jaman n msimban au kuhojiana tena duhhh bongo bhana
@johnmarco5526 жыл бұрын
Daaah watangazaji hadi nyumba mnafatilia jomoon!!
@aloycesiwingwa65486 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi amina
@amirsab11586 жыл бұрын
Aloyce Siwingwa amin inshallah
@hafsaibrahim20086 жыл бұрын
Aloyce Siwingwa amin
@francismusyoka79646 жыл бұрын
polen sana
@godfreyelias85955 жыл бұрын
Asamte
@ashaabdallah-w6p Жыл бұрын
Daaah mungu akurehem
@rizikeyernest92606 жыл бұрын
naona cki iz mtu star akifarik, waandish wa habar wanaulzia nyumba tuuu,
@phiribetyatanasy12266 жыл бұрын
Polen familia ya sam ya ukweli/?
@francishura12266 жыл бұрын
Navichukia vyombo vya habari vya Tanzania mtu akifa watachunguza adi marehemu alikuwa anavaa chupi ya size gani akiwa mzima hawana habari siyo vizuri mungu hapendi usanifu hata kama mnatafuta ela kwa njia ya kusabuscribu siyo mpaka mtu afe R.I.P Sam nyimbo yako imewagusa wengi siyo wachawi tu kwani uchawi sio lazima kuloga hata ambaye ukifa anapeleleza maisha yako ni mchawi pia ana kweli bora wali tembele kuliko walimwengu duuuu mmenishinda tabia waandishi wa habari wa bongo tz shikamooni
@djonetz27306 жыл бұрын
We ni Afisa upelelez au mtangazaji mbona unabaka fani wew
@sofiaahmed88806 жыл бұрын
Nyumba na mali ni pambo la dunia! sote tutaziacha, iliobaki Tumuombee mungu amrehemu Ailaze roho yake pema peponi!
@hafsaibrahim20086 жыл бұрын
Sofia Ahmed amin
@emmanuelmahendeka61086 жыл бұрын
Millard naikubalisana Chanel yako lakinikwa watangazaji wanao vunjamisingi kama hao wanashusha hadhi ya chanel
@wakushineclassic7986 жыл бұрын
Sasa hapo mlikua mmeenda msiban au mlikua mmeenda kuangalia nyumba mbona mnakua hamtumii akili we mtangazaji Huna akili hata roho msenge wewe nyumba nyumba 😢😢 mnaboa kinoma
@marrysiphaeli84826 жыл бұрын
Mm sijasomea utangazaji ila siwezi kuuliza uwo upuuzi unaouuliza apo.
@dorothymohamed50406 жыл бұрын
Wewe mtangazaji huna akili maswali gani hayo unamuuliza 😕😕
@opaskali58186 жыл бұрын
raino paskari arapi Sam waukweri. mungu airaze roho. yamarehem pema. peponi aaami
@agathasanga27086 жыл бұрын
,maswali mengine yakijinga ww utangazaji acha ujinga umeshaambiwa nyumba umeiona unaboa bwana
@happywakuganda88146 жыл бұрын
Dorothy Mohamed watu engine ka wa senge
@johngongole31446 жыл бұрын
Nyumba kibanda??
@bernardchibwana61766 жыл бұрын
Mtangazaji gani huyuuu mbona hatuelewii?
@saudaabdallah84686 жыл бұрын
Millard tafuta watu waliosomea hizi kazi usiokote watu hawajui hata sheria ya uandishi wa habari kuna maswali si ya kuuliza kwanini amkazanie mtu hivo hivi anajua situation aliopo why hamkumtafuta Sam wakati yupo hai na mumuulize kama amejenga au la mbona wasanii wengine mnawauliza na tunajua leo 😭😭😭😭inauma sanaaa ethics za uandishi ni muhimu someni hata kwenye Google hata kama hamjasoma
@leontinawasango85226 жыл бұрын
kweli mmeenda kuoji nyuma ni usenge Mme huzi akili Yangu kabisa sio maswali hayosisi wote niwapita njia katika Dunia hii bwana ametoa na bwana ametoiaa jina labwana libarikiwe
@josefbangala32776 жыл бұрын
Unamdodosa marehemu kiasi hicho jamani maswali gani hayo?
@ibrahimmsongojr57606 жыл бұрын
Maswali ya kipumbavu tu yote hayo... Nyumba ina kuhusu nini sasa wewe au sisi ili tuijue? Ufala huo... 👎👎👎👎👎
@afrahnawas43846 жыл бұрын
Masha'Allah😍
@swabrinamasoud1066 жыл бұрын
Allah ailaze roho ya marehemu Sam pema peponi Amiin
@naimkendramahellah14356 жыл бұрын
Maswali ya kisenge kabasa inahusu nini sasa kaanza lini kujenga.millarday maswali ya kisenge
Mallard Ayo hawa vijana wako wanauliza maswali ya kifala sana, shenzi sana. Naona page yenu imeanza kua ya kifala.
@aminaomari97946 жыл бұрын
Mtangazaji umeniboa sana yani
@verokenya16826 жыл бұрын
silly question nkt!!
@lashalashira30036 жыл бұрын
Ety nyumba alijenga lini wewe mpuzi sana hadi wamuuliza kama alitumia shs ngapi yani hata huna huruma kwakweri watu wapo msibani badala ya kuwa liwaza na kuwapa MOYO unauliza maswali ya kijinga atlist try to have some sence even if you don't have heart nkt I'm so disappointed in you people.......Rest in peace dear Sam wa ukweli I loved you
@nuratjuma40126 жыл бұрын
Nyie waandish wa habar kutu mie nikajua hata mwaweza Sema tumuombee duah ndug yenu lkn mwataka kujua kajenga nyumba bei gan..... Huo unaitwa unafk
@aishasolimani63376 жыл бұрын
Yan ww mtangazaj msenge sana umeenda kwenye msiba au kuangalia mali alizoacha marehem😏😏 matako yako Unachakuuliza umekaria nyimba
@leokamil20756 жыл бұрын
Dah Jamani Mungu amrehemu nimetokwa na machozi walahi.
@Misedua6 жыл бұрын
nyumba nzurii inawahusu nini nyie mfariji tu, mengine wanajua wanafamilia wapale
Imani imetoweka kweli,badili ya kuwapa moyo waliofiwa na kuwapa pole kwa kuondokewa.mnaanza kuhoji maisha ya marehemu.kweli ubininadamu umebaki jina tu.Mungu akusamehe sam,Ameen
@oman35276 жыл бұрын
Kweli utangazi wako mtu akishakufa ndio watafuta kiki kwagarama yake aliyotumia aisee sio kabisa huo niulimbukeni wa utangazaji badilikeni acheni ujinga hoji vitu vyamaana
@hellenmgungus19796 жыл бұрын
Watangazaji jamani Embu acheni unafiki na umbeya upo msibani fanya ya msibani mambo ya nyumba na Mali za marehemu zina zinakihusu nn? Kwani umeenda kuzika au ni kwenye maonyesho?
@jaydon33616 жыл бұрын
Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone alichofanya Diamond kwenye msiba Samu
@khalidunited59786 жыл бұрын
Official Son wehuna akili kwani diamond ninani
@victorsomba8676 жыл бұрын
Unaabudu watu umeacha Kuabudu Mungu stupid mouth with naked tongue
@sheimaaabdallahsheimaaabda82006 жыл бұрын
Official Son nyooo
@rahmamavura4066 жыл бұрын
hivi nyie waandish mna akili kweli mtu yupo kwenye majonz mnamuuliza eti nyumba ningeweza kumuomba mungu atende miujiza ningeomba akufishe wewe unayeuliza maswali
@lameckmagandi69826 жыл бұрын
Jaman kuwen wapole mtukashafariki nyumba yann kwamfano
@johnnyasingo31646 жыл бұрын
hawajielewi hao watangazaji
@lillianmarco13016 жыл бұрын
We presenter umeishia la nne au..unauliza thamani ya nyumba unataka uwarudishie pesa au ??basi tuonyeshe ya kwako..na we milard unaokota watu mitaani waje kutangaza
@jaymapambanojuma8566 жыл бұрын
nyumba unataka kununua au binaadamu msiwe hivyo kwenye misiba
@neemantui91546 жыл бұрын
we mtsngazaj ulienda kuangaliia nyumba au kujaj maswal yanyumba umenikera vibaya muno
@nananonananon98196 жыл бұрын
Woiye Mungu ailanze roho yake pahali Pema peponi
@janethmales61096 жыл бұрын
we msenge mwenzio amepokerewa namungu we unauliza usenge kwenu kunahata gofu lachumba kimoja ebu jiulize kwanza ucha kuuliza usenge umeenda msibani tuliza mshono maswli yann mbwa ww
@pendomassawe28546 жыл бұрын
Mtangaz umeniuzi kinyama sipendi tabia hiyo
@jotiwapili52176 жыл бұрын
we unakurupuka tuu kwanza we kwenu unanyumba aina gani we unahoji watu kama umelewa. oya milad ayo angalia watu wakufanyanao kaz wenye kujitambua
@nusaibahassan58426 жыл бұрын
Wewe mtangazaji bure kabsaaa sasa wauliza maswali gani hapo
@benenyewenaonabenson79026 жыл бұрын
napenda nyimbo za Sam wa ukweli
@semanasitv83036 жыл бұрын
wafu fm mko kiwaki waki sana f
@abdallahmwanyende666 жыл бұрын
Wandishi maswali mengine yakipuzi,,,, kiasi gani tena cha ujenzi,,,,
@saigojames30636 жыл бұрын
unaulizia nyumba yanini au maisha yamtu kasha kufa
@nikomnanka56866 жыл бұрын
Hivi huyu ni binadam toleo la ngap? Au akili ameziacha nyumban anauliza upuz gani,,,,,,,,,,uwo
@hamissalum27216 жыл бұрын
I
@muhalamibakari66176 жыл бұрын
wabongo washamba sana Nyumba ndo nn
@valentinemogata3566 жыл бұрын
serious I you real a journalist or practicing....... how can you ask about the resources kwenye msiba ....you need to style up
@bahatninga99146 жыл бұрын
R.I.P Sam ukwel umeniliza kwa kipande cha wimbo wako tu kaz ya mungu haina makosa mbele yetu nyuma yko .
@mbwanarajab72386 жыл бұрын
Sio kila jambo la kuhoji ndg zangu,hata maisha na Mali za watu tunahoji misiban!
@hekimahamis41926 жыл бұрын
asa nyumba na msiba vinahusiana nn ndomaana marehemu kasema bora wali nayama kuliko walimwengu :kweli walimwengu hamna maana
@JayOtieno6 жыл бұрын
Mambo gani haya, maisha yake ilikua ya siri. Mbona kuweka kila kitu wazi jamani?
@ahmadishaibu19776 жыл бұрын
Nyie watangazaji wengine mafala sana unauliza maswali.gani ya kipumbavu
@kwezifundikira20726 жыл бұрын
kwaiyo hiyo hamjaipenda mpaka mnataka nyingine jaman loh
@rosemarykaroli95726 жыл бұрын
Maswali ya kisenge HIV nyie watangazaji mtakuwa Lin MTU ana huzun una muurza maswara ya Nyumba we unayo
@naomiakothee65026 жыл бұрын
You guys why are you asking such questions plz will you just ask what can help those people and give them heart
@itetejoshua79926 жыл бұрын
Millard ayo ee Kaz yako tunajua so kama vp hilo tangazo achan nalo mzee baba
@mariammbughi27026 жыл бұрын
Itete Joshua atapataje ela mzee biashara matangazo
@rosepiere18576 жыл бұрын
Kiukweli tangazo hilo linaniboa sana ila sina jinsi kulikubali tu
@khadijaali9886 жыл бұрын
Rose Piere hilo tangazo ni wadhamini wake anaingiza mkwanja kuwatangazia biashara
@mandadavid66916 жыл бұрын
atakula wapi....
@bwegelanyakhaido30886 жыл бұрын
Itete Joshua lina bowa kinoma ilo tangazo
@lucyjohn76956 жыл бұрын
Ww apo Oyo TV why
@Misedua6 жыл бұрын
Amina
@mandadavid66916 жыл бұрын
maswali gani hayo....
@aminaomari97946 жыл бұрын
Khaaaa ww matangazaji unamaswali yakishenzi sana ww
@mariachannelke97696 жыл бұрын
Huyu sam niwa tz ama mombasa Cmjui kabsa
@Mngoniboytv6 жыл бұрын
MTU kwao
@gezaulole79886 жыл бұрын
Mapresenter wengine ni maboya kweli km hilo hapo
@virginiakibe18466 жыл бұрын
Ha ya maswali ya nyumba yakunjia wapi wakati watu sana huzuni Rip
@pretinesspastory97826 жыл бұрын
nalichukia hl tangazo mweee mpaka kero
@ayshamahariq66655 жыл бұрын
Inalilah wainailehimrajiun 😢 😢
@daudipowani76276 жыл бұрын
Mnauzi sana watu wapo msibani unauliza ujinga tu
@nshonabdll93636 жыл бұрын
Wengine ht banda hawana kijijini kwao pumbavu
@deusdeditswebe89304 жыл бұрын
Msiba ni huzuni...
@cellinechengula84096 жыл бұрын
Yan kwel maswal hayo loooo
@mwajumakweli67536 жыл бұрын
Hiyo nyumba nyingine hunataka hukapange au maswali ka kukomowana tu
@aminahamisi86726 жыл бұрын
Maswali ya kipuuzi jamani
@fatumasaid43706 жыл бұрын
Inalilahyi wahina lilah rajiuni
@happybarack83546 жыл бұрын
ivi nyie mkoje mnahoji nin sasa nyumba mshaiona maswali ya kipuuzi acheni ufara nyie watangazaj muachen kaka wa watu apumzike r. I. p sam
@nshonabdll93636 жыл бұрын
Sindo ujinga ulo wajaa my yn wanaenda kuzika lkn uku kuangalia Maisha yawatu
@swaumubaruarashidi78786 жыл бұрын
jama acheni ulimbukeni mnamjaji mtu ameshafariki
@twilumbakabelege34266 жыл бұрын
haya makubwa jamani hivi thamani ya nyumba ya MTU inakuhusu nn, ila inaboa duuuuu
@yusuphmpetu17956 жыл бұрын
R.I.P Sam mtangazaji umekua shilawadu itakusaidia nini nyumba au maendeleo yake.
@sponsalfaThedjalfani6 жыл бұрын
Umbea haufai mtaenda kuchomwa wallai, kuchunguzana mpaka machupi(stupid questions)
@nasiekutarishi32926 жыл бұрын
Hivi ww mpuuzi mtangazaji, unayo nyumba ww ama udaku tu , nkt
@ngoswesamwel10586 жыл бұрын
Habar hapo ni msiba au nyumba? Mbona jamn watu hatuna aibu mtu kafariki unaulizia habar ya nyumba,binafsi sijapenda
@sweetluc26606 жыл бұрын
Allah amrehemu
@ednaernest16966 жыл бұрын
watu mna muda jamn mwachie mungu
@mahaiboniface72206 жыл бұрын
Acha maswal ya kipumbavu ww,watu wanalia msiba we unauliza uliza vitu vya ajabu
@dephineadiegi86996 жыл бұрын
Nyumba ndio muimalize stupid question
@kajaymopao16726 жыл бұрын
acheni unafkina umbea kuulizia mali za watu nyinyi wanahabari faki RIP sam
@hafsaibrahim20086 жыл бұрын
R I P sam jamn dunian tunapita tu tunakumbushwa tumrudie mungu
@lufunyoedson71686 жыл бұрын
Millard this is wrong ,unaowapa kazi wanakuharibia ,,dumbest questions ever !! msibani hapo nyoko we interviewer
@fatoomafatma66736 жыл бұрын
Yani uyu kaka boya kweli maswali yote yanini jaman watu wanamsiba wazingua nyumba nyumba kakae ww bc
@mishijuma63266 жыл бұрын
Maswali mengine hufai kuuliza.RIP.SAM
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Mishi Juma wangesubiri Msiba ukisha wakamuhoji Mjomba wake
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Siyo sawa sasa
@nananonananon98196 жыл бұрын
Aki hadi nikalia, mbona unauliza kuhusu nyumba, hio sio poa