Ibraah kujiamini kwake mnamuona kakosa heshima,bwege nyie,,,,Ibraah Much love from 254🇰🇪 Bomboclaaat....
@NemaneMawondo3 сағат бұрын
Baada ya ibraah kuongea imetufundisha mengi sana 1. Watu wengi hawapendi wengine wafanikiwe means matajir wanalindwa xo ukijifanya kupambna kama tajir hasipokudhur bas machawa watakudhur 2 . Dunian mama na baba ndo wanaweza kurahi ukiwapita kipato 3. Jamani mo bakhresa wanaroho sio kiroho kama iki 2 kinawatoa mabovu au bas nichek 2
@AbubakariABOUBAKARISwai2 минут бұрын
Sioni ubaya wowote kujiamini kuwa na nidhamu ya uoga sio heshima Tamba na kile ambacho unacho msilimlazimishe awe chawa wa kusifia biashara za watu akasahau zake sio poa ❤
@trestar_tz4 сағат бұрын
✅ Brother Millard. Kaongea Vizuri 💪💪🌍
@Zedkayux012 сағат бұрын
S2kizzy nimemtoa kwenye list ya ma producer wenye akili, SASA yeye alitaka ibraah amuogope diamond,diamond angekua anaogopa wasani walio mtangulia angefika alipo fika Alfu S2kizzy mbona ata yeye alijitamba wakati bado sisi atujamuweka kwenye Top Dah s2kizzy kazingua sana
@UsherGuillain-f9b4 сағат бұрын
Ibrah anajiona sana mjinga sana uyo dogo
@aristidesmtui65933 сағат бұрын
End of the day hakuna alichokosea Ibra hizo tambo mbona za kawaida hakuna ubaya wowote wala hajamkosea yeyote
@blackyoungmaestro3 сағат бұрын
Heshima na discipline ni muhimu sana
@AllyBabu-kr6lg4 сағат бұрын
Ila harmonize grami uwezi shinda kwa nyimbo ya kusalimiana😅😅😅bombo claaaaaaa 🌹 🌹.stkz nae mkundu tu na chawa
@juliusjkalela91644 сағат бұрын
Kiukwel huyu frida namuelewa sana nafrah akiwa anaongea na akicheka hua nafrah tu na imenifanya nifollow account enu kwaajili ake ❤❤❤️
@ellykiswaga4 сағат бұрын
Tambo sio mbaya ila Tambo mtambie unae muweza sio Kila m2 umtambie angalia levo....
@ericmella21974 сағат бұрын
Uyu ibra anaonekana hana adabu ndiomaana afanikiwi nyimbo zake zinaishia huko huko bomboclat .a
@antimgaya5663 сағат бұрын
Ibrah to the next level. kama ametoeoka mirembe...
@AlainShadrackUwimana3 сағат бұрын
Kauli aliyo isema, ikiaeleweka vibaya, sio hiyo mnayoisema, kauli mbaya aliyoisema IBRA eti inafikia wakati tukikutana hapokei ata salam, eti anakaushia
@SteveneJoshua-eh7kv3 сағат бұрын
End of the day zimekuwa nyingi S2kizzy.
@juliusjkalela91643 сағат бұрын
Kiukwel nakbali xana Millard ayo mnatupa habari za ukwel kabisa ila frida 🌹🌹❤️ maua yako nakpenda xana
@BlackKing89-l1u4 сағат бұрын
Huyu kikojozi Ibrah si juzi tuu alikuwa analia hapa? Amepata shiling Mia Mia nini🤣
@fathers199912 сағат бұрын
S2 kiz, prod wa mchongo
@fatmasayid88953 сағат бұрын
frida nimekuelewa❤❤❤❤
@malkavoice25702 сағат бұрын
Hizo tambo za kawaida sana sema tu ninyi s2kiss hamjamuelewa mnataka tu kumpeleka ibra mjini,mmesha connect dot dadeki.Msisahau tu kabila lake mtabeba visivyobebeka
@ChenchiKing3 сағат бұрын
Sas Kosa La Ibraah Nin Kujihamin Kwake Mnaona Kakos Nizamu Ila Wabongo😂😂😂
@eddsonjeremiah66694 сағат бұрын
Huyo ibra hajui mziki kwanza ibrazama ndio mwenye jina ilo .Hana talent,show off za kiwaki mziki wenyewe wamafungu.hamfikii dvoice hata kidogo
@ThomasBenedicto3 сағат бұрын
We hujui mziki
@ahmedimakope3 сағат бұрын
Unafirwa wew
@DanielMrema-e3t4 сағат бұрын
King chingaaa🎉🎉
@juliusjkalela91643 сағат бұрын
Nyie hao ndugu acha tu nlixhawah kumtaftia mtu kazi af badae nikawa nafanya nae kazi ila alikua no Moja kulalamika kwanini namzidi mshahara yaan mpaka boss ananambia ndugu Ako analalamika sana dah!!! Nlixhangaa xana mpaka leo nlikoma
@nurdizzotz44372 сағат бұрын
Ibra msanii mzuri ila idham hana
@Ovinmtete-nx6hg3 сағат бұрын
Mbn S2KIZZY amemmind ibraah mbn hata yeye alikua analeta sifa kuwa yeye Ni producer Bora kuliko wote Tz. Ila hapo tatzo ibraah kuleta utani kwa Diamond platnumz na harmonize acheni hzo bhn ibraah anavibe tu acheni kuwalinda gen A
@MullahSaidi3 сағат бұрын
Fact broh
@Soundprobeats3 сағат бұрын
Fact💯💯
@Zedkayux012 сағат бұрын
S2kizz apa kazingua sana
@BlackKing89-l1u4 сағат бұрын
Hakuna watu wezi Kama Ndugu!! Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja wa usafirishaji..moja ya wateja wetu wakubwa alikuwa anamtuma mdogo wake watumbo moja kuleta hela za mizigo..kila dogo akileta hela zipo hosti.. Stori short!!! Dogo alikuwa mwibia kaka yake halafu anamwambia alikuwa anampa hela pungufu kuleta.
@KassimMakame-dq6nqСағат бұрын
Hv huyu ibrah tusem anajiona kafik wpi naon yye ndoametoka mwak mmoj nazuchu nahan mfankio makubwa at nus yke ykumfkiya zuch tukufananishe nmsanii gn hap bongo ndug yetu mn kil atakaekuj ankupta kmafankio 😂
@MwauchiMwatela-k5h4 сағат бұрын
Acgeni ujinga Kila mtu anastahili kuamini anachokifanya so ibra Hana kosa km ww huamini unachokifanya bc utabaki kua kapuku
@HappinessSimon-n4i4 сағат бұрын
undugu lawama .. sio tabia nzuri kumuibia mtu yoyote tuheshimu kazi jamani.
@HappinessSimon-n4i4 сағат бұрын
kaka millard jamani naomba unisaidie kazi hata ya usafi kaka ...
@athmanshauri78713 сағат бұрын
Lazima kwa millard ama kokote maybe
@eliezermboka21342 сағат бұрын
Sasa mbona alisema hata hamo! Kwanini huko munajuwa tuu mkubwa tuu ndiye anaweza kusaidiya mdogo?hiyo siyo vizuri heshima gani nyinyi muna penda mumupe mondi ? Sio vzr acha Ibraa bwana
@NemaneMawondo3 сағат бұрын
Sasa ibraah hapo anakosa Gani mbna 2naona akina marioo, harmonize na diamond wanaongeaga sana kwamba hakuna mtu mwenye hela au uwezo kama wao duuuuuh Tanzania now wamekaa kuchonganisha 2 ata vitu ambavy vya jokes duuuuuh ovyo sana waache uchawa au kisa ni ibraah
@NemaneMawondo3 сағат бұрын
Ukitaka uone hii imekaa kiuchawa mbna wakubwa wanapoongea kauli kama izo mbna hawaongei pia mbna bro s2kizzy alisema yeye ni Bora kuliko mzee abbah au hii imekaaje duuuuuuuuuh ili swala s2kizzy kama anamlenga ibraah au ni utani Nini kama yupo siliaz na mm na mdisrespect hasipende kuongea akiwa yupo na 2ngi kwa kichwa
@emanueldrancula3 сағат бұрын
Nakumbusha tu s2kizzy na akina abbha ni watu ambao wanakutan na wanafany kazi kadhaa pamoja pia kumbuka hap anawakumbusha madogo kuhusu respect
@fathers199912 сағат бұрын
S2 sio prod wa kwaza atazimika Mahana ni chawa mno kuku kbs
@bavonichristopha16933 сағат бұрын
S2kizzy hacha nongwa zako brother kwangu mimi binafsi sijaona shida yoyote ile kwa ibrah kwani ajasema vile kwa ubaya lakini wewe mwenyewe ndo umeitafsiri vibaya zombie