EXCLUSIVE: MTOTO MWINGINE WA GARDNER KAFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUKUTANA NA BABA YAKE UKUBWANI

  Рет қаралды 180,910

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

#millardayoUPDATES

Пікірлер: 539
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
MMH.............JAMAN KAMA NA WEWE UMEBAKI MDOMO WAZI KAMA MIMI LIKE YAKO JAMAN
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 4 жыл бұрын
Haiba yake inafanana naye Gardner. Haya yanatokea duniani si mageni kwani ujana wakati mwingine husababisha haya. Mimi pia nilikutana na kijana wangu wa kwanza akiwa ana miaka 26 na alikuwa hana shida ila alikosa amani kutonijua nami pia kipindi chote nilikosa amani. Lakini Mwenyezi Mungu alitukutanisha na tunaishi vizuri sana, akiniheshimu sana na kwa upendo mkubwa.
@anniefrankie8110
@anniefrankie8110 4 жыл бұрын
Mrembo,mcheshi,mtaratibu....high vibration na amefanana na gadner puan kwenda juu😍😍😍😍
@merinakassembe118
@merinakassembe118 5 ай бұрын
Wamefanana mno
@ummuwawili
@ummuwawili 5 ай бұрын
hata busara kama za baba yake
@eddiexjr1
@eddiexjr1 4 жыл бұрын
You're so beautiful and smart ...keep it real . Nimekupenda sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Haijalishi lini,we mtafute tu baba ako,tena nenda unakimbia
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Eeeh jamani muwatafute baba zenu👐👐👐👐👐👐
@erickmanyeck3913
@erickmanyeck3913 4 жыл бұрын
Umekuja kufanyaje hapo sasa kama hauna majibu??? Kwendraaah
@moureenmartin4125
@moureenmartin4125 4 жыл бұрын
Mmmh mtu anashndwa kukiri kama ni baba au lah.. hii ni kiki tu hamna jambo hapa
@cimpaye5625
@cimpaye5625 4 жыл бұрын
Wamefanana sanaaa😍🥰
@MfaumeNgare
@MfaumeNgare 5 ай бұрын
REAL Daughter, she sound like her Father
@magrethmoris215
@magrethmoris215 4 жыл бұрын
Hivi mnawajua wa Mama wa kichaga........kiruuuu huyu bint siokwamba hawezii kuongea ila tatiz ni Mama.......msinifokee
@arafaally2895
@arafaally2895 4 жыл бұрын
Huyu ananidhamu kubwa.mtoto anaejilea bila wazazi huwa anakomaa kiakili
@janemhagama1925
@janemhagama1925 4 жыл бұрын
Hii interview inaboa mtu wenyewe hafunguki mnamuoji wa nn kama hajibu maswali
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
Mashallah nimependa nidham yake katika kujieleza.
@erneverernest5552
@erneverernest5552 4 жыл бұрын
Amefanana na kareen sana.Gadna hongera Mungu akutunzie watoto wako na mjukuu wako
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 4 жыл бұрын
Mzuri na anafanana na baba yake Mungu mkubwa na ni vitu vya kawaida watakaa na kumaliza hilo🙏🏼🙏🏼
@fredytarimo9107
@fredytarimo9107 4 жыл бұрын
Hongera sana gadina unafanana sana na mwanao
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
👌👌👌👌👌👌👌👌👌Gadner mambo ni pambe
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 4 жыл бұрын
Mbona amwelewi yeye kishasema kwa baba mlezi Yuko pekeake. Kwa baba yake mzazi Yuko peke yake Ila kaoa na Ana watoto...gadna night baba Kula...hamskilizi mnakoment...huyo no mbadala was lady j d
@maryammaryam7778
@maryammaryam7778 5 ай бұрын
Mashaallah hapataki tochi sura moja na baba ake
@priscaprisca2569
@priscaprisca2569 4 жыл бұрын
sio Babake mzazi ila kutokana na ukaribu pamoja na mazoea ndio hivyo wamechukuliana kama baba na mwana, da way nilivyomwolewa
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 4 жыл бұрын
Baba wa hiari
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 5 ай бұрын
Ni mzuri. Gadner alikuwa mjuzi wa mambo
@OfficialA83640
@OfficialA83640 4 жыл бұрын
Matunda ya fiesta hayo waliyoyapanda mikoani Yashastawi yanakuja sasa yenyewe
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
😂😂😂😂🙌😂😂😂😂
@richardkonzo5717
@richardkonzo5717 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Mkubwa kuliko fiesta Kama ni mkubwa kwa karen.huyu ni wa zaidi 1998 clouds ilipoanzishwa rasmi pale kitega uchumi.
@njaujustin56
@njaujustin56 4 жыл бұрын
Ur so genius😁
@hermenengildamlemi323
@hermenengildamlemi323 4 жыл бұрын
True
@venerandamwalimu16
@venerandamwalimu16 4 жыл бұрын
Kwa mila zetu za kiafrika kakosea sana na ilitakiwa amsitiri mama yake na baba aliyemlea ameteta gumzo kwenye ukoo....chuki kwa wadogo zake ambao amezaliwa nao.
@roseunderson6944
@roseunderson6944 4 жыл бұрын
Ni vizuri pia kama baba anakukumbuka na wewe dada usikate tamaa na baba yako endelea kupata baraka za baba
@spreadlove2119
@spreadlove2119 4 жыл бұрын
Kazuri na kanajua kujieleza kenyewe 😍
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Ila wamefanana sura gadner, saut kdg na careen
@khadijazinga8173
@khadijazinga8173 4 жыл бұрын
Kabsa iyo sauti
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 4 жыл бұрын
Yani mpk kucheka kabisa NA Anafanana na baba yake, ni kweli hata kuongea kabisa
@faidhaally9054
@faidhaally9054 4 жыл бұрын
Wamefanana na Kareen jamaniii hongera gardina
@musason1680
@musason1680 4 жыл бұрын
Kiukwel ningeweza kuwapga ningewapga tena vibaya sa UTOPOLO huu ndo mnatletea sa mtoto gan uyu anamwongelea baba ake ka mpenzi wake mjinga t uyu
@dianamlagwa9383
@dianamlagwa9383 5 ай бұрын
Ana busara sana👏🏽👏🏽👏🏽
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Yaani huyu hajui hata kuongea eti mama alikuwa anajua kama unawasiliana na baba eti alikuwa hajui.Na kama mama alikuwa hajui kama mnawasiliana ulijuaje sasa kama Gadner ni baba yako? Ila wewe kuna kitu kikubwa amabcho mmeshafanya na Gardner na si bure hapo.
@siaammo1104
@siaammo1104 4 жыл бұрын
Wapuuzi kweliii
@mariamzullu6059
@mariamzullu6059 4 жыл бұрын
kinatafuta kiki...kujieleza hajui
@badrahassan7513
@badrahassan7513 4 жыл бұрын
Kweli
@JeniphaMabway
@JeniphaMabway 5 ай бұрын
Sisi timejua tuna mdogo wetu akiwa form four yaani wababa wengi wako hivyo ,ila mapenzi yanakuwa madogo mno mimi najilazimisha kumpenda yule msichana lakini wapi
@HidayaMbata
@HidayaMbata 5 ай бұрын
Nimekupenda sana we binti anajuwa kujieleza
@flyoverfamilyentertainment9275
@flyoverfamilyentertainment9275 4 жыл бұрын
WANAWAKE ACHENI WIVU..ROHO ZINAWAUMA ...ILA MTAZOEA TU
@godfreydestury8813
@godfreydestury8813 4 жыл бұрын
Hongera sana Gadnal .
@reubendick4033
@reubendick4033 4 жыл бұрын
Beautiful
@nassorsada213
@nassorsada213 4 жыл бұрын
Nahis huy dad alikuw anatngozwa na gdn alivy muelezea ndo akagundua hivy Kareen mkubal ndung yak Maish yeny mafup hay
@jacklinewilliam4565
@jacklinewilliam4565 4 жыл бұрын
Kama umesikia chochote kinachoushu gonga like twende sawa😂😂😂uyu mbona anatufokea
@willesianga8956
@willesianga8956 4 жыл бұрын
Hayo mamiwani ya nini sasa,????ina maana we nitofaut nawatu wengine
@MohamedAli-rl8cl
@MohamedAli-rl8cl 4 жыл бұрын
Ana akili sana
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 4 жыл бұрын
Wanaume tuzae tuuu, ilimradi mwanamke unaezaa nae ni above 18yrs na ana akili timamu tuuu, watoto ndio mtaji wa maisha,na siku ukifa hawawez kusema umeacha magari 10, mashamba mengi NO, WATASEMA TU KWAMBA MAREHEMU KAACHA MKE/MME NA WATOTO KADHAAA,!
@julianelusubiro4655
@julianelusubiro4655 4 жыл бұрын
sipendi kiki za kijnga mimi jamani, najiskia kufoka tu hapa kwa jinsi nilivyokasirika
@annandunguru7342
@annandunguru7342 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mamae ondoka hapa kabla hujafoka
@ferarimarando9435
@ferarimarando9435 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙈
@directormorson1327
@directormorson1327 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
😆😆😆😆😆🤸🤸
@hafidhali3020
@hafidhali3020 5 ай бұрын
Hii Ndio raha ya zinaa
@swahilionline6001
@swahilionline6001 4 жыл бұрын
Mm hata simwelewi!! Haya bhana mtajua wenyewe
@marylucas5285
@marylucas5285 4 жыл бұрын
Ata me simuelewi
@DativaMbowe
@DativaMbowe 4 ай бұрын
😂😂😂😂 umeuwa yaani wewe ni Mimi kabisa 😂😂
@tp-kh8hl
@tp-kh8hl 4 жыл бұрын
Uyo dada atakuwa anafanya kazi ya kuchomelea ma grill ya dirisha....maana sio kwa miwani iyo!...na atakuwa na anaona mbali kinyama ata kesho anaona uyu!!...
@upendomasawe2687
@upendomasawe2687 4 жыл бұрын
U made my day Lol 😂😂
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@hawasaleh504
@hawasaleh504 4 жыл бұрын
Hhhhhhh
@zuriathkajwangya1724
@zuriathkajwangya1724 4 жыл бұрын
Yaani wabongo mna maneno duh
@hildegaldamushi6110
@hildegaldamushi6110 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂jmn nimecheka kizembe
@janesemngindo4544
@janesemngindo4544 5 ай бұрын
Sidhani kama ni baba mzazi. Anazungusha sana maneno hayupo straight. Huenda ni mlezi yaani aliamua kumsaidia kimaisha tu. Mtazamo wangu.
@annadua9083
@annadua9083 5 ай бұрын
Hata G Habashi mwenyewe amesema ni mtoto wake
@flyoverfamilyentertainment9275
@flyoverfamilyentertainment9275 4 жыл бұрын
WABONGO ACHENI WIVU..MTU NA BABA YAKE INAWAUMA NINI.ILA ITABIDI MZOEE.
@sophiajackson5001
@sophiajackson5001 4 жыл бұрын
Maelezo hayaeleweki.... Sasa alijuaje Kama mamaake hakusema..... Hapa kuna jambo limejificha
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 4 жыл бұрын
Kweli
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 5 ай бұрын
Nahisi ni muongo.
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 5 ай бұрын
Ila kweli wanafanana na careen
@AboubacarcastingKassim
@AboubacarcastingKassim 5 ай бұрын
Hayo yapo sana,binafsi mimi nina watoto 2 ambao ni mapacha wa kike na kiume wanamiaka17 .hawamjui baba yao yupo hai na hana habari nao wala watoto nao hawana namna.wamekubali matokeo
@yusrasalmin9563
@yusrasalmin9563 4 жыл бұрын
Mara unamwambia mama umepewa ada na Baba mara ulikua hujamuambia mama km umemjua baba woiiii
@glorylaswai673
@glorylaswai673 4 жыл бұрын
Yani ,sielewi hata anachokiongea ,zaidi ya kuchekacheka tuu
@agnessmalasusa3609
@agnessmalasusa3609 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 4 жыл бұрын
Hivi ulikuwa wapi miaka yote hiyo?
@subirajohn728
@subirajohn728 6 ай бұрын
Kafanana sana na Gadna! Aisee
@GloriaMduma
@GloriaMduma 5 ай бұрын
Acha uongo
@FlorentinaMote
@FlorentinaMote 5 ай бұрын
Mi hata simuelewi elewi. Hayuko clear.
@ashamayuwe2891
@ashamayuwe2891 5 ай бұрын
Kama mzazi nasikia vibaya kwa situation aliyokuwa nayo huyu binti. So sad. Ila vote maisha
@happynesskampando9425
@happynesskampando9425 4 жыл бұрын
Vizuri but anajichekesha kwa mambo ya sirius ni pesonal .
@fridajustus8271
@fridajustus8271 3 жыл бұрын
Unanimalizia bando tu kwedraaaaaaaaa
@fridaystartv9921
@fridaystartv9921 4 жыл бұрын
Kwhy gardner anamjukuu tyr
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 4 жыл бұрын
Safi my umajieleza vizuri sanaaa
@joycedinden530
@joycedinden530 5 ай бұрын
Lakini sauti nisawa na careen.
@eliakisigila6753
@eliakisigila6753 5 ай бұрын
Msibani mbona hatujakuona mdada? Au ulikuwa nje ya nchi mama?
@priskajustin707
@priskajustin707 4 жыл бұрын
Wamefanana macho
@Mercychadal
@Mercychadal 5 ай бұрын
Vido pole maan mtu mwenyewe hajui kujieleza uwiiiii
@janesemngindo4544
@janesemngindo4544 5 ай бұрын
Hapa hakuna kitu. Si babaake wa damu lakini babaake mlezi tu si zaidi ya hapo.
@tommyjames5669
@tommyjames5669 4 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo upupu tupu aseme anatoa ngoma gani
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 4 жыл бұрын
Huyu ndo kafanana na gardener macho sura mnaekosoa sio mtoto wake ni jealous zao na wengine hawana watoto
@clevermngao7565
@clevermngao7565 4 жыл бұрын
Nafikiri alikuwa video vix wimbo wa Christian Bella " Si ulisema"
@rozinaswenya9682
@rozinaswenya9682 4 жыл бұрын
Safi mwanangu
@matswelopelemphela9676
@matswelopelemphela9676 4 жыл бұрын
Jamani miwani Kama midirisha ya Basi kubwa Tena Scandinavia.
@mrembowakisukuma1447
@mrembowakisukuma1447 4 жыл бұрын
😂😂
@carinadavid8214
@carinadavid8214 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@fetounibrahimsharishari6311
@fetounibrahimsharishari6311 4 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@hadijaateya7623
@hadijaateya7623 4 жыл бұрын
Hahaha
@faithtrust6749
@faithtrust6749 4 жыл бұрын
Leyland😂😂😂😂
@EmmanueliEmmanuelimwita
@EmmanueliEmmanuelimwita 4 ай бұрын
Day miwan mikubwa kama vioo vya nyumba!
@michaelmagige4669
@michaelmagige4669 4 жыл бұрын
Nimefurah kumuona ndugu yake kareen,kareen mkubali nduguyo,pia idda mshaur kareen awe karibu na ndugu yake!!!!
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 жыл бұрын
Mm nili follow insta lakini jana nime muamu follow naona kama Kiki siyo kweli
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 ай бұрын
Mungu atakusaidia dada baba yako anaonyesha hakumuweka wazi Caren ila mungu mkubwa
@stainasimkoko7504
@stainasimkoko7504 4 жыл бұрын
Kumbe baba wa hiari kwa maneno hayo sio baba mzazi
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 4 жыл бұрын
iyo miwani km fundi mageti ndo nini chefu 😏😏😏
@islandgirl4578
@islandgirl4578 4 жыл бұрын
Nampenda vido
@mwarishmodsalum555
@mwarishmodsalum555 4 жыл бұрын
Minaona miwani uvue uko Kama Kobe vile ungependeza bila miwali wallah kuiga watoto acheni
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 5 ай бұрын
Sasa huyu ndie kafanana na gadner yule careen wa mchongo hawafanani na gadner
@naomimabula2660
@naomimabula2660 4 жыл бұрын
Kafanana na Gadn, pia Kereen hawez kuzuia chochote kwa alichofanya baba yake, ni kumkubal ndug yake.
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 4 жыл бұрын
Hajui kujieleza mfyuu 😏😏 Alikuwa video Queen wa Rayvanny wimbo wake wa chuma ulete 2017.
@ericklaura7511
@ericklaura7511 4 жыл бұрын
Surely I checked the video few minutes ago and I confirmed, Ni yeyeeee, duu ila vany boy kweli kweli alitoka salamaa huyuuu 😋😎
@gibsonngahala9954
@gibsonngahala9954 4 жыл бұрын
Kweli ni yeye eti
@ericklaura7511
@ericklaura7511 4 жыл бұрын
@@mwigaramadhanikatumpula7973 ooh duu kumbe kalishauza sura sana ntaucheki uwo wimbo, asante but nahis mzee wake may be ndo alikuwa anampa hizo connection.
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 4 жыл бұрын
umeuwaaa my njoòo uchukuwe mb zamwaka mzima
@bundaboytz2101
@bundaboytz2101 4 жыл бұрын
Pia wimbo wa Christian Bella alishawahi kuwa video vixen
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 6 ай бұрын
😢rip gadner
@awardandrew973
@awardandrew973 4 жыл бұрын
Mmmh,pana wimbo wa Kareen unakuja hapa,hamna lolote hapa.
@violethdavid309
@violethdavid309 5 ай бұрын
yaani huyu maisha aloyapitia ni mimi kabisaaaaa
@noahamon8591
@noahamon8591 4 жыл бұрын
Sio mtt wake bana af ukifuatilia maelezo hayajitosherez hata
@theophilwilliam6906
@theophilwilliam6906 4 жыл бұрын
DNA Test ni muhimu sana ili kuondoa utata hapo. Gardner awezeshe hilo ili kuweka kila kitu sawa.
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l 5 ай бұрын
Jamani lakini kafanana na Gardner 👌
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
Lkn kafanana na kareen
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 4 жыл бұрын
Mmmh nimesikiliza kwa makini maelezo yake me hata sijamuelewa mbona Kama mpenzi wake? Huyu sio baba yake kabisaaa sijui lakini ngoja tusubiri
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 4 жыл бұрын
Ni hawala yake
@musason1680
@musason1680 4 жыл бұрын
Hajaulizwa ya Instagram kashafika mbali
@hamishamis4439
@hamishamis4439 4 жыл бұрын
Maajabu,mbona tunamjua huyu......Acha zako
@ishengomanelson
@ishengomanelson 5 ай бұрын
Hivi nyie huwa hamna issues serious za ki-uchumi, kisiasa, na kijamii ila za kiswahili-swahili tu! Mnatengeneza ideologia hewa isiyokuwa na uhalisia na chachu ya mabadiriko katika jamii kabisa ili mradi mpate hela ya kula.
@janesemngindo4544
@janesemngindo4544 5 ай бұрын
Mbona sikumwona mstari wa mbele msibani ikiwa kweli ni babaake?🤔
@Tiffany340
@Tiffany340 4 жыл бұрын
Mmh... Karen 🙅🙅🙅 ...piga kelelee kwa Karen akeee.. weeeeeeweeeehhh
@jayblessings2492
@jayblessings2492 4 жыл бұрын
Hamna ukweli hapo, lugha yake inagongana mno.
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Hizi miwani safari hii kheee kazi kweli kweli 🤣🤣
@mashombomashombo9233
@mashombomashombo9233 4 жыл бұрын
Hahaha Yan nilikua naitafakar nakutana na hii comment
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
😀😀😀
@ramadhanimrisho5532
@ramadhanimrisho5532 4 жыл бұрын
Safi
@africosimonmattogoro6986
@africosimonmattogoro6986 5 ай бұрын
Kwenye msiba wa gadna, wamesema gadna kahacha mtoto 1 Kareen, na mjukuu 1. Je hii imekaaje
@aminahassan3588
@aminahassan3588 4 жыл бұрын
Caren sio rahisi kuelewa kirahisi bwana lazma amuuluze babake siku zote ulikuwa wapi leo hii ndio ujitokezee mmh yataka moyo ila mtaelewana mdogomdogo tu
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Baba halisi wa mtoto wanawake ndio wanawajua.habari ndiyo hiyoooo.🤣🤣🤣🤣🤣wanaume yawezekana watoto mnaowapost Instagram siyo wakwenu""cc siyo watu wa mchezo mchezo saa nyingine""
@danielalphonce1653
@danielalphonce1653 4 жыл бұрын
Sio mara zote
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@danielalphonce1653 Dan, tulia ndio maana mwisho nimeandika""saa nyingine"""
@danielalphonce1653
@danielalphonce1653 4 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 Kuna wanawake wanajielewa kwaiyo usiwapake matope...
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@danielalphonce1653 narudia tena ndio maana nikaandika ""saa nyingine mwishoni,kwa hiyo ni kweli siyo wote.
@danielalphonce1653
@danielalphonce1653 4 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 sisi siyo watu wa mchezo mchezo saa nyingi. Usiinge andika 'sisi' ila ungetumia neno baadhi yetu.
@GaudenciaBasil-wk7qk
@GaudenciaBasil-wk7qk 5 ай бұрын
Hovyooo
@nathanmmasi3890
@nathanmmasi3890 5 ай бұрын
Da ase ayamaisha bana
@lucaskabadi8519
@lucaskabadi8519 4 жыл бұрын
Alikuwa anafanya kazi the Return lounge mwenge nyuma ya calabash
@Michoarbah
@Michoarbah 4 жыл бұрын
😂😂
@dorisfabian3703
@dorisfabian3703 4 жыл бұрын
@@victorphilibert1629 hahahahaha
@scolasticamasanja4378
@scolasticamasanja4378 4 жыл бұрын
Mbona unajijanyaga kanyaga sasa
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Mkasi | SO9E16 With Gadna : Extended Version
42:50
MkasiTV
Рет қаралды 61 М.
Malkia karen alia na mama wakambo/baba awe single/napenda
11:10
Dizzim Online
Рет қаралды 26 М.
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 187 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН