Yeah kazi nzuri pia Toka kibaha mpaka mlandizi ni majanga Lori likizima katikati ya barabara foleni ni kubwa na muda hupotea hii njia iendelee kutanuliwa ni muhimu mno bila kusahau ile ya Moro Dodoma nayo si nzuri .
@deusmanyenye519016 күн бұрын
Umeanza vizuri kaka. Magufuli mwingine kwenye wizara hii
@HajiKlein-so1rk16 күн бұрын
Safi 🇹🇿🇹🇿
@Niika87015 күн бұрын
Bashungwa li mtu laa hovyo sana litoto la mama ,sasa ameenda wizra ya M ndani subiri muone majanga 😂😂
@RizikiMlela14 күн бұрын
Tatizo hamuna mipango enderevu kirasiku mnafanya kazi ireire mmeonyeshwa mfano namakufuri barabara ya mbezi
@amanmaleko308516 күн бұрын
Magu ndio aliweza saiv amna kinacho endelea
@renatusblandes113116 күн бұрын
Huyu Mbunge wetu haje kwetu kisemvule kutoka kisemvule stand hadi kwenye visima vya Dawasco kwa mzee mbwanda Barabara imejaa mashimo Nauli imepanda kwakweli hatuna kiongozi huko
@CadiaOnesmo16 күн бұрын
MWANZA Barabara ya kutoka majini kwenda buhongwa, shinyanga mbaya mbaya mbaya sana hvi hamuioni au
@Worldunite16 күн бұрын
Tatizo barabara kama sita zimebomolewa kwa pamoja kwa ajili ya hiyo miradi ya BRT, matokeo yake kusababisha foleni kubwa
@amedeustesha594716 күн бұрын
Acheni hadithi nyie serikali hamlipi watu hela Kwa wakati. Waziri unajichetua tuu hutaki wakandarasi wazembe
@godfreymushi696616 күн бұрын
Viongozi wa Afrika ee mungu we utashuka lini ????
@yusufuosman896616 күн бұрын
South Africa kuna Barabara zinaitwa freeway gari inatakiwa uendeshe Kwa spud kubwa yaan special Kwa haraka.
@monicaandrew829216 күн бұрын
Utukumbuke na huku kwetu mkuu kwenye daraja la mbangakwaru mto mzinga kuelekea mlamleni, mvua zinakuja panakuwa pagumu,tunafurahi umepata nafasi hiyo ya ujenzi
@mmarandu241716 күн бұрын
Jivike roho ya Magufuli. Tutakuinua zaidi ukiwa JPM mwingine.