MAKONDA AMWAGA MACHOZI NA KUWALIZA WATU KWENYE KABURI LA MAGUFULI "RAIS AMENIPA NAFASI, NAKUAHIDI"

  Рет қаралды 126,523

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 309
@davidkembo7484
@davidkembo7484 10 ай бұрын
Am Kenyan but I feel so much pain in my heart Magufuli was a leader for the poor,for the down trodden a leader for the widows and orphans Magufuli was a honest man truely we as east Africa lost one of the most iconic leader of our time.
@williamkeita1519
@williamkeita1519 10 ай бұрын
Relax he is die but will live forever in Africa he will appear at defferent country at defferent time
@mashjojo5153
@mashjojo5153 10 ай бұрын
Rip my president.... your forever in our hearts.
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 10 ай бұрын
So true I miss him
@vianpeter6701
@vianpeter6701 10 ай бұрын
For sure
@josejosia3024
@josejosia3024 10 ай бұрын
"Please believe in jesus christ GOD in the name of jesus christ he is very do miracle thanks and god bless you
@danieljs4285
@danieljs4285 10 ай бұрын
aisee hakuna kifo cha mwanasiasa kimewahi kuniumiza kama magu
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 10 ай бұрын
Dah pia mm bro jamaa alikua yuaitendea haki kazi yake tena sana kwa wanyonge na maskini
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 10 ай бұрын
Kaka ni ukweli usiopingika usemayo ni kweli,lakini tumebaki na wezi
@salvinaseif6151
@salvinaseif6151 10 ай бұрын
Naumia mpaka kesho
@MwanaidiDakari
@MwanaidiDakari 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa 😢
@martinakyoo148
@martinakyoo148 10 ай бұрын
R I P Dr Joseph Pombe Magufuli Rais wa kipekee Tz na duniani pote
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 10 ай бұрын
Hakika ameenda ila kila nikipita ubungo kiukweli roho yangu inaniambia kazi yako ilikuwa njema sana tena njema sana umeacha alama R.I.P mwamba Magufuli
@queenmapunda7868
@queenmapunda7868 10 ай бұрын
Niliwahi kumsikia Rais wangu Magufuli akisema watanzania nipeni muda hamtatamani kwenda ulaya lkn ametuacha kabla ndoto kutimia.Ee Mungu tupe mtu kama Magufuli.
@dominickkemorymageta
@dominickkemorymageta 10 ай бұрын
Watanzania tulijua kwamba tutakaa miaka mingi ,kuja kumpata kiongozi kama baba yetu makufuli,basi Mungu wetu wa mbinguni,ametuletea Makonda,hongera sana Makonda,chapa kazi iendeleeee nakupenda,Dominic kemory,tarime
@ElizabethKilumbo-r1s
@ElizabethKilumbo-r1s 9 ай бұрын
Naye hatadumu . Tunza hayo maneno yangu mawili .
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 10 ай бұрын
Magufuli ni mbegu njema tutakuenzi hata tukisemewa vibaya unabaki mioyoni mwetu JPM
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 10 ай бұрын
Mngu mlinde makonda mbegu iliyo panda na magufuli watanzania tuzd kunufaika amen
@godblessnehemia9685
@godblessnehemia9685 10 ай бұрын
Tumepotezaa jembee lakin mungu yeye anamakusudi yake mungu yeye ni mwema wakati wote😢🙏
@surusuru1994
@surusuru1994 10 ай бұрын
Masha Allah ❤❤😭🕊️🕊️🕊️allah amrehm rais makufuli❤
@victorcephas3618
@victorcephas3618 10 ай бұрын
Jemedari wa Tanzania aliyezima kama mshumaa akatuachia simanzi na majonzi yasiyokwisha dah ulisema tutakukumbuka Kweli Mwamba tunakukumbuka 😢😢😢😢😢😢 #MunguIbarikiTanzania
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 10 ай бұрын
Hakika ni MTU atayekumbukwa daima na watanzania
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 10 ай бұрын
Alikuwa Rais mwema sana
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 10 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭Makonda unanitonesha kidonda tena kilichoanza kupona unayoneaha pale place
@estermathias8354
@estermathias8354 10 ай бұрын
😭😭😭😭
@dottokagoro2164
@dottokagoro2164 10 ай бұрын
🙄🙄
@aishaissa2512
@aishaissa2512 10 ай бұрын
Pumzika kwa amani baba yetu😢😢😢
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 10 ай бұрын
Du ! hakuna jinsi Juu ya Kifo Basi tu !, Tumekukumbuka Sana Brother Jpm , Familia ya Marehemu Charles Stephan Nhigula wa Nyakato Mwanza , Tunamwomba Mungu Ailaze Roho Mahala Pema peponi , Amin .
@desoskaka411
@desoskaka411 10 ай бұрын
John Pombe Magufuli will live forever in the hearts of all Africanists and we won't betray his legacy
@kombakarata1884
@kombakarata1884 10 ай бұрын
🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼J P M miyooni mwetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@phanuelphilipo5859
@phanuelphilipo5859 10 ай бұрын
Namuoma magufuli ndani ya makonda 😢
@polokotomwalusamba1132
@polokotomwalusamba1132 10 ай бұрын
Usingiz ukiisha ndio utajua kama ni ndoto ama vip
@ommymaconcept6420
@ommymaconcept6420 10 ай бұрын
​@@polokotomwalusamba1132hahahhahah, bora umeniwahi
@hassanbukambu931
@hassanbukambu931 10 ай бұрын
​@@polokotomwalusamba1132Hivi ndoto Ujui muda mwingine huwaga ni kweli au haijawai kukutokea
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro 10 ай бұрын
As a kenyan ..will never forget that day.....the hero of east Africa
@FrankMahatara-nh5sn
@FrankMahatara-nh5sn 10 ай бұрын
Makonda asante kwa kumuombea baba yangu magufuli
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 10 ай бұрын
R.I.P NGOSHA BUT NA IMANI MAKONDA KAJA KUUAPA KWAKO.🙏🙏🙏🙏
@queenmapunda7868
@queenmapunda7868 10 ай бұрын
RIP my president, JMP, always you are remembered by your people.Your legacy will live forever.
@waterforlife9356
@waterforlife9356 10 ай бұрын
Makonda nakupongeza kwakila hatua yako..... mola akutangukie Na familia mala awape subira
@gizymax369
@gizymax369 10 ай бұрын
Mungu akupe pumziko la milele Baba yetu magufuri we love you 😭😭😭😭
@FidolinRichard-zs3iw
@FidolinRichard-zs3iw 10 ай бұрын
Kamwe mh Paul makonda sitoweza kukusahau Kwa kuwa muhaminifu na upendo wa dhati Kwa Mzee wetu na mpendwa wetu mh John Joseph magufuli. hakika ni majonzi makubwa sana kwangu umeniachia mungu hailaze mahala pema pepon Amina,
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 10 ай бұрын
Mungu ibariki tanzania Mungu ibariki Africa RIP mjomba Magu 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@JoelSanga-mv6qt
@JoelSanga-mv6qt 10 ай бұрын
Nimejikuta na mimi nalia 😢, pumzika kwa amani Rais wangu kipenzi
@nestor384
@nestor384 10 ай бұрын
Rais wa kweli wa wananchi aliwahi kutokea Tanzania. Ulale pema mwana mwema wa Afrika. Ulale pema mwana wa mtu uliyesimama imara nchi yako isichezewe! Mioyo yetu wananchi wako haijawahi kupona Hatujawahi kunyamaza kukulilia John. RIP King💔🙏🏻💪🏻
@augustuss4503
@augustuss4503 10 ай бұрын
Gone but not forgotten, R.I.P king Magufuli.
@petergeordayo2503
@petergeordayo2503 10 ай бұрын
Hakika Mungu tunakushukuru
@samsonmakombe9636
@samsonmakombe9636 10 ай бұрын
Paul Makonda, kwa maimbi yako umeliza watanzania. Hongera kwa mombi na aksante.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 10 ай бұрын
ishara tosha i🙏naonyesha wazi kua alikua kipenzi cha watu tangu afariki watu hawakauki kumtembelea na.kumuombea, 💟 sote ni waja wake na kwake tutarejea pumzika shujaa wetu🤲🏾🙏
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 10 ай бұрын
Pumzika kwa amani mwamba wa Africa na Tanzania nakupenda sana jpm mzalendo Toka moyoni kwa taifa letu .wewe ni mfano katika maisha yangu.jpm inaniuma sana
@Monicalushola
@Monicalushola 10 ай бұрын
😭😭😭
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 10 ай бұрын
Mhubiri 9:5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 10 ай бұрын
Imekaa vizuri sana.
@monikamasasi7582
@monikamasasi7582 10 ай бұрын
Ila bado tuliopo duniani tunaweza kuondoa uchungu na kukumbuka wafu hao hata kama hawajui lolote,
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 10 ай бұрын
@@monikamasasi7582 hatuwezi kuongea nao , at least according to christian faith....kwa hiyo yeye kwenda pale na kumuambia mfu kwamba amepewa kazi nk , wakati anajua kabisa hawezi kupata majibu haileti maana...LEO HII CCM ndio wanamkumbuka Dr Magufuli...? , unafikiri kwa nini ?
@liliansamson674
@liliansamson674 10 ай бұрын
Kwakweli tumeumia sana kumpoteza JPM
@FROLIANGODWARD
@FROLIANGODWARD 10 ай бұрын
,,,,😢😢😢 Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema Tunaomba uzidi kutupa Moyo wa uvumilivu hasa tunapoondokewa na Wapendwa wetu...
@annapeter-wb6iv
@annapeter-wb6iv 10 ай бұрын
Hakika Malinda umekuja kwa wakati sahihi walikua wakimsema vibaya na kumbeza tulimia sana lkn ujio wako ni matibabu ya vidonda vyetu ❤❤❤❤❤❤❤❤ Paul Cristian Makonda
@jenipherwilliam4402
@jenipherwilliam4402 10 ай бұрын
mungu awabariki nyote namue .nasafari njema
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 10 ай бұрын
إنا لله وإنا إليه راجعون
@ingozescopion
@ingozescopion 10 ай бұрын
Naiona CCM mpya imerudii CCM inayojali wanachi Makonda mungu akupe ujasiri adui zako wawe adui wa Mungu
@malikkb6444
@malikkb6444 10 ай бұрын
Nimetokwa machozi na umenitonesha Kidonda😢 R.I.P Baba
@elizabethvenans3672
@elizabethvenans3672 10 ай бұрын
❤❤❤❤rip magufuli bado tunakupenda baba yetu
@edsonmunuo7112
@edsonmunuo7112 10 ай бұрын
Eeh Mungu,.eeh Mwenyenzi,.kiukweli umenifanya nilie tena,.kiukweli watanzania,.Mungu ametupa neema kubwa saana,.hakika Mungu hatotuacha peke yetu 😢😢😢
@abeliantony7085
@abeliantony7085 10 ай бұрын
Hatutakusahau Mtetezi wetu Johni Josephu Pombe Magufuri Rais wetu wa awamu ya tano, ulidhamilia kuijenga Tanzania kama mjiwako ulitamani Tanzania iwe Nchi ya mfano, Baba Mungu mlinde vizuli saana Hayati Johni Josephu Magufuli tulimpenda saana lakini wewe Baba ukampenda zaidi, Amina🙏
@barikimollel7890
@barikimollel7890 9 ай бұрын
Pumzika Baba Magufuli Mungu akupe kibali cha kuwaongoza malaika kama ulivyosema
@rizikimlela8162
@rizikimlela8162 10 ай бұрын
Makonda kamakweri unampenda makufuri fatanyaozake teteawanyonge siomatajiri raiawananyanyaswa namatajiri kwasababu hakuna serekari yakuwatetea mfaterafikiyako makufuri
@josephfrank4446
@josephfrank4446 10 ай бұрын
😢😢huwa najikuta nalia tu Magu daah pumzika baba wa taifa
@user-fx4bt4hz2x
@user-fx4bt4hz2x 10 ай бұрын
Makonda ww ni mzalendo wa kweli numuomba mungu akuonyeshe njia yakulifikisha taifa hili mbali kumkumbuka kwa jpm umenifanya nikuone mtu wa tofauti sana na unafaa kuwa kiongozi wa juu zaidi namuomba mungu ww iwe njia yake Ili uwapambanie wanyonge
@producerema291
@producerema291 10 ай бұрын
Always in our hearts our President.
@jozamsolomon4002
@jozamsolomon4002 10 ай бұрын
Hakika Makonda alikuwa rafiki wa dhati wa marehemu Magufuli, nampongeza ni zaidi ya ndugu, wachache sana wanaokumbuka fadhila.
@catherinemdage4905
@catherinemdage4905 10 ай бұрын
Mhhh, hakika bado na on a Kama Nata vile. Mungu liangalie Ta if a hili la Tanzania. Watie nguvu familia tote.
@FortiMtolela-xl2nb
@FortiMtolela-xl2nb 10 ай бұрын
Daaah MAKONDA umeniliza leo daaah😢 R.i.p John pombe magufuli
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 10 ай бұрын
Makonda awe raisi 2025
@kingelieshabani7235
@kingelieshabani7235 25 күн бұрын
Asante sanaaa mweshimiwa Paul Makonda zidi ku tenga haki kama raisi wa zamani aliye pita Magufuli na Mungu aku wezeshe.sababu kazi yaku tenda haki ni ngumu sanaaa na sisi wanadamu hatu pendi mtuu anaye tenda haki.mimi ni mkongo ila na penda sanaaa utendaji kazi wako pia wa raisi aliye pita.MUNGU AKUWEZESHE kila leo
@liliansamson674
@liliansamson674 10 ай бұрын
Kwa kweli tumeumia sana kumpoteza JPM
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 10 ай бұрын
Umeumia peke yako like jizi kama nengine
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 10 ай бұрын
Inaumiza sana, sijui wapi tulipomkosea Mungu, ni heri angeghairi. Tunakushukuru Mungu katika kila jambo, ila wasikilize Watanzania wanavyomlilia JPM. RIP Baba yetu JPM
@josephkaunga8014
@josephkaunga8014 10 ай бұрын
Hakika Mungu ni mkuu najina lake litukuzwe daima
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 10 ай бұрын
President Magufuri gone tooooo soon. Rest in peace Sir.
@estermathias8354
@estermathias8354 10 ай бұрын
Wewe ni shujaaaaa YESU akutie nguvu😭😭😭😭😭
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 10 ай бұрын
Hiyo rangi hiyo hiyo hiyo😭😭😭😭Rip JPM,rip Tz😭😭😭😭😭
@YukundaJanuari
@YukundaJanuari 9 ай бұрын
Makonda mungu akubaliki kwahicho ulichokifanya Yani mungu azidi kulipa afya njem
@neemamajwala8211
@neemamajwala8211 10 ай бұрын
Mwacheni Mungu aendelee kuitwa Mungu, missing,love Magufuli.
@hawamabira1499
@hawamabira1499 10 ай бұрын
Rest In Eternal JPM💔
@KHAMISKHATIBFAKI
@KHAMISKHATIBFAKI 7 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda nakuombea kheri na baraka kutoka kwa M/Mungu akusimamie katk uongozi wako utusimamie kwa unavojitahidi niko kisiwan Pemba lakn siku zote macho yangu yanatoka machoz kwa unavowasimamia wanyonge haki zao Allah atakupa ufanisi mkubwa zaidi kwa unachosaidia
@deusisindwa616
@deusisindwa616 10 ай бұрын
Hata Mimi nimejikuta natokwa na machoz
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 10 ай бұрын
Makonda asante, leo nimeanza kuomboleza
@EliwadaKikoti
@EliwadaKikoti Күн бұрын
Mungu kila sku maombi yangu ni makonda tu kuwa rais
@venancemalima1181
@venancemalima1181 10 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Rais Magufuli. Bwana alitoa,Bwana alitwaa jina lake litukuzwe.
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 10 ай бұрын
Hatari sana
@gabrieljuma1459
@gabrieljuma1459 10 ай бұрын
Nakuombea siku moja uje ushike hii nchi
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 10 ай бұрын
Ukiona hivi uchaguzi hauko mbali.
@honestthug.official2524
@honestthug.official2524 10 ай бұрын
Yaani naumia sana MAGU R.I .P Yaani basi tu🙏
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 10 ай бұрын
Daaih moyo unauma sana akika tutakukumbuka daima magufuli
@wilfredwilliam9117
@wilfredwilliam9117 10 ай бұрын
Safi Sana makonda
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 10 ай бұрын
Dah.jaman tunajitaid kusahau ila Kuna muda tunashindwa kuvumilia ila uyu bab mim aliniuma san kiukweli mpaka kesho napale ninapo hona badhi ya srhem aliyo tuachia man Toka kupat uhuru simchezo tumekuja kupat vitu adim kutoka kwake natulikuw na Imani kupat vit adimu juu yake tulikupend san na tutazidi kukukumbuka bab😭😭
@jeradisaningo-ts4sd
@jeradisaningo-ts4sd 10 ай бұрын
Jamani😭😭😭
@yusuphlukas-k1d
@yusuphlukas-k1d 10 ай бұрын
Amakweli kizuri hakidumu pumzika kwa amani j.p.m
@Passy-gj9nc
@Passy-gj9nc 10 ай бұрын
Mungu akupe Pumziko la Milele mpendwa wetu JPM
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 10 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 10 ай бұрын
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 9 ай бұрын
God if your wish bless us Makonda at your time we shall say Amen. Leo nimegundua kumbe uchungu wa kukupoteza hujaisha hakuna wa kutunyamazisha watanzania majonzi ni makubwa nimejikuta naanza msiba upya 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 10 ай бұрын
RIP MAGUFULI....ILA MAKONDA ACHA MCHEZO WA KUIGIZA.....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HACHEZEWI KWA USANII WAKO!
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 10 ай бұрын
Usanii Gan Sasa na Wewe Unaona hapo
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 10 ай бұрын
😢 asante makonda
@NyamtigaIbrahim
@NyamtigaIbrahim 7 ай бұрын
Hakika Magufuli Umetuachia Kidonda Kikubwa Kisichoelezeka Mengi Uliyoyafanya Ni Alama Ya Moto Katika Fikra Zetu Mioyo Yetu Daima Tutakukumbuka Kwa Mchango Wako Hapa Duniani
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 10 ай бұрын
Well done Mh.Makonda kwa kukumbuka fadhila za Mh.JPM wa Tanzania wote tuliyempenda Mh.JPM kweli hata mkifanya utafiti wa ki sayansi juu yake
@nabosedward4836
@nabosedward4836 10 ай бұрын
Asante Mungu ulimtwaa eliya umetuletea elisha
@ImmaMpinga-eo2sv
@ImmaMpinga-eo2sv 10 ай бұрын
Jembe la kazii
@mariethjohn3074
@mariethjohn3074 10 ай бұрын
Tunakukumbuka daima
@SarahMauka-ii1gd
@SarahMauka-ii1gd 10 ай бұрын
Pumzika kwaamani baba yetu makufuri amina
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 10 ай бұрын
Natamani hata Mimi nikaseme mengi kwenye kaburi la kipenzi Cha watu Mugufuli tumekukumbuka. Baba yetu ingawa inauma Sanaaaaa
@TomasMvela
@TomasMvela 10 ай бұрын
Rest in peace comrade john joseph pombe magufuli....hakuna mtu aliyewai nishawishi kwangu uwe the best president kati ya niliyowai kuwashuhudia in my lyf.....utendaji wako tu...na kamwe hatokuja tokea wa kunishawishi nibadili mtazamo wangu kwako.....haupo nasi ila roho yaki bado inaishi...mioyoni mwetu....mc u much MR PRESIDENT.
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 10 ай бұрын
Still today cant believe his done😢💔he was 1 in a million RlP Magufuli ❤❤❤
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 10 ай бұрын
Mhhhh jembe letu kipenzi chetu Maghufulihatutakusahau milele Mungu ndiye anayejua
@EmanuelisMichael-kw9nf
@EmanuelisMichael-kw9nf 10 ай бұрын
Dah😢
@alexkiowi1790
@alexkiowi1790 10 ай бұрын
pumzika kwa amani
@monikamasasi7582
@monikamasasi7582 10 ай бұрын
Imenikumbusha ile siku tulipo pata taarifa ya kifo Cha Baba yetu Magufuli aiseeeeee,Tanzania tumepoteza jembe ila naamini ipo siku ndoto za Mwl Nyerere ndoto za Magufuli zitatimizwa tu,rip Daddy
@emmaboka959
@emmaboka959 10 ай бұрын
Magufuli, Yan nahc kuumia sanaaaa
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 10 ай бұрын
Leo nimelia tena kwa ajili ya Hayati Magufuli,
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 10 ай бұрын
Daah! Aisee na mimo nitakuja kutembelea Kaburi La Shujaa wangu John pombe Magufuli 🇹🇿💪💪🫡🫡
@WilliamSomela-h9s
@WilliamSomela-h9s 10 ай бұрын
Magu tunakukumbuka sana jembe la wa tz na taifa kwa ujumla nikuombe makonda uzarendo uendelee kwako nakufwatilia naona unapita katika nyayo za magu.
@NuruMbongo
@NuruMbongo 10 ай бұрын
Msiba wa Magufuli hautaishia milele watanzania kila siku tutalia
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 10 ай бұрын
❤❤❤🙏🙏🙏❤❤
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 79 МЛН
Action News anchor Brian Taff's full interview with VP Kamala Harris
11:20
6abc Philadelphia
Рет қаралды 1,2 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 98 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН