MAMA NTILIE MWENYE DEGREE KIGOMA "NILIMALIZA CHUO 2013"

  Рет қаралды 34,698

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

AyoTV Kigoma inakukutanisha na Juliana Maganga (32) ambapo licha ya kuwa na elimu ya Degree mwaka 2013 aliyoipata katika Chuo cha Mtakatifu Augustine Mwanza ambapo kutokana na kuona ugumu wa kupata kazi inayoeleweka aliamua kurudi nyumbani kwao Kigoma na kufungua Mgahawa na kuanza kuuza chakula mwaka 2016.

Пікірлер: 86
@patrickbenard7542
@patrickbenard7542 2 жыл бұрын
Hongera sana Julian umejaribu na umeweza, kila la heri na mwenyezi Mungu akubariki
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Zingatia sana usafi,huduma bora na maslahi bora kwa wafanyakazi wako
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 2 жыл бұрын
Very inspired by u da juke.. kip it up! lakin mbili mtaji. Wakati mtu anashinda ndani anaangalia season za wahindi na wakolea na anatumia simu ya Tsh 350,000 na bandle juu na analalamika mtaji hana . Kweli mtaji Ni wazo na sio pesa!
@BGHaule
@BGHaule 2 жыл бұрын
Mawazo ni mtaji....
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 2 жыл бұрын
Piga kazi mwanamke mwenzetu na Mungu akuongoze👏
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana My sister 💕
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Hongera dada wasomi wamepata ujumbe wewe mpambanaji wa kweli Mungu abariki kazi ya mikono wako
@firdausgreen1886
@firdausgreen1886 2 жыл бұрын
Hongera Dada... Tumepishana tu miaka chuoni, ILa chuo ni kimoja SAUT Mwanza na course moja Public relations and marketing Bravooooo
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 2 жыл бұрын
So na wewe unafanya kaz ipi?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
@@dintazdintaz7311 anasubiri ajira
@benjux2645
@benjux2645 2 жыл бұрын
All the Best dada angu nimekupenda MUNGU akubaliki sana sana.acha hawa wengine waendeleze usister duuuuuh na kudanga tu
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 жыл бұрын
Hiyo ndio maana elimu, kusubiri kuajiriwa mtapoteza muda. Hiyo ilikuwa mambo ya kizamani vyuo vilikuwa vichache na ajira zilikuwepo. Hata ulaya wenye digrii ni wengi na huko ajira hazipo. Kumaliza chuo muelewe kuwa ni kufungua akili.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Juliana. Hongera...Sana. Hii ndiyo maana ya elimu.. Wewe Ni mfano wa kuigwa.. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@tatuathuman104
@tatuathuman104 2 жыл бұрын
Bro tunajua ww ni mwanahabar mzur sana na unafanya kaz sana bas fanya juu chin ufike kijiji cha kikongono kata ya ngorongo WILAYA ya rufiji MKOA wa pwan wananchi wanawaahitaji sana waandishi WANA mengi ya kuongea ili ifike kwenye uongoz wanakero nyingi sana pls bro 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashaallah dda mungu azidi kkupambania cyo kila aliye soma upata ajira bora unapata cha halali bac maisha inasonga
@gkiobya4960
@gkiobya4960 2 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu Julie Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 2 жыл бұрын
Hongera sana binti zingatia usafi na chakula kiwe na radha
@manasengobei9968
@manasengobei9968 2 жыл бұрын
Mtaala wa elimu yetu lazima ubadilishwe haiwezekani kila anaeaoma anawaza kuajiriwa tu!
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 жыл бұрын
Mtaala Kweli ila tukisubr mtaala tutasubr Sanaa ko fikra ya kutoajiriwa ianzie kwa mtu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Hongera Mamy msingi wa kwanza ni mawazo yako
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 2 жыл бұрын
Hongera sana Juliana.Nikija Kigoma lazima nije Juke.
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 2 жыл бұрын
Huyu dada ana mtind mkubwa halaf mzuriii umejaaa had raha
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 2 жыл бұрын
🏋️‍♀️Wa Asasi au ...huo mtindi
@alalwialalwiii8194
@alalwialalwiii8194 2 жыл бұрын
Hongera Sana my sweet mungu azidy kukutia nguvu katika kazi yako
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 2 жыл бұрын
MASHAALLAH
@egonemmanuelkudaba4945
@egonemmanuelkudaba4945 2 жыл бұрын
Hongera sana sister kwa kupambana
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 10 ай бұрын
Asante dada
@noelkasian2247
@noelkasian2247 2 жыл бұрын
Hongeraa Sana dada kujiajirii ni Elimu kubwa sanaa hongeraa julian
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Juliana big up but i wish to meet you dada. Hii kitu ipo damuni kwangu sana.
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Ma sha Allah hongera sana my dear
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 жыл бұрын
Hongera sana.hakuna kitu kiuri km ukuichukua hobi yko kama fursa.
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 2 жыл бұрын
Hongera sana hata Mimi nakula hapo kwako unahitahidi kwakweli. Pia una wateja usije tu ukabweteka kaza uzi. Wahudumu wako wako vizuri na wasafi.
@lastbornwamungustory6365
@lastbornwamungustory6365 2 жыл бұрын
all in all hongera sana ni hatua kubwa sana
@baingaibashigwa4882
@baingaibashigwa4882 2 жыл бұрын
Hongera sana dada ni wachache wenye majina ya Juliana wamejionheza tena mungu akuzdishie uzma wa milele
@elidaburton8737
@elidaburton8737 2 жыл бұрын
Umeifanyia kazi carrier yako hongera
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 жыл бұрын
safi sanaa wale wanaongoja kuajiliwa waahe wangojee wewe umetuonyesha kwamba wewe kweli ni msomi
@kikundahassani8149
@kikundahassani8149 2 жыл бұрын
hongela sana dadajuke hakika Mungu akufikishembali
@nyandwijacobcleo3672
@nyandwijacobcleo3672 2 жыл бұрын
Hongera dada tuko pamoja
@MRST_1662
@MRST_1662 2 жыл бұрын
Oh man, hiyo samaki 😋😋🤤🤤🇹🇿🇨🇦
@benjatv2493
@benjatv2493 2 жыл бұрын
Hongera sana dada yangu
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 2 жыл бұрын
Hongera dada elimu ni kufungua akili
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 2 жыл бұрын
Hii ndo ndoto yang inshaAllah
@evasempita1144
@evasempita1144 2 жыл бұрын
Hongera.sana
@Masokabya08
@Masokabya08 2 жыл бұрын
ubarikiwe sana.
@tatungeni6937
@tatungeni6937 2 жыл бұрын
♥️♥️hongera ♥️♥️♥️
@Donrugi
@Donrugi 2 жыл бұрын
💪🏽💪🏽🤗🤗
@costantinestephen2594
@costantinestephen2594 2 жыл бұрын
Degree ni kitu gani? Mbona tumekuwa watu Wa kutukuza degree? Kwani ukiwa na degree huwezi kuwa mama ntilie? Tuache fikra mbovu. Na ndiyo maana wanafunzi wengi hawataki kufanya kazi hizi kwa sababu ya fikra mbovu.
@husamtech2748
@husamtech2748 2 жыл бұрын
Hapana hayo ni maoni yako
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Awesome
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 2 жыл бұрын
Elimu yake imemsaidia kuwa jasiri,na kufanya kazi yake kwa malengo, AMESOMEA MAHUSIANO YA JAMII NA MASOKO...NDIO MAANA AMEFANIKIWA ..SHULE IMEMSAIDIA
@husamtech2748
@husamtech2748 2 жыл бұрын
Ni kweli elimu ina faida sana lakini utasikia watu oooh hata ukisoma hamna kazi lengo la elimu sio kuajiriwa tu kukufungua akili pia
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 жыл бұрын
Hii restaurant inaitwaje? ? Nakuja Kigoma wiki ijayo nitahitaji kula hapo.
@ramadhanizuberi107
@ramadhanizuberi107 2 жыл бұрын
Juke restaurant maeneo ya Tanesco kgm
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
Hongera mungu akutangulie
@salmamushi9748
@salmamushi9748 2 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu Mwenyenzi Mungu akufanyie wepesi uweze kuwasaidia wingi zaidi na zaidi
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Mafanikio tafadhali
@Bongomastory
@Bongomastory 2 жыл бұрын
Wow
@lastbornwamungustory6365
@lastbornwamungustory6365 2 жыл бұрын
ila laki mbili juke tena vitu quality mbona kama is not come come au unatumotivate
@shamymtanda1656
@shamymtanda1656 2 жыл бұрын
Alianza sehem yakawaida n sawa kabisaa
@noofnoof4909
@noofnoof4909 2 жыл бұрын
Ongera san
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 2 жыл бұрын
Alipokosea tu ni kusema eti kigoma kuna changamoto ya chakula😂
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 2 жыл бұрын
😂😂
@daudwilson8326
@daudwilson8326 2 жыл бұрын
Anamaanisha hakuna sehemu ambayo Mgeni anaweza pata Chakula kizuri(Mgahawa mzuri). Hajamaanisha Chakula Cha Mashambani.
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 жыл бұрын
Huyu ndiye juke au?
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 жыл бұрын
Wasomi mjifunze mtatembea na bahasha za vyeti ma kwapani hadi mzeeke maana mnachojua kusoma kupata ajira ila cyo soma uwelimike
@feisalricardofais3597
@feisalricardofais3597 Жыл бұрын
Mtaji laki mbili ni uongoo mtupu
@sashashamsia6894
@sashashamsia6894 2 жыл бұрын
inategemea alimaliza degree ya nini. Kama ya kufuga nyuki je..?
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 2 жыл бұрын
Jamani 😀😂🤣😆
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Shishi food ya kigoma
@gynae8407
@gynae8407 2 жыл бұрын
Juk kama Juk
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Hivi wewe unamwona huwo mtu walhali ya chini maana kufunguwa mgahawa kama huwo siyo mchezo alafu degree ndo nini Sasa .
@roz3990
@roz3990 2 жыл бұрын
Umemsikiliza kweli alianzia wapi?
@parambili1382
@parambili1382 2 жыл бұрын
Acha kukulupuka unav comment ayo n mafanikio baada ya kuanza na kidogo
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 2 жыл бұрын
Kumbe anaonekaje🤣🤣🤣 Alianza hatua kwa hatua ndugu. Usitafute sababu za kushindwa tafuta sababu za kushinda
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 жыл бұрын
@@bigdreamer8857 ndio hayo mm pia najaribu natamani nifikie hapo na yeye namuombea azidi hapo alipo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Punguza makasiriko Ritha
@kondegangmusic5866
@kondegangmusic5866 2 жыл бұрын
Diamond platnumz kazimiakzbin.info/www/bejne/bmXaeYCpnrmegZo
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 105 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Mama Ntilie aweka pembeni cheti cha Chuo
4:16
DW Kiswahili
Рет қаралды 2,1 М.
AJENGA NYUMBA YA KISASA MADALE BAADA YA KULIPWA FIDIA YA BONDE LA MSIMBAZI
6:41
Msimbazi Basin Project (Bonde la Msimbazi)
Рет қаралды 339
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA YA MGAHAWA
14:45
Ustawi Wetu
Рет қаралды 485
Rammy Galis Azindua Mgahawa wa Kisasa, Anapika na Kuuza Mwenyewe
15:46
Global TV Online
Рет қаралды 60 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 105 МЛН