Maono ya mzee baba JPM mwana wa Africa mzalendo Mtanzania 🇹🇿 kweli 🔥💪
@MashakaMagesa6 күн бұрын
Rip JPM siku ya kuzindua daraja sifa zitaenda Kwa mama
@japhetdaudmaneno84406 күн бұрын
@MashakaMages Unafanyanje ndg yangu,ukipingana na mfumo unapotea 😆🤣
@MashakaMagesa6 күн бұрын
@japhetdaudmaneno8440 Mtu kama alifanya vizuri hata kama hayupo tumpe maua yake kama Baba wa Taifa mbona Kuna kile kipindi kama siyo Juhudi zako Nyerere na uhuru tungepata wapi Hayati Magufuri kafanya makubwa kwenye nchi yetu mfano Daraja la Tazanite, Kijazi ubungo Busisi Mwanza Stendi ya Magufuri, Hospital ya uhuru Dodoma, SGR, Meli kubwa ziwa Victoria, Lazima apewe maua yake huo ndiyo ukweli
@VairethMwaikambo5 күн бұрын
@@MashakaMagesasanaaa
@simonmwaliru85905 күн бұрын
@@MashakaMagesaSifa ni kwa watanzania na serikali yao.
@PastorErickjmi5 күн бұрын
Mueshimiwa uko vizuri tunakuombea sana kwakazi unayoifanya juu yawananchi mkoa wamwanza by pastor erick
@daudimaniseli7596 күн бұрын
HAPA KAZI TU...HAPA KAZI TU... ALLAH JALIA PEPO NA KUMUWEKA MBALI NA MOTO
@EGM-TZ6 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations JPM and RIP Jembe. EGM Tutaendelea kukuenzi 🙏 Enjoy Muziki Bora kutoka EGM
@MasomeAbell-cr1um5 күн бұрын
Hayo ndio maono ya JPM(Magufuli) halafu kuna kiongozi mmoja wa chadema aliwahi kusema eti kulikuwa hakuna haja ya kujenga daraja ona sasa umuhimu wa daraja hongera kwake JPM apumzike kwa amani
@kilimanjarotv2552 күн бұрын
Kiukweli mama amesusia hiyo mikoa kabisa miradi mingi inaenda Kwa kusua sua sanaa mikoa ya nyanda za MAZIWA Victoria mama aaeche chuki kisa magufuli ALIKUA anatokea uko airport yenyewe pia imesusiwa na pia imejengwa ndogo sana HATUNA uzalendo kabisa tupo kimatabaka kimaendeleo Samia acha hili badilika simamia maendeleo kwa usawa kote kote siku nchi nzima acha upendeleo
@MohammedJaizan-yf5yt5 күн бұрын
Hiyo ni English kweli😂😂😂😂😂😂
@bedabeda63485 күн бұрын
Kiswahili
@user-sy6ty8qb3n5 күн бұрын
Kujua English sio kuwa na akili
@UrassaPaschal4 күн бұрын
Wameelewana hawajaelewana?maana ninachojua issue ni mawasiliano tu na kwa vile ni third LG sio mbaya ingekuwa kiswahili ama kilugha hajui ndio ningemshangaa kama ulivyoshangaa wewe
@RaiderTube4 күн бұрын
Hamna English humo 😂
@RaiderTube4 күн бұрын
@@UrassaPaschalmtu aliyesoma mpaka University uongee hivo? English ni lugha ya kufundishia tangu primary mpaka chuo, shame angekua hajasoma nisingeshangaa
@UrassaPaschal4 күн бұрын
Afu heading kwanini hamjaandika daraja la JPM tajeni jina hilo jina kubwa lilofanya makubwa kuliko rais yoyote ukiacha Mwl Nyerere
@VairethMwaikambo5 күн бұрын
Maono ya magufuli
@mwitajoseph83155 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kumbe magugu yanaweza kuchanyikana na engine au ndo hydrolic ya ferry. Hongera sana mkuu wa mkoa juzi nimesimama hapo massaa matatu
@magorymara55155 күн бұрын
Wazembe wengi serikalin
@LeonardRomward6 күн бұрын
Asante RC
@MartinLaban5 күн бұрын
Mbona msiweke usafi wa kuyaondoa hayo magugu maji ? Au mama hajaleta pesa😂😂make kila kutu ni mama sio Kodi zetu 😂😂
@mugishamajeba96286 күн бұрын
Sawafi kiongozi anae timiza wajibu wake mungu amubariki
@RamadhanAthuman-d4c5 күн бұрын
#Magufuli
@MkumboKahongoКүн бұрын
Hlio daraja so imala waelewe Hilo, maana lipo kwaajil ya kuendeshea mrad wa ujenzi tu, daraja kuu bado halijamalizka kutengenezwa, wawe makin zaidi
@ifmknowledgepower73336 күн бұрын
Mpka leo daraja bado halijakamilika tu wajameni duh!! Kwani mkataba wa kumaliza ikua mwisho lini?
@dancerboy26866 күн бұрын
2024
@storytownTv6 күн бұрын
Mpk tutambue huyu mama afai tutakuwa tumechelewa sana..😢
@husseinshabani95225 күн бұрын
Ingekuwa Injinia Au fundi Usingeuliza swali kama hili.
@salymkitumbika86445 күн бұрын
Kunavitu vingi Daraja ni refu kuna Muda wa kusubir zege likauke sanjari na kunyeshea Niprocess nyingi ili daraja Liwe Madhubuti sometimes sio pesa pekee
@robertzamani5612Күн бұрын
Aliyekuwa anafatilia na kusimamia ipasavyo miradi hayupo wengine wote wamekalia mama mi 5 tena
@fredrickkagwa88534 күн бұрын
Kweli JPM aliona mbali
@omaryboman66293 күн бұрын
BHAKRESA ANATAKIWA AWASILI PIA HAPO AWEKEZE
@husseinshabani95225 күн бұрын
Maono ya JPM
@robertmasha1733 күн бұрын
Duuuuh kingreza cha muheshimiwa bwaaana
@eddechriss26646 күн бұрын
Serikali mlituahidi Daraja la JPM kuanza kufanya kazi December 2024 lakini haikuwa hivyo, ona sasa hii shida, hilo daraja lisilo rasmi halikujengwa kwa matumizi ya kawaida, hiyo ni hatari
@mazaramatucha6 күн бұрын
Hiyo ni hatari mzee. Nia haibadili professionalism
@MashakaMagesa6 күн бұрын
Ni kweli ni hatari ila Kwa siku 1 siyo mbaya
@nuruamry6 күн бұрын
Tanzania kwann mkuu asitumie kiswahili
@MamodelPark6 күн бұрын
Anajaribu kuwataarifu wakenya kuwa na sie lugha ipo 😂
@HavanansiData6 күн бұрын
Anaongea na Mkandarasi
@AllyMadenge-u6o5 күн бұрын
Kiongozi anaongea na Mchina halafu Mchina hajui kiswahili
@JacobNzowa-e2f6 күн бұрын
Kongole sana magufuri bila yeye kuthubutu yamkini mpaka Leo kungekuwa hamna alternative R.I.P mwamba
@timboxlee9193 күн бұрын
Sasa kwanini jeshi lisisafishe ziwa
@EradiusB.kashabano2 сағат бұрын
Ruhusu watu wapite mkuu shida nn tuliambiwa mwezi 12 baada ya apo tukaambiea mwezi wapili
@JumbeOjaso5 күн бұрын
Jambo jema Mr Rc ila ni aibu kusikia mafundi wanasubiriwa kutoka Daresalaam. Mwanza kuna mafundi wa kutosha, watumie wakati huu wa dharura hata kama ni mafundi binafsi. Au hao wa Daresalaam wanafanya kazi hiyo bure?
@Mboro75 күн бұрын
Hii haijakaa sawa kuna jambo linaandaliwa
@BensonTegambwageDecordesign5 күн бұрын
Daraja kumbe bado
@shomarymussa69706 күн бұрын
Hangalieni uzito pia msije mkauwa watuhapo
@ErastoAntony5 күн бұрын
Hapo uzito haina shida yoyote kwakua hilo daraja la emergency rimejengwa kwa uimara mkubwa kwaajili ya kupitisha magari yanayopeleka material ya ujenzi pamaja na winch
@mdl64634 күн бұрын
Hohohoho😂😂😂😂😂😂
@JeremiahKaliwa-h1w6 күн бұрын
Wanapita sawa vp kuhusu usalama?
@amirjuma93955 күн бұрын
Rc kuvaa sare chama wakati wakutimiza majukumu yake sio sawa wewe unamwakirisha raisi na raisi akisha chaguluwa anakua raisi wa wote kwaiyo hutakiwi kuonyesha uchama kwenye kazi zisizo husu chama
@ChancellorFelix-vm5yp4 күн бұрын
Kwan mkataba wa ilo daraja n kujengwa Kwa miaka mingap ? Maana waandsh wa habar wa cku izi n kama hii nch haiwahusu vile wanashndwa hata kuhoji wakat wanapata nafasi za upendeleo kuonana na wakuu wa nchi
@PoulinSimon5 күн бұрын
Ni mcheshi mkuu ila lugha ndo problem
@godfreymushi69666 күн бұрын
Nenda Gym kwa faid a ya maisha yako.ya baadaye
@Dipeson7006 күн бұрын
Saiv haelewi ila badae ataelewa😂😂
@davidmalogo71006 күн бұрын
Magugu hayawezi kuchanganyika na injini Hilo siokweli injini ipo mbali na kizunguusha maji kwahilo siokweli ila kunata tatizi lingine au ufisadi
@meshackpatrick69815 күн бұрын
Suluwisho la kudumu ni daraja
@jumannedotto92415 күн бұрын
Wataalamu wanaishi dar vivuko vipo mwanza hii imekaaje
@StevenMusa-j7v6 күн бұрын
English Ni Janga La Taifa
@COMPASSIONMEDIA6 күн бұрын
😂
@jeremiahblazio47816 күн бұрын
Hata kiswahili ni janga la taifa kwa nchi zinazozungumza kiinglishi
@MashakaMagesa6 күн бұрын
Why Sir
@AllyMadenge-u6o5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MarckMasaki5 күн бұрын
Mbona sijaelewa,magugu maji yanaingiaje kenye ingine,kwa hiyo Piston zimeziba
@NtayandiLeonard6 күн бұрын
🙏
@LukaSakaya-pg3qy6 күн бұрын
Duh 😮😮😮😮
@RaiderTube4 күн бұрын
English is not englishing
@PrinceShepherdMaduhu-m9m6 күн бұрын
Daraja bado kukamilika ila tu viongozi waliopo apo wanawaongopea wasio na d2 zauelewa ivi kama ligekuwa limekamilika kwanini zipite gari daralaj lisilo lasimi lahapo chini ambapo daraja kuu nihilo juu apo JPM chuma sana hakuna wa kuvivaa viatu vyke
@SylvesterKameo5 күн бұрын
Hizo D2 zako tayari zinadhihirisha reasoning capability chini ya watani. Ndiyo maana huwezi kutofautisha uwezo na kazi za madaraja hayo mawili (diversion and permanent)!
@AllyGege-h4r6 күн бұрын
Kwann huyu mkuu wa mkoa hajapewa dar es salam mnaweka mkuu wa mkoa ambaye ajali kina mama wazazi hii ni laana wewe utakujakuwa kuwa rais wa nchi hii
@mkamimtatiro34496 күн бұрын
Sisi tunamtaka chalamila mwanza
@BigMan-f1v6 күн бұрын
Hatumtaki chalamila@@mkamimtatiro3449
@MaurineFredrick6 күн бұрын
Hata ss huku moshi tunamtamani kinyamaaaa chalamila @@mkamimtatiro3449
@MaurineFredrick6 күн бұрын
Hebu tuleteen chalamila jmn
@daudimaniseli7596 күн бұрын
SIFA MOJA KWA WACHINA NIWA SIKIVU NA KUONGEA KWA HATUA NA KUKUPA MUDAWINGI KUKUSIKILIZA WEWE..... CHINESE ENGINEER WOTE WAPO HIVYO...MFANO HUYO
@SamsoniKaka5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MohammedJaizan-yf5yt5 күн бұрын
Mwanza inazidi kuzorota chini ya kiongozi huyu hakuna vivuko mji mchafu malori yanaharibu miundo mbinu ya barabara za mjini
@geofreykato39766 күн бұрын
Najiuliza magugu maji yanaingiaje kwenye injini? Kupitia wapi???
@MashakaMagesa6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminasittusaid38305 күн бұрын
Magugu maji ni hatari sana kwenye meli huo ndio ukweli.
@jeremiaaugustino71876 күн бұрын
TEMESA Kwanini hawatumbuliwi....hua wanaajiri watu toka wapi? MAGUGU hawayaonagi?