RAIS SAMIA ATEMBELEA KABURI LA HAYATI JPM, AMFARIJI MAMA JANETH MAGUFULI

  Рет қаралды 134,581

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 102
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 2 жыл бұрын
We miss you 💔😭 #JPM
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 жыл бұрын
Jaman tunataka magufuli day kwan alipendwa Sana na watu wa kipato Cha chini kina sisi hakika aligusa wengi binafs nilmpenda mno kurud ndo haiwezeka 😭😭 endelea kupumzika dady🙏❤️
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 2 жыл бұрын
Pumuzika kwa amani baba yetu tutakukumbuka daima
@celinaceline4236
@celinaceline4236 2 жыл бұрын
R. I. P mpendwa sana John Pombe Magufuli.
@bamwangauhdsunlightvideos3917
@bamwangauhdsunlightvideos3917 2 жыл бұрын
Pumzika kwa aman baba jpm tutakukumbuka daima.
@mathewmathayo212
@mathewmathayo212 2 жыл бұрын
Anashangaa leo toka asubuhi sisi huku jua alijatoka tumeshinda na mvua isiyokuwa na buguza hii ni ishara nzuri na jinsi gani hii siku ni muhimu kwa mpendwa wetu pumzika kwa amani jpm asante mungu
@neemamalamla
@neemamalamla Жыл бұрын
Umenifanya nikoment maana huku niliko imekuja mvua ya ghafla Sana na tuliamka na jua Kali Sana hakika alikuwa Rais aliyebarikiwa na mwenyezi Mungu .... hatimaye Leo umetimiza miaka miwili baba mwenyezi Mungu aendelee kukuangazia mwanga wa milele cku zote Amen.
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 2 жыл бұрын
Yaani nampenda sana Dada angu kipenzi, mama Samia una moyo mzuri sana, kila iitwapo leo huwa nakuombea maisha marefu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 жыл бұрын
Mama Samia Mungu Akubariki sana. Tunakutakia kila la heri katika majukumu yako. Kumbuka kunawatu wako mbali sana wamejificha wanakuombea siku hadi siku ili Mungu Akujaze hekima yake huruma upendo na kukuombea afya njema. Pole mama yetu kwa wakati mgumu huu na pole na kazi Amin!
@adrushassaan9948
@adrushassaan9948 2 жыл бұрын
Dah hata mwaka ulikuwa ni bado aiseeee hatari mungu atulinde
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
Tunataka magufuli day
@liliansamson674
@liliansamson674 2 жыл бұрын
Itakuwepo tu hata waicheleweshe ila itawekwa tu
@ayshaabdullah6400
@ayshaabdullah6400 2 жыл бұрын
🤗🤗
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 жыл бұрын
Nikwel aisee
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 2 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman daddy Hakim tutakukimbuka😭😭😭. Maana naona mvua inanyeaha hakika alikuwa mtu anaye penda ibada🙏🙏🙏
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 2 жыл бұрын
Ni kweli Mvua kubwa imenyesha ,dalili za mtu mwema maana tangu afariki tumeteseka na ukame lkn Leo Baraka imetushukia wanachato.Mungu ni mwema sana
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 2 жыл бұрын
Hakika alikuwa mja wa mwenyezi Mungu. Maana Samia yeye anatoa salamu ya Tanzania basi . Hata sijui kama anasali kwa kweli
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
@@estamichoromichoro5634 MASIKIO YAKO YAPO MKUNDUNI.
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 Sina cha kukujibu . Mungu pekee yake ndo wa kukujibu
@antonnadenade4597
@antonnadenade4597 2 жыл бұрын
Mama hafai kuwa mgeni rasim watu wanaonewa hivi
@mamy8220
@mamy8220 2 жыл бұрын
Pumuzika kwa amani baba wetu 🙏🙏🥺😭
@Malangalusaede
@Malangalusaede Ай бұрын
God bless
@thobiaskatoyo8622
@thobiaskatoyo8622 2 жыл бұрын
Wanafurai kumwona mwamba amelala🤭🤭🤭haya bn mungu yupo pumuzika baba mbele yetu nyuma yako
@francisboniphace1483
@francisboniphace1483 2 жыл бұрын
Tena wanafurahi mpaka ck ya kumbukizi et anapigiwa cm kwa hyo alikuwa hana mda huyu mama
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya BABA yetu mpendwa mahali pema peponi 😭😭
@naymadaniel3361
@naymadaniel3361 2 жыл бұрын
Amen🙏
@khalfanifarisy8313
@khalfanifarisy8313 2 жыл бұрын
1 wacorinto 15:18) wakristo mmepotea.
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Жыл бұрын
Mama mh rais pole sana 😭😭😭
@Suleymanathuman
@Suleymanathuman 2 жыл бұрын
Kichwa kimelala
@azizaselemani9791
@azizaselemani9791 2 жыл бұрын
Mama yangu Raid wangu kipenzi nimefurahi sana kuifanya siku yakumbukizi baba yangu hayati Rais magufuli mungu akulinde raid wangu mama samia Endeleza mama kila mwaka umfanyie kumbukizi kama Leo pia Fan lia wamefurahi mno pia wananchi wamelipokea vizuri rais Samia hongera hara Mimi naona yote alioacha mtangulizi wako unayafanya pia mengine unayaongezea mungu ilinde tz mungu mlinde samia mungu walinde watanzania Aaamina
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Hyupo nahatokuwepo wakuvaa viatuvya ayati jpm shidazawnanchi sikuhizi haztatuliwi niblablaatu
@victortawa9809
@victortawa9809 2 жыл бұрын
Kifo cha JPM kililisononesha bara nzima
@zachariangangaa658
@zachariangangaa658 2 жыл бұрын
Dunia nimapito, lala salama rais
@suzanjames-on2iw
@suzanjames-on2iw 6 ай бұрын
Rest in peace baba yetu
@cesyjonathan3038
@cesyjonathan3038 2 жыл бұрын
R.I.P shujaa wetu me binafis nimekukumbuka sana
@ditropkihaula6063
@ditropkihaula6063 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba yetu
@naomichambo8648
@naomichambo8648 2 жыл бұрын
Tumshukuru mola kwa Kila jambo
@shukurumlekwa431
@shukurumlekwa431 2 жыл бұрын
Jpm mpendwa wetu pumzika Kwa amani
@akimumichael8132
@akimumichael8132 Жыл бұрын
Wasaapu
@yawepetro2049
@yawepetro2049 Жыл бұрын
Ila nilicho jifunza ukitenda mema dunian mema yana kufuata ataukifa ona kabuli la magufuli jaman linazidi kung'aaa
@merryjames9560
@merryjames9560 2 жыл бұрын
Mungu awetaa ktk familia ya kitanzania lala salama hayati jpm.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Kaka lala kwa amani kaka jipm
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Kaka wewe umetangulia Ila bado sis kamwe atuwezi kuku sau kamwe
@susankitila8684
@susankitila8684 2 жыл бұрын
Watu wakauv jamani hivi kweli. Mh. Magufuli amelala hapo 😭
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 жыл бұрын
hii picha ya Magufuli 5:51 ninayo tangu April 2021 mpaka ivi sasa
@muderwawawa2073
@muderwawawa2073 2 жыл бұрын
Rest in peace our jpm
@stanslausmeshack4283
@stanslausmeshack4283 2 жыл бұрын
Mama mnafki hyo muone had kasahau kabur lilipo af anatuigizia km anamchora mwanetu magufuli
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Chuki ni mbaya sanaa lolote utakalo fanya in baya mama siku nzima yupo chato kuomboleza kakosea asingeenda angetukanwa binadaamu kaazi kweli kweli,ila ndugu upende usipende huyu ndo rais wa awamu hii.
@tonnyford5782
@tonnyford5782 2 жыл бұрын
Tunaomba hii cku iwe inatangazwa kuwakumbusha wananchi Ili tushirik pamoja sio juu juu tu,Leo ilibid wstanzania tumuenz magufuri Kwa vitendo
@francisboniphace1483
@francisboniphace1483 2 жыл бұрын
Yaani mama mwenyewe mpaka kapigiwa cm jaman
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 жыл бұрын
Kwel
@nasras7902
@nasras7902 2 жыл бұрын
Ivi mama ake Magu yupo wapi bado anaumwa au maana muda sisikii hata kwenye msiba wa mwanae
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
Mgonjwa na baada ya kwenda kaburini raisi alipelekwa kumuona sema hakupigwa picha
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 2 жыл бұрын
Apumzike kwa Aman JPM
@arafahashi5043
@arafahashi5043 2 жыл бұрын
Daima utaishi moyoni. R.I.P
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 жыл бұрын
Siku kama ya leo Tanzania. Tumegubikwa na wingu zito kama hapo chato unawekewa baraka ya matone ya mvua. Kkuashiria ni siku takatifu.kwake anawakarisha wageni kwa.mvua msipingwe na juwa. R.I.P magufuri
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 2 жыл бұрын
Hata mbeya pia!hakika magufuli ni malaika huko aliko
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@newahomwashiuya8858 zuia kinywa chako usijekumkosea MUNGU bure
@elishasolomon9742
@elishasolomon9742 2 жыл бұрын
R.i.p j.p.m
@halmakalage4566
@halmakalage4566 2 жыл бұрын
Continue rest easy baba yetu kipenz
@allymbailwa413
@allymbailwa413 2 жыл бұрын
Wameitendea haki siku muhimu Sana ya kumbu kumbu ya aliyekuwa raisi wetu apunzike kwa amani
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Sisi wana mapinduzi wazawa wa Tanzania pan Africanists tunayo Magufuli day na tunafungua Magufuli University. Tanzania kwa ajili ya wazawa na rasilimali zake zimafaidishe wazawa
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Mbona sijamwona Yule mtu ambaye huwa sikuhz ndio mtoa mada kila mahali
@emmakifimbo6792
@emmakifimbo6792 2 жыл бұрын
Kuna watu wanajiita walokole wanasema tumeenda kuabudu mizimu walokole wote duniani siwapendi kabisa mbwa
@calabash4221
@calabash4221 2 жыл бұрын
Usijali kabisa...mizimu ya mababu zetu ndio mpango mzima....tumepoteza direction Kwa kusahau mila na desturi zetu
@zayedmohamed9283
@zayedmohamed9283 2 жыл бұрын
Nyooooo
@patriciatengelakwi6456
@patriciatengelakwi6456 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba
@elicykatole6019
@elicykatole6019 2 жыл бұрын
Lala shujaa wetu
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 жыл бұрын
wapi JK jamani wapi Salma kumsindikiza mwl mwenzie walikuwa shule moja mke wa Rais kama yeye,Ally Hasan afya yake ya uzee ilijulikana hawezi kwenda,wapi Nape wapi JYM ,Tnazania yetu ni moja.
@mathewmathayo212
@mathewmathayo212 2 жыл бұрын
Hao uliyowataja hawawezi kwenda kwani ni aibu kwao na nafsi za zinawasuta mungu anaweza akafanya yake kwa hayo maombi yalliyofanywa na wananchi nchi nzima unaweza ukajihukumu mwenyewe na roho lazima ikusute na hilo doa haiwezi kukutoka mpaka kufa kwako
@eliasmathew6866
@eliasmathew6866 2 жыл бұрын
comedy
@mariamakungwa5391
@mariamakungwa5391 2 жыл бұрын
R.I.P magufuri
@davidmuharagi4357
@davidmuharagi4357 2 жыл бұрын
hiii siku ni ngumu ety pumzika kwa amani2
@chachawaryoba8522
@chachawaryoba8522 2 жыл бұрын
But But I
@leonorakira1229
@leonorakira1229 2 жыл бұрын
I'll
@mustafachihepo5343
@mustafachihepo5343 2 жыл бұрын
Billion ngapi imetumika kupamba hilo kaburi na ukumbi wake?
@adeelhaji1574
@adeelhaji1574 2 жыл бұрын
Itakusaidia nn ukijua...?
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 2 жыл бұрын
Pambana kwako
@rehemakasebele4232
@rehemakasebele4232 2 жыл бұрын
Na ukijua itakusaidia ni ni
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 2 жыл бұрын
Mbona ukisema bilioni zilizotumika kufanya sherehe ya mtu kufika mwaka kugawa Hera kila wilaya umeona ya kupamna kaburi boya wewe
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 2 жыл бұрын
Anaroho mbaya kenge huyo
@marymgimwa9461
@marymgimwa9461 2 жыл бұрын
Duuuu MUNGU weee
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Unafki wa bibi kizeee
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 2 жыл бұрын
Mama janeth kanenepa kweli marehemu jpm alikuwa mkali hadi nyumbani
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 2 жыл бұрын
Akili zako hazitoshi wala hazijai kwenye kufuniko cha soda .. Unawaza kunenepa haujui kama kunenepa n ishara ya uvivu na ufinyu wa mawazo? Mtu anaewaxa sana hawez kunenepa , Mtu anaepambana na mwenye njaa ya mafanikio hawezi kunenepa ata siku moja, ngozi ngumu mnatukuza sana unene 👊🏻👊🏻👊🏻
@zephaniamayeye4902
@zephaniamayeye4902 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@hafidhali815
@hafidhali815 2 жыл бұрын
Pole kaka pole mtanzania mwenzangu na haya yatapita tu kaka
@haniffa9024
@haniffa9024 2 жыл бұрын
CCTV CAMERA YA ASILI DAWA YA KUKUPA MAONO JUU YA MAISHA YAKO .ITAKUONYESHA MADUI ZAKO.WOTE. m.kzbin.info/www/bejne/jJ67fqZ-orZnkLs
@stellakaluwa3647
@stellakaluwa3647 2 жыл бұрын
Itakufaidia Nini mtu ukipata Dunianzima na vyote vilivyomo akiipoteza nafsi yake? Nafsi ya mtu inathamani kuliko utajiri wote Duniani hivyo Magufuli anathamani kuliko mabilioni yaliyotumika pumzika kwa Amani mtetezi wa wanyonge
@marthashirima535
@marthashirima535 2 жыл бұрын
Tunaomba kumbukizi day ya magufuli
@malyelyemalugu3373
@malyelyemalugu3373 2 жыл бұрын
Hii siku ingewekwa siku ya mapumziko kwataifa
@user-se6nl1pw9u
@user-se6nl1pw9u 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@ombennassary7438
@ombennassary7438 2 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani jembe la Tanzania Magufuli ulifanya kazi kubwa
@Muuzambuzi
@Muuzambuzi 2 жыл бұрын
Pumzika jembe
@haniffa9024
@haniffa9024 2 жыл бұрын
CCTV CAMERA YA ASILI DAWA YA KUKUPA MAONO JUU YA MAISHA YAKO .ITAKUONYESHA MADUI ZAKO.WOTE. m.kzbin.info/www/bejne/jJ67fqZ-orZnkLs
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 34 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI
9:42
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 631 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН