kazi njema mdogo wangu Harmonize, mpendane we na Diamond mfanya kazi pamoja upendo ndio kifungo kikamilifu chamungano .msisikilize maneno zawatu ' Love u
@dinatalib26168 жыл бұрын
Mungu akuzidishie Harmonize kwenye kaz zako upo vizur zidi kuwaheshim wazazi ndo kilakitu na jamii inayo kuzunguka
@Abdulkarim2548 жыл бұрын
harmonize nakupenda sana na kazi zako sana na pia kwa heshima zako mbele ya wazazi wako mungu akujaze na akuongoze
@AlexSmith-en1rs8 жыл бұрын
kweli kama kuna msanii hapa Africa ambaye anaibukie na nimemkubali sana ni huyo harmonize luv kubwa sana na support yangu kubwa sana kutoka kwangu harmonize mungu akupe maisha marefu sana ili tuendele kupata vi2 vizuri sana kutoka kwako bg up bro alot of luv and support frm kenye
@twalibtz19362 жыл бұрын
Ebana naicheki hii 2022 na bado ni ipo 🔥🔥🔥
@bennostar3771 Жыл бұрын
2023
@nuryabdul17948 жыл бұрын
Hamo uko juu tu saana.... am ur biggest fan from Kenya, Millard I love ur watches, thumbs up for ur gud work broda
@marciakassimkassim92758 жыл бұрын
nice one....kweli....Mitian kawaida kwa kazi...
@modoudeme32058 жыл бұрын
En tout cas ce qu'il chante me plaît beaucoup. même si je ne comprend cette langue. la voix et l'harmonie me plaisent
@mwajabumwajay45125 жыл бұрын
Millard Mungu aendelee kukusimamia vyema ktk kazi zako
@fettyfetty95178 жыл бұрын
bro Wangu wanguvu I really luve u napenda heshimaa yako Na busara zako
@saimonmgao87798 жыл бұрын
Millard Ayo uko juu sana nakukubari xana
@ezrabitabo55888 жыл бұрын
Tisha saanaa harmonize.....
@rehemasharriff74948 жыл бұрын
millard huyu brother uko poa san alipo toa aiyo na bado mungu amuongoze ila asioge maji ya mvua.so mungu alimpangia fungu lake asiwe naharaka akubali apewacho na mola.nakupata poa millard nikiwa jordan hongera kwako san
@bigdady99513 жыл бұрын
Daaa! Hongera Sana bro Harmonize 🤔🙋👍💓
@rukaiyaahmadsuleiman39513 жыл бұрын
Alikua mzuri alipokua mdogo sasa ivi matatuu matupu nywele kusuka daah
@harryvance88735 жыл бұрын
Good brother,mi still na fight niombee kwa mungu By HERI-MO
@ferouzmasoud47415 жыл бұрын
HONGERA SANAA 🙏
@salmakhamis.35808 жыл бұрын
Asante@ millard ayo.
@abbashussein-xn4wq Жыл бұрын
My role model
@mariambb46838 жыл бұрын
kijana anaweza kweli anaheshima wenyenzi mung asaidie katk kaz zake
@augostinermercy15428 жыл бұрын
Nice one @ harmonize kaka....
@frankmgesi42484 ай бұрын
Years later In 2024 konde boy call me number one 😂
@josephjsadian47708 жыл бұрын
Hajafika aongeze bidii na mungu amsaidie.
@adamhq89248 жыл бұрын
nice interview
@babyzuchu3866 Жыл бұрын
Mmmmh hivi harmonize unaikumbuka hii kweliiii maana CK hizi ndio umekua kiboko Kwa kashifa
@barakamapuga4278 жыл бұрын
Nice interview
@fettylishaz23848 жыл бұрын
Upo vizuri kijana kaza buti
@annananna76228 жыл бұрын
u are my vevo love you too
@jaystar10048 жыл бұрын
thanks millard
@rukiasalim81578 жыл бұрын
safi sana kaza buti bro
@esthernyokabikimiti51288 жыл бұрын
😂😂😂😂 he's such a PR master. diamond amemtrain. love your music though😈