Tanzania mlindeni Rais mpeni upendo wa kweli Nakupenda sana papa🇨🇩🇹🇿
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
👍👍👍🙏Maombi yako ni muhimu kwa Raisi huyu nasi tu nawaombeeni mabadiliko siku yoyote saa yoyote
@johnnnko58144 жыл бұрын
Mungu akubariki Rais wetu, umefanya jambo jema mnoo lisilo la kawaida. Kongole Mh. JPM
@nyamunakisuda63334 жыл бұрын
AMINA MUNGU ibariki Tanzania yangu na Rais wangu 💯💯💯🔥🔥🔥❤❤❤❤🙏🙏
@ibadaworship51034 жыл бұрын
Rais wa kwali dunia nzima 🇨🇩🙏🙏🙏🙏
@zawadishekilango91324 жыл бұрын
Asante kwa UPENDO uliondani yako na uongozi bora Raisi wetu Mungu akubariki. SIFA HESHIMA NA UTUKUFU tumrudishie Mungu wetu. Amen.
@shadyajuma64314 жыл бұрын
Maashaall mungu akupe kila lenye kheri na u ktk maisha yko u ndo Raia Unae faa
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
Masikini huyu baba 😭😭😭😭 Pendo lake limeuteka moyo wangu
@lwilachrispo18114 жыл бұрын
Jambo LA kiungwana dunia nzima hakuna
@ramadhanmpuku89534 жыл бұрын
Aisee sijui nimshukuru vipi mungu maana katupatia rahisi mwenye utu busara hekima nakuombea maisha marefu sana wewe ni tunu kwa watanzania mungu akubariki raisi wetu mpendwa◌⑅⃝●♡⋆♡LOVE♡⋆♡●⑅◌
@saidiasdd50434 жыл бұрын
Jamani kwakweli mungu ambariki sana raisi hanaubaguzi jamani nawaomba muongezene kura tenanatena🙏🙏🙏🙏🙏
@kaitaramadan63404 жыл бұрын
Yaani hapa huyo raisi ndo hua ananipunga aisee anajua kuwaunganisha watanzania mungu akupe maisha marefu raisi wangu akukinge na Shari za walimwengu
@evansm88024 жыл бұрын
Very powerful character. God bless your works Mr magufuli
@mohamedrajabu53164 жыл бұрын
Kiongozi bora na sio bora kiongozi Mungu ata waongezea wote walio toa kwa niaba ya Waislaam wote nasema asanteni sana.
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Karibu ndugu yetu Mohamed. Sisi ni watoto wa baba mmoja. Nikiishiwa kitunguu nitakuja kwako ndugu yangu, na wewe ukiishiwa nyanya njoo uje uchukue, kama sipo nyumbani mwambie mtoto atakupa. Hii ndiyo Tanzania, taifa teule la Mwenyezi Mungu. Raisi amenitoa machozi ya FURAHA.
@jailosjoseph4624 жыл бұрын
Mungu akubariki Raisi
@josephnkengurutse4 жыл бұрын
Barikiwa Rais wewe ni mtu mwema kabisa
@massimilianoraffadali54824 жыл бұрын
Tanzania🇹🇿 tumepata Rais kwakweli Mungu akubariki Magufuli
@priscamagambo74194 жыл бұрын
Barikiwa Rais wangu
@merryjulius40984 жыл бұрын
Libarikiwe tumbo la mama aliye kuzaa,abarijiwe pia kwa malezi mzuri..!tunakupenda mno baba
@bongecabd2 ай бұрын
Magufuli alikuwa prophet
@zenj19864 жыл бұрын
Hakuna wa kukudhuru ila kwa amri ya Mungu na Mungu anakupenda
@yumna1284 жыл бұрын
Safi sna JPM
@saidiasdd50434 жыл бұрын
Kwakweli angekuwa niraisi waburundi tungefuraiya kbs
@tusajigwekanemela47844 жыл бұрын
Mungu kakujaza moyo wa utoaji na hekima raisi wetu
@ayushjhay19794 жыл бұрын
Mashaallah da!wallah aijawaitokea raisi kama huyu.yani ingekua Kenya wallah mpaka raha.ila huyo wetu wacha tu
@erickiruhura54974 жыл бұрын
God bless you so much magufuli we need the president like in Africa
@amonsanga18664 жыл бұрын
Rais wa ajabu na wa mfano duniani sijapata kuona Rais wa aina hii ktk maisha yangu na huu ndo UPENDO wa kweli na hii ndo Tanzania bwana.
@faidamgisa24944 жыл бұрын
Hongera Sana baba wa taif john
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Na ni taifa teule na Takatifu la Mungu.
@zenj19864 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu wa kheri
@maarifake75813 жыл бұрын
Continue rest in perfect peace 😭😭kind hearted president ever
@chamimdesa1484 жыл бұрын
Mungu akubariki Rais wangu
@nyanginyambiro9564 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda Rais wetu.
@CatherineLekule-l7zАй бұрын
Mungu amuepushie adhabu ya kaburi
@zenj19864 жыл бұрын
Baba endelea tu kuiongoza nchi kwa upendo na amani na wale wote waliokuwa wabaya watashughulikiwa na watanzania. Wewe subiri kuapishwa
@binthkhamisi10974 жыл бұрын
Masha Allh
@rasmiamohamed62104 жыл бұрын
Mâcha Allah
@maryamjuma98164 жыл бұрын
Maa shaa allah 🤲👏
@mariamfaicalhassan28904 жыл бұрын
Hongera sana Magufuli
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Yaani sijawahi kuona Rais wa namna hii Mungu yaani Rais usiyekuwa na ubaguzi ni Rais unayewaunganisha watu wawe wamoja ni Rais unayejitoa kwa ajili ya wengine Mungu azidi kukuongoza ktk mapito yako..
@Ericklamecksimu4 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@elizabethdismas76604 жыл бұрын
Mtu anayejikakamua kuanza kumpinga magufuli kwa Kweli sijui amewaza nini coz mambo ni mengi Amefanya kwa uwazi Bila wasi wasi. HONGERA sana magufuli
@omarsuleiman9064Ай бұрын
Kitima kitima kitima kipindi hicho chadema walilalamika hukusema uliunga juhud
@MoonMoon-pe1nx4 жыл бұрын
Na hama naenda tz sababu ya magu
@saidiasdd50434 жыл бұрын
Uyonjoraisi waukweli kbs abakumtawala kweli
@fahadmengi98084 жыл бұрын
#magufuli🇹🇿🇹🇿🙏🙏
@hajraiss364 жыл бұрын
❤❤🤲
@rosemarychuwa86964 жыл бұрын
Hii haijawahi tokea, JPM ni kiboko, Mungu akakulinde baba
@abubakarkada30834 жыл бұрын
Hongereni kwa hilo
@SamsonMunkwa10 ай бұрын
❤
@elminakalunga40304 жыл бұрын
KWA UPENDO WA KRISTO, TUTUMIKIE NA KUWAJIBIKA.....
@bjzee19814 жыл бұрын
Hata we usinge faa umuingize kanisani mzee. Unge mteua mkatoliki pindi unapokua kanisani najua utakua na wengi tu wa dini tofauti
@itshaluastyle4 жыл бұрын
AFRICAN FASHION mishonoya vitenge MAHARUSI nk kzbin.info/www/bejne/omOxdqSYjLGlh9k
@bjzee19814 жыл бұрын
Hizi ndizo campaigns za ki somi. Sio wale wakwenda huku na kule ku eneza udaku
@issangyabertha57414 жыл бұрын
Safi ss wote niwamoja Mungu akubariki Mr prezoo
@sofiakitabasi39784 жыл бұрын
Ndio
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Hongera Mhe Rais hakika ww ni TUNU ya taifa letu unastahiki NISHANI. Alhaji anapendeza sana kwasababu ya upole wake nautiiuliokithir. .
@omaribasilidi534 жыл бұрын
Hili movie lilishapangwa before.. Askofu saa ngapi kaisha andaa hiyo laki mbili chap? Hata hajajisachi kidogo...
@mwechizumbabaraka29724 жыл бұрын
Ukafir m2pu
@ahmadhalfani3684 жыл бұрын
👎
@jeremiadaniel5234 жыл бұрын
Duu naona jamaa umetukana kiaina
@wenceslauskubezya4 жыл бұрын
Kikubwa upendo
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
@@jeremiadaniel523 huyo ni yule mwenye cheti feki aliyetumbuliwa2🙈
@susanejd77754 жыл бұрын
Ahmad mbona umeweka sign ya dole chini? Sijakuelewa