Kiba ni msanii pekee a aye shobokewa na wenzake tz, kuanziya diamond, harmonize, rayvanny, shilole,... Wote wanamweshimu, not because he is the best but because he has a good character, one of a king.
@jullythedone86159 ай бұрын
Majibu ya Ally kba yanaonesha kiasi Gani kakomaa hongeren Kba na HRM like hapa
@mohammedbaraka92309 ай бұрын
Namkubali sana Ally Kiba Coz Ni Msanii ambaye havai maereni Wala kusuka na pia mavazi yake Dah! Broo Appreciate for that, Mungu akuongoze katika kazi zako...!! Aamin
@eddytabenkiponda42879 ай бұрын
Hii imenifurahisha sana Kati ya alikiba na harmonize.halafu nimeona mrembo kama shilole .kweli damu ni nzito kuliko maji.hongera alikiba na konde .na wote walio fanikiwa kufika kwenye mahojiano.
@JacklinebackerGabriel-ir8wv9 ай бұрын
Yan hadi raha❤❤❤❤ nimefrah kuon ivyo😊❤ alikib n hamonez then king anajua kujib
@josphatibrahim41366 ай бұрын
Alikiba maintained his situational awareness even after all those distractions & hugs. His core focus was the interview. Splendid❤
@aishaibrahim56079 ай бұрын
Wasanii wabongo hawapendani bhna apo kiba ajapenda alichofny harmo kibq anazalau sana ila nampendq sana ❤❤❤
@sophsoph47409 ай бұрын
Kbs😂😂
@allyanton13669 ай бұрын
Kabisa hajapenda hata kidogo
@supertallone19029 ай бұрын
Wew unaona sawa kumhug mwanaume mwenzio kwa nyuma? 😂😂amejikaza tuu angemchapa makofi n vile kakuta n jeshi best wake😂😂
@kidoesther9 ай бұрын
Hiyo siyo dharau my dada,kumbuka Yuko kwenye interview,na asingeweza kuacha interview na kuanza kuongea na Harmo,ama Shishi,may be waliongea behind the camera
@aishaibrahim56079 ай бұрын
@@supertallone1902 ovyo ss apo ww ndoumemaanisha sio wao
@ibrayusph56039 ай бұрын
Alikiba is intelligent and confident..anajibu maswali kisomi na anaruka mitego ya kusudi la majibu kwa mwandishi... Hataki shobo, hataki bifu na hataki chuki na mtu yaani he is " natural to litimass"
@malianonicass70299 ай бұрын
Hajuagi kujibu maswali huyo tunamjua
@AbdallhKapyepye-if4od9 ай бұрын
@@malianonicass7029 acha ujinga wewe ajui kujibu maswali hapo wanaongea ubingwa
@user-dw2on4qf3m9 ай бұрын
Sahihi kabisa Alikiba anajielewa sana mkubali mm hapendi majungu kabisa yani
@allyhussein33719 ай бұрын
@@malianonicass7029 Hapendi Bifu zakijingaJinga.
@shamilamaulidy5459 ай бұрын
@@malianonicass7029ww unamchukia kila Kona upo😅
@agatha_actress18 ай бұрын
Wow this made me feel so happy coz I saw them happy too😊❤.. I love King Kiba and Harmonize too❤❤❤
@RASHIDSHULE5 ай бұрын
Ai
@LigandukaFILM9 ай бұрын
King na Harmonize tutegemee Ngoma MPYA like kama unaamini 🇹🇿
@aishaibrahim56079 ай бұрын
Amna iyo kitu maana kiba ajapenda alivyofnya harmo
@PaulinaSemindu-ob3de9 ай бұрын
@@aishaibrahim5607😅
@nahlahassan-fd6le9 ай бұрын
Watafany tuu tuliaa
@kidoesther9 ай бұрын
Watu mmeichukulia hii issue tofauti,King asingeweza kuacha interview,aanze kuongea na wasanii wenzake,ilibidi amalizane na interview,then waongee off camera
@edgarforyou32429 ай бұрын
Furaha mno jeshi konde kumkumbatiya King kiba fanyeni wimbo tufurahi umoja ni nguvu ONE LOVE. PEACE ❤❤❤❤❤❤
@selemanikinyonyi71639 ай бұрын
Furaha gani wakati mtu aliogiwa ajapenda kbsa mshaurini msanii wenu aache shobo bana 😂😂
@saidxide239 ай бұрын
Tuliongoja hii kitambo harmonize na alikiba fanyeni kazi watu wangu wanguvu
@nishaabdula50159 ай бұрын
Haita tokea
@rashidgogo55589 ай бұрын
Wabogo bwana kwanini alikiba asifanye na mdogo wake Ili nayeye angalau unukie ustar huyo harmonize ni mond mtupu kwahiy ukijifanya unaempenda harmonize wew nishabiki wa mond kindaki ndaki
@ChristineAnyangooganda-hk8jp9 ай бұрын
Why is anyone not talking about how alkiba was almost running,the fireworks...mob love from kenya😙KING KIBA
@parfaitkalemela87339 ай бұрын
I’m not gonna lie I’m here to see how Konde hug king 😂😂😂 that’s was awesome
@jackytuyi88999 ай бұрын
Same here lol
@monicahachola43749 ай бұрын
Same😂
@Tintaaahasirakirende9 ай бұрын
Same same bro ❤❤❤
@tonygee56809 ай бұрын
But kiba didn’t like it
@agwalubifaridah70799 ай бұрын
@@tonygee5680 harmo is just chasing clout
@abdironoh8498 ай бұрын
❤❤❤Kiba is dignified. Harmonize is a vibe. Let's do this 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@InnocentMakaniAmuhaya9 ай бұрын
Wow!🎉heko Kwa KingKIBA I really like the part where KONDEBOY came and hugged KingKIBA that is a sign of recognition and unity ...thank you very much am proud of you 2🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ce3xw5gv2p9 ай бұрын
Hongera san kk ally uko vizuli san allh akuongoze kwakila hatua
@ramadhanmahongole92939 ай бұрын
Ali kiba ni mwenye nchi 🦁🦁🦁mnyama❤
@moureenlazaro69569 ай бұрын
Acha uongo hanalolote
@gracekitema-cq3gv9 ай бұрын
@@moureenlazaro6956 😂😂😂😂 wacha buana 🤣🤣🤣
@AsmaSalum-mh4zr9 ай бұрын
Mjama yup ss ap kiba au daimond
@MaryamSuleiman-xs5ph9 ай бұрын
Nyieee this Ali he's so handsome wallah cheki venye ameshtuka😊❤
@villagelifecorner9 ай бұрын
Hiyo ndiyo response ya mtu mkubwa 💪💪 mkubwa hakurupuki, wala hababaiki, just normal but love ya kutosha
@amanisalim51539 ай бұрын
Napenda sana kazi zake ali kiba hongera kwake. na pia pongezi kwa Harmonize.. From mombasa Kenya 🇰🇪 Amani salim
@user-co3hy1uv9s9 ай бұрын
Nimependa sana iyo love yakonde na kiba
@mutikishukuru36239 ай бұрын
WoW
@mamboshepea88888 ай бұрын
Umependa lakini yeye kashtuka kama kajikaza flani hivi!!!
@dogojahman93819 ай бұрын
It was awesome but those who saw the way kiba pretending as he didn’t see him pls give me my like
@tonygee56809 ай бұрын
He didn’t pretend he literally wasn’t impressed
@addyhome61628 ай бұрын
no kiba didnt pretend he was not happy with the quetion concerning the big mouth gigi,thaz it
@SuleAmber-lw2tx9 ай бұрын
Alikiba ❤my number one Superstar in EA weldone Konde
@mrsinia30649 ай бұрын
Wanaombeza harmo et kakosea kumhug king siyo kwer kwanz kaonesha love kwa msanii mwenzake pili kaonesha respect na umoja pia hii ndivyo inatakiwa kuwa hasa kwa wasanii wote wabaofany muzik muzur.....saf kbx 👍
@user-hc2hf4ne8o9 ай бұрын
Nimependa sna ukaribu wa harmonize na Alikiba,shilole lov u❤
@user-qq6mv6vh3e9 ай бұрын
Kama mimi
@josemourinho17179 ай бұрын
i just wish Alikiba and Harmonize could do something together like a collabo...am Very sure it will be lit 💯 yaaani!!!! moto 🔥🔥🔥🔥
@marynicas88039 ай бұрын
Penda nyimbo za alikiba zote
@iamdee_dee_43148 ай бұрын
😂😂😂😂
@enocklubengo85149 ай бұрын
I come from Zambia WOW WOW harmonize and alikiba 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇺🇬🇹🇿
@joxjay41828 ай бұрын
Why?
@nahimanacyriaque-mx4yb8 ай бұрын
I love mr Alikiba, u make me to remember your song "Mac muga"go ahead bro.
@silversindjalabakeni25339 ай бұрын
Kizazi zaidi ya upendo 🔥🔥🔥🔥
@JaymbwanziOg9 ай бұрын
Hii ndyo love tunayo itaka kwa wasanii wote syo kazi vijembe tuuu. Mziki wetu haufiki mbali
@rayanjoseck44589 ай бұрын
Huyu King kiba atakaa kwa game mda mrefu sana not because ni mkali sana but because ana hekma nyingi kushinda kiburi
@shaburjuma89719 ай бұрын
ok umegundua hilo anapigana sana nafasi yake na kiburi.
@mwasungadaniel81219 ай бұрын
Truth talking , atakama muda mrefu with nothing because he has egoism, bro just see how he reacted to harmonize - was not good reaction , na inasemekana moja kati ya vitu vilivyochangia diamond platinumz kumuacha mbali Ali kiba ni hiyo tabia ya kujisikia./
@abasilukanga32669 ай бұрын
Anakaa sana kwenye gem kulingana na mabifu ya kushindanishwa dai Tu Ila Hana lolote Kwa sasa
@KakumaMusicBaze9 ай бұрын
@@abasilukanga3266Huu ndo ukweli sasa
@Random-rs9bl7 ай бұрын
@@mwasungadaniel8121get a life dude
@soilihisaoudata15549 ай бұрын
Macha Allah Bravo a Ali kiba et a harmonize Vive la paix !!! Ali kiba est un homme bien sans rancune Félicitation les gars
@sitintsoholi62879 ай бұрын
Absolument 😊
@user-jw7mj7qv3i5 ай бұрын
@@sitintsoholi6287😊😊😊😊😊p
@alisalim51033 ай бұрын
Konde ana hio mazoea. Angalia alivyo mkumbatia Eslay. Na sasa hi Ali. Luminati, baba. Hapo si wote safi. Industry chafu. Many are ready to do ANYTHING to get fame. Subha Allah. Hi Shaaban. Jitayarishe ku pokea mwezi mtukufu kakangu. Vya dunia ni kama unavyo jua. Umevi onja. Al dunia mata'a al ghurur.😢😢❤
@ibnimasoud82289 ай бұрын
Kwakweli nimependa iyo vidéo aijalishi ndaniyanyoyozao kunanini ila mimi nimependa walivyokuwa pamoja na ku hug❤❤❤
@rukiamuhammed44849 ай бұрын
Wow that's awesome..it's not like kiba hajafrahia hug ya konde,shida in vile vijilights na kelele mob ndio zimevuruga king but ako sawa..lazima angeshtuka kiasi sababu ya zile kelele alafu hakuwa anaexpect kama mtu angetokea kumhug 😊
@ZilfatAlly-lv1rw6 ай бұрын
Unasema kweli. Na pia kiasi cha focus kwa kumjibu huyu mtangazaji kilichangia kuto kuzingatia sana mazingira
@saumunassor15079 ай бұрын
King always remains king hata akifa bdo n king from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jaberjohn75569 ай бұрын
Was nice ton see what Harmonize did . Alikiba did take it positive and l loved it. Hope Diamond would learn something from here.
@chrisk.efreestylerofficial1499 ай бұрын
They are the ones to learn from Diamond not the otherway round,Diamond has nothing against them,he even invited them to wasafi festival but they declined
@georgenshashi13089 ай бұрын
This is a lesson from diamond,,,,King kiba, lives with people. ❤
@azizymachadeson35779 ай бұрын
@@chrisk.efreestylerofficial149Alitia tu unafiki kuwakaribisha hata mimi nisingeenda ,Wangeenda ungeona maneno ya wabongo 😂😂😂 na pia hawajaenda maneno ya wabongo yako pale pale so mtu aishi atakavyo yeye dat de way King anaishi so kwa ajili ya kuwafurahisha watu Ishi maisha yako Watu ni wanafiki always!
@fj83179 ай бұрын
@@georgenshashi1308 why can't you people leave the guy alone he is ready for that
@fj83179 ай бұрын
learn what ? no anything to learn he is doing his music
@elishasaidi9 ай бұрын
hii ni zaidi ya historia, big up sana. na nijambo la furaha sana kumuona konde boy akimsurprise king kiba, hivyo ndo game inavyotakiwa kuwa ili kutengeneza ukubwa wa mziki wa tanzania
@josephevaristi89239 ай бұрын
Aliyekuambia konde na kiba wanabifu nani,wasanii wote nanatengeneza bifu na mondi ili wa hit,,acha upimbi ww😁😁😁
@elishasaidi9 ай бұрын
@@josephevaristi8923 ndg yangu heshima ni kitu cha Bure kabisa, sijamtusi mtu Bali nimesema maneno ya kuwasapoti wasanii ili wawe na umoja kama wapopo( wanaigeria) kusukuma mziki ufike mbali zaidi. Sijaongelea swala la bifu, tunapokuwa tunacomment sio kwamba hatuna business za kufanya hapana, Bali tunawatia moyo wasanii. Acha kujibu usivyovielewa . Huwezi juwa labda unaye mjibu yukoje kihazi. Heshima ni kitu cha Bure. Heshimu watu na watu watakuheshimu.
@mahadhimuhaji96268 ай бұрын
Konde kamshobokea kiba ata Ana mda nae ukimsoma sura tuuu utajua
@velmanyamor72948 ай бұрын
@@mahadhimuhaji9626lakini c ata alipo kuja shilole Kiba alimpokea tu jinsi alivyo mpokea Kondeboy
Sema konde mnafiki, na kiba awakubali watu kama hao, mbele ya kamera watu wengine, nyuma ya camera mbwa mwitu. King ajafurahishwa naweza sema ivyo
@Mariam-fm8vq9 ай бұрын
Shishi harmo hawana baya jaman wasanii mnatakiwa mupendane kama ivi ❤❤❤
@yasrikomba78749 ай бұрын
Alikiba anajilewa sana ❤❤❤❤
@user-ln7qi9js9v9 ай бұрын
Keep up Alika with harmonize i love the way you guys tolking together
@thegudboyshow81909 ай бұрын
None other than Mwijaku😂....look the way he shouts and praise them😂 sadly Harmonize rejected him😂😂😂....i love Bongo😅
@malopemaliyamungu52439 ай бұрын
MWIJAKU Also Known As LICE at his duty. Living by praising high profiled people. One of the big problem we are facing down here Bongo
@addyhome61628 ай бұрын
i also noticed that
@user-md6ob2ip2p9 ай бұрын
Nakubali sana huna iyana mr king ishi nawo waelekeze wakina simba kamahivyo vitu vya utu uzima❤❤ love it
@hailinhelen46759 ай бұрын
i like that ..very super konde tatizo akilewa tuuu kama hajalewa mambo huwa super
@nabiibrahim61209 ай бұрын
mwijaku noomaaaaaaa sana wew ni king of machawaaaaa
@user-gp7tr7it8u9 ай бұрын
Imekwisha hiyo nimeimpenda sana😂😂❤
@richardjoseph33479 ай бұрын
Kwel nzur lkn kiba km hajapkea kwa upendo zaid kwn alikua hana furaha na hamo ila fresh najaamaa kaonesho love sana
@nahlahassan-fd6le9 ай бұрын
@@richardjoseph3347una uhakika gan? mbona kafrah tu
@leahzuu64689 ай бұрын
Kiba hajapenda shobo dundo
@KENYAN3PEACE-oj3cfАй бұрын
Wozaa is your boy Kenyan 3peace Am an Artist from Kenya i like alikiba he is my mentor
@Jennie-jk2ql8 ай бұрын
Waaooo good halikiba end hamonanz love 👌
@nunuuali53169 ай бұрын
King nakukubali ila sometimes upunguze ugum daah mwenzio anaonesha love kama haupo vile so fresh kabisa. Msinitukane jaman mimi mwenyewe ni team kiba ila boss wetu amezidi kukaza ukweli usemwe
@HakizimanaFiston9 ай бұрын
Hana raha ao mafanikiyo juu ya roho mbaya
@ElenaJackison9 ай бұрын
Tumekusamehe mwenyew sielewi mpaka naona ampokee mala tututlie tu ila nimeona atakavoamua kiba ni sawah tu
@Queen-be1uf9 ай бұрын
Nimesema same thing. Apunguze kibr
@gladnessmsolla60069 ай бұрын
Yaani mgumu hadi anakeraaa mwenzie anamfurahiaaaaa yy sasa
@annayambayamba86149 ай бұрын
Surprise jamani 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Max9_captain9 ай бұрын
Jamaa hajapenda kabisa amekaza he's not happy kitendo cha konde kum hug kama unajua kumsoma mtu utaelewa tu amemchukulia konde kama shabiki 😢😢😢
@rizikiabdalla25019 ай бұрын
Amemshtua hakutegemeaaa sioo kama hakupendaaa
@MerindaMorin9 ай бұрын
Mwanangu unaakili nying zakumsoma mtu yaani ulivo gundua na mimi hivo hivo.kwaasie jua kumsoma mtu hawez jua king hajapenda haya kidogo
Alikiba anaweza kuimba sana kuliko wengine wanao patikana mwenye top 5
@sakinaamani14869 ай бұрын
Ila mwanetu mzuri huyu very handsome man wallahi tumezaa mme kweli
@tigejuma98659 ай бұрын
Nmependa hio utani ya konde n king 😂😂😂....they show lov.
@yusrairakoze39669 ай бұрын
Nimeipenda sana iyo ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@vero579 ай бұрын
HII SAFI SANA, BIG UP, huyo boss wa matthias mbona unatia haibu sana wewe??
@audreyirakoze78079 ай бұрын
King Alikiba👌✅😘😘🇧🇮
@garettclement66719 ай бұрын
Ali Kiba's pride is his biggest undoing. He didn't embrace Harmonize even after all the love
@sylusouma62319 ай бұрын
Stop seeing the things your mind wants you to see.
@zenahyusuf469 ай бұрын
@@sylusouma6231exactly my dear
@garettclement66719 ай бұрын
@@sylusouma6231 And start seeing what some random guy on the internet wants me to? Yeah. Genius
@Ranaso9 ай бұрын
No, he was being real... He didn't feel it and that's that. Mbona afeki eti Yuko ok japo hayuko. Pretenders are dangerous than murderers
@sylusouma62319 ай бұрын
@@garettclement6671 and start seeing what your logical mind wants you to see
@kajalamaganga19139 ай бұрын
Love you king 👑💗💖💟💓💖
@elinajamlaty98358 ай бұрын
Naona jeshi amekubali Kuna king(◍•ᴗ•◍)❤
@Josephkp6299 ай бұрын
Furaha ya king kwa shilole tofautu na kwa harmo
@azpilicuetainternational12349 ай бұрын
King kama king 💪👏👏
@Jax_all_talents9 ай бұрын
😂Ukitizama vizuri Yani hapo ni mwendo Wäkukwepana tu 😂😂😂 Mara #Alikiba kamkwepa #harmonize na #harmonize uyo uyo nae kamkwepa #Mwijaku Dhä niatari sna😂
@paayaisanyai57599 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ElishaMastermind-xt4it9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂💔
@Jax_all_talents9 ай бұрын
Jamani Muni follow bas😂
@LeonardCharless9 ай бұрын
Yes niwazi apo alikiba hajafurahishwa na Jambo LA kukumbatiwa na harmonize
@NJOKA_19 ай бұрын
Hii video imenialibia mood Leo harmonize n MKUBWA hakupaswa kujikomba aisee
@zuwenaalamin89859 ай бұрын
Yaan mwijaku simpendi Ila mungu anisamehe anakiherehere Ile mbaya khaaa
@dasmileofficial97029 ай бұрын
Konde Anashoboo sana af Anapenda Tesheni 😅😅😅
@agnesjohn93829 ай бұрын
Acha awe na Shobo kwani vibaya roho mbaya tu hutaki watu wawe na ukaribu una penda watu wagombane ee
@rasheedlvck.10suleiman59 ай бұрын
Hamo kaona kiki azijaenda anataka kitembelea upepo wa kiba
@diamondplatinum12029 ай бұрын
Anatafuta kiki kila siku anaogopa kupoteana
@BekaMsafi9 ай бұрын
Inapendeza sana awa ndo watu wanaotegemewa kwasasa kond geng kinkisi
@MarthaChibura9 ай бұрын
Yan hii.... Ayo ndo maana naipenda hawashoboki wanamfata mlengwa safi sana vidovidox
@user-uo6bo3ph6g9 ай бұрын
Wasanii Wang pendwa❤
@malianonicass70299 ай бұрын
Lazima amkumbatie maana mashabiki wa Kiba ndo wanamshabikia na yeye 😂😂😂
@evekirschrosh9 ай бұрын
Alikiba ❤🇩🇪
@user-zh6lx4pw2c8 ай бұрын
Ameuaaaa😂😂😂😂 jamani kupendwa raha❤ iko sawa
@daktariyusufkienyeji8 ай бұрын
Kabisa ✌️✌️
@efraziamedard79159 ай бұрын
This is unbelievable😍👍🤩 guys I returned this part five times🎉🎉🎉🎉
@ramzeynoa9 ай бұрын
Do you know the difference between returned and repeated?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rashidaramathan24649 ай бұрын
@@ramzeynoaukorofi😅😅😅😅😅
@famousguykenya64959 ай бұрын
Wewe hukosi kuwa umetoka TZ... Eti Return!!
@ramzeynoa8 ай бұрын
@@rashidaramathan2464 🤣🤣🤣
@juanitamugz55879 ай бұрын
If king can do a collabo with the east African legends the likes of chameleon Uganda 🇺🇬, nameless and nyashiki Kenya.......that would be another East African bar and any place banger anthem..........
@husseinbadru26468 ай бұрын
Strong king kiba Amiinia maneno ya kiutu uzima hayo
@mejumaabaraza39899 ай бұрын
King kama king ❤
@kijanaWaMamaBhajia9 ай бұрын
Endeni straight kwa 5:40. ....ndo harmonize anakuja
@elidinaseleman53349 ай бұрын
Sauti ya kibaaa🔥🔥
@masoudmasasi18019 ай бұрын
anaonekana yuko vitu hahahaaa
@user-nk3ei2vb5i9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉nakupenda mnyama
@Freedom_fighters8988 ай бұрын
Wewe ni msanii mzuri na huwa nakuheshimu sana naomba achana na kusupport siasa chafu zitakuharibia sifa yako.
@MaslahMarow9 ай бұрын
Wow I like🎉 it ❤ the happiness between king kiban and konde boy jesh😅