жыл бұрын
Kabsa
@roswithernaaly1332 Жыл бұрын
Napenda sauti ya vidoo
@trapqueen7885 Жыл бұрын
Karibu mbeya Bro
@ShakieBebe10 ай бұрын
Na wamemsuuza kweli, huyu baba alishine sana😢
@juliusmagunila6308 Жыл бұрын
Stori za utotoni😅😅😅
@abdulikilala5902 Жыл бұрын
Ww hujitambui ungekuwa ww ungejiunga unaonekana akili huna hata kanumba walimfata wao
@faabymusic Жыл бұрын
Bado hujajua bro
@kwangahudispensary723810 ай бұрын
Jamaaa kafanikiwa kiakili sana ,.
@sundawnsmedia6659 Жыл бұрын
Duh! Hii shughuli kweli kweli, 😢
@Fadhili-gz6gb11 ай бұрын
Milado ayo hhhhhhhhhhh tunakujua upo humoooooooooo bwege wanaichi wanajua kila star ninani sema ALIKIBA TU SIO FRMSON
@AkyooHosea10 ай бұрын
Use na msimamo uwo Mungu atakutetea
@ASHAKHAMISMUSSA Жыл бұрын
Hana cha freemason bangi nyingi tu
@AbdukareemYusuph3 ай бұрын
Mbaya
@JonasMasinde-x6r Жыл бұрын
20percent mimi huwa ninakukubali sana wewe ni kijana uliyebalikiwa sana Mwenyezi Mungu akili na ujasiri na maneno ya hekima
@Suleiman99 Жыл бұрын
Unaweza ukacheka usimaanishe nimeioenda Sana hii 20%
20% yuko bright sana kwenye tungo, the way anaongea tu unaona ni mwandish mzur
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Wamemuona ana kitu ndiyo maana
@samwelrobeth7763 Жыл бұрын
Ukweli Uko hivo, hata wanatoa tuzo wako kwenye mnyororo wa rucifer ,na baadhi wanazan Ni matapel wake kwenye mitandao ya Sim Ila huyu jamaa anaficha baadhi ya maneno hawez kuwataja directly Ni fran.
@haddrazee884811 ай бұрын
Yaani bongo bila gari we ni maskini😂😂😂😂 yaani nyie mnawaza gari tu kwenye maisha hili mtombe wa toto wa watu na cyo biashara wala manyumba
@rizzsafi9989 Жыл бұрын
Mmmmmmh jamaaaa kaongeza kweli na vitu vipo
@juniorwiseprophet1240 Жыл бұрын
Nikweli huwa woote waliojiunga huwa hawacheki kiuhalisia wengi wanadanganyika na wasanii wakubwa na maisha yao kumbe hawajui kua wakikaa pekeyao wanalia
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Hakuna freemason ambayo inafuata watu, wao ni matapeli
@focusernest5610 Жыл бұрын
Msikilize pascal Cassian utaelewa,,,wakishaon una nyota wewe ni wao
@svt3 Жыл бұрын
@@focusernest5610yaani Africa pekee ndio wanasema Freemason hiita watu, tunaishi karibu na kanisa zao na wengine tunafanya nao makazini wala hawa ite mtu wala hawakulazimishe, Africa ndio tu wanaongelea Freemason na hawa ijuwe hata
@SamirBacar Жыл бұрын
Hiyo anayosema 20 percent ni kweri walimfuata ukiachana na matapeli, wakamnyang’anya nyota ya mvuto baada ya kukataa, kuna mtumishi wa mungu aliyekuwa fremason alisimulia hiyo pia
@svt3 Жыл бұрын
@@SamirBacar stories za Africa hizo tena stories za wavuta bangi na maskini, Freemason hawafuati mtu, mtu hajawai hata kuwa na passport eti Freemason inamtafuta mukakutana wapi? Freemason ni dini wana nyumba ya ibada tz? Acheni uchenzi
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
@@svt3 wewe Unawafahamu frimanson kama huwajui ebu acha kujaa upepo najua hauta nielewa
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
miradiAyo 😂😂😂😂 nakuonaaa nakuzoooom 😂😂😂😂 kula chumaa hiyooo Ole wakooo..... Utie Neno hapo 🤣🤣🤣🤣 zuga zuga hivyo hivyo baba hatukamwiii kulalekiii
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Kuna hicho kipengele cha freemason kila mtu uso umekuwa na huzuni kulikoni hamnishirikishi 😂😂😂😂
@malkiakinyemi528211 ай бұрын
Yn nilishawai kusikia awa fremason wakikupenda wanakufata wenyewe
@jastinmkoba Жыл бұрын
Miradi ayo ni freemason mkubwa nandio maana ataki ata Kusikia.....yeye miradi ayo freemason ndio wamemuinua....wamempeleka mpka ugerumani nizaidi ya mara mbili kwaiyo miradi ayo ni freemason mkubwa sana uyo jamaa
@samiahJoseph11 ай бұрын
ndo naelewa kwanini amepoa boss kubwa😮
@mgallahson36509 ай бұрын
Ukiwandoa wanamuziki wa zamani akina Marijani ,kizazi hiki 20% ndo mwanamiziki Bora wa hiki kizazi
@bonabonala5559 Жыл бұрын
huyu 20ni shuja wa aina yake duniani mungu akurinde sana 20 paa
@nasramohamedi4095 Жыл бұрын
😅😅😅huko kimanzichana kajenga ghorofa la udongo😅😅😅 km hamuamini nendeni mkaone Hilo ghorofa la udongo kwa macho yangu nimelishuhudia sio uongo!
@SaidMkapa Жыл бұрын
Kweri atamie nimeiona ilagolofa lake laudongo nilikua naenda mkamba nikaliona
@trapqueen7885 Жыл бұрын
Hii interview inalugha ya kisanaa sana
@servantofalmightygoddranth2511 Жыл бұрын
Kuna pointi kubwa Sana ameziongea huyu jamaa 20% kuhusu freemason ndio msanii wa kwanza wa nyimbo za dunia kuweka kazi mambo ya freemason, YESU KRISTO ALIE HAI AMLINDE maana akina diamond,ali kiba wamejiunga uko na wasanii asilimia 90% wa sasa wapo huko na wanatoa makafara
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Una ushahidi wa hayo uyasemayo!shida yenu hamuamini uwepo wa Mungu!mnacho amini kuwa maskini akifanikiwa utaskia mara Freemason mara mchawi hayo ni mawazo mgando!Mungu umpa amtakae na ndoma huwa hamfanikiwa mana mshaamini bila ya shetani haiwezekani!hacheni hayo mawazo mgando Mungu anatosha mafanikio hayana mwenyewe!!
@Max9_captain Жыл бұрын
umeongea pumba sana
@servantofalmightygoddranth2511 Жыл бұрын
@@Max9_captain wewe ni shoga mwanaume huwezi kuwa mbeya nani kakuita kwenye comment yangu unafokonyolewa mkundu wewe
@servantofalmightygoddranth2511 Жыл бұрын
@@adaboychibu1659 HATA JEHOVAH MUNGU ANAJUA kuna freemason sasa wewe mshindia maharage kutwa kujamba mishuzi inayonuka unabisha nn au na wewe mmoja wao ndio maana hamna nguvu za kiume marinda mlishatolewaga nyie
@Max9_captain Жыл бұрын
kwenye ubongo wako kuna tundu la kuma, hizi comment ni za public kama vip ungemtumia ayo inbox maelezo yako yakishoga frimason ya mamaako fanya kazi tafuta hela utafirwa kuma wewe
@leonardaugustino4072 Жыл бұрын
Mtu ukiwa na akili lazima uchelewe kulala hata ukilala saa mbili😮
@KikofiaMwanda11 ай бұрын
Namkubali sanaaa
@lusticabernad9982 Жыл бұрын
Leo mimi watatu, nipeni likes zangu
@renatusraphael75910 ай бұрын
❤❤❤
@EmpireMoviesNseries Жыл бұрын
Hahaa!!!! misamiati yake naipenda mwamba!!!!
@mussasebatiano4787 Жыл бұрын
mungu wangu mmi jamani nilinde namaisha haya yasio kua namsongi kama 20%