MTANZANIA ALIESHINDA MILIONI 340 MAREKANI "SINA GARI, BADO NITATEMBEA KWA MGUU"

  Рет қаралды 122,247

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 323
@ChrisZLC
@ChrisZLC 6 жыл бұрын
Anachokisema Benjamin kuhusu watu kupewa nafasi kutokana na uwezo wao bila kujali umri wala elimu yao ni swala la kuzingatiwa sana. Mimi ni mtanzania kutoka Mbeya ninaye ishi Ulaya, hapa Ulaya nafanya kazi mbili. Project management consultant na pia ni mwalimu wa waalimu wa high school lakini sina degree wala cheti cha ualimu, wanachojali hapa ni uwezo ulionao. Huko Tanzania nisingeweza kuruhusiwa hata kufundisha shule ya msingi Mapambano. Ukitaka kazi hapa Ulaya hata uwe na degree utapewa jaribio la kupima ufahamu na uwezo wako wa kufikiri na ndiyo maana wenzetu wamepiga hatua. Tanzania na nchi nyingi za Afrika kuna wasomi wengi wana ufikiri mdogo kwa kuwa walisoma ili wapate kazi nzuri na si vinginevyo
@amosbeatus6325
@amosbeatus6325 6 жыл бұрын
Hongera sna kaka Good idea Mungu akusaidie ufike mbali nimejifunza kitu
@monilahcruz7293
@monilahcruz7293 6 жыл бұрын
Safi sana brother
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 6 жыл бұрын
Hongera brother nichek dicksonexavery@gmail.com
@jsjdndb
@jsjdndb 6 жыл бұрын
Kaka umenena, yani upo sahihi kabisa. Nataka nijuwe hiyo ulaya ni nchi gani ? Mm nipo north America, yamenikuta kama yaliyokukuta wewe mpaka sshivi sina Degree, lkn wameachishwa kazi watu wa Masters nami nikabaķ. Namshukuru mwenyezimungu kwa neema zake. But kutokuwa nayo hata Degree napata changamoto kubwa saana. Mpaka nafikiria kurudi shule ili nikapate hizo karatasi wanazozitolea nafasi. Naomba unisaidie ushauri wako. Tujitahidi saana kumshukuru mungu kwa neema nyingi alizotujaalia.
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 6 жыл бұрын
Aisee nimependa andishi lako hadi nimesisimka mimi ni pastor hapa Tanzania
@hatbtalveson6581
@hatbtalveson6581 6 жыл бұрын
Kama unamkubali benjamini gonga like! za kutosha!!...
@estherlema9893
@estherlema9893 6 жыл бұрын
I admire this Guy. He inspires me alot
@mjunimjuni9982
@mjunimjuni9982 6 жыл бұрын
stupidest comment EVER, STOP THIS!!!!!
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 6 жыл бұрын
acha. usenge wewe likes zinakupeleka wapi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
@@mjunimjuni9982 hmmh
@saidinyoni1937
@saidinyoni1937 5 жыл бұрын
Nakukubali sanaimi nipo south africa naitaji hiyo nala ifike Africa yote
@fidelismsigwa9823
@fidelismsigwa9823 6 жыл бұрын
Hongeren Sana Millad Ayo na Benjamin mnatuwakilisha vyema Mwenyezi Mungu awatie nguvu nasi tunakuja nyuma yenu.
@mosesmhami8376
@mosesmhami8376 6 жыл бұрын
Kaka Benjamin Fernandes, huwa nafurahi na pia najifunza sana kutoka kwako, HONGERA SANA kwa kazi nzuri katika App ya NALA na hongera pia kwa uzalendo juu ya nchi yako. Natamani sana kuendelea kujifunza kupitia wewe kijana mwenzangu... God bless you so much brother... Nimeipenda sana NALA lakn kwa sasa sipo Tanzania hivyo huduma hii nashindwa kuipata, naomba kama inawezekana maboresho yaendelee kufanyika kwenye App ili kuweza kufanya miamala ya Mpesa/Tigopesa n.k hata kwa walio nje ya Tanzania.. Once Again.. Big Up brother... #Mimi naamini Watanzania tunaweza kufanya mambo makubwa sana, Benji umetufungua macho mkuu
@damasmunishi2418
@damasmunishi2418 6 жыл бұрын
Benjamin umetumwa na mungu kuja kuleta heshima tanzania,mi nitazidi kukuombea ktk kazi za mikono yako
@brightben6250
@brightben6250 6 жыл бұрын
Amen
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 жыл бұрын
Vichwa kama hivi sio vya kuviacha viende serikali iamke jamani mtu anafundisha vyuo vikuu vya ulaya na bado ana mapenzi na nchi yake, Hongera sana Benjamin nimekupenda bure
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 жыл бұрын
Japo ulivyovitaja vya kuhusu technology cvijui lkn nmependa unavyoongea na moyo wako juu ya Tanzania yetu Mungu akubariki brother
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 6 жыл бұрын
Now I can realise that why did you refuse the salary of 420 milion per month,,,! The power of identity is working inside you!, you real inspiring me.
@vicentmeshack3862
@vicentmeshack3862 5 жыл бұрын
kama unamuelewa benjamin brother gonga like za kutosha
@Gumada-tz
@Gumada-tz 6 жыл бұрын
vijana tujifunzeni kwa kijana huyu ,unajua Tangu nimeanza kumfuatilia nimejifunza vitu vingi sana kwake ........hongera sana BENJAMINI
@alphamenson3784
@alphamenson3784 6 жыл бұрын
Thank yo bro...am in form 6 right now natumaini siku moja ntakuja kufanya kazi pa1 na ww
@erickmremi1119
@erickmremi1119 6 жыл бұрын
Ulivokataa milioni400 watu walikuona mjinga sna kila baada mafanikio saivi wanakupa hongera tz tupende kuheshim maamuzi ya watu benja u inspire me since day1
@hanmajengolahe2459
@hanmajengolahe2459 4 жыл бұрын
Congrats bro Benja.. NALA iko vzur,nimeikubali baada ya kuipakua.
@neemachalamila9494
@neemachalamila9494 6 жыл бұрын
Ukiwa na Yesu umepata kila kitu!
@isaacdendula9735
@isaacdendula9735 6 жыл бұрын
Yesu na kujituma kwa juhudi
@paschaldaniel6595
@paschaldaniel6595 5 жыл бұрын
Blessed sana
@shamsahussen1059
@shamsahussen1059 6 жыл бұрын
Daha umenifindisha kitu Benjamin 👍😘najifunza vitu vingi Sana kutoka kwako
@nicaslolela1398
@nicaslolela1398 2 ай бұрын
Nimependa sana asee, Mr.Benjamin ameongea jumbe nzuri sana na zenye mashiko
@tynegeemajor
@tynegeemajor 6 жыл бұрын
Bro!! Very inspiring...truely
@dn.n4983
@dn.n4983 6 жыл бұрын
Safi kaka ubarikiwe wewe hero pls Rais Muugalia huyu kijana anapenda nchi yake pia anawssaidia vijana wote pls pls tanzania kwanza tanzania ya viwanda yeye gatafuti kiki yeye ni mchapakazi ubarikiwe sana Mungu hakupe uwepesi fanya zaidi na zaidi
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Asnt kaka benja , kuna kitu nimejifunxa sana tena umejaaliwa hakili na maono ya mbali sana , unamambo adim sana hongera kaka mungu akuweke miaka mingi uendelee kutufunua kiakili.
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 6 жыл бұрын
Hongera yako mwenzako hatimaye mi nime SHINDA NJAAA#NAIPENDA TANZANIA YANGU.....
@bogwemedia
@bogwemedia 6 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@harounali1626
@harounali1626 6 жыл бұрын
Hongera Benjamin na Milad kwa interview nzuri kabisa.
@eliamunuo225
@eliamunuo225 6 жыл бұрын
Benjamin na millard nawapenda sana, in Jesus Christ everything is possible
@abayokalikawe539
@abayokalikawe539 6 жыл бұрын
I hope that one day Millard Ayo.com will be more of influential and developmental information like this one. Well done Feranandes and Millard Ayo
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 6 жыл бұрын
Asante saana kaka kuwakilisha Tanzania yetu mungu akujaarie umri mlefu
@benjaminfernandes5599
@benjaminfernandes5599 6 жыл бұрын
Hongera sana mkurugenzi wa Nala, kwakweli tumeona matokeo mazuri yote ni kwa neema za Mungu kwakweli nimemwona mungu live kwenye maisha yako pia nabarikiwa sana na wewe na malengo yako ya kufungua bank ninakuombee yatimie nitafurahi kwani jamii tutapona damu ya yesu ikufunike.
@kelvinolotu1200
@kelvinolotu1200 6 жыл бұрын
Hongera Sana bro tunahitaj vijana km huyu mzalendo mungu akubariki Sana Benjamin
@justinupuzikekwaaman6591
@justinupuzikekwaaman6591 4 жыл бұрын
hongela sana blo
@geofreymwaipopo8487
@geofreymwaipopo8487 6 жыл бұрын
Nakukubari Benjamin God bless you
@upendomwalusamba37
@upendomwalusamba37 6 жыл бұрын
Ur an inspiration to many Beny ....God bless you
@Gnoxfleva
@Gnoxfleva 10 ай бұрын
Ukiachana na innovation Benjamin is so positivity man
@sadickkoloa7548
@sadickkoloa7548 6 жыл бұрын
Nimekupata sana Bwana Benjamin....... Ahukran sana MiradAyo kwa kutuletea kijana mwenzetu kwenye Kipindi chako
@rjsawere
@rjsawere 6 жыл бұрын
Benjamin akili kubwa sana! Thumps up
@saidinyoni1937
@saidinyoni1937 5 жыл бұрын
U gud brother big up benjamin n keep up
@furbenj7405
@furbenj7405 2 жыл бұрын
Congratulations ni meona matokeo tunazidi kujivunia Tuna Kijana mtaalamu hakika kujifunza ni mtaji unanibariki sana naunazidi kunitia moyo wa kusongambele I like it , is by Grace be Blessing Nala
@MOtownTV.
@MOtownTV. 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka ferndas ubarikiwe saaana ndoto yangu sikumoja nifanye kazi AyoTV
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 6 жыл бұрын
Kuwa na Imani tu broo ipo siku sms zako zitakuja zimguse mmiliki wa Ayo tv,, na ndoto zako atakuja azitimize millard ayo kuwa na imani and never give up on your Dream 💪
@MOtownTV.
@MOtownTV. 6 жыл бұрын
shukrani sana broo mimi naaminitu iposiku NITAKUWA NINAVYOOTA KUWA NA KUKARIBISHA PIA KWENYE PAGE YANGU YA IG NAPOST BAADHI YA KAZI ZANGU KULEKWA MAWAZO MAPYA NA USHAURI NA KUKARIBISA @LA_MBEGU0416 instagram
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 6 жыл бұрын
@@MOtownTV. kitambo sana me nimeshakua follow kweny page yko I_am_Peterson_sha_Ezra
@punguzauzitofurahiamaisha
@punguzauzitofurahiamaisha 6 жыл бұрын
Nimeguswa sana na hii interview kuna mengi nimejifunza
@MOtownTV.
@MOtownTV. 6 жыл бұрын
shukren sana kakama kwa spot yako #tutatoboa2
@judithshadrack8462
@judithshadrack8462 6 жыл бұрын
Explore ni tatizo jingine katika nchi yetu, tunafundishwa kwa ajili ya kujibu maswali ya mitihani na sio kufundishwa kwenda na dunia inavyoenda...
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Ndiyo hivyo etiii.. alafu mi mtu Hiyo Hiyo iliyokufundisha baadae inakuja inasem Mitoto ya sikuizi hamna Kitu wakati walikufundisha kujibu mitihani tu ukimaliza Huna kingine..
@patrickm1056
@patrickm1056 6 жыл бұрын
Tunafundishwa kuipigia makofi CHAMA tawala
@adamzachariakinyekile6948
@adamzachariakinyekile6948 6 жыл бұрын
kaka mi nakufuatilia sana na ninajifunza vitu vingi sana kutoka kwako mungu akubariki sana, kweli kabisa huku tz kama huna vyeti we si chochote,wanahitaji vyeti sio uwezo,wana majina yao ya vyeti wanaita PhD,Mara vcd sijui DVD balaa kama huna hivo hata uwe na uwezo wa kuhamisha milima mzee utapambana na hali yako,ila umenipa nguvu mpya sana hongera umenivisha vazi jipya
@pendojackison8822
@pendojackison8822 4 жыл бұрын
Anaongea kiswahili vizuri mpaka nimependaaa kweli nyumbani ni nyumbani
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 жыл бұрын
Huyu kaka anajitahidi sana kuongea kiswahili msimlaumu
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 6 жыл бұрын
FAMILY MATTERS......AMINI KWAMBA👍
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 6 жыл бұрын
You're inspiring me🙊😄🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@rahelmyombo9874
@rahelmyombo9874 2 жыл бұрын
Always you put smile on my face God bless you abundantly
@mjunimjuni9982
@mjunimjuni9982 6 жыл бұрын
Warren Buffett ma man, he's my idol asee, I had a whole speech about him 👌👍
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 5 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe kwa hilo.
@saidahmed9688
@saidahmed9688 5 жыл бұрын
hongera benjamin
@scarionrevelian
@scarionrevelian 5 жыл бұрын
Hongera Benjamini Mungu akuongoze najua unayo malengo mazuri.
@omarymwanga9886
@omarymwanga9886 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana.Unafanya vizuri Benjamin
@salumbahati321
@salumbahati321 6 жыл бұрын
Hongera saana
@husseinmlawa7622
@husseinmlawa7622 6 жыл бұрын
Saf sana Benjamin uko vizur sana unapaswa kuwa mfano kwa vijan Millard uko pwa sana kutufikishia mtu muhim kwa vijan nimejifunza kitu kikubwa sana
@luteking
@luteking 6 жыл бұрын
Huyu jamaa nilimuona hapa Seattle Washington USA 🇺🇸
@mohamedabdallah9567
@mohamedabdallah9567 6 жыл бұрын
Nakukubali Sana.Vijana tunakua na mawazo mazuri yamaendeleo ndia tunakosa mueleke. Vikwazo ni vingi hairuhusiwi kwa mantiki gani. ipo kimazoea ila dunia ipo kiteknolojia wapi sasa tutafikia?.... Ni vyema kukubali Changamoto kuzipitia ili lengo ladhati kulifikia.Dunia Kaka imekuskia👌
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 6 жыл бұрын
GENIUS
@femiemedia6480
@femiemedia6480 6 жыл бұрын
Big up sana ..millad ayo kamera zako zipo vizuri sana
@hobokelamwakajuja4174
@hobokelamwakajuja4174 6 жыл бұрын
Hongera sana Benjamin ulianza mdogomdogo!
@Mukhusin02
@Mukhusin02 6 жыл бұрын
Jamaa yuko sawa bado kazi ipo kwenye ofisi za serikal. Badala ya kutoa support mtu anakuzungushaweeee mpka unakata tamaa.
@SarahLibogomalove
@SarahLibogomalove 6 жыл бұрын
Hakiiii, this is Husband material.... Wanaume wote, take notes!
@kirumisecurty6543
@kirumisecurty6543 5 жыл бұрын
Hatar sana natamani sana kufanya kazi naee kanifanya nipate moyo wa kazi Mimi isack mandiga
@johtoty1961
@johtoty1961 6 жыл бұрын
daaah mzee Benjamin umenena faith ndo utajiri wetu tu....
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 6 жыл бұрын
jamaa nimekukubali sana uko vizuri ningependa kujifunza mambo mengi mazuri kutoka kwako ispokuwa ubahili tu. Naomba niwe loan officer wako ukizindua e- bank
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Pamoja na Kukaa Mbele Kwa Muda Mrefu Ila Anajitahidi kuongea Kiswahili Bila Kuchanganya na Kingereza Ila Ingekuwa Mbongo Hapooo Uwiiiiii Ungekomaaa Hapo Ayo..
@alleyd.alleyd
@alleyd.alleyd 6 жыл бұрын
SANA AISEE...HUYU JAMAA NI MFANO MKUBWA SANA WA KUIGWA. NINACHO KISHANGAA NI JINSI HUYU JAMAA ALIVYO MZALENDO KWA NCHI YAKE: MFANO WA KUIGWA. BUT I DOUGHT IF HE GETS EQUAL AMOUNT OF RESPECT HE IS GETTING FROM BIG COUNTRIES AROUND THE WORLD THAN RESPECT HE GETS IN TANZANIA. SIJUI TZ GOVERNMENT INAMSAPORT AU HATA KUJARIBU KUMTUMIA KU INSPIRE VIJANA ILI TUWE NA WAKINA BENJAMIN WENGI ZAIDI KWA MANUFAA YA INCHI. YAANI INGEKUWA NI DIAMOND AU ALLY KIBA AME WIN HIZO AWARDS NAFIKIRI VIJANA WOTE WA TZ MPK WALE WALIOKO NEWALA WANGEJUA LKN HEBU ULIZA KM KUNA VIJANA HATA 20 WALIO NA ACCOUNT ZA INSTAGRAM WANAJUA KUHUSU AWARDS ALIOSHINDA HUYU...JAMAA. YAANI MAGAZETI YOTE YA UDAKU NA YENYE MAANA YANGEANDIKA KUHUSU YEYE. I M SO SURPRISED. I WISH THIS GUY COULD BE MY BEST FRIEND. IM PROUD TO BE TANZANIAN BECAUSE OF YOU MA MEN. CONGRATULATIONS.
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
@@alleyd.alleyd Kweli Kabisa Sisi Fanya ujinga ndio unakuwa Maarufu na Kujulikana ila Fanya Vya Maana Hutajulikana na Wala hutafuatiliwa kibaya ni Hata ukitaka Kufanya Mapinduzi Flani kuna Watu watakuvuta.Ila huyu Jamaa ni Mzalendo Mno Sijui Kama Serikali Yetu ina mwonaje inamtumiaje..Ila ndio Wanasemaga Nabii Hakubaliki Kwao.
@hobokelamwakajuja4174
@hobokelamwakajuja4174 6 жыл бұрын
@@africanhappyadventure6951 kabisa yaani ingekua ni ujingaujinga wtz wote tungejua lkn maswala mazuri kama haya hawayaoni du!
@TheLordismyshepherd...
@TheLordismyshepherd... 6 жыл бұрын
Hyo siyo ishu. LA muhimu ujumbe ufike
@christopherpaulrwehumbiza4244
@christopherpaulrwehumbiza4244 5 жыл бұрын
Duh,umenichekesha sana kijana sie wabongo hatujambo.😂😂😂
@jpmsele3579
@jpmsele3579 5 жыл бұрын
milard unaenda vizuri vipindi kama cha benjamin,hakika vinaashiria hapa kazi kwelikweli
@c.r.mtechnology2322
@c.r.mtechnology2322 6 жыл бұрын
Your so creative brother,appreciate
@meshakisumary3162
@meshakisumary3162 2 жыл бұрын
Kichwa adimu , keep up Benjamini
@raidondecko5059
@raidondecko5059 6 жыл бұрын
banjamini nakupata saana we nimzalendo pekee kuwahi kutokea endelea kututia moyo vijana tunakupa saana like nyingi saana
@alphamwipopo5725
@alphamwipopo5725 6 жыл бұрын
Ni kweli sheria za tanzania ni ngumu sana zinawafanya watu wengi hasa vijana kukata tamaa na kushindwa kabisa kua wajasiliamali na ndiomaana ichumi wa nchi haukui Serikali iliangalie hilo
@mikonospeakersinternationa6418
@mikonospeakersinternationa6418 6 жыл бұрын
Hongera sana Benja,Nakuelewa sana,Keep it up bro
@greatdealsonlineonline6090
@greatdealsonlineonline6090 5 жыл бұрын
Brother umeona mbali sana
@stanleymaganga503
@stanleymaganga503 5 жыл бұрын
Mtaji was buku 2 kujifunza programming brother were ni genius, Mwanzo nilivyo sikia kuhusu Nala nilijua una i promote tu, founders ni watu wengine tena wenye degrees + PhD's kwenye maswala ya programming na technology, kumbe ni wew mwenyewe kwa kuwashirikisha hao programmers.
@alimohamedalisaid7040
@alimohamedalisaid7040 6 жыл бұрын
Mashallah my brother mungu akuzidisia elimu ameen thuma ameen
@wisdom_wellness365
@wisdom_wellness365 6 жыл бұрын
Hongera!
@annastaziakibole5603
@annastaziakibole5603 6 жыл бұрын
yan nampenda sana uyu kk jaman anaakili mpk zinamwagika
@gentlethegentle9607
@gentlethegentle9607 6 жыл бұрын
Huyu jamaa kasoma mbele elimu anayo skills anayo alkn hatujawah mskia na skendo yeyote wal kuskia couple yake. Ila mwenye akil fupi angetafuta kinyago aanze kuzurura nacho mitandaoni. My friend piga kaz kwanza cku zote maji hufuata mkondo
@magreth7981
@magreth7981 6 жыл бұрын
@Felix wilvin huyo ni mtoto wa Pastor Fernandes mwenye ATN Tv.. mbezi jogoo, kalelewaa kimaadili ya kidini si rahisi a behavior vibaya, namjua toka babake akianzishaa kanisa.
@gentlethegentle9607
@gentlethegentle9607 6 жыл бұрын
magreth 79 Aaah! Kumbe Asante kwakiniabarisha lkn ndo kijana anatakiwa ajitambue hivyo siyo lazima tuh watoto wa mapastor
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 6 жыл бұрын
hahahahahahahahahahahahahahahahahaha..eti angetafuta kinyago
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 6 жыл бұрын
Umenichekesha
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 6 жыл бұрын
Hahahahaaha,, Kinyago aisee.
@fahmitumu8620
@fahmitumu8620 6 жыл бұрын
Elimu yetu siyo ya kuvumbua ni utumwa na bado tutakua watumwa kwasababu yakutojiamini
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 6 жыл бұрын
Hyu ni next billionear kwa idea hii
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 6 жыл бұрын
Daah jamaa namkubali Sana Hiyo application nimeipakua sasahv na ntakua naitumia inshallah
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 6 жыл бұрын
hongera kwa kuwa mzalendo
@rashidjames8968
@rashidjames8968 6 жыл бұрын
Nzuri sana ,brother ulicho kifanya ,kabla ya kuinvest ulinvestigate kwanza asnte sana nimejifunza kitu
@tumahamza8972
@tumahamza8972 6 жыл бұрын
Kwakweli rais Magufuli mpe nafasi huyu kijana uonane nae. Atawakilisha idea nzuri sana kwa ajili ya kupeleka mpele malengo yako. His is a smart guy.
@jafarijafari231
@jafarijafari231 6 жыл бұрын
Utajiri wa bilgate ulianzia kwenye software. Mtu anaeinvest upande huu, mafanikio yake yapo karibu sana maana anamgusa karibu kila mtu.
@Alexander_mogolo
@Alexander_mogolo 7 ай бұрын
Unyama sana brother
@mzz.breezy8400
@mzz.breezy8400 6 жыл бұрын
Millard una interviews nzuri sanaaa tatizo ni matangazo bro too much. Hata kama ni monetized
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Kaka Sisi huku Hatuangalii kuwa mtu anapenda kujifunza Tunaangalia Midigrii na Mijipi A tuu hata kama Kichwani hamna Kitu..Kaazi kweli kweli Ndio.utagundua Tofauti ya Civilized na Uncivilized Country il mdogo mdogo tutafika yapo kwa kuchelewaa. Sisi Ma Rules na Maregulation Kibao Tena Mengi yasio Na Maana kiukweli Japo tukisema utaonekana mpinzani ila ndio ukweli unashindwa namna gani ya kushawishi wawekezaji waje..Kuna jaama Yeye Kawekeza Hapa ila kwa Jinsi anavyopata shida na Hao TRA na Watu wengine Rafiki Zake huwa wakitaka kuja Tz anawambia hata msije nendeni nchi za jirani hii kwa kweli ni Mbaya Sana
@nelsonlawrence4986
@nelsonlawrence4986 6 жыл бұрын
Great# Programmers we got doors...its jst creativity and commitment 2 push up..!! #PlanningAvisitToTalaTZ
@nelsonlawrence4986
@nelsonlawrence4986 6 жыл бұрын
! Tala ==#Nala
@nyambirotrueinformation7500
@nyambirotrueinformation7500 4 жыл бұрын
Naomba Mh Magufuri akuone Muungane uongeze kitu katika nchi Yetu
@chanuakihara5186
@chanuakihara5186 6 жыл бұрын
Hivi waziri wa science and technology anamfaham huyu jamaa Na anashirikiana naye Kwa namna gani?
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 6 жыл бұрын
Chanua kihara pointi sana mdau
@lewiskeneth
@lewiskeneth 6 жыл бұрын
Well said bro 21:08 👍🏽
@barikipeter721
@barikipeter721 6 жыл бұрын
Good creative in your life
@ireneanthony1158
@ireneanthony1158 6 жыл бұрын
benjamin ni nguvu kubwa kubwa sana kwa jamii ya leo kudos
@saudatakadiry309
@saudatakadiry309 6 жыл бұрын
Hongera Kijana utawasaidia vijana wengi
@naitwai
@naitwai 6 жыл бұрын
Simple & positive
@benjaminfernandes5599
@benjaminfernandes5599 6 жыл бұрын
Tuzo 5 mwaka mmoja kwakweli ni kibali kikubwa sana nimekufurahia sana mungu anajibu maombi hongera sana daaa sio rahisi kweli umelipa gharama sifa nautukufu ni kwa bwana .
@elizamwaigombe2457
@elizamwaigombe2457 5 жыл бұрын
Nimeelewaa, na nimetumia matumiz sahihi ya MB,
@jajatz3053
@jajatz3053 6 жыл бұрын
Nimejifunza k2,brother ninandoto ya kupiga kazi na mr millard
@gospelthusiast
@gospelthusiast 6 жыл бұрын
Brother naigonga five star right now!
@esthermadauda3012
@esthermadauda3012 6 жыл бұрын
Millard ayo mwambie huyo ,Benjamin, anikopeshe pesa nianzishe mradi wa kufuga kuku broiler
@maryammaram2612
@maryammaram2612 6 жыл бұрын
😂😂😂 umetisha ndugu
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 6 жыл бұрын
Safi sana,,, ila naomba uwe mpole kidogo, nimesikia baadae ataanza kukopesha,, inakuja.
@Kaizirege
@Kaizirege 6 жыл бұрын
Kabeti
@jeaff19
@jeaff19 6 жыл бұрын
hongera kaka millard
@mfalmegideon
@mfalmegideon 6 жыл бұрын
Inspired me alot Katika Mafanikio Kuna Kuanguka Pia So Usikate Tamaa Pambana..
@KiooNetwork
@KiooNetwork 6 жыл бұрын
I like this show Millard
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 9 ай бұрын
Huyu jamaa ni m Tanzania lakini ni ngozi jeupe lazima wawe na maono makubwa m Tanzania hawezi kuhaso namna hii tena hawezi kusema vizuri ili asitokee mtu mwingine asimuige ubarikiwe sana🎉😅
@SoftwareClasses
@SoftwareClasses 6 жыл бұрын
Nimemkubali....lakini akijifunza kiswahili sanifu itapendeza zaidi.....maana kuna siku pia nimeona msichana toka Arusha wa kihindi anawakilisha Tanzania kwa wapanda Milima duniani lakini kiswahili hakuwa anajua vizuri na anawakilisha Kiswahili. Ifikie muda watu wote Tanzania wajue Kiswahili hadi level flani hata ukisoma shule za kishua.........kuna watu wamezaliwa Tanzania lakini hawana muda na Kiswahili....... ndo maana nchi zingine migrants wanakomaliwa intergration na lugha.
@SoftwareClasses
@SoftwareClasses 6 жыл бұрын
@@jpthe_clerk5521 Lugha is just a very small thing which is not significant to the contemporary world? Nonsense
@malkiakinyemi2625
@malkiakinyemi2625 6 жыл бұрын
Seleman Class sana kiswahili kwanza
@dasalramadhani7053
@dasalramadhani7053 6 жыл бұрын
G & JvhV. Xcxcczx,xxzxv M I cc a cc m.
@SoftwareClasses
@SoftwareClasses 6 жыл бұрын
@@jpthe_clerk5521 You are contradicting yourself.......ulichosema na unachokiongea sasa ni tofauti....in the beginning you said Lugha is just a very small thing which is not significant to the contemporary world....candidate mzima wa PhD na mtu tumekuamini ufanye kazi kwenye benki kuu yetu unaongea hivi?...The issue here is not hate or whatsoever, the issue here is being loyal to your country in all matters.... Ninahakika hapo Kobe Japan lazima umepigishwa lugha kidogo......We must be proud of our language...ni watu kibao wamezaliwa Tanzania na wanaishi with zero preference to our language. Wahindi waarabu wazungu na waafrika kibao nawaona wanasoma shule za kishua na hawataki kujua lugha wanasema its a useless language na ikitokea chance inahitaji mtanzania wanajitokeza wanatumia chance lakini kiswahili hawajui, I'm not saying this guy doesn't respect our language but what I am saying is many people in Tanzania disrespect our Swahili language but still in international events they claim being Tanzania (but not Loyal). Mimi ningekuwa Magufuli shule zote zilizopo Tanzania lazima wasome kiswahili. Kuna mtu nilikutana naye Norway anadai ni mtanzania kazaliwa Tanzania na amesomea Tanzania (International School) lakini Kiswahili hajui...that was an insult to me. There is a difference between using a country's opportunity (because many people are still in less educated and less exposed) and being real. Huu ni ujumbe kwa Watanzania feki ila sio Benja maana anajitahidi. AGAIN NASISITIZA BIG UP TO BENJAMINI HE IS DOING GREAT NA WENGINE WAIGE. This case is closed (in LeMutuz Nation voice)
@SoftwareClasses
@SoftwareClasses 6 жыл бұрын
@@jpthe_clerk5521 Thanks and case closed, my point was on being loyal to language and not relating anything to work, najua kuhusu umuhimu wa kujua lugha za kimataifa, masters yangu nimesoma China na nilikuwa napiga mpunga sana kufundisha kiingereza watoto wa kichina (pamoja na ueusi wangu nilipiga hela sana japo malipo yangu na mwenye ngozi nyeupe yalikuwa tofauti maana wachina na wajapani bado wana sick mentality ya Racial Hierarchy ) na najua wachina wanavyohaha na kujua kiingereza due to the open truth that International language is a big deal. Ila watanzania wote waliozaliwa ardhi ya Tanzania na wanatumia passport za Tanzania LAZIMA wajue na wajivunie Kiswahili wasikipuuze na kuone ni lugha na wajinga na maskini (I've heard this by myself and it makes me vomit ), again huu ni ujumbe kwa watanzania feki and not Benja, Hongera Benja. This case is closed and God bless you brother John Paul Karani.
@elisonnyagwaru5617
@elisonnyagwaru5617 6 жыл бұрын
safi sana
@hamadymshalaba8692
@hamadymshalaba8692 6 жыл бұрын
Nimemuelewa sana hyu kijana kuhusu kuanzisha biashara tanzania lazima ukutane na figisu figisu km 200 iv. ndyo biashara isimame
@kamamaasonyo6713
@kamamaasonyo6713 6 жыл бұрын
Simple and clear
MTANZANIA ALIYEKUWA WA MWISHO DARASANI ATOA MTAJI WA MILIONI 10
32:25
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Leaving, to find your way home | Benjamin Fernandes | TEDxEuston
18:04
CABDULLAHI MAXAMED NUUR: WAREYSI BUUXA  SHIRQOONKI SHAQADA
3:47:53
HANOOLAATO
Рет қаралды 1,2 МЛН