Naomba tujuane wale ambao wazazi wetu hawajatugawia vitu na hawatatugawia kabisa tunatafuta vyetu kwa jasho letu wenyew ,,maan hizi mali za wazazi huwa zinaletaga maafa makubwa ,,ila Hawa walistahili kuishi hapa maan pia ni mali za mama yao ,,sema mze mlimvuruga kwann hamjaenda harusi yake🤣🤣😂😂😂😂🤸🤸🤸🤸👌👌👌👌💃💃💃ndo ujue pesa inanguvu kuliko mkono mtupuu
@aisatahaisatah26124 жыл бұрын
Nilishasema vya wazazi wang nivyakwao ntatafuta vyangu
@aisatahaisatah26124 жыл бұрын
Mkono mtupu haulambwi
@daudichawo2404 жыл бұрын
Kwa mzeee ni noma
@mashakafundiinatafakarisha55214 жыл бұрын
Ukiisha kuwa MTU mzima was miaka 18 kuendelea tafuta na wewe Mali yako hiyo ya mzee haikuhusu
@abdalahmaganga81834 жыл бұрын
😝😝😝😝
@halimamasai22344 жыл бұрын
Hongera Babu kwanza unajua kuchagua halafu mali ni yako wasikubabaishe hao. Kila la kheri na mke mpya maisha marefu na afya njema
@uwezowamunguutendaokazi30434 жыл бұрын
Tatizo siyo Mzee ni uyo alie letwa . mtangulizeni Mungu kwa yote. MUNGU MKUU awasaidie. Amen.
@BabyRas59274 жыл бұрын
Kbsaaaa Mama wa kambo. Sio mama ..wanabadilisha sana babazetu....hii kitu ishatokea kwetu ....maana hata babangu aliuza boma letu na kuoa mke mwengine na alitutenga sisi familia yake...ila mungu n mkubwa sahii wanateseka hadi wanaona Aibu..
@gennesmoraa93804 жыл бұрын
Nooo!aliyeletwa sio shida!shida Ni kutoatendi harusi,pili kumbuka Mzee anaitaji kambani$ atulise Poli nayo inaitajija so mnataka aishije?jilekebisheni nyie.
@nkeshigomegwa16862 жыл бұрын
@@gennesmoraa9380 ni kweli kabisa watoto walitakiwa kujua baba pia anahitaji mtu wa karibu kumsaidia n.k
@goodneema30564 жыл бұрын
Kwa ujinga wao wanatakafungua mirathi na mzee bado yuko na migufu yake, pumbaff sana. Maamuz yake nimeyapenda, uza vyote kula bata mzee wangu!!💪💪
@khadijajuma78732 жыл бұрын
Na wazee wakiamua ndio utajuwa kama hujuwi
@edsongamuga73754 жыл бұрын
Mlitakiwa kwenda kwenye harusi ya mzee !mnaona sasa kawaletea balaa😛😛😛
@chainbre2754 жыл бұрын
Hahahaha kbsa lazima wafwata amri ya baba juu yy ndo mwenye Mali
@unambwenaiman53554 жыл бұрын
Walichokosea ni kumsusia harusi yake,pia wanacholalamika ni nn?Mbona kila mtu alishapewa chake hicho kilichobaki na yy auze,
@shameemrashid52194 жыл бұрын
🤣🤣🤣dahhh mzee kaleta jiko watoto wasusa
@susans44904 жыл бұрын
😂😂😂
@lucyshirima78624 жыл бұрын
Kwann hamkwenda kwenye harusi roho mbaya tu
@f.a60434 жыл бұрын
Mzee asome alama za nyakati haya maisha yanapita tena kwa haraka sana tena kuna maradhi ambayo yanatukabili kila mmoja wetu covid 19 TUNAISHI KWA NEEMA TU YA MUNGU SIKU ZOTE Mzee MUNGU AKUJALIE UPATE HEKIMA NA BUSARA NYINGI HAYA MAMBO YA DUNIA NI YA MUDA MFUPITU
@fancytulula95374 жыл бұрын
Wacheni mzee aoe mke, upweke waua. Nyinyi mko na wake zenu na familia zenu.. Jipangeni. Mama alikufa miaka mitano iliyopita, kweli, amejaribu. Ameishi miaka hii yote pekee😳
@faridaaloyce76723 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kuniepusha na migogoro
@msangazimsangazipapaandomb87614 жыл бұрын
Hilo eneo ni lake, lipo kwa jina lake so ana haki ya kufanya chochote kwenye eneo lake. MPIGIENI MAGOTI awasamehe, otherwise hamna haki yoyote hapo ni pake. Tafuteni Mali zenu, nyinyi ni watu wazima.
@johnhauba5844 жыл бұрын
Aisee kupitia tukio hili tujifunze mengi,la kwanza ukipewa eneo kabla ya kujenga hakikisha umekabidhiwa ilo eneo kwa Maandishi.pili hakikisha nyumba unayoijenga uwe na Hati.sasa Kama umejenga bila maandishi kuwa ilo eneo ulikabidhiwa na nyumba pia si itauzwa?,maana bado inaonyesha ni mali ya mzee.poleni sana Mungu yupo jitahidini kama ni haki yenu mtapata tu.pia jitahidini kutafuta mpate kwa jasho lenu.Mtegemea cha ndugu ufa masikini.
@mcmaulidkambayamau14944 жыл бұрын
sasa ndugu zangu mnalilia mali ambazo mmiliki mwenyewe yupo wala hajafa nanyi bado ni vijana pambaneni mjenge vyenu jamani
@biancamass89214 жыл бұрын
mc Maulid Kambaya mau ajabu
@dennismtoma36264 жыл бұрын
Madada mazima yanashindwa kuholewa yanagombania Mali za babu
@reginamanyangu66824 жыл бұрын
Yaan ni ujinga mzee ni Mali yake
@salmasaidy874 жыл бұрын
Yaan nyie watoto oneni hata aibu mali za mzee mwachen mwenyewe ale chake pambaneni mpate na nyie mbona bado mnanguvu sana tu. Aibu kweli jaman
@maryamoscar4384 жыл бұрын
Wangeenda kula mpunga wa mzee yasingetokea
@shabbynyoni29224 жыл бұрын
Duuuh hatr mzee bado anautak ujna kama unamkubari mzee acha like hap
@chunanachu25294 жыл бұрын
Hamjui hatma yenu wazee wazima mwacheni baba yenu aenjoy maisha hamjui alitafuta vipi Mali hizo mnataka kula kilaini
@hashimrashid98854 жыл бұрын
Wewe ni tahira sasa amewazaa kwa nini wamechuma wote na baba yao..Mzee malaya tu
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Akili hauna kwaiyo hao watoto aliwaza ili wakalale nje wewe kweli chizi maarifa
@wakembetajaphary36482 жыл бұрын
Wamwache mzee ale kwa Amani watamuua kwa presha khaaaa
@amanistephano52084 жыл бұрын
Bora wamzuie asiuze mali zake maana. Akiuza atafilisika na atakae chukua pessa zote ni yule mwanamke. Hatimae mzee atarudi tena kuwalilia shida watoto wake. Na hapo ndo itakua mwisho wa maisha yake.
@leokamil62844 жыл бұрын
True
@raynittu45994 жыл бұрын
Mzee nouma kweli. Umegawa viwanja watoto wamejenga tayari.miaka 87 unahangaika na wanawake.watakuua hao.
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Safi sana izomalizake embu jipatilizeni nyny tafuteni zakwenu
@rukiamohammed50314 жыл бұрын
Mke mdogo mbn anafanana na amber rutty kwa mbali jmn au macho yangu
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Hata mm nimeona
@mcrecho52394 жыл бұрын
Ambar ruti mtupu
@haniphermuscatoman65544 жыл бұрын
Uwiiii jamaniiii 😄😄😄
@dantweve9824 жыл бұрын
Mama unabloku huku anatokea huku"niwamiaka mingi huyo mama amekwepa mishale mingi
@uncleelly45434 жыл бұрын
Kweli🤓😂😂😂
@tmt26429 ай бұрын
😢😢😢Mbona watoto wenyewe kama walevi tu..Mali za Baba wanalilia..Wako timamu kweli hawa😢😢
Mzee ana kichaa ashaona shimo amejisahau huyo msichana ameoa ndo kaburi lake
@witneyjerry12934 жыл бұрын
Si mligoma kuhudhuria harusi? Mngejua mngeenda kupiga mpunga dadii na mbege,sahv mambo yangekua shwarii
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Hahahaha Naona walijisaau
@judithmoses8354 жыл бұрын
Hahaha Yan wew
@zalhayahya24134 жыл бұрын
Hahahahaaaa
@maryamoscar4384 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Kosa lenu kwanini hamku hudhuria harusi yake babu kaka silika
@Mpakauseme3 жыл бұрын
siwez kujenga ktk uwanja wakupewa na wazazi bila maandishi yakueleweka never na sitakikusikia ujinga km huo, aisee sasa hao kazi wanayo
@jamilairakoze66004 жыл бұрын
Sasa uyo mzee anafanya kazi nzuri kweli duuuu 🤣🤣
@annngugi9894 жыл бұрын
Am like speechless..this issue I am relating it with my family's own ..shida huwa mwenye aolewa😭😭..rip mummy..rip daddy 2015/2019 respectively
@miriammustafa53802 жыл бұрын
Hao watoto hawana akili baba anauza Mali yake nyieee watoto tafuteni za kwenu mnataka maliza babaili iweje kwani aliwatafutia nyie Kwanza nyie wakubwa mm Nina vyangu na sioo et nitategemeeea wazi hamuoni aibuuu
@genovevatarimo70234 жыл бұрын
Nendeni mkatafute vya kwenu alaa mnategemea kwa dingi enu.hahaaaaaa ujana wenu mnataka kuufanyia nini kam a ujana wa dingi enu aliweka hizo sehemu
@maryamoman13704 жыл бұрын
Haswaa wapambane waache uvivu
@annaishebabi49404 жыл бұрын
Haaaaa!we mzeee acha uongo kwahiyo doctor alisema usimpe mke wako v2 vitamu kwasababu ya sukari manake sijaskiaga mtu akiambiwa asishirikiane na mke au mume kwa sababu ana ugojwa wa sukari
@martinseveina63064 жыл бұрын
3and 8
@auntdorah91414 жыл бұрын
Rudin nyuma sasa...tumieni kanisa(watumishi wa Mungu) tumieni Wazee wenye hekima muombe msamaha...msishindane nae,jishusheniii! mzazi ni mzazi....na ana haki zake na nyie mna haki zenu... Baba wahurumie wanao. Mtangulizeni Mungu wapendwa.
@japhetnnko73984 жыл бұрын
Kwel wjishushe kw mzee kulko kushndan bab ni baba tu
@alexlingwendu67804 жыл бұрын
Ndo maaana Mimi sitaki kabisa vya wzazi wangu,wala babu yangu wala ndugu yeyote .Bora kutafuta vyangu tu
Ni Kweli huyu mwanamke ndie hanaye mpeleke sha Baba yanu. Pole sana kwa watoto. Mzee hajitabuwe kapewa chakupewa na mke we tokazamani urithi haunyanganywi.
@peterjohn19694 жыл бұрын
Mzee upo sawa sawa 👍
@vallemaparadise76204 жыл бұрын
Chini ya jua hakuna km mama .Baba kumkana mtoto kwake sawa ila hajamjua huyu mwanamke anataka pesa yake na siyo huyu babu ,akikamilisha lengo lake atamwacha babu hoi.
@peterjohn19694 жыл бұрын
@@vallemaparadise7620 tatizo wao ndo walipaswa kumfanyia mzee wao kwamfano kumjengea nk sasa wameingia chaka mzee kaona iyo ni zarau sasa atakavyo amua akuna wakumpinga ndomaana vyombo vya usalama vinashindwa vinawaangalia vinawaona wajinga wapiga kelele tu.
@oscaroscaroscar79744 жыл бұрын
Huyu Mzee jamani mvi nyeupe adi kwa ndefu Soon atakufa kwa presha kwanza kwa nini Anafanya ivi jamani au Shangishangi alolioa lina mpelekesha 😳
@husseinally58804 жыл бұрын
Kweli mapenzi yana-run duniaaaa!!!
@immaculatakadyanji59274 жыл бұрын
😀😂😃
@monicakaskazi18174 жыл бұрын
Makubwa hayo wanawake ni nyoka
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Baba siii alishaga gawa. Sasa ni nini tena uyo baba anataka. Kaowa mama tofauti sana umri wake.
@marymfugwa8474 жыл бұрын
Waziri wa aridhi anahusika nini hapo? Kama mmeolewa tafuteni vyenu na waume zenu.
@victorianganyagwa52234 жыл бұрын
Mary Mfugwa tenaaaa👌🏼
@jescajulius80234 жыл бұрын
Ni haki yao kuolewa ni urafk t unaweza ukavunjika mda wowote dear
@ilovejesus93034 жыл бұрын
😂😂😂
@godmanmullar41544 жыл бұрын
Mary Mfugwa shikamoo watafute vyao maboya wamuache dingilai ale vyake
@musakaphu45814 жыл бұрын
Walikataa kwenda harusini mzee akachukulia spotii tu yaani barida wala hakuita media alizimia zake kanisani tu
@abdallahhamza96894 жыл бұрын
Episode 2 please
@mengikiguruwe67504 жыл бұрын
Mzee ni mchapakazi na 'Campsite'/kambi za utalii sehemu kadhaa zikiwemo Loliondo/Wasso, Engarasero/Lake Natron n.k aidha wengi wa watoto wake ni tegemezi na wafujaji; Mzee km huyo ni lazima awe na msaidizi wa karibu (Mke) wa kumhudumia kwani mwisho wa maisha ya binadamu ni atakapokufa hivyo huwezi kumyang'anya mali zake eti tu amezeeka; Nawashauri hao watoto wamwangukie baba yao kwani Mzee Kamakia ni mwelewa!
@alphoncembasa17752 жыл бұрын
Yes upo sahihi . Hao watoto watafute Mali Yao.
@emmanuelzwallo39332 жыл бұрын
Kabisa.wamwache auze ni vyakwake.
@yahayaolomi10572 жыл бұрын
Nao watafute kama.baba Yao alivyotafuta
@abdallahmwasiho15212 жыл бұрын
Acha atumie pesa yake nyie ndy mnamsumbua
@adijaniyonkuru97314 жыл бұрын
Mutafute byenu, amna haya
@barikiarastus87704 жыл бұрын
Kwanini hamkwenda kwenye harusi ya baba yenu. Hamna adabu kabisa hamuwezi kuyaheshimu hata maamuzi yake. Inaonekana mmeshirikia kutoenda harusini. Sasa pambaneni na Hali yanu.
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
Chamhimu mzee agawie kila mtu cha kwake asiwaache ivo atabaki kuwa baba tu .I love my Daddy he is 75 akatupea both boys and girls live long dad from +245.
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Awagaiye vipi wakati tayali ameshakwisha piga bei tayali
@memoryngambi70034 жыл бұрын
Mambo yote haya no siku za mwisho, matukio yote haya yapo kwenye maandiko kwamba ndugu watainukiana.
@enock72714 жыл бұрын
Mzee kajieleza tu vzr
@sabrinaislam42004 жыл бұрын
Nyie wtt wapuuži Sana tafuteni chenu KM alivochuma yy mnajuwa aližipataje hižo mali
@johasaeed3914 жыл бұрын
kashawapa tatizo ndo hilo alishawapa urdhi
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Haha
@elidadnyalema20644 жыл бұрын
qusey OMAN hao ndo wale watoto ambao hawajishugulishi wakiwa wanaona wazaz wao wakiwa na hela...
@paulgwau57934 жыл бұрын
Watafuta zakwao mwacheni ale bata
@paulgwau57934 жыл бұрын
Mzee uza mali zako
@sirielsamweli56884 жыл бұрын
Tena mzeee katumia hekima kubwa sanaaaa,,,miezi sita kwa mwanaume yatosha,,tenaaaaa kaoa kwa Harusi,,mngetakiwa mumuonyeshe ushirikiano,,,tafuteni vyenu inaonekana hamkutaka baba aowe
@patriciakidaha82964 жыл бұрын
Wewe mzee muogope Mungu.. Hata marehemu mke wako anakuona unachowafanyia watoto hapa duniani, angalia umri wako na dhambi unazotafuta
@chuwimkali5474 жыл бұрын
Ukisha kufa umekufa hakuna unachokiona duniani tusijidanganye watafute vyao tuu
@swaumukareemu92474 жыл бұрын
Mwanaume anaweza owa hata kama umekufa leo din inamruhusu ila kibinadamu ndio tunaona kakosea.. ukifa na yako yamekwisha .. wanawake ndio hata din imetuamrisha mume akifa ukae enda
@hajjshabani96834 жыл бұрын
Hilo somo la hapo juu ni zuri kwakujifunza 1 ukifikia miaka 18 jihesabu wewe umekuwa mkubwa anzaa kutafuta maisha yako chap chap.2 hiyo nyumba shamba linahitaji kizazi kingine /zingatia hayo ukifika umri wa miaka 18 ndungu shukuru mungu chapa lapa kotkote katafute kinatakachopatikana .usipoteze muda buree na vitu vya watu.
@khadijamwandumbya30324 жыл бұрын
Wazazi ni MUNGU wa duniani kwanini washindane na mzazi?? Kama mzee ana dhambi basi hata wao wana dhambi wange enda tu kwenye harusi umepewa bure halafu unaleta dharau haaaaaa!!! Nyenye kea.
@waukweelinikkon65554 жыл бұрын
Mzee uko sawa tuu kudai mali yako,sema tatizo uliisha wapa na tayari walianzisha miji yao,sasa unapowanyang'anya sasa ivi hawatakuelewa Kabisa kwa maana walikwishawekeza hapo.
@japhetkavishe23474 жыл бұрын
Mwacheni mzee ale maisha na Mali yake, nyie tafuteni Mali yenu.
@asmarashid7434 жыл бұрын
Ni kweli but hata watoto wanahaki
@japhetkavishe23474 жыл бұрын
@@asmarashid743 mtu akiwa bado hai ana haki ya kubatilisha miradhi hyo ni kwa mujibu wa sheria humwambii kitu akiamua na mali yake.
@abubakarihamissi41784 жыл бұрын
Kabisa hao watt wasenge watafute vyao
@mivunjoc.miyego14274 жыл бұрын
watoto wakubwa hivyo mnagombania mali ya urithi? acheni ugomvi wa kijinga tafuteni mali za kwenu? hamuna mahakama ya kusikiliza kesi ya kunyangaánywa mali uliyopewa!
@denicmsigwa51994 жыл бұрын
Haswaaa mzee Yuko vizuri huyo wewe hajakurupuka
@rosemarykatogomusanga16194 жыл бұрын
Mbumbavu Sana nyinyi watoto wa mzee. Kwanza nyinyi ni watu wazima. tafuteni chenu Vipi nyinyi. He has arght ya kuhusa akule Chake. Kabla kufa. Ni Sawa au. Si. Sawa?? Commends Jamani!!!!!
@bernardkihiyo19454 жыл бұрын
jmn dah watoto wangeenda tu kwenye harus alaf pia siku zote mzaz wakiume au wakike akioa au kuolewa inauma coz mnawaza anakuja kututawala
@bernardkihiyo19454 жыл бұрын
kwani hapo sikutawaliwa tayar haijalish una umri gan kwa mzaz na mali zake
@penigozbert11564 жыл бұрын
Unawezaje kuwatawala watu wazima kama wale jamani
@bernardkihiyo19454 жыл бұрын
Peni Gozbert haijalish wanaumri gan siumeona wanalalamika wangrweza kujitawala wangelalama
@africanmandetraveler28474 жыл бұрын
Hawa wameru wanamwonea dingi ,mna bahati Sana amewagawia maeneo alafu Bado mnalialia bila sababu.Acheni mzee afarijiwe na bi mdogo
@halimalule12254 жыл бұрын
Mzee muhuni kweli,,eti waje wakae kwangu.
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
Yuko sawa
@remmywillyz84724 жыл бұрын
Kwani document za hayo maeneo mliyopewa na mzee wenu mliandikishwa nyie kwa majina yenu au mliendelea kutumia jina la mzee?? Kama jibu ni ndio mlitumia jina la mzee poleni sana mzee ana nguvu kubwa ya kushinda hiyo kesi sababu bado ni mmiliki halali wa hayo maeneo na maboma😇
Mama ana jasho lake,lazima wtt wapate urizi;anataka awazulumu wtt kwa ajili mke mwingine huyo mm atamlani huko aliko kisa kuoa na huyo mke anampa jeuli
@nover80354 жыл бұрын
Itakuwa nyie ni wa Dar😂😂😂 tafuteji mbona ni wakubwa!?
@wemakalamu35384 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@moriscollins44944 жыл бұрын
Hahahahaha Godfrey ww mwenyewe umecheka kwenye mahojiano huyo mzee namkubali sana mana dawa ya moto ni moto tu....Awakuja na yeye anauza mali....mtegemea cha mtu hufa masikini
@pendobaharia69224 жыл бұрын
Wakubwa wazima ovyooo c mnunue viwanja vyenu mnakataa asioe ili awaoe nyie watoto wengine cjui mkoje muachen auze si Mali yake
@zacqtv98554 жыл бұрын
We unaongea usiku yajua yasikukute
@poureenkunambi64134 жыл бұрын
Mzacky Charles kabisa hajajua tu,hii kitu sio kabisa,pesa zikiisha hapo unafkir ataenda ap? Hapo mwanamke anatka pesa tu,pia hao watt n haki yao,ila mzee kapikwa madawa huyo
@a.s.afishfarming62254 жыл бұрын
Acha maneno wewe yani umepewa kiwanja umeahajenga halafu wewe unanyang'anywa
@hajimnubi45814 жыл бұрын
Millard hii story hujaicover vizuri umetuangusha,haijakamilika,haieleweki
@abeidmayanga8094 жыл бұрын
Maeneo yake hayo waziri lukuvi alimsaidia kuyanunua
@JaneMkinga2 ай бұрын
Siyo unyanyasaji ni Mali yake Ana haki nyie ndugu. Hapo ni hekima ya mungu iwasaidie hapo siyo kwenu tafuteni vyenu.ila ngozi nyeusi tunapenda mteremko😢😢😢
@romwaldoamsi27834 жыл бұрын
Yaani wachaga tunapenda Sana'a mchezo wa kuchikuchi:hahaha..ety mtu na ndevu zake bado anamtegemea Mzee wake,shwaheeeh gonga like kama tuko pamoja
@Mimi-wf7mb4 жыл бұрын
Acha ushamba wewe. Laizer siyo wachaga
@jonathaneliabu22984 жыл бұрын
romwaldo amsi @hata hivyo sidhani kama ni wachaga hawa ni waarusha
@gililwise4 жыл бұрын
Tangu lini laiza akawa mchaga fikiri kabla ya kutenda.na kunena
Mbona mzee huo anataka kumaliza vibaya na vijana wake? Wapi hutaweza kutupa watoto nje, na usipokua macho utamalizia maisha yako vibaya mzee! Usiwasumbui watoto!
@sizmaggymaggy56774 жыл бұрын
Ilekitu iko muombe mungu sababu akizema amupi. Hiyo nimaliyake
@nicodemuhamaro55334 жыл бұрын
Katafuteni mali zenuuuuu achaneni na mali ya mzeeee.Mlimchangia????Mwacheni Baba amalizie maisha yake.Epukeni Laana.
@Mamatonny20654 жыл бұрын
Poleni sana. Kumbukeni kuwa Mali za urithi zina mikosi sana. Nasema hivyo kwa sababu na Mimi yalinikuta!.
@khadijasalum23024 жыл бұрын
Hiyi mzee mbaya sura tu anaonesha kudhulumu watoto wake bure hajui dhulma haidumu kisa mwanamke
@magrethjohn34634 жыл бұрын
Mzee alichokosea nikuwapa viwanja alafu wamejenga ndo aje achukue siyo haki alafu hata hivyo Mali katafuta na mama yao Mimi ningekuwa Mimi hiyo nyumba ningeibomoa alafu auze kiwanja bila nyumba
@paulinasemindu39994 жыл бұрын
😂😂😂
@benhorta51214 жыл бұрын
😂
@WinWilly41624 жыл бұрын
Siku zone usiamini mtu anayebadilika walitakiwa kuvitafutia hati za majina yao mapema,kama hawana hati hiyo bado ni mali ya mzee
@khadijamalifedha47864 жыл бұрын
Hahahaha
@zaharajuma50194 жыл бұрын
Magreth John tatizo niwao kumtenga baba yao niasira tu nauzee Hawa watoto ndo walitakiwa wamsikilize tu
@noelsimon33204 жыл бұрын
Sheeeeeeee mseee Simon umetisha
@portinagodson50474 жыл бұрын
NYIE MNAOSEMA SIJUI WATAFUTE VYAO VYA BABA YAKO UKIONA HAVIENDI SAWA NI SAWA KUVIPIGANIA BABU ANAONEKANA ANAPENDA CHINI HUYO.
Dingi mjanja kawapa urithi kwa maneno Dokumaa hajawapa
@rahelmakyara61214 жыл бұрын
Acheni ujinga katafute I chenu
@elimwazembe36314 жыл бұрын
Kweli mtegemea cha ndugue hufa angali masikini .kwamimi ninavyojua kisheria mtt hana sababu yoyote ya msingi kumzuiya mze kuuza nyumba wala shamba .ila mkewe tu ndoanaweza kumzuiya .mtt wake kazi yake nikumshauli tu .kisheria wamechemka
@ibrahimmzee5354 жыл бұрын
Nyie tafuten vya kwenu watu wazma mnaanz komalia vya urith
@victorianganyagwa52234 жыл бұрын
Ibrahim Mzee shangaa ss ng’ombe hazeeki main km anjiweza wamuache aoe tu mzee wa wt nn ch ajbu
@verdianabanabi59434 жыл бұрын
Toka huko katafute vya kwenu acha vya urithi mmeishakuwa.
@chayogasperi97834 жыл бұрын
@@verdianabanabi5943 Sio wamekua , ni wazee kabisa , hawana haya wala aibu wanalilia urithi Baba hajafa . Baba yao alitafuta , na wao si watafute ili watoto wao waje warithi , Babu nimempenda bureee , anawajambisha kuanzia serikali ya kitongoji mpaka polisi anatamba yy tu .
hiyo si sababu ya watoto kutohudhuria harusi .madama aliwagaanyia tokakitambo hapo sikwake tena.achie watoto kama alivyo wangawiya nawakajenga sio kweli baba umechanganyikiwa.innalillahi wainnaileyh rajaouni
@uwesusaid97644 жыл бұрын
Huyu Mzee kwa Mimi ningemfanya kitu kibaya haiwezekani atupe viwanja tukajenga miaka hiyo tukiwa na nguvu hivi sasa eti anauza Nyumba pmoja na enoe 😥 *KUMPA SUMU AFILIE MBALI* hafai kwenye jamii
@jamesjahasa33484 жыл бұрын
Achaujinga tafuta vyako yeye alipewa nanani
@vailethkilewo24804 жыл бұрын
Hhaaaaaa
@zulfaomar81854 жыл бұрын
Hahahaha lkn vyakwake vo
@aliarkam95484 жыл бұрын
Tafuta chako
@agwalubifaridah70794 жыл бұрын
Mali ya mzee hiyo
@ashuraussein75824 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@happinessmillanga9824 жыл бұрын
Kama aliwapa na wakajenga sasa anataka nini! Hawa wazee wakuowa ukubwani ni shida sana
@jenniferlukambuzi3564 жыл бұрын
Very true, Kama anauza viwanja, basi inabidi awarudishie watoto wake thamani ya nyumba zao walizozijenga kwenye hivyo viwanja alivyokuwa ameishawagawia.
@winfridaemmanuel11464 жыл бұрын
Mzee anachokifanya Ni sawa maan Ana haki kufanya hivyo kosa Ni ninyi kujenga eneo la home hizo gharama za kujenga na ninyi umri wengne umekwenda Ni mtihani poleni Sana , Ila hamwezi kusaidiwa na yeyte tafuteni pa kukaa tuu mmwachie mzee maana mlivyomsusia nae amekasilika kwa sababu hiyo
@jengatech_tanzania4 жыл бұрын
Kupata Design nzuri za #nyumbanafuu na za kisasa, fanya subscribe kwenye Account ya &BEYIND DESIGN kuzipata nyumba nzuri.
@zeranchimbi28082 жыл бұрын
Huyu mzee ni shidaaaa
@charlesalbert96574 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣mzee wangu popote ulipo agiza unachokunywa nakuja kulipa dadeeeeeki umenifurahisha saaana yaaan hapo shambani uza mpaka mazao waliyokuwa wamepanda💪💪💪💪😂😂😂
@victorianganyagwa52234 жыл бұрын
Charles Albert na ambye htaki kuondoka amuuze umo umo ndan 🤣😂😂😂
@fatmakhamisi67454 жыл бұрын
Nihakiyake tafuteni vya kwenu mnaingilia hisia zake upuuzi huo
@suzanfelix88574 жыл бұрын
@@victorianganyagwa5223 😆😆😆 mungu anakuona eti
@husseinramadhan76444 жыл бұрын
Charles Albert ha ha ha saw
@victorianganyagwa52234 жыл бұрын
suzan felix xx utalazimixh vp mali ya mt wanafahamu alipat vp wamuache hy nguv yake bn
@juliejaphet27004 жыл бұрын
Babu unakifua au unasomewa ramani to hapo akupokonye hela za kustaafu
@evashayo59144 жыл бұрын
Yaan wanawake sisi yesu snatuona
@nehemiabakevya91494 жыл бұрын
Poleni sana kwa matatizo msikate tamaa
@maligeltabatholomeo81284 жыл бұрын
Uyu mzee kalishwa ubwabwa Poli na uyo mke wapili na Kama aligawa Sasa saizi anahaha Nini? Kama aligawa atulie tu apo muombeni mkuu wa mkoa apo awasaidie
@mangimeli58462 жыл бұрын
Mrejesho,please
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Mmh,hilo limwanamke ndo limeleta ugomvi kati ya baba na watoto wake! Hivi kwnn wanawake wanakua hivi?
@uswizinyanginywa24984 жыл бұрын
Mzee kachukua kitu rainiiiiii chezea malove love wee
@dominiquemushy8952 жыл бұрын
Nyie hamna akili hata kidogo! Mali yake mnamxuia kuuza mbona hamjaenda harusini angali. Mnajua mama yenu ashafariki, ni mali yake ana haki ya kuuza nyie tafuteni yenu
@yahayaolomi10572 жыл бұрын
Kweli
@Boskarii4 жыл бұрын
Ni yeye..... amber ruty 😃
@jafaryjey4 жыл бұрын
Tafuteni za kwenu NYAMBAFU! Kwanza hamkumsindikiza baba yenu wakati anaenda kufunga ndoa na kiburudisho chake
@eugenraymond99583 жыл бұрын
Na je kama mngempa ushirikiano kwenda kwenye harusi yake, je hayo yangetokea ?! NYIE watoto hamna adabu. Kama NYIE mlimkataa kushiriki KATIKA harusi yake je yeye mnavitakaje vitu vyake. MTAPATA LAANA TUU. NENDENI MKATAFUTE VITU VYENU KA NGUVU ZENU. NYIE vipiiiii....?!?!?!
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Subhannallah, mtihani
@abdulykiliga47914 жыл бұрын
Mhiiii aya umri tatizo
@aishalukas58144 жыл бұрын
Madam Saum Asalaam aleyk
@sixsule97214 жыл бұрын
Hapo mmefikaje kama hamna hela?
@arushamix60364 жыл бұрын
Huu ni msala, kama Mzee ndiye mwenye shamba na bado yupo hai hapo pagumu maana anaruhusiwa kubatilisha mirathi ya awali(kama aliandika).
@dismasswai58384 жыл бұрын
Ni kweli lakini awalipe fidia ya nyumba walizojenga kwa thamani ya soko
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Lazima mzee awaonyeshe urithi wao!!
@arushamix60364 жыл бұрын
Dismas Swai Ni mlolongo maana nao watatakiwa watoe uthibitisho, sio kesi rahisi...hapo ni kuomba Mungu tu wasikilizane.
@jumakapilima56744 жыл бұрын
@@arushamix6036 kaka mbona uthibitisho rahisi tu,,,DNA si ipo!!!!