BABA MANARA AFUNGUKA “MWANANGU ALIDHALILISHWA SANA, ALILAZWA POLISI”

  Рет қаралды 57,703

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@joycemagessa350
@joycemagessa350 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Manara kajitoa sana .Ila wivu wa Mwamedi na barba chuki wakitaka kumshusha ila Mungu.Amemwinua na atazidi kumtetea
@nadhilizuber488
@nadhilizuber488 3 жыл бұрын
Asante joy
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Sanaaaaaa amepambana sanaaaa
@pendocoster4170
@pendocoster4170 3 жыл бұрын
Sasa na huyo moo ndio ataisoma alidhan ana mkomoa kumbe ame muongezea safari karib sana haji tazama sasahiv unafuraha sana god bless you broo🙏🙏🙏
@saidhamza6390
@saidhamza6390 3 жыл бұрын
Ka mzee majuto!
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 3 жыл бұрын
Kwel kaka
@jamilamuna4555
@jamilamuna4555 3 жыл бұрын
Nawe kumbe umeona
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
HataMimiNilijuwaHivyi😃😃😃
@luqmanmbwambwa7127
@luqmanmbwambwa7127 3 жыл бұрын
Saut zinafanaa duh
@generozakatima5849
@generozakatima5849 3 жыл бұрын
Kwakwel umeongea point safi sana hasa kwakuisemea nafasi ya gori kipa hahitaji kuizoea tim yeye kazi yake ni kudaka safi sana baba Haji
@dietrichoswald39
@dietrichoswald39 3 жыл бұрын
Mzee wa hekima Ni mfano wa baba mwema anayeheshimu utashi wa mtoto aliye kiswahili kuwa mtu mzima. Mwisho wa siku matarajio yake yametimia, kwa Mungu mwenyewe kumsaidia haji kutambua kuwa "mapenzi" bila "hekima" ni kifungo cha maumivu ambacho mwisho wake ni kufeli maisha. Pia mzee Sunday Manara ulitupa raja want yanga ukiwa kila na. Naomba Uongozi mpeni nafasi ktk msimu huu wa Return of Champions a endelea kutupa raha kwa michango yake ya hekima na mkakati ya ushindi kama nafasi kuwajenga wachezaji kisaikologia kwa ajili ya ushindi. Kwa maoni yangu itapendeza zaidi .
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 жыл бұрын
Ukiwa chumba Cha pili sauti utafikiri anaongea Haji!!
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Saana sauti copy
@witneyjerry1293
@witneyjerry1293 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@mwana4599
@mwana4599 3 жыл бұрын
Masikini Mzazi kwa mtoto Acha kabisa.
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 жыл бұрын
Yani uumefanana na mzee majoto Jamani
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 жыл бұрын
Hahahaaaa
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 3 жыл бұрын
Yani watu ni wawili wawili kwakweli anafanana na Mzee Majuto !!.
@binmakka8693
@binmakka8693 3 жыл бұрын
Mo hana hisani ila bora mbuzi utamla mchuzi bali mo amesahau wema wa Hajj alipaza sauti sanaa FREE MO mpaka akatiwa ndani ameijenga simba kwa kutumia mbwembwe zake za kuhamasisha ila kahama na watu wake wote YANGA1
@nadhilizuber488
@nadhilizuber488 3 жыл бұрын
Ulokoment unamwita mzee mnafiki we mwamedi uyo bilama babako acha upumbavu kua na adabu sikiliza kwanza uolewe ndo ukoment ata akienda nisawa timu zote nitanzania kwani kaenda tim ya bulundi mbona mimi nimetoka simba na nitaenda yanga moyo ndo umeamua so mie kua na adabu
@frankjohn1053
@frankjohn1053 3 жыл бұрын
Mimi ni Simba umeongea vizuli Mzee
@mussabulugu6319
@mussabulugu6319 3 жыл бұрын
Lakn mzeee cku moja alihojiwa na redio moja kasema hataki kabisa haji awe yanga leo vp sasa
@luqmaneme9105
@luqmaneme9105 3 жыл бұрын
Sikiliz vzur hii vdeo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Sikiliza kwa umakini mzee yuko sawa kabisa
@waziriwaziri8271
@waziriwaziri8271 4 ай бұрын
Mzee sema ukweli mwanao alipewa zawadi ya simu na babra kumbe imeunganishwa bila yeye kujuwa hiyo simu ndiyo imesema kilakitu hakuonewa mwanao nimsaliti
@azizasaid5255
@azizasaid5255 3 жыл бұрын
Mmefanana kasoro mwanao mzungu. Mama yake mzungu,
@naomibarnabas7863
@naomibarnabas7863 3 жыл бұрын
💛💚💛💚💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚
@azizshedrack5269
@azizshedrack5269 3 жыл бұрын
Wew mzee acha unafki hapo ulipo fikia swali urudi kwa mungu uongo Wa uzeeni ni noma maana baada yakutubu ndo unazidisha tumechoka kuwaona mitandaoni jamani
@Myplusbee
@Myplusbee 3 жыл бұрын
Unafiki wake ni upi?!
@seremanikimbwene1075
@seremanikimbwene1075 3 жыл бұрын
Kama hutaki kuwaona watu mtandaoni, C Ww Utoke mtandaoni?
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 3 жыл бұрын
Manara alitaka awe zaidi ya Mo iyo haiwezekani
@dietrichoswald39
@dietrichoswald39 3 жыл бұрын
aliyekwisha kuwa mtumzima...
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 3 жыл бұрын
Hahahahahahaaaa huyu mzee Bendera Fuata upepoooo, tafuteni humu alishakataa na kusema haji asikanyage yanga. Akija nitaondoka yanga, Abaki huko huko Simba, hahahahaaaaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@adamchambo12
@adamchambo12 3 жыл бұрын
Huyu Mzee Kwa kauli yake alisema anafurahia Sana migogoro ambao mwanawe aliuanzisha Simba,ukiangalia Kwa jicho la mbali utaona na kugundua hila za kuihujumu Simba ni mpango mikakati uliopangwa ili kuvuruga uongozi wa Simba na mafanikio yaliopatikana,adui siku zote hatoki mbali alitumiwa Haji ambae alikua ndani ya club.nawapongeza viongizi Kwa utulivu pia wanachama na mashabi,Simba Nguvu moja
@pathanemmanuel7775
@pathanemmanuel7775 3 жыл бұрын
akili yako haina uelewa!!
@abdallahkhamis2199
@abdallahkhamis2199 3 жыл бұрын
Nakumbuka kusikia sauti yako umefurahi kusikia upande wa pili unavurugana sasa mpira umegaukia kwenu kati yenu Antonio nigaz type kauli yako na nyinyi kuko shuwari kwanu
@petertemu7136
@petertemu7136 3 жыл бұрын
KWA hio ulitaka Huyo mwanao awe mkubwa kuliko Simba?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 жыл бұрын
Tumeshuhudia shoo Mbovu kabisa maishani mwangu ya coffi olemide
@onolathajoseph8836
@onolathajoseph8836 3 жыл бұрын
😁😁 wivu na mtaongea kila k2 ungemchukua basi baba ako tuone shoo yenu🤔🤔
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 жыл бұрын
Hivyohivyo
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 жыл бұрын
Wataongea Sana tu!
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 3 жыл бұрын
Farouk na shikalo mwandishi unafeli wapi?
@khamisinyandikila7199
@khamisinyandikila7199 3 жыл бұрын
Mbona uyu mzee amefanana na zito kabwe
@bushebushemajaliwa6696
@bushebushemajaliwa6696 3 жыл бұрын
Wote wa kigoma
@mohamedmariano3558
@mohamedmariano3558 3 жыл бұрын
Kumbe unafki upo kwenye family mzima ya Haji. Huyu mzee alisemaga hataki Haji aje yanga abaki huko uko leo anageuza maneno amakweli nyoka azai kenge
@joliteboy545
@joliteboy545 3 жыл бұрын
Kherewa kitu Mzee anaongea akupenda kumpangia mwanahe 💛💚🙏👍
@Myplusbee
@Myplusbee 3 жыл бұрын
Acha ujinga wewe! Umemsikiliza vizuri?! Hadi kwenye hii intavyuu amerudia kwamba hakupenda aje Yanga; sasa unadhani kama Hajji alishaamua, na uongozi wa Yanga umeamua; ulitarajia amzuie wakati Hajj ni mtu mzima?!
@geofreyanania1108
@geofreyanania1108 3 жыл бұрын
Faruku na shikalo
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Kwani mpaka hao yanga kumpenda na kumchukua ni kwa kua alitaarishwa vyema na simba na hakufukuzwa ila alifanya visivo ndio mana akatoka ila haya tuombe uhai na uzm kwa tabia za haji na yanga hatokaaa
@Myplusbee
@Myplusbee 3 жыл бұрын
Alitayarishwa vema na Simba kama alivyowahi kutayarishwa nani?! Usisahau Hajji alishawahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM; kwahiyo ni mzoefu wa kupiga mdomo kabla hajaenda Simba!
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
@@Myplusbee oh ahsante kwa ukumbusho sawa mi namtakia kazi njrma ila atuachie mo wetu
@Myplusbee
@Myplusbee 3 жыл бұрын
​ @yahya hamad Haji ni kinyago mlichokichonga wewe, na ule msemo wa kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha, leo naona inakuwa kinyume chake! Wakati anadhalilisha wengine enzi yupo Simba mlikuwa mnamshangilia tu! Hao GSM walisalimika na udhalilishaji wa Haji kwa sababu tu alikuwa chawa wao, vinginevyo hata wao ingekuwa yamewakuta anavyomfanyia Mo hivi sasa!!
@richardmakene7780
@richardmakene7780 3 жыл бұрын
Ongerea timu yenu kwa sasa achaneni na kuigusagusa smba sasa amedhalilisha na nan xx aende zke na mmepigwa na mwanao Leo
@joh7282
@joh7282 3 жыл бұрын
Fala uyu mzee alilazwa police na nan
@pendojoseph6528
@pendojoseph6528 3 жыл бұрын
Wa kwanza mzee wako heshim mzazi wa mwenzio pimbi wee
@mwantumujuma8960
@mwantumujuma8960 3 жыл бұрын
Ilah jiulize alilazwa kwa ajir ya nani
@mwantumujuma8960
@mwantumujuma8960 3 жыл бұрын
Acha kutuc wazaz wewe mzaz hatukanwi
@bakariamour6024
@bakariamour6024 3 жыл бұрын
Skiliza vizuri halafu ndio utukane, kenge wewe uyu Mzee ni sawa na baba ako boya mkubwa wewe
@danieljs4285
@danieljs4285 3 жыл бұрын
Daah acha matux kwa wat wazma
@justinmgohele6798
@justinmgohele6798 3 жыл бұрын
Mwanao gan mbona wee nimweus
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 3 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe tukisema mama yako siyo mama yako kwa sababu yeye mwanamke na wewe mwanaume nadhani ndo utaelewa somo. Mambo mengine ukihoji unadhihirisha tu hujaenda shule. 😂😂😂😂😂😂😂😂 TZ sihami
@asichou9251
@asichou9251 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@gazatv12
@gazatv12 3 жыл бұрын
Soma utajua sababu za kuwa albino
@frankvianey3890
@frankvianey3890 3 жыл бұрын
Ama kweli ujinga ni mzigo,rudi shulen ukautoe
@kibalabibisha6778
@kibalabibisha6778 3 жыл бұрын
@@manyakuulaompondelo4419 😭🇰🇪
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 10 МЛН
MADAM RITHA ATAKA KULIA AKIZINDUA MSIMU MPYA WA BSS
10:24
Millard Ayo
Рет қаралды 2,8 М.
ANASA KWA MASAA SABA AKIFUATA SIMU YAKE KWENYE KORONGO
3:29
Millard Ayo
Рет қаралды 22 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН