Yesu tunakushukuru kwa kuepusha hili nakusii umlinde mpenz wangu anaetokea Songea kuja Arusha
@sarahibrahim116012 сағат бұрын
Daaaaaaaaah haki ni Mungu tuu... Mungu ampe pumziko la amani Mama alofariki
@cliffordbaraka19172 сағат бұрын
Mungu ndo ashukuliwe zaidi Syo Dereva
@MarcoPeter-y5n8 сағат бұрын
Nakataa mauti Kwa Jina la YESU KRISTO nakwa DAMU ya YESU KRISTO Amen
@kassimualli17554 сағат бұрын
Muda ukifika utakufa tu
@BenjaNetanyahu3 сағат бұрын
@@kassimualli1755Nyie waislamu mnakufa! wakristo wanatwaliwa, kuna tofauti ya kufa na kutwaliwa nafsi.
@hilsalboy41183 сағат бұрын
Kufa lazima utake usitake
@allymwinyi9702 сағат бұрын
Kila mtu katika hii Dunia ni lazima afe siku moja. Tunazofanya ni jitihada za kibinadam kwa kuwa MUNGU ametuekekeza tuzifanye. Lakini kusema unataka kifo kwa jina la YESU ambaye kwenye kitabu chenu mnaamini amekufa, aliyewafundisha hilo amewadanganya. Karni chini mtafakari vizuri. Tatizo lenu mnaburuzwa ili mpigwe pesa, mtoe kwa wingi sadaka ba fungu la 10, na kweli mmeamini na mnatoa.
@BenjaNetanyahu2 сағат бұрын
@allymwinyi970 kwani kuna MTU asiejua kufa, fala wewe
@ilynpayne74912 сағат бұрын
Kwahiyo dereva ana sifiwa leo hii hongera kwake
@salomewandya725712 сағат бұрын
Duh huyu mzee nae jmn,Poleni sana
@nzugunibaptistcitychurch48593 сағат бұрын
Tunalaani kila Kafara za Mwisho na Mwanzo wa Mwaka Kwa Damu ya Yesu Kristo
@MerymaimboMery13 сағат бұрын
Mungu wa mbingun ampumzishe uyo mama jaman nimeumia sana sababu nimeshuhudia😢😢
@Chazyassenga12 сағат бұрын
Duuuh pole na ww uloxhuhudia jaman
@BarakaKusalula11 сағат бұрын
Daah kweli mama alale mahali pema😢😢
@dorahmushi-we6tsСағат бұрын
Atukuzwe Mungu Muumba Mbingu na nchi... Ni Mungu tuu. Poleni sana familia ya huyo mama, naamini bima ya gari itafanyakazi yake kwa hao watoto wa huyo mama,ndugu wafuatilie. Dereva hongera na Mungu azidi kukutangulia ktk safari zako zote.
@ramadhanijuma4130Сағат бұрын
Bima itasaidia kurudisha uhai wa mama .
@daudisemba488133 минут бұрын
Hajamaanisha hivyo, kasema bima ya hiyo basi isaidie hao watoto Kwa jinsi itakavyowezekana. @@ramadhanijuma4130
@kotei-s3l11 сағат бұрын
Mungu atusaidie tuvuke mwaka mwingine salama sote 7:36 🙏🙏🙏🙏 7:36
@naureenmango200712 сағат бұрын
Mungu amuhifadhi huyo mama jamani 😭
@zainabuselemanimsalama270348 минут бұрын
Yani hapo mungu mmemsahau wote aliowakwepa ni mungu tu na hy aliefariki ni siku zake zimeisha za kuishi duniani mungu amrehemu
@abedysteven493011 сағат бұрын
Dah mungu 2okoe miez ya kafara hii
@Judy-dy4zt9 сағат бұрын
Asante Yesu
@user-to6up4hg2w9 сағат бұрын
Yesu he's not God he's human being just like you mumu😂
@shebbynzengula69933 сағат бұрын
Calm down 😂😂😂@@user-to6up4hg2w
@BenjaNetanyahu3 сағат бұрын
Everyone has their own god, so don't force someone else to see your god as better than theirs, because that person has not crushed another god, but has prayed for the glory of their god JESUS.
@ndakifx83196 сағат бұрын
Asee arusha kiswahli na rafudh yaan
@danieljoseph16102 сағат бұрын
Mama wawatu kafariki afu nyie mnasema kawaokoa, tena mnaona mmepata haweni kwa kugongwa mama wawatu! Any way! Xmas imemkataa!
@AnnaWillium12 сағат бұрын
Jamani we danieli mtukize Mungu si dereva ni Mungu
@nicodemuswidambe513212 сағат бұрын
Mungu kapitia kwa dereva
@KisaMax2 сағат бұрын
Yaah ukosawa@@nicodemuswidambe5132
@zakayombuba89532 сағат бұрын
Mungu ndiye amemuua mama
@Beatha-n7k46 минут бұрын
Mungu ndiye aliyewasaidia, tumsifu Mungu.
@DevotaJonh4 сағат бұрын
Damu ya Yesu itufunike na kutuepusha na roho za mauti ktk miez hii
@daslamonline46652 сағат бұрын
Kufa lazima tenda mema uende salama,
@YahayaNelem2 сағат бұрын
Mpka ukiona abilia anasema dereva kajitahidi basi apewe hongera uyo dereva MUNGU ni mkuu hongeren na poleni sana.
@Bles-x1v11 сағат бұрын
😂😂😂😂 mi nimesikia wote lakn huyu kaka alotangulia kuongea kanifuraisha rafdhi yake
@evelinachambogo499235 минут бұрын
😅😅😅😅😅😅nam nmecheka ongea yake ety tunamshukur mama alogongwa tena kagongwa uchi Na huyo wapili kasema wamejikojolea kweny nguo alaf anaumwa
@DanielaKephaМинут бұрын
@@evelinachambogo4992😂😂😂😂
@mohdkhalifa882811 сағат бұрын
Inna Lillah wa Innna Illah Rajiun
@rambostalon288812 сағат бұрын
Tunalaani kila kafara za mwisho wa mwaka kwa damu ya yesu kristo
@Mina.155 сағат бұрын
Labda wewe
@josephatokelloСағат бұрын
Familia ya Mama hiyo marehem.poleni poleni sana
@hassanlikwenangu847110 сағат бұрын
Wanavyozungumzwaga vibaya Madereva,huyu wa leo ameamka vzr maana kila mmoja anamtetea
@RickshabyVlogs8 сағат бұрын
😂😂😂😂ndo nashangaa au ndo kafara imekubal
@EstherElias-u8o2 сағат бұрын
Eti deleva kajitahidi sana ila kamfyeka mama mmoja rakini kajitahidi sana duh
@valenakomba76869 сағат бұрын
Daa, kazi imeanza mwisho wa Mwaka huu.
@محمدبنسعيدمشاوي12 сағат бұрын
0:53,..Prince John umetisha
@ScopionScopion-zj9cd12 сағат бұрын
huyu falla anaesema tunashukull kagogwa huyu mama akili zake Nikama za mr manguruwe hana akili au yule mkurugenzi wa vanilla wote akili zao ziko saw
@MiriamNavaya3 сағат бұрын
Me mwnyew kanikwaza san kwhy wanafurahia mama wawatu kugongwa wao wapone...anajua kaacha wtt kwamba wtt na familia yke haiumii? Au nd hvy mtu mzma hovyo na ubinafsi
@isaacmwaseba9972Сағат бұрын
Kakuambia amechanganyikiwa alafu una muhoji wa nini ndio hayo majibu sasa. Mtu anawaza mzigo wake unainiwa kule.
@vicenttarimo22032 сағат бұрын
Mbona huonekani kama umeloa Arusha acheni mzaa hiyo ajali ni mbaya mama aliopoteza Maisha anategemewa familia yake imepata pigo Mungu awape uvumilivu familia ya huyo mama na mliopona Mshukuruni Mungu kwa ulinzi wake.
@KhaleedHamad-vl7lz11 сағат бұрын
Anaongea lugha gani huyu jamaaa😂😂
@Maya-bm9buСағат бұрын
Mteme bana 😂
@DullyTz-z4wСағат бұрын
Yule Mama Ametuokoa Duuh. Kwel Kila mtu Anajar life lake tu. 😭. Nikwel dereva kauwa Mmoja kuokoa wengi. Ila sio lakuzungumzia. Vp familia ya marehemu😭
@FATMASADY-m9z2 сағат бұрын
Kifo nifumbo pole sana wanafamilia wamama yetu mpendwa tuliompoteza Mungu awatie nguvu,hakika sote niwaMungu nakesho kwake tutarejea😢
@OmaniSico-i8f12 сағат бұрын
Pole sana ndungu yangu
@AbiaWilliam-s1sСағат бұрын
Mungu ashukuliwe hakika
@DotoS122 сағат бұрын
Asante Yesu Kristo
@roswitaexavery337812 сағат бұрын
Kunausemi wanasema uwa mmoja okowa wengi
@esthersissamo1120Сағат бұрын
Kweli ndugu yangu yaani angegonga haice yangekuwa mengine yote no mipango ya Mungu tuendelee kumtukuza Muumba wetu siku zote
@aishajuma7813Сағат бұрын
Mungu asante🙏🙏
@MsAisha-w4oСағат бұрын
Innalillah wainna ilayhi Allah atunusuru na hii mitihani yake 🤲😭
@aminmsini37302 сағат бұрын
Poleni sana wafiwa mungu awape nguvu
@fatumahapesamohamedfatumah463312 сағат бұрын
Kafara hizo.Mungu tulinde Yarabb
@JaqlynRichie-y3p12 сағат бұрын
We hujielewei
@abuuyaasiriibrahimkyone.291111 сағат бұрын
Sasa wewe muslamu nae wamini mambo ya kafara?, Kazi tunayo kweli.
@BenjaNetanyahu3 сағат бұрын
Kafara ni kitu gani?
@HawaOmanСағат бұрын
Ahsante yesu kwakuokoa watu wako baba ameeen ahsante mungu
@MohammedSalamataСағат бұрын
Ww ni mpuuzi kwahyo yesu ndio mungu aliewaokoa soon?
@AlmasAbdallah-r3gСағат бұрын
Tutolee ujinga wako hapa Kwani anaeokoa ni Yesu au Mungu??
@AlmasAbdallah-r3gСағат бұрын
@@MohammedSalamata wajinga hao
@janekanini2 сағат бұрын
Poleni sana ndugu zetu watazania
@elisharuben76813 сағат бұрын
Mungu tuu amehusika
@rechomlay54203 сағат бұрын
Tunavunja roho za mauti
@DorcasKivuyo-t2r8 минут бұрын
Polen sana jamn
@HamisMghuna-fj3vz3 сағат бұрын
Allah nsataraa Mami,
@aziziiddi10 сағат бұрын
Mwisho wa mwaka huu😢 dah
@IreneMtei-z8g12 сағат бұрын
Mungu ampumzishe kwa aman UYO mama alijitoa muanga kuokoa watu 76
@ramadhanmkandas57334 сағат бұрын
Mungu ashukuriwe
@TatuMkeso2 сағат бұрын
Du mungu tuvushe mwaka salama
@sebastianmabula2098Сағат бұрын
Makonda Mungu akuongoze kwa maombi yalofanyika kukataa roho za mauti hao 75 wote walikuwa wanakwenda leo
@EdnaJohn-c5x9 сағат бұрын
Mungu tuna omba utu linde mwisho wa mwakauu akuna ujanja kwenye kuishi niu janja wako tuu mungu
@JK-uq1tv10 сағат бұрын
Huyu Mzee saa mbovu😂😂😂
@hassanparamana22159 сағат бұрын
father mkojo ulikutoka bila kujijuwa hii hali utacheka kama hayaja kukuta 😂🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@chrisshonga8 сағат бұрын
hakika
@JuliethKeyyu10 сағат бұрын
Naomba Mungu aipokee roho ya huyo mama.
@KhadijamussaMachapat3 сағат бұрын
😂😂Miye nimecheka kama mazuri eti nimejikojolea siyo kwa Ugonjwa😂😂poleni Jamani
@abdulhajiahmed87359 сағат бұрын
Arusha wanaongea kiswahili kipi
@mariamkibindo17414 сағат бұрын
😂😂ndio lafudhi zao wazawa wa huko utafikiri wote wamasai
@mrsferuzi74433 сағат бұрын
Cha Tanzania
@HawaOmanСағат бұрын
Poleni wote tumshukuru mungu
@shabanipanya10333 сағат бұрын
Huyu fundi gereji akisema tu unafurahi
@LifeOfTheHadzabeTribe3 сағат бұрын
PRINCE JOHN ANA LAFUDHI TAMU SANA
@ChristineElias-bn4dw2 сағат бұрын
Mmmmh poleni sana jmn
@annathomas-wy8yt10 сағат бұрын
Maskini huyo mama ni kama katolewa kafara kwa ajili ya wengine,apumzike kwa amani.
@HawaOmanСағат бұрын
Pole baba
@Kingmasai14911 сағат бұрын
Du mungu ashukuriwe 🙏🙏 lakini hiyo ni mwaka unapita
@miriummbisse2278Сағат бұрын
Hakika ni mkono wa mungu tu
@richardnganya231112 сағат бұрын
Simulizi za mashuhuda hazina ladha ni za kufikirika zaidi kuliko uhalisia!!
@WilbardKweka2 сағат бұрын
Hongera dereva mnakutana na mengi
@DotoS122 сағат бұрын
Atukuzwe Mungu wa mbinguni
@PiusMajo-sg6sc11 сағат бұрын
Kafara ya mwisho wa mwako,nawaombeni abiria wote mlionusurika na ajali hii nendeni nyumbani kwenu
@AnithaThadeo-n2i12 сағат бұрын
Hii ajal ilkua mbaya kwel nmeshhudia mpaka nkatetemeka sana
@HusseinLila11 сағат бұрын
Anita
@AnithaThadeo-n2i11 сағат бұрын
@@HusseinLila abee
@MandoliiMoshi10 сағат бұрын
abiari muache kutukana maderva na mijue pia vyombo vya moto kuna wakati vinafell break pia watembea kwa miguu achen mazarau mnapovuka kwenye zebra mana lolote linaweza kutokea mucviamini vyombo vya moto vukeni kwa tahadhari
@HemedSabuni2 сағат бұрын
Arusha inabidi wajifunze kiswahili
@Maya-bm9buСағат бұрын
Tuache bana 😂
@NuratyHassan12 сағат бұрын
Polen san,,bwan ametoa bwan ametwaa jina lake lihimidiwe
@ibrahimrajab17022 сағат бұрын
Innalillah wainailaih illaihi rajiuw
@nancyg866412 сағат бұрын
yan mashuhuda jmn wengine wanafurahisha, izo pale pale ni kama tunaona hvi😂
@IreneMacha-d5q12 сағат бұрын
😅😅😅😅.et nmejikojolea
@kelvincosmas192510 сағат бұрын
Uyo jombii anavobongaa😂😂
@fatmaahmed863712 сағат бұрын
VIPI HAYOO 😅 MOLA ATUHIFADHI..MBINA ARUSHA IMEKUWA VITUKO ZSIDI VYA AJABU KUBWA? HINGERA SANA DEREVA MUNGU AKUSAIDIE ZAIDI
@MariamMsengi-x7x5 сағат бұрын
poleni saaana wenzetu wa Arusha Kwa mtihn
@RidhiwaniMrisho3 сағат бұрын
Abdul kimaro toa zakaa sheikh
@RamadhaniSelemani-bn1fz3 сағат бұрын
Polen sana jamni rip mama
@pendo9563 сағат бұрын
Dah😢poleni jmn
@mbunistar478011 сағат бұрын
Mhhhh hii kiswahili ya Hawa machalii wa Arusha mhhh aibu naona🙈🙈🙈🙈 2:11
@BarackaShantel3 сағат бұрын
Gari ikalala huku ikalala kule😂😂😂😂
@isackmgema737612 сағат бұрын
Prince john heeee
@frolamaugo392412 сағат бұрын
Poleni sana
@fatmaahmed863712 сағат бұрын
Sio kila ajali ni UZEMBE wa dereva..CHUNGUZENI HAYA JAMANI 😂😂 POLENI SANAA
@fatumahapesamohamedfatumah463312 сағат бұрын
Mungu tu ndo anaejua zaidi ya hili.Lkn hizi nikafara.
@BintyMohammedy2 сағат бұрын
Kwaiyo mnashukuru mama wa watu kufa
@JeannetteManirambona-o6m12 сағат бұрын
Poleni majirani
@sammichael194612 сағат бұрын
Eti yule mama ametuokoa haya unazani familia ya huyo mama ambae amegongwa sahv inajiskiaje
@talentshow202412 сағат бұрын
Daah yaan 😢
@ElizabethWamcha11 сағат бұрын
Uyu mzee ajielewi mana anaongea upumbavu na wkt bado ajafika nyumbani kwake😢
@KhadijamussaMachapat3 сағат бұрын
Ila Arusha nazani ni Nchi nyingine maana Lugha yao balaaa
@agustinohizza139510 сағат бұрын
Nchi ya ARUSHA
@annathomas-wy8yt10 сағат бұрын
Kosa magari mabovu,nashangaa huo ukaguzi wa magari unafanyika vipi
@marthageorge504311 сағат бұрын
😢😢😢
@TumainiGodwin12 сағат бұрын
Duuh poleni😢
@issaali13217 сағат бұрын
Yaani Hawa wa Arusha nazani ni nchi nyingine kiswahili hichi.
@Mina.155 сағат бұрын
😂😂😂
@nicodemuswidambe513212 сағат бұрын
Muwe mnachagua watu wa kuhoji
@kelvincosmas192510 сағат бұрын
Huo muda ukowapii...... Fkiriagaa eroo
@Maya-bm9buСағат бұрын
Tuteme bana 😂
@IreneMtei-z8g12 сағат бұрын
Unajuaje kama alikuwa anakuja nyumbn wakat nimarehem?
@rhodrickdemias94712 сағат бұрын
December
@MuUnited.m5 сағат бұрын
Tuwe pole ila LATRA watumie vifaa husika vya ukaguzi wa magari na sio macho