Ukitoa ushabiki wa Timu ,binafsi huwa napenda sana kusikiliza interview za Ally.Huwa zinanoga sana kwasababu anajua sana kuongea.cheers kwako Sheikh
@stellashao78858 ай бұрын
Daa mm kila nkiingia KZbin 🙌
@SaedyNganur-he8bc8 ай бұрын
Mi pia bro Yan me Simba lakin namkubal San interview Yako Inakuw hot sana ni mchangamfu kweli
@ChingaMediaa7 ай бұрын
Mi simba lkn all kamwe napenda story zake
@getrudamunna8 ай бұрын
Anavutia katika usemaji wake hadi Ayo kawa mpole kumsikiliza zaidi kuliko kusema. Mungu akujalie makubwa zaidi Ally Kamwe
@FirdausyAbubakary-bl2wo8 ай бұрын
Ally kamwe hata aongee masaa sabiin akfu ntamskiza tuu i like him😊😊😊😊
@kingkendrickk7 ай бұрын
Kabisa
@ZawadiNyambulapi-lk1np8 ай бұрын
Aly MUNGU akubariki sana
@justinejackson17318 ай бұрын
Ally Kamwe👊👊 Mtu wa maana kabisa🙏
@hk_ballers8 ай бұрын
Respect bro Kamwe. Hustler kwelikweli 🙌🏽
@NaseebMshuza8 ай бұрын
Ali kamwe ktk cku ambazo umeongea point ni leo aisee big up sn na nimekuelewa sn kak mungu qku
@ChenchiKing8 ай бұрын
Namkubali Xana Kamwe Anajuwa Kuchambuwa Soccer Congrats Kwake💚❤️💚❤️💙
@yasirsaid84646 ай бұрын
MAA SHAA ALAH ALLAH Ambariki Ali kamwe he's bright man
@benjaminmpangala26117 ай бұрын
"Kipaji Mungu anakupa ila kukikuza NI kazi ya Mwanadamu" nimekuelewa Sana Alliiiiiii
@Samsonmajula5 ай бұрын
Bro unajua adi Ayo anataka uongee tu, he is speechless
@SarhaSaid8 ай бұрын
Namkubali sana Ali kamwe 💚💛💛💚
@Saidi-ic7um7 ай бұрын
Ndugu yangu ally kamwe nakuelewa mnoo na story ya maisha Yako ,,,,ni kama yangu tuuu ila mi bado sijatoboa
@paulnyingo73168 ай бұрын
Duuuu nimecheka sana Ally kichwa sana keep it up ma young bro
@gudimbwana80888 ай бұрын
KIJANA amehaso sana acha awe mwerevu wa mjini MWENYE maarifa mengi
@khalidhamka95678 ай бұрын
Sema ally kamwe anajua kuongea sana
@machakuroger70688 ай бұрын
Watoto wa Mbagala hao
@stn48738 ай бұрын
Huyu jamaa BIG BRAIN.....ila akiingia kwenye mambo ya Yanga tu shughul imeisha, leo namuelewa Manara sasa ile kauli yake.
@joycekija62458 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂😂
@emmanuelmhagama23847 ай бұрын
😂😂😂😂
@RamseykingGenius8 ай бұрын
Tunaotafuta movie ya Aisha tupo ✌️✌️😂😂😋😛👇☝️
@rajabually53728 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@RamseykingGenius8 ай бұрын
@@rajabually5372 🤣🤣🤣🥷🥷☝️🔝✅
@emmanuellupiga8 ай бұрын
👆
@nuruelmada28778 ай бұрын
Ngoja nikupende, Msemaji wetu💚💛
@anithqpaul39238 ай бұрын
Yahani Ally❤❤❤❤❤
@theheroesmusic43988 ай бұрын
Jama kumbe yuko vzuri hivyo 🙌. From PA USA 🇺🇸
@Bashirubakarisalala8 ай бұрын
Mwanafunzi wa Ahmed ally
@Cherehani_Tanzania5 ай бұрын
Yaani namna unavochambua stori yako tu inatosha kukuamini🎉
@francepaul77118 ай бұрын
R.I.P. THE GREAT KANUMBAAA🙌🙌🙌🙌🙌
@bigjizee41308 ай бұрын
Hiyo count down kabla ya interview inamaliza bando tuu
@mswaki_newstz7 ай бұрын
Congratulation brother 🎉
@faridhamad36787 ай бұрын
Maa shaa Allah kijana anajua kujielezea vzuri
@mussansoleziplutnumz20978 ай бұрын
Nimependa sana stor yako unaweza tengeneza movie semaji
@husseinkadawa28467 ай бұрын
Ally Mungu mungu akubariki sana.
@hamisikambona87638 ай бұрын
Ally kamwe anajua sana
@judithtitomalyeta40008 ай бұрын
Ally hachoshi story zake
@HassanRamadhan-cv8de8 ай бұрын
Dah nimeipenda hii😂❤
@OdriaKabati8 ай бұрын
Kaka Ali mm nakukubari sana
@binwasiumbanga92568 ай бұрын
Yani hadi milady anasikiliza tu,Unajua kuongea Ali kamwe
@titorichard51405 ай бұрын
Ally anaupeo mkubwa sana
@AminaLucas7 ай бұрын
So fun na raha
@idrismghamba64398 ай бұрын
Akili kubwa Sana hii 💚💛✊💪
@machakuroger70688 ай бұрын
Mbagala moja hiyo
@yohanadwac74978 ай бұрын
Mwenyekiti la Wasemaji🟢🙌
@franciskavyega2807 ай бұрын
Natafuta movie ya AISHA😅😅😅
@HesbonEnock8 ай бұрын
Ndo maana movies zetu hazitoboi
@paulPius-uk9rq8 ай бұрын
Huyu jamaa nafurahi sana kumsikiliza
@valleluoga62587 ай бұрын
Ally Huchoshi kukuskiza, na unatoa vitu vyenye elimu kubwa ndani yake
@abdylugete20567 ай бұрын
Sema unatupanga kka
@judithtitomalyeta40008 ай бұрын
Kichwa Cha ally safi sana
@wazarendotv79668 ай бұрын
😂😂😂😂😂Muongo huyu viapo vingiiiii kama anakana kosa
@nyandutozy_18 ай бұрын
hii kichwa hii
@piusnkwale8 ай бұрын
Ali kamwe anaongea sana😊😊😊😊
@TatuHusseni-hs7mu8 ай бұрын
Ally huwa nampenda bule
@antyigasper28507 ай бұрын
Ila Ally😂😂 nakupend bure mm
@IsharaMedia5452 ай бұрын
Millard Ayo
@suleimanbalemba33488 ай бұрын
Shija umtoe wapi yupo zake Canada mwambie akutumie dollar atakuwa kaishajipata
@ngoyaboy15908 ай бұрын
Kwahyo alikamwe amemalza form 2009 Alf badoo anaonekana Mtoto
@abdullyjadu77238 ай бұрын
Xx mwaka 2009 ukitaka azeeke maana ata miaka 40 hajafika waliomaliza form 4 wamemaliza kuanzia miaka 198_1992 Kwa iyo hyo bado chalii kabx
@BENARDIKIMWARATz7 ай бұрын
Amin me mwenyewe namwona mdog
@plustzafromusic49087 ай бұрын
Natamani siku moja vido amuoji Millard kuhusu Maisha yake mwanzo wake mpaka hapo alipo fikia, na Millard aongee ukweli kabisa hii interview itakuwa kubwa Sana na itatubaliki wote
@meshackdauda43157 ай бұрын
Mbona ilishafanyika SAANA HIYO
@departmentofpolicyplanning81847 ай бұрын
Namkubali sana
@HappyJohn-jo8im8 ай бұрын
Ally yuko smat san mahojiano yake yanafundisha kitu
@MtessaAlly-rd4hf8 ай бұрын
Kamwe kama kamwe... Semaji lao
@ifraimifraimuhusen2827 ай бұрын
Frida naona kadata & ALLY
@QueenMushi8 ай бұрын
Duh! Kweli millage ni baba lao
@AlexMosha-ci5uq7 ай бұрын
😃😄😁🧠🤔🎤📺🔥KAMWE IS VERY FUNNY GUY
@allyngimba4307 ай бұрын
my rolmodel
@happymboma35678 ай бұрын
Ally utafika mbali
@sangotelleming74448 ай бұрын
Ayo namkubali sana uyu mdada frida
@linnerphilip42608 ай бұрын
Kila kitu wallahii 😂😂 ucjal tunakuamn bhn
@charlestobby60318 ай бұрын
Kazoea kuapia shida iko wapi apo ndug😅
@LatifaOmary-zo1un7 ай бұрын
Ila ally😂😂😂😂
@ReginaManyangu7 ай бұрын
Wapi chuo champira???
@djumakonki19648 ай бұрын
Tuliambiwa kwamba Haji manara ndiye alikupeleka azam ! je ? nikweli .
@GodfreyLuziga7 ай бұрын
Manara alikusaidia wap kwenye ajira azam
@JoesB-i5i7 ай бұрын
Ally
@alitante42794 ай бұрын
Ali kamwe anandoto za ajb km za daimond 😂😂
@wonderkid14.7 ай бұрын
Huyu jamaa asee anajua kuongea interview imepoa, fact nyingi asee jamaa kichwa sana
@hamisaepee69388 ай бұрын
Muongo huyuu Viapo teleee 😂
@FredMaulid7 ай бұрын
😅😅😅
@attanasleones-wn5qs7 ай бұрын
Sasa mkome kumfananisha na yule mchekeshaji wa simba
@farlykunga85998 ай бұрын
Mtu wa History san..😂..kichwa
@meshackdauda43157 ай бұрын
Mshenz uyu eti simba sc akaisifia ,ni kwamba simba ni dudee kubwaaaa bila kulitaja uwez toboa
@kidawajuma95978 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Nyamko-christmas8 ай бұрын
Watu wanatoka mbali
@mathiasmhangilwa1958 ай бұрын
Dogo iq yako iko juu sana utafika mbali
@daudisemfuko8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Aisha
@khamoshmikidadi6188 ай бұрын
Dah nampend uyu kaka atar
@FredMaulid7 ай бұрын
Yah yupo vzr kichwani na maisha ni fumbo Leo ni msemaji wa kilabu kubwa bongo.