AFICHA DAWA ZA KULEVYA KWENYE MCHELE, POLISI DSM YAMNASA "WAMETUELEZA YANATOKA WAPI"

  Рет қаралды 108,739

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Tunayo stori kutokea Jeshi la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya ambapo linawashikilia watu watatu wakiwemo raia wawili wa Nigeria pamoja na mwingine aliyejitambulisha kama Mchungaji kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Dawa za Kulevya.
Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya Polisi Tanzania, ACP Alhaj Salim Kabaleke amesema Aprili 17, 2019 uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere walimkamata mtuhumiwa Linda Mazule raia wa Lativia akiwa na dawa za kulevya aina ya Heroin.
Amesema kutokana na hatua hiyo, Jeshi la Polisi lilifanya oparesheni jijini Dar es Salaam ambapo Aprili 21, 2019 waliweza kuwakamata watuhumiwa wengine watatu ambao ni Martins Plavin (20) raia wa Lativia, Henry Ugwuanyi (44) Mchungaji na Onyebuchi Ogbu (34).

Пікірлер: 184
POLISI DSM YAWANASA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA DSM
9:55
Millard Ayo
Рет қаралды 129 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Polisi DSM 'ILIVYOWANASA' Watu Watatu Wakisafirisha Madawa!
18:50
Global TV Online
Рет қаралды 18 М.
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН