Kariakoo itapata shida sana ! Mda mrefu nasema wamiliki wa majengo Kariakoo wanahitaji kuungana na kuboresha eneo la kariakoo...now its too late.
@Salumchiwili2023Күн бұрын
Shida gani mkuu
@Anti-socialSocialClubКүн бұрын
@Salumchiwili2023 wafanya biashara na wateja wengi watahamia soko jipya ....Kariakoo kuna vurugu mno, kuingia na gari inahitaji subira na nguvu za ziada parking inachukua nusu saa
@Salumchiwili2023Күн бұрын
@ wateja wa kariakoo watakuepo na ubungo watakuepo pia tunahitaji soko lingine la kisasa na kubwa zaidi
@Anti-socialSocialClubКүн бұрын
@@Salumchiwili2023 hapo tunakubaliana. Wateja wa Kariakoo hawatapotea wote , it would be very weird if that happened. Lakini watapungua , unless you believe the be market will create a completely new set of customers. Wateja wengine wa kariakoo wataenda kupaonja soko jipya na wataenjoy AC na parking ya urahisi. Kama mzigo wa soko mpya uko na bei na ubora nzuri ....watahama kariakoo. Wengine wataendelea Kariakoo. Ishu inakuja ule kupungua wateja na wafanyabiashara , itashusha bei za maduka Kariakoo sana... that's what I meant.
@Anti-socialSocialClub21 сағат бұрын
@Salumchiwili2023 hapo tunakubaliana. Bado kutakuwa na wateja kkoo. Wangepotea wote it would be very weird. Lakini , unless you believe this new market will come with a completely new set of customers , wateja na wafanyabiashara wengine watatoka kkoo, wataenda ubungo. Watakutana na parking zinazoeleweka na AC...wengi hawatarudi kkoo. Na hapo bei za maduka kkoo zitashuka sana... that's what I meant.
@EGM-TZ5 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys tutakuja imarisheni ubunifu na usalama zaidi🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@bijou50385 күн бұрын
Ila mufanye wutafite juu ya bida zinazotoka chine kuwa ziko safe kwa binadamu sababu chine hijali afia yamu Africa wanajali pesa
@barrynzeyimana62704 күн бұрын
Tengeneza vya kwako NDO utajua utajua ubora wake. Biashara ni akili. Mwenye akili kutangaza NDO Mwenye kujua namna ya kukuzuga kua vya kwake ni Bora kuriko vya mwingine.
@kilimanjarotv2555 күн бұрын
Soko zuri ila liliitaji kuwa ata gorofa 5 lipo chini sanaa halionekani next mkijenga dodoma au sehemu nyingine jalini urefu msipoteze arzi bure kwa faida ya miaka ijayo mji unakua au watafute jengo refu la pembeni kusapoti
@stellahlinusi82155 күн бұрын
labda watariendereza kwa juu kwa badae kama majengo mengine wao wanajuwa kabla awaja Jenga warisha ritasimini ilo tuwape mda kila kitu kina enda taratibu
@EphrancinaBeyanga5 күн бұрын
Ulishawahi kuingia humo, au unaongea tu, in godown kama hujui
@lulanjamd38865 күн бұрын
Kabisa ni fupi sana Mimi nakuunga mkono @@stellahlinusi8215
@fredyjunior69613 күн бұрын
Unadhami walodizaini hawa akili
@saidbakar-qo6ri3 күн бұрын
Soko huwa halijengwi ghorofa ndio maana masoko yote yenye ghorofa yamefeli
@JosephLoy-k2g2 күн бұрын
Wapi comment za kiambu
@HajiKlein-so1rk5 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🏆
@lyarycharles14815 күн бұрын
Linafunguliwa liinii
@jeremiaaugustino71874 күн бұрын
wazawa wawezeshwe sasa tujenge viwanda vyetu tusiishie kuwa SOKO kwa wachina tuuuuuuuuuuu
@deezobedience69205 күн бұрын
R.I.P Kkoo 😂
@JosephChrisant5 күн бұрын
Hapa serikali ikipunguza kodi za uigizaji bidhaa kutoka nchi basi TRA itaweza kukusanya kiwango kikubwa cha kodi kuliko kupandisha kodi inayopelekea watu kwenda nchi jirani kununua bidhaa hizo na wakati baadhi ya hizo nchi zinatumia bandari zetu kuagiza bidhaa kutoka China kwenda nchini mwao.
@HajiMgwami4 күн бұрын
FROM WHAT I UNDERSTAND WACHINA WATALETA BIDHAA HAPO NA WATANZANIA WAACHA KWENDA KUFATA BIDHAA CHINA NA KUCHUKUA HAPO....
@Officialtbb_5 күн бұрын
Msemaji mbona kapoa sana? Mh! Aya
@RichardMwaja4 күн бұрын
Km hy yanatakiw kuw matano hv ktk jiji km dsm n dom ht ma3 hv vyanzo vizr vy kodi lkn ajir n hudum bora kw wananchi.
@IsaacKalenge5 күн бұрын
Mbona Dogo
@jeremiaaugustino71874 күн бұрын
kwa hyo Manufacturer wa Tz hawaruhusiwi kuwa na huduma humo....naona mnataja tuu bidhaa toka CHINA
@Anti-socialSocialClub2 күн бұрын
Wamesema wanaweza kutuunganisha na suppliers kutoka china. Kama hutaki , sio shida njoo na suppliers wako mwenyewe
@jeremiaaugustino71872 күн бұрын
@Anti-socialSocialClub mtu kama wewe ndo upewe uongozi ni hasara kwa nchi....kumbuka hapo wanakuja watu Toka nchi nyingi za Africa why tusiuze na vya kwetu? Tumia akili kubwa utanielewa....mfano anakuja Mzambia akikuta bulb za Tz huoni ni soko zuri?
@Anti-socialSocialClubКүн бұрын
@@jeremiaaugustino7187 so ww unahisi wasiruhusiwe kuuza vitu vya kutoka nje ? Waruhusiwe kuuza bidhaa za Tanzania tu ?
@jeremiaaugustino7187 naona ww ndo hujaelewa niliyoandika. Ngoja niandike "in layman terms". Wapangaji hapo wataruhusiwa kununua mzigo popote. Kama hio bulb inatengenezwa Tanzania, kwa ubora mzuri, na kwa bei nzuri...basi huyo mpangaji yuko free kununua na kuuza huo mzigo wa TZ dukani kwake. Kama anaweza kupata huo mzigo wenye unora na bei nzuri zaidi nje, Japani, India etc...yuko huru kufanya hivo. Lakini kama anataka kutafuta hio bulb china , watakusaidia. Sasa ww shida yako na hio inatoka wapi ?
@josephchimba75835 күн бұрын
Watu wa vingunguti tena 😂😂😂
@israelkisaila84015 күн бұрын
Lingekuwa ghorofa hata 10
@christophermboya76765 күн бұрын
Wewe mama unadanganya watu Tanzania ni Nchi yenye amani Wakati watu wanatekwa na kupotezwa na wanaokotwa wakiwa wameuliwa
@judithkirenga99775 күн бұрын
Mnauwana wenyewe,unamlaum nani?
@Jurbeg4 күн бұрын
ebu tuachie tz yetu nenda mbinguni pumbavu 😡🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@shinipapaya8462 күн бұрын
Kabisaa ndugu yangu hata mm jana nimesikia wameliteka mama yako kisha wamelipakua balaa 🤣🤣🤣