ALIYEKUWA MPENZI WA DIDA, ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI, HUZUNI IMETAWALA

  Рет қаралды 111,629

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@upendomollel8674
@upendomollel8674 17 күн бұрын
juweni kuna mtoto anataka kusoma kula .na maisha mengine.msichukuwe mali zake wana ndungu.😊
@siriyangu4724
@siriyangu4724 12 күн бұрын
Innalilai wainna illah rajiun kuunguwa cyo kufa hakika kifo huja hafla tujianda mda yyote alale pema dda didy tulimpenda lkn mungu kampenda zaidi 😢
@TinaMzava
@TinaMzava 17 күн бұрын
Kifo ni fumbo jaman wanadamu tuna Leo Jana na kesho tusioijua 😢😢😢 mm mpaka naogopa jaman
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 17 күн бұрын
Nakwambia had kulala naogopaa
@aminakipande5645
@aminakipande5645 16 күн бұрын
Sio ww tu tupo wengi
@wachimbavisima
@wachimbavisima 17 күн бұрын
mungu akupe kauli thabiti dada yetu, 😢 ndugu mtambue marehemu ameacha mtoto msianze kugombania alichomwachia mwanae maana ndugu hamnaga utu😢 nasema hivi yamenikuta juzi tu hapa mtu wala hajazikwa watu wanagawana nguo na kuficha vitu 😢😢
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 17 күн бұрын
Ushauri mzuri
@mealii5793
@mealii5793 17 күн бұрын
Subhannallah 😢
@janethdavidsanga5999
@janethdavidsanga5999 16 күн бұрын
Mimi hawakunipa hata kijiko,lakin Mungu amenipa vyangu at that age nikiwa mdogo sana😤
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 16 күн бұрын
Tumweke binti kwenye sala zetu, ndugu wasiingiwe na tamaa.
@SalomeJoseph-h4y
@SalomeJoseph-h4y 13 күн бұрын
Jamani poleni familia pole Idrissa
@Najma-z2h
@Najma-z2h 17 күн бұрын
Innalillah wa innallillah laajuun kifo kinauma jamn nimejikita namkumbuka mama yng gafla naamini mwenzangu ameumia xana kumpoteza mama yake daah maana mama yng na dida ni miaka xawa wote ukimpoteza mama umepoteza dunia yako
@Mainatongwe
@Mainatongwe 17 күн бұрын
Duh dad dida kama utani umetuacha gafra nimeumia sana😭😭
@MpembaawiseABD
@MpembaawiseABD 14 күн бұрын
Kasoma comment yako😅
@uoendokivuyo6589
@uoendokivuyo6589 16 күн бұрын
Pole sana kaka Mungu akawe mfariji mkuu kwako
@vinanimwinyi3163
@vinanimwinyi3163 17 күн бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah amjalie kauli thabit
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 17 күн бұрын
Allah ampe kauli thabiti pole kwa familia
@AzizaSwedi-vx9tv
@AzizaSwedi-vx9tv 17 күн бұрын
Inna Lilah Wainna Ilehiy Rajiuun Subuhaana Llah mmmh Allah Akbar Dida Dunia Uliipenda Sana ila Akhera Imekupenda Zaidi Htunabudi Kusema Tena Inna Lilah Wainna Ilehiy Rajiuun Subuhaana Llah
@HappyMeena-h2d
@HappyMeena-h2d 13 күн бұрын
Apumzike kwa amani
@KhamisKhamis-p7t
@KhamisKhamis-p7t 17 күн бұрын
Inalillah wainna ilayhi rajiuun
@vero57
@vero57 17 күн бұрын
Babu idd mpaka kavimba macho, poleni sana
@ThomasUlimwengu-l3e
@ThomasUlimwengu-l3e 16 күн бұрын
See u again in a better place dida❤😢
@shebylove3798
@shebylove3798 16 күн бұрын
Pole sana kwa wana familia 😭😭😭😭
@qasimmafuta
@qasimmafuta 17 күн бұрын
Mpenzi Au Ni Mumewe which is which?
@TonyMasterog
@TonyMasterog 17 күн бұрын
Pole Sana 😢😢😢
@neemakoka599
@neemakoka599 12 күн бұрын
Kufiwa kugumu jamani sikia tuu yasikukute
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 17 күн бұрын
Ila Dida jamani 😭😭😭 ghafla sana🙏🙏🙏
@obrigadoofficial1506
@obrigadoofficial1506 17 күн бұрын
Pole mr Nana 😢
@abednego3876
@abednego3876 16 күн бұрын
Dogo kapime sasa, Vijana msiwe na tamaaa.
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 16 күн бұрын
Yaani we acha atakua na mawazo mengi
@paschalbuharata6640
@paschalbuharata6640 17 күн бұрын
Pumzika kwa aman madam Dida
@ThelesiaElias
@ThelesiaElias 16 күн бұрын
A.ani miooooo Jam😢
@NeemaMweta
@NeemaMweta 16 күн бұрын
Mali.mali jamani.za mtotooooo
@mealii5793
@mealii5793 17 күн бұрын
Huyu mpenzi wake kwa kumuangalia tuh unatokwa na machozi😭
@FatumaSalum-m2o
@FatumaSalum-m2o 17 күн бұрын
Polen sana
@dreamboy5674
@dreamboy5674 16 күн бұрын
Apo anawaza umeme
@NeemaMweta
@NeemaMweta 16 күн бұрын
Msianze zenu serikali msikae tuu angalieni anaeleta mdomo ukatwe
@mwajabually5321
@mwajabually5321 17 күн бұрын
jmn tuzidishe Ibada
@subyshaban
@subyshaban 17 күн бұрын
Innalillah Wainnailaiyhi RaJiun
@SalmaLukindo
@SalmaLukindo 17 күн бұрын
Daaahh dada dida kwelii umeondokaa umenilizaa dada😭😭😭😭😭
@NasraMichael-y7f
@NasraMichael-y7f 17 күн бұрын
poleni jaman
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 17 күн бұрын
Duuu na mm nimeumia
@BahatiTimilai-v2x
@BahatiTimilai-v2x 17 күн бұрын
R.i.p
@HusseinMwatende-ws1nt
@HusseinMwatende-ws1nt 16 күн бұрын
Mume au mpenzi?duh haya
@lazzR1935
@lazzR1935 17 күн бұрын
Nikiuna hapa hivi niskia machungu mukubwa kwa musba wa shemeji yangu alipo toeka nikifikiria ginsi mdogo aliumia moioni maumivu makali ya kumpoteza mkew angali na umri mdogo😢 innalillah wainna ilayhi rajiun
@shuwenaghandi9253
@shuwenaghandi9253 17 күн бұрын
Jamani alikua anaumwa mbona ghafla
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 17 күн бұрын
So sad rip
@KhadijaSempeho
@KhadijaSempeho 17 күн бұрын
Jamani mhiiii so pw nikumuombea tuh
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 17 күн бұрын
Waandishi wakuda eti amwaga machozi yapo wapi apo
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 17 күн бұрын
MTU AKIFA MNAGEUZA shm ya kuingizia hela mamayezenuuu nyiee
@Zakia-df1ql
@Zakia-df1ql 17 күн бұрын
Babu idi atalia msiba ukiisha
@SanyaKiroriMwita
@SanyaKiroriMwita 17 күн бұрын
Apumzike kwa Aman😢😢😢
@SiahBrown-o6f
@SiahBrown-o6f 17 күн бұрын
😢😢😢😢
@ZaliyaSaid
@ZaliyaSaid 17 күн бұрын
Dada inauma sana ila mungu tumtukuze
@halidhakim883
@halidhakim883 17 күн бұрын
Mwana ume ana jichubua
@SHAKILB-f7o
@SHAKILB-f7o 17 күн бұрын
Mbona sijamuona boss wa Serena hotel maan wanasili kubwa na did
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 16 күн бұрын
Siri gani hiyo??
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 17 күн бұрын
Unajuwa mimi sijaamini hapan haiwezekani amekufa kweli
@MshindiiGodfrey
@MshindiiGodfrey 17 күн бұрын
Apumzike kwa Amani Dida😔😭🥹
@MohamedNassoro-md8yv
@MohamedNassoro-md8yv 17 күн бұрын
SISI SOTE TUTAKUFA MUDA WETU UKIFIKA, JE TUMEJIANDAA KUKUTANA NA MOLA WETU??
@FatumaBaruti-qw6jm
@FatumaBaruti-qw6jm 17 күн бұрын
Innallilah wainnaillayh rajiuni
@MshindiiGodfrey
@MshindiiGodfrey 17 күн бұрын
Nimekuja wa kwanza hapa watu mko wap
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 17 күн бұрын
Ili tukuzike ama wa kwanza kuhusu nn?
@MshindiiGodfrey
@MshindiiGodfrey 17 күн бұрын
@@melanialeonard4031tukuzike ww wa kwanzaaa
@kilangiza
@kilangiza 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂ety tukuzike au​@@melanialeonard4031
@lulumkongwe9987
@lulumkongwe9987 17 күн бұрын
MUNGU amlaze mahali pema peponi
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 17 күн бұрын
Kafara
@LenathdeujiLendeuj
@LenathdeujiLendeuj 17 күн бұрын
Kabisa na PDd itapoa
@hanifamziray277
@hanifamziray277 17 күн бұрын
Ungekuta nana ni mume
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 17 күн бұрын
Mboba hawambembelez
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 17 күн бұрын
R.i.p😢💔🫶
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 17 күн бұрын
Ukisikia mawaidha usidharau na kukejeli, unavyoishi mpaka kifo inatosha kwa wamchao ALLAH kujua kua wewe ni wa peponi au moton (tubadilike)
@SubiraKibelo
@SubiraKibelo 17 күн бұрын
😢
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 25 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
MkasiTV
Рет қаралды 383 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН