Mji ukiwa mkubwa na matukio yake in makubwa Kwa kweli hatujasahau like la juzi Maombi Yangu msituambie kuna watu
@emanuelkattani99067 күн бұрын
Inchi za wenzetu watu wakipiga pesa huwa wanalipua majengo,,, kupoteza ushahidi
@SimonMabigi7 күн бұрын
Watu wameshapiga ela hapo 😂😂 hii nchi bana daaah pigen ni mda wenu😂
@RizoIbrahimovich-z4f7 күн бұрын
Ko wamepigaje hela hapo
@OmyCrez7 күн бұрын
Jengo la TRA halina hata langi pesa zote wanazochukua,saiv mtu akiiba tu anapoteza ushaidi huo ni mpango umepangwa kwanza kodi zipo juu sana sikuizi
@HamidJuma-h8w7 күн бұрын
Bora liungue lote walishawahi kutulipisha million 70 kwa kosa ambalo halikua la kwetu mbwa hao
@sgjjkwbueow7 күн бұрын
Chumba kilichokuwa na ushahidi kiliungua😂😂
@joycemlay57627 күн бұрын
Mmmh ikiwa ni jengo la mambo ya kiserikali mnazima na hilo libembea ila nyumba zetu mnaleta magari yasiyo na maji
@JaneyChigga5 күн бұрын
Hapo naona kuna watu wana hacra zima moto kuwahi yaani bac tu😂😂😂😂
@Omaritobaomari7 күн бұрын
Mungu amewaona
@OmyCrez7 күн бұрын
Jengo limejengwa na kodi zetu linaungua kirahisi rahis tu kuna kitu hapo
@IvanDamian-ht6mg7 күн бұрын
Kuzika kesi kufuta ushahidi 😂😂😂😂😂😂
@ChristinamohamedMollel-b5p7 күн бұрын
Duh hii nchi bana eti kamishina wa mapato Tanzania,, sa kwann TRA
@frankmsai74617 күн бұрын
IZO NIMBINU ZA WASOMI KUPIGA BIKO
@robertphilip3857 күн бұрын
Kabisa
@AllyMchenga7 күн бұрын
Watu wanaziziuka na mkutano wa maraisi wajuba wanachoma mafaili ya ela ze2 nchi ya uhuru sana iii
@mpendamema36947 күн бұрын
Mzigo ushaliwa WATU WANAONDOA tu Ushahidi watanzania Kiweni na Amani
@johnmwasilu70877 күн бұрын
Hamna kitu kama hicho siku hizi. Hizi ni zama za teknolojia. Kuna mfumo wa Disaster Recovery Site hakuna taarifa au record inayopotea hapo
@mohammedkhimji75057 күн бұрын
faili za wahusika zimeungua... hakuna kesi hahahaha
@francisosodo80017 күн бұрын
Sikuizi wanajaza kwenye mfumo ndugu😅
@mohammedkhimji75057 күн бұрын
@@francisosodo8001 na miundombinu za mfumo zime hifadhiwa wapi? Makunduchi?
@siamuchunguzi7 күн бұрын
Mwenyezi Mungu anaona
@SalamaNauthar7 күн бұрын
ALLAH Nururu na hili yarabbi🤲🤲🤲
@issaalfani10307 күн бұрын
Wamewahii ingekua jengo la mlalahoi badae sana
@nsiamasawe45787 күн бұрын
Nipo hapa naangalia miondoko ya mabos wa TRA hawana hata mshtuko
@salehwaziri50627 күн бұрын
Wanaunguza kumbukumbu hao hawanashida
@PrinceHendry-hp8vv7 күн бұрын
Pesa zetu ndo zateketea wao hawana neno😀
@JaneyChigga5 күн бұрын
Kama tulikuaa wote yaani!! Hawawazi hata kidogo
@LikandaKatanje6 күн бұрын
Lingeunhua soko wala wasingehangaika serikari
@KamugishaSupe7 күн бұрын
Mungu awasaidie
@Leodimk-n5c7 күн бұрын
Duuuu 😮😮😮
@TrifonMegician7 күн бұрын
Jeshi la Zimamoto 🇹🇿🇹🇿🙏🙏
@YshaBadru7 күн бұрын
Na bado dhulmati wakubwa 😂😂😂wakiwa njee hawana adabu kutesa watu wanasahau bila ya kodi zetu hawapeleki mdomo kinywani
@FatmaMwaka-n7p7 күн бұрын
Duuuuuh .k/koo Kuna nini jaman
@ProfessorPaul-u5l7 күн бұрын
Kumbe vifaa vipo,tulijua avipo 😅
@ramadhanmbudo15967 күн бұрын
Huo mjazano wa watu kariakoo kimakazi na biashara ifike hatua uondolewe ili kupunguza majanga pia penye wengi Pana mengi.Poleni Sana Allah awanusuri na kadhia hiyo
@ReginahJackson7 күн бұрын
Kila mtu awebize na nchi yake😢
@rosemerymwalongo58587 күн бұрын
Mhuu cna neno kwakuwa ni hawa watu
@mahersaid2587 күн бұрын
Daaah😂😂😂mjn rahaa
@MwanaidiAthumani-e6l7 күн бұрын
Jamani wanataka kupoteza ushaidi
@gililwise7 күн бұрын
Wamezulumu mtu Mungu kaamua kulipiza Kwa njia hiyo
@OphiryNtirniga7 күн бұрын
Du ! Mungu turehem
@HamisiNguche7 күн бұрын
Ndugu, hii Hali ya kupitishana wenyewe bila kupingwa hii! Watu watakuwa wanaonyesha hasira zao kwa mitindo Tofauti. Tutafakari Sana yasike yakotokea ya Msumbiji na Congo. Changamo Ni kubana madaraka. Kuminya na kujipendelea wenyewe. Hasara ya yote haya Ni makubwa.
@FatumaMwage7 күн бұрын
zinazo ungua niliba zawanyonge 😢😢
@moodjeco58447 күн бұрын
Hatimae wamefiwa
@JacobJoel-cb3ni7 күн бұрын
Sasa wenyew talatibu hivyo jamani kufungua maji tuuu wanategeana
@saidinkanda9477 күн бұрын
Polen ila kwa ujumla miundombinu ya kariakoo kuhusu njia ni ttz
@AshuraRamadhan-h7x7 күн бұрын
Pole sana😢😢
@SaumuSaidi-z2v7 күн бұрын
Hapo kuna mkono wa chadema chunguzeni mn juzi walikataliwa kufanya maongezi yao na waandishi wa habali
@AshiruBushira7 күн бұрын
hapa no qadari ya allah ndugu zangu
@HijaSaid-t6c7 күн бұрын
Twngeneza tatizo tatua tatizo
@allymwakomola44707 күн бұрын
Ujanja wa zamani ukiiba pesa unachoma moto nyumba...😅😅 ishapitwa na wakati
@leokamil62847 күн бұрын
Kwani vielelezo vipo ofisi moja tu?
@Kabwela7767 күн бұрын
Wameiba Na wanachoma kupoteza ushahidi ni hujuma hizo , ofisi za TRA zilitakiwa ziwe nje ya mji kwenye eneo lenye ulinzi wa hali ya juu. Na kwa nini fire department wachelewe kuzima moto wakati ofisi ziko mjini kabisa ?
@JohnJacob-k6e7 күн бұрын
Machozi ya Ulomi hayo labda!!!!!
@shmohd117 күн бұрын
Kumbukumbu zote za Kodi ziko ktk Saver za TRA. Usifurahie kwamba Data zitapoteq
@shomarymussa69707 күн бұрын
Wameshapiga pesa hapo tayari
@MohamedKiletee-z3n7 күн бұрын
Zuchu sisi niwalewale
@AbasiMadege-ot2of7 күн бұрын
Wameunguza nyaraka za serkali
@mickeyraymond80077 күн бұрын
Kuna maombi ya mtu yamejibiwa
@HijaSaid-t6c7 күн бұрын
Upepo pampu ya kizamani haina nguvu
@sgjjkwbueow7 күн бұрын
Ni hujuma au ajali ya kawaida?
@SalimuAwadhi-f8q7 күн бұрын
Oh my goodness
@GuidoLadislaus7 күн бұрын
Ni hizo dhuluma
@ramayonline22817 күн бұрын
Chanzo cha moto tafadhali 😢😢😢
@AnthonyGabrielGwarisanga7 күн бұрын
TEKETEENI Wote Kumamamako ZENU TRA mmelaaniwa nyie ni maadui namba moja wa mafanikio ya Watazania
@MonicaMacha-q7y7 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@bcozhenry26987 күн бұрын
Tumepigwa tayari masalio yetu
@AlbinMsechu7 күн бұрын
Wakimbize hela zetu zisije ungua
@modimpoz75465 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@Ali.salimu7 күн бұрын
Ayo tv tuko. Live
@robertphilip3857 күн бұрын
Upigaji unafichwa hapo
@ImaculathaMasuka7 күн бұрын
Mnampa Mama Yetu Mawazo tu. Rais wetu anafanya ili na lile. Yanatokea ya kumuumiza tena....
@jamesmeitalami4677 күн бұрын
Duhh
@MwanamkuuAli-i4o7 күн бұрын
😢
@devothaignatius52567 күн бұрын
R.I.P.Magu
@MwanamkuuAli-i4o7 күн бұрын
Duuuh
@mpendamema36947 күн бұрын
Pesa za kampeni Vijana wako makini kuhakikisha maza Hapigi mzigo 2025 kuweni na amani watanznia
@Yusuphrevocatus-g3v7 күн бұрын
wana choma ushahidi
@babatidaawa65507 күн бұрын
Aisee wa pili kuandika nipeni maua yangu😂😂
@richardrichope35287 күн бұрын
Hao wajinga wanapoteza ushaidi wa walivyo iba musiwalilie mbwa hawo
@maryaloyce38287 күн бұрын
Duh
@GhairiaRamadhan7 күн бұрын
SEMA UKOSOLEWE NYAMAZA UZALILIKE😂
@victorbakampenja63937 күн бұрын
Juzi LOS ANGERS Imeungua watu wakasema n LAANA je hapa Nipo tuiteje😂😂
@zuwenaalamin89857 күн бұрын
Laanakum😂😂😂
@victorbakampenja63937 күн бұрын
@ sio pouwaa 😂😂
@MasoudGaddafi7 күн бұрын
hongereni Jeshi la zimamoto na uokoaji kwa wepesi wa respond eneo la tukio... tuwape mau yao JZT..