UKWELI BEI YA CADILLAC ESCALADE DIAMOND PLATNUMZ ANAYOMILIKI, ULAJI MAFUTA, KUWA UBER MAREKANI

  Рет қаралды 200,567

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Huyu hapa ni dealer maarufu wa magari Tanzania Magari Mtaani hapa anatuelezea sifa za magari aina ya Cadillac Escalade.

Пікірлер: 927
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 3 жыл бұрын
Nimecheka sana.. yaani huyu anatufanya sisi hatuyajui magari... Escalade iwe the best SUV.. unaiacha wapi Lincoln Navigator au Bentley Bentayga Mulliner, au Range Rover SAVautobiography Dynamic.
@simonwenceslaus9860
@simonwenceslaus9860 3 жыл бұрын
We x ungeomba interview we unaumia nn akiongea ivo yani hutaki tu mondi aonekane abamiliki gari hilo
@Noble_Digital_Solutions
@Noble_Digital_Solutions 3 жыл бұрын
Kuna Karl man king na Razvani Tank sijui kama anayajua hayo
@shstell
@shstell 3 жыл бұрын
This man has a brain and a half, big up!
@fridageorge2809
@fridageorge2809 3 жыл бұрын
Sasa nyie mnaosema kilaza,mweupe,hajuikitu embu tuambieni kwa undani mambo haya yanakuaje!! Sio unapinga kwa maneno matano!!😏😏
@ayoubthompson7057
@ayoubthompson7057 3 жыл бұрын
Amekosea kwenye kusema tu it's the best suv in the world that's a lie maana duniani the best is still the range rover by far na ndio maana rolls royce,bently, lambo nao wameleta suv zao kucompete
@bongozoom
@bongozoom 3 жыл бұрын
Dalali wa magari nikushauri tu angalia kipindi cha *top gear* cha wale waingeleza utazifahamu the best car uache kutoa sifa kwa mbwembwe cad sio best of the best SUV, inapaishwa sababu ni ya USA basi
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 3 жыл бұрын
Good point
@bakarirashid5797
@bakarirashid5797 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisaa, lakini nimemuelewa kwamba hii ni ya mwaka huu huu..!! 2021
@marcogodfreymboya7349
@marcogodfreymboya7349 3 жыл бұрын
Sifa yake kuu ni "the best".....the best.....the best!!!!!
@descartesdivindushime2201
@descartesdivindushime2201 3 жыл бұрын
Oooooh damn this guy is highly genius.... Anaogeya na akili with facts explanation.
@designskeymediaagency7169
@designskeymediaagency7169 3 жыл бұрын
Best SUVs 1.Nissan Rogue. 2.Chevrolet Equinox. 3.Jeep Compass. 4.Jeep Grand Cherokee. 5.Ford Escape. ACCORDING TO GOOGLE.....TOP 5
@vitusprotus8877
@vitusprotus8877 3 жыл бұрын
Na uko vizuri haswaaa! Na magari yapo damuni hakuna anaweza kukudanganya kitu, hongera kwa ufafanuzi mzr kwa hamnazo.☺
@christophermsekena616
@christophermsekena616 3 жыл бұрын
Hata jirani yangu Mzee wa Upako anayo Escalade, gari zinatisha sana hizi kwenye msafara
@mimimtanzania9738
@mimimtanzania9738 3 жыл бұрын
Ya kwaka gani Ya mzee wa upako.Ya mondi ni 2021
@mimimtanzania9738
@mimimtanzania9738 3 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa kusema kweli coz wabongo wana wivu sana.
@georgelusana2346
@georgelusana2346 3 жыл бұрын
@@mimimtanzania9738 hio ya mondi moja ilikuwa ya saidi lugumi magu na mpk sasa haipo
@roylot7300
@roylot7300 3 жыл бұрын
Huyu jamaa katupa chai ya baridi😅 1, 🙄 iyo gari sio ya 2021 ni ya 2015 Search apo uone 2021 inafananaje 2, 🥴kuinunua iyo gari mpaka ushuru ya 2015 Ni 140m minimum, ukitaka long wheel base price inapanda kidogo ila sio sana which it's also not a cheap car 3,😑 iyo sio the best suv ever, search apo uone kama inaingia ata top 5 ya best suv ever made 4, 😁mzee wa upako wa pale ubungo anayo ya 2016 yeusi aliyonunua way before 5, 🤨kama kuna gari inaweza kuwa the worst offroading SUVs kibongo bongo ni Escalade na range rovers, izo kazi ni za landcruiser,jeep, na land rover na kila mtu anajua 6, 😀mwisho Escalade is still not a cheap car Maintenance zake sio ndogo pia
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 3 жыл бұрын
Very true
@rukinishadamiano5217
@rukinishadamiano5217 3 жыл бұрын
Nunua na ww
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
Mtu kama wewe ushafanya research tayari sasa huyu mwamba anaongeaaa
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 Жыл бұрын
@@rukinishadamiano5217 hahahaha
@deusdedithmanugulilo1980
@deusdedithmanugulilo1980 3 жыл бұрын
Sio the best is one of the best. Mwambieni huyo jamaa akajifunze kuhusu Lincoln Navigator, Mercedes Benz G Class na BMW X7
@brianmayunga1010
@brianmayunga1010 3 жыл бұрын
Nadhani huyu jamaa hafuatilii magari anafanya ushabiki na tantalila lincoln Navigator ndio the best SUV mnaweza angalia youtube sasa hivi
@noelmgulusi6707
@noelmgulusi6707 3 жыл бұрын
Tunaongeoea SUV sio sedan
@deusdedithmanugulilo1980
@deusdedithmanugulilo1980 3 жыл бұрын
@@noelmgulusi6707 na kuna Sedan gani nimetaja hapo?? Au na wewe hauzijui gari?
@alexmwashibili3616
@alexmwashibili3616 3 жыл бұрын
Aaaaaah brother nimekuelewa kweli👍👍👍
@seifkiswamba933
@seifkiswamba933 3 жыл бұрын
ile Cadillac escalade suv ni best luxury lakini sio hardcore in terrain uwezi fananisha na mercede benz 4x4 square
@SalumNWawa
@SalumNWawa 3 жыл бұрын
Yap G wagon
@shebe2573
@shebe2573 3 жыл бұрын
Umeongeya vizuri 👍
@eliudmwakilembe8592
@eliudmwakilembe8592 3 жыл бұрын
Nakumbuka msafara wa bush in tz 2008,,,alikuja na msafara,wa Escalade saba
@johanespoppa9613
@johanespoppa9613 3 жыл бұрын
Well explained ,excellent.
@erickavelyne6552
@erickavelyne6552 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea point sana
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 3 жыл бұрын
Ile cadillac ya kwanza ya Diamond ndo Ina gharama sana maana imeboreshwa na LEXAN MOTORS
@emmanuelymallya1721
@emmanuelymallya1721 3 жыл бұрын
Hawaelew wanachukulia pouw
@youngbreezy6615
@youngbreezy6615 3 жыл бұрын
yeah you're right!
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 3 жыл бұрын
Ya pili ni ya kawaida?
@erikimethod6246
@erikimethod6246 3 жыл бұрын
Absolutely wajina
@erikimethod6246
@erikimethod6246 3 жыл бұрын
mange kimavi anapaswa kujifunza kwa mtu kama huyu, acjione kukaa america ndo kujua kila kitu
@thedeo472
@thedeo472 3 жыл бұрын
Best SUV in the world is not Escalade. One website rated Mercedes Benz GLE as the Best Overall SUV while Escalade was the 4th SUV in ranking only because of its cargo space.
@mjsteven3297
@mjsteven3297 3 жыл бұрын
Hiyo migari imejaa hapa mtaani Nairobi. Huyu jama bwege kweli.
@rooneyleonidas7824
@rooneyleonidas7824 3 жыл бұрын
Achauongowemkenya kwenu amunawasanii
@rooneyleonidas7824
@rooneyleonidas7824 3 жыл бұрын
Afukingine kwenu akina msanii wakununua galikamaiyo
@mjsteven3297
@mjsteven3297 3 жыл бұрын
Dogo mi mtanzania, Ila kusema yakenya, haimanishi mi mkenye. Hafu ujue huku Kenya kuna wenye maendeleo Yao na hawasemi. Mr jagwa anamiliki ndege na hajigambi.
@najmuddinkarama7360
@najmuddinkarama7360 3 жыл бұрын
bentley bentayga...Rolls-Royce Cullinan ...Mercedes-Maybach GLS.....G wagon...etc huyu chizi akajipange kwanza...
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 3 жыл бұрын
Uko sahihi mkuu. jamaaa anadanganya
@KenyaNewsChannel
@KenyaNewsChannel 3 жыл бұрын
Wakenya wangapi hapa wameona Escalade kadhaa Nairobi?
@andrewkithii7521
@andrewkithii7521 3 жыл бұрын
Boss ata sonko team ako na kadhaa. Kenya ata 2005 zilikuweko
@staredgeinternetservices5854
@staredgeinternetservices5854 3 жыл бұрын
Mombasa bamburi kama nne napisha nazo
@magangajames4644
@magangajames4644 3 жыл бұрын
Kwani Tanzania hakuna?wapo wengi wenye nazo sema aliyenunua ni famous.kuna watu wana hela kuliko huyo hapa Tz
@saidihamadi8263
@saidihamadi8263 3 жыл бұрын
Heeee nyinyi munaoponda angalau muwe ata I ST bc
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 3 жыл бұрын
You're very right bro.
@wollytdiller8067
@wollytdiller8067 3 жыл бұрын
You are crazy!!those cars for Diamond is from 2018 go check nice
@ommy_king
@ommy_king 3 жыл бұрын
Huyo alosema Escalade ni uber marekani halaf G wagon ndo za matajiri... Hajui kama Dubai G wagon tunahangaika nazo kwenye vumbi😂😂😂 Ferarri huku ni Taxi kabsa
@cynthiamukami9426
@cynthiamukami9426 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Nauza magari bt kisungu wahala 🤣🤣🤣🤣🤣
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Ni dubai
@sizaulomi1478
@sizaulomi1478 3 жыл бұрын
Nimekubali mzee kunamkuda mmoja hivi mange utafikiri yeye analo
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 tujuwe wapi siye washamba
@lulually5209
@lulually5209 3 жыл бұрын
Zileteni huku
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Hakuna si kweli... best suv siyo escalade.. huyu dealer yupo shallow sana mpaka hapo.. ukizifuata GLS 600 Maybach... hahahaaa.
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
Huyu muuza magari ni mdiamond
@andrewkithii7521
@andrewkithii7521 3 жыл бұрын
@@princebuganzilut2047 hajui tena kuna Bentley bentayga na rolls Royce suv. Tena anasema 2021, 2021 model inakaa tofauti sana hii inakaa 2019. Dealer hana habari
@masakivlogs
@masakivlogs 3 жыл бұрын
Jamaa ana inspire sana hongera kwake.
@moodyramadhan336
@moodyramadhan336 3 жыл бұрын
Ahsante unajua elezea
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 3 жыл бұрын
Ukitaka kuumiza kichwa wasikilize watz hautafika popote.. Unakuta mtu hana hata mia au swift but kelele nyiingi.. Na kwa Mara ya Kwanza mjadala umeanza kuhusu "Escalade" Wenzangu wa "Escudo" tutulie.
@festusmwagha6409
@festusmwagha6409 3 жыл бұрын
Alafu we dealer usizoe wakenya kabisa... kenya tunarekodi ya kuagiza magari mpaka billion 5tsh
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
Kenya ni a decade ahead in east africa. Bongo huwa ni mdogomdogo. Mwendo wa kobe
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
Hahahaha sure
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 жыл бұрын
Kenya nakubali kuna madoni wengi wana magari ya kifahari alafu wanamiliki watoto tu hila hapa kwetu ushamba mwingi sana
@jacksonmichael6729
@jacksonmichael6729 3 жыл бұрын
Nakubali sana alichokifanya mondi Sasa Bado ndege
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Still hakuna comparison yoyote na ndege... jet ni kitu ingine escalade may be 50 hv. Hahahahaaaa
@dando7819
@dando7819 3 жыл бұрын
Hivi hiyo Escallade na ile Emialade ipi ni best maana nashindwa kujua mimi!
@bazzgarkimea5469
@bazzgarkimea5469 3 жыл бұрын
Ata me yananichanganya😂😂
@josephntungiye6232
@josephntungiye6232 3 жыл бұрын
Emialade itakua karisana tena kunanyingine inaitwa Kobe nikari sana
@joseztemba6298
@joseztemba6298 3 жыл бұрын
Hujui magar wew
@alhamudesser758
@alhamudesser758 3 жыл бұрын
Hata akiunua ndege bado ni uba marekani
@trophinidamac
@trophinidamac 3 жыл бұрын
😁😂😁😁😁😁😀😀
@ummymwalimu3965
@ummymwalimu3965 3 жыл бұрын
😁😁😁
@kassimdinno
@kassimdinno 3 жыл бұрын
Sio the best sema “one of the best”
@SalumNWawa
@SalumNWawa 3 жыл бұрын
Hapo saaafi
@lamecknoel9076
@lamecknoel9076 3 жыл бұрын
Sure thing
@UniformShop-if9bf
@UniformShop-if9bf 3 ай бұрын
yess
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 жыл бұрын
Huku kwetu somaria Escalade ni kama fyati au au masey huwa tunapeka shambani kwa ajili ya kusaidia vilimo na mifugo huwa tunabebea mbolea,na mbegu na kubebea mavi ya mifugo kupeleka dample.
@hezronmdegela9102
@hezronmdegela9102 3 жыл бұрын
Somalia mko mob
@nicksonhelman294
@nicksonhelman294 3 жыл бұрын
Kunagali inaitwa bebe, mbona kali sana
@tzmwamba4124
@tzmwamba4124 3 жыл бұрын
🤣🤣
@youngbreezy6615
@youngbreezy6615 3 жыл бұрын
ila jamn mujue kuwa izo Cadillac mnozungumzia zote ya diamond ndo ina gharama zaid maana chuma kutoka Lexan motors ambayo ukichanganya na maushuru kitu kinagonga bilion 1.3 Tsh
@dericknotderek
@dericknotderek 3 жыл бұрын
Nyokoo unajua billion ww si angenunua rolls Royce basi😂achen upuuuz kafwatilieni bei zake hata custom made Amna ya billion
@daxyability9354
@daxyability9354 3 жыл бұрын
Ww hata hujielewi...unaongea pumba tu
@isackmagaya7088
@isackmagaya7088 3 жыл бұрын
Huna hakili timamu wewe billion unaijua wewe
@francesisc
@francesisc 3 жыл бұрын
kiazi huyu
@prisiusfelcian5271
@prisiusfelcian5271 3 жыл бұрын
We kweli chula wa kujitegemea
@bejos845
@bejos845 3 жыл бұрын
Watanzania nawapendea hicho, yani kitu cha kawaida wao wanachukulia issue kubwa, inchi zingine watu awaongelei swala za gari kama hiyo. Ama niule msemwa wa mwenyejicho moja mdo mjanja kwenye kundi la vipofu. Escalade nigari kawaida sana. Ila inakula nguzo mana wenye mikokoteni ndowengi hata kuliko wenye baiskeli
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 жыл бұрын
On the list of the best SUV Escalade on number 19
@philimoneliah3319
@philimoneliah3319 3 жыл бұрын
Katika hii dunia muogope mungu na technologia alijua hatutaingia kwenye mtandao
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 жыл бұрын
Nani alijua?
@fadhilmfamao5111
@fadhilmfamao5111 3 жыл бұрын
Kwan mond aliwaambia amenunua sh.ngap?, watz wanajitekenya wenyew hlf wanachek wenyewe!!!
@AhmedHaji72
@AhmedHaji72 3 жыл бұрын
highest rated Suv sio escalade embu tupishege huko kwahio lincoln navigator ya ngapi gari kama boxi bhana 😂😂 na hio sio 2021 kajambe kulee
@soudybrown1494
@soudybrown1494 3 жыл бұрын
Hater
@faidabundulu6995
@faidabundulu6995 3 жыл бұрын
Nakubali milad Ayoo wengine wanaturushia taarifa za uongo
@mwayembejr.1805
@mwayembejr.1805 3 жыл бұрын
Tatizo watanzania wanaushamba Sana Yani hizo Escalade zinavyochezewa na watoto hapa Kenya ata haziongelewi ila tz imekuwa habari wiki mbili duuuh! Kweli tz baadhi yenu ni madwanzi sanaa
@everlinethoya869
@everlinethoya869 3 жыл бұрын
😃😀😃😀😃😀😃😀
@mediotanzania2165
@mediotanzania2165 3 жыл бұрын
Ila pia tukubali tu diamond Platnumz ndio mtu wa kwanza kuieleta ya 2021 Tanzania hakuna kama mondi
@emanuelmselle637
@emanuelmselle637 3 жыл бұрын
Eeeh bb mond noma hyo ni ya 2025
@aidanmaganga7051
@aidanmaganga7051 3 жыл бұрын
Kabisa
@najmuddinkarama7360
@najmuddinkarama7360 3 жыл бұрын
Duuu we utakua unaishi mkoa si mjini....
@leahally4618
@leahally4618 3 жыл бұрын
Munateseka mukiwa wapi jaman 😂 😂😂 mbona nyie iyo gar hamuna?muachen mond wawatu jaman fanyen maendeleo yenu maana ata haitakusaidia kitu na hata ukimsema vibaya maisha yake hayafanani na yako achen umasikin fanyen yamaendeleo dah Yan mapovu yanawatoka jaman😂😂😂
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 3 жыл бұрын
🤣😃😃😃🏃‍♀️
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 жыл бұрын
Mondi changanya kenge Hawa, ulete na fisi mzee baba, ili watoe povu kwa sana, mond safiiiiiiiiii
@pendomariki6562
@pendomariki6562 3 жыл бұрын
Afuge simba kama jina lake tu ni hatar
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Ishashuka rolroys uko ujona
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
mtaalam iko vizuri.
@PrinceLeon1
@PrinceLeon1 3 жыл бұрын
Iyo ya Diamond sio 2021
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 3 жыл бұрын
Ya Kwanza ni 2015 na yapili ni 2021
@festusmwagha6409
@festusmwagha6409 3 жыл бұрын
Me niulize kaka unaifamu range rover vizuri
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 3 жыл бұрын
Niliwaza kama wewe, yaani tusiende mbali sana!
@honorekiza8762
@honorekiza8762 3 жыл бұрын
Bro Gari zote za V8 Engines zinakula mafuta mbona ninayo DODGE CHARGER SRT 2020 Na yenyewe inakula mafuta tena kuzidi iyo Escalade 6.2 L V8 yangu ni 6.4L V8. kununua kitu kama gari hata kama inakula mafuta sana ukiipenda utachukua kama uwezo unao aijalishi ndo pesa sana au Umaskini sana.
@danieldaudi1283
@danieldaudi1283 3 жыл бұрын
Nice review! but Escalade ina depreciate sana kuliko ata Toyota Land Cruiser alafu pia siuo SUV ndumu in teams of durability Escalade siyo gari gumu kama SUV nyingine kwenye category iyo ya full size SUV'S
@abdul-bz1cy
@abdul-bz1cy 3 жыл бұрын
hivi unaifahamu Lamborghini urus 2021 ?
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa huyu anachez na akili za wtuu,kuna Porches ambayo ni moto pia,Kuna Lincoln SV ambayo ni hatrii kuliko hii Escal,kuna GMC ya marekana pia hatarii Sana'a Sana'a......
@AbdulGermany210
@AbdulGermany210 3 жыл бұрын
Ni Gari nzuri ila kwa Tanzania ni Sawa na kupoteza pesa, utaipitisha wapi ndugu yangu
@emariusrush3285
@emariusrush3285 3 жыл бұрын
Unaambiwa Cadillac Escalade tougher and luxurious car,sasa Lamborghini ni luxurious tu
@Hanskapella
@Hanskapella 3 жыл бұрын
Unayajua magari lakini au unaiongelea tu kisa unaionaga kwenye picha.
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
@@happyjohn5882 unakaribia kusema GSM
@Eric482
@Eric482 3 жыл бұрын
😄😄😄 anadanganya wazi wazi
@kizazijeuri3562
@kizazijeuri3562 3 жыл бұрын
Nimemwelewa sana
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 3 жыл бұрын
Kwangu mimi. The Best SUV Ni Kalmani King sio Escalade
@Noble_Digital_Solutions
@Noble_Digital_Solutions 3 жыл бұрын
Tuko pamoja, alafu kila mtu ako na best SUV kutokana na vigezo vya vyake. So Escalade ni gari kali lakini ni the best kwake
@mandlasakhile9109
@mandlasakhile9109 3 жыл бұрын
Hii interview naiomba jamani
@khalidsalmin7682
@khalidsalmin7682 3 жыл бұрын
Escalade hiyo ya diamond na land cruiser 2022 bora uchukue cruser kwa uono wangu lakini...
@Exavery
@Exavery Ай бұрын
aise iyo ni good ❤
@dsstanzania
@dsstanzania 3 жыл бұрын
Safi sana mkuu nimekuelewa
@Life_of_collin
@Life_of_collin 3 жыл бұрын
Kenya zipo nyingi bro ...
@zaidramadhan5845
@zaidramadhan5845 3 жыл бұрын
2021 elewa co Escalade tu ni Escalade 2021 zipo?
@jaqeezmosurprise4499
@jaqeezmosurprise4499 3 жыл бұрын
Unasema diamond hana pesa acha wivu za kwako ziko wp demu wako aki omba pesa ya kusuka 2 una kimbia
@GibiGene
@GibiGene 3 жыл бұрын
U said well
@pubgyesssir7973
@pubgyesssir7973 3 жыл бұрын
Hakuna hio sio number 1
@Iam_Asionyi
@Iam_Asionyi 3 жыл бұрын
uongo eti kenya hakuna..wewe uko kenya? njoo nairobi tukuonyeshe magari ndugu angu.We are the OG
@mosessanga7534
@mosessanga7534 3 жыл бұрын
Inapita zuu zuu zuu ndio Cadillac inalia ivyo
@chrispinimkanda7127
@chrispinimkanda7127 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@blaqyrn3655
@blaqyrn3655 3 жыл бұрын
😅😅
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 жыл бұрын
Zuchu zuchu😂😂
@lulually5209
@lulually5209 3 жыл бұрын
😂😂😂😂eti zuchu nimechekaje
@bonifacehassan1309
@bonifacehassan1309 3 жыл бұрын
Atal
@bonaventuralupogo2149
@bonaventuralupogo2149 3 жыл бұрын
Lincon navigator
@godblesskessy5516
@godblesskessy5516 3 жыл бұрын
wabongo bwana mnapoteza mda kumjadili diamond na magari yake badala ya kujadili vitu vya msingi Kama kuondokana na umasikini tulionao? kujadili magari ni ushamba .kwani tunakwama wapi sie wabongo?
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Huu sio ujinga bali ni ni upumbavu kabisa njaa wengine zinawauwa wanahangaika na mtu ambae akiwakuta hapo barabarani hata hawezi kuwatazama foolish.
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Usitupangie maisha sisi sio mifugo yako
@erickmweta8215
@erickmweta8215 3 жыл бұрын
Huyu dalali anachekesha sana 🤣🤣🤣🤣five star mpaka kusema East Africa haipo Leo amejishusha sana
@hermanjoshua6224
@hermanjoshua6224 3 жыл бұрын
Ya 2021 nazan ndvyo alivyomaanisha
@frankdanford8245
@frankdanford8245 3 жыл бұрын
Yaani ni muongo sana huyu jamaa kuna garage moja pale buguruni ipo cadillac escalade hiyo imekufa yakitambo namba B tena
@hermanjoshua6224
@hermanjoshua6224 3 жыл бұрын
@@frankdanford8245 mnachoshindwa kumuelewa huyu jamaa, hajasema hakuna cadillac , ila amesema new model ya 2021 hakuna hyo inaweza kuwa ya kwanza, hzo za zaman zipo nyingi tu Muwe mnasikiliza mnaelewa sio kukimbilia kwenye coments tu huku hamjasikiliza
@erickmweta8215
@erickmweta8215 3 жыл бұрын
Vehicle detailing skills yake imeonyesha hana data za uhakika juu ya Escalade. Msanii wa kwanza kuwa na Cadillac kwa EA anaweza kuwa Jose chameleon hapa Tz pia kuna mtoto wa tajir anazo 2
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 3 жыл бұрын
Huyu ni mtaalam wa magari used ya Japan huyu
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 жыл бұрын
Kwanini?
@abdillahialiy9511
@abdillahialiy9511 3 жыл бұрын
😂😂
@rimbagona6497
@rimbagona6497 3 жыл бұрын
Bro hapo umeongea ukwel its a used car
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 жыл бұрын
@@rimbagona6497 😂😂😂😂akili sio za kila mtu. Gari imefunguliwa Mpya kutoka kwenye contena.😂😂😂
@bitobitondola7921
@bitobitondola7921 3 жыл бұрын
@@lexq-sm6lq nigga hata wewe unaweza agiza gari from anywhere in the world ukalipia liwe delivered kwenye container. Kitu kuwa kwenye container sio kwamba ndio brand new. Tuanzie na hapo
@badrumbarouk3377
@badrumbarouk3377 3 жыл бұрын
Unaijuwa bugett divo mjomba billion 18 za kitanzani na pesa za juu dunian kuna gar Kali zaid na zaid
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 жыл бұрын
$76195 the price of that Escalade new one, and used one is far way less than that
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Fifty five thousand dollars
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 жыл бұрын
76195 dollars ni kama upo nje. Ku isafirisha mpaka iingie bongo ndio gharama zinapo ongezeka. Tuseme ametumia kama 250 - 300k kwa gari zote mbili. (That's not cheap at all, hiyo ni karibu milioni 700)
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 3 жыл бұрын
THE PRICE YOU ARE TALKING IS SUBJECT TO CUSTOMIZATION. THE PRICE COULD HIGHER IF CUSTOMIZED.
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 жыл бұрын
Uki zingatia kuna gari ya tatu rolls Royce phantom ka agiza, Na kwa video ambazo Zime anza KUSAMBAA tayari mtandaoni, ina ONEKANA isha fika bongo.(Sijui kama ushaiona hiyo video, rolls Royce phantom iko na cadillac) Ukipiga hesabu za gari tatu hizo ni kama bilioni 2 na ushee. NOT CHEAP
@edesiuskuyasiwa6352
@edesiuskuyasiwa6352 3 жыл бұрын
@@lexq-sm6lq Bado sana, kibongo bongo jamaa anapesa.. Lakin Sio kujidai kwa Africa, davido tu hamkuti.
@adambakari9276
@adambakari9276 3 жыл бұрын
Na ww AYO km huna habari sema tukuuzie habar kenge we umeniharibia MB znh
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 жыл бұрын
WAPENDWA CHA MSINGI TUMTAFUTE SANA MUNGU HAYA MAGAR TUNAYAACHA JAMAN. TUOKOKE WAPENDWA. YESU ANATUPENDA NA KUTUHITAJI SANA.
@_7medo_
@_7medo_ 3 жыл бұрын
Huyo dealer wenu anaujuwa ukwaju kama hajuwi bc karopoka ukwaju hiyo gar haikuti hata v8 XXL kwa ubora eti v8 ni ya kufanya uba yeye kwao hata pikipiki hawana atuondole bangi zake ndo wanao chafuwa majina ya kampun za magari acha tunyamaze tusitoe kasoro za hiyo gari
@tynegeemajor
@tynegeemajor 3 жыл бұрын
Daah Best SUV in the world hahaaa!!! Escaladeeeeee, Bro kumbe we kweli ni bingwa wa magari bongo tuuu umeletewa kitu nje ya uwezo wako umeingiza wenge na kuropoka tuu. sasa hzi ndo best SUV in all aspects: Rolls-Royce Cullinan, Range Rover LWB, Mercedes-Maybach GLS600, Lamborghini Urus. Usituambie sisi hivoo tenaa bro
@frankchilumba5953
@frankchilumba5953 3 жыл бұрын
Bora umeongea kiukweli kabisa alafu kisomi
@brayanphilipo1851
@brayanphilipo1851 3 жыл бұрын
Sio the Best
@isaacs3904
@isaacs3904 3 жыл бұрын
Technically.....hakuna uhusiano wa cc 6200 na consumption ya 6.2/100 kms
@pamatech7954
@pamatech7954 3 жыл бұрын
Ayo huyu mkungwa umemuokota wap ?huyo muuza noha bob, kama vp mremove anavuruga media tu.
@emmanuelkisamo2808
@emmanuelkisamo2808 3 жыл бұрын
Huyu pumbavu kweli. Escalade inaingia kwa Aston Martin,Bentley,Cadilac Cullinan? Muwe mnahoji watu wenye akili.
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 3 жыл бұрын
Cullinan 1.5m dolla
@ndegejr4218
@ndegejr4218 3 жыл бұрын
@@salehalzakwani3283 Cullinam ni dollar 318k Toleo la mwaka 2021
@bone102
@bone102 3 жыл бұрын
Mzee hivi hzo gari ulizotaja unaweza uka zitengeneza interior zikawa kama hyo gari anayo zungumzia anasemea gari kubwa hzo zote ulizotaja body zake ni ndogo tofaut na escalade usikurupuke
@chrispinimkanda7127
@chrispinimkanda7127 3 жыл бұрын
Sasa mbona povu mzee baba vip inauma inauma ee !!?
@abuuatwiyyahssalafiy9919
@abuuatwiyyahssalafiy9919 3 жыл бұрын
@@ndegejr4218 a6
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Eti ni kitu cha kujivunia. Sisi tujivunie kwa sababu inatusaidia nini . Pelekeni ushamba mbele.
@pierreoriva4131
@pierreoriva4131 3 жыл бұрын
Gari nzur Sana Escalade
@Special4uTV
@Special4uTV 3 жыл бұрын
Jamani hii ni Escalade 2021
@la_raib953
@la_raib953 3 жыл бұрын
na Volvo jee
@barakapaul4454
@barakapaul4454 3 жыл бұрын
Kama umemuona jamaa kalewa hebu tujuane kwa like
@malcolmx4335
@malcolmx4335 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 kalewa anaongea english
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@malcolmx4335 🤣🤣🤣🤣 LUGHA YA MAYAI 🤣🤣🤣
@lawrencerichline4671
@lawrencerichline4671 3 жыл бұрын
Mwanangu sana bandari ya magari mtaani
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 3 жыл бұрын
Hahahah eti east africa hakuna. 🙌🤣🤣🤣🤣😂 ivi huyu anaona MOND tu ndo tajiri eastafrica
@salummbunga4167
@salummbunga4167 3 жыл бұрын
USIKUTE PENGINE YEYE NDIO DALALI UJUE 🙈🙈😂🏃🏃
@diodoruskyomya9328
@diodoruskyomya9328 3 жыл бұрын
Were yupi unamjua anayo 2021 in east Africa?
@marcellysumaye2859
@marcellysumaye2859 3 жыл бұрын
Kwan nani anayo hiyo gari hapa east africa zaid ya mondi
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Usikilize na umuelewe Alf timu pny ndo ugonjwa wenu ubishi hmtki ukweli
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
@@marcellysumaye2859 washamba Hao achana nao
@mirajimussa828
@mirajimussa828 3 жыл бұрын
Anaziacha wapi Lincoln Navigator, Mercedes G 63 AMG
@kyaro5945
@kyaro5945 3 жыл бұрын
Mercedes G63ni almost $500k ni za Watoto wa kifalme huko uarabuni. Range rover 2021 ni 200$k
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
U diamond umetawala
@ignatusrogerslema8650
@ignatusrogerslema8650 3 жыл бұрын
Hajui magari huyu dalali anasahau Lincoln Navigator kweli
@shedrackamos4021
@shedrackamos4021 3 жыл бұрын
Kagoogle acha ushamba wewe
@officialmachupatv3637
@officialmachupatv3637 3 жыл бұрын
Muwe mnatafuta watu wakuwaoji kuhusu magari uyo ni dalali w magari gar anayo zungumzia iyo diamond ya mwaka ayewezi kufika 2021 iyo gari ni mwaka 2015 Au 2014
@najmuddinkarama7360
@najmuddinkarama7360 3 жыл бұрын
Mzee kama kweli unauza Magari basi zitakua combi maana huna unachiojua ....
@bosskubwa2727
@bosskubwa2727 3 жыл бұрын
Ila huku Kenya ziko nyingi Tu na watu hawapigi Kelele, huyu kijana wa tandale alete Ferrari
@bensonswai7575
@bensonswai7575 3 жыл бұрын
Watanzania tunashida snh mnasem mond hel na nyie nunue tuone Co kuongea tu
@siyamanda7073
@siyamanda7073 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajielewa na muelewa sana yani ameelezea inavyotakiwa. Yule kimambi radhi ya baba ake inamsumbua
@dizzobostuwa2489
@dizzobostuwa2489 3 жыл бұрын
Good
@braimondbrizzy7138
@braimondbrizzy7138 3 жыл бұрын
My brodah
@faudhiaabdallah9155
@faudhiaabdallah9155 3 жыл бұрын
Kumbe 300million dah bei chee
@thehunter5920
@thehunter5920 3 жыл бұрын
Milion 300,bei ya land cruiser GXR hiyo v8 hiyo
@chokambaya468
@chokambaya468 3 жыл бұрын
Huyu inaonekaya Tim mondi wazi mana kuna G wagon v12 anaijua au Lamborghini urusi huyu tim tu
@aziztossiry3805
@aziztossiry3805 3 жыл бұрын
Kwani ni SUV au?
@sameeraidd2109
@sameeraidd2109 3 жыл бұрын
Gari la mwisho jeneza
@kelvinmazanda
@kelvinmazanda 3 жыл бұрын
Kwenye dakika ya 3:00 , ....gari ina six point two per hundred Kilometer (6.2/100Km)... 🤔 What is this???
@sammiebudodi
@sammiebudodi 3 жыл бұрын
sio ya mwaka 2021 ni ya 2019
@husseniamiri2159
@husseniamiri2159 3 жыл бұрын
Acha uongo ni ya 2020
@BinSharifMovies
@BinSharifMovies 3 жыл бұрын
@@husseniamiri2159 acha uongo ni 1943
@husseniamiri2159
@husseniamiri2159 3 жыл бұрын
@@BinSharifMovies 1943 cjakuelewa. Diamond gari aliyonunua ni ya mwaka 2020
@BinSharifMovies
@BinSharifMovies 3 жыл бұрын
@@husseniamiri2159 just kidding bro
TOYOTA FORTUNER NI BALAA/ INA MAAJABU /#0676577711
11:26
Magari chapchap
Рет қаралды 26 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Mercedes v Range Rover v Maserati v Toyota: OFF-ROAD (4x4) BATTLE!
10:54