MILLARD AYO AFIKA KWENYE JUMBA LA BILIONEA MULOKOZI "SIO YA NDOTO ZANGU, ANAKUJA KUKAA MFANYAKAZI"

  Рет қаралды 461,333

Millard Ayo

Millard Ayo

5 ай бұрын

EPISODE ONE: Wengi waliniandikia wakitaka kuliona Jumba hili bila kupitishwa harakaharaka tofauti na video nyingi mitandaoni zilivyolionesha, nikwambie tu nimefika hapa na nimehakikisha napita kila kona...
Ni nyumba yenye hadhi ya Presidental ambayo wengi wanaweza kufikiri ndio nyumba ya ndoto zake lakini hapana, mwenyewe anasema hii nyumba ameijenga kwa ajili ya Mfanyakazi wake.
Hii ni episode ya kwanza tu ya kukuonesha jumba lenyewe, episode ya pili ni mahojiano maalum na Mulokozi kujua alikoanzia hadi alipofikia, fanya kubonyeza subscribe kwenye KZbin ya millardayo kujionea yajayo yanayofurahisha.

Пікірлер: 1 600
@Marjeby
@Marjeby 5 ай бұрын
Millard we jamaa unajua sana kufanya presentation aiseee hii habari nimeiona kwenye channel kadhaa but the way unavyoipresent now nahisi sijaiona aiseee
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
ASANTE SANA MARJEBY
@coleinvee3181
@coleinvee3181 5 ай бұрын
very clear kabisa👌
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 5 ай бұрын
Ngoja nikusaidie kuitaja ilikuwa global tv nikaavhana kuangalia nikasema mzee Millard akienda ntaichek l.Jamaa yuko serious sio wale wenzake
@mdachiog5211
@mdachiog5211 5 ай бұрын
Kabisa jamaa anajua balaaa
@shukurudenis8922
@shukurudenis8922 5 ай бұрын
Mwijaku yuko wapi hahha😂😂
@user-jk8vs4eh8i
@user-jk8vs4eh8i 5 ай бұрын
Aliyegundua hii nyumba imejengwa kwa ajili ya biashara agonge like .coz hii nyumba inaweza pangishwa kwa ajili ya matumizi ya presidential na ikamuingizia pesa nyingi tu kwakuwa huyu ni tajiri mwenye kufikiria Sana ,matajiri huwa hawafanyi vitu kwa makusudi .all in all big up kaka umewainspire matajiri na wachacharikaji wengi
@erickmachua8829
@erickmachua8829 4 ай бұрын
Una Akili sana Mkuu 😅
@marianajohn5415
@marianajohn5415 4 ай бұрын
Kwakweli kwa hili nimejiona mjinga kabisa! Huyu kaka ana aakili jmn 🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 4 ай бұрын
Unajidai ndio umefikiliiiiiiiaaaaa acha izo fikilia viwanda na wewe ujenge
@westcijosh
@westcijosh 4 ай бұрын
This is how the rich stay rich
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 ай бұрын
Hata mwenyewe kasema hivyo hivyo.. itakuwa hukusikia
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 5 ай бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉tufanye kazi jamani...hatuezi kuwa mabilionea wote,ila tunaweza kuwa na maisha bora
@hassanussein1817
@hassanussein1817 4 ай бұрын
Ma sha Allah, KWENYE vinywaji vya kulevya ....nyie vipi......
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 4 ай бұрын
Hakika
@sophyodago5062
@sophyodago5062 4 ай бұрын
True
@samiamazoea9348
@samiamazoea9348 5 ай бұрын
Mungu amjalie mme wangu na liziki tufike mbali🙏
@user-lc7lj5lh3d
@user-lc7lj5lh3d 4 ай бұрын
❤❤
@evaristmandilindi6147
@evaristmandilindi6147 4 ай бұрын
😂😂😂😂unachekesha
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
Amen
@pilichuli4449
@pilichuli4449 4 ай бұрын
Sema akujalie wewe mwenyewe sio mme wako
@meshacksway866
@meshacksway866 4 ай бұрын
Lakini sio hapo
@castoriarogatus3675
@castoriarogatus3675 4 ай бұрын
Kila mpambanaji Mungu uumpa kadili ya juhudi zake hongera Bilioner umeweza umeweza umeweza tena
@MoringiElsa
@MoringiElsa 4 ай бұрын
Hongera sana usisahau kutoa sadaka kanisani
@mariamhamad7624
@mariamhamad7624 5 ай бұрын
Milady watu tunakuamini saana unajitofautisha saana na media online zingine salute BROO🙌
@millardayoTZA
@millardayoTZA 4 ай бұрын
ASANTE SANA MARIAM
@deogratiuslwamboya4032
@deogratiuslwamboya4032 4 ай бұрын
Atukuzwe Mungu milele kwa ajili ya billionaire David Mulokozi. Amina🙏🙏🙏
@nururaymond5
@nururaymond5 3 ай бұрын
Wahaya Shikamoo
@mariamhamad7624
@mariamhamad7624 5 ай бұрын
Milady watu tunakuamini saana unajitofautisha saana na media online zingine salute BROO🙌 na Uko humble ndo maana hata wanaokupa mahojiano wanakuamini
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
SHUKRANI MARIAM !! MUCHLOVE
@user-zr8dj5xj1q
@user-zr8dj5xj1q 4 ай бұрын
Kipindi nipo chuoni Augustine tulikuwa tunamwiya CR was taifa,tunakupenda na tunakukubali San bro❤
@forgottengaze
@forgottengaze 5 ай бұрын
Millard ulivyosema "hapa ni wapi" , nkamkumbuka mwl wa matheeee. Hongera sana to this guy... good-hearted and very inspirational
@emmaemmanuel2844
@emmaemmanuel2844 5 ай бұрын
Shukran Millard ayo na tajiri Kwa kutupa mda wote huo na hajikwez ni mnyenyekevo ishii sana tajiri 🙌
@francismkini5963
@francismkini5963 5 ай бұрын
Much inspired by the way the housegirl is being treated in this family. This will give you more payback!
@AlineWamishi
@AlineWamishi 5 ай бұрын
Very true ,In most luxurious home they forget this aspect it was really beautiful to see that .
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 3 ай бұрын
Milad na wewe mungu akupe sikumoja tutaona nyumba yako nzuri sana ..hongera kwa kazi nzuri❤❤❤
@giftwandi3918
@giftwandi3918 5 ай бұрын
This is Amazing 👏 🙌 😍 Millard Ayo you're the best Presenter,I salute You.
@kennyraphael9839
@kennyraphael9839 5 ай бұрын
Big up sana kwa kaka yetu Mulokozi!! You really inspired many young people to become successful just like you💯big up sana kwa Mtu mzima the Rude boi’ kaka Millard Ayo!! Ebwana unaweza sana✊🏾
@augustinofifi
@augustinofifi 5 ай бұрын
Na mimi nitjenga nyumba nzuri zaidi ya hii siku moja
@mauwashadrack8624
@mauwashadrack8624 5 ай бұрын
Amen and Amen 🙏🙏
@ReshimaAbdalla
@ReshimaAbdalla 5 ай бұрын
Inshallah
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
In Shaa Allah
@user-un5bo6ks1q
@user-un5bo6ks1q 5 ай бұрын
Inshallaha ndugu yangu inawezekana kabisa ,usife moyo pambana na hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wewe daima
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 ай бұрын
InshaaAllah
@daisynyerere5730
@daisynyerere5730 4 ай бұрын
Millard Ayo unaweza unaweza unaweza tena, yo the best presenter in Tanzania and Abroad, I do like your work🎉
@OteshaTime_Services
@OteshaTime_Services 5 ай бұрын
Vijana tufanye kazi sana kuliko tulivyowahi kufanya maishani. Hatuna muda wa kupoteza kwenye jambo lolote ,wanawake wapo na wanaume wapo ( Starehe zipo ). Pia tumpe Mungu nafasi ya kwanza kabla ya jambo lolote. Hatujui huyu alipataje mali, tumemjua baada ya mafanikio yake. Tufanye kazi. Asante @Millard Ayo , kwa kuwa jicho letu kuona yanayojili duniani.
@ackshuba8679
@ackshuba8679 5 ай бұрын
Unataka kusema tuache kuomba namba za madem
@francisthomas3289
@francisthomas3289 5 ай бұрын
shida siyo kufanya shida ni kuimiliki pesa na namna ya kuisimamia
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 5 ай бұрын
​@@ackshuba8679😂😂😂😂😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 5 ай бұрын
​@@francisthomas3289tuna paswa kuwa na adabu na pesa ase maana bila hivyo haya tutayasikia Kama movie
@user-uc1fj9wg6n
@user-uc1fj9wg6n 5 ай бұрын
Hongera kaka ww unaishi🤝mvumilivu hula mbivu 👏👏👏
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Mulokozi anaonekan si tajir wa Mali tuu hata Moyo mzuri anao the way alivyo humble Mungu ampe zaid na zaid
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
NI KWELI
@edinaleonidace5523
@edinaleonidace5523 4 ай бұрын
Kumbe umeliona?
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 4 ай бұрын
Hakika
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 4 ай бұрын
​@@millardayoTZAkaka vipi
@user-vu9ee7yg1j
@user-vu9ee7yg1j 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu akujalie zaidi ya iyo bro✌️ appreciate 🤲🙏 frm 🇿🇦
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 4 ай бұрын
Tajiri Yesu akutunze Mr Mlokozi si rahis tajiri kujishusha jaman uzidi kufanikiwa very inspiring
@user-yx6yb4dj9b
@user-yx6yb4dj9b 5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka mulokozi ni mtu mwenye moyo safi na unatupa hamasa vijana
@user-lw7sy2gy9d
@user-lw7sy2gy9d 5 ай бұрын
Alie ona Millard anageuza maji ya afya,. ili yaonekane vizuri weka like apa
@saidseleman3269
@saidseleman3269 4 ай бұрын
Maji yenyewe hayanywi kudadeki
@giressentumwa6906
@giressentumwa6906 4 ай бұрын
Roho mbaya hiyo. Yaani hilo tu ndo umeona kati ya yote yaliyo onyeshwa???
@agnessinga8222
@agnessinga8222 5 ай бұрын
It's the David I know... Bravo bravo Bro! Glory to GOD.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 5 ай бұрын
Mulokozi Hongera sana sana. Ujenge kila Region Hiyo ni Hardwork and Taste of your choice. W nerd Many Brothers like you.God bless you more and more so you Also Give charity in Billions.
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 4 ай бұрын
Hongera kaka Milard Ayo, wewe ni mfano mzuri kwa vijana wote wanaopambana.Kazi nzuri.
@suzan4200
@suzan4200 5 ай бұрын
Jamaa yuko very humble aiseee Mungu ambariki...Nice job Millard❤
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 5 ай бұрын
Wallah hakia MUNGU MUNGU amuweke huyu baba kwakuona tu chumba cha mfanya kazi wa ndani inaonyesha anaupendo na watu wote bila kuchaguwa ❤️❤️❤️❤️❤️
@muslimahbossnetworktz
@muslimahbossnetworktz 5 ай бұрын
Nawaza hivi na housegirl wa nyumba hio atakuwa msumbufu pia?😢
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 5 ай бұрын
Mungu amueke atakuwa na maadui Sasa
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 5 ай бұрын
​@@muslimahbossnetworktz😂😂😂😂😂
@user-ok9yn2ze9g
@user-ok9yn2ze9g 5 ай бұрын
​@@muslimahbossnetworktzsio rahisi hao huwa wanalipwa pesa ndefu mpaka kuacha kazi unaona hasara
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 5 ай бұрын
...​@@muslimahbossnetworktz...Huwezi kujua , anaweza kufikiria kumpindua mama mwenye nyumba..!..🤣🤣🤣
@user-kp5xd7wx5r
@user-kp5xd7wx5r 5 ай бұрын
Aiseeeeeeeh aiseeeeeh congratulation my brother milad unajua sanaaa uyo brother aiseee Kama nyumb za wasaniii Kama kris brown Yan mbelee tu kumb ata bongo wapo aiseeee izo furniture Ni balaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤😮😮😮😮
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
Hongera Sana billionaire Mwenangu Mabilinea Wenzangu tukutane hapa 😂😂😂
@jovinathasavoie8018
@jovinathasavoie8018 5 ай бұрын
Hongera sana kaka mulokozi hujatuangusha kabisa,you have inspired many of us.
@muhii63
@muhii63 5 ай бұрын
Much respect kwako milard pamoja na cameraman wako mungu akuzidishie kipaji na akupe uvumilivu katika kazi zako
@ZuwenaSinde-hj9qg
@ZuwenaSinde-hj9qg 5 ай бұрын
Sure,Wow is very amazing congratulations God bless you more
@olivernyange2349
@olivernyange2349 4 ай бұрын
Milard your humbleness will take you higher and higher may God humble you more
@dn.n4983
@dn.n4983 5 ай бұрын
So nice hongera sana sana ujenzi si rahisi ubarikiwe wote
@user-kw6zo8tt5g
@user-kw6zo8tt5g 5 ай бұрын
Kazi nzuri broo ayooo tusake pesa na pongez kwako broo mlokozi Mungu akuzidishie mara mia zaidi
@furahamtweve4222
@furahamtweve4222 5 ай бұрын
Imenispire sana thanks kaka Millard unatupa sana moyo vijana wenzako be blessed
@haleemaoman8389
@haleemaoman8389 5 ай бұрын
Much respect Millard Ayo 🙏God bless you from UAE 🇰🇼
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 5 ай бұрын
Hongera sana Millard kwa interview yenye tija kwetu sote. Sasa nisaidie nipate namba ya kaka mulokozi anisaidie jambo fulani ktk ushauri. Kaka Millard kwa kweli hakuna anaeweza kuifikia kazi yako you are the number One. More congratulations to you and my brother mulokozi
@fredohhkrop
@fredohhkrop 5 ай бұрын
From kenya. This is so amazing. Great Content Millard🙏
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 5 ай бұрын
bless u karibu Tanzania
@millardayoTZA
@millardayoTZA 4 ай бұрын
PAMOJA SANA FRED
@fababindawood8363
@fababindawood8363 4 ай бұрын
Mpeni salam Yule chawa Mwinjaku anaetupigia kelele kajenga nyumba ya 1.3bilion mwambiye Kuna mwamba huku hatar Masha Allah
@user-cn7fh8if3o
@user-cn7fh8if3o 4 ай бұрын
Mungu awabariki watu wote wanaojituma kwa bidii na kumtegemea yeye,,hongera sana kaka mulokozi kwa kazi nzuri
@abraham92268
@abraham92268 5 ай бұрын
Uyu bro looks humble and I liked the way alivyokuwa anajibu..more grace bro . Siyo kama mwijaku, gorofa moja kelele nyingi,,wapo watu wenye pesa kama mulokozi, very simple , and inspiring.
@magrethmwanga15
@magrethmwanga15 4 ай бұрын
He is so blessed, baraka zimepata mtumiaji.. Mungu unikumbuke na Mimi🙏
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 5 ай бұрын
Brother Mulokozi, safi sana, nyumba nzuri yenye thamani kubwa, furniture zenye thamani ya hatari, vito vyenye thamani ya hatari, security ya hali ya juu, kikubwa zaidi ni kwamba you are very cool huna kelele na mtu. May God bless you, brother.
@sadikijani4307
@sadikijani4307 4 ай бұрын
Congratulations to Mr David aka Mulokozi.Ninamfahamu 2015 hivi alikuwa na hustle za kawaida sana Arusha.Ni mkristo pia na mpole kama alivyo! Akiona comment hii lazima atavuta hisia akiwa Arusha hicho kipindi cha kujitafuta.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 5 ай бұрын
Bismillah...Masha'allah ...mngu nijaalie. Na. Mimi siku Moja nipate kile ulichokikusudia Kwangu..❤❤.... tupambane. Vijana..uyu Kaka MNGU ampe afya njema na ulinzi wake. ☑️📌
@aishamsandawe3029
@aishamsandawe3029 5 ай бұрын
Vitu vya haramu ndiyo zenye pesa
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 5 ай бұрын
​@@aishamsandawe3029 we ndo umesema
@aishamsandawe3029
@aishamsandawe3029 5 ай бұрын
Ndiyo huoni ni biashara ya pombe halafu unasema bismilah
@giressentumwa6906
@giressentumwa6906 4 ай бұрын
​@@aishamsandawe3029umesema hivo sababu unajuwa hauwe yamiliki😂😂😂😂😂
@isakapanduka-kp9tb
@isakapanduka-kp9tb 4 ай бұрын
Absolutely amazing
@user-ht7qh7zk8q
@user-ht7qh7zk8q 5 ай бұрын
Inspiration.💯
@sharifasaidy6399
@sharifasaidy6399 5 ай бұрын
Jmn kuna watu wanaishi nyie hongera mulokozi mungu akubarikii😢😢
@Captain_film
@Captain_film 5 ай бұрын
Kazi nzurii kaka millard una andaa kipindi vizurii..muonekano msafii
@user-uw4pu9nm1u
@user-uw4pu9nm1u 4 ай бұрын
Millard ayo umetisha sanaa mtu wangu wa nguvu☑️☑️
@jamesmsugwa7578
@jamesmsugwa7578 4 ай бұрын
Maisha haya bhana Congratulations Mulokozi kwa inspiration sis Wasakatonge Millard ayo mau ni mengi acha ss tuombe uzima
@maribaisack2097
@maribaisack2097 5 ай бұрын
Bro millard nafuatilia sana makala zako...NICE sana kaka....hongera snaa ....hii documentary ni ya ubora na viwango vya juu sana ....safi
@joshuakwimba4225
@joshuakwimba4225 5 ай бұрын
So inspiring😮
@vero57
@vero57 5 ай бұрын
Amazing, mulokozi kazi nzuri sana hiii kiboko!!!!!
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 5 ай бұрын
To me, it looks like luxury resorts & future luxury air BnB, the owner he's a real visionary man. Congratulations & salut for this incredible investment. Thanks, Millard, for this amazing interview. God bless.
@user-tt3lx7ly2m
@user-tt3lx7ly2m 5 ай бұрын
Ma Shaa Allah
@Juke995
@Juke995 5 ай бұрын
He already mention that
@MALDINIMALYYA-nd6lt
@MALDINIMALYYA-nd6lt 4 ай бұрын
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
Airbnb babati huko porini😂
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 4 ай бұрын
@@ahz6907 huko ndo sehemu za kupumzika haswa.
@dottomarikatv780
@dottomarikatv780 3 ай бұрын
Hii nyumba nzuri mwambie anipatie kazi kwenye kiwanda chake
@zeehomedecor-DIY
@zeehomedecor-DIY 4 ай бұрын
Nyieee shkamoo mulokozi. I'm more than inspired
@videralfred8889
@videralfred8889 3 ай бұрын
Safi sana kila mtu kapewa na mwenyezi mungu kwa kiasi Apendacho hongera kwa kuwekeza nyumbani TZ
@jacksonpriva7664
@jacksonpriva7664 5 ай бұрын
MUNGU ambariki mulokozi, nimejifunza kitu ngoja tupambane inawezekana Amen
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Umejifunza nn
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 5 ай бұрын
Mungu akuwekee ufurahie maisha ya dunia ..mana amekubalik
@annakbunga8377
@annakbunga8377 5 ай бұрын
Mungu akikupa nafasi inatakiwa uitumie kweli kweli umeweza kaka yng uongo dhambi safi sn Tajili
@johnjisandu5130
@johnjisandu5130 4 ай бұрын
This is amazing creativity kwako billionea,,God bless you to infinite really you inspire all hustlers
@kabaranamaganga6646
@kabaranamaganga6646 5 ай бұрын
Eeeh! Mwenyezi Mungu nikumbuke nami unapowapa wengine ufari mkuu namna hii
@SamweliMwita-ul2kh
@SamweliMwita-ul2kh 5 ай бұрын
Achana na ya duniani
@domitilalekundayo6934
@domitilalekundayo6934 5 ай бұрын
Hongera sana kaka, I like the way simple you are. You are not even proud. Be blessed kaka.
@presidentofafrica.5038
@presidentofafrica.5038 4 ай бұрын
AYO-is the best brand, so smart.. kazi zako zimetulia na unahoji watu wanaojitambua ndiyo maana kila kukicha unazidi kuwa juu.
@jobleynewtonanyimike9161
@jobleynewtonanyimike9161 4 ай бұрын
Mr Mlokozi ! Hongera naendelea kutafakari ukuu wa Mungu kupitia kwako kwa uweza wa Mungu naamini najivika imani hio Mungu attendance kwa wkt songe mbele br
@CNM-hw1ns
@CNM-hw1ns 5 ай бұрын
❤ huyu jamaa anaishi kama maraika.vijana tutafute pesa
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk 4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka Millard Uendelee kutupa habari za kweli na uhakika 🙏
@Richbrown-xh4rb
@Richbrown-xh4rb 4 ай бұрын
Mhhh Amazing tajiri mmoja tuu mlokozi
@mamt7489
@mamt7489 4 ай бұрын
Hili ni kasri sio nyumba Mungu amzidishie hii ni motisha itasafanya vijana wafanye kazi kwa bidii angalau kuwa sehemu nzuri ya kulala baada ya kazi
@abiudwamalwa8180
@abiudwamalwa8180 5 ай бұрын
Watching live from kenya Nrb kweli pesa sabuni ya roho
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day 5 ай бұрын
U the best Mallard huna mpinzani kwa kazi hizi🎉
@marthampalanzi887
@marthampalanzi887 4 ай бұрын
I'm so inspired aloooo may God give u more
@songweairport7602
@songweairport7602 5 ай бұрын
KAZI NZURI MILARD.. TUNAOMBA SIKU MOJA UFANYE MAHOJIANO NA CAMERA MAN WAKO... JAMAA ANACHUA VIDEO KWA VIWANGO VYA JUU SANAAAAAA
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 ай бұрын
ASANTE SANA SONGWE !!
@rajabupetermoses7338
@rajabupetermoses7338 5 ай бұрын
Hii nimeipenda sana
@tafutampenzi1653
@tafutampenzi1653 5 ай бұрын
🔥🔥🔥
@chepkirui-vn1bu
@chepkirui-vn1bu 5 ай бұрын
​@@millardayoTZAHi Millard ayo
@chepkirui-vn1bu
@chepkirui-vn1bu 5 ай бұрын
​@@millardayoTZAKAZI nzuri🇰🇪
@hadijasaid4219
@hadijasaid4219 5 ай бұрын
Daaah haya maisha broo anaishi vizuri sana sio kama wale papaa misifa hongera kwake
@mabrainTZA
@mabrainTZA 5 ай бұрын
Hakika milard unahitajika tunzo zaidi na zaidi dah mungu akulinde sana I love that ...💪💪
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM 5 ай бұрын
Mungu akubariki. Kuna somo la kujifunza.
@bintabou828
@bintabou828 5 ай бұрын
Kuna watu wanaishi Jaman Mashaallah Mashaallah hongera kaka umetisha
@annievibes8794
@annievibes8794 5 ай бұрын
Wallah tena na kuna sisi tunasindikiza tuu😢
@uchebetz7284
@uchebetz7284 5 ай бұрын
😢😢😢😢
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Kuna sisi tumekuja kutembea😂😂😂😂
@salmabamba2751
@salmabamba2751 4 ай бұрын
Yaan hatare tz kama mbele
@nevaloya9460
@nevaloya9460 3 ай бұрын
kuna sis tunaojificha😅
@ZAMB334
@ZAMB334 5 ай бұрын
Huu mwaka hee🤝🤝🤝🤝💐💐💐🥀🥀🥀🥀chukua maua yako tajiri
@castoriarogatus3675
@castoriarogatus3675 4 ай бұрын
duuh kinanda kizur sana tungekipata hiki kanisan kwetu ingekuwa amaizing mno❣️
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 ай бұрын
MashAllah brother you've inspired many of us mwenyezi MUNGU akufungulie zaidi brother 👏👏👏👏👏👏
@StephanoDaniel-es5tv
@StephanoDaniel-es5tv 5 ай бұрын
Mungu ni mwema maishanisafali ndefu
@talents7934
@talents7934 5 ай бұрын
Ukiacha "TBC UKWELI NA UHAKIKA" sasa Tuna "MILLARD AYO UKWELI MTUPU"mimi Binafsi nikisikia kuna habari inayotrend mitandaoni kama nisipoiona Kwa MILLARD AYO Wala ata sihangaiki tena kupoteza Bando Langu MUCH RESPECT BRO MILLARD MIMI NI MMOJA WA VIJANA NINAEKUPENDA SANA 🙏🙏
@mtuithomson9515
@mtuithomson9515 3 ай бұрын
Nimeipenda sana..so amazing.....
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 5 ай бұрын
Jmn nimependa sanaaaa kuna watu wanaish mwijaku atulie sasa hii ndio nyumb sasa alf amn makelele meng amn sifa nying neno la mwish tufanye kaz kwa bidii 🎉
@mamachris6811
@mamachris6811 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@victamacha5526
@victamacha5526 5 ай бұрын
Tajiri mungu akuzidhishiye tunataman kuwa kama wew
@bibielroybibielroy8710
@bibielroybibielroy8710 5 ай бұрын
Unatisha Mungu akuweke ufurahie maisha siamini ni Bbt congratulation
@user-lg5sc4tj5w
@user-lg5sc4tj5w 4 ай бұрын
Broo mulokozi hongera sana unatufanya tuzidi kupambana zaidi
@upendosalimu2050
@upendosalimu2050 5 ай бұрын
Power of money pazia linafunguka kwa umeme aloo tusake ela
@joysempiluka9846
@joysempiluka9846 5 ай бұрын
Ahsante Mulokozi una jina zuri wazazi walikupa una hela nahekima na ufahamu pia unajua unalofanya Mungu aendelee kukutetea tunataman kuchta hekima yako
@sandrabernard751
@sandrabernard751 4 ай бұрын
Speechless.. be blessed
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 4 ай бұрын
Mimi sisemi kitu Basiii 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Nashukuru MUNGU Brother David Mulokozi Uliwahi kuniambia ya miyoni kabisa kuhusu kipaji changu na ukanitia Moyo sanaaa MENGINEYO NAPAMBANA HUKU NIKISUBIRIA WAKATI WA MUNGU....... UBARIKIWE SANA MY FRIEND 💪🎸🎤🎹🎺
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 5 ай бұрын
Kyoma hongela sanaaa
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 4 ай бұрын
A big congratulations to you brother
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 5 ай бұрын
Nakukubali mtu wa nguvu Millard Ayo....wewe ni international❤
@ZuwenaSinde-hj9qg
@ZuwenaSinde-hj9qg 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki akuepushe na mahasidi uzidi kufanikiwa zaidi tena na tena akupe na miaka mingi ya kuishi uishi maisha na akujariye uishi maisha ya furaha zaidi
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
Jumba zuri kweli. Exposure pia inasaidia
@user-rj1ft5qi3e
@user-rj1ft5qi3e 5 ай бұрын
Nmempendaa bure Kaka mkbw 👌👌👌 ila mungu akupe maisha malefu ufaidi matunda yakooo
@marwamt.5245
@marwamt.5245 5 ай бұрын
Hongera sana mr mulokozi
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 35 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 51 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 102 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
Mkasi - SO6E03 With Millard Ayo
27:23
MkasiTV
Рет қаралды 480 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 64 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 35 МЛН