Uyu jamaa hata ukimpora mali zote abaki hana kitu atatajirika tena. Smart, wise, hardworking & God fearing 🙌🏼
@samnkoba18565 ай бұрын
Kweli huyu jamaa labda umpe uchiz ila ukimpora kila kitu baada ya mwaka jamaa anakupita tena kwa mawe 😂😂😂😂
@IsaacLameck-nz8yr5 ай бұрын
God fearing ana piga pombe ?
@peterlujuo16405 ай бұрын
@isaaclameck Kaa apo apo ukidhani wanaokunywa pombe wote hawana hofu ya mungu, nyinyi ndo wale waumini wanakufa njaa kwa kuona biashara flani flani ni za kidunia. Kaa apo apo na ufala wako
@Norahtemu-hj7zw3 ай бұрын
God protect u dear
@MkumboJaphet-yx3jpАй бұрын
Kwamba abaki na Ufala wake😂😂😂😂@@peterlujuo1640
@EmmaKija5 ай бұрын
Mulokozi Mungu akubariki sana Wasomi wengi Tanzania tunachelewesha mendeleo ya nchi Protocol nyingi kichwani lakini action mbov
@damariszuckschwert94895 ай бұрын
My son will be a next billionaire. Hongera sana kijana, the sky in not a limit.
@patientlazaro69305 ай бұрын
Nimependa sana jamaa anajielewa. Maisha yake ni ushuhuda👌. God is everything
@Official_Evara5 ай бұрын
This guy is so intelligent and real with life! Never seen such a perfect house in East Africa🧢 Big Up sir!
@andrewmziray22335 ай бұрын
Leo nacoment kwa mara ya kwanza huyu jamaa n mtu na nusu. Hongera mulokoziiii
@albertlyimo28125 ай бұрын
Asee Milard Ayo wewe pia uko talented sana,huyo mwamba nimesikiliza mawazo yake sana,amejua kutenganisha elimu yake na maisha halisi,natamani nifike babati nimuone fanya mpango wa appointment mkuu
@ericahajuna15552 ай бұрын
Nimekupata na nimekuulewa Baba Mimi kipindi nimemaliza Chuo Mwaka Jana Nilipofata Kazi Hotel Watu Au Wanafunzi wenzangu Walinicheka But Sasa Hv Wananambia Niwaunganishe Asante Mungu Kwaajili Ya Kila Mtu anaweza kutuelimisha🙏
@MillenMlay5 ай бұрын
Libarikiwe tumbo la mama alie kuzaaa..wanawake msitoe mimba jaman yawezekana wanatolewa watoto kama hawa
@faidhamyovela1795 ай бұрын
Hata kama binadam.hatuwez kufanana kuna ataeza jambaz kahaba mweny kama huyo bas ili maisha yaende lazima tutofautiane
@KulwaKisansa5 ай бұрын
Ha ha ha 😂
@zebedayokatamaduni96765 ай бұрын
Mungu awafanikishe katika hilo la sim , mtaipatia nchi yetu Tanzania heshima na nitanunua sim yako Mulokozi nasubiri
@saysophyfarm17804 ай бұрын
Mungu amtunze sana huyu tajiri, huyu ni asset katika nchi yetu.
@emanuelherman70295 ай бұрын
Dah Mulokozi huyu mtu siyo wa kawaida fikra zake zinaenda mbali jinsi anavyoishi na watu wa Manyara ni elimu tosha kwa jamii haamini katika ushirikina kabisa mwenyezi mungu aendelee kukubariki pia hongera za dhati kwa Ayo Tv na Millard Ayo kwa kutuletea interview bora kuwahi kufanyika Tanzania tunasubiri Episode ya 5
@sarahmero45615 ай бұрын
Aise huyu kaka nimempenda tena namuombea kabisa kwa Mungu alimlinde na kumuongezea hizo baraka,binafsi nimefurahi sana kuona tajiri msomi maana watu washakariri matajiri hawana elimu 😒 this is such a powerful success story aise thank you millard
@ahz69075 ай бұрын
Usomi wake ametumia asilimja chache sana katika kutengeneza utajiri wake...uzoefu wa kazi ndio msingi wake
@hemedmtunguja97885 ай бұрын
Kweli kabisa
@kilungukitamu55775 ай бұрын
Big up brother wafanyabiashara wengi hukwepa Kodi wewe umekuwa mfano 🎉
@kijokombao53455 ай бұрын
Safi sana huyu mtu mi nlikua simjui kumbe tz wapo watu wenye hela zao na wametulia tu,hongera sana bro
@michaelmulokozi15125 ай бұрын
Na huyo ni muhaya, lkn Hana sifa kama ambavyo inachukuliwa😂😅 kwenye jamii
@faidhamyovela1795 ай бұрын
Siku zoteee wat wenye hela hawanaga makelele daima ipo hivo
@ChoroTesla5 ай бұрын
@fotunatusimsongole7341 mwijakua ni chizi
@ChoroTesla5 ай бұрын
@@michaelmulokozi1512watu wana mawe kimya kimya wametulia tu...... hawa wajinga wajinga wa town ndo wanatuletea tabu km akina makonda.
@chrisskucha61085 ай бұрын
Sasa makonda anahusikaje hapo tatzo unaroho ya wivu mno
@Ilu_tinker5 ай бұрын
Millard thanks bro 🙏 hizi ndo interviews za kufunza hustlers in streets, MADINi ni mengi sanaa this is all we need to hear and not motivation speakers wa manyoya hadi kuku miaaa😂💥🔥much respect to u all, Millard & Mulokoz👊🫂next episode please 😅😂
@elicknyega73175 ай бұрын
Huyu jamaa ni genius aisee
@user-cd8rc5jp2i5 ай бұрын
Ukiachana na mulokozi, milard ayo nae ni mtu mwenye akili sana. Mtakuja kunielewa baadae📌
@deborakemmy62535 ай бұрын
Basi @millardayo katika interview zako zote hii ni the best interview kwangu narudia rudia yaani!!
@dianajoseph89515 ай бұрын
Ndg Mulokozi hongera kwa kazi nzuri...ni jambo jema saana ila sasa Wahaya mrudi muwekeze Kagera imesahaulika.. umetoa ajira babati bukoba jeeeee???
@idrissaissa5607Ай бұрын
Niaje Deborah
@juvenalyfratherne86965 ай бұрын
Aisee sichoki kukusikiliza Mungu wa mbinguni akulinde akutunze ,, uzidi kuwa mnyenyekevu
@zawadibernard82325 ай бұрын
Watanzania tumshukuru Huyu baba kufunguka watu wa level hii huwa Hawafunguki
@JacksonNovatM5 ай бұрын
Matajiri wengi wabinafsi.
@sir_ENOCKMACHA4 ай бұрын
Huyu broo sio mchoyo wa maarifa ndio maana Mungu kambariki na anazidi kubarikiwa
@-kagerayetubw9jx4 ай бұрын
Kweli kabisa
@felikisimon5 ай бұрын
Lakini pia millard nakushukuru kwa hili. Unajua kututafutia watu wa kutufundisha bwana sasa apa isingekuwa hii kazi yako wewe huyu jamaa si rahisi kumfikia na kupata madini kama haya. Hongera sana kwa kazi yako nzuri
@benedictinelusambo0695 ай бұрын
M nilichojifunza ni mungu ndo Kila kitu katika maisha ukifanya kazi kwa bidiii na ukimtegemea mungu lazima ufanikiwe ila kuwa tajili ni kipawa ambacho si wote wanakuwa nacho
@mariam2055 ай бұрын
Aisee mm nimvivu ku comment lakini kwa huyu jamaa nimeshindwa kunyamaza mungu akutunze broo
@user-eg1pk1sw4j5 ай бұрын
Dahh millard huyu jamaa n genius aiseh.
@ishmaelsimon66175 ай бұрын
Huyu mwamba namemwelewa. no fake yani, ametiririka kila kitu. Barikiwa sana. Yani hadi nimepata pa kuanzia
@legacytrainingservices2 ай бұрын
He is so real
@maniscamullah62825 ай бұрын
Da safi sana.....HILI NENO MILAD KALIONGEA MARA ELF 6
@johnmichael93815 ай бұрын
😂Hatar
@deborahkihaka69755 ай бұрын
He is amazing, he is a gem for our nation, an example to young people
@friedahjohn5 ай бұрын
Hii interview ina nondo kuliko kukaa darasani na kusoma biashara kwa miaka mitatu. Asante sana Millard.
@anthonygavin775 ай бұрын
Mimi nimepata degree tayari.
@legacytrainingservices2 ай бұрын
Sure then the guy is so generous
@goldenmaduhumedia46815 ай бұрын
Nimekuelewa kaka Mulokozi na nimepata elimu kubwa
@petermangowi5 ай бұрын
Hii interview imenitengeneza sana.. hongera sana Brother kwa hatua uliyofikia, pia nikupongeze kwa kushare mapambano yako... imenifanya niweze kufikiri zaidi.
@StellaDaniel-os4mo3 ай бұрын
Nashukuru sana tajiri wangu mungu akupe maisha marefu.
@joshuajustustz5 ай бұрын
This Episode 4 kuna madini hatari. Picha linaendelea... Dak 13 Mr Mulokozi anakuambia ana nguruwe 1'000+, farasi 20+, ngamia na nyati maji😮 doooh kama vile nauona utajiri wa king Solomon. Dak 23 Swali unategemea kustaafu ukiwa na umri gani,,, kama umesikia vizuri farasi kaguna kagoma jamaa asistaafu mapema😂 Dak 31 Nimejifunza kuficha mafanikio ni kuwa na nidhamu ya woga... Kama kweli mafanikio ya halali basi taja ili iwe funzo kwa wengine Dak 43 Tajiri ana hadi PA duuh Na bado hajafikia ndoto zake... INTERVIEW BOMBA SANA. Naisubiri Episode 5 🎉🎉🎉
@millardayoTZA5 ай бұрын
😂😂👊👊
@athmanhincha70075 ай бұрын
✊✊
@lissujonas54525 ай бұрын
@@millardayoTZAhuyu jamaa nampataje
@lilianjoseph47564 ай бұрын
@@millardayoTZABro nn maana ya PA nisaidie
@nagaboeh.3 ай бұрын
Sana kaka
@user-yj3gy4jc1t5 ай бұрын
Uko vizuri sana unahela jalafu huna dharau watu wajifuze sana
@bezarelchilewa40622 ай бұрын
Bravo Mulokozi. Uko 100percent correct. Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa nae Zanzibar. Alikuwa boss wa UNDP alihitaji kuajiri wafanyakazi,nikamuomba aniajiri Mimi akakataa na kunoomba tuendelee kunywa soda zetu. Nikashangaa. Nikamuuliza anahitaji watu wenye sifa ipi? Akanijibu anataka wale waliopata Division 4 na zero. Kwa sababu hao ana uhakika atakuwa nao muda mrefu na hawatamsumbua. Wale wa Division 1,2 na 3 hawataki kabisa maana Bado wanahamu ya kutafuta mafanikio mbele. GOD BLESS YOU.
@stewardlugan5765 ай бұрын
Bro respect you pia Mungu amwongezee marifa zaid katika kazi zake 🙏🙏
@user-wu3ld2ti1k5 ай бұрын
Asante nimejifunza kitu hapa
@kakawamashariki89785 ай бұрын
Tumtangulize Mungu mbele, Safi Sana Braza kwa kuyatambulisha mafanikio yako katika Msingi wa Imani kwa Mungu. Pongezi pia kwa kutoa nafasi ya matoleo kwa jamii na hasa wahitaji.
@devidkingu24395 ай бұрын
Brother ni kitabu cha kujikwamua kimaisha na Ayo unajua kuhoji maswari ya kujenga bravo
@ContentBurrito-jj9yi5 ай бұрын
Kaka shikamoo naomba sana sana nisaidie mtaji kaka nipo dar Sina kazi nilikua naendesha kirikuu nimenyanganywa nisaidie mkuu nipate kirikuu mkuu mungu akupe nguvu.
@bakaribakari64445 ай бұрын
Muombe Mungu kwanza aliye mmiliki ww na yeye utapata tu
@VancePeter-dh3cw5 ай бұрын
Kwer
@neemamwanga54475 ай бұрын
Hongera sana shemeji Mungu akupe maisha marefu siku moja na wish kuwa kama wewe nimejifunza Changamoto zisinikatishe tamaa nimeanguka kipato kabisa Mungu nipe maarifa mapyaa
@faidhacute5 ай бұрын
Mulokozi hapo nmekuelewa sana yaan kwamba ukiwa unafanya kazi Kuna time unatakiwa ujipongeze ni nzuri hyo nmeipenda sana❤
@mesietwilliam9725 ай бұрын
The best Interview ever! Hongera sana brother Mulokozi na ahsante sana brother Millard!
@hamisikisinzah81135 ай бұрын
Huyu Mulokozi yuko vizuri na kwa kweli elimu yake imeweza kumsaidia katika kutafuta fursa na pia amekuwa muwazi hii saaafi Saaanaaa!!
@graceandrew39885 ай бұрын
Tunahitaji wasomi wanyenyekevu wasio na majigambo kama Mulokozi, hukukata tamaa ulipoona partinerships zinafaili,kuna la kujifunza hapa.Pia hukuona majivuno ya kusoma nje ya nchi,umerudi na kuamua kuajiri watanzania wenzako,Mungu azidi kukuinua umepewa kipawa cha kuona mbali sana sana.Hongera mno kaka yangu ❤
@hammerymachogu38853 ай бұрын
Hongera sana Bro binafsi nimejifunza mengi nami nina ndoto za kuja kumiliki kampuni yangu , Mungu akufanikishe zaidi na moyo wa uzalendo kwenye nchi yetu, big up.
@maniamba.tz_3 ай бұрын
Kumiliki kampuni raisi shida kusimama kiuchumi
@Royalcakespoint5 ай бұрын
Kikubwa hapo imani ya dini yake...sadaka anazozitoa kwa jamii pamoja na kujituma ndio kilichomfikisha hapo ...tuna la kujifunza....hongera kwake
@user-mv5et9nq9s5 ай бұрын
Asante sana kaka kwa kufunguka. Haojaongea uongo kama King msukuma. Maana watu wa biashara tunakuelewa.sana
@innocentadolf72844 ай бұрын
Dakika ya 34:17 asee bonge 1 la point. Ushirikina ni mojawapo ya factor muhimu mno inayoturudisha nyuma sana sisi waafrika not only kwenye ishu ya maendeleo but also kwenye hali za maisha yetu wenyewe kwa wenyewe. Salute broh kwa kulitambua hilo.
@quilijohn86345 ай бұрын
A very bright, hard working & focused young man! Mungu akuzidishie!
@noorbazaar90635 ай бұрын
A sentence with a lot of adjectives! Thanks 🎉
@ts9dna8625 ай бұрын
KIUKWELI HUYU JAMAA NI SUPER GIFTED GENIUS
@juliusjohnii78233 ай бұрын
Nimempenda saaaana huyu Don Simlizi zake zimenijenga sana. Sasa Naona siwezi tena kuwa hivi Nilivyo,maana ni viiiingi nimejifunza, I have big future.. Thanks Tajiri.
@gladnessmtei87065 ай бұрын
This is a power talk na kwa watakao fatilia aliosema hapa for sure watapiga hatua ....thank you for sharing ...umezungumza njia nyingi sana za mafanikio
@edwardminango86823 ай бұрын
Uyu billionaire yupo safi saaana ni smart saaana kichwani yaaan actually ana vitu vingi saaana me nimempa maua yake nice ❤
@johnmessi68315 ай бұрын
Kwa mambo ya ukabila hapo kiukweli my hands 🙌 down and I’m proud of you, wewe ni mtanzania mzalendo na hii ndiyo Tanzania 🇹🇿 tunayoitaka, Grand rising ✊🏾💯
@joycemaimu72654 ай бұрын
Haya madini ni aghalabu kuyapata duniani,,,,Big up Mulokozi
@jumaissa5424 ай бұрын
Mimi nimekuelewa tofauti kidogo, haukutaka kutumia watu maarufu kutangaza biashara yako ila umeamua kutengeneza nyumba ambayo imetumika kutangaza biashara yako na umefaulu, hongera sana broo hii ndio maana ya elimu.
@sayunikihunrwa49495 ай бұрын
Kuna mtu alikua atuuwe kabisa haki yamungu , ila hapana mungu anamipango . Hongera kaka tunajifunza mengi yani duu umetupa mwanga wa fulsa na namna hukutaka kampuni ife ukihofia kuuwa ndoto za wengi duuh. Fikiria namna matajir wengi waliishiwa na watu wakakosa ajira jaman familia zikaumia nyingi .
@olympiamtenga87615 ай бұрын
Yaani kaka uko vizuri, umeongea madini tupu barikiwa sana kaka.. barikiwa Milard
@muhidiniabass43855 ай бұрын
Kuna kitu nimejifunza kwako bwana mulokoz, shukrani mirad
@rhodajackson22135 ай бұрын
KICHWA ! Ahsante sana / yaaani MADINI TUPU
@fenrickmsigwa74374 ай бұрын
This interview is so waoh, the man is so wisely. Nimsjifubza mnoo. Hongera sana Mr Mlokozi. Maono na Kampuni yako vizidi kutunzwa
@user-ko8on1ue5y5 ай бұрын
Daa hongera sana Kaka millard naomba niombee kazi ndugu nipo mbeya aniajiri ktk kiwanda Cha iwambi _ mbeya.
@user-bg8en4qc3d5 ай бұрын
Huyu jamaa ana madini - mpaka unatamani millard atengeneze episode 10. We still need to hear from this man. More episodes please Millard
@user-og9kq4ef3s5 ай бұрын
Anajieleza vizuri sana, na anajibu maswali kwa ufasaha, maelezo yamenyooka, mifano hai na mengineyo. Mahojiano hayachoshi kabisa. Na kujifunza mtu unajifunza. Hongera millard hongera na kwa mulokozi piaa.
@musakalangahe68765 ай бұрын
Exactly. Huyu anavyojieleza, unajua kabisa utajiri mbali ya mali, ni akili yake.
@badifundi60895 ай бұрын
Chenye anasema jamaa ni pure true.. Alhamdulillah mm sima elimu ya veterinary lkn kuna veterinary doctor kwa kampuni yetu na inabidi mm nimpe elimu kulingana na experience Niko nayo cha ajabu anatumia elimu hio hio anakuja ku impliment kwangu ni kana kwamba yy ndo alkua anajua na hajui chochote na ametokq shule😂😂.. experience is more better than izo documents
@beatricerweyemamu55405 ай бұрын
Ndiyo faida ya elimu hiyo...!!!
@MulumbaJaneАй бұрын
Thanks mulokozi we hv learnt alot , im watching from New zealand
@NancyMlemba4 ай бұрын
HONGERAA SAAANA KAKA MUNGU AZIDI KUKUTUNZA NA KUKUWEKA. BIG UP MILARD BILA WW TUSINGEMJUA BWANA MULOKOZI. PIA NAMUOMBA KAMA ANA HOSP KWAAJILI YA STAFU NAOMBA KAZI HAPO MM NI MUUGUZI MSTAFU WA MWAKA JANA NAOMBA KAZI HAPO
@tatutumbi46405 ай бұрын
Hongera mwanangu, Mungu Azidi kukutangulia kwenye maono yako. Akupe Afya,Uzima,Amani na Furaha. Ayo nashukuru kwa kurusha hii habari ya kijana anaye pambana. Mbarikiwe Wote🙏🙏
@Truly_Afrikan5 ай бұрын
Aloo am speechless, what a brilliant guy. Yes nyumba sio ya kifahari kama alivyosema but the things inside it it's dope. Imagine we look alike in business idea woow am into minerals liquor industry idea in my head, real estate and lastly pharmacistical as well . I am encouraged
@neemangunda26945 ай бұрын
Hongera sana kwa kweli nimependezwa sana na interview Yako . Nimejifunza kitu sana kupitia wewe nafikiria fursa nyingi sana . Ni mitaji TU tunakosa lakini kumbe hata kidogo unaweza kuanza kitu na ukafika mbali
@NgengeMkeni-uo5hq5 ай бұрын
Good one Millard, hii session nimeikubali sana unlike the other one. Umejua kumkamua madini kwa ajili yetu vijana... kudos!👊🏿
@ZuwenaSinde-hj9qg5 ай бұрын
Jameni asante sana kwa haya kwa pamoja na shukuru sana kwa mwandishi wa habari pamoja na mhojiwa
@chedielimrutu69555 ай бұрын
Hongera sana umetuheshimisha Babati. Nimejifunza jambo kubwa sana. Mungu aendelee kukuinua na usiache kumuamini na kumtegemea Jirani
@laoiyadi11765 ай бұрын
Hapo kwenye nguruwe kasema kweli aisee Kama MTU unamtaji na hujui chakufanya plz anza na nguruwe utakuja nishukuru nakama huna utalamu wowte juu ya huo mradi tafadhali ntakusaidieni kuwaelekez hata japo kidogo 👍
@ustawiwetu5 ай бұрын
Toa namba zako
@estherlufingo72994 ай бұрын
Laoiyadi tunaomba maelekezo
@laoiyadi11764 ай бұрын
@@estherlufingo7299 tuma no yako nikucheki
@felikisimon5 ай бұрын
Mmh uyu jamaa hakwenda japan na uingereza kuzurura tu ni mtu aliyeenda kutafuta maarifa kwa ajili ya taifa letu. Na ni mtu wa kujali . Ubarikiwe sana Boss
@teddymosha13765 ай бұрын
Daah huyu baba ana akili kutoka Kwa mungu Yuko smati kichwani Tanzania tungepeta watu smart kama huyu kaka Kila mkoa nchi ingekuwa mbali sana mungu akulinde hongera sana mungu Aendelee kukueshimisha
@user-gp8rj4gz4n5 ай бұрын
Aisee nmejifunza vingi kupitia huyu jamaa, asante Millard kwa interview nzuri
@josephinebuxay33923 ай бұрын
Fundisho nzuri sana Mulokozi, kitu nimependa jamaa cyo mtu wa kujiinua yaani yuko kama mtu wa kawaida, huyu mtu ataenda mbali sana, Mungu akulinde akutunze somo nzuri sana, Manyara tuna mtu.
@mkambora5 ай бұрын
I have listened to the whole interview... It's superb
@leonardmisalaba79465 ай бұрын
Saaaf saaana kaka ,nimepata mambo meng saana kwako
@michaelsamson96635 ай бұрын
Ishu yawaganga imekaa kipumbavu ukiendekeza waganga jua tu umaskini utakufatilia kwa nguvu
@silivestatesha92625 ай бұрын
Waganga niwa tibabu
@michaelsamson96635 ай бұрын
@@silivestatesha9262 yaaap guys
@witnessmallya51145 ай бұрын
Mimi kuanzia Leo Mr. Mulokozi ni role model wangu, nawish kumsikiliza Kila wakati, Asante sana Millard kwa kutuletea mtu muhimu na muwazi kama huyu ambaye amefanikiwa kwa njia ya kawaida sana ambavyo hata sisi wengine tukiamua tunaweza, kwa mfano nafkiria ameanza kiwanda nikiwa hapa ninapofanya kazi Hadi sasa, umaskini unaendelea kushamiri lakini yeye ameshafika mbali sana kimaendeleo. Ukifkiria hicho kiasi alichoanza nacho kiwanda sio kikubwa sana, so anani inspire sana kuanza Cha kwangu mwenyewe haijalishi ni kwa Hali ya chini kiasi gani, japo sijui pa Kuanzia, Mungu anisaidie! Hongera sana Kaka, Mtanzania mwenzetu🎉🎉🎉
@domymerinyo81655 ай бұрын
Hapo kwenye watu wanaovuna Tz halafu wanaendeleza sehemu nyingine hiyo tunatakiwa tuifikirie zaidi. Tunununue vitu kwa watu wanaowekeza zaidi Tz sio kwa wanaovuna
@peninashungu66335 ай бұрын
Huwa nashere hii story kwa mtt wangu wa kiume anayepambana naamini mungu atajifunza kitu
@cillyajoachimchuwa74325 ай бұрын
Hongera saana brother. Pia umekuwa mfano wa kuigwa kwakweli
@stewardlugan5765 ай бұрын
Bro respect you,,,pia Mungu amwongezee marifa zaid katika take🙏🙏
@stewardlugan5765 ай бұрын
Bro respect you,, pia Mungu amwongezee marifa zaid katika kazi zake 🙏🙏
@honoratamafala69685 ай бұрын
Hongera sana kaka.pombe unazotengeneza ni tofauti na zile vijana wanazotumia zikawamaliza afya .yaani hawawezi kufanya kazi yoyote wamekuwa kama.mazombi.ni.moja.ya hizo au hizo zinazalishwa wapi.
@francomwacha22625 ай бұрын
Kodi zaidi ya b1 kwa mwezi..! Aisee c mchezo brother ana ukwasi big up aisee 👏 👏 👏
@vickgrace44875 ай бұрын
UISHI saaaana na MUNGU asikuache kaka MWNYE Roho yako
@bilid41285 ай бұрын
Noma Sanaaa,Kali sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 Nazipenda sana hizi Interview za namna hii...
@marypwanye89434 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukutunza kwa sababu huna ubinafsi unafikiria sana nchi yako. Ni wachache sana wenye Moyo huo. Mungu akubariki sana.
@user-oz6zp8fr1c5 ай бұрын
Upo vizuri. Hasa kumtegemea Mungu D Mulokozi
@user-wg8yw3dl4j5 ай бұрын
....hongera sn kaka mulokozi,kwa yote uyafanyayo,karibu sn mbeya au Green City kama ulivyosema,cku c nyng! Bnafsi nakusubiria haasa kwny project yako,utakayoianza.b blecd.
@sir_ENOCKMACHA4 ай бұрын
Itoshe kusema....every successfull point is measured by point of creation and point of implimenting....bilionea mulokozi nakubali umeweza kutujenga vijana juu ya kupambania ndoto zetu na kuamini mipango binafsi iliyobebwa na tafsiri kuu ya kuamini unachokipambania....kongole millard Ayo for the best interview ever here is 2024 ❤❤❤❤❤🎉
@fathiyahmuzney73675 ай бұрын
Millard big up bro unatisha kwa kufanya interview kali🎉🎉
@ngusubilambope39645 ай бұрын
Salute! Salute! Salute! Am just speechless
@EmanuelHizza-rk5piАй бұрын
Asanteh sana yapo mengi nimejifunza (God bless you)
@gabrielmiatus38865 ай бұрын
Hapo kwenye kutumia nguvu kujenga nchii nimekubalii sanaaa
@KennethKonga-gb9hm5 ай бұрын
Yup perfect sana ni muwez
@kekiplus1andonly5 ай бұрын
MashaAllah 🙏🙏hongera sana boss. Mwenyezi Mungu endelea kutuinua na sisi🙏🙏
@kevinmary71295 ай бұрын
Billionare wa ukweli ❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤ Elimu ya Tz ni takataka theory 100% 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅