Mashaa Allah uliahidi kuusimamia kwanzia jiwe LA msingi hadi kukamilika kwake nakwauwezo wa mungu umefanikiwa. Hongera.
@yussufhaji33354 жыл бұрын
Namuomba mwenyezimungu akupe umuri mrefu na UZIMA KATIKA maisha yako yote raisi wangu MAGUFULI amiiin, unafanya mambo bila woga,bila kuangalia sura ya mtu,bila ubaguzi ,wewe nikiongozi waukweli, NAMUOMBA MUNGU ATUEPUSHIE MBALI KIONGOZI ANAE PENDA MADARAKA ASIYEJUA SHIDA ZAWATU KAMA MEMBE SIMTAKI KABISAAA ,
@kahmardintebe92662 жыл бұрын
Asalaam alaikyum watanzania na waislaam kwa ujumla itafutwe siku maalum ya kumuombea duwa kwa kazi kubwa aliyowafanyia watanzania na uislaam kwa ujumla mungu amuweke Mahalia pema peponi
@kahmardintebe92662 жыл бұрын
Jpm
@YusufAli-ib6xu3 жыл бұрын
Rest in peace daddy you will never be replaced 😭😭😭😭😭😭
@khadijasongoro96743 жыл бұрын
Innalillah waina lillah rajiun mwenyezi mungu akulaza pema akupunguzie adhabu ya kabri umetuliza watanzania saana saana maneno yako yataishi hata kwa vizazi vijavyo watauliza magufuri alikuwa mtu gani lakini watasikiliza ulichokuwa unapigania😭😭😭😭😭😭😭😭
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
dah ! wallahi Magufuli Mungu akuweke daima 🙏, halafu umependeza sana n'a kanzu na kofia, Mungu akuwezeshe "uslim" Insha'Allah 🙏🤲
@nehemiahshija22654 жыл бұрын
Weeeeeee
@jeshilamtu8634 жыл бұрын
IshaaAllah
@yuzotv4584 жыл бұрын
Amina.
@salimhusseni47844 жыл бұрын
InshaAllah mweenyez mungu hamuongoze kuitafuta haki yote inawezekana leo Malala akiwa mkristo kesha hakwa muisilam
@magrethcosta27854 жыл бұрын
Mungu ni wa wote. Mawazo yako finyu.
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Hakika utakumbukwa daima Raisi wetu JPM 🇹🇿💔😭😭😭😭
@andrewnyumayo93063 жыл бұрын
Eeeeh MWENYEZI Mungu umrehemu kiongozi wetu. Hakika MUNGU ALIKUWA NDANI YAKE. AMEN.
@yussuphshilingi32582 жыл бұрын
Mashudu huyu Hana rehma atayoipata
@mamafatuma1383 жыл бұрын
Allah akurehemu kwenye maisha yako mapya akusamee makosa yako ya siri na ya adhairi Inna lillah wainnaillah raajiun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@YusufAli-ib6xu3 жыл бұрын
Everyday we have to pray for our late daddy
@halimamgeni54564 жыл бұрын
mkuu umependaza sana karibu sana kwani sisi ndio watanzania tunapendana bila kujali imani zetu amin.
@niyatmontes1233 жыл бұрын
Inauma lakini hatuna uwezo..rest in peace Dr.JPM
@zrazanzibarrespectiveacade90563 жыл бұрын
Dah yn mm cjui lini ntamaliza kulia juu ya hzi video za Rais wetu mpendwa ambye mungu ameshamchukua Ila kubwa tumuombee mungu inshallh amjalie maisha mema hko alipo inshallh Pumzika salama rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli Amin
@khamisswalehe3 ай бұрын
mimi pia
@ismailmashimba34704 жыл бұрын
Mungu amjaalie rais wetu asilimu ili tujumuike nae katika dini
@omarkhalfan29854 жыл бұрын
Ammen
@insteinjonga66514 жыл бұрын
Ndoto za mchana hizo, yeye ni kiongozi wa wananchi wote anaweza hata kwenda kuswali siku ya ijumaa lakini kwa kuwa akili za baadhi yenu ni haba mtaanza mauarabu yenu
@omarmwabege4 жыл бұрын
Aaamin
@crintonjakobo76853 жыл бұрын
Ulikuwa unaota
@josephandrew34443 жыл бұрын
Kwa mungu hakuna dini nyie dini maanaake ni njia ya kumtafuta mungu! Kwani mtume Muhammad (sw) alikua anaswari msikiti wa zeebu gani! Je ni shia,suni,salafi,hamadia,kadiria?!
@GlobalSuccessNarratives3 жыл бұрын
Yaa Allah msamehe mja wako huyu hakika amaefanya mambo makubwa🙏🙏
@aminamohd6044 жыл бұрын
Msikiti mzuri mashaallah haya waislamu tufanye ibada sasa tusisubirie mwezi wa ramadhani
@mfalmewanyika28044 жыл бұрын
Umetuombea nyumba tukufu. Nasisi tunakuombea kwa Allah akuongoze kwenye njia ya haki Ameen.
Hiyo ni sawa na kusubiri koran iwe kitabu kinachotumika makanisani.
@omarmwabege4 жыл бұрын
Aaamin
@ziadaalute68364 жыл бұрын
Mungu akufanyiewepesi utamke shahada,Wakristo ni ndugu zetu tunawapenda sana.N A Alla amewataja mara nyingi Ktk Quran.
@salmadalaquimane23644 жыл бұрын
Inshaallah
@jafarimalungi28444 жыл бұрын
Ishaalla
@jimmynassa34394 жыл бұрын
Jpm unanitoa machozi nakupenda sana mwenyezi Mungu akupe afy tele
@edyhasan90714 жыл бұрын
Yaniii huyuu rais anajuwa hasa kuwa allah ndiye mungu wa pekèe anayefaa kuabudiwa lwa hakii kusema ukweli ila iko siku allah atamuonesha hakii aifte inshallah
@maryamahmedkhamis17134 жыл бұрын
Inshaallah
@aliy33034 жыл бұрын
Ameen
@hamidahamida14734 жыл бұрын
AlhahuAkbaru😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@abdallakhamis92494 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tunakuomba umuingize kwenye uisilamu rais Wetu huju,
@fredrickmartin9954 жыл бұрын
Hiyo siasa wewe magufuli hawezi kuwa kafiri
@asdfhdv92303 жыл бұрын
kwel ww umekuwa malaika maana matendo yako si mchezo🥰😰😢💔💔💔💔
@raziaidd23923 жыл бұрын
Mola akurehemu rais magufuli😭😭😭😭😭💔💔
@bernadozmbithi35173 жыл бұрын
😢😢mwenyezi mungu akujaalie jahanna fir'daus
@aliabass93924 жыл бұрын
Hongera sana baba JP kwa jitihada zako za maendeleo zisizo na ubaguzi wa dini wala kijamii,Inshallah mungu azidi kukuongoza katika haki.
@deriodubose41993 жыл бұрын
Mungu alishiriki kwa kila kitu ulichokifanya.hatutakusahau milele ktk jamii yetu.
@julihanjosephyjs63614 жыл бұрын
Manshaallah mungu akupe afya,tz tumepewa tunu huyu sio rais Zaid ya tunu inshaallah kher.
@saumuabdalla6863 жыл бұрын
Allah akuweke mahali pema penye wema akusamehe madhambi yako ya siri na ya dhahiri Insha Allah
@onlyonetztv6103 жыл бұрын
Kila nikitazama hizi kumbukumbu nalia sana nenda salama Magufuli
@dinahshirima63563 жыл бұрын
Inaumiza sana
@dinahshirima63563 жыл бұрын
Ninaimani yko peponi.kwa sadaka zake na utu wake kwa kila MTU.hakujali kipato cha MTU,dini,Allah ampe kauli dhabiti.ameen
@aliadam47734 жыл бұрын
Hongera Mr President for good job umeonyesha upendo mkubwa kwa dini zote. Allah akulinde
@mophatbejoseph8804 жыл бұрын
Unafanya vizuri mpaka unakera mweshimiwa mungu akupe maisha marefu jpm
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa msikiti mkubwa, mahali pa sala ni mahali pa Mwenyezi Mungu🙏🇹🇿
@gespardanil20094 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha ya mema duniani na akhera
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
Dah inauma sana . Mungu muweke Rais wetu JPM mahali pema peponi.
@himlayzer35433 жыл бұрын
Hio ndio azina yako baba mnyezi mungu akusamehe makosa yako baba kwa wema ulo u fanya inshaallah atasameheka mbere ya allah
@ZainabAtuli4 жыл бұрын
Masha allah rais wetu mwenye roho nzur, allaah akujaalie kila la kheir m/mungu yupo naww akujaazie barak tutakupenda daima
@mohdamour14274 жыл бұрын
Alah amjalie hero raisi magufuli alah akujaalie usimamie pia ubaguzi ambao upo viasiwani zanzaibar uondoe uunguja Na upemba hata kwa njia zako zote
Ahsante sana Rais Magufuli: Na sisi waislam tunakuombea kwa Alla kila wakati, Allah akulinde na shari zote na akuongoze ktk njia ya haki.
@Struckmoha4 жыл бұрын
Allahu Akbar! Rais Magufuli Allah SW atakuongoza ktk maisha yako hapa duniani na akuonyeshe njia ya haki itakayo kuingiza peponi. InshaAllah. Huku Uhuru anatupa masharti mazito ya kufungua misikiti Allah tuongozee na huyu wetu pia awe na huruma na wananchi wake na kutenda haki na usawa bila ukabila , dini au rangi.
@bayaanhumud43284 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais Magufuli hongera sana sannnaaa sannnaaa Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Allah akujaalie uingie katika uislam dini ya kweli ya hakki tumefyrahi saaannnnnaa kwa ulicho tufanyia Allah akulinde akuhifadhi akustiri na kila baya lisikufike ulicho kifanya nikikubwa saaaannnnaaaa yaani hadi mwili unanisisimka kwa kuona japo zitto ulolifanya hongera sana tunakupenda wazanzibar tulipo nje ya tanzania yetu
@matsarigi29863 жыл бұрын
Wallahi ni shahada tu lakini Allah anajua zaidi. Ewe Mola amrehemu na usamehe madhambi yake yote ya siri na dhahiri 🙏🙏
@hamzakiba99714 жыл бұрын
Allah akujalie na moyo huo huo rais wet Allah akupe nguvu insha Allah naakuwezeshe uslimu warallah maan umependez sna
@philimonkitosi62033 жыл бұрын
Nitamlilia ndugu laisi magufuri kwakufanya kazi sana kwasababu ndiyo ujumbe wake mkubwa namimi naamini tukifanya kazikubwa sisi watanzania tutakuwa tumemuezi ndugu yetu magufuri ambae alikuwa laisi wetu mungu amuweke mahala pema peponi Amina
@SaotmAlohtm7 ай бұрын
Alahuakibar Mungu ammupokee raisi wetu ،،
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah. Mungu akuifazi uko ulipo baba.tusha kumisi😓❤🤲🤲🤲
@hamadiayossy10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuondolee adhabu za kabri,na akujaalie pepo, in sha Allah
@bin2_hassanhassan4994 жыл бұрын
Mashalah mashalah hapa wa tanzania wamepata raisi wa kweli mungu amzidishie hongra sana
@mugishanasra19193 жыл бұрын
Allah akulinde na adhabu za kaburi uli kuwa mutu muzuri
@mussathomas14604 жыл бұрын
Tunamuomba Allah amuongoze rais wetu katika uislaam.... Amin
@dalali_professionalwa_dodo83302 жыл бұрын
Allah akupe kauli thabit na akusamehe madhambi yako..akutanulie kaburi lako alifanye liwe moja za uwanja wa peponi inshaAllah... Wewe ndio mkiristo wa kwanza kuwaonea huruma waisilamu na kuwajengea msikiti mkubwa Afrika mashariki hakuna...mungu akupe mwanga wa milele, akupeleke mbingu ya saba.
@abubakarkada30834 жыл бұрын
Kwa hilo lazima tushukuru sana!Allah akuzidishie iman ufanye zaidi ya hapo
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
MUNGU MKUBWA MUNGU NI MSHINDI BABA NAKUPENDA SANA UNAVYOPENDA KILA MTU UNAVYOPENDA KILA MAENDELEO MUNGU WETU ATUBARIKI SOTE AMINA
@najmanajma-47654 жыл бұрын
MashAllah Mh rais Mungu akuongoze katika njia ilonyooka na akuepushe na maradhi na akujalie mwisho mwema
@habibujuma85994 жыл бұрын
Ndo huo huo jeny yusuph, ndo karud kukagua kwa kushtukiza, mungu akupe maisha marefu inshallah
@hawaryaqueenibrahim90864 жыл бұрын
Masha'Allah ipo siku Allah atamjaalia hidaya
@yassinm694 жыл бұрын
Amin
@dachjunior47664 жыл бұрын
Nisaidie hapo *"atamjalia hidaya"* hilo neno *hidaya* nini *maana* yake?
@fatmanammanje17824 жыл бұрын
@@dachjunior4766 hidaya maana yake "Zawad"
@hawaryaqueenibrahim90864 жыл бұрын
@@dachjunior4766 maana yake atamjaalia guidance awe muislam kabisa
@yuzotv4584 жыл бұрын
Amin
@omarysalim29594 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuongoze na moyo huo huo raisi wetu
@fama00434 жыл бұрын
Wow what a beautiful mosque u will feel like ur in Rabat morroco God bless u magufuli .
@abdullahmhina2207 Жыл бұрын
Inalilah waina ilah rajiun Allah akuepushe na dhambi ulizo chuma InshaAllah akujalie pepo
@rhiophiri96454 жыл бұрын
Doctor President Magufuli am not a Tanzanian but I say u luk fantastic in that regalia,congrats, keep on dressing like that
@filyakusimsigwa79544 жыл бұрын
Mm ni mkristo kama wewe Rais wetu mzuri magufuri kwa hili ulilolifanya Mungu wa mbinguni akubariki sana
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Amina, hata mimi nimefurahi. Sasa sijui wanavyo tuitaga kafiri, hapa leo wamenyamaza
@ahmedjack41353 жыл бұрын
Leo hatuko nawe tena ww magufuliii nenda sana naumia sana babs
@hirymwanze70944 жыл бұрын
,may Allah show you the right path Mr President Magufuli inshallah
@mwanahamis54874 жыл бұрын
Magufuli iko siku ataigia ktk uislam.. Ubarikiwe saan
@hanaffitomary55884 жыл бұрын
Mngeomba chuo cha kiislamu ingekaa sawa ila nampongeza mr presdent kwaimani anayo onyesha kwadini zote mungu ampe gheri naafya njema
@mirajiabdallah71314 жыл бұрын
sio mbaya hata hili lililofanyika ni jema pia tuseme alhamdulillah
@mathiasmsese61284 жыл бұрын
@@mirajiabdallah7131 chuo kipo morogoro au hujui, nafikiri la msikiti pia ni sawa coz wataingia woote
@farajibuteta62584 жыл бұрын
Chuo kipo tyr morogoro
@samanthaali8734 жыл бұрын
Allahu Akbr mola amjaalie siku moja atamie shahada in sha Allah
@salimhusseni47844 жыл бұрын
InshaAllah
@darweshilacha30194 жыл бұрын
Msikiti ni mzuri mashaallah tatizo liko kwa hao watakaokabidhiwa huo msikiti
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
ZTATIZO LIKO WAP KWAN UNALIWA TARAHA MTU ATAUCHUKUA AENDE NAO NYUMBAN KWAKE
@wazirimwanazuoni55674 ай бұрын
He was a man of all people from different cultures and religions
@yaumirakateni99274 жыл бұрын
Mungu akuongoze, uje kuijua haki, uwe muislam
@Ikbal.D3 жыл бұрын
المعمار المغربي لا يعلى عليه، تحية للصانع التقليدي المغربي👍🏻💕🇲🇦
Allah naomba mlete kwenye uislam Mr magufuli inshallah
@siamnyone8403 Жыл бұрын
Utasubiriii sana🤣🤣🤣🤣
@siamnyone8403 Жыл бұрын
Unaomba lift unatak kupiga na honi🤣🤣🤣🤣
@aishasaid57024 жыл бұрын
Alhamdulillah wakati rais wa India akitoa amri misikiti ichomwe na waislaam wauliwe sisi rais wetu anatujengea misikiti Alhamdulillah Allah amuhifadhi amuongoze njia iliyonyooka
@telaamtauta22273 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭mwenyezi mungu muweke peponi Huyu raisiwetu yarabby
@mwatumsaidi51044 жыл бұрын
Mashallah Allah Akujalie uwe mwislam ishallah
@stevenclaud66484 жыл бұрын
Kwan mpka awe muislam tu acha hizo wewe
@albertjames68454 жыл бұрын
😁
@hassanmirambo5644 жыл бұрын
Steven Claud siyo tatizo nawe unatakiwa uendelee kumuomba YESU ili JPM abaki kwenye Ukristu
@mwatumsaidi51044 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 asante
@mwatumsaidi51044 жыл бұрын
@@stevenclaud6648 nawewe mungu akujalie uwe muislam ishallah
@suleimanhemed95434 жыл бұрын
Mhe rais wetu Allah akuongoze ktk kuijua hakki na uifuate... Umependeza sana.
@ismailchilonga28783 жыл бұрын
Daah yaaani hakika mwenyezi mungu nimkubwa huzima nuru na umchukua amnatakaye
@gangmore90914 жыл бұрын
Uwatoe jela Mashekhe wetu wote n ukislim utazidi kuwa mwema kwa mungu
@saidiramadhan97564 жыл бұрын
Nikweli mm mwenyewe swala la mashekh linaniuma cn ila ipo siku mungu atatujibu tu.
@douglasjackson3734 жыл бұрын
Nassor More Ebu nielewesheni kidogo Mbona presha kubwa sana kwa Magufuli kuwa Toa mashehe wakati walifungwa kipindi cha awamu ya nne!? Je kwamba Magufuli hajui hilo Tatizo?@Nassor More
@magrethcosta27854 жыл бұрын
Na huo ukristo wake imetosha kwa Mungu kuifanya kazi ndani yake, sio lazima kumwombea et aslimu ndiyo awe mwm.
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Hivi waislamu hamuelewi hapo Mungu ana wafundisha Nini? Mbona mnakiwa mazuzu hivyo? Hapo Mungu anawafundisha kitu, sio mpka mtu uwe muislamu ndio ufanye mema. Hata wapagani na wakristo wanajua kufanya mema kutokana na dini zao zinavyo sema. Mpo mazuzu kweli kuelewa hiyo. Mmebaki kulia na dini ya haki🤔😁😁😁 kalieni hapo kwenye dini ya haki, wakristo tuzidi kuwaonyesha kwa matendo
@ababuumwanazanzibar49084 жыл бұрын
Allah Akbar MashaAllah Rais wetu Mungu atakulipa maana yeye ndie anaepanga kila mja anampa atakalo yeye mwenye Dunia Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae
@saidsoud59674 жыл бұрын
Mungu akujaalie uingie ktk uislamu
@rachelkibaya85374 жыл бұрын
HACHAGUI WALA HABAGUI,BINADAMU(WATANZANIA) WOTE NI NDUGU.TUPENDANE WAKRISTO NA WAISLAMU.TUDUMISHE UNDUGU NA WALA TUSIBAGUANE. MAGUFULI UBARIKIWE
@ibrahimmussaali29864 жыл бұрын
Hakuna mapenzi wewe kati ya waisilamu na wakiristo kafiri kafiri tu hata afanye nini kwamungu hanasamani
@ibrahimmussaali29864 жыл бұрын
Ila kwa mashekhe wanopenda sifa za dunia huwaingiza nakafiri peponi mungu kasema kuambia makafiri kupitia mtume muhamadi a.w.s kulyaayuha a lkafirun. Wambie enyimakafiri Mimi siliabudiii mnacho kiabudu wala nyinyi hamukiabudu ninacho kiabudu Nini mnadini yenu na sisi tuna dini yetu
@ibrahimmussaali29864 жыл бұрын
Na mungu atawachoma wanowakumbatia makafiri
@insteinjonga66514 жыл бұрын
@@ibrahimmussaali2986 kafiri ni nani kwa mujibu wa imani yako hiyo ya makkah?
@aminamohd6044 жыл бұрын
@@ibrahimmussaali2986 sio vizuri kuwaita wenzio makafiri je wewe unaijua kesho yako au mwenzetu umeshapewa pepo hukuhuku duniani na umepewa mamlaka ya kuwatia motoni wenzio,unataka kuniambia wewe haushirikiani na wakristo na wala hauongei nao kama unavifanya hivyo vitu basi wewe ni mnafiki
@ahmeidyoung24104 жыл бұрын
Nice sana hiii safi ata huku Zanzibar ..AL Maruhu Qaabus amejenga mskiti mkubwa sana hapa Zanzibar nice kiongoz wetu..
@alexthobias37554 жыл бұрын
Dini hii naipenda sana japo me mkristu
@aliabdallah51834 жыл бұрын
Slimu uwingie kwenye uwislam
@yaninashebe43074 жыл бұрын
Karibu katika uislam ndugu
@othmanali64094 жыл бұрын
Mr Magu yani mimi napenda sana harakati zako .laiti ningekua natia kura basi ningekuchagua wewe hata mara ngapi ..I have never seen president like you particularly in Africa I really appreciate ..ihdi naswiratwa l,mustaqiim .allahuma amin
@kudrawanguvu59233 жыл бұрын
M/Mungu akubal amal yeyote ya mwenye kumshirikisha. ukifanya mambo mema na unamfanyia M/Mungu mshirika utalipwa haha dunia kwa kupewa mazur ktk dunia hii lakin ukisha kufa huna malipo na hayo yote kasema yeye M/Mungu ktk kitabu chake Qur-an sasa wewe kazana kwa kubisha na yeye M/Mungu kwa kufata mihemuko ya watu wakati kaburini uko peke yako ktk hesabu upo peke yako na umejifatia dini zilizo fanyiwa modification unafanya upinzani hutaki kusoma kutafuta ukweli. usia wangu Utafute ukweli wa ipi ni imani ilio sahih.
@YussufJAli4 жыл бұрын
Una uoni wa mbali Mheshimiwa Rais. Allah akuoneshe njia na akuafikishe kuifuata.
@salem98744 жыл бұрын
Mashallah Rais wetu unapendeza uwe Muslim
@abdillahmsouth27844 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie kila LA heri ktk kazi zako
@rahmahussein40194 жыл бұрын
Magufuli kapendaza mashallah .
@hassanimussa6544 жыл бұрын
Mashallah Allah akujalie kila lakher mh rais iki ulicho kifanya nichakuigwa sana na huto yaona manufaa yake apa dunian ila cku ukiwa akhera inshaallah utayaona manufaa ya kujenga nyumba ya kumuabudu Allah Allah akupe moyo waiman mh maguful
@rahmahussein40194 жыл бұрын
Beautiful mosque.. beautiful people mashallah ❤
@jumamzee69994 жыл бұрын
Allah akujaalie uwe Muislamu Ameen. Kwa haya unavojitahidi na ukweli wako usio na shaka
@siamnyone8403 Жыл бұрын
🤣🤣🤣utasubr sana
@rafiaahmad168 Жыл бұрын
Allah akuhifaz😭😭😭😭😭
@JaphariMsabahaАй бұрын
😂😂❤❤❤❤mungu akupe pepo njema
@rashidwalwanda19914 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wa wanyonge I love you soo much hata kama Mimi ni Mkenya
@hamisisilimu12454 жыл бұрын
Uislam wa siku hizi bhana,munapenda MTEREMKO SANA,eti Aminaaaa Aminaaaa, INNALILLAH WAINNAALEIKHI RAJIUNA
@hamzaally22463 жыл бұрын
Allah akupe tahfifu huko uliko baba yetu
@julihanjosephyjs63614 жыл бұрын
Huyu ndiye rais anaetufaa
@hirymwanze70944 жыл бұрын
Mungu Yaibariki tanzania !!!
@Khaleed57673 жыл бұрын
Ewe Mola wetu , Msamehe makosa yake aliyekuwa Raisi wetu ( J.P.M ) na umlaze mahali anapostahiki.. Kwa hakika hakuna kuokoka isipokuwa kwa REHMA YAKO TU WEWE MOLA WETU ALLAH S.W