Innalillah wainna ilaihi Rajiun......😢 Allah amrehem Dada yetu, na Asante sna mkuu kwa massage yako nzuri nzito sanaaaaaaa Allah akujalie hekma na busara. Amiin ya Allah
@mahramarswad60413 ай бұрын
Usimuhukumu mtu ukimnyooshea kidole kimoja mwenzio basi vitatu vinakurudia weye mwenyewe usimuhukum mtu hujui yasiri yake yeye na mola wake usimukuhukumu weye sio mungu hatujajuwa sie mwisho wetu na vizazi vyetu haifai huu ni ukumbisho kwa kila mtu jamani haifai tutazidi kumuombea kwa mungu tunakupenda marehem dida Allah akulaze pema peponi Amin . From uk 🇬🇧
@mgenisuleiman62873 ай бұрын
Amelaaniwa anae hukumu maiti Kwa mabaya yake Kwa kusema ni wamotoni Allah ndie Hakim sio binadamu
@mgenisuleiman62873 ай бұрын
Amin Allah amsamehe makosa yake ya Siri na.dhahiri amtilie Nuru kabri lake na.ss atupe husnul hatima
@solomonOsam-d1t2 ай бұрын
Sahihi saana saana
@tatukisaga27062 ай бұрын
Kweli kabisa
@mohamedhamismagoraonlinetv4593 ай бұрын
Ma Shaa Allah Sheikh wetu Sheikh Walid Jazaka Llahu khayran.
@HassanSaid-e1w3 ай бұрын
Mashallah mm nakukubalii sana sheikh wangu wamepita lkn ww kibokoo allah akupe umuftii insh
@ahz69072 ай бұрын
Tuseme amyn ❤
@RahimSheughaa3 ай бұрын
Mungu amsamehemakosayake naamjaaliye kauli thabiti amin
INNA LILAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUN TUNAMUOMBEYA MAGHFIRA NASISI. TUPEWE MWISHO MWEMA AMEEN JAMIYAN MUSLIMIIN
@SalmaAlrawhai2 ай бұрын
Allahuma Ameen👏🏽
@aminahhuawei11333 ай бұрын
Ndugu zàku tusihukumianaa allah ndiyo anajuwa hukumu zetu cc wajaa wake hainahaja yakumsema kwa mabaya mwezetu ameshaficha uso wake kwenye hii dunia kubwa nikumuombea dua na cc atujaalia mwisho mwm🙏🙏🙏🙏
@athman9062 ай бұрын
Ndio haifai hukumiana dada kweli maneno yako ila sisi tulokua hai tutaacha lini au tutaendelea kutangaza wasafi na mengineo kikweli ni swali gumu kwa kila mmoja na vifo saa hii vya ghafla watu wanarudi kwa mola wao makundi kwa makundi ..kwaio kilichopo ni watu waambiane ukweli maana mwisho wa watu siku hizi ni mbaya
Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa amari za mwanadamu. Sio binadamu.
@KhalfanMakota3 ай бұрын
Hapana allah nasema fanyeni amali njema yeye ataona pamoja na mtume wake na wale waumini pia wataona...kwa iyo hata binadam wanaona mema ya mtu au mabaya yake cio mungu tu
@IbraFareed2 ай бұрын
@@KhalfanMakota Ukisoma kitabu cha imam dhahaby رحمه الله kinaitwa كبيرة MADHAMBI MAKUBWA ameeka hadith ya Mtume Muhammad ﷺ amesemea اذْكُرُوا مَحَاسِنَ مَوْتَاكُمْ وَكُفُّوا عَنْ مَسَاوِيهِمْ Hapa ametukataza kuongea maovu alihimiza kuficha matendo maovu ya wafu na kuzungumza juu ya mambo mema dhidi yao, kama inavyoonekana katika Hadith ifuatayo. Alifariki swahaba رضي الله عنه kwenye jihadi mama yake akasema Alhamdulillah Mwanangu amekuja shahidia na anaenda peponi. Mtume Muhammad ﷺ akamwambia ni kweli amekufa shahidi lakini nani kakuambia ataenda peponi. Mwenye kujua hayo yote ni Allah peke yake. WEWE TATITIZO LAKO UNA MUHEMKO AFU HUJASOMA AU HUJUI, KAA CHINI USOME HAYA MAMBO UNAYOANDIKA YAMEKATAZWA NA MTUME ﷺ maana yake unaenda kinyume na mafundisho ya MTUME ﷺ وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. nakukumbusha tu إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. HADII HII COMMENT UTAKUJA KUULIZWA Wabillahi Tawfiq
@sheikhanasser47142 ай бұрын
Allahuma Aameen Allah Andika kwa herufi kubwa Shukran @@KhalfanMakota
@IbraFareed2 ай бұрын
@@KhalfanMakota Ukisoma kitabu cha imam dhahaby رحمه الله kinaitwa كبيرة MADHAMBI MAKUBWA ameeka hadith ya Mtume Muhammad ﷺ amesemea اذْكُرُوا مَحَاسِنَ مَوْتَاكُمْ وَكُفُّوا عَنْ مَسَاوِيهِمْ Hapa ametukataza kuongea maovu alihimiza kuficha matendo maovu ya wafu na kuzungumza juu ya mambo mema dhidi yao, kama inavyoonekana katika Hadith ifuatayo. Alifariki swahaba رضي الله عنه kwenye jihadi mama yake akasema Alhamdulillah Mwanangu amekufa shahidi na anaenda peponi. Mtume Muhammad ﷺ akamwambia ni kweli amekufa shahidi lakini nani kakuambia ataenda peponi. Mwenye kujua hayo yote ni Allah peke yake. WEWE TATITIZO LAKO UNA MUHEMKO AFU HUJASOMA AU HUJUI, KAA CHINI USOME HAYA MAMBO UNAYOANDIKA YAMEKATAZWA NA MTUME ﷺ, maana yake unaenda kinyume na mafundisho ya MTUME ﷺ وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. nakukumbusha tu إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. HADII HII COMMENT UTAKUJA KUULIZWA Wabillahi Tawfiq
@mwinyihijajumaa37733 ай бұрын
Innalillah wainnailah rajiun Mungu ampe makazi mazuri
Mwenyezi Mungu humsamehe amtakaye na umuadhibu amtakeye,, akitaka kumsamehe atamsamehe,, tusiongee mengi
@SaidBuliba2 ай бұрын
Kwa yeyote anae msema vibaya malehem hakika kunasiku na wewe utaondoka katka mgongo wa ardi pia kuna watu vilevile watakusema maov yako na mema yako ila tuseme to mungu ampokeee kwa iman yake isha Allah amin😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
@SalmaAlrawhai2 ай бұрын
INA LILAH WAINA ILEY RAJIUNI ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE AMPE KITABU CHAKE KWA MKONO WA KULIA AMLAZE NA WATU WEMA KWENYE JANAT LFARDOUS L AALA SIO VIZURI BINADAMU AKIFARIKI UKITAJA MABAYA YK WAKUFA HANA ISPOKUA RAHMA KUMUOMBEA DUA HUJUI HUSNI LKHATMA YK BAINA YY NA MOLA WAKE.YA ALLAH TUJALIE FII SIRAT MUSTAQIIM UTUPE HUSNI LKHATMA.👏🏽
@azizaali85063 ай бұрын
Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh jamiann khabari zenuu wazima nyote humuu innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun tupoeni kwa msiba ndugu zangu watoto wanguu Allah atupe subra sisi na wafiwa wote yaarrabb Allah amfanyie wepesi ktk safari yake hii nzitoo ndugu yetu huyu amsameh makosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wakuliaa amuepushe na adhabu za qabri amtilie nuru ndani ya qabri yake ampe makaazi mema jannat firdausil Aalaa iwe ndio makaazi yake yaarrabb na waislam wenzetu waliotangulia kwakee na sisi tuliobakia atupe husnilkhaattima yaarrabb innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun pia niwakumbushe wale ndugu zetu ktk imaan kua kazi ya kuhukumu ni yake Allah tu na sio sisi wanaadamuu na pia uislam umetukataza kusema mabaya ya maiti zetuu jamani mimi naumia sana sana kuona mtu anasema maneno kama haya yakua marehemu dida hawezi kusamehewaaa jamani haifai hivoo sisi binaadamu sio wakamilifuu kila mmoja anamapungufu yakee mkamilifu ni Allah peke yakee tujitahidini kuwaombea duaa njema wenzetu waliotangulia kwakee Allah ili na sisi tutakapoondoka Allah awajaalie wenzetu watuombee duaa njemaa Allahummaghfirlahaa warhamhaa waskanafiljannaah yaarrabb Allaahummaghfirlil muuminiina walmuuminaat walmuslimiina walmuslimaat al ahyaai minhum wal amuwaat birahmatika yaa arhamarraahimiin Allahumma antassalaam waminkassalaam tabaarakta yaadhaljjalaal wal ikraam Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh jamiann wa innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun tupoeni ndugu zangu ndio khatima yetu waja hiyoo Allah atupe subra
@azizaali85063 ай бұрын
Shukrann
@FarhaOmar-sb7fw2 ай бұрын
Mashallah tabaraka Allah Allah akulipe kher ubarka Kwa maneno mazuri yenye hikma, wakati mgumu mwezetu ana kwenda kukabiliana nayo yaaa rabb amswameh makosa yk yeye na sisi
@azizaali85062 ай бұрын
@@FarhaOmar-sb7fw ammiin yaarrabb jamian yaarrabb na waislam woote kwa ujumla yaarrabb washukrannn Allah atubarik sote mwananguuuu😭😭😭😭😭
@IbraFareed2 ай бұрын
Amen
@abiimmad7402 ай бұрын
@@IbraFareed amin allahumma amin
@KhalfanSaid-v1h3 ай бұрын
ALLAHU Salamu"usimuhukumu mtu kwa matendo yke ..Allah ndoanaejua
@jimjam-xg7rv3 ай бұрын
INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN
@MashaSulesh3 ай бұрын
Mungu ndiye anayejua. Mimi na wewe hatujui tutakufaje. Marehemu asemwi vibaya. Mungu atupe vitabu vyetu kwa mkono wa kulia. Makaburi yetu yawe katika makazi ya peponi. Wabilah Tawfiq.
@MakameMufadhil3 ай бұрын
Na kama zuri huna hutasemewa
@MashaSulesh3 ай бұрын
Ni kweli ila Yale mabaya yako pia watu hawapaswi kuyasema wajikaze tu. Wawe na hofu na wao kwa kuwa hawajui watakufaje.@@MakameMufadhil
@ussihassan69412 ай бұрын
Allahumma ghfir lahaa warhamhaa wajsalahaa mask Annan FIL Janna
@safiaha123 ай бұрын
Tusihukumu jamani Rehma ya Allah nikubwa sana kwa wajawake tumuombey mema Zaidi .
Innalilahi wa inna ilaiy rajiun 🙏🤲 Allah amsamehe dhambi zake
@aishahamis16092 ай бұрын
Allahuaqbar Allah ndiye anae hukumu
@khamisiramadhani16912 ай бұрын
Allah Amsamehe, Khadija Shaibu, Allah Ndio Anajua mwisho, Wake, Lakini hii isifanye Watu Kuona Maisha Aliyoishi yalikuwa Mema Apa Waislamu Dida Hakuwa Mwanamke Mwenye Kufata Maamlisho Ya Allah ,Wala Sio mtu Wa kufanya ibada Kwa Maisha Aliyoishi Sio Alivyotaka Allah, Kwaiyo Tufanyeni ibada Waislamu Tufate Aliyotuamlisha Allah , Ni hivi kaeni mkijuwa Kwamba, Ujenge msikiti, Ulishe mayatima Usomeshe Watu Ufanye Yote Hayo Ayatakusaidia bila ya Kuswali swala 5 kumuabudu Allah ndio Mfuko Wa kuwekea Ammari njema kwahiyo ibada, ibada ya Swalaa ndio kila kitu, Waislamu, Allah Ndio Anajuwa Bibie khadija wakati Anaumwa Alitoa shahada na kutubu, Allah ndio Ajuwa, ila Mfumo wa maisha Yake Kabla Ajaaga dunia yalikuwa Ya kumuasi Allah, tusidanganye ili watu Wafanye Maasia kwa kutegemea Maombi ya Watu Waliohai, Apana Waislamu tuishi km Alivyotuamrisha Allah
@SuleimanAbdulla-b2g2 ай бұрын
Ulosema hakika sheikh wangu Tuache kubembelezan
@rahmahasan323 ай бұрын
Amiin yaarabi thuma Amiin yaarabi Allahu Akbar Masha Allah ❤❤❤❤
@MwinyAli2 ай бұрын
INSHALLAH ☝️ mungu amsamehe dhambi zake 🤲🤲
@mireillebabilone19703 ай бұрын
Tunamuomba Allah amusamee dada yetu makosa yote Alio ifanya apa duniani. Ni mengi tunayafanya kama wanadamu, Tunamuomba Allah atujalie toba mbele ya kufa. Na sisi tulio Baki iwe Funzo kwetu , tusiipende dunia saana mpaka tunasaau kama kunasiku tutaviacha, nakurudi kwenye tumetoka. Tupendane, tusameane, kwa ajili ya Allah, Na Tunamuomba Allah atujalie Mali ya halali, isio kuwa ya haram. Juu Mali nayo njoo inatufanya tupotee. Kifo ni mawaiza kwa kweli , leo tupo kesho atupo. Kila mtu awe anajiuliza leo nikifa kitu gani tapeleka mbele ya Allah?
@MsNajma-j7e2 ай бұрын
Allah atujarie mwisho mwema Ameen
@MahmoudAli-rs5mi2 ай бұрын
Mm sisemi mungu hamsamehe ila nasema didi hakuishi maisha ya uislam nahatusemi alikuwa mwema alikuwa muovu nahakuishi katika mila ya uislam tuwaambie watu ukweli ili wengine wajirekebishe dida hakufaa kuswaliwa kama allah anavyo tufundisha
@TheQaled2 ай бұрын
Tajeni mema ya wafu wenu na Mungu umuongoa amtakae na sie tuliobaki tuombe mwisho mwema
@khamisiramadhani16912 ай бұрын
Watu Wachache Watakuelewa mwalimu Wangu, Kwa Unavyosema mana Watu Wasiofanya ibada Na kufanya Aliiyoamrisha Allah, Lzm watakuona Mtu Wa Ajabu, ila Maneno yako Ayapingiki Dida Aliishi Maisha ya Kijahilia, ila Tumuombe Allah Amsamehe
@AsampiMpili2 ай бұрын
@@khamisiramadhani1691huo ndo ukweli
@Catherine-mh8sw2 ай бұрын
@@khamisiramadhani1691pengine alitubu kabla ya kufa.
@salamaali47262 ай бұрын
Ina lillah waina illah rajquun allah atupe hatma njema kwan hakuna binaadam aliekamilika cha muhim ukumbusho
@ashajoj57863 ай бұрын
Allah ndo mjuz kw watu, tusihukumiane, hakimu n Allah pekee, na ndo mana tunaomba mwisho mwema na Allah atupe pepo yke kw rehma zake na sio kw matendo yetu
Jamani kazi ya kuhukumu tumuachie m/mungu lamsingi tu Tumuombeni mwenzetu aeende safari yake salama m/mungu ampokee ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia
@EvahTendwa2 ай бұрын
Msihukumu msije mkahukumiwa. Ww unaeonaDida hajatubu ulikuwa ae dkk za mwisho. Mwachieni mungu ndie mwamuzi wa kila jambo. Ss wote tutahukumiwa usimnyoshee mwenzako kidole angali maisha yako. Na tena hataukiona umwema usijisifu.
@habibabarker16443 ай бұрын
Allah tunaendelea kukuomba msamehe mwenetu mdogowetu mamayetu msamehe msamehe
@FatmaAlly-p5e2 ай бұрын
Allah mpe amali thabit ameen
@ZainabuMwambashi2 ай бұрын
Allah amjalie kauli sabiti na tusi hukumu Allah ndio mjuzi zaid
@DianaRashidi-h9b2 ай бұрын
Mungu akupunguziye adhabu yakabr
@aishaomar96212 ай бұрын
Allah amuhifadhi janatul firdhaus ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia😢🙏mbele yake nyuma yetu😢
@Mwanajumahassan-tg3zg2 ай бұрын
Ameeen ameen yarab inalillah wainaillah rajiun
@tibabilashirki37123 ай бұрын
Allah anaweza. Kumsemee
@rehemagaga2212 ай бұрын
Innalilah wainnalilah lajiuni
@IddIlisa3 ай бұрын
Mtu yeyote aliehadaika na maisha ya dunia mfano wa dida hatakua na salama
@IbraFareed2 ай бұрын
Ukisoma kitabu cha imam dhahaby رحمه الله kinaitwa كبيرة MADHAMBI MAKUBWA ameeka hadith ya Mtume Muhammad ﷺ amesemea اذْكُرُوا مَحَاسِنَ مَوْتَاكُمْ وَكُفُّوا عَنْ مَسَاوِيهِمْ Hapa ametukataza kuongea maovu alihimiza kuficha matendo maovu ya wafu na kuzungumza juu ya mambo mema dhidi yao, kama inavyoonekana katika Hadith ifuatayo. Alifariki swahaba رضي الله عنه kwenye jihadi mama yake akasema Alhamdulillah Mwanangu amekuja shahidia na anaenda peponi. Mtume Muhammad ﷺ akamwambia ni kweli amekufa shahidi lakini nani kakuambia ataenda peponi. Mwenye kujua hayo yote ni Allah peke yake. WEWE TATITIZO LAKO UNA MUHEMKO AFU HUJASOMA AU HUJUI, KAA CHINI USOME HAYA MAMBO UNAYOANDIKA YAMEKATAZWA NA MTUME ﷺ maana yake unaenda kinyume na mafundisho ya MTUME ﷺ وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. nakukumbusha tu إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. HADII HII COMMENT UTAKUJA KUULIZWA Wabillahi Tawfiq
@Sheba46512 ай бұрын
Ni mtihani mkubwa Wallahi. Itasali, utafunga, utahiji, utatoa zaka na sadaka, utapita huko huko kuamrisha mema, na bado mema hayo yatapimwa kama yalikua kwa ajili yake Allah. Sasa ikiwa dunia imemhadaa mtu, huzuni iliyoje.
@ahz69072 ай бұрын
@@Sheba4651innalillahi
@AsampiMpili2 ай бұрын
Ukweli mchungu lakini huyu dada hakua na maadili Allah amsamehe
@IbraFareed2 ай бұрын
@@AsampiMpili Ukisoma kitabu cha imam dhahaby رحمه الله kinaitwa كبيرة MADHAMBI MAKUBWA ameeka hadith ya Mtume Muhammad ﷺ amesemea اذْكُرُوا مَحَاسِنَ مَوْتَاكُمْ وَكُفُّوا عَنْ مَسَاوِيهِمْ Hapa ametukataza kuongea maovu alihimiza kuficha matendo maovu ya wafu na kuzungumza juu ya mambo mema dhidi yao, kama inavyoonekana katika Hadith ifuatayo. Alifariki swahaba رضي الله عنه kwenye jihadi mama yake akasema Alhamdulillah Mwanangu amekufa shahidi na anaenda peponi. Mtume Muhammad ﷺ akamwambia ni kweli amekufa shahidi lakini nani kakuambia ataenda peponi. Mwenye kujua hayo yote ni Allah peke yake. WEWE TATITIZO LAKO UNA MUHEMKO AFU HUJASOMA AU HUJUI, KAA CHINI USOME HAYA MAMBO UNAYOANDIKA YAMEKATAZWA NA MTUME ﷺ, maana yake unaenda kinyume na mafundisho ya MTUME ﷺ وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. nakukumbusha tu إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. HADII HII COMMENT UTAKUJA KUULIZWA Wabillahi Tawfiq
@abbass_zungu2 ай бұрын
Mtume Muhammad Swalla allahu a'layhi wa sallam, amesema: "Yatajeni mema ya maiti wenu, na muyanyamazie maovu yake" ((Abu Dawwoud)
@majaliwamussa92682 ай бұрын
Allah atupe husnul Khaatima
@shanimbaruku20712 ай бұрын
Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@Catherine-mh8sw2 ай бұрын
Amiin
@HalimaHalimaomary2 ай бұрын
Alaahum Amiiyn thumma Amiiyn 🤲
@YasminYasmin-vj5ih3 ай бұрын
Mtoa hukumu ni Allah hujui ndani yke pengine alikuwa akitoa sadaka pengine alijenga kisima vipo vitu vingi usimuone mtu kwa nje ujui ndani kafanya nn tusihukumiane
@Youknowwhatsup-m8w3 ай бұрын
Mwenyezi mungu amsamehe amuongozee mwanawe every important kuijua dini yako na kuifata
@solomonOsam-d1t2 ай бұрын
Siri ya Moto au Pepo Ni Allahu Alone Isipokuwa Kwa Yule Alomtaka kumpa siri hiyo Miongoni mwa Mitume.
@jamillahmussa37752 ай бұрын
Inna lillahi waina illaihi rajiuun
@TinaAugustino3 ай бұрын
Mbele yako nyuma yetu didaa..😭😭😭😭😭😭😭😭
@roudhamahmoud7633 ай бұрын
Mola amlaze pema peponi marehem amin
@IssaAdamu-jz3ng2 ай бұрын
Uyo kazi ya mungu ww au mm uwezi juwa
@halimayusuf53482 ай бұрын
Amiin yarabi🙏🤲😭
@hasinaaljabri15022 ай бұрын
Amiin yaarab 🤲
@hassanMtengwa3 ай бұрын
Mungu hamsamee sana dada yangu
@Mariam-t7k3 ай бұрын
Innalilah wainna ilah rajuun
@majaliwamussa92682 ай бұрын
Subhanallah
@jamilahali-jg8er2 ай бұрын
Naweza fnya maovu adharni n mema pembni nafsi y mtu pri Allah amtibitishie mema yke n amuondoshe maovu yke kila mmoja n maiti w siku yke
@rahmakigua41462 ай бұрын
Innallillah wainna illaih rajghuni dida
@omaryissa18213 ай бұрын
Viongozi wa ngazi za juu anajumuika katika misiba ya misitu inayo elimisha uchafu zaidi kuliko misiba ya watu wafanyavyo mazuri kuna nn hapo
@IbraFareed2 ай бұрын
Umemaanisha
@saumbliz89832 ай бұрын
Ulitakaje ndugu? Usijitakase ukamchafua mwenzio Allah amrehemu amtakae
@salma-nh4of3 ай бұрын
Sijapenda wee ulio msema vpaba maiti haifai hakuna mkamilifu ila ni Allah
@IddIlisa3 ай бұрын
Hapa tulipo ni pa mnyaazimungu na huko tuendapo ni pamyaazimangu subhana huwa taalla
@AfuaHussein3 ай бұрын
Umekanusha miongoni katika Sifa za Allah... Al ghafoor Ar raheem..... Tafuta maana ya majina haya... Tubu kwa Allah....atakusamehe in sha Allah
@abumuhammadmbwana39643 ай бұрын
Ww ulimsikia akitubu
@leilasaid36232 ай бұрын
Wew huseni kwani kutaja jina la mwenyez mungu ni kukosea au
@SalamaNauthar2 ай бұрын
Dida ' tutakukumbuka daima dada😭😭😭😭
@asiasuleman87503 ай бұрын
Msihukumu mtu hamuwezi juwa aliwekeza nini kwa allah maisha ya mtu ni sili yake na mungu wake😢😢
@mgenisuleiman62873 ай бұрын
Hawajui walitendalo mungu ndio hakim sio binadam Allah amsameh na amtilie Nuru kabri lake hakuna mkamilifu sote ni wakosefu
@ashamwanganzi64002 ай бұрын
Innalillah wainnalillah rajiun😢😢
@jumaalmasjuma17003 ай бұрын
Tumuombe mungu atupe mwisho mwema
@ZulehaAyubu2 ай бұрын
Allah ampumzishe kwamani pia amuepushie moto wajehanam naazabu ya kabur 😢😢😢😢😢
@dahelahmad63313 ай бұрын
AMIN
@saumbliz89832 ай бұрын
Jamani musimseme marehemu vibaya tuombeane mema hamika mwanadamu hajakamilika isipokua Allah pekee
@saumbliz89832 ай бұрын
Innalilahi waina ilayhi rajiuun
@HassanMakutika2 ай бұрын
Allah amsaamehe maovu yake zetu dua nasikuhukumiana kwadhahiri huwenda lipo Jambo kafanya lilompendeza Allah likawa ndio sababu yakumpeleka peponi nenda kasome kitabu durratu nnaswihina utapata visa vingi utawaidhika
@Pili-n3l3 ай бұрын
Kila mja atakufa na amali ambay anaipenda yaraby tupe husnul hatima 😭😭😭
@DohaQatar-w4t2 ай бұрын
Swali jeee kama hukuwa unafanya kheri na kumpenda ALLAH jeee duwa za watu zitakufanya uingie peponi au amali zako
@rashidiNuru-kv7fgАй бұрын
Hapana
@alimbarakmselem84672 ай бұрын
Inna Iillahi wainnna ilayhi rajiun
@SaidMsenda2 ай бұрын
Innalillahi wainnaa ilaih rajiuun.
@rahmaismaily33582 ай бұрын
Kweli shekhe....leo hasemi.....
@NasibuKatundu3 ай бұрын
Allah ndo mwenye kujua
@JeminAbraham-f1o3 ай бұрын
Hukumu za Nini jaman wewe unajuaje mzuri kwa mungu we unaemuona chiz ndo Bora kwa mungu muhimu dua..tu yule anaeyona yy sahihi na sio sahihi
@mariamdjuma-d9y2 ай бұрын
Innalillahi wa inna ilayhi rajiuun
@MOHAMMEDIHASSANISTASA2 ай бұрын
mimi ninachousia tubadilike tuishi kama uislamu unavyo tutaka tuishi ALLAH na mtume wake walisha maliza maneno mwisho mwema utawathibitikia wale wamchao mola wao
@dastaniguni55992 ай бұрын
Tumseme kwa Mazuri na Kujifunza Na km alikua na mabaya basi pia tujifunze na iwe sababu ya kutubia ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE DADA YETU
@aishakamota60122 ай бұрын
Usijipe pepo au ukajiweka wewe ni wa pepo unamhukumu vp mtu unajuwa maisha ya mtu na Mungu wake tuache maneno mabaya kwa marehem wetu kikubwa ni duwa
@ZainabuMussa-h4t2 ай бұрын
Yaani kunawatu wanajiona wapo sahihi kuliko mwenyez mungu
@saidissa82733 ай бұрын
Inna lillah wa inna ilayhy rajiuun
@omanmct1353 ай бұрын
Aaamin yarab
@Hot_rod-lies2 ай бұрын
Jamania mtu kafaa musimtajia kwa vibaya tumikatazwa kwa dinia yetu nahayo tumuachia mungu ndiyo atahukumu penginia alifanya khire kwa sire huwezia juwa
@mozaally76433 ай бұрын
Mbora wenu mbele ya allah nimchamungu
@UwaseNadjmaMukamusonera3 ай бұрын
Musiukumu musije kuukumiwa nani alikuwa anajuwa vile yeye mwenyewe anatubu muacye kutajya bibaya yamwenye kuondoja mutaje mazuli yake yengine yajuwa Allah.sheikh shukran kumafundisho mazuli.innalillah wainalillah rajuin
@KhalidKhamis-f5i3 ай бұрын
Yesu kaingiaje tena
@IbraFareed2 ай бұрын
Kwani yesu waislam hatumuamini au mbona sikuelew
@DianaRashidi-h9b2 ай бұрын
😢😢😢 hii nixafr yaotee
@RashuuMajid2 ай бұрын
Tumuombe. Mungu atuongoze atujaalie. Mwisho mwema. Kilamtu anamaovu yake tusimuhukumu mtu jamani
@husseinc3 ай бұрын
Pumzika amani dida
@bayishimemathieu26933 ай бұрын
Sio jeneza langu sema tu kesho ni jeneza letu maana sote njia moja, Mungu amrehemu dida
@IbraFareed2 ай бұрын
Amesema sheikh walid tulokuepo hapa sisi sote tulokua hapa ni maiti watarajiwa
@YasminYasmin-vj5ih3 ай бұрын
Unakijua kisa cha mlevi ss ajabu mlevi kaingia peponi kwa nn kaingia pepon alikufa watu wa mji wake wakasema mlevi huyu atazikwa na nani chaajab shekhe wa hpo anasema nimelala nimeoteshwa mlevi yuko pEpon anaenda muuliza mkewe huyu alikuwa na amali gn mbona nimeotedhwa yko pepon mkewe anawaambia alikuwa akitoa sn sadaka akisaidia yatima kwa hiyoo tusihukumiane tuombe mwisho mwm
@ERICAIRANEZEZEREJE2 ай бұрын
😂😂😂 Muhammad😂😂 pole sana
@azzafuadabdallah64352 ай бұрын
Biidhininllah
@rashidomar27712 ай бұрын
Ni kweli kila muislam anaamini Allah ndie anaehukumu ,,lakini na sisi waislam wengi tumebaki na uislam wa majina tu,,yaani katika harakati zake mtu huoni utofauti wowote kati yake na wale wasiokua waislam,,hata mavazi yake ni yale yale tu kama wasiokua waislam,,yaani mtu anapokufa ndio kama unashituka alaa kumbe na huyu ni muislam,,jamani waislam wenzangu uislamu huu vipi?