Wasisahau na MIUNDOMBINU,siyo uwanja wa mabilion alafu njia ya kuenda ya TOPE.
@mosesnyelo1380Ай бұрын
Huko kunajengwa mji moja matata unaitwa samia afcon city kwahyo patakuwa na kila kitu
@careemdulla162921 күн бұрын
Hongera sana Serikali yetu sikivu kazi nzuri sana❤❤❤❤❤
@bonifasimichael132014 күн бұрын
Safi sana greyso msigwa usije kubadilika fuata nyayo za Ayati nagufuli. Kataa rushwa
@barakajonas3209Ай бұрын
Safi sana Arusha mbele kwa mbele 🎉🎉🎉🎉🎉
@EmanuelMuna-w2q7 күн бұрын
Mheshimiwa Waziri Msigwa, Lesson Learned; Uwanja mpya wa Dodoma, tafadhali sana usijengwe na running track (atheletic tartan). Ujengwe kuchukua watu 30000, lakini bila athletic track. Mjirekebishe haraka sana. Tuna viwanja vitatu Tanzania vyenye viwango vya olympic (world class). Hatuhitaji kiwanja chenye atheltic track tena. Tunahitaji kiwanja cha soka peke yake. Wajengeeni viwanja vidogo vya nje vya wanariadha, na amuhutaji hata ukuta. Mnahitaji sengénge tu, kama zile SGR elephant faence.. Kama wanariadha watataka mashindano makubwa, bali watuie viwanja vya Benjamin Mkapa, Amaan Stadium na Arusha Stadium tu. Huo ni upotevu wa fedha tu, na siku moja mtajuta kufanya maamuzi mabaya na mtahitajiwa muwajibike kisheria.
@johanesjofrey21052 күн бұрын
Serikali mkimaliza hapo,hakikisha mnakarabati viwanja vingine vyote nchini,Nyasi bandia na majukwaa na mifumo ya taa n..k
@SethJohn-x9fАй бұрын
Maendeleo mazuri sana
@EGM-TZАй бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians mmesema B ngapi vile??😂😂😂 Congratulations Guys kumbe tz tuna pesa guys🎉🎉🎉
@williamhenry2275Ай бұрын
But the design really shocked me, why would you construct a just small 30k capacity stadium in a country where you have a population of over 62M? who is this era can think of a small stadium like that?That's a lazy thinking.
@osiahstimahАй бұрын
Da mbeya mjenge uwanja na dodoma
@MichaelMalimi-y1wАй бұрын
Uko sawa ingekuwa
@ApolonalizachariaChama24 күн бұрын
Mwanza mumetusahau au huku sio tanzania tukumbukeni namwanza
@samwelbalichoka4533Ай бұрын
Mheshimiwa mwambiye mkuu wa inch atuwekee na mwanza huu wa ccm kirumba nyiye wenyewe munauona namuna ulivyo
@saidsalum6101Ай бұрын
Mtukumbuke namwanza sasa mbona mwanza mmetusahau nyinyi
@amanrashid7061Ай бұрын
Nilisikia pia dodoma kutajengwa uwanja mkubwa au ndo huo wa Arusha
@shikuhataАй бұрын
Upo pia
@yohanakananika3586Ай бұрын
Dodoma upo na walitangulia kujenga kuliko Arusha
@davidbenjamin-m3wАй бұрын
@@yohanakananika3586wamefikia wapi au ndio bye bye😂
@yohanakananika3586Ай бұрын
@@davidbenjamin-m3w Ndo wanaendelea kujenga ,ndo itakayotumika Afcon 2027 au hauna habari kuwa Tanzania ni wenyeji wa michuano ya Afcon 2027 ? Hyo lazima ikamilike
@worldtechlabАй бұрын
Tunataka 45,000 capacity and above siyo huo uchafu
@theodoltheophil7858Ай бұрын
Viwanja vidogo
@gastonpeter4265Ай бұрын
Uwanja unajengwa Miaka miwili😅
@AllyNzisabiraАй бұрын
Tulia wewe Kwani matumizi yake lini? Unafikiri ni kujenga tu hovyo hovyo?
@mosesnyelo1380Ай бұрын
Hebu tuambie mtaalamu uwanja unajengwa miaka mingapi kumbe
@AllyNzisabiraАй бұрын
@@mosesnyelo1380 achana Na huyo chizi anafikiri kazi kubwa za maendeleo makubwa za level hii zinafanywa ndani ya mwezi
@selemansaid9295Ай бұрын
Mwamba alitaka uwanja ujengwe siku Tano@@AllyNzisabira
@MamodelParkАй бұрын
Ulitaka wamalize kesho
@jeremiaaugustino7187Ай бұрын
alaf utakuta hakuna parking
@mudriqjardeny708Ай бұрын
Mbona uwanja upo mbali sana na civilization?
@stevenlugojeremia2323Ай бұрын
Sasa mji utakuwa vipi wakiweka kati kati ya mji
@mudriqjardeny708Ай бұрын
@ It’s possible! Zipo stadium ambazo zipo ndani ya Mji
@LeoniaLyimoАй бұрын
Uliopo mjini Arusha watu wakikaa magorofani kwao wanaona mechi Bure. Bor huko labda kutakuwa na maendeleo.🎉🎉🎉🎉🎉🎉@@mudriqjardeny708
@Macamp312Ай бұрын
Tupen update everyday
@Ndu-wa.uroony2Ай бұрын
MWANDISHI HOVYO KABISA,UNAJISKIAJE KUKOSEA JINA LA KATA HIYO KE?
@yusuphrashidi-dr1kbАй бұрын
Huu uwanja wa ccm au Tff???
@AdamStephen-h2xАй бұрын
Chadema
@Macamp312Ай бұрын
Taifaaa😂😂
@MaryFlorence-t3mАй бұрын
Huo ni WA kasongo yeye😂
@AllyNzisabiraАй бұрын
Umeambiwa Raisi kasema pesa anahakikisha inatoka kwa wakati ulesikia CCM ikitajwa hapa?
@RoseMichael-oz7cyАй бұрын
Tunamshukuru mh. rais kwa uwanja
@EmanuelMuna-w2q7 күн бұрын
Mheshimiwa Waziri Msigwa, Lesson Learned; Uwanja mpya wa Dodoma, tafadhali sana usijengwe na running track (atheletic tartan). Ujengwe kuchukua watu 30000, lakini bila athletic track. Mjirekebishe haraka sana. Tuna viwanja vitatu Tanzania vyenye viwango vya olympic (world class). Hatuhitaji kiwanja chenye atheltic track tena. Tunahitaji kiwanja cha soka peke yake. Wajengeeni viwanja vidogo vya nje vya wanariadha, na hamuhutaji hata ukuta. Mnahitaji sengénge tu, kama zile za SGR elephant faence. Kama wanariadha watataka mashindano makubwa, hivyo watumie viwanja vya Benjamin Mkapa, Amaan Stadium na Arusha Stadium tu. Huo ni upotevu wa fedha tu, na siku moja mtajuta kufanya maamuzi mabaya na mtahitajiwa muwajibike kisheria.