RAIS SAMIA AMPELEKA PETER SEHEMU PALIPOHIFADHI PEMBE ZA NDOVU "INASIKITISHA KWA KWELI"

  Рет қаралды 6,365

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@christinapaul2957
@christinapaul2957 2 жыл бұрын
Nikimwona huyu mama nasikia tu hasira
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Mmarekani alivyo mroho unamuonyesha vitu adimu barani africa. Yaani huyu mama anatufanyia wepesi wa kuliwa vichwa na NATO na UN wauawaji wa muafrica
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Bibi ana kiherehere huyu
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 2 жыл бұрын
Wazungu wasije leta fitna km gadafi wakiona mali rohozawatoka
@cornelgurti110
@cornelgurti110 2 жыл бұрын
Ni kweli mama anapambana Ila anaonyesha mpaka magala ya Siri kwenye mov hii siyo sawa nd maana wenzetu kwenye mov wao wanatengeza vitu feki kulinda usalama wa rasimali zao mama anafunguka Sanaa anasahau kuwa yeye ni raisi
@nailaty
@nailaty 2 жыл бұрын
ndo tutajua maana ya nchi kupigwa mnada huyu mama bora ajihuzulu tumechoka
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 2 жыл бұрын
Sasa huyu mama anafanya Nini hiki😭😭😭😭😭😭😭😭uuuwwwwiiiii twafa
@christinapaul2957
@christinapaul2957 2 жыл бұрын
Huyo mama ataonesha hadi zinapohifadhiwa siraha za kivita
@nisetameena9276
@nisetameena9276 2 жыл бұрын
Mm ninaogopa sana huyu mama anavyoonyesha siri za nchi ni sawa na kumvua mtu nguo na kumwacha uchi, sijui nn kitafuata baada ya zoezi hili. Ee Mwenyezi MUNGU tusamehe kwa kuonyesha hazina zote za nchi.
@yassersahin6639
@yassersahin6639 Жыл бұрын
Sehumu inalindwa hiyo unaogopa nini au humpendi tu raisi
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 2 жыл бұрын
Peter I see u mamaee
@nailaty
@nailaty 2 жыл бұрын
anauliza bei huyu nchi anaiuza
@hemedchuma9603
@hemedchuma9603 2 жыл бұрын
Ss kapelekwa apo kiutalii au mkaguz au kufny nn
@suzanmhagama9233
@suzanmhagama9233 2 жыл бұрын
Tutaja tuuzwe tunatembea🤣🤣🤣
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Hivi hii siri inahitajika kweli kuwa Public, hivi ni SAWA? wakitaka kutuvamia si watajua chimbo zetu zote kupitia *ROYAL TOUR* nimeuliza tu jamani kwa ufaham wangu.
@omarysaid9940
@omarysaid9940 2 жыл бұрын
Kimsingi tumejivua nguo wenyewe sio sawa
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Mmarekani alivyo muuaji unamuonyesha kwamba una rasilimali adimu namna hyo barani africa. Yaaani baada ya congo ni tz tunaliwa vichwa na NATO na UN wauaji wa muafrica
@byaombealoys5967
@byaombealoys5967 2 жыл бұрын
Watanzania hoyeeeee hapo mmefika sasa.... bado qmjamkumbuka alie pita
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 2 жыл бұрын
Ampereke napale wanapohifadhi almas
@lanlady2504
@lanlady2504 2 жыл бұрын
Mmhhh, kazi ipo! Sasa, mama anataka kuzigawa au kuuza?
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Hongera mama kwa kuitangaza Tanzania yajayo yanafurahisha
@nasororamadhani12
@nasororamadhani12 2 жыл бұрын
Daaah sili imevuja Jamani
@ziadakisanga1011
@ziadakisanga1011 2 жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂sio siri tena
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Royal TUAR my foot. 2025 nyerere atawachapa fimbo. DELILA hayupo wa kukupa kura 2025 ,acha kuiuza Tanzania yetu.
@dianamsomba1098
@dianamsomba1098 2 жыл бұрын
Tuambieni mafuta yanashuka lini sio unatembea kam kbwngo
@kakabaraka1058
@kakabaraka1058 2 жыл бұрын
safi sana,, watanzania tujifunze sana kuwashangilia viongozi wetu wanapofanya makubwa, na kufunga vinywa pale tusipo elewa hatua wanazozichukua na kumsii sana Mungu aliye hai juu ya afya zao, akili zao na wawe na nia njema juu ya taifa letu hili... Pengine hatupo katika nafasi za kulijenga taifa letu moja kwa moja lakini kwa kuwaombea viongozi wetu tuna kua tunafanya kazi kubwa sana katika kulijenga taifa hili, kwasababu nchi yetu sio ya serikali ya ccm na mama samia lakini ni yetu na vizazi vyetu.
@abdallamohammed6059
@abdallamohammed6059 2 жыл бұрын
Mmmmmmm
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 жыл бұрын
Kwan jesh lipo wap had dunia nzima inazijua hiz sir.huu ni uhuni wa Hal ya juu.mpeleke na ghala la silaha
@fredrickmwegole7841
@fredrickmwegole7841 2 жыл бұрын
Hio inaitwa karibu mkoa wa tanga
@shadode2030
@shadode2030 2 жыл бұрын
Sasa si auze tu tupate pesa mama endelea kupiga mwingi
@emmanuelelam555
@emmanuelelam555 2 жыл бұрын
Mmmh
@novatusabond9253
@novatusabond9253 2 жыл бұрын
Haina mvuto
@edwinjohn6334
@edwinjohn6334 2 жыл бұрын
Mama si unipe ata moja nami nikauze nipate hela ya kupanga frem mana mm machinga
@kishadaonlinetv7972
@kishadaonlinetv7972 2 жыл бұрын
Women God is not believe
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 512 М.
How India Is Failing Its Educated Youth
8:22
Bloomberg Originals
Рет қаралды 219 М.
HUKUMU: KARATA YA MWISHO YA MALKIA WA PEMBE ZA NDOVU KISUTU
2:19
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,9 М.
RAIS SAMIA AKIGAWA TUZO MAALUM AFANYA HIKI KWA MUME WAKE
3:15
Millard Ayo
Рет қаралды 123 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН