Lema unaongea point sana mzee wanahalibu nchi kwa kigezo cha dini
@ROZITHOMAS-y4q7 ай бұрын
Lema anaweza kupata kura arusha. Bado yupo vizuri
@davidlyimo80797 ай бұрын
Tuko pamojaa Mh shimiwaa.....for real you've been spoken the truth in this Earth✌️✌️
@KamwandaNzowa-eo4ur7 ай бұрын
Hongera sana Lema kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki sana
@productionwinderbuly7 ай бұрын
Umeongea point sana Lema.
@jonaycemoshi72617 ай бұрын
For real for sure ushindi uupate kwenye uchaguzi ujao.Unawafaa sana Waarusha na Watanzania kwa ujumla!Viva Hon Lema.
@salumjumaruhaga25137 ай бұрын
Safi sana lema ,sema ukweli kabisa
@muhammadkhamis57987 ай бұрын
Umeongea point Lema
@boscokabulwa-uk9gh7 ай бұрын
Watanzania tambueni jambo hili, wale wote mnazosema kuwa Lema anauraia wa nchi mbili napata shida sana na uelewa wenu maana kwa Sheria za Tanzania haziruhusu mtu mwenye uraia pacha kugombea nafasi yoyote ya uongozi, kwa hiyo nadhani wale wote mnaosema juu ya jambo hilo tambueni mmerishwa ujinga na hao viongizi wa ccm, fuatilieni then mtaelewa ninachosema
@nyabahailani31697 ай бұрын
Point mtumishi
@damianmakala29137 ай бұрын
Ni kweli maisha ni magumu Sana ! Ila Hata siku moja mwanasiasa hawezi kukubadilishia maisha yako maisha yako yapambanie Mwenyewe yaani hakuna we pambana tu Mwenyewe tutatoboa mwanasiasa hawezi kukugaia pesa bhana yy Mwenyewe anatafuta kula hapo awe ccm au chadema wote matapeli tu
@Kichwakikubwa-y9o7 ай бұрын
Nakukubali sana Lema
@aaa64sa137 ай бұрын
Lema ingelipendeza kueleza ukichaguliwa utawafanyia nini Wanaichi wako. Haya ni Maoni yangu.
@peterjohn20997 ай бұрын
Apo atakua anafanya kampeni
@gerardyoung17077 ай бұрын
Kwani aliyoko amekufaniya nn
@EpiphaniaLukas7 ай бұрын
Ni kichaa tu hawezi kukuelewa, na aliyebeba laana za kumtosha
@hamzakimaro37647 ай бұрын
Chadema acheni vurugu!!wakati wa JPM mlitoroka!sasa mmeona kwa mama samia kuna uchochoro!!mnajidanga mama yup very strong!tunajua hamna kazi za kufanya ndiyo sababu mnazurura ma barabarani!
@isackkivuyo19807 ай бұрын
Hahahaaa mgonjwa wa UTI amelipiwa na mbunge wake, dawa enyewe sasa ni AXUMA hahahaaa, Acha kuwachukulia watu kama mtaji
@powermediatv98787 ай бұрын
Tupesera tukuelewe acha ngonjera sukari bei gali tuambie tuambie Bei rahisi ipo wapi hiyo ndio point
@CyprianMhanga7 ай бұрын
Hongela lema
@far_hard13017 ай бұрын
100% trueth we support u 👍
@ThobiasMarandu7 ай бұрын
Huyo Malasusa Anamfuata Yesu Gani???? Yusu Hakuwa CHAWA! Bloody Kumbafu... Yesu Kila Wakati Alikuwa Anazua Purukushani 1) Na Wakuu wa Makuhani 2) Watoza Ushuru 3) Waandishi, 4) Masadukayo, 5) Na Hata Mzee Mzima Herode na Pilato... MALASUSA NI CHAWA WA MACHAWA Wachafu.
@McT-m1m2 күн бұрын
Lema nakupenda ila sisi maskini ndo wabishi
@rasheedmbaraka71997 ай бұрын
Hivi ukiwa kiongozi cdm ukiongea ni mpk uwe km unarap ?..mbn hii style sijui imekopiwa wapi?
@melch30977 ай бұрын
Marekani
@trophywilson72117 ай бұрын
ndiyo
@hassanbakari45257 ай бұрын
AKITOKA HAPO ANAENDA KUMUOMBA SAMIA SULUHU MEETING,,ANAENDA KUMUELEZA SHIDA ZAKE NA KUOMBA ATATULIWE😊😊
@georgepeter20557 ай бұрын
Ndio nyie swali suni…. Watu wanazungumzia utaifa unaleta porojo
@VictorZimba-kg3xr7 ай бұрын
Ni kweli Lena Ila nawakubali sana waloma wanamsimamo viongozi wengi wa dini ni wanafiki sana sana
@paulheavyrain95847 ай бұрын
UGUMU WA MAISHA UONGEZEKE ZAIDI YA HAPA NDIO WATAPATA AKILI. KILO YA SUKARI IFIKE 10,000,
@boscokabulwa-uk9gh7 ай бұрын
Viva Lema viva😅😅
@ramadhanmwandambotuntufye59727 ай бұрын
Bob Amsterdam hajaleta Posa tu anasubiri nn? Mwali amekuwa!!
Mbona ulituongoxa hatukuona msaada wako mdomo tuuu mbora hata mgabo Mara 100
@mnolamanyendi49567 ай бұрын
Rema tupo pamoja Sana tunakuwerewa sana
@ismailhaji64717 ай бұрын
Kikubwa ni nnchi iwe na amani tu, maisha hayajawah kuwa rahisi tokea enzi hizo
@tato89797 ай бұрын
Nikweli kabisaa
@osmanmussa65967 ай бұрын
Kichaa kakutana na vichaa wenzie
@EliaEgbert7 ай бұрын
Lema ubunge ni ajira unatafuta ya nini km sio ajira wacha kutudanganya
@melch30977 ай бұрын
Usimchague
@erickbiharagu8947 ай бұрын
Asaidiane nawaliopo 😊
@JamesSichimata-w1u7 ай бұрын
Mnajitahidi sana kutushawishi masikini tuwape madaraka mwisho wa siku maisha ni yaleyale
@Kabwela7767 ай бұрын
Muwape muone labda maisha yatakuwa ni bora
@erickbiharagu8947 ай бұрын
Wananjaa kam sisi wanatafta magap yqkupga tu
@tluwaysulle7 ай бұрын
Mkuu nakupa big up na nakukubali sana
@davidmalisa80437 ай бұрын
Lema ngonjera nyingi sana alafu umewapata maboya hapo nao wanakusiliza sjui hawana kazi hao badala wafanye kazi wanaskiliza mistar ya hip hop marehem tupac halaaa
@morrismwaipopo22437 ай бұрын
Wana siasa kwa uongo ,juzi tu mmepewa billion mbili na million Mia saba za ruzuku kwanini msiwasaidie wananchi,hataofis mikoan hamna ni aibu tupu
@tiffanyakramJr8227 ай бұрын
Watu wanajisahau nyie, ivi huyu si alikuwa mbunge na akawa anakwenda kueleza utabiri wa nani atakufa badala ya kero za watu huyu
@gangan46187 ай бұрын
Kero ya NCHI hii ni Ma-CCM na VIONGOZI WAKE sasa imepita miaka zaidi 60 baada ya uhuru, Bado Watanzania wana maisha Yale Yale magumu Bora kipindi cha Mkoloni mweupe Kuliko huyu Mkoloni mweusi (CCM) HADI ROHO YAKE NI NYEUSI yaan MAISHA YA GIZA TU Wala hakuna matumaini ya kesho iliyo njema. Mfumo WA kikoloni WA CCM NI LAANA TU... UONGO MWINGI KULIKO UHALISIA WA MAISHA YA WATANZANIA WAZALENDO. Watanzania WAZALENDO WANATESEKA SANA NDANI YA NCHI YAO TANZANIA.
@PrinceHendry-hp8vv7 ай бұрын
Wenye akili watampa gambo vichaa watampa lema mwenye familia yake canada
@dorothmsuya16867 ай бұрын
Wape hela basi! Mnajifanya miungu watu! Tushawqsoma!😂😂😂
@saimonmunishi53877 ай бұрын
kuma la mama ako mbichi na yako imeoza malaya kahaba ww
@mbwanahasan29717 ай бұрын
Malaya mmoja Ambae hujitambui
@SilaMinanda7 ай бұрын
Unaongea mavi kipochi manyoya
@OmmyJames-xn7ji7 ай бұрын
WAHUNI BADO WANAONGELEA MATUKIO WALA HAWANA HOJA MAMA KAWAPA DOZI WAMECHANGANYIKIWA 😢😢😢😢
@FrankGabriely-up5yo3 ай бұрын
Nimekuelewa
@ayubujumaa50117 ай бұрын
Wewe vipi kwani chadema haina nguvu wapii?1
@HappyChuwa-gs8bwАй бұрын
🔜✌️✌️
@renatus56877 ай бұрын
Umasikini upo mpaka marekani sembuse bongo tafuteni kazi za kufanya yenu yanawashinda yetu mtayaweza
@trophywilson72117 ай бұрын
hata huku Umasikini upo
@MariamAsajile7 ай бұрын
My people
@mussahancy65917 ай бұрын
Kwa mbaaaali naona bendera ya Chama changu pendwa CCM,Lema tulia wakati wako umepitwa
@JophasJohn-oh8zu7 ай бұрын
Aisee naipenda sana CCM
@Liverpool-uv4fc7 ай бұрын
Kweri kaka lema chadema ndio sauti ya mashekh kuriko ccm yyte
@rynesawaya70437 ай бұрын
Ni kweli sio kweri,ni kuliko sio kuriko 😂
@restitutalucian787 ай бұрын
Naipendaga chadema, lakini wanakoseaga kuweka wagombea wao.
@mahijayusuph81867 ай бұрын
Tangaza sera
@melch30977 ай бұрын
Kwani kiziwi utasikia
@aediayumgo85467 ай бұрын
Bingwa anatafuta utajiri Kwa nguvu Kweli kweli alipokuwa mbunge mlikuwa Na shida miaka Kumi Arusha haikubadilika wadanganye dogo😅😅
@odoieriasmonga65917 ай бұрын
KURA YANGU NA FAMILIA YANGU YA MTU 12 KURA ZOTE NI KWAKO LEMA
@clemencemkondya85617 ай бұрын
Acha uwongo mbona huna hoja .mwizi mkubwa .
@muhsinikoki40607 ай бұрын
we fala
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi7 ай бұрын
We zombi hujielew kabisa na akili yako matope
@brysonkaale30037 ай бұрын
Usitukane watu wanaotoa mawazo yao,hata Kama Wewe Ni mjumbe wa nyumba 10 CCM,hiyo siyo leseni ya kutukana watu!
@AnastaziaKundi-mv8mr7 ай бұрын
Hapo nikichaaa kakutana na kichaka mwenzio
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
UYU LEMA NA MWENZAKE LISSU WANAURAIA WA NCHI MBILI ALAFU WANAFANYA SIASA YAKOTOKEA MACHAFUKO WANAKIMBIA
@valenakomba76867 ай бұрын
ULIPOKUWA MBUNGE ULIWAPA NINI?. HAO MACHANGU?.
@mbwanahasan29717 ай бұрын
Chawa mwenye akili zilizopo makalioni
@narrissajackson38697 ай бұрын
Ulitaka awape nini
@SilaMinanda7 ай бұрын
Matako sana kwan waliokua muda huu madarakani wanakupa nini?
@SadickMfilinge28 күн бұрын
Na baada ya kuwa yeye sio mbunge nini kimefanyika
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
WATANZANIA KUWENI MAKINI AWA WANAURAIA WA NCHI MBILI ALAFU WANAFANYA SIASA VIBARAKA
@mwlpierre7 ай бұрын
Kwenda k- - -a Wewe!
@HappyChuwa-gs8bwАй бұрын
Tafta n. Ww
@KingBuddah-nx3uiАй бұрын
@@HappyChuwa-gs8bw wewe unaulaia wanchi mbili mbona unawaka mnyarwanda
@HappyChuwa-gs8bwАй бұрын
@@KingBuddah-nx3ui au cyo
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
WEWE LEMA WACHA NJAA KIBARAKA WA BOB AMSTERDAM
@melch30977 ай бұрын
Si uwende uwaeleze
@gracekagoma32317 ай бұрын
Una waamini wanasiasa wakutajirishe.😮😮
@muzafarsharif94657 ай бұрын
huyu ana ukabila Sana wa kidini speech zake huwa anaongelea dini Sana
@zakayomasingoti92387 ай бұрын
Akili huna
@mussamsuva39957 ай бұрын
❤
@JudithAdonis7 ай бұрын
MUNGU ATUJALIE AMANI IDUMU TANZANIA
@dianamakyara42107 ай бұрын
✌️✌️
@salumjumaruhaga25137 ай бұрын
Mimi sio wa arusha ningekuwa ningekupigia kura
@trophywilson72117 ай бұрын
Bora uwaambie Waislamu kama Mashekh walifungwa na Kikwete
@husseinmaingo50097 ай бұрын
Mi napitia comment tu maana kusikiliza unafiki ndo sipendagi
@mwanahamisinyenzi-vo6mj7 ай бұрын
Tuko pamoja
@isackkivuyo19807 ай бұрын
Walahi kama nyie watu wa arusha mnampenda huyo lema mwulize ,hivi ni mtanzania au ni nani,huyu jamaa mwongo haswaaaa haswaaa
@melch30977 ай бұрын
Muulize baba yako vizuri akwambie ukweli, kama yeye nimtanzania
@isackkivuyo19807 ай бұрын
@@melch3097 nisaidie kumwuliza babako
@restitutalucian787 ай бұрын
Ila Kwa Arusha Bado Jimbo utachukua. Sababu mgambo wameshatengeneza mazingira ya kushindwa
@OraionSabibi7 ай бұрын
Mimi Niko kigoma lakini nakukubali mno
@KarimMdee-t5d7 ай бұрын
Mshamba
@HijaSaid-xd7fg7 ай бұрын
Waambie hao
@jakuabdull347 ай бұрын
Kwisha habari yako kama udini ww ndo unahubiri udini
@mgayamgaya7 ай бұрын
2025 ole wao waibe kura tena, we ni mbunge wangu na njiro mimi ntakuwa diwani
@OmbeniShoo-kg8dr7 ай бұрын
Ukizaliwa kwenye ujinga usitegemee ujinga wako uko kwa wengine someni majira na nyakati zama za giza zimepita sasa hivi ni peupee uongo huwa haudumu una ukomo wake na ukifika. ni aibu ukweli hauna mwisho.
Wewe mwenyewe mpigaji tu! Rudi Canada kaka na wanao!😅😅
@RomanMwinyi7 ай бұрын
Ivi m2 kaka ww unakomenti ujinga una kua mchawi au ndo elim ndigo yani watu Wana pambana kukwamua inchii jitu alijulikani ata linapo ishi linaongea pumba ivi uwoni maisha mtaani yalivyooo kua magumu au uchizi kuzaliwa naoo
@dorothmsuya16867 ай бұрын
@@RomanMwinyi usinilazimishe kuwa na mawazo yako! Wewe ni wewe na mimi ni mimi ! Bando langu na mawazo ni yangu! Take your time! Tumekunywa maji ya bendera!!!....
@RomanMwinyi7 ай бұрын
@@dorothmsuya1686 m2 anaejitambua akiona anaona una akili nibola iyo jelo yako ya bando kanunu bangi uvute ukalale una maajabu mawazo finyu una leta kwa wasomi unaonekana mjinga
@Kabwela7767 ай бұрын
@@dorothmsuya1686una maisha mazuri unakunywa chai na sukari au ukaa gizani na unakunywa chai bila sukari ☕️
@MusaOgwokoАй бұрын
Bila lema ni nani
@francismahu62187 ай бұрын
what is your plans now mbona blablaaa tu, laumu, ubinafsi na kujisifu
@leonardmartine6627 ай бұрын
Uko vzuli kamanda
@dynamicmwakibinga43717 ай бұрын
Good
@EliaEgbert7 ай бұрын
Sio mbaya utatulisha na familia zetu tukisubiri mahandamano
@elymollel7 ай бұрын
Unategemea maaskofu na mashekh wanga'nga'anie katiba mpya ilihali wao wanapata ushirikiano wa kutosha serikalini? Nafkiri ungetenganisha dini na siasa, usitegemee ushirikiano kutoka kwao.
@SilaMinanda7 ай бұрын
Jakaya sio muislam wa kweli ni shetani kama mashetani wengine, yeye ana abudu pesa mjinga
@Ndogoro-s2e7 ай бұрын
Unatangaza kugombea 2025 kwa hiyo hamna wagombea wengine wa chadema hapo? Ni umsukule
@FurahaMwandoje7 ай бұрын
Mtamsema alikimbilia Canada ni sawa,kati yenu ni nani angesubiria kupigwa risasi kama Lissu?.Kama Mungu amekujalia haujawahi kuonewa wewe mshukuru Mungu na sio kuwabeza waliokimbia kujiokoa na watu waliokosa utu.
@PrinceHendry-hp8vv7 ай бұрын
Asipigwe heche aliekua na mdomo mchafuu kwa magu apigwe lema huyu aliwah fursa nje kwasababu alijua hapa hana lake
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
WANASHILIKIANA NA MAJASUSI WEZI WA MADINI YETU WAKANADA NA WABERINJIAM HAWA C WATU WAZURI
@Kabwela7767 ай бұрын
Ujinga ni ugonjwa
@grayjordan39007 ай бұрын
Askofu aliongea ukweli wake sasa ulitaka aseme yuko chadema, Jinga kabisa huyu jamaa
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
WEWE C MTANZANIA WEWE LEMA MCANADA NANI ASIEJUA
@petermogha70257 ай бұрын
Walianza kipindi ngani. Acha kudanganya lema Mlina ilkuwepo tangu zamani
@margarethpolepole74387 ай бұрын
Lema hupati Ubunge kamwe
@jumadinya37967 ай бұрын
Njaa inakusupua huna lamaana hata moja peleka moshi maandamano acha waarusha wafanye wenyewe wewe peleka moshi kwenu acha kuchafua miji ya wengine nyinyi mnakwepa huko moshi kuna nini
@yusuphswaibu85327 ай бұрын
Acha kueneza udini eleza utafanya nn ukichaguliwa rofa ww
@Tatianusi-zr6pz7 ай бұрын
Pole brother unaitaji kuombewa na huo udini Ili ujinga ukutoke maana jamaa ajaeneza udini pale badala yake anauelimisha uma wa Wana Arusha dhidi ya janjajanja za ma ccm wanazozitumia kupola mali za waTanzania Hila kwavile una upofu wa akili ndo maana umeona hivo. Pole kwa malanyingine brother
@mot.tvmsamvu67707 ай бұрын
ccm imekusaidia nini ww
@margarethpolepole74387 ай бұрын
Rudi Canada kama ni mti mpapai huna kitu hapo
@TwoBrother-tc2cu7 ай бұрын
Masheikh wamewekwa gerezan na muislam na wametolewa na muislam au nimekosea jaman?
@emmanuelmayunga15187 ай бұрын
Walitolewa na jpm
@TwoBrother-tc2cu7 ай бұрын
@@emmanuelmayunga1518 unaota usingizini au?hukumbuki alivyosema magufuli!alisema hakuwaweka yeye gerezani kwaiyo hawezi kuwatowa au unajizima data?
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
SISI TUSIWASIKILIZE VIBARAKA TUWE MBALI WANATUCHONGANISHA BAADAE WANAKIMBIA
@chrispinuse.mmavelle98727 ай бұрын
Ujue Wanasiasa ifikie kipindi wanadi Sera , kuliko kutumia chamgamoto walizonazo wananchi kuwaaminisha kwamba wao ndo msaada wao kama wakiwachagua matatizo Yao yataisha, Ni upumbavu mmoja mkubwa Sana
@dorothmsuya16867 ай бұрын
Na hupati kura kweli! Unajisikia sana! Tazama unavyowasema viongozi wa dini sababu ya njaa yako!
@margarethpolepole74387 ай бұрын
Doroth hapati kawatukana sanaaaa watumishi na Mungu wachungaji mshenzi huyo
@allandavid7527 ай бұрын
Wachungaji wamekua washenzi na wanafiki wenye kujikomba
@margarethpolepole74387 ай бұрын
@@allandavid752 biblia agano la kale lilisema kutatokea manabii wa uongo magonjwa yasiyotibika kama ukimwi corona kansa ebola nk sasa ndugu yangu ndiyo uyajue hayo dini ni biashara nzuri sana na wanaopatikana kwa wingi kwenda huko ni wanawake kama wanavyoshinda kwa waganga wa kienyeji hawa wanatumia tunguli hawa wanatumia biblia hapo sasa moto mkali
@KingBuddah-nx3ui7 ай бұрын
WEWE NI KIBARAKA WA WACANADA WANATUIBIA MEDINA YETU
@Tatianusi-zr6pz7 ай бұрын
We kiazi Tena kitamu kwerkwer kwani hao waCANADA madini wanayoyaiba wanayachukua chini ya selikar ya chama kipi kwa mikataba baina yao na serikari ipi? Lejea mchango wa Lisu bungeni dhidi ya madini anawaambia nini ma ccm dhidi ya mikataba ya uchimbaji wa madini nchini. Alafu nawewe unanifanya kulopoka et mjinga mmoja ww.