Hawa siyo wa kuwaacha hivi hivi, wanaenda kujipanga upya..huu ni wakati wa SADC kuwatafuta kokote waliko...haiwezekani uuwe 900 halafu useme tunasitisha mapigano na ukaachwa hivi hivi.. Rwanda kaogopa hasara
@mullestv26805 күн бұрын
Unakaza fuvu una uhakika hao watu wameuliwa na m23 watanzania kwa kujitia wana huruma kwa mambo wasioyajua hao waloua raia 900 unawajua
@hassanrashid-l3u5 күн бұрын
Kwa hiyo we unaamini kuwa m23 ndo wameuwa ,au unajishobokesha kwenye vitu ambavyo havikuhusu
@josephkiwale3745 күн бұрын
Rwandwa apigwe,,nyie pigeni kelele mitandaoni lakini lazima watusi tuwapige💪💪💪💪
M23 kwasasa awa watu wako naiba magari za watu apa Goma na kubomola manyumba ku iba vitu wana peleka Rwanda kisha kiongozi wao ana tuambia ana taka amani uka ona gizi saii watu wana teseka apa Goma 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 duka zote bana iba bitu biko nabiamichia Rwanda kweli watu wanarudia wama sikini ila kwauwezo wa mungu awa watu mwaka ii awata ishi kwaamani mungu kwarusa yako walainiwe maisha yao yote
@mlaky-SKM4 күн бұрын
Poleni sana Mungu awashindie mpate amani 🙏🏽
@sgjjkwbueow4 күн бұрын
Pole I sana ndugu zetu wakongo, huyo kiongozi anajifanya anatetea Mali za wanyonge huku anawaua wanyonge
@ASMAFILMS0014 күн бұрын
WHO
@storytownTv5 күн бұрын
"Waasi wanaungwa mkono na Rwanda" hii sentensi inaonekana vyombo vya abari vyote mmehongwa na maneberu kuitumia ili watu wawachukie mashujaa wanaopambania ardhi na nchi yao kutoka kwenye utumwa..😢
@christinewomanoffaith54795 күн бұрын
Hina akili ww,mbunge wa Belgium nae kahongwa na nani
@HamisSaidi-h3u5 күн бұрын
Kweli Weus ni Weus tu Tuna Uana kwaajili ya Mali wanazo Beba Weupe 🙆🏿
@RhodaPaul-lw5pq5 күн бұрын
Wangekuwa na huo utu wangeweza kuwauwa binadamu wenzao😢😢😢 MUNGU utunusuru tujaalie mwisho mwema
@V.6ixEmmanuel-w2g5 күн бұрын
Mungu atanyooxha mkono wake
@JsJs-e6h4 күн бұрын
MARAIS WA AFRICA SADEC MPO WAPI KAMA HAMUONI KISA WANAFAZILIWA NA WAZUNGU RAIS WA DRC HANA CHA KUPOTEZA FAMILIA YAKE IPO UFARANSA MAKABWELA WENZETU WANAKWISHA AFRICA BARA RAGIZA
@Mumewangu5 күн бұрын
M23 wamepata kipigo kikubwa. Wamenikera sana manake wamewauwa wanajeshi wetu wa Tanzania .
@fadhili_masoi5 күн бұрын
so sad 😞 😔
@dancerboy26865 күн бұрын
Ni huzuni sana
@joshuachimwejo58925 күн бұрын
Kama kweli Rwanda wanahusika, basi hako kataifa kalaaniwe!
@hamisimkulu65715 күн бұрын
Wananchi waondolewe halafu goma iwe uwanja wavita zipigwe mpaka kengele ya mwisho
@CesyBusumabu5 күн бұрын
Unadhani vita ni simba na yanga kumbuka wanaopigana nao wanaroho na wanafamilia pia.@@hamisimkulu6571
@twahahamidu62465 күн бұрын
😢😢😢😢
@stanleyamlima20855 күн бұрын
Hawa wangekutana na benja netanyau tuuu.. ndio wangeelewaa
@philemornmutta15974 күн бұрын
Wamuue mkuu wao kwanza ndo nitawaelewa hawawez kuua wanajeshi wetu alafu wasitishe vita hakuna
@mathiaszakaria70525 күн бұрын
Wamezidiwa vita hao hiyo kusitisha mapigano ni mbinu yao
@amostv18645 күн бұрын
Hivi wanaposema wamesitisha mapigano maana yake ni kwamba wataondoka na goma au bado wapo
@faustinesimon12405 күн бұрын
Why are they fighting
@anosiata82425 күн бұрын
M23 ni waongo wamezidiwa nguvu Nadhani wameenda kujipanga upya . Wameua wakongo 900 Leo wanaiambia dunia eti wamesitisha mapingano kwasababu ya utu. Ni waongo jeshi la kongo wasikubali wapinge hadi wawafikishe kwa kagame kigari. Wakongo msirudi nyuma . Hawa watu wanawazunga tu watarudi tena. Kuwavurunga
@hassanrashid-l3u5 күн бұрын
Kumbe unazani tatizo watanzania mnaongeaga mambo ambyo hamyajui
@anosiata82425 күн бұрын
@ tuambiye wewe unachokijua
@twahahamidu62465 күн бұрын
Rwanda itengwe
@margarethpolepole74385 күн бұрын
Mungu wangu watu wabauwawa kiasi hiki kisa madini tu Goma Congo kwanini wasimuue huyo Kagame
@christinewomanoffaith54795 күн бұрын
Watu Wana roho mbaya sn
@samsmokertz97075 күн бұрын
wanaotambua hakiza binadamu hao sia waasi ni watetezi .....
@Lastbornecadet5 күн бұрын
Watetezi baada yakuuwa watu 900 nyie ni ma k kweli
@samsmokertz97075 күн бұрын
@@Lastbornecadet watu 900 wamekufa ndio kama ilivyo ripotiwa lakini haimaanishi hao watu ni m23 wamewauwa wenyewe hata serikali ya kongo inahusika na hilo swala nyie tu ndo hamfatilii vizuri
@samsmokertz97075 күн бұрын
waasi walisema wamerudi vitani kwa sababu ya mauaji yanayoendelezwa na serikali ya congo napia juzi apa kulikua na jaribio mapinduzi ya kijeshi lakin walikamatwa napia kulikua na kuluna kilicho wakuta kila mtu anajua...
@samsmokertz97075 күн бұрын
hata ibrahim traore nae ni muasi usisahau hilo lakini anayofanya kila mtu ni shahidi ivi unazani LUMUMBA aliuliwa na waasi au serekali yake ...
@emmanuelsunday83255 күн бұрын
Hawa inatakiwa wafuatiliwe mipaka waangamizwe kabisa
@planethakunamatata52545 күн бұрын
Tunaambiwa M23 ni jeshi lililoanzishwa kulinda kabila la watutsi, na pia eti wengi wao ni watutsi. Cha kushangaza kila nikiangalia picha zao naona watu wafupi weusi kama mimi na sura pana. Sijui ni watutsi wa wapi hawa🤔...au tuseme pande zote zinazopigana zimejaa mamluki
@thirdsigntzofficial5 күн бұрын
Washachukua madini then they order watu wao kusitisha vita and then soon or later vita tena vinarudi. Swali ni je hadi lini taifa la Congo litaondokana na hii hali ili walijenge taifa lao?!
@VibeScott5 күн бұрын
Sasa apo ndipo pa kuwa pelekea moto uko uko mbaka wafike 100000 watoke kabisa kwanini wasitishe vita mbona wanapo vamia awa toi talifa peleka jeshi mbele wana enda kujipanga ao mbwa
@MathewKasubi5 күн бұрын
Sisi huku tanzania ukubbwa wa nchi ya rwanda ni sawa na ukubwa wa mkoa mmoja, sasa hako ka rwanda kange pigwa kote alafu kakasambaratishwa na ramani ikachorwa upya, kanakua ka seem kamoja kenye mikoa miwili kakiunganisha DRC . NA MOJA YA HIYO MIKOA HIYO NIPEWE MIMI NIWE MKUU WA MKOA MMOJA KATI YAZO
@masagaemmanuel16294 күн бұрын
DRC ni mara mbili ya Tanzania kwa ukubwa
@MirriamDevis5 күн бұрын
Kwani who is kagame mimi ningepiga mji wake kama iloshima
@sportsbezi66905 күн бұрын
Mtutu wa bunduki hauja wahi kumaliza vita hata siku moja. Huwezi maloza vita kwa bunduki
@MirriamDevis5 күн бұрын
@sportsbezi6690 namaliza vita nampinga aliyeanianza
@MirriamDevis5 күн бұрын
@sportsbezi6690 nikipiga iroshima unadhani watakuwepo hapo Rwanda
@MirriamDevis5 күн бұрын
@sportsbezi6690 bila maamuzi magumu hatutatoboa huyo tunamlea anajiona yy anajua kila kitu
@nicodemashaggite84294 күн бұрын
Matangazaji uko makini na unayosema!!!! WHO wamesema "angalau" watu 900 wamauawa!!!😢😢 Means wao walitamani vifo au!!! Ila haya mashirika yanayojiita ya kiutu😮 but tuko hapa Kwa sababu ya wasomi p😊bubu wa Afrika wasiofiki juu nchi zao