Rammy. Congratulations. Is about time Dar needed a place like that for real food. However serving rice from Cooking pan is not advisable and unprofessional. There are special Serving Hot plates that are used for serving food. Especially on buffet people expects to serve themselves. However wish you success in your new catering business
@y6y6hg777 жыл бұрын
Alhamdulillah Mungu akuzidishie kheri
@aminabukenya2315 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah
@upendosanga75006 жыл бұрын
hongera sana
@sheysarahnjeno93265 жыл бұрын
Nakupenda unaigza vizur huna majivuno.unajielewa hupend maneno yahapa napale.nakupenda mungu akujalie zaidi
@munashally33185 жыл бұрын
Mashaallah Allah akufungulie zaidi
@munashally33185 жыл бұрын
Thanxs
@janetjuniormuthama82196 жыл бұрын
Mashaallah.
@julianamasunga41477 жыл бұрын
hongera sana....
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 жыл бұрын
masha allah.
@freckmashaka40555 жыл бұрын
hongera kk acha waseme ww kz buti Alnomania good hatakusadia
@princesssalmahtz45316 жыл бұрын
Hongera sana kaka angu umefanya kitu kizur sana in shaallah nitakuja na Mimi kwenye mgahawa wako nataka nionje hiyo sharmaa
@sumaiyamohd67215 жыл бұрын
acheni kujiona nyinyi ndo nyinyi Kwanini asiweze kuwa wake ni wake mutake musitake majungu munguzeni waswahili hamupendi kuonana munafanikiwa
@irenepatrick53315 жыл бұрын
Naomba namba plz
@zainabualtz14556 жыл бұрын
Hongera
@aminakshamoona69007 жыл бұрын
Rammy a luv you so much na nimependa maendeleo yako Allah akutangulie dude msosi wa maana
@rebeccaernest18755 жыл бұрын
Hongera kaka naomba kazi tu ataya kuhudumia
@bernardchibwana93106 жыл бұрын
Safi sana brooo
@nuurinkluge82396 жыл бұрын
Ohoo nice foods
@hajikoga95775 жыл бұрын
Naomba uwaiter kaka rami please
@mumlulu34017 жыл бұрын
Congratulations rammy.
@nurumahenge38367 жыл бұрын
Hongera sana
@asiaamina32475 жыл бұрын
niajir na mm😂😂😂
@maliharajabu89177 жыл бұрын
Nice
@hasmasalum79017 жыл бұрын
Hongera sana
@naomisanga1486 жыл бұрын
Hongera sana kaka!
@ndayisengasergdine88126 жыл бұрын
hongera sana Rammy Mwenyezimungu akubariki Nakazi zako warimwengu waime masikio love u
@zaitunmwaipopo15066 жыл бұрын
hongera sana Rammy tunazidi kukuombie hili uzidi kutanikiwa
@shubaibe58027 жыл бұрын
congrats. ..Rammy
@shemelaruhinda61137 жыл бұрын
Rami tunakuunga mkono zidi kupambana na kuinua uchumi mwelekeo ni mzuri.
@mayasajuma44757 жыл бұрын
Hongera sana Rammy
@yvannsengiyumva21437 жыл бұрын
gabo nihatali anajua sana
@zainabonayonah38917 жыл бұрын
Upo vizur kaka
@abdulpaku50517 жыл бұрын
Safi sana .
@ashamadua82996 жыл бұрын
Kaka naomba kaz nilikuwa restaurant dubai nilikuwa mpishi niweke up and wakupik chakul abic food
@josephinejoseph39195 жыл бұрын
Safi sana
@khadijambuta43607 жыл бұрын
hongera snaa
@faridasaid87246 жыл бұрын
safi sana kaka
@ameenaameena82797 жыл бұрын
Ongera sana kka
@rayasleman11365 жыл бұрын
Hungera sana napenda san kaz zako zot unajua san ila allah akuzidishie
@asiajuma22867 жыл бұрын
congratulations sana brother
@happyjoseph79526 жыл бұрын
Ni vizuri sana rammy
@jamilanicemuhamed71167 жыл бұрын
Hongera kaka
@marcben22687 жыл бұрын
Mm najua kupika kande rammy njoo nijaze fomu hia 😂😂😂😂
@maryamathman89175 жыл бұрын
Congratulation
@tematema31015 жыл бұрын
Ka ramy naomba nafas naweza.kupika.vyakula mbalimbali kama shawalma .pizza vingi tu .......naomba nafas
@aishadjumaphones88774 жыл бұрын
ongera kaka yangu mimi nimurundi nanimesoma shure yama pishi naomba uniajili maana najuwa kupika ata cakula cawageni kutoka inchi zawazungu na wa rabu pls na kuomba kaka yangu
@eliminambare24967 жыл бұрын
hongera kaka Ram
@hakikaoman59257 жыл бұрын
vzuri sana mungu awe mbere yako kla la kher kakae
@khadijabiggy62505 жыл бұрын
kama kunae alieskia how much chakula is good gonga like
@lovenessdiva33704 жыл бұрын
Naja
@zamzamhamisi73327 жыл бұрын
Hongera ndugu
@rehemahramadhani34287 жыл бұрын
hongera sana kk mm nahitaj kaz kwa kupika tuu nip vizur maana huk oman hii ndio kaz yang
@ameenaameena82797 жыл бұрын
rehemah ramadhani umenifurahisha my dear yani kwa mapishi ya omani tutawadatisha😂😂😂😂
@aminakshamoona69007 жыл бұрын
rehemah ramadhani Na mm nataka pia😆
@zakyahya46455 жыл бұрын
@@ameenaameena8279 😂😂😂😂yni me nikirudi naanza kufanya mgahawa wangu
@المهلهلالحراصي5 жыл бұрын
Mbona huku omani vyakula ni vya kawaida sana havishindi vya tanzania tanzania kuna vyakula vizur sana huku hata ugali hamna pamenichosha mm huku oman jaman nina miaka minee na miezi miwili sasa
@lizybabyjohn24307 жыл бұрын
Naomba kazi pls najua kupika kila aina ya chakula
@mwasitihatibu96916 жыл бұрын
Hongera Rammy nimfano wakuigwa
@brendachepkemboi25187 жыл бұрын
Rammy nice
@lissamsalu21796 жыл бұрын
Hongera sana
@mariyaal53665 жыл бұрын
Ntakaribia nionje mapishi ya Rammy
@lailmeeea49086 жыл бұрын
Dah! ongela sana nitakuja mana kunavitu hapo navipenda kinoma
@albeleenalberto1585 жыл бұрын
Ramy nichukue nikaigize na mimi nollywood😃
@ukhtyashurasakinamnyoti17865 жыл бұрын
Mabrouk Rammy kwa shawarma na pizza umenipata
@nzomukundafatuma53647 жыл бұрын
Onger
@anodearsulusi75367 жыл бұрын
bora wewe hongera
@ednammbando80715 жыл бұрын
Jaman naomba uniajiri
@saidahj25437 жыл бұрын
Congrats Gallis
@dottnatta3105 жыл бұрын
Yaan, nimependa zaid wadada kujitanda wallah
@abdul100magdi76 жыл бұрын
hongr cn brother
@sadasaid44085 жыл бұрын
Shawarma jamani naipenda Rammy
@AbdulWahid-hp8qr6 жыл бұрын
Mm ni mpishi mzuri tu kka yangu
@AbdulWahid-hp8qr6 жыл бұрын
Nahitaji kazi kaka yangu
@benjatv24936 жыл бұрын
Hapo naona ni uigizaji tu ni sawa na mtu kuzimia na kitamba mkononi hahahahaha!!!!!!!!!!!!!! Bongo muvie kichekesho kweli
@aminaissa9355 жыл бұрын
BENJA TV nakupenda bure rammy
@aminajuma93275 жыл бұрын
Napenda sana unavojibu uko makini ongera kaka
@slimkheri9537 жыл бұрын
Kwani lazima tuongee english 🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻 salha
@faridasaid87246 жыл бұрын
dude bhana
@TeamKRX7 жыл бұрын
Yaani kaa kanumba
@sadasaid44085 жыл бұрын
Jamni Shawarma Nitakutafuta hapo ulipo
@lizybabyjohn24307 жыл бұрын
Rammy pls nipe kazi nipo oman huku miaka mitano sasa napika chakula vyotee nipe shavu nirudi jamani
@allthingdranabeauty7 жыл бұрын
Lizybaby John mfuate insta yke yuko poa atakujibu
@mapishiyetumazuri23126 жыл бұрын
Mashaallah
@ZahraZahra-rp7wb5 жыл бұрын
Ongera sana kaka mungu Azidi kukusimamia kwa ili na lengine
@sheysarahnjeno93265 жыл бұрын
Nakupenda sana hongera kwa hatua hiyo
@davidelijahlaiser40646 жыл бұрын
Mandoz Grill co ya kwako.sema unapiga promo
@asiaally31055 жыл бұрын
Ajira zinapatikana najua kupika vyakula vya kila mataifa
@amenaamena33336 жыл бұрын
Mie niko oman najuakupika shariwaima narud3mwezi ujao naombaajira japo najua mengi
@mwanzamwanzaeli55325 жыл бұрын
Mtangazaji kakomaa
@aminakshamoona69007 жыл бұрын
Davina nakupenda bure
@hosnaemam68316 жыл бұрын
Niajil kaka utaniachia chakula chakialabu Kila utakachohitaj nitafanya hasa kwenye vitu vyaunga wangano nipe ajila hiyo kaka
@azaibaoman70177 жыл бұрын
Nipe hiyo tenda ya shurowema nije kutengeneza maana zipo nyingi shurowema ya kuku nyama bagia za kunde viazi niajili mie kaka
@marygaspar64295 жыл бұрын
Rammy atafute fundi amtengenezee viti vya asili aidha vya kusuka au mbao, ingependeza zaidi! na meza!
@jenifasanga35065 жыл бұрын
Mary Gaspar
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 жыл бұрын
Rammy niajiri nije nikufundishe kutengeneza pizza.
@AbdulWahid-hp8qr6 жыл бұрын
Niite mm nikakupikie shuwalumaa
@emanueladamayubu99407 жыл бұрын
hongeraa rammy sio kuigiza tu had madiko
@maleop29507 жыл бұрын
Fanya kazi enyi wasanii ili majina yenu yaendane na maisha yenu
@rahimajuma6887 жыл бұрын
shawama dah napenda hiyo chakula
@maleop29507 жыл бұрын
bando zangu xinaishia kwenye vitu hivi vya maendeleo