Sipendi kusikiliza viongozi lakin kwa makonda ananifanya niunge bando Kila siku 👏👏👏👏👏👏👏
@khadjamhozya8 ай бұрын
Kwasiku unatumia bando rashingapi jiri ya makonda
@Hmsungu-xn1xf8 ай бұрын
Unajua sana makonda Yuko vizur kwenye uwongozi wake
@volcaremigius68818 ай бұрын
🎉Kumbe tupo wengi jamaa katushika
@riazshaikh85778 ай бұрын
Sana wangu, kwa kweli tunawahitaji viongozi kama huyu, si kijana bado, anatembea kukagua hata kwenye matope, wazee wakichaguliwa mapresha na sukari, nahamia Arusha nione mtu anidai rushwa 😂😂
@estherkibajiro34807 ай бұрын
Kabisa😂
@NelengwaKalimani6 ай бұрын
Mh. Makonda hakika ni kiongoz bora sana, Mungu azidi kukupgania sana Baba
@PiusNjelekela8 ай бұрын
wanaarusha mwombeeni sana makonda haki huwa unapigwa vita mno makonda wanamtafuta wengi ila Mungu atamlinda Piga kazi taifa litainika nakuhakikishia mama samia arusha itang'ara hutaamini umefanya vema mno kumpa kazi makonda asante sana mama
@angelmashauri69618 ай бұрын
Hongera mh. Makonda kwa kazi nzuri…Mwenyez Mungu akulinde daima…🙏🏻
@ladislausmoris96388 ай бұрын
Kwakweli mh makonda mungu arujalie tusije kupoteza kama mzee magufuli nitakupenda hadi nakufa , love u much
@RamadanPaul8 ай бұрын
❤❤❤❤ sana tu
@David-if6nk8 ай бұрын
😢
@hamidamussa-sy4fm8 ай бұрын
Atauliwa naye
@IgurusiAmcos7 ай бұрын
Meana sports
@MollelAman7 ай бұрын
Mzee uko vzur sana unanikosha san mungu akulinde mungu akusaidie uje uwe rais
@RaphaelMmbaga8 ай бұрын
Hongera sana mh Makonda kwa kazi unayoifanya yan unafanya kaz kama mwamba. Magufuli
@HaulSidney8 ай бұрын
Makonda mungu akulinde,,ur strong leader,be blessed 🙏🙏
@Zaburi-8 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@AsteriaMwati6 ай бұрын
poor grammar
@BonifaceAloyce5 ай бұрын
Tunatamani kuwa na wakuu wa mikoa kama makonda, ya wezekana wengine hawajui majukumu yao, mungu akulinde makonda
@godwinmasoud71808 ай бұрын
Makonda tunakuombea sana unafanya kazi kubwa sana kwenye hili taifa. Unafaa kuwa Waziri Mkuu ajae
@costanciamkinga50408 ай бұрын
Tatizo hili lipo ktk Halmashauri karibu zote Tz Wakuu wa mikoa wengine fanyeni angalau muige mfano huu . Big up Mwanawane👏👏
@EmilianoKechegwa27 күн бұрын
Makonda ni jembbe❤
@MonicaSamwel-dy2pv4 ай бұрын
Hongera Mh. Makonda. Mzalendo kweli.! Tanzania huru,ila haki inaminywa mno tunaumia mpaka tunastaafu kazi!Mungu AKULINDE,uwasaidie japo watakaokuwa chini ya uongozi wako!Fanya kwa bidii zaidi!
@MoteswaLekwasa8 ай бұрын
Makonda nimesimama kawaida ila moyoni mwangu mikono juu kwa utendaji wako. Wewe nijembe . Viongoziwengine igeni mfano na si kumuonea kijicho huyu mkuu ktk utendaji wake. Shukrani kwa Mama Samia kwa kumleta MAKONDA ARUSHA
@SiriNkya-z9m8 ай бұрын
Wakuu wa mikoa wengine nchini wako wapiiiii waone kazikazi wananchi wanaonewa sana Rais Samia toa neno mama waliolala maofisini waamke
@johnbernad39908 ай бұрын
Mh. Makonda Mungu akulinde sana tunakuombea sana uje kuwa kiongozi wa Taifa letu.
@dismassmaranga89035 ай бұрын
Absolutely sober questions take care of your people Mr Makonda watching from 🇰🇪🙋😭
@AlHamra-k4u8 ай бұрын
Mh Makonda jeshi la mtu mmoja nguvu kazi piga spana 🔧🔧
@estellemwai54028 ай бұрын
💯✔️
@jokhamohammed9768 ай бұрын
Dah mungu akuepushie na Kila baraha Nakupenda sana Baba mungu akupe maisha marefu yenye baraka tere Afya njema na Amani 🎁🌹🎁🌹 pokea zawadi yako na maua yako
@RahabuSimba8 ай бұрын
Mungu atuhurumie Baba piga kazi
@lukomanomaliki54428 ай бұрын
Mama Samia, watumishi wako wanakula sana hela.Naomba utoe mwongozo wabadhirifu washughulikie.
@edrisalusonge41418 ай бұрын
Kwani Hawa wakuu wa mikoa wengine ni watu wa nchi gani mbona wamekuwa hivyo kiasi hiki Yani makonda ndio anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa Kila sehemu kwa nyakati tofauti tofauti Hawa viongozi wengine wa mikoa ni bovyo
@obedpeter68748 ай бұрын
Afande anajua kuhoji ila kuhojiwa na makonda kabaki aaa mh aaa afande OCD kawa mdogo kama pirton,usiombe kukutana na maswali ya ana kwa ana na mh makonda utaimba haleluya
@MussaAbdala-v1j10 күн бұрын
Mungu akulinde naakupe afya njema Fanya kazi Yako unavyoweza wakuu wengine waige hilo
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo8 ай бұрын
Makonda mungu akulinde utarudisha faraja ya Tanzania
@ThomasErro8 ай бұрын
mimi napenda kumpa makonda zawadi yake kwa kazi nzuri anaofanya je nitampaje
@taurehassan73998 ай бұрын
Nipe Mimi km ni pesa ntamfikishia ni rafiki yangu wa karibu Sana zitafika😂😂😂
@racheljephter54868 ай бұрын
😂😂😂
@hairuismail64568 ай бұрын
Hahaha 😅😅@@taurehassan7399
@KhadijaAbdala-jt9xm7 ай бұрын
Ahahahaha@@taurehassan7399
@Jeneffershishi-ik4jo8 ай бұрын
Congratulation muheshimiwa
@monicamhina46086 ай бұрын
Safi sana mheshimiwa Mungu atakulipa kwa kuwatetea wanyonge
@JohnsonCharo-z3q8 ай бұрын
Ndugu Paul Makonda una kazi kubwa ya kufanya wanyoroshe wote waliolala. Natazama na kusikiliza nikwa Saudi Arabia RIYADH CITY ila natoka Kenya. Nataka Africa Mashariki iwe na viongozi wakuona na kutetea wananchi kama Muheshimiwa Paul Makonda Mkuu wa Mkoa Wa Arusha. Hachezi na kazi yake kabisa. Wewe ni Raisi wa miaka michache ijayo.nTanzania Juu. Nakuombea MUNGU akupe maisha marefu. Maana watumishi wengi na wataalamu hatakupenda kwa kazi unayoifanya na wakurugenzi na watemdaji bali endelea kuifanya kazi ya wananchi. MUNGU Akubariki sana. Mama Dr. Samia Suluhu Hassan. Hapo uko na Jembe la ajabu sio mchezo. Paul Makonda juu zaidi. Muache qinyoroshe Arusha kisha umpelekee kwengine nako akawayie adabu wataalamu wengine.
@democritenzoisaba91178 ай бұрын
God bless Mr Makonda ,good job
@kanankirannko61748 ай бұрын
Huyu Dada ni mdogo sana mpeni kazi nyingine ataonewa tu hapo masikini Huu mkoa unatakiwa watu maalum Wa kufanya kazi hapa undugu mwingii ukabila mwingii
@FarajiMvulah8 ай бұрын
Hamna ataharibu kwingine
@kwisa48998 ай бұрын
we bwana tuaangalia uwezo sio umri
@kakaaignas36758 ай бұрын
Kabisa
@kwzjkwz35328 ай бұрын
Mkoa unahitaji watu wa system
@kanankirannko61748 ай бұрын
@@kwzjkwz3532 Yes clearly under standing big up Sana
@joycmsokile92208 ай бұрын
Nchi hii tunahitaji viongozi like you Rc Makonda ,
@bakarininga41008 ай бұрын
Arusha DC sio pouwa wanapiga hela sio kawaida
@SuleimanKhamisi-j6i8 ай бұрын
Muheshiwa Makonda mungu akubarik sana unaongea ukweri
@mpambanajitz70268 ай бұрын
Tunataka kiongozi wa aina Gani? Tunataka Nini watanzania,, Hongera SANA MWAMBA makonda unajua kaka. Na kuna siku watajua unajua
@Gwanchele8 ай бұрын
Asante Mungu
@AbdallahSuede7 ай бұрын
Kanda ya ziwa ajawai toka fala makonda urais unakuhusu mungu akutangulie
@ommyntigiry93328 ай бұрын
🎉hii nchi si mumpe jmn uyu au Kasim majaliwa mmoja Kati yao apewe nchi
@khadjamhozya8 ай бұрын
Wakinani wamupe nchi
@Dipeson7006 ай бұрын
Raisi@@khadjamhozya
@KalenjeMasoud-vg3om2 ай бұрын
Anawafanya wakuu wa mikoa mingine waonekane hawafanyi kazi
@abiudmichael8 ай бұрын
Makonda ni kiongozi thabiti sana. Nakukubali sana mkuu natamani nifanye kazi karibu na wewe🎉🎉🎉🎉
@mariababu6520Ай бұрын
Mungu amupe Manisha marefu kwa kwel ananifurahi Sana makonda
@Chamalaodancers6 ай бұрын
Makonda mungu akuweke unatufaa kuwa raisi wetu🙏🙏
@kalindimazjkkabuje25628 ай бұрын
Mungu akusaidie makonda nataman upite mikoa yotee
@abdulibrahim84777 ай бұрын
muheshimiwa makonda siku akigombea urais kama Mwenyezi Mungu atatuweka kura yangu ni yake
@iddirashidi47538 ай бұрын
Mungu akulinde Mh Makonda
@GracePhilimon8 ай бұрын
Mungu azidi kukupa ufunuo wa kusaidia watu na nchi yako
@mussakimaro55888 ай бұрын
Hlf wanasema makonda mtu mbaya kama alikua na mapungufu zamani now yuko sawa anakimbiza tena anamsaidia mama na waziri wa ardhi doctor silaaa hivi ni vichwa hakuna kuogopa mtu wanafanya watu wanakua na maisha magumu sana ilihali kiongozi inatakiwa asimamie haki za wananchi
@PeterJohn-sg4oe8 ай бұрын
Hatua zilishachuliwa na Polisi kuna haja gani ya kupiga kelele hapo kwa wananchi, hizo ni siasa tu
@Abillsn8 ай бұрын
@@PeterJohn-sg4oevichwa maji kama ninyi ndio sababu ya wajinga na wezi kuendelea kuwepo
@martinabayyo99828 ай бұрын
@@PeterJohn-sg4oezero brain, unasuport ujinga au nawe ni mhusika?
@emmanuelthomas10788 ай бұрын
@@PeterJohn-sg4oeWee itakuwa ndo familia ya alietoroka na hayo ma million🤔🤔
@MariamMlowe7 ай бұрын
Mungu baba akupe maisha marefu makonda ili uendelee kusaidia wanyonge
@abdilillahramadhan96378 ай бұрын
Mh uko vizuri tunaimani nawewe mama chagua wakuu wamikoa kama mh makonda kazi yuko vizuri kiburi kwenye office zauma
@RamadanPaul8 ай бұрын
Huyu jamaa awe raisi basi❤❤❤
@Kidd111688 ай бұрын
Anafikiri, huyo Haji tambui nini anacho kifanya,lakini kuna papa litasimama kwenye majukwa kusema ana dharirishwa. Washindwe na WA muogope Mungu.
@melanialeonard40318 ай бұрын
Makonda majaliwa jerry silaa raisi waziri mkuu na sipika wa bunge
@malikkb64448 ай бұрын
Hivi nchi nzima ni shilingi ngapi inapotea kwa uzembe wa viongozi wasio wajibika?
@Thekidsknowledger8 ай бұрын
Namkumbuka Magufuli kupitia utendaji wako Mh Paul Makonda.
@joycmsokile92208 ай бұрын
Makonda anafaa kuungwa mkono kwa kazi kubwa anayoifanya,
@msafiriomary8938 ай бұрын
Saizi hata Panadol hospital hakuna wezi kibao
@Jamila-qf2dpАй бұрын
Yani tamani sana makonda angekuawa mkuu wa mkoa wa kwetu singida jamani makonda mungu atakusimamia💝
@BernardMwaitalako8 ай бұрын
Nimegundua watu wa Kanda ya ziwa vichwa sana
@SaidoBiaba7 ай бұрын
Mungu akubariki makonda na weendeleye nayii Hali natamani ata Congo tungepata kiongozi kama ww
@AboubakarRashid8 ай бұрын
Mie nlkuwa nashabkia upizana ila makonda akigombea anakura yangu
@MadukaOmary7 күн бұрын
Mh.Magu mdogo Makonda.minya minyaaa mpk yapasuke.Makonda🏋️👏
@jonathanakhabuhaya16938 ай бұрын
Hongera kwa spana Mh. Makonda.Naomba Mh. Rais akuongezee cheo kikubwa. Usimamie kupiga rushwa nchi nzima.Pengine utarudisha heshima ya Serikali na Chama.
@ElizabethMarwa-m5w6 ай бұрын
Endelea kutetea wanyonge Makonda Mungu akulinde siku za maisha yako
@dunstanchacha21288 ай бұрын
I wish all other government officials wangetenda kazi kama Makonda.... We pray for you mheshimiwa
@lucascosmas9088 ай бұрын
Dah aisee yaani mkuu safi sana na mm najua viongozi wenzio takribani wote sasa wana kuangalia unavyo unguruma na ninacho shangaa awataki kuku iga mkuu hakika ww ni m'bunifu apa kazi tu ongera kiongozi makini apa spana mwanzo mwisho
@MariamMlowe7 ай бұрын
Makonda umenifany nipende kkusikiliza kila siku ❤❤❤
@fatimajuma333023 күн бұрын
Huyu Makonda ana nyendo zote za magu haki nampenda mno namuomba maisha marefu
@MukameMachel8 ай бұрын
Mkuu wa mkoa Arusha, wewe ndie ulikuwa unastaili kuwa kiongozi wetu Tanzania
@masikitikomwakyonde12598 ай бұрын
Mmi mwenyewe sipendi kusikiliza viongozi mara nyingi kupitia mheshimiwa Makonda nimekipenda chama Cha CCM na nikaamua chukua kadi kabisa kumbe chama sio tatizo,tatizo ni viongozi.
@JumaRobilichi8 ай бұрын
Mzee mungu akupe maisha malefu
@jahululamasunga8 ай бұрын
You are doing brother big up
@yusuphwaziri11897 ай бұрын
Daaaah!huwa Namuomba mungu makonda uje kuiyongoza hii nchi afu pia huwa Namuomba mungu uje kuwa kiongozi ktk mkoa wetu wa shinyanga.
@MasawilaGoa8 ай бұрын
Ww jamaa mungu akupe maisha maref sana akulinde damu ys baba ww magu
@SporaMrutu8 ай бұрын
Wacha tu Makonda hongera ukiwa mwaminifu hutakiwi utauawa watu wote wanakuchukia tunakuombea udumu kazi Yako ni nzuri untetetea haki
@melanialeonard40318 ай бұрын
Ni mtu akikutwa mwizi aache kazi na arudishe ela wajue mtaan palivo pagumu
@BienvenueBisimwa-rn9rn6 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda,kongo tunakupenda
@Fabian_fidel_Official8 ай бұрын
Mrith wa baba maguful ❤❤❤❤
@PauloKasimu8 ай бұрын
Mkuu mungu akubariki Sana kwakutea wananch
@JumaMohamedi-gi6sd3 ай бұрын
Makonda mungu akulinde endelea kukaza ivo ivo,,
@LucyPaul-t4h8 ай бұрын
Mheshimiwa makonda big up sana kaza spanaaaaaaaaah!
@AndalileMwalubalile8 ай бұрын
Kwel ni aibu sana mama kuwa mkali ktk pesa zako mamamama watoto wa masikini hawana kazi
@emanuelawe-ur5hf8 ай бұрын
Mungu akubariki
@MasterOil-qm6vw8 ай бұрын
Hawa polisi wanaweza kuwafuatilia raia wakikosea lakin watumishi wanawaacha
@francismadirisha35118 ай бұрын
Habari ndio hiyo asante mama kwa makonda mitano tena
@AbdulrahmaniRomani6 ай бұрын
Hongera sana mhakonda
@NelsonTibesigwa7 ай бұрын
Hongera Makonda unajua kuwabana hawa wezi
@iddirashidi47538 ай бұрын
Naomba Mh Rais amrudishe Dar
@BEATUSKOMBA-i9o3 ай бұрын
Uko vizuri bwana atakulinda daima hiyo ndo KAZI ya mkuu wa Mkoa 10:58
@AnethMushi-c3e6 ай бұрын
Makonda nakushukuru pale ulipotangaza wababa wahudumie watoto wap ukiwa mkuu wa mkoa wa Dar mwnangu alikua darasa la pili Sasa hiv yupo form three anafanya vizur naomba Mungu nae aje awe mtu mkubwa kama wewe
@jacksonmwalimu51818 ай бұрын
Kila mahali anapoenda Makonda watumishi wanaosimama ni kina mama ivi ile 50%/50% mbona kama imefika 90%🤔
@halimamasai22348 ай бұрын
Sasa hivi 💯 😂😂😂
@halimamasai22348 ай бұрын
Wanaume mpooooo
@IsraelNada8 ай бұрын
Mh
@lumulyimage48268 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@richardnganya23118 ай бұрын
Hiyo staili ni kutimia Kwa alichokiona Socrates!! Tunajikwamisha wenyewe. Muhimu ni uwezo wa mtu Kwa nafasi aliyopo.
@elishakimariyo49838 ай бұрын
Asee huyu jamaa nibalaa
@justinmasangula21427 ай бұрын
Jaman mungu ni mwem yan makonda hana tofauti na magufuli asante mungu kutupatia chombo bora
@justinmasangula21427 ай бұрын
Bab tunaomba uje kuwa hais watu matumbo moto wew ni hatari ya majambazi