LUSINDE AMSHUKIA VIKALI ZITTO "MAGUFULI ANASEMWA VIBAYA, WENGINE HUMU NI WANAFIKI WAKUBWA"

  Рет қаралды 27,810

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 127
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
Lusinde umenifurahisha sana ....ubarikiwe mnoo
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 2 жыл бұрын
Asante sana Lusinde umejua kutuheshimisha zitto ni mnafiki sana anatafuta kiki kupitia magufuli
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
Wewe lusinde unaakili sana safi sana!
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 2 жыл бұрын
Uyu mbunge ni kichwa sana👏🏽👏🏽👏🏽,hongera sana Lusinde.
@nicolausmavoa7909
@nicolausmavoa7909 2 жыл бұрын
Safiii sana lusinde mungu akubariki sana huyo zito hajui kwamba hata yeye ni marehem mtarajiwa
@vicentlusana3235
@vicentlusana3235 2 жыл бұрын
Hongera sana mhe Lusinde mhe hayati John pombe Joseph magufuli amekuwa Rais wa peke kabisa katika Taifa hili tulimpenda sana kwauongozi wake nahata sasa tunampenda sana hayati wetu zito aache upuuzi huo Tena aache kabisa kujeruhi roho zetu
@KilimochaPapaiTz
@KilimochaPapaiTz 2 жыл бұрын
Lusinde kawachapa wengi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jumamlisho443
@jumamlisho443 2 жыл бұрын
Lusinde umeupiga mwingi sana kuanzi Leo nitakufalia sana mana umenionyesha maana ya kuwa kiongozi mkweli na wala sio mnafki
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
LUSINDE 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍👍👍👍👍👍
@lameckfaida7805
@lameckfaida7805 2 жыл бұрын
Mr lusinde ndio kabaki mwanaume pekee bunge zima aowengine wamekuwa kama uyo mamayao Bongo movie
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 жыл бұрын
Wabunge wenye elimu ya msingi wameonyesha uwezo mkubwa ktk. Kujenga hoja na Kufuatilia mambo ya kijamii kuliko wale wanaojiita wasomi. Hawa wanadhihirisha kuwa kusoma sio kuelimika na kwamba haihitajiki kusoma ili uelimike Bali unaweza kuelimika bila kusoma.
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Lusinde msukuma wanajiamini kwa kuwa walitumia uzoefu was kuishi na jamii wakakubalika na siyo digrii
@dottontumba7351
@dottontumba7351 2 жыл бұрын
Zitto ni mpuuzi sana, yeye anakerwa nini na watu kumpenda JPM. Kama anamchukia ni yeye, mnafiki mkubwa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 жыл бұрын
Mungu akujalie sanaaa zito kichaaa mungu amuweke mahala pema peponi magufuri nawanao msema vibaya waraniwe
@bakarishabani5538
@bakarishabani5538 2 жыл бұрын
safi sana lusinde.umeongea uhalisia ubunge ni kuwasemea wanaotaabika si kusifia kila kitu.
@raymond4075
@raymond4075 2 жыл бұрын
Huyu jamaa asee big up sana, 👏👏👏
@hamisimhina3824
@hamisimhina3824 2 жыл бұрын
Zito msenge Sana
@barakawisdom9326
@barakawisdom9326 2 жыл бұрын
Wew ndo mwanaume achana na wanaopiga makofi tu kweli huyo mbwa zitto alitukosea sana
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Na lusinde hajawahi kubebwa na Wala hajawahi kutegemea kuwaza uwaziri kwachana hatari
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Lusinde wewe ni mbunge kweli kweli. Wewe ni sauti ya watu. Wabunge wengi wanapokea fedha za Watanzania bure.
@zalfahashimu9393
@zalfahashimu9393 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri SASA Kaka tusaidie wengine tunamiaka sita mtaani Akira hatuna
@veelmng7746
@veelmng7746 2 жыл бұрын
Zitto kichaa wa muda mrefu. anaona wivu JPM kupendwa na watu wengi maana siasa zake za chumia tumbo zilibomolewa na JPM sasa anamchukia mtu aliyekufa . JPM atabaki kuwa kiongozi shujaa na Jasili mwenye kuwahi kupata mafanikio makubwa ya kiutawala na kiuchumi katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla.
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Kweli kabisa watasubili sana
@chumizola1847
@chumizola1847 2 жыл бұрын
@@saidipara4134 Zitto hajui kuwa akiendelea kumsema vibaya JPM ataendelea kujiharibia kabisa, wote tunakumbuka matango aliyoyatoa wakati wa mapambano ya Covid 19
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
@@chumizola1847 unajua hawa wanasiasa wanafikili wtz sasahivi niwalewa wasiojielewa.ndio maana anafikili akionge ujinga wake watu watamuelewa
@frankmganda2424
@frankmganda2424 2 жыл бұрын
Broo nakupenda sana
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Huyo zito katumwa na ..... Ili waendelee kumchafua ukitaka kuamini fikilia kwani muhemiwa ......... Hajasikia zito kauli yake .na hakutoa taarifa yoyoyte.kajifanya kama hajui kinacho endelea.jamii indelee kuona kama magufuri hakufanya kitu ktk nnchi hii.ila tunajua ktk mioyoni yao unafahamu kuwa hakuna aneweza kushindana na marehemu.
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
Katumwa na Mama
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Zitto Kabwe aombe ridhiki kwa watanzania na familia ya hayati JPM katika television ya Taifa TBC asubuhi mchana na usiku kwa muda wa siku 2 sio vizuri kumsema vibaya hayati apumzike mahali pema RIP
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Zitto ametukosea Sana Hayati Magufuli kaacha alama kubwa Sana kwny nchi hii
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 2 жыл бұрын
Zitto amekosea sana hana hekima kajivunjia heshima yeye na wanaoamini siasa yake, zitto c yule wa kipindi cha doctor slaa saiz amekuwaje sijui anazidi kujipoteza kwaujuaji mwingi
@sonko-13
@sonko-13 2 жыл бұрын
Yaani Lusinde nakupenda basi tuu
@mburawambulanga3500
@mburawambulanga3500 2 жыл бұрын
Very painful kwa wanafamilia na watanzania
@ernestkilawe1229
@ernestkilawe1229 2 жыл бұрын
Lusinde asante sana.kumuongelea magufuli .laiti angekuwepo baba.wacha wachonge tuu.ipo siku
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
ZITO HANA DINI. ZITTO SIASA ZINAMUSAIDIA KWA KULHAGAI WATU WAMPE FEDHA. LUSINDE ASANTE SAUTI YAKO INAWAWAKILISHA WENGI. BUNGE KWA SASA LIMEKUWA HALINA MAANA NI WIZI MTUPU.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Zitto ni mshenzi tena mbwa koko asiyekuwa na adabu na chama chake wala hawakitaki zanzibar chawa huyo na anaemfanyia uchawa wala watanzania hawampendi njooni mitaani msikilize ndiyo mtajua mbivu na mbichi 2025
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 2 жыл бұрын
Safi
@saitawilson7307
@saitawilson7307 2 жыл бұрын
Asante mhe.lusinde... hakika wewe Ni mzarendo wa kweelii! .. haujawahi kutuangusha...
@saitawilson7307
@saitawilson7307 2 жыл бұрын
Inaumiza Sana kumsema marehemu 😭😭😭😭😭😭 ...zito kwenye hili uombe msamahaa!...
@saitawilson7307
@saitawilson7307 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭.. R.I.P JPM 😭😭😭😭...zito tuombe radhi watanzania 😭😭😭😭 ..iombe radhi familia ya magufuri....
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 2 жыл бұрын
3:04 umeongea kama mzalendo wa kweli. Kuna watu wanaitwa chawa & wapambe ni watu hatari Sana wanajua kucheza na gap Wanaamgalia weaknesses yako wakigundua wewe ni wakusifiwa sifiwa watakusifu weee ili wapate wanachokihitaji, Wakigundua wewe ni wakunyenyekewa watakunyenyekea weee ili wapate wanachokihitaji na siku ufalme wako ukiisha watakung'ong'a pia kama walivyo mng'ong'a mtangulizi wako
@aminachomola7156
@aminachomola7156 2 жыл бұрын
Mungu kama uliweza kukausha Bahar na ukawavusha wanaisael.... Tunaomba angalia hii nchi
@shadymbuki87
@shadymbuki87 2 жыл бұрын
R.I.P JPM wetu...
@jumannerajabu1356
@jumannerajabu1356 2 жыл бұрын
ubinadam kazi Sana rakin ata jpm alisema unaweza kumbeba mtu ukamvusha kwenye mto nabado akakuambia mgongo wako unajasho magufuli kafanya kazi kubwa lakin leo kafa anaoneka vote alivofanya havionekani
@rachelndaki5642
@rachelndaki5642 2 жыл бұрын
Tukipata wabunge 20 kama lusnde makof kwako 👏👏
@saitawilson7307
@saitawilson7307 2 жыл бұрын
Hatuwezi kukubali magufuri kusemwa vibaya😭😭😭😭😭😭😭 R .I .P JPM 😭😭😭😭😭😭
@jumalihumbo8937
@jumalihumbo8937 2 жыл бұрын
Hu ni uzalendo wa hali ya juu🙌🏾
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 2 жыл бұрын
Lusinde uliamka vizuri, Mungu akubariki
@calvinlameck1577
@calvinlameck1577 2 жыл бұрын
Saf sana lucinde!
@benderatigahwa1949
@benderatigahwa1949 2 жыл бұрын
Lusinde umeonyesha ujasiri, na umeonyesha wewe sio mnafiki, gombea hata uraisi 2025 u deserve it alot
@jaymore6785
@jaymore6785 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kiongozi
@esaumahundi5647
@esaumahundi5647 2 жыл бұрын
Were mbunge uko vizuri na ni muwazi mungu akupe maisha marefu akuhekimishe zaidi
@josephkubyula349
@josephkubyula349 2 жыл бұрын
Mh Lusinde Zito alishaishiwa hoja ameshabaki kulopoka tumwache aseme anachokifikilia katika kichwa chake kwani yeye ataishi milele mama yake alipokufa Kwa nn Yu hakuzikwa nae anauaminisha uma kuwa hakua anampenda mama yake
@pascmedia1713
@pascmedia1713 2 жыл бұрын
Zitto apimwe akiri yawezekana ni punguani
@blandinalukole5535
@blandinalukole5535 2 жыл бұрын
Mungu akusimamie na akuepushe na mabaya
@maxnyer
@maxnyer 2 жыл бұрын
...duuh lusinde mungu awe nawe daima....hakika ntakupenda kama mbunge unayejitambua....
@francojohn8488
@francojohn8488 2 жыл бұрын
Zitto ni fala mmoja hivi,huwezi kumchafua kamanda wetu JPM
@vitalismlwilo8732
@vitalismlwilo8732 2 жыл бұрын
Nineno la hovyo sana yakwamba at tukazikwe nae tena atuombe radhi nanikwel wanafik hapo wapo maguful nimzalendo wa kweli tena kwelikweli
@pascmedia1713
@pascmedia1713 2 жыл бұрын
Police kwanini hawaja mkamata zitto kwa hayo matusi ?
@sigifridiussimon2813
@sigifridiussimon2813 2 жыл бұрын
Hakika umeongea ukweli usio pingika 👏👏👏👏
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Zito ni Kama choo Cha kilabuni
@neemamsigwa382
@neemamsigwa382 2 жыл бұрын
Zitto machozi yawatanzania yasije yakakugeukia
@radhiaissa71
@radhiaissa71 2 жыл бұрын
Ewaaaaaaaa. Makofi matatu kwa lusinde
@dismashaule1631
@dismashaule1631 2 жыл бұрын
Hoja nzito ameziongea Mh.Lusinde na huo ndo uhalisia wa hali ilivyo
@seifusengondo9170
@seifusengondo9170 2 жыл бұрын
amekusikia vizuri yule tausi
@frankmganda2424
@frankmganda2424 2 жыл бұрын
Zitto nayeye afe
@giftmindasi8392
@giftmindasi8392 2 жыл бұрын
Tungepata wabunge kumi kama ww hakika tungesonga mbele wengi kazi makofi tu !!!
@never_mabalaaa638
@never_mabalaaa638 2 жыл бұрын
LUSINDEEEE HONGERA SANA SANAAA BABA
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 2 жыл бұрын
Lusinde unaakili sana,yaani wewe utaenda peponi
@sophianyange3655
@sophianyange3655 2 жыл бұрын
Atalipwa na mungu huyo zito
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 жыл бұрын
Safi sana Lusinde
@allyally3054
@allyally3054 2 жыл бұрын
Wewee unajitambua na unamjua mungu sio mbwa hao wengine
@fredymushy9674
@fredymushy9674 2 жыл бұрын
Zitto nakukubali wanafki wana lialia
@robertmgore3653
@robertmgore3653 2 жыл бұрын
Jpm milele atabaki
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Kweli Mbunge wangu
@salumsalim7564
@salumsalim7564 2 жыл бұрын
Paka akiondoka panya hutawala nyumba
@shinjemackenzie6256
@shinjemackenzie6256 2 жыл бұрын
Hiv nauliza tu magufuri alikufa kwa ugonjwa gan? kwa moyo mm sijapenda pamoja na pushapu zile jukwaani kweli noooooooooo sikubali
@amirlehao8945
@amirlehao8945 2 жыл бұрын
Kaka unaupiga mwingi saaana Magu alikuwa jembe saana
@pauloqaymo8925
@pauloqaymo8925 2 жыл бұрын
Safi sana lusinde
@shinjemackenzie6256
@shinjemackenzie6256 2 жыл бұрын
Ccm mnamchamba magufuri kana kwamba alitokana na chama pinzani no hii haikubaliki kabisa mmetukosea sana wananchi sipigi kura kwa ccm tena
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Ulikuwa unaomba sana taratubu Kwa wapinzani, Nawe Kila unapoongea unaombwa upokee taarifa,
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 жыл бұрын
Lusinde hongeraa.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Mwendazake alaaniwe alipora pesa za watu na nakuwaweka watu magerezn na anachomwa Moto mkali huko aliko
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Lusinde uishi tuu huna baya tangu JPM yupo mpka sasa. Hubadiliki
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Zito saizi kichwa kimejaa maji
@richardchawenda5938
@richardchawenda5938 2 жыл бұрын
zito na yeye azikwe na mama yake nae
@mohamedijuma5845
@mohamedijuma5845 2 жыл бұрын
zitto kabwe namwomba mwenyezi Mungu ufe kwa ajali mbaya sana
@jumakimawa3633
@jumakimawa3633 2 жыл бұрын
Nenda nao mheshimiwa lusinde. Wamheshimu magu tunampenda bado.
@charlesmabula4231
@charlesmabula4231 2 жыл бұрын
Sikubaliani na mbunge juu ya mgawanyo wa ajira....maana ukiruhusu ajira zigawiwe kimajimbo hapo rushwa itatendeka sana
@barakawisdom9326
@barakawisdom9326 2 жыл бұрын
Siku hiz unaongea wew tu wakina msukuma sjui yupo wap
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Inatajwa nchi lakini yanayongeliwa y Tanganyika 🤣🤣🤣 huku linalofanyika waita zanzibar huko linalofanyika waita Tanzania 😆😁
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 2 жыл бұрын
Duhhhh!!! siasa mmmmhh
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 2 жыл бұрын
Uyu lusinde ni mweu anamrushia zitto lawama wakati Kuna mama!! Kama ni mwanaume kweli Basi Aanze kumlaum mama ndo aje kumshadadia zitto!!
@allyally3054
@allyally3054 2 жыл бұрын
Huyu zitto mbwa tuu mtumwa mamae
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 жыл бұрын
Ccm ni chanzo cha hizo kashfa watz tunashindwa kuwaelewa
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Zito ni mpumbavu
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Zito ubongo wake una Mafili fili
@swalehmzee5883
@swalehmzee5883 2 жыл бұрын
HONGERA HONGERA WAELIMISHE WATU WANAZEMBEYA KATIKA BUNGE AMEKOSA MADILI NA NI MUISLAMU AOMBE MSAMAHAA KWA MUNGU NA WATANZANIA PAMOJA NASIYE TUNAYEMPENDA MAREHEMU LAZIMA MUKOMESHE FITINA LAH SIVYO MUNAELEKEYA PABAYA HATUOMBI MUZINGATIYE.
@odenlwila8390
@odenlwila8390 2 жыл бұрын
We ni chawa
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 2 жыл бұрын
Eti utawala bora😂😂😂😂😂😂😂😂
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 2 жыл бұрын
Makafiri mnajuana!
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Exodus6:2-3 2:And God spake unto Moses and said to him, "I am the LORD. 3 And I appeared unto Abraham, unto Isaac, and unto Jacob, as God Almighty, but by my name JEHOVAH was i not known to them
@slmtz2458
@slmtz2458 2 жыл бұрын
Sio lazima muwe mnaelezea inapoteza muda
@jumaali1003
@jumaali1003 2 жыл бұрын
Nisawa
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 жыл бұрын
Amadi aliwai kuteka watu alikua Rais.wabunge wengine wanataka kiki
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 2 жыл бұрын
Hujawahi kuwa na akili wewe labda awamu nyingine ya kuishi
@makusuntezo
@makusuntezo 2 жыл бұрын
We mjanja mjanja tu
“MWALIMU NYERERE ATASHANGAA SANA AKIYAKUTA HAYA”-LUSINDE
9:17
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,4 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
PLAN B _ Episode 21
1:00:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 55 М.
LUSINDE: "NAPE na KINANA WAITWE WAHOJIWE, Namshangaa Lugola"
31:52
Global TV Online
Рет қаралды 40 М.
LUSINDE Alivyomsimamisha Rais MAGUFULI Leo "Hupendi SIFA Wewe"
5:01
Global TV Online
Рет қаралды 26 М.
BALAA MBUNGE KESSY NA MSIGWA LEO BUNGENI
9:25
Millard Ayo
Рет қаралды 53 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН