King kiba kumbe ana vyombo...kaacha mali safi kachukua ingine safi 🔥 🔥 🔥
@trotcheleve34156 жыл бұрын
This woman is beautiful and a wife material. I'm Kenyan and Alikiba Fan but what he said whether the kid is his or not, he will live to regret. Don't worry dada u are very pretty and u will get a man u deserve mashalaa
@JesusChristLovesUs4ever6 жыл бұрын
She is soooo beautiful woman...STRENGTH OF A WOMAN......Mama lea mtoto wako na mungu atakujalia mema, amen Nime mpenda sana huyu dada yetu
Brave women.Ni mtu anayependa amani ya moyo wake,ya mtoto wake lakini pia ya mzazi mwenzie Mungu atakujaalia na nnakuombea aendelee kukujalia hekima zaidi
@michaeldoroleo48644 жыл бұрын
mlio single kama bado mnamchekea huyu shemeji yetu, mnafeli. mimi nimeshaoa jaman😭😭😭😭
@nzalimutua59133 жыл бұрын
You're a strong woman. Get encouraged and educate your child. The rest is history.
@abubakarmohammed59946 жыл бұрын
This Ladies so smart na muonekano wake hasemi uongo...EYES ALWAY TALKS
@ramillywood9096 жыл бұрын
Yani machungu kiasi gani pale unapotembea na mwanamke akakupatia mtoto halafu baada ya kurupushani unamkana eti sina uhakika. Poleni mama zetu
@emilykai68916 жыл бұрын
ramilly wood tushapoa, lakini sisi wamama hatushindwi kulea, tutaangaika huku na huko ili Watoto wetu waimarike. Tatizo akikuwa mkubwa utamwambia nini ?wakati babake yupo ? Na mtoto akifanikiwa maishani sote wazazi tutanufaika
@haidarihamdani47115 жыл бұрын
Ahsante
@salumal-shaib59805 жыл бұрын
@ramilly wood ,Ali kiba yuko sahihi somehow
@frolanmsafiri44424 жыл бұрын
Mama ashindwi kulea mwanae pambana mama acha kubembelezena na wanaume wasio jielewa mana ugomvi wa mama na baba watoto hauwahusu
@eshasalim54963 жыл бұрын
Shukran
@joycechaleeurope90756 жыл бұрын
Pole sana dada m huyo ni kiburi cha pesa na umaarufu unamsumbua. Hajui kwamba hivyo vyote ni vya kupita . Mungu atakulipia tu.
@aminasaid74565 жыл бұрын
Dada nimekupenda hatar! Mwenyeez Mungu akukuzie mwanao In shaa Allah..
@bintichausa47443 жыл бұрын
Ila king 👑 unapenda wanawake wazur MashaAllah...
@nailasheikh35456 жыл бұрын
Asw Khadija - I just came across your clip on KZbin. You are very strong and intelligent woman. Hats off to you. Never be sad and keep on saying alhamdulilah each time you cry. Allah is with you and never forsaken his beings. I really feel what you are going through.
@salumalswawafy97014 жыл бұрын
Maa shaa Allah.. Allah, akukuzie mtoto wako. Dada ww ni zaidi ya mama.. zaidi ya mwanamke.. kwa dunia hii kupata mwanamke kama ww.. ni wachache
@saddyclassicfashion95775 жыл бұрын
Dada pole Sana xkuzote ukiitaji mausiano na super star bc tambua utaumiza moyowako t ivo jikaze ganga yajayo like back like 🔙 hapaa🔥
@ibrahimaboker90864 жыл бұрын
Kaza roho umeze mfupa Don't give up Allah is with you at the end of the day you'll succeed Inshallah
@Naziluna-en7lj6 жыл бұрын
mashaallah huyu ndoalikuwa mke sahihi kwa ally,yaan dada ni mzuri,mashallah na anajiheshimu, na pia ni mtu wa dini,ally umekosea san bc bora muoe tu awe hata wa pili cyo ana hadhi kubwa ya kuwa mkeo
@mussajeremiah7154 жыл бұрын
Ali kiba mungu anakuona Mama mzuri sanaa si bora ungemuoa tu, huko humbled khadija wawatu jamani...
@jensennashon61476 жыл бұрын
mimi nakuelewa sana. Ali Kiba naye anahaki ya kujiridhisha. wasanii wengi wao maisha yao ni sanaa.
Hassanova junior Uzuri wa mwanamke siyo urembo bali ni tabia.Hatujui Ally Kiba kampendea nini Amina,pengine kapenda hilohilo kengeza!!
@monicahjared82926 жыл бұрын
Hassanova junior .....basi Ali akuona uzuri aliona mke bora kutoka 254
@monicahjared82926 жыл бұрын
Hassanova junior Ali aliona c kengeza Hassan that's y yuko naye sasa
@fatmaabdul60066 жыл бұрын
Margareth Kalembwe ally ampenda amina kutoka royal family mwenzenu mfanya biashara mtazamo wngu tu 🤣
@paulshija60446 жыл бұрын
huyu Dada n mzuri ama kweli kuchamba sana mwishowe unatoka na mavi
@mohammedrashid77356 жыл бұрын
let me honest the girl is so beautiful and intelligent
@amaniadamu71826 жыл бұрын
Pole sana dadaa don't cry. Wanaume kam hawa pepo ya m/mungu wataiskia tu kwa wengine m/mungu akusaidie
@ednamanji4 жыл бұрын
Pole dada . Mungu yuko pamoja nawe. Uwe mwaminifu Mungu hatakuacha , Wanaume wengine walizaliwa kwa bahati mbaya tu hawastahili kuishi na jamii yeyote ile, duniani . Wadanganyifu wasiolidhika na mwanamke mmoja. Kazi ni kushow off kwenye stage tu.
@albertmwinde4875 жыл бұрын
Aiseeee sio jambo zuri kwakweli cc wanaume tunamkosea sana Mungu kwa kuwaumiza hawa wanawake kiukweli.
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Mashallah, mrembo, pole sana *khadija* wanaume ndio wako hivyo, Mimi cna hata hamu na wanaume.
@abtehseen23916 жыл бұрын
Saumu Hassan kumbe huna mume?
@douglaskipkoech32966 жыл бұрын
Dada mzuri sana.Pole lakini.I admire your character.Sometimes that is the way things are.Much Love from +254
@sulemohd48125 жыл бұрын
Ukimsifu mshallah mzuri sana kweli dada umepata bahati mashallah mashallah.
@khamisjohn76394 жыл бұрын
Umaarufu unawapumbaza wadanii kiasi kwamba hawathamini maisha ya watoto na wapenzi wao....wanawake ogopeni kuchezewa na hao....God will stand by ur side Sister
@kaykastro93026 жыл бұрын
mama ni mama ! ALLAH YUKO NA WW na kama unavyosema RIZKI yake ashaandikiwa so Allah atawapa tuu. I REALLY ADMIRE U, WITH YOUR STRONG HEART AND COURAGE !!! ❤❤❤❤
@emmanuelellymwakyusa29005 жыл бұрын
KAY KASTRO kampa HAKI na BARAKA zaidi mama wa mtoto
@rozitoh75575 жыл бұрын
Tanzanian women are so polite,A Kenyan will be breathing like a Dragon, calling that man all sorts of Name
@emmanuelellymwakyusa29005 жыл бұрын
Roz Itoh hahahahahaaa its bad ....LIFE and PAIN can CHANGE people
Lea mwanao bwana masingle mother tupo kibao bwana na watt zetu baba zao wapo ni walimu wa vyuo vikuu na maisha yanaenda bwana wee kuna mda mtt anasema sitaki bamia baba anakula kuku lakini tunakomaa na kupambana bwana 💪💪💪💪
@mathnasaeed38065 жыл бұрын
Mwaija Ramadhani sana tuu
@teddymeela27915 жыл бұрын
Ukwel ndo huo wamama tuna hustle sana ila mtu akikwepa majukumu yake mungu mwenyewe atamuhukumu na kama unaweza kwenda kwenye vyombo vya sheria nenda
@faidhamsangi30615 жыл бұрын
Umeonaeèeee
@abdulkarimrashid9005 жыл бұрын
nyie c mnapenda mabishoo na wauza sura watu wa kaz mnatutena mclala mike jikazeni tuu
@radhiasalum71565 жыл бұрын
Mola atusaidie wa mama
@ndamugobaflorian77634 жыл бұрын
Wewe ni Mama bora hata kama atakusumbua lkn mtoto wako siku moja atakuehishimu sana....your are very bright na una utu...yataisha and God bless you.
@SUZIBALE_OG6 жыл бұрын
Pole Khadija ndio maisha yalivyo sister muachie mungu Huyo kibaka anatakiwa ajue dhamani ya mtoto Na awe muelewa kutokana Na maelezo Khadija hujakosea
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن6 жыл бұрын
nimempenda huyu dada❤ Allah atakusaidia Inshallah🙏
@kitengegaston69463 жыл бұрын
kamuowe basi ndugu akikubali
@AishaBudzo-cg4uf5 ай бұрын
حقيقتن
@nimrodmareges31316 жыл бұрын
Wasanii wa Bongo cheche mnashindwa kulea watoto Ubishoo tu mnajifanya mna pesa
@agnesmartinez74305 жыл бұрын
Dah
@kevinmateru28675 жыл бұрын
King ni bahili sana ukweli ni huo hutakaa na mwanamke kwa ubahili huo
@kagarukifred73724 жыл бұрын
Pesa hamna broo kwa hawa viumbe
@mentholtz71074 жыл бұрын
Hahaha
@mcwaya6 жыл бұрын
Huyu dada ana akili sana, she knows what she is doing... Amestaarabika vya kutoshA
@moshimongelwa77956 жыл бұрын
GEORGE WAYA itakuwa ww ahumjuwi vizuri
@ashuraismaily16786 жыл бұрын
GEORGE WAYA kabisa yaani
@MohamedAhmed-yn1lx6 жыл бұрын
Kweli kaka yani ametulia
@neymaelias54086 жыл бұрын
GEORGE WAYA true yuko very smart
@64aaa6 жыл бұрын
GEORGE WAYA mashaAllah
@kultykhatibu48585 жыл бұрын
Pole San na mwanamke mwenzangu, Ali anaonekana Ni mgumu Sana na kiburi, naangalia interview zake maisha yake ,usijali utapata mume mwingine In Shaa Allah, achana na wanaume wadizaini hizo una deserve better than him,
@adilhabibu79584 жыл бұрын
Huyu dada maa shaa allah ni mzur kuliko wanawake wote walio ishi na wasanii wote
@sinyoritaqueen74356 жыл бұрын
Wanaume siyo watu wanzuri bado hanakuambiya hanakupenda hivi mambo hita kuwa hivi 🔥🔥🔥🔥 mimba tu Basi love hakuna tena 🙄😁😁😁😁😁😁😁😭 pole sana Dada
@levinamwaila78475 жыл бұрын
Mungu akusimamie dada,wanawake tunapitishwa Hali ngumu ila tutayaweza yote insha’Allah🙏🏾
@eshasalim54963 жыл бұрын
Amiin
@جميلهخميس-ط5ث6 жыл бұрын
Nina Mtoto nilitelekezwa toka Akiwa na miez leo hii ana miaka Mitano Sina mpango kabisa wakulazimisha mtu atoe Tumizi wakati anajua wajibu wake sijawahi kumuuliza chochote na hata sitegemei Mungu anisaidie kile kdg ninachokipata maisha yanasonga, Nitapambana hadi dkk ya Mwisho, kikubwa naomba uzima tu
@khamiskiza48546 жыл бұрын
Pole sana dada hayo yote ni sehemu moja wapo katika maisha ya binadamu ipo siku atakuelewa tuuu kuwa alicho kifanya sio sahihi
@mbaroukmohamed89003 жыл бұрын
Nusu ya uzuri wa mwanadamu upo ktk ulimi ww dada Mashallah una tabia njema Ila km ni nje ya ndoa bac elewe haki zote za mtoto zipo chini ya Mama yake Kisheria baba hana lake zaidi ya msaada tu!
@FatmaFatma-kt1or6 жыл бұрын
Dada umzuri sanaa adi nimekupenda
@awadhally81066 жыл бұрын
Fatma Fatma kwel huyu dada mzur sana. Wallah.
@raizermsuriraizermsuri41245 жыл бұрын
Hata ww mzr
@plaqemalik81295 жыл бұрын
😂😂😂Alhamdulillah umefanya nipasue kicheko cha furaha ,yani pia wewe umegundua kuwa yeye ni mrembo
@saymarsaymar46545 жыл бұрын
@Ali Ali una uhakika
@jacksonmathayo65104 жыл бұрын
Wee pia ni kifaaa kweli aiseee
@zenamshana68525 жыл бұрын
Usilie mdada yule hajielew alafu mbona we mzuri kuliko hata unavyojifikiria
@liliangilbert48376 жыл бұрын
Du mdada mzuri kuliko amina wanaume pasua kichwa mnazalisha wadada Wa watu mnaoa nje
@peterbillas91314 жыл бұрын
😁😁🎶😂😂
@farahanafarer75883 жыл бұрын
Mzuri sana aisee MashaAllah
@minskbelarus72556 жыл бұрын
Assalaam aleikum vijana wa kiislam unions mambo yanamkuta mwenzio ujue hata wewe yanaweza kukuta. Pole sana Dada. Waislam ALLAH amekataza saaana ZINAA na ndio maana mtoto huyu anateseka hivi sasa na hata wazazi wote wawili hawana raha. Lakini ALLAH ametoa nafasi (second chance) ya TAWBA mrudieni yeye na mwingi wa kusamehe In shaa Allah atusamehe sote
@rozzymsupa11626 жыл бұрын
Soo cute, wewe muache huyo usilie mungu atakupa mume mwaminifu
@shamilamct54426 жыл бұрын
Huyu mzuri zaidi mashalla hata angemuowa huyu na matatizo yasingetokea lakini wanaume wengine mfyuuu akili.
@lovekyungai26586 жыл бұрын
Shamila Mct ,washazoea funua funika na mungu hatowaacha wanaume wa dizain hii salama
@fadhilimuhenzi67886 жыл бұрын
Love kyungai tunataka ladha tofauti au aujui mnatofaitiana nyie
@lovekyungai26586 жыл бұрын
Shamila Mct mmmmh
@tatimafahad93766 жыл бұрын
Lakini huyu dada kaolewa mdaa sana kabla ya kiba kuowa na tiyari ana mtoto mwingine
@shamilamct54426 жыл бұрын
Tatima Fahad ahaaa maskini lakini anaonekana yuko true kimazungumzo. Lakini yuko beautiful zaidi mashalla kuliko huyo wa Kenya 🙊😀😁kweli lakini ni ukweli mashalla na mpole pia Ana good personality
@faridasaid87246 жыл бұрын
umeongea point sana,mama samira
@sweetluc26603 жыл бұрын
Yaani dada ni mrembo Mungu akutunze hata Kiba jamani
@emilykai68916 жыл бұрын
Nyinyi mnao mtukana huyu mama hamjui kesho yako itakuwaje Kwako. Leo ni kwake kesho ni mwingine .Anasema hajashindwa kumlea mtoto wake. Lakini ujue mtoto anakuwa utamjibu nini na babake yuko hai.
@FarhatYummy6 жыл бұрын
Emily Kai kweli
@susansamson10996 жыл бұрын
Emily Kai nani aliyemtuma kuzini, aache upuuzi, mbona alikuwa analea kabla, huyu story yake navyule Bint wa Lowasa sawa tu.
@emilykai68916 жыл бұрын
Susan Samson namanisha hata wale ambao wako kwenye ndoa na wanapendana leo ,Kesho hatujui mume anaweza kuja Badilika mbeleni,:sasa sijui ndio utasema ni nani kazini.Tukiongea tubakishe ajuaye kesho ni mungu
@susansamson10996 жыл бұрын
Emily Kai hata sijakuelewa, yeye anasema mtoto anakuwa atamwambia nini?. Afundishe mtoto kujitunza mpaka atakapoolewa, haya mambo hayana haraka la sivyo wote watazaa hivyo hivyo.
@salmaabas10706 жыл бұрын
Emily Kai good
@ndesasausi59013 жыл бұрын
Safi dada uko sawa Mungu akupe maisha mazuri zaidi
@warrensantana15704 жыл бұрын
Mwanamke amezaa na Ali Kina lakini anajistiri vizuri MashaAllah,,wengine wako kwenye mahusiano na Harmorapa lakini wanavyo vaa duhh!!shida tupu
@rickrosswabongo41166 жыл бұрын
Team Kiba mlimuandama sana Diamond na kumsema...kumbe Kibamia nae ana ya kwake😂😅😂
@LisoClassicOficial95103 жыл бұрын
Sasa kibamiya ni ww maana umenepa sana
@maryamali77006 жыл бұрын
Huyu dada she is so beautiful keep it up utapata mwema kuliko yy
@eshasalim54963 жыл бұрын
Amiin
@amhustlesamhustles76946 жыл бұрын
kweli Dada nimekuonea huruma alafu ni mzuri sana ila yataisha mamaa ucjli
Mwanamke mzuri Maashallah..kwanza Amina anaonekana mjeuri..walai mtt alkua kwenye mazingira mabaya
@jumanzige96443 жыл бұрын
mbona mdada mrembo tu wewe , hajatokea mtu wa kukuoa akusitiri? na kipi hasa kiliwafanya mgombane mpk asusue mpk mtoto? Kiba kama kuna kitu umewahi kuzingiua ni kumuacha huyu mdada( km kosa ni la kizembe zembe tu) sijui hasa ugomvi wenu lkn she is a wife material and she deserves a lot from a man. Tunategemea zile sifa unazopata kuwa wewe ni msanii unaejiheshimu basi zionekane hata kwa familia yako. Kumzalisha mwanamke kishs ukamtelekeza ni kumtia doa la maisha . Labda itokee tu awe na bahati apate mume lkn , its too rude to abandon such a beautiful lady, lea mtoto dogo acha uzembe. Take a heart MAMA SAMIRA ALLAH is always great.
@jamillahaidha81842 жыл бұрын
Your a man mashaallah
@violet13286 жыл бұрын
You are so beautiful and determined in lyfe
@baidyniak34885 жыл бұрын
Mashallah huyu mama ni mrembo bila make up jee akiweka make up ? Mashallah your so Beautiful 😍
@husnajohn74665 жыл бұрын
Bai Dyniak kabisaaa
@friesinger09636 жыл бұрын
Uyuu mtotooo mkaali sna kuliko yule wa mombasa
@charitykarrao49266 жыл бұрын
Friesinger 09 ...u mean wife wa kiba she's from Mombasa?
@strikermimi77366 жыл бұрын
Friesinger 09 aminii kwamba
@railamypresidentrailamypre6296 жыл бұрын
Friesinger 09 pamoja na ukali wake hakujistiri akampanulia bt Amina alijistiri akaoleka pamoja na kua c mkali. upo!
@consolatamaarufu586 жыл бұрын
Friesinger saba
@consolatamaarufu586 жыл бұрын
Friesinger 09 namaanisha sana
@leiylaomar93186 жыл бұрын
Pole sana sister yote hayo hutufka ss wana wake limewahi nifka zito zaidi ya hilo lkin muhukumie Allah Kila kitu kitakua sawa inshaallah
@mkinalagekinoga17664 жыл бұрын
Watanzania mahodari sana wa kujaji upande mmoja.......Hii ni mbaya sana
@alhandroraj80095 жыл бұрын
Huyu ni Mrembo kushinda Amina mkenya. Amina anakaa mjeuri ana kiburi tena ana mpa Ali kiba stresi. Naomba tu Ali amkumbuke warudiane
@husnauthman76095 жыл бұрын
Amina kibri yaonyesha
@ladynerfertitti17106 жыл бұрын
Why do women give their children to others? No one can live with my kids while am alive. Mothers it is your responsibility to protect your kids. Let their dads visit, especially mambo ya step mothers siwezi. Ali kiba azae watoto wake na Amina, shida iko wapi? Amina utajionea yote, why a 23 year old marries a man with 4 kids, sielewi.
@FarhatYummy6 жыл бұрын
Lady Nerfertitti will said
@biggamihayombotte1846 жыл бұрын
Lady Nerfertitti .... hahhhaa Tisha #why
@naomienelly83986 жыл бұрын
Lady Nerfertitti and now amina is somewhere sipping her coffee doing interviews at Tanzanian government offices while she is all over social media doing interviews😂😂 Tanzanian ladies are so desperate..mtoto mmoja anakushinda kulea and unafanya biashara and like u said I can't and I will never give my kid to stay with step or grandma...na pia ukutaka usije kumwona sio lazima alaaa
@jacquilinemahumbi59506 жыл бұрын
Lady Nerfertitti Good lovely. A great idea to all mothets.
@jifunzelughanapatrice59665 жыл бұрын
Watu wasiri ni wabaya kuliko wawazi. #Wcb for life
@mbwanakhamis96343 жыл бұрын
😂🤣😂🤣😂
@barakacosta64745 жыл бұрын
Dada love u sana akili mingi sana ila wanaume sis BC mungu atusaidie
@Jean74etoile4 жыл бұрын
Very beautiful. Unahakili kbsa nakupenda sana.
@mohamedsalum31125 жыл бұрын
its TRUELY WIFE MATERIAL....daahh this is what we call Mashaa Allah....
@tlesphorysistyally4225 жыл бұрын
Mama Yuko vzr sana
@alwardimedia28066 жыл бұрын
hakika huyu ndiye mwanamke wakuolewa n msataarab sana .....Ali kiba tuna kupend na tunakujali hebu fikiria kabla hujafanya jambo......Amina pia n mzur ila ww hujapend tabia umepend uzr na pia kuna siri kubwa unaificha maan hakuna siri dunian lzm kita julikana maan tunakujua bwana msiri sana ww......
@Zainab-sq1tc4 жыл бұрын
Ally msiri sanaa
@nadiafahad79456 жыл бұрын
Pole mpnz wangu hakika ww ni mrembo ,wanaume ndivyo walivyo tupo wengi tulio tendwa😢😢usilie maana mpk mm machozi yananitoka
@Pedeshee014 жыл бұрын
Mbona nishamsitiri kitambo yameisha muda tu
@adamseif59003 жыл бұрын
Skuzote ukwel unafanya maongezi kua mazur me naamini maneno ya huyu dada allah akulinde na ukufanyie wepesi kwa kila jambo lako inshaallah
@sakinaabdallah77134 жыл бұрын
Dada angu Léa moto wako iwapo kiba anampenda moto wake atampenda si lazima akaye kwengine mlezi wa moto ni mamaake una haki.
@boniphacetv7396 жыл бұрын
Ulinitesa Sana sababu nilikupenda wajua Rudi home wewe Rudi kigoma mimi Leo nipo Niliempenda nisha muoa 😂😂kweli Ally basua kichwa
@simpoali24314 жыл бұрын
🤣🤣
@guccij35494 жыл бұрын
Sema Kiba yupo sahihi Wanawake wa siku izi sio wa kuwa amini kirahisi ukijichanganya utalea watoto sio wako
@mwasoprince34593 жыл бұрын
Hahahaha!
@smartx81466 жыл бұрын
Pole dada sina njia ya kukuona na sijui ni wapi nitakuona ama hakika ndoa hupangwa mbinguni dubai ni mbali na tanzania dah ! Mungu atakupa mwezio muishi kwa maelewano,huyu dada ana hekima sana na mstaarabu wa kuongea nimempenda ila Mungu ndie mwenye kujua ni nani atakua mume wa halali kwake,usichoke muombe Mungu kila kitu kitakua sawa kwako Insha'Allah
@afandehassan16 жыл бұрын
Dadangu usilie mwenyeezi mungu kakujalia uzuri na tabia nzuri utapata mwenye kheri na wewe....kwa kweli wa Mombasa hakufiki hata chembe,, bahati ni kwa vile nimeoa lakini kaasivyo ungeniona ndani ya Dar
@rashmo96616 жыл бұрын
Heeeeee uyu Dada mzuri jamani !!!!!!!!!!!!!!!!
@erlindabernard44756 жыл бұрын
Beautiful lady... Dada unaongea Kwa staha Hadi raha... Yote Yataisha mama...😘
@miirajswahel29385 жыл бұрын
Yaani MM nasema tena kwa herufi kubwa #Alikiba arudiane na huyu dada maana anaonekana anajielewa sana
@j_gh8125 жыл бұрын
Dada unaonekana mstaarabu sana na mwelewa sana na unajielewa sana...pole kwa misuko suko.....
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Umejielezea vizuri tu kama mzazi lakini kosa la mwanzo la kutofuata utaratibu wa kufunga ndoa ndiyo linazidi kukutesa dada, pole sana
@atikombogolo23566 жыл бұрын
Dada njoo nikuoe mm....ALLY NI PASUA KICHWA SANA MJINGA YULE🤣🤣🤣😂😂😂😂
be strong siz ...hakuna kumbwa lisilo kuwa na ijaa
@julieokoki94936 жыл бұрын
she's so beautiful
@hawwahawwa85333 жыл бұрын
MashaAllah
@zuhuraakida59326 жыл бұрын
Ulaya ujinga huo wanaume hawafanyi wananyooshwa kama rula😡..Mshahara wake kabla hajaupata unatolewa anapewa Mama..Mungu akufanyie wepesi Insh'Allah..🙏
@lonelyperson79856 жыл бұрын
Yote yaleteni sie #001 kimya kheri michipuko yenu kwetu ziii +254 one love
@janethjohn86586 жыл бұрын
Alikiba mungu anakuona utachomwa moto
@alimwamasumbo75356 жыл бұрын
Huyu dada mzuri,,mtanashati,,mcheshi na amestarahabika kimtazamo,,kweli lakini waume hatutosheki
@andrewpaul22986 жыл бұрын
Waonekana mstaarabu dada, pole sana mama pia u mzuri wa asili jmn...
@georgekibengu16164 жыл бұрын
Namchukia cana alikiba alivyo muacha mrembo Kama huyo🧡
@abuuzamah-shar98683 жыл бұрын
@@georgekibengu1616 hahahahahahaha
@qwqw16653 жыл бұрын
Msanii mkumbwa hivi unafanya mamboambayo hayampendezi mungu alikiba tunavyo kushabikia lakini umeniboasana kumbe ndivyo ulivyo lakini dada. Msitarabu sana mlee mwanao tuu mungu yuponawe manawakowengi mbona wanalea wenyewe napia wanakua yote ni kidra zamwenyezi mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@faridakilomba65515 жыл бұрын
Mashaaarah Mwanamke mzuri afu inaonekana Dini kidogo ipo, labda uwe na mapungufu mengine Ila mimi nimekupenda mno mana unavyojieleza huangalii Kamera n. K hivyo ndivyo mwanamke anavyotakiwa kuwa, Mekupenda Bure Nipe nafasi mie jamani.... Ila insharaaah Mungu atakuja nikutanisha na wewe.
@kuluthummrisho65596 жыл бұрын
All in all everything happen for a reason ewee mungu we ndio unajua ukweli wa hili
@thauratali36566 жыл бұрын
Ali anazarau anajificha ficha tu lakin anajeuri flan hiv
@midopower23556 жыл бұрын
thats true
@ivankisusange29686 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaa
@dichodaplaiza6 жыл бұрын
Thaurat Ali kabisa
@zynabtz81356 жыл бұрын
Kweli kbs nshenz kweli
@fatumamayenga23306 жыл бұрын
Thaurat Ali kweli
@husnamarandu83806 жыл бұрын
Dah! Huyu Dada mzuri sanaaaaaaa! Hana makeup ndo hvi na akiwa na makeup sindo watu watagongana! Njoo uolewe na kakayang jomon
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Labda kaka ako awe tajiri ana mshiko , ila sio kabwela kama mimi
@filomenabarongo6936 жыл бұрын
Me nimemwelewa sana ,she is a safe person to her daughter maybe kuna tutaarifa bintiake alimdokeza kwa kumwamini kama mama ikawa source!.U never know!!.Kina mama tuna siri nyingi Za Waume zetu na wanetu!!!.Kuna vitu hawezi labda kuvianika hapa!.😢
@drtheresiakaruhanga35434 жыл бұрын
huyu dada nimempenda anajielewa na ana maadili yote ya mwanamke wa kitanzania. zaidi ni mrembo na anastaha za ki-islam. acha wale wanaojisifia tu bila kutenda. Mungu akubariki.