DAKIKA 25 ZA ZITTO KABWE MKUTANONI KIGOMA ''MIKOA SABA NI MASKINI, TUTAIZUNGUKIA''

  Рет қаралды 11,580

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@AgnesMmila
@AgnesMmila 2 ай бұрын
Kazi iendelee CCM oyee
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 ай бұрын
Ukiangalia comments WaTanzania Elimu ndogo sana unasema Zitto hajaifanyia kitu Kigoma wakati kila siku walikua wanaibua Madudu Bungeni kingine Serikali kama hawaja toa pesa kwa ajili ya Kigoma Je zitto akaibe alete tatizo liko kwa watawala
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 күн бұрын
Kweli jitahidini muwekeni Mungu mbele tuombe Mungu atuokoe na hii serikali
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 күн бұрын
Mheshimiwa zito umeongeza pointi kubwa sana kweli Mungu atusaidie chama cheti Cha act wazalendo kishike Dola
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 2 ай бұрын
Yan CCM ni Adui mkubwa tena tuichukie kabisa haifa, mitozo kila siku, umeme tozo juu, sim tozo, miamala ya sim tozo, bank tozo, mafuta juu, Tanzania hii imejaa Madini Gas Mafuta Bandar Bahari Maziwa Milima Mbuga za wanyama Mikopo kila siku Lakin yote hayo yanaliwa na wachache
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Fanya kazi Acha uvivu,usitegemee hotuba za wanasiasa kuilalamikia ccm.
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 2 ай бұрын
Act wamelala sana tena sana waachie chadema
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 ай бұрын
Tunakiachiaje chama cha mtu mmoja.Watu makini na wasomi wote wamekikimbia Chadema akiwemo Profesa Baregu,Profesa Kitila,Dr Zito kabwe,Mchungaji Msigwa.Hawa watu ndio watu makini zaidi na wasomi zaidi kuliko wote waliopo pale Chadema.Sababu iliyowafanya waondoke ni moja tu MBOWE MBINAFI anakifanya chama chake mali yake chadema si taasisi ni mali ya mtu mmoja.Tunakichaguwaje chama hicho?Baki na ujinga wako.
@evodirudo4813
@evodirudo4813 2 ай бұрын
Upo sawa mwami
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 ай бұрын
Anajua kuongea san uyu, ila wanakupenda kigoma lkn ndo hivo tena ccm wameshachukua nafasi
@Awadhi-t2z
@Awadhi-t2z Ай бұрын
Bora ACT chadema kazi vurugu tu hatupewi sera
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 2 ай бұрын
Chama kinakubalika sana kuliko chadema saiv
@SHABANI-t4j
@SHABANI-t4j 11 күн бұрын
Vizur xana
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 2 ай бұрын
Yaani inafikirisha sanaaaa
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 күн бұрын
C c m wamejisahau sana embu wakae pembeni kwanza miaka 25 waone uchungu
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 2 ай бұрын
Mwami unayo kura yangu Kigoma Mjini
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Nilidhani unazungumzia mbegu ya mapapai kumbe unazungumzia mbegu ya mapambano😅
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Toa mifano ya hapa Africa, mnaona wazi kabisa kwani ukilinganisha na nchi za kiafrika sisi tuko vizuri sana. Future ya Tanzania ni nzuri sana, hiyo Iko wazi kwa mtu anayefahamu uchumi. Hiyo mikoa imeshafunguliwa na mabadiliko yanakuja kwa haraka.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
True100%
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 күн бұрын
Kwa miaka hii hauwezi kupata hata shamba la kulima utaambiwa maliasili
@SethMwakangata
@SethMwakangata 2 ай бұрын
SIASA NI TAABU TUPU TU,WOTE NI KULA TU ACHENI WANANCHI WAFANYE KAZI JAMANI
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Sawa kabisa,wanasiasa wanawatia watu uvivu kwa kuwapotezea muda majukwaani wakilalamika na kuwahadaa watu kuwa wakiwachagua maisha yatakuwa bora. Siwaamini hawa bali ninachoamini ni kupambana kivyangu
@jaropthebilldone1652
@jaropthebilldone1652 2 ай бұрын
ACT juuu ccm hapishe hatuoni mabadiliko wizi tu
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Siasa imeiharibu Kigoma,kila mtu ni mwanasiasa Wanasiasa mnawafanya watu wawe wavivu kwa kuwaaminisha kuwa umasikini wao unatokana na CCM badala ya kuwahimiza wafanye kazi.Mnatumia muda mwingi majukwaani kuwalalamikia ccm badala ya kuwapa elimu ya namna ya kujikwamua kimaisha.I hate ccm,I hate all politicians.
@laurentdyanko5497
@laurentdyanko5497 2 ай бұрын
Miaka 10 kigoma kaskazini ulifanya nini.
@MwitaTv
@MwitaTv 2 ай бұрын
Wewe Mdhaifu sana Zitto
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 ай бұрын
ZITO ni mdhaifu sana kuliko MBOWE?Duu inaonekana wewe umekufa.Watu makini wote wamekikimbia Chadema kwa. sababu ya udhaifu na ubinafsi wa Mbowe wasomi makini wamemuachia mbowe aendelee kungsngania uenyekiti na kukifanya chama ni NGO yake binafsi ya kupigia hela.Umeona wapi wewe mchaga kuwa mwanasiasa?Wasomi wamemuachia chama chake kama Profesa Baregu,Profesa Safari,Profesa kitila,Dr Zito kabwe,Mchungaji Msigwa na Peniza na wengi wengineo.Ondoka hapo sipo usijizime data.
@nyerere1259
@nyerere1259 2 ай бұрын
Kwani Vietnam kuna Singeli
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 2 ай бұрын
Reporter Punguza Maneno Lete habari Milad Ayo Tv hainaga Rongo rongo
@Richiewakitaa
@Richiewakitaa Ай бұрын
Gombea urais mzee
@xaveryngonyani-nb1nx
@xaveryngonyani-nb1nx 2 ай бұрын
SEMA zitoo nakukubali sana
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 2 ай бұрын
Et wanaita wanaitwa ccm b ivi ni kweli?
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 ай бұрын
CCM B
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 2 ай бұрын
Anachukiwa ubungee
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Hilo Jimbo la kwanza limekwenda upinzani utake usitake
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Zito ni kiongozi mzuri sana,isipokuwa...........
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 ай бұрын
Mbinafsi sana
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 2 ай бұрын
Chadema haita chukuwa inchi kw sera gani ruzuku wamepata mpaka leo hawana hata jengo wwbunge wa chadema walikuwa wanachangia kwa ajili ya maendeleo lakini hakuna maendeleo chademaa je wakipewa nchi si tutakuwa maskini mara,4 ya ccm bora act inajitahidi kimeendeleo
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 ай бұрын
Wewe utakuwa na govi siyo bure maana siyo kwa utahira huo
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 ай бұрын
Uko sahihi kaka
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 ай бұрын
WEWE UNAMWA NA UDINI, POLE SANA!!! USISAHAU KUWA UDINI NI DHAMBI MBAYA.
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 2 ай бұрын
@@erickmsigala138 acha matus eleza au towa hoja za msingi kwa matusi ya wanachedema ndo hamtachukuwa nchi mtasema mpaka mbadilike na mjazba nani atawapa kura bura tuwape udp
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Ай бұрын
@@erickmsigala138 hata ww ulikuwa nalo ndo ukakatwa mawazo Yako na ufaham wako haulingani watu wengi hushabikia tu bilabkufatilia kwa mfano upinzani unasema tunataka katiba mpya hii tuliyo nayo tuiache halafu tutunge nyingine ni maneno mengine? Au tuboreshe katiba hapa usahihi ni upi ww unayependa bila kufutiye unafaata bendera na ndo wengi tokohivyo tujifunze kufatilia chama hikina jengo na ruzuku kinapata kinapeleke wapi?
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Hakuna mwanasiasa kama tundu lissu kwa kuteka hisia za watazamaji na wasikilizajis Pia zitto yupo vzr
@omariKalyango
@omariKalyango 2 ай бұрын
Sikweli labda matusi hayo anajua
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 ай бұрын
​@@omariKalyango na ushoga!
@landomalekano6570
@landomalekano6570 2 ай бұрын
Kabwe
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Napenda vyama vyote vya upinzan
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 ай бұрын
Uko vizuri lakini sasa mkombozi aliyejipambambanua no CHADEMA PEKEE!!!
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 2 ай бұрын
Nikwel upo sahihi san
@IsmailiIsmaili-ec7pt
@IsmailiIsmaili-ec7pt 2 ай бұрын
Ongea zitto tunakupenda
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 2 ай бұрын
Nikwel upo sahihi san
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 115 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56