unajua ukipendezewa na mafanikio ya mwenzako ..hata wewe mungu atakunyoshea baraka
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Sio kupata Kwa njia ya ambayo Mungu anachukia,,,,
@benpaul9204 Жыл бұрын
Nikweli
@viny__2 жыл бұрын
Rolls royce... big up simbaa👍💥
@stellamsokwa70303 жыл бұрын
kazi ya mungu ni kuinua vinyonge,big up simbaaa
@videlialabeka48992 жыл бұрын
Nampenda Diamond
@abdulbagayan6143 жыл бұрын
Piga kelele kwa diamond wake weweeeeeee
@omarabacar47563 жыл бұрын
Oyoooooooooooooooooooooooooooo
@yakubually66543 жыл бұрын
Namuona simba anendesha kavua shat au power staring mbovu
@kakore_jr3 жыл бұрын
HAYA NDIO MAISHA YA KISTAR🔥🔥🔥🔥
@sadikidaudi12233 жыл бұрын
Sio unamskia star eti anapesa lakini hataki kujionyesha😀😁😁😁😁😁😁😁😁
@issahakizimana17642 жыл бұрын
Diamond platnumz simba baba lao africa
@devisshirima67802 жыл бұрын
Jipige pige kifua sema "Hata mimi ni tajiri kwasababu ninao uhai, ambao ndio chemchem ya mambo yote ya mwilini". Ukiwa hai hakuna linaloshindikana, muombe tuu mwenyezi Mungu akupe hekima kabla ya mali, ili ukishakuwa nayo hekima hata mali atakayokupa utaitumia kumtukuza Yeye na kuwaheshimu wale ambao wakati wao wa kubarikiwa haujafika !! Endelea kuchapa kazi muweke Mungu mbele na umheshimu naye atakupa heshima unayoistahili, wala usifedheheshwe na anachomiliki mtu mwingine kile ni chakwake kwa wakati alicho nacho, na wewe amini kuna wakati utakuwa nacho !! Amin Amin Amini nakwambia wewe unayesoma hii na una muamini Mungu na kufanya kazi kwa bidii !!
@vivianedwin24472 жыл бұрын
Hongera sana kwa kuwa experience ya hali ya juu.
@humbleguy37562 жыл бұрын
Enyewe huyu ni star🤗nakubali kbsa
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Mnyama Simba 🦁
@tonyadede25813 жыл бұрын
Mungu nisaidie kuelewa jinsi msafara huu umejengwa na kipaji Cha sauti tu
@carenmikky32302 жыл бұрын
Very nice 👍 amuniza
@kaburaakbar70693 жыл бұрын
Simbaa baba lao
@alawyyussuf25983 жыл бұрын
Mbn hiyo gari iko tofauti sana na Roll Royce ninazoziona kwenye miatandao. Hiyo imekaa kama Rava4. Asante Simba kwa kumodify Rava4 ukawaambia manufactures wakuandikie jina la Roll Royce
@joseholoo30263 жыл бұрын
Hiyo Ni type mpya ya RR inaitwa RR cullinan zile unazofahamu Ni phantom,ghost,wreith.
@edwardiha80183 жыл бұрын
Kutojua kumbe Kweli usiku wagiza ya rolls Royce na rav 4 kweli wapi na wapi,😂😂😂😂simakosa Yako
@frankkikambako92813 жыл бұрын
Roho inakuuma eeh🤣
@catherinesamson92392 жыл бұрын
Una kaasili ka uchawiuchawi
@watuhuru61283 жыл бұрын
Wala si mshamba anakula mema aliepewa
@watuhuru61283 жыл бұрын
Bodaboda mnanivunja mbavu mtaends nae hadi wapi
@dufandaqueen16173 жыл бұрын
😂 😂 😂
@husseinmoshe66303 жыл бұрын
Gari nzuri kabisa
@zaidihussein43113 жыл бұрын
Mungu akujalie akulinde pia
@jackidi2743 жыл бұрын
Kwa wale wanao sema eti nifeki wambie baba zao waka wanunu leye nao gari feki diamond wewe noma sana 👌👌👌❤️❤️🔥🔥🔥🔥
@mabawaplatnumz51393 жыл бұрын
nahisi hicho ndo kiwanja chake anacho jenga nyumba yake ya ndoto, dondosha like kama tuko pamoja
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Nakubaliana na wew
@habbydaimu53133 жыл бұрын
Hisi utahisiwa na wewee
@habbydaimu53133 жыл бұрын
Walinzi kz wanayooo
@abdulnassir78363 жыл бұрын
Africa ni Africa tuu..Christiano Ronaldo analo RR lakini huoni ivi vitu but wanyamwezi ni shidah.
Maskini akipata lazima atambe na si ushamba tamba simba
@malianonicass70293 жыл бұрын
Wivuuuu hahaaa fanya kazi bhana
@zuhurasuleiman9193 жыл бұрын
Una wivu
@TOMMYWIZZY-d8c3 жыл бұрын
Hatari Simba💥💥
@peridamtweve7152 Жыл бұрын
Safi sana kijana onesha mfano kwa vijana wenzako
@emmanueldaud83713 жыл бұрын
Mwacheen mond ndio muda wake mow
@elvisoscar99123 жыл бұрын
Uyu bodaboda wanampakua sijui sa Harmonize kqingia VP Apo 😂😂
@hakizimanafiston35893 жыл бұрын
Kumamako unapakuliwa wewe na harmonaizi msenge
@me-zt8qm3 жыл бұрын
@@hakizimanafiston3589 🤐
@me-zt8qm3 жыл бұрын
💪
@frazerphilip48493 жыл бұрын
Boda ye hajioni kazi kusifia wenzake
@elizabethkajana95283 жыл бұрын
Wachapeee kwa vitendoo Simbaaa
@edwardmdee20023 жыл бұрын
President of music Africa
@shaddybmc83423 жыл бұрын
Mmmmmh. Jaman haya tunayaacha dunian. Tulinde roho zetu kwa kutubu dhamba zetu na kuokoka
@benardmamboleo57393 жыл бұрын
Zari help diamond to buy thirty car 🚗 rolls royce
@abdulbagayan6143 жыл бұрын
Diamond namkubali bana
@smokeedaisy22522 жыл бұрын
Much love from Planet Bongo Fashions Kampala Uganda
@kingdinho93923 жыл бұрын
Much love all the way from Liberia bro
@samatambwana5163 жыл бұрын
Namkubali mond wew ni mpambanaj
@chiefndatu18953 жыл бұрын
Cruiser Vx mbili mil mia6, +Prado Tx moja mil250,+ Cadillac Mbili Mil 900+ Rolls Roys Bil 1.9=
@sanjafarmmachinerystractor42053 жыл бұрын
Saws
@zakayomepuyinywe14003 жыл бұрын
Umekosea chief prad mil 129, cardiac mil 600+ na RR ndo imefunika mil 8+ siyo 1.9 b no
@petershedrack46683 жыл бұрын
@@zakayomepuyinywe1400 kuna jmaaa jana nilimsikia akihojiwa huyo ni wakala wa magari Tanzania alisema hiyo RR inagharimu dola laki 6.5,ambayo ni sawa na b 1.5
@cneamses36453 жыл бұрын
@@zakayomepuyinywe1400 hiyo 800M ni kabla ya ushuru na takataka nyingine zote.
@emmanuelbonifase11143 жыл бұрын
Kama nimeona escalade SUV kwa nyuma mnymaa simbaaaa salute
@coolzeddy_official92163 жыл бұрын
Amaaaaah kwel jiji limezizima
@alhamduharuna79853 жыл бұрын
mm nimshabiki wa alikiba ila kwasasa dogo nakukubali nasubili unipigie nyimbo hata 1 brother lil wayney hapo nasaini kuja kwako
@yahayamaulana89513 жыл бұрын
Huyu anayemtaja vibaya Harmonize anafirwa
@FRANSKALITUSI49373 жыл бұрын
Nakubr Sana brother
@SammyOmari2543 жыл бұрын
Sasa wale ambao wanamkejeli Harmonize wao wako na nini, wanafaa kuenda kwanza kuenda kubishana na Harmonize wakimshinda ndio wakuje hapa kusema ati kua yeye hana kitu
@addifela93093 жыл бұрын
Ukweli kabisa... wanaongea na piki piki ya mkopo
@karimhamisi46273 жыл бұрын
Ni chuki na roho mbaya tu
@stephanoedouardkinoissalva43883 жыл бұрын
Kwa ushamba tuna wakubali wa bongo
@zuhurasuleiman9193 жыл бұрын
Simba nakubali
@ibrahimmohamedibrahimmoham71163 жыл бұрын
Simbaaaa nakubali
@abiyasin31663 жыл бұрын
Mond Makin sanaaa endelea kuwakela tim konde
@mzenjikichaa86953 жыл бұрын
Naskia hamo mchumba tu
@danieljoseph16103 жыл бұрын
Za kukodi hizo! Ndo maana hajasajiri! Awadanganye wajinga! Mzee wa kiki huyo! Mwambie azisajiri tuone!
@mzenjikichaa86953 жыл бұрын
@@danieljoseph1610 mwambie mamaako nae akodi basi tuvimbe au vp
@lulually52093 жыл бұрын
@@danieljoseph1610 kafanya hivyo kuzima tuzo za bet aibu alijimwamba fai sana kuwa atachukua kakosa kaona aje na style hii
@ndtiwepetrus65063 жыл бұрын
I think Harmonize he may never think of competing with Simba
@KAlly-dp4yy3 жыл бұрын
I don’t think Harmo is that stupid 🤣🤣 Diamond is untouchable period 🥰🥰love from 🇨🇦
@joelkoross74763 жыл бұрын
Watz kizungu inawalemea haha
@KAlly-dp4yy3 жыл бұрын
@@joelkoross7476 ;)
@masikareagan51663 жыл бұрын
Underground 🤣🤣🤣🤣🤣
@eaglecherish97493 жыл бұрын
Simba my number one(Diamond Platnumz).....
@makongoronyerere25953 жыл бұрын
Kula maisha mdgo wangu mond, ss ngoja tunywe kawa2
@ngwanasongowelero71532 жыл бұрын
Kweli mondi Mungu akishikilie uishimika mingi ili nass tujifunze kupitia ww
@shukuruwiliamunicksoni13523 жыл бұрын
Simbaaaa respect baba lao
@hadijatambwe91943 жыл бұрын
Wa tz hamna kazi kweli .Je mtume Muhammed akija mtafanya ajee
@asmajamani29673 жыл бұрын
Subili akishakuja ndio utaona ss tzd tutakavyofanya 🙏
@samwelemanuel49943 жыл бұрын
kwani mtume ninani Mohamed ninani seem yesu akija
@fredrickgitonga19723 жыл бұрын
Mohammad asakufa atakuja wapi sema yesu yuaja
@monicaboniphace153 жыл бұрын
Mtume Muhammed ndo kitu gan yeye mwenyewe anasubir ufufuo ni mfu we akija utafanya nn?
@j.mboytz64573 жыл бұрын
G sana simbaaaaaaaaa
@Mastoryy3 жыл бұрын
Alie sikia harmonize si mchumba tu🙊
@zawadimasula62533 жыл бұрын
Linaha na konde ni Kiki mtateseka Sana mashabiki
@MWENDA-vv5im3 жыл бұрын
Kwani TZ mnatumia side ipi kuendeshea gari, right ama left?
@kathuri443 жыл бұрын
Right but RR n left hand
@ultimatekelzy6173 жыл бұрын
Only left
@tradamus41583 жыл бұрын
Sisi tuna tumia zote tu ilimladi kuwa makini usikamatwe na police 😂
@MWENDA-vv5im3 жыл бұрын
@@ultimatekelzy617 Kwa hivyo, hilo gari jipya la Diamond ni haramu TZ? Nimeona steering wheel iko upande wa kushoto kumaanisha linafaa kuendeshewa upande wa kulia.
@ultimatekelzy6173 жыл бұрын
@@MWENDA-vv5im ni suspect haswa...
@zou74703 жыл бұрын
Dunia hiyi haya aca nikae kimwa🤐🤐🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@kasmirypaschal22283 жыл бұрын
poleeee
@levisduiza14743 жыл бұрын
Simba mwamba wa KG
@xaverisunday6993 жыл бұрын
#aboi_4rm_makambako hao mangoko mbn wanapelekeshwa kama pia babeki haha njaaa hizi
@jacksonmochere91093 жыл бұрын
Kwan Simba kanunua rolls royce
@issahakizimana17642 жыл бұрын
Diamond platnumz the king of africa
@ericklibaba11983 жыл бұрын
Kuna Boya analazimisha kuongea mambo ya Harmonize... Tutafute Pesa...
@me-zt8qm3 жыл бұрын
💪
@findustechnologies3 жыл бұрын
sijui kwasababu sina ela maana naona ni usenge tu
@mohamedmsangi53503 жыл бұрын
Masha lavu ndoa
@Luciana-of6uz3 жыл бұрын
Ako na masifa yaki ushoga 😏😏 akwende zake ata mara mia harmonize 🤗🤗
@chamandaayolaiza7943 жыл бұрын
XIKIA MJOMBA XXI TUNATAKA ATUONYEXHE VIBALI NARIXITI KAMA ALIVYO FANYA DAVIDO ALIPO NNUA KARI DAVIDO ALIONYEXHA MPKA KAMPUNI ALIO NNU LILEGAR
@aishadjumaphones88773 жыл бұрын
Kuvikusaidiye.nini
@abdiqafarmaalim5053 жыл бұрын
Aliyesema harmonize Hana lolote...eti ana mitumba ni MSHAMBA
@zuhurasuleiman9193 жыл бұрын
Nakubali simba
@Leftethegreat2 жыл бұрын
the convoy it self , its worth a lot.
@denismassawe96463 жыл бұрын
Uko vizur mkuu
@mohamedmatogoro40673 жыл бұрын
Mpk waombe poo wakuite mshamba mkiwanja ss fujo tu mjn hapa maana mji ulipoa huu
@mohdshebe56403 жыл бұрын
Gari lenye left hand mmmhh
@johnmoses45463 жыл бұрын
Hana nguo ndo mahana antembea kifua wazi
@abubakarzanzibar45293 жыл бұрын
Kwetu zanzibar hatuna ushamba kam UW what wanapesa hataree n hawapo ivoooo
@habibuomary19353 жыл бұрын
Ushamba huu haya acha tuone mwisho wake
@ommygabdul33673 жыл бұрын
Acha kudanganya watu 2.7b unaijua ww hyo gar sio bei hyoo 555.721 think like that
@vivianomasawe4732 жыл бұрын
🤝🤝
@hazjay46713 жыл бұрын
Wa Amma Biniimat Rabikka Fahadith...!!
@aizakally95332 жыл бұрын
Hana ishu uyoo bado mshamba 2
@salimmohammad36272 жыл бұрын
Congratulations sir ...
@mohamedabdallah46672 жыл бұрын
Naona hajabandika Ata plate number
@zaituneadremaneadremane56982 жыл бұрын
platnumz
@kashucedrick30893 жыл бұрын
Simbaa
@simbaplatnumz36933 жыл бұрын
Simbaaaaa
@shaabanimbakana40313 жыл бұрын
Gari lenyewe used....
@yusufhussein69903 жыл бұрын
BANZI SYSTEM MAINTAINENCE ....TUNATOA HUDUMA ZA KUJAZA FOMU ZA BODI YA MKOPO OLAMS HELSB .... PAMOJA NA KUTUMA MAOMBI YA VYOO KOTE NCHINI NA NJE YA NCHI TUNAPATIKANA MBEYA SOKO MATOLA KARIBU NA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA