Makongoro ni mwanamuziki aliyefundishwa muziki na magwiji wataalamu wa mzuki akina Mmari na Mgandu. Alikuwa akipiga bass guitar pale Tabora School miaka ya sabini.
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
hahahhaa jamaa hapendagi stress kabisaaa
@StanMjuni-cg7yn Жыл бұрын
Anatoa shule huku comedy zikiendelea
@naseemmakombe4032 Жыл бұрын
😁😁
@alouisejohn7752 Жыл бұрын
Africa ni hatari jamen that’s why tukonyuma ya wezetu ambao tunawaita mabeberu but wanatupatia misaada guy’s
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Wht do you suppose to mean?
@meckytossy9160 Жыл бұрын
Ujisomi
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Bado upo usingizini, Ngoja Putin aiamshe Africa uone kama utaomba msaada kwa mabeberu wako hao
@ahz6907 Жыл бұрын
Meaning?
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Huyu mkuu yuko social sana no stress ndio life inataka hivyo
Nakuelewaga sana Makongoro. Huna shida na mtu. Stress free sana. Chapa kazi
@meckytossy9160 Жыл бұрын
Akili nying Sana huyu
@pillykinabo8722 Жыл бұрын
😂😂😂nampendaga sana nyerere mdogo
@juliusjohn9453 Жыл бұрын
Hongera Mama Maria na Familia yako yote Mungu awazidishie afya, upendo na Umri wenye furaha. Asanteni Mgeni Rasmi na mlioandaa tuzo hiyo.
@jacksonkimaro3751 Жыл бұрын
Uyu jamaa ataishi miaka mingi sana mana hana stress
@silverman6930 Жыл бұрын
When you have money … no stress
@hameezhami7795 Жыл бұрын
Ila kama baba anaonekana ukifanya ujinga ni kiboko tuu
@ahz6907 Жыл бұрын
MAKONGORO= DEFINITION OF SELF LOVE...NO MAKASIRIKO NO BEEFS... LIVE LOOOONG MAKONGOROOOOO.....
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Mashallah nakupenda sana brother ❤🥰🥰🇴🇲🌹
@whiteAfrican83 Жыл бұрын
Like father like son 😅😅😅😅😅
@bonabonala55597 ай бұрын
makongoro chawa wa ccm bora madaraka anamisimamo aupendi uchawa kwa viongozi wezi makongoro angekua kiongozi lingekua jizi limehongwa ukuu wa mkoa limepagawa
@kulwastima3993 Жыл бұрын
Kipindi kile Makongoro anapewa ukuu wa mkoa wa Mwanza nilifrahi cn muda ci mrefu akabadlishwa jamaa yko pouw cn