INASIKITISHA MREMBO MOANA ALIJITABIRIA KIFO, AFARIKI KWENYE AJALI NA BILIONEA GINIMBI

  Рет қаралды 233,357

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 223
@deodatusrweyongeza6747
@deodatusrweyongeza6747 3 жыл бұрын
Ukichukua Maela ya Freemason utakula Bata sana 🤗🤗 mda ukifika unaenda kuwatapika
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 3 жыл бұрын
Mbona iko wazi kbc. Freemoson jmn. Ata umri wa huyo dada. Trh vt viko wazi kbc
@hadijahassan3113
@hadijahassan3113 3 жыл бұрын
@@irenebellabellah4003 viko wazi kivipi dada
@zach4068-c9e
@zach4068-c9e 3 жыл бұрын
Eeh mwenyezi Mungu tunaomba utupe Mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏 hii dunia sio mali yetu bali ni mali yako Mungu baba kiukweli ina huzunisha sana 😥😥😥😭😭😭😭
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Niwachache wanaojuwa hivo
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Yaani jamani tuombe Sana Mungu. Nakumbuka maisha yangu ya ujana, nashukuru Mungu kunitoa huko salama jmn, sio kwa uwezo wangu. Simlaumu maana ukiwa kijana kweli majaribu ni mengi
@veeJesus
@veeJesus 3 жыл бұрын
Leo umeongea point
@tanyanyakipande8082
@tanyanyakipande8082 3 жыл бұрын
Ulikiunga na imani hiyo?
@angelgerald7562
@angelgerald7562 3 жыл бұрын
Kabsa dear
@naifmatar3710
@naifmatar3710 3 жыл бұрын
Yaa Allah tujalie mwisho mwema🙏
@ndudusuleiman3480
@ndudusuleiman3480 3 жыл бұрын
ALLAH IS EVERYTHING Tumuombe atusamehe
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 жыл бұрын
Duh inauma kiukweli
@Mr_Highlights360
@Mr_Highlights360 3 жыл бұрын
Allah atuhifadhi, imagine unakufa ukitoka CLUB, na sii kuswali
@chugagirl4094
@chugagirl4094 3 жыл бұрын
Daah umenifanya nilie Mwenyezi MUNGU atupe mwisho mwema
@farajiissa560
@farajiissa560 3 жыл бұрын
Hatar sana mungu atupe mwisho mwema
@angeljustene9380
@angeljustene9380 3 жыл бұрын
Useme hivyoo wew unajua utakufa ukitoka wapi?
@allyzicko8149
@allyzicko8149 3 жыл бұрын
@@angeljustene9380 Mungu amsamehe madhambi yake
@allyzicko8149
@allyzicko8149 3 жыл бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema
@beatricefayance6831
@beatricefayance6831 3 жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu tuepushe na mwisho mbaya Amen
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
Hawakujua nini kinawasubiri jamani. Mungu anasiri nzito
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 3 жыл бұрын
Sana Jamani, alafu kifo chao eeh Mungu
@maureensunguya8779
@maureensunguya8779 3 жыл бұрын
This is actually scary.. Such a young woman gone too soon
@angelbwija9547
@angelbwija9547 3 жыл бұрын
Uyu dada ametoshewa sadaka 😥😥😥😥😥😥😥😥 pesa za kimashetani siyo pesa jamani,acha nibaki na maisha yangu ya kuuza coconut 🥥🥥🥥🥥🍅🍅🍅🍅🍎🍎🍎🍅🍅🍅🍅🍉🍉🍏🍐🍐🍏🍉🍉
@stephenlusekelo
@stephenlusekelo 3 жыл бұрын
Hahaha
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 3 жыл бұрын
Kwakweli mungu atunusuru
@danfordmwingira8512
@danfordmwingira8512 3 жыл бұрын
Daah all in all life ni zawad na kifo ni fumbo la Imani...🙏
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 3 жыл бұрын
Danford Ameen
@shamsahassan2586
@shamsahassan2586 3 жыл бұрын
Tukumbukeni ibada jamani tusiendekezeni starehe tu,,mautu huja gafla,,na cc tuwa mungu na kwake tutarejea
@ommyTv194
@ommyTv194 3 жыл бұрын
Amini ywa tunajisahau sana maisha haya bila MUNGU sikituu
@shamsahassan2586
@shamsahassan2586 3 жыл бұрын
@@ommyTv194 sana tens Sana,, mungu atupe hatma njema inshallah na atufanyie wepesi ktk ibada zake
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Amina
@abubakariababi627
@abubakariababi627 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa dada angu umenena jambo jema sanaaaa
@mustaphamcheni5231
@mustaphamcheni5231 3 жыл бұрын
Kweli kabsa
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 3 жыл бұрын
Ndo wasichana wengine wajifunze,waache kupenda penda wanaume matajiri bila kujua kapataje hizo pesa.
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Kabisa
@rithamario7951
@rithamario7951 3 жыл бұрын
Aliota ndoto but hakujua maana yake ila ilikuwa direct kwamba atakosa msaada wakuokolewa ila Mungu akusaidie hakujua kuwa ni kifo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Dah wamekufa kifo cha uchungu
@benjaminikimisha7195
@benjaminikimisha7195 3 жыл бұрын
Mungu alimpa hint ya kubadili mwenendo wa maisha yake but she didn't listen and kept ignoring. Rip young lady.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Very true
@amonphilip5902
@amonphilip5902 3 жыл бұрын
Yeah...that's Prophetic Grace alipewa huyu dada...sijui Kama alitengeneza..one year before ..alipewa kutengeneza majsha yake kwa mwaka mzima...what a grace
@zippykambura8149
@zippykambura8149 3 жыл бұрын
Sure
@puregamers4215
@puregamers4215 3 жыл бұрын
Muhim ni kuwa aware na mienendo na maisha yako kiujumla mche Allah popote ulipo coz ata ww apo ulipo unaweza pewa hint ya kifo chako lakin usitambue kabisa so don't judge.
@alexanderedimundi8213
@alexanderedimundi8213 3 жыл бұрын
Atleast she was able to recorginise that was sign of bad omen, and hav fully of fear without knew how to solve it. Other we could take that prophecy as a daily scarely dreams
@eprocharles7391
@eprocharles7391 3 жыл бұрын
Aha maisha sis tunaish tu
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 3 жыл бұрын
duh Allah atujalie khusul khatma yarraby😭🙏
@williambugusu9900
@williambugusu9900 3 жыл бұрын
Ameen
@matridabatista7989
@matridabatista7989 3 жыл бұрын
Hakika kila nafsi itaonja umauti🙏🙏🙏🙏
@emmalwaitamanyerere330
@emmalwaitamanyerere330 3 жыл бұрын
Ibilisi ni adui
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 3 жыл бұрын
Mungu atupe Mwisho mwema
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
In shalaha kwakweli
@hamid0mar43
@hamid0mar43 3 жыл бұрын
Ameen
@kapoyoyomushinga3085
@kapoyoyomushinga3085 3 жыл бұрын
Are don't believe that boss g is gone
@queenmunny244
@queenmunny244 3 жыл бұрын
Ya Allah tujalie mwisho Mwema 🙏🙏🙏
@MukulasiKapela
@MukulasiKapela 2 ай бұрын
Wote motoni hao
@dorisjessy5960
@dorisjessy5960 3 жыл бұрын
Wacheni kulaumu..kila mtu na imani yake mnahukumu mtu hamjui ana uhusiano gani na mungu hamjui kabla wafe waliomba vipi...ama mnawahukumu kwasababu mmetofautiana kutenda dhambi...leave them alone
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 3 жыл бұрын
Jeneza lenyee liko na rangi ya moto🔥 na wamekufa na moto🔥...dah! Makubwa!!!🙆‍♀️
@yunyun799
@yunyun799 3 жыл бұрын
Mmmh we acha ina lilahi waina 😢😢ilayhi ......
@baracudalornge5276
@baracudalornge5276 3 жыл бұрын
na wanaenda motoni 😢
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 3 жыл бұрын
@@baracudalornge5276 Hapo sasa 🙆‍♀️
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 3 жыл бұрын
Iliobaki ni kufanya ibada
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Innalilah wainnailah rajiuni
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Asingepuuza ishara za Mungu inawezekana mauti ya namna hyo yasingemfika kwa maana mtu wa Mungu akiota ndo Kama hiyo lzama asali na kuzikemea ila yeye alipuuza akathamin bata..Mungu amrehemu
@carolinebosibori8305
@carolinebosibori8305 3 жыл бұрын
So painful,,, my sincere condolences to the family
@omalliaman771
@omalliaman771 3 жыл бұрын
Tujifunze kupitia makosa
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭so sad haki wangejua wasingepanda hiyo gari
@rajabungwembe5670
@rajabungwembe5670 3 жыл бұрын
Jaman Sisi Kayumba Ndy Tumeshindwa Kujua Kaongea Kitu Gan Uyu Mdada
@muniraahmed624
@muniraahmed624 3 жыл бұрын
Innaillah wainallilah rajuun😥😥
@azizymangwaru7333
@azizymangwaru7333 3 жыл бұрын
Hi Munira
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Inaumasana
@edwinkambo8224
@edwinkambo8224 3 жыл бұрын
Ooo look
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 3 жыл бұрын
Walochokichuma ndocho watakacho kikuta utajiri hauna mana tuijenge akhera yetu
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Kabisa kwakweli
@rehemahayongo4159
@rehemahayongo4159 3 жыл бұрын
Mungu alimuonyesha kifo kwenye ndoto....mbona hangeomba mwenyezi mungu na kumshukuru badala ya kukimbilia party
@shannelika718
@shannelika718 3 жыл бұрын
Eh Mungu, its like the girl aliechukua video came to say goodbye.
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 3 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaih rajiun
@eliasakhamisi9619
@eliasakhamisi9619 3 жыл бұрын
Rip to them they were very excited
@estermumbua7329
@estermumbua7329 3 жыл бұрын
Wah.Haki wasichana wenzangu mtaacha kupenda wanaume juu ya utajiri wao.Hiyo ni somo.But pole kwa yale yalitokea
@rachaeldhahabu5096
@rachaeldhahabu5096 3 жыл бұрын
Tumche mungu jamani maana hatujui Siku wala saa tutaiacha dunia tusali jamani raha ya dunia niyawakati tuu......RIP.
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 3 жыл бұрын
Dakika 2:40 nyimbo inaitwa nini?
@rehemambonea4972
@rehemambonea4972 3 жыл бұрын
Dah jamani 😥
@sweetyjanne255
@sweetyjanne255 3 жыл бұрын
Dah!!😭
@marychacha7084
@marychacha7084 3 жыл бұрын
Mbona mtangazaji ajafafanua kwa wale wasiojua English 😂 au ndo lugha ya wenyewe
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 3 жыл бұрын
Apo Sasa,
@dastanayubu2160
@dastanayubu2160 3 жыл бұрын
Shida hawajuwi luga
@lucyisrael6121
@lucyisrael6121 3 жыл бұрын
@@joycekasakisya7755 si ajabu na yeye hajui ndo maana kaishia kurudia clip 😂😂😂
@elizabethshilole2699
@elizabethshilole2699 3 жыл бұрын
Mungu awasamee madhambi yenu mpumzike kwa amani hapo neno la Mungu linatimia kesheni mkisali maana hamjui siku wala saa atakayo kuja
@carolinek1186
@carolinek1186 3 жыл бұрын
Listen to your instincts....they have loud noise!!!
@wakashiela7716
@wakashiela7716 3 жыл бұрын
True dea!!I've learnt to trust my instincts too and escaped tragedies if you force things you end up not doing the right thing or something delays you who knows maybe God communicating something!!!
@puregamers4215
@puregamers4215 3 жыл бұрын
Easy way is to be close with Allah coz u can't escape the death.? Ata iweje huwezi.
@arafaally2895
@arafaally2895 3 жыл бұрын
Kuelewa na wanaume wa aina hii ni kujipa mitihani tu
@salehsaleh548
@salehsaleh548 3 жыл бұрын
Huyu alitakuwa aache tena kunywa pombe amtumikie mungu ila kifo ndio kilishapangwa...rip moana
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 3 жыл бұрын
Kifo hakikimbiliki ikifika wakat kila mja lazima afe...hvyo tujitambue mapema tujue nn unapaswa kufanya kwa ajil ya Mola wako na kip hupaswi kufanya.
@JKQGAME
@JKQGAME 3 жыл бұрын
Ndio maana mm sienda club
@reaganlyimo6259
@reaganlyimo6259 3 жыл бұрын
Duh
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 жыл бұрын
Ukiuza roho kwa shetani utajuwa siku ya kufa kama ukikosea masharti uliyo pewa watakupa adhabu ya kumtowa unaye mpenda , hii imenifunza sana kwa kanumba yaani wanakutegea ukosee tuu wakuongezee mazito wapo matajiri wanalala na wazazi wao, wanalala na watoto wao na wanaishi na majoka yanayo kula watu kama sadaka hii imenifunza nikimuona mtu anataka kunipa msaada wa kila wakati ninapo kuwa na shida yaani utamfuata nyayo zake la sivyo watakufanyia ubaya tu hawa watu siyo husababisha ajari zinazo tokea siyo mkono wa mungu ni watumwa wa shetani wanamwaga sana damu za watu na kuwatupia watu magonjwa ya ajabu hawa watu wanasiri nzito hawanaga Amani ukiwaonaga sura zao wanafuraha sana hawatakiwi kukasirika wanajifanyaga wema kumzidi Mungu wezi wakubwa wa nyota za watu utakuta mtu anateseka sana kwamagonjwa na kutafuta ridhiki inakuwa ngumu kupatikana ni wao wanafanya mimi nitaomba Mungu aendelee kuwaadhibu wawe wanaeleza wenyewe siwapendi hawa wanatesa sana watu kwa tamaa zao mbovu. Mungu atulinde nao.
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Mmezingua sio watazamaji wote wanajua language mlitakiwa mtafsiri ili waelewe kipi kimezungumzwa.
@pieremchome5202
@pieremchome5202 3 жыл бұрын
Labda na yeye mtangazazji hajui language kama Mimi.maana naona hapo binti analia tu,sasa sijui alikuwa nalia nini?au labda alikatazwa kwenda kutembea na wazazi wake, muwe mnatutafsiria jamani.wengine hatujui kingereza
@Hustlingqueen254
@Hustlingqueen254 3 жыл бұрын
Anasema kuwa aliota kuwa Yuko Kwa tatizo akawa anapiga nduru watu wamsaidie lakini hakuna aliyemsaidia
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
@@Hustlingqueen254 afadhali kututafsria mm naona analiq tu
@klystry1234
@klystry1234 3 жыл бұрын
Maskini 😭😭
@michaeleustach9769
@michaeleustach9769 3 жыл бұрын
Hakujua hakujua
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 жыл бұрын
Jamani naomben mnitafasilie mimi sijaelewa ameongea nini
@damchone9478
@damchone9478 3 жыл бұрын
Anasema aliota akiwa kwa giza akipiga nduru ya usaidizi lakini hakuna aliemsikia kutoka hapo akawa hana amani na kujihisi kua kwa giza kuzama kwa giza na kukosa hewa
@rosemarynyombi8803
@rosemarynyombi8803 3 жыл бұрын
nimeamin sasa km kweli kafa
@niyogushimaoscar9248
@niyogushimaoscar9248 3 жыл бұрын
Before enjoying is dead
@sadamaenge2044
@sadamaenge2044 3 жыл бұрын
Daah. 😭😭😭😭
@nasramohammed6716
@nasramohammed6716 3 жыл бұрын
Lakini kumbukeni jamani kuwa mungu ni mmoja tuu nae ni ALLAH sio mnaongea tumche mungu halafu wengine wanaenda kwa yesu au madoli ambayo uwezo hayana alafu mtu anaabudu kwaiyo jiokoeni kabla hamjafika mbele ya haki tambueni kuwa hakuna kurudi tena uku mungu Atujaalie mwisho mwema inshallah
@irenenyambeki3094
@irenenyambeki3094 3 жыл бұрын
Wasichana wanependa pesa za shetani ikifikia kutoa sadaka inakya ngumu
@klystry1234
@klystry1234 3 жыл бұрын
She knew this before 😭
@billalphilip5776
@billalphilip5776 3 жыл бұрын
Oliskiawapiiiiiiii
@pieremchome5202
@pieremchome5202 3 жыл бұрын
Jamani tutafsrieni basi huyu binti anasemaje?maana wengine kiingereza hatujui.
@billalphilip5776
@billalphilip5776 3 жыл бұрын
@@pieremchome5202 anachosema kabisa hakiambatani na taarifa ya kifo chake...they are lying to get more views
@charleshaule4008
@charleshaule4008 3 жыл бұрын
She was speaking of her own deathday on birthday, some people has such ability but suprisingly they never realize such capacity. Horrible enough she was crying while such was only an abstract... though it became reality. So sad.
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 3 жыл бұрын
Birthday ikawa death day allah wapokeee wajaa wakoo na uwasameheeee
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
Watu wanatoka club na kifo ,alafu unaombea ivo wakati waliokufa kwenye matendo mema huwaombei
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Mm nimefik zimbabwe jmn nisem ukweli n kuzuli kweli na jmn sauth kuzul km ulaya jmn da kwawezet kuzuln watu full kuinjoy jmni da
@shabanishabanii6203
@shabanishabanii6203 3 жыл бұрын
Tar aliyozaliwa ndio alikufa.. Mungu mjuzi wa yote
@beautylicious6165
@beautylicious6165 3 жыл бұрын
Amina
@tvtv9581
@tvtv9581 3 жыл бұрын
Mungu hasamee mtu kama ulisha kufa but anasamee kama akingali na pumzi
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 3 жыл бұрын
R.i.p
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
R.i.p sote safari ni moja 🙏🙏🙏
@florencegregory8932
@florencegregory8932 3 жыл бұрын
Pesa za majini sio nzuri mwisho wake mbaya tutafte pesa za halallii turizike na hat kile kdgo tupatachoooo
@youthfilmsindustry4536
@youthfilmsindustry4536 3 жыл бұрын
Angemsaka daniel yasngemtokea ayo angetafsiriwa ndoto yake. Wa2 wang wanaangamia kwa kukosa maarfa😔😔😔
@puregamers4215
@puregamers4215 3 жыл бұрын
It seems huna maarifa pia unamwamini binadam mwenzio akutafsirie ndoto. Kumbuka kua kwa dunia ya sasa hakuna mitume wala nabii atakaekuja au yupo. Jitahidi kusoma sana ili upate maarifa.
@youthfilmsindustry4536
@youthfilmsindustry4536 3 жыл бұрын
@@puregamers4215 mbwa ww mweny maarifa komaa😂😂
@73chengosaro4
@73chengosaro4 3 жыл бұрын
HUYU MSICHANA ALIKUWA MTU MWEMA LABDA -- NA dalili ni hii ya kuonyeshwa kifo chake kitavyokuwa -- Mungu am,samehe dhambi zake apate salama yaumul Qiama !!!!
@revocatusrukoijo468
@revocatusrukoijo468 3 жыл бұрын
Unazingua mtangazaji mbona hujatutafsilia sasa au unajua sote tunajua kingereza
@haniphayusuph3613
@haniphayusuph3613 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 3 жыл бұрын
Watu wanapenda kujiunga na chama Cha mason wapate utajiri wa haraka, hiyo ndo hasara yake. tumuombe Mungu na tufanye kazi!
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 жыл бұрын
itakuwa hajuwi nae pia 😁😁
@sharifahamisi9091
@sharifahamisi9091 3 жыл бұрын
Naona hawezi
@happyjuma6718
@happyjuma6718 3 жыл бұрын
Maskini wame enjoy hawakujua mbele kuna nn
@machinefannatic99
@machinefannatic99 3 жыл бұрын
NIliotaga hivi hivi Kia ntagongwa na gari alafu nilipuuzia then siku iliyokuja nikagongwa na gari vibaya sana
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Pole. Ilikuwaje?
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Da pole sn
@jumaramadhani1486
@jumaramadhani1486 3 жыл бұрын
Pole sana
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Pole sana.ndoto yoyote huwa na maana huonyeshwa kbs tatizo ni kutokujari
@pieremchome5202
@pieremchome5202 3 жыл бұрын
Bora haukufa umetupa ushuhuda ili na sis tuwe tunafuatilia ndoto zetu,je ungekufa ulipogongwa na gari nani angetuhadithia ?Mshukuru Mungu sana
@danielutou8694
@danielutou8694 3 жыл бұрын
uo wimbo unaimba apo wanan
@dulasalim5275
@dulasalim5275 3 жыл бұрын
Joe boy baby
@justinemurya5800
@justinemurya5800 3 жыл бұрын
Rest in peace Moana
@wachujahabari3022
@wachujahabari3022 3 жыл бұрын
Bata la mwisho mwisho maskin bila kujua
@michaelalexnyakarungu5537
@michaelalexnyakarungu5537 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 3 жыл бұрын
Kila ndoto inamaana yake inategemeana na kumbukumbu zako katika ndoto
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 жыл бұрын
Duuu
@tonnyezekiel2886
@tonnyezekiel2886 3 жыл бұрын
Tafsiri bas we mtangazaji
@Aysha-ms3ln
@Aysha-ms3ln 3 жыл бұрын
Ametafsiri the sky nenda simulizi na sauti utaikuta ka post tangu jana
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Where did they get all that money at 26
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
From lucifer
@thadeusmathiews2564
@thadeusmathiews2564 3 жыл бұрын
she was sacrificed her self
@josedickson6804
@josedickson6804 3 жыл бұрын
Tatizo dada zetu mnapenda watu wenye hella ujuwi kazipatavipi acheni bhna tamaaaa dah rest in peace
@andrewernest3313
@andrewernest3313 3 жыл бұрын
NASHINDWA KUKUELEWA WEWE MTANGAZAJI.!!!? BADALA YA KUTAFSIRIA WATAZAMAJI MAANA YA HAYO MANENO YEYE ANAISHIA KUSEMA TU "HAYO NDIO MANENO ALIYOJITABIRIA KIFO" NDIO NN SASA..!!?? AU NA YEYE HAJUI LUGHA YA KINGEREZA..!?!?!???! MAANA HAPA KUNA WATAZAMAJI HAWAJAELEWA CHOCHOTE!!
@alexjulius366
@alexjulius366 3 жыл бұрын
Mason washaanza kuvuna mmoja mmoja
@ummyproductnatural4512
@ummyproductnatural4512 3 жыл бұрын
Vijana nyie muogooeni mola wenu hamjajiumba mmeumbwa akiyamungu maadili ya shetani yamezidi Mara dufu duniani Mtu ukifa huko kwa mungu sijui unafikaje? Kwani mungu hajatuleta kuja kustarehe kiasi Cha fujo km hivi Akhera kunarudika vizuri? Hatuhukumu Ila tunahukumu kwa dhahiri ya matendo ya wanadamu yamezidi uchafu Mara dufu
@dastanayubu2160
@dastanayubu2160 3 жыл бұрын
Ame zungumza nn mbona utafusiri
@jamboleotv9413
@jamboleotv9413 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/npfXn2eGgd2brKs Bonyeza hiyo link ili kupata makala nyingi za kuelimisha na kuburudisha na Denis Mpagaze
@brayanphilipo1851
@brayanphilipo1851 3 жыл бұрын
RIP
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Duniani ni ubatili mtupu
@issakamangila9113
@issakamangila9113 3 жыл бұрын
Ukikopa utalipa atakama utachelewa kulipa maneno ya baati bukuku
@zakizzyjrajuu1706
@zakizzyjrajuu1706 3 жыл бұрын
Ivi wewe vidox saut yako imekuwa je?au umemlilia sana ginimbi?
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 3 жыл бұрын
Zacky hahaha jmn
@billalphilip5776
@billalphilip5776 3 жыл бұрын
Kumbe the beautiful also die??
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 3 жыл бұрын
huyu ana kwenda motoni hao wote wali ishi ki fahari na ki malaya hawaku mjua Mungu leo wako jikoni
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
Mtihanii Allah atuhifadhii ...atupe khusnil khatma
@puregamers4215
@puregamers4215 3 жыл бұрын
We nani mpaka useme motoni.?
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
@@puregamers4215 😂😂😂😂
@yohanashaban5848
@yohanashaban5848 3 жыл бұрын
Ulisikia wp?
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 3 жыл бұрын
When u sell ua soul to the devil for firm
@tvtv9581
@tvtv9581 3 жыл бұрын
It's sad
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 3 жыл бұрын
But u same people worship zari the boss lady who is also a Freemasonist.
@tvtv9581
@tvtv9581 3 жыл бұрын
@@jacklinengozi1122 lol u know when u rich, u get respect of all kinds. Now people are worshiping them like God, even more that God
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
*fame*
@mtaalumaelias8619
@mtaalumaelias8619 3 жыл бұрын
Mumkumbushe na Diamond a acane na kufanya kazi na mambo ya masheitwani kule kugawa pesa hazarani sibure kuna jambo!
@RED-kr5vc
@RED-kr5vc 3 жыл бұрын
3:09 mhh mitandahoni
@assoum_N
@assoum_N 3 жыл бұрын
😂😂😂
@emmalwaitamanyerere330
@emmalwaitamanyerere330 3 жыл бұрын
Mikataba
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 3 жыл бұрын
Alikabwa jinamizi. Hakuona chochote. Alikosa hewa na akawa anaomba msaada na watu hawamsikii. Sema kwake huenda ilikuwa first experience....akapost video!
@neemasunguya290
@neemasunguya290 3 жыл бұрын
Mmmh ndo mana tunatakiwa tumjue mungu tuache ya Dunia huyu Dada pamoja na ukahaba wake bado mungu alikuwa akimpenda ndo mana alimuonyesha mauti iliyopo mbele yake ili atengua Babat mbaya hakujua hayo R P
@zainaanzuruni1247
@zainaanzuruni1247 3 жыл бұрын
@@neemasunguya290 iyoo nikwel ndugu yangu Pasipo mungu sisi atuwezi chochote 😢😢
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
MSIBA WA KITAIFA-RIP ANNA MDEKA
1:20
MC Msangi events
Рет қаралды 22 М.
Mazishi ya Ivan Ssemwanga, Mume wa Zari, Kufuru Tupu!
3:16
Global TV Online
Рет қаралды 351 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН