Huyu bro ni mungu Tu akasema ufi Leo asnte mungu Kwa kumcmamia Talimo na kumpa nguvu ya ushindi Ameen
@SaidiMiharage2 ай бұрын
Amina
@khadjamhozya2 ай бұрын
Unafikiri watamkosa Kama Ni mchongo wa hera
@MuiboArde2 ай бұрын
0@@khadjamhozya
@lydiabochela93632 ай бұрын
MUNGU akiamua kukutetea , hata iweje hawatakuwezaaa , Asante MUNGU kwa kumlinda ndugu yetu.
@mamboshepea88882 ай бұрын
Mbona kama usanii??!! Jamani kweli mtu atekwe katikati ya watu??!! Dah...Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote😢
@wabikeog_3732 ай бұрын
Milard Ayo , journalism wa muda wotee 🎉🎉 Tanzania
@joanitamedard51052 ай бұрын
Tarimo nakuomba sana iwe karibu na Yesu WA Ekaristi anatenda. Sali sana Bado Mungu anakusudi lake juu yako
@Carolina-sm5zt2 ай бұрын
Amina
@RahmaOmary-b7m2 ай бұрын
Mm nimelia baada yakuona akikamatwa na akiomba msaada nimelia sanaaaa pole kaka tarimo mungu akulinde umepambana sanaaaa
@MkapaplPapailashilunye2 ай бұрын
Kwani ulikuepo hapo
@DayanaMasua2 ай бұрын
Kuna majirani wasenge
@MkoiTvTz2 ай бұрын
"BABA ALIVYOKUWA ANAMPIGA MAMA, KISHA MAMA BADALA YA KULIA YEYE ANAIMBA NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI" kzbin.info/www/bejne/h3Skh5Vvh85_oKs Huu ni ukatili wa kutisha, Msichana huyu ambae ni muhitimu wa mafunzo ya Kijeshi nchini anaeleza jinsi akiwa a miaka 4 Alianza kushuhudia ukatili mkubwa aliokuwa anafanyiwa mama yake mzazi na baba yake kwa kumpiga kama mwizi. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida kila baba yake anapoanza kumpiga MAMA yake anaanza kuimba nyimbo za tenzi za rohoni pamoja na zile za kuabudu na ataimba kwa kipindi chote anachopigwa hata kama saa zima hadi baba yake huyo atakapo choka basi yeye anaacha kuimba. Kuvumilia vipigo kwa mama wa msichana huyu kumempeleka sasa kupata maradhi mbalimbali mwilini mwake. Licha ya kwamba amehitimu mafunzo ya Kijeshi lakini ashindwa kupata ajira kwa sababu ya kukosa cheti cha kidato cha nne. Wasiliana na Mkoi Tv Online kupitia no 0713575718 ipo WHATS APP
@oscarcharles96242 ай бұрын
alafu hata huyo muhudum ni msenge wangepiga kelele.majirani ni wauwaji yani mtu anaomba msaada wanatoa macho kama nungu nungu
@RahmaOmary-b7m2 ай бұрын
@MkapaplPapailashilunye nimeona Kwa sm 😁 me nipo mtwara aiseeee
@ellentukiko56992 ай бұрын
😳Majirani wa ajabu sana, hata km ni wanawake, si mngepiga kelele tu, mtu anaomba msaada anaenda kuuwawa, nyie mnaangalia tu km movie. God bless you Tarimo
@SakinaSakinat-qd9rs2 ай бұрын
Inasikitisha kwa kweli
@greysonmfinanga1172 ай бұрын
Wamefeli hao ni wapenda umbea lakini kelele za kuwasaidia watu hawana duhh watu
@isaiahmakenzi92432 ай бұрын
Ndio Tz ya Leo watu wanakuangalia tu unakufa au unatekwa
@jamesfransis80532 ай бұрын
Majilani wajinga kweli kweli kama mbumbu mbu yani yalikuwa kimya tu
@goriaAlexndar2 ай бұрын
Wewe unaweza kupiga kelel ukatolewa meno
@polycarptarimo51412 ай бұрын
Big up sana Tarimo Mungu ni mwema, Anaweza yote
@pacomezouzoua91752 ай бұрын
Mbarikiwe sana milard ayo kwa taarifa tumegundua saizi Tanzania ni pakukaa kwa machele sana
@chynabreezy44912 ай бұрын
Maaskali, osterbay, pingu, na wameiyacha hahaha kubabeck hii nchi ni kukaa kwa machale sana
@pacomezouzoua91752 ай бұрын
@chynabreezy4491 😀
@UrassaGodliving-dm3lp2 ай бұрын
Na ukumbuke kuushirikisha mwili wako kipato chako
@agustinemsangi2 ай бұрын
Nikweli aisee ninani anaemiliki pinguuu
@MussaMuhandeni2 ай бұрын
@@pacomezouzoua9175 Wote tuwe wamasai tu!!!
@JamilaYusuph-oe6no2 ай бұрын
Ujue hii ni mawaidha pia tujitahidi kumkumbuk tu Mungu ili tuwe tayari Kwa lolote wakati wowote ,,Mungu akubariki Broo wa nguvu TARIMO
@DullahNyoni-cr2fu2 ай бұрын
Duh inaumiza zana hii inchi ina amani lakini wananchi hawana amani mungu tusaidi na utuzaze ujasiri Amina
@andrewemmanuel18612 ай бұрын
Tarimo will love you more bro Mung akupe maisha marefu sanaaa zidiii kumuomba mungu kila kukicha
@sskondopoleani96162 ай бұрын
Hao wenye Hotel mumeshindwa kutoa hata msaada wa kupiga kelele? Hotel ina Walinzi lakini hakuna msaada? Tuwaeleweje??
@aishaalbalushaishabalush82912 ай бұрын
unamjuaje kama nimtu mzuri ? msiwe mnayaombea majambazi duwa ndio unazid kumaliza watoto tanzania sema kama alikaidi kuriport police wangemtangaza hamna kuwasitir majambazi matokeo yake police ndio wanaonekana wanamakosa
@sifatiiman2 ай бұрын
Wewe ni Kuma tena kuma la mamako lilikula hasala@@aishaalbalushaishabalush8291
@africatanzaniatours2 ай бұрын
@@aishaalbalushaishabalush8291dada umeongea point , kuna watu wengine ni wabaya , wanafanya mambo mabaya sana ... ila hatujui tu
Asante ayo tv, hongera sana kwa taarifa hii, acheni iendelee kunyesha ili tuone panapovuja maana kila lenye mwanzo lina mwisho
@janengaga29282 ай бұрын
Bonge Tarimo pole sana..Kazi yenu ngumu Ayo.Mungu awalinde kwa kweli.
@Happizo2 ай бұрын
Tarimoooo ..nenda kwa Yesu Kristo... akusaidie.. mkimbilie maana wamesema watakurudia...na Yesu atashughulika nao...
@MunezeroMwajuma-r4t2 ай бұрын
Akimbie Kwanza atoke tz
@davidcyrus41152 ай бұрын
Mimi nataka kumjua alierekodi apewe maua yake maana bila yeye hiki kitu kisingejulikana...Asante sana sana pia pole bwana Tarimo mungu ni mkubwa wakati wote..!!🙏🏿
@japharyidrissa61392 ай бұрын
inge julikana sababu hotel ina CCTV camera labda kama police wange Kuja kufuta hizo video sababu wanao fanya matukio ni wao.
@MussaMuhandeni2 ай бұрын
@@davidcyrus4115 Wangefanikiwa kumbeba ingekuaje kwa mpiga picha
@neboughtdigital2 ай бұрын
@@japharyidrissa6139 isingekuwa public, ingepita kimya kimya tu
@neboughtdigital2 ай бұрын
Hapaswi kujulikana kwaajili ya usalama wake. Akijulikana si atakuwa target ya hao maadui. Licha ya kwamba cctv zilirekodi lakini cctv huwa nyingi hazirekodi sauti. Na pia kwa rekodi ya video hii hili suala limepata uzito unaostahili. Hivyo aliyerekodi Mungu ambariki na arizike kutojulikana hivyo hivyo.
@SHILECKIZACHARIA2 ай бұрын
Aliyerecod ni mwenye hotel, baada ya watekaji kuchukua akamwabia chukua hii simu yangu wapigue ndugu zangu ndo hapo hapo anaanza kurevod nilimsikiliza mm
@ritapiusnicolaus70682 ай бұрын
Pole sana SHUJAA TARIMO ila watu waliokuwa pembeni awakufanya huungwana kabisa kutokutoa msada wa haina yoyote hata kuwapigia simu police waje upesi WAMENIKELA SANA umoja ni nguvu💪
@ramadhanmahongole92932 ай бұрын
Polisi tena?
@gracekagoma32312 ай бұрын
Na nyie mlikuwa wapi😮😮
@NeemaMtui-xb1wf2 ай бұрын
Dar unauawa watu wakikuqngalia ukishakufa ndio wanaanza kuuliza tatizo hata kama ni police police hana sheria ya kumfosi mtu kihivyo
@Moses-Kuria2 ай бұрын
Jifunzee kiswaili wewe huna hata hayaa eti WAMENIKELAA ,NDO NINI rudia nyuma yanguu ni WAMENIKERAA SIO KELAAAA BWAAAA
@Fesary2 ай бұрын
Ila angarau walichukua Video
@annakbunga83772 ай бұрын
Tarimo ana Mungu sana daah maana bila Mungu wangemuuwa
@mgasa20202 ай бұрын
Utekaji niutekeji watekaji ni watekaji Mungu tusaidie kwenye nchi yetu Baba pigana nawanaopigana na sisi 😢
@FredrickKisole2 ай бұрын
Tarimo Mungu akuzidshie uishi maisha marefu zaidi.. Tarimo apewe ulinzi na Serikali imuangalie kwa jicho la pili, ni mtu wa maana sana❤❤
@faustinombilinyi98092 ай бұрын
Hawa c askari huyu watakuwa wamezurumiana na watu lazima sio bure Hawa c askari
@BahatiMacklin2 ай бұрын
Sitaki kuamini kama hii ni tanzania kweli kama congo pole shemeji yangu pole sana mr Tarimo
@dorcasdavid22472 ай бұрын
Ahsante Yesu Unayeishi Ndani yetu,,Uliweza Kumpa Nguvu Kaka Tarimo ya Kujipambania,🙏🙏
Tumia akiri ndugu yangu. Hupaswi kumshukuru Yesu kwasababu ni kiumbe. Soma Luka 1:30,31
@shabanidaruweshi-jw5jy2 ай бұрын
Ukisema asante Yesu nisawa na umesema asant Abedi au Aruna
@AnethMushi-c3e2 ай бұрын
Saw we mbona unaposhukur viumbe wale wasioonekans wa kulia na kushoto kwako nani anakusumbua 😅
@gapserminja52152 ай бұрын
Braza tarimo Kwanza kabisa nikupe hongera kaka wewe ni shujaa kupambania na watu watatu sio rahisi Kaka mungu akutunze Sana na akupe maisha marefu hao watu.watakufa wao mungu yupo.hao majirani nao nivishoiya mm ningevunja vioo vyote vya gari
@Athumanmreta2 ай бұрын
Unaongea tu huwezi
@monicamassawe34352 ай бұрын
Kabisa
@ahz69072 ай бұрын
Hicho kiherehere siku utapigwa shaba😂
@hassanmfaume45222 ай бұрын
Unene tu ulimuokoa hakuna kingine😅😅😅
@GivenTobago2 ай бұрын
MBAYA ZAID HAWA JAMAA NI MASOJA MAANA WAMEKATA WANA VIJUBA WANAONEKANA WATU WA MAZOEZI
@mwigarleysaid54062 ай бұрын
Mtangazaji. Umetenda haki 🎉unafaa. Viva 🎉🎉🎉🎉 Uko vizuri Sana hongera
@hamisimuhunzi79162 ай бұрын
hajatenda haki ameshindwa kuoji suala la walinzi wa hotel wanaopaswa kutoa ulinzi kwa wateja walitoa msaada gani kwa mteja wao?? mteja anachukuliwa na watu waliokataa kujitambulisha lzm walinzi wangeweza kutoa msaada ili mteje wao asiteseke namna ile
@MussaMuhandeni2 ай бұрын
Mtangazaji umehatarisha maisha ya Binti
@Isaya-bx8fi2 ай бұрын
Siyo kweli huoni sura ya binti imefichwa. Inaonesha upande wa nyuma@@MussaMuhandeni
@DianaMacha-jf8gw2 ай бұрын
@@MussaMuhandeni hapana kwa sababu hakumuonyesha sura
@OmanOman-ru4eu2 ай бұрын
@@hamisimuhunzi7916futilia habari vizuri mkurugezi wa hotel alisema hana walinzi mchna isipokuwa mchna wanatumia tu camera na ucku ndio wanatumia walinzi kwa kifupi mchna hakuna walinzi hotelini
@boniphacelusato2 ай бұрын
Hongera, unajua kuhabarisha. Umeiva kwenye fani yako.
@AgnesMiyi2 ай бұрын
Pole sana tarimo mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@auriliamushi40922 ай бұрын
Kusema kweli Hali ni mbaya hii watu wanafuata raia wanajiita police wakivalia kiraia iangaliwe kwa ndani zaidi kama wale wamama wangepiga kelele wangejutokeza watu lakini walishangaa kama hawajawai kusikia watu wanatekwa na kuuwawa. Pole sana Bro Tarimo mungu yu pamoja nawe
@HappyShirima-k9t2 ай бұрын
Yaaaan ni kitu chakushangazaaa sana sijui ni low of education sijui ni ulumbukeni yaani kusema na ukwelii nashindwa kuelewq kwann wasichome moto gar la hao washenz wanaojiita police
Pole sana aisee mtani mung yu pamoja nawe daima ishi na zabiri ya 23 pia usisahau kumtolea mung sadaka ya shukran pia niwasih watanzania wenzang hebu tubadilike jamani tujarib kua naumoja mchana kweupe mtu anachukuliwa tena anapiga kelele kuomba msaada hakuna hata mtu alojitokeza inasikitisha sana tubadilike I jaman
@fredernestonline60112 ай бұрын
Hao n police. Ushawah ona nan anazo pingu
@AishaMaganga-vd1jg2 ай бұрын
@@fredernestonline6011wangekua police 🚔 wakweli wanvafata haki zakibinaadam! Hao siyo. Siyo kla anaemilki pingu bas police! Kunaraiya pia hata siraha zamoto wanamiliki. Tuendelee kumuomba Mungu Tz nikubaya yaone kwamwenzio hayajakukuta.😢😢
Kwakweli Maana Apoo Mwili Umemsaidia Sana kutoingia Kwenye Gari Maana Angekua Mwembamba Ooooohoooo
@ProJoel.2 ай бұрын
Dah!!! Inakera sana, ila huyu Mungu atatenda kitu kwenu, Mungu akusaidie sana Tarimo, yani mtu unaishi maisha yako kumbe kuna watu hawalali na wanakukalia vikao kwa ajili ya kukuangamiza hujui, ee Mungu tulinde na roho hizi za maangamizi.
@SangwaSauda2 ай бұрын
Mungu wetu ahsante sana kwa kumusaidia sijui kiswahili najifunza.I like Tanzanians especially Mr Blue na Ab skills pamoja na TID ,TMK na one song :Swaiba🎉.Mungu protect you all.❤🎉
@meryorotha6712 ай бұрын
Pongezi nyingi kwatarimo amejitetea adi mwisho watanzania tuweni naumoja tusiogope kuhoji ata kama niasikari Dunia imebadilika jamani tarimo hoyeeee👏👏👏👏
@Alicemsafiri2 ай бұрын
Ila talimo ni mwanamume kweli mungu azidi kumlinda kwa ayo yaliopangwa juu yake
@Brunn-mh2bq2 ай бұрын
"Talimo" ni nani jamani
@berithaandersonn22342 ай бұрын
@@Brunn-mh2bqyaani inaudhi kwakweli
@deonicemollel42052 ай бұрын
Si hivyo ukikumbuka unaenda kufa huwa nguvu ya ajbu mungu ni mkuu piah
@RobsonMwongi2 ай бұрын
Hakuna hoter hapo muda wote mlango uko wazi
@LuckyTemu2 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@gwakisanoah25382 ай бұрын
Hapa milard ayo pokea maua yako,,, kazi njema sana hii. Talimo hongera kwa kutokumwachia Mungu apigane wewe ukae tuliii, tutapambana daima kwa Msaada wa Mungu. Eeeee Yesu tusaidie.
@Leodimk-n5c2 ай бұрын
Safi sana. Hizi ndizo kazi za waandishi wa habari sasa na sio kusubiri taarifa za pilisi au mtungani sujui asema ndipo waturipotie.
@WolfW-ip6jl2 ай бұрын
Na huo ni ujinga piah hapo sasa wangesubili police si angepatwa majanga,.. hiyo sheria imekaa kipumbavu nayo sometimes
@EliudiJastini2 ай бұрын
Pole sana brother Tanzania tuamke sasa tuache ujinga
@Chimamy1985Ай бұрын
Yaani kwanza huyu baba ananguvu sana apewe hongera kawashinda wanaume watatu dah mungu mkbwa
@MeryJonh2 ай бұрын
Kuna mitaa Utafikiri akuishi wanaume.Akuna msaada mmmh🙆♀️
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Miogo kachumbari nguvu wapi😊
@MasesoGenya2 ай бұрын
Mamtu majinga
@sponsor78822 ай бұрын
asili ya wabongo sio kamaw a kenya
@peteremmanuelymatwimatwiem32582 ай бұрын
@@Aziz-p6s😅😅😅😅umemaliza kila kitu
@DavidYusuph-q9c2 ай бұрын
hii Hotel haifai kabisa yaan wanaruhusu mteja mbk anatekwa wakat na walinzi wapo kabisa hapa mm siwez kuja kamwe😮😮
@AhmedSeif-q6u2 ай бұрын
Ndio hapo nashangaa wameshindwa hata kupigia polisi
@glorykastai39962 ай бұрын
Labda hapakuwa na ulinzi wajifunze tena wawe na walinzi wenye siraha ya moto
@fredmhanga33462 ай бұрын
Hoteli haifai kabsa hyo sio salama mteja anatiwa nguvuni na watu wasiojulikana wala hakuna kuchukua taarifa yoyote kutoka kwao
@rose_Winchester862 ай бұрын
Hajatekwa amenusurika
@MrTop-wj7no2 ай бұрын
Yaani umesema kama mimi hapo tayaro hotel imeshachafua jina hapafai kabisa yaani watu wanamchukua mtu hawajafika hata kuulizia wanaomchukua watu gani? Vitambulisho vyao kuonesha kwamba wao askali na kama askali kibali cha kumkamata mtu huyo kiko wapi
@LucasMapundu2 ай бұрын
Ila huu mchezo utafikia mwisho endeleen maana atuwezi tukaishi kwakuogopana kiasi hki mungu yupo
@asumptagodfrey31752 ай бұрын
Inaumizaaaa mno
@godwineliya46862 ай бұрын
Mungu kakuokoa Bwana Tarimo. Ungepatikana Ununio
@BestaChaula2 ай бұрын
Asante MUNGU hakika unatenda miujiza ya ajabu sifa na utukufu tunakurudishia Ee bwana 🙏🙏🤲🤲🧎🧎 wewe ni MUNGU hulinganishwi na chochote🙏🙏 utabaki kua MUNGU MILELE na MILELE 🙏🙏
@MAILAGUN2 ай бұрын
HAKUNA ALIE SALAMA KWENYE HII DUNIAA TUWE MAKINI SANA 🙌🙌🙌
@msarama54062 ай бұрын
Sasa kama ni muhalifu mbona kaenda mpaka polisi mwenyewe na hawajamueka ndani hii nchi bana 😢😢
@LusekeloAdam2 ай бұрын
Mwamba kapambana sana. Ila tuongeze kula ili tuwe wanene. Si mmeona Tarimo UNENE ulivyo msaidia
@AishaJafari-sh4pe2 ай бұрын
😂😂😂😂sawa ngoja tule
@christermlewa84712 ай бұрын
Kweli 😂😂
@ConsalvaMumbara2 ай бұрын
Sifanyi diet kuanzia leo😂
@Nassib-h5k2 ай бұрын
Mjomba Kama siku yako haijafika atakama angekua mwembamba asingeenda
@malakisilas65232 ай бұрын
Walishindwa kumbebe
@DavidEvarist-q1n2 ай бұрын
Pole sana brother tarimo MUNGU akutumze na usiache kuomba
@wabikeog_3732 ай бұрын
👌🏻😅 nmependa hii ,kama antafsiri movie
@SHALIFUSHALIFU-id9ku2 ай бұрын
Namshauri talimo kuhama nakusafili pasipojulikani maana watakutafuta tena hao wa2 jiondoshe kk ang
@mawazoaliselemani2 ай бұрын
Mnanikatisha tamaa sana ndugu zangu wa TZ.
@SleepyBacon-zx9rm2 ай бұрын
Siwezi kukubali mtoto wangu askari hata kidogo .Bora auze barachichi🤭🤭🤭🤭🤭🤭
@cdeegwau5512 ай бұрын
Sio kwamba wote ni wabayaa, mbna wengne fresh tu wametusaidia Mmbo kibao tu
@agustinemsangi2 ай бұрын
Kabisa
@AbiaWilliam-s1s2 ай бұрын
Kabisa
@cdeegwau5512 ай бұрын
@@SleepyBacon-zx9rm sawa, tutaonaa watafanya kaz gan kama hawatageuka kua mashoga, maana unampangia Mungu
@zawadimwangoka44322 ай бұрын
vipi kama wametumia jina ilo na sio wao
@ElizabethPalanjo2 ай бұрын
Asante mungu kwa kumuokoa tarimo
@ZuhuraAthuman-u2i2 ай бұрын
Pole kaka hao majirani sio watu wazuri kabisa,mshukuru mungu kakupa nguvu za kupambana nao umejitetea mwenyewe kwa msaada wa mungu pekee,jitahidi kuwa makini ktk mizunguko yako yote hao bado hawajachoka
@JohnJoseph-qq7ow2 ай бұрын
Watanzania niwaoga sana MUNGU atusaidie
@GodfreyOsward2 ай бұрын
Naomba Mungu anisamehe kama ni mimi Niliwafanya kua waoga. Mkiwa waoga siku moja mtawaliwa na dictator......Jk Nyerere.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika2 ай бұрын
Mungu wetu atulinde na adui aliyopo sirini. Amen. Tupo pabaya taifa letu.
@kingdavid88002 ай бұрын
Mm nalaumu majiran mpka kesho!! Majiran hawafai kabisaaa maana wanaweza kuona mtu anauwawa na wenyew wapo tu wanashuhudiaa!!!! Ashukuriwe Mungu aliyempa Tarimo Nguvu Za kupambana!!!
@andreamandari70892 ай бұрын
Daaaaa kama yule dereva wa mtei😭😭😭😭😭
@StephanoWilifred2 ай бұрын
Mungu azidi kumm bariki na ampe uhi na maisha maref kaka yetu
@ShamimuKanju2 ай бұрын
Pole Tarimo Mwenyeezi Mungu yuko nawe
@danielelikana26152 ай бұрын
Mtu anakamatwa mijitu imesimama tu..ovyo kbs!
@maymur19scales2 ай бұрын
Ungeenda wewe kusaidia 😢
@gaagwasaugustino25842 ай бұрын
Ndugu,inashangaza unalaani mtu kutekwa huku watu wanashuhudia bila kutoa msaada! Lakini na Mimi nimeshangaa Kuna shetani mmoja anakujibu hapo kwamba ungeenda kusaidia wewe!!! Yaani mpaka unajiuliza huyu anaekujibu hivyo inaonekana yeye amefurahia tukio hiloo ama ni nini!??? Kumbe Hawa mashetani nao wako humu wanasoma comments za watu! Ila wajue kila lenye mwanzo lina mwisho! Mungu yupo kazini! Kuna siku Mungu atawaonyesha ukuu wake kwamba yeye ndiye ALFA NA OMEGA.
@Mamkubwa2 ай бұрын
Tuendelee kutiana moyo kuwa ikitokea saidia. Hoji. Ukiona haikai sawa ingilia km vile tukimuona kibaka.
@GodfreyOsward2 ай бұрын
@@maymur19scales Kitu cha kuogopa ni uoga wenyewe.
@WolfW-ip6jl2 ай бұрын
@@maymur19scaleswe naye kuma unajibu kama mkundu unaharisha fala wewe,.. huyo ni binadamu anategemewa,.. mavi yako na wewe unajibuje hivyo,. Eti ungeenda wewe kusaidia,.. sasa alikua eneo la karibu? Nyieh ndio wale unaona mtu anchomwa kisu au anaonewa alafu unapita kama huoni,.. tuweni na roho ya huruma..
@josephmolle2 ай бұрын
Inauma sana
@henrymjema16852 ай бұрын
Daaah, ngoja tusubiri tamko la serikali watasemaje
@beatricemsophe98392 ай бұрын
Usishangae wakalikalia kimya aisee
@RhodaKibona-w9j2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu, we mwema sana ,hatuna la kusema zaidi ya asant...
@almachiusnkwaju2 ай бұрын
Rais wa kitaa alisema ukweli, wanakuja kama polisi #Nitasema❗❗
@gracewilliam41022 ай бұрын
Yaani huyu ni mwanaume na nusu au siyooooo jamani yani kampambania uhai wake na Mungu azidi kumlinda tarimo
@agneslyatuu63492 ай бұрын
Halafu waliokuwa wanamteka wameonekana waziii ila utasikia hawajashikwa hawajajulikana Tanzania 🇹🇿.
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
Hatari sana kwa kweli yaani nchi ime haribika vibaya sana. Allah atustiri yaarab na atu hifadhi na watu kama hao
@SuleimaniabdelehmaniChitanda2 ай бұрын
Tatizo uongozi wa juu mbovu mbona utawala wa magufili Aya mambo ayakuwepo ila sasaiv shida tupu hakuna amani tena kwenye taifa letu
@berithaandersonn22342 ай бұрын
@@SuleimaniabdelehmaniChitandaHivi unaanzaje kulaumu uongozi wa juu kote huko wakati unaona watu wa karibu walivyotulia kama hawaoni
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
@SuleimaniabdelehmaniChitanda yaani ukiona mambo kama hayo tuna ingiwa na uwoga huna hata hamu ya kutembea. Kwa kweli vina tisha sana
@aloycekiwia86132 ай бұрын
Tanzania inaharibika Aisee.!!?? Utafikiri ni Somalia.!
@msarama54062 ай бұрын
au ulikua hujazaliwa😢😢
@suzanaronald4882 ай бұрын
Ayo TV 12:29 ✅️ mpo vizur mnajua ethics za kazi 🎉great 👍
@RehemaManase-t7j2 ай бұрын
Hiyo sehemu siyo nzuri, hamna hata watu wakumsaidia,
@shomarijuma8702 ай бұрын
Ila izi hotel zetu hakuna ata walinzi maan mteja akija hotel n mteja km ikitokea Sinto fahamu km izi lazima mumlinde mteja ila hap Kuna por security. Ila tarimo n the Hiro mungu akupe maisha marefu broo
@AgnesAbel-b1i2 ай бұрын
Hakuna kitu kabsaa Hilo chimbo hakuna ulinzi kabsaa huduma mbovu kabsaa
@shomarijuma8702 ай бұрын
@AgnesAbel-b1i uwakika Yan siyo pakwenda kabisa yani
@smartonlinetv51442 ай бұрын
Walinzi walitakiwa kutoa support nadhani wasingeweza kumfanya chochote lakini poor security ndio imefikia hapo
@shabanimbenu21632 ай бұрын
YA RABY TUSITIRI WAJA WAKO 🙏
@ziadasadiki81962 ай бұрын
ALLAHUMA AMIN YAARAB AMIN
@stefanomasolwa89792 ай бұрын
Damu ya Mtu watanzania acheni kuuwana kisa hela ifahamu kila siku watu Mnawateka ila Na nyinyi siku yenu ipo
@twaibumikidadi73772 ай бұрын
Sasa hiv Tanzania Malaika mtoa roho anakuja live unamuona n kupambana naye big up Tarımo,
@ernestaassenga96462 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu sana kwa watu wake,nimtetezi na mlinzi wakila mtu
@directorimmah_vfx30432 ай бұрын
Jmaa ni Bonge la Mwandishi yaaan
@saitawilson73072 ай бұрын
Shikamoo unene 💪
@EvanceShirima2 ай бұрын
Jamani daa huyu ndugu mungu kamuokoa mtu tatu lakini tarimo aligeuka samsoni gafla
@jenipheraron35662 ай бұрын
Dah Mwenyezi Mungu msaidie na mlinde Tarimo
@ilovejesus93032 ай бұрын
Asanteni Millard Ayo kwa kupaza sauti juu ya mambo ya kikatili yanayo endelea kwenye nchi yetu. Watu wanajichukulia sheria mkononi khah. Na nyie majirani si mngepiga kelele jamani? Tanzania tufundishwe kusaidiana jamani katika haya matukio sio kusimama tu kama miringoti 😢😢😢
@JanethJoseph-zt4mx2 ай бұрын
Mhudumu iv matukio yote ayo kwanini usishtuke mwenzako anasema wanataka kumuuwa alafu mteja wa muda mrefu kwanin wasipige Cm police mhudumu nawe anashida😢
@MatidoniFausitini-f4l2 ай бұрын
Mimi nimesema hoteli ifungwe na wahudumu wote wachunguzwe wenda wanaujua ukweli
@NoelaJohn-p5d2 ай бұрын
Mchaga mwezak nikusii kaka yangu mung amekulind pakubwa mno ukatuw sadak ya shukran ila kwa sasa tembea na mabondea hat wawil kaka yangu kila uwendak usiruhus kuwa mwenyew kabisa na pia usitumbey bila kuw na silah maan hii inatish san majiran wanaangalia tyu bila kusaidia kweli jaman
@ModestaNjau2 ай бұрын
Pole sana bro. Mungu ni mwema. zaburi 121 isome bro
@AshuraShagihilu2 ай бұрын
Aiseee,Mungu yupo kwakweli.
@sofitanzanian9552 ай бұрын
Mungu nimwema umetenda miujiza kwa.kaka
@ShangweSylus-nf6we2 ай бұрын
Hili tukio linatisha sana na kuumiza ooh my God, hii nchi sijui tunakoelekea dah, RIP Magufuri🙏 assume ni kakako, babako au mwanao kubabake inauma sana aisee
@nakundwamkubwe78232 ай бұрын
@ShangweSylus-nf6we acha ujinga Magufuli alikuwepo ndio utakaji ulianza umesahau kuhusu Mo ? Roma mkatoloki? Beni Saanane ? Nawengi wasio kuwa maarufu. Wacha utumwa wa fikra.
@ShangweSylus-nf6we2 ай бұрын
@@nakundwamkubwe7823 we nyau sijakuita kwenye comment yangu bwege wew niache nisikitike kwa style ninayoona itanisikitisha niache pita kule
@anastahiliutawala38792 ай бұрын
Magufuli ndo mwanzilishi hawa wanaendeleza tu
@nakundwamkubwe78232 ай бұрын
@@anastahiliutawala3879 sahihi kabisa.
@ireneque98132 ай бұрын
Mbona vitu vingine alivyoviamza hawaendelezi...ndo ujue si yeye aliyekuwa anafanya.....maana wanaendelea....yeye alianzisha kupigania wanyonge mambo hayo na maendeleo yaliisha alivyofariki.
@asteriashios18522 ай бұрын
Jamani ikitokea mambo km hayo mnatakiwa mchukue hatua mkononi na wananchi msifumbie macho
@MariaWema2 ай бұрын
Hao watejaji licha ya sura Zao kuonekana kukamatwa kwao itakuwa ngumu sana kila siku itakuwa upelelezi unaendelea 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@georgeurembo45532 ай бұрын
We Acha tu, inauma sn
@latifamubba1002 ай бұрын
Upo saii kabisa.
@Chqnilee962 ай бұрын
Umeongea point 🎉
@josiahlameck13192 ай бұрын
Wabongo kwa kusimulia hawajambo ila kumsaidia hamna
@ArianaPaul-t7e2 ай бұрын
Pole sana bwana tarimo ila Hawa majirani cjawapenda kwakweli😢 kubwa kapona mungu tunakuomba utulinde na haya mahangaiko
@mwanaidirashidi2 ай бұрын
Yaani watu wamesimama kama misukule wameshindwa hata kupasua hiyo gari Kwa mawe yaani nimeumia sana 😢😢😢
@rosemilingi78602 ай бұрын
Wewe acha tu
@RenaldaZeramula2 ай бұрын
Acha wale watu, kuna lijanaume limepita tuu km halioni
@@RenaldaZeramula Ushaambiwa ni Dar mwanaume wa DAr uyo😂😂
@hildamasonda65282 ай бұрын
Yaan
@GorgeRichard-v8p2 ай бұрын
Tarimo anafanana sana na Doto Magari.
@EstaDaffi-wg5cr2 ай бұрын
Dahhhh mi kila nkiangalia kwa pembeni namwoma doto magari
@HadijaNjopa-yi7uz2 ай бұрын
Unajua kweli kufananisha
@AzaAzamhmod2 ай бұрын
Watanzania waulize UMBEA,STAREHE NA UWOGA LKN BUREEE KBSAA😢😢maneno mengi lkn sio watu wakujitetea wala kutetea
@alfredndau91952 ай бұрын
Ongeza na mambo ya simba na yanga
@RoseMichael-oz7cy2 ай бұрын
@@alfredndau9195 umenisaidia kusema 👋👋👋
@JobMbanga2 ай бұрын
Dah Tanzania 🇹🇿 ni yaajabu sana hii inamaana mtu anapiga kelele wananiuwa watu wanaanglia kama move dah mungu akubariki akupe maisha marefu 😢😢😢
@mpinabaharia22472 ай бұрын
Mwandishi umefanya kazi yako vizuri.kongole sana
@SakinaSakinat-qd9rs2 ай бұрын
Ila watu jmn mwenzenu apiga kelele kutaka msaada watu waoga sana hata kupiga simu police 😮 Hongera kwake lkn alipambana sana na Mungu alimsaidia na kuwashinda
@SkyConnect-z6x2 ай бұрын
Unawapigia Police tena walewale,hawaji mpaka wahakikishe ametekwa ndo wafike kwenye eneo la tukio,
@SakinaSakinat-qd9rs2 ай бұрын
@SkyConnect-z6x shida tupu
@RamadhaniSuru2 ай бұрын
Mindomaana najitosaga hata kama ishu hainihusu 😢😢😢😢 kama mimi ningeingilia kati watz tunaogopa kufa
@francismngumi51252 ай бұрын
Sema tu kwa kuwa hao majirani ni walikua wanawake..
@faridiathumani31142 ай бұрын
Mafwere shikamoo
@MikereMio2 ай бұрын
Na Iddi Amini mama samia
@piliramadan8752 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde kaka talimo
@baybeshayo182 ай бұрын
Tarimo ndugu yangu Yesu anakuhitaji bado hutakufa bali utaishi ktk jina la yesu kristo wa Nazareth aliye hai.
@johnsebastian-bx6qn2 ай бұрын
Hii ni hatari kabisa EEEEYESU LIKOMBOE HILI TAIFA LETU LA TANZANIA 🇹🇿
@MohammedShabani-h6p2 ай бұрын
Polisi hao wanateteana tu hawana lolote polisi hao.
@DianaMacha-jf8gw2 ай бұрын
Hao majirani Mungu awalaan
@smartonlinetv51442 ай бұрын
Pole sana tarimo. Nimejaribu kuwaza kidogo, au big tarimo alikuwa na appointment na mwanamke/mpz wake then yule mpz wake nae alikuwa anafuatiliwa na mume wake au mpz wake mwingine may be ndio inshu ikafikia hatua hii. Nimejaribu kuwa tu.