Poleni sana wana Arusha,pia ninazidi kuwakumbusha kuwa Yesu anawapenda pia ni mwokozi ktk jamii,mtu akimpokea kuwa Bwana na mwokozi wa maisha ya mtu huyo,ataokoka na atakuwa na uzima wa milele
@tarsilatesha-el8qu6 ай бұрын
Polen sana familia
@RabiaIddi-ci2uz6 ай бұрын
Kwahiyo ukimpokea yesu huto kufa kabisa utaishi milele kama mlima?
Yesu Kristo pekee ndio njia kweli na uzima, ukishakufa hakuna mtu atataka hata kukusogelea haijalishi ni nani wako watu wanaojivunia watu na vitu bila kujua kuna wakati havina msaada kwako, Yesu Kristo yupo nawe nyakati zote katika hali zote.
@Asiaha-l7q2 ай бұрын
,😂Yuko wap nawe yesu Yuko kwa ALLAH ALIYE karbu nawe ni muumba wako yesu pia aliumbwa na ALLAH tumboni mwa Mariam
@mcback43842 ай бұрын
@@Asiaha-l7q Kwahivyo unataka kusema Yesu Kristo nae kapewa mabikira 72 na Allah na nguvu za kiume za wanaume 100 na mito ya pombe za aina zote huko jannah? Dada Mungu wetu Muumba mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana sio Allah
@Asiaha-l7q2 ай бұрын
@@mcback4384 kupewa nisawa kwa maana yesu ni mwislam shida iko wap we ukupenda usipende yesu ni mtume kama mitume wengine walotangulia tofaut ALLAH alitoa miujiza kuzaliwa bila Baba naiyo ulikuwa mtihani kwetu cc ALLAH ndiye mmilik wa dunia na cc uyo yesu pia cku ya HUKUMU atakuwana kes ajibu ndo aingie peponi kwa manake ataulizwa nilikupeleka duniani ukatoe Sheria zaangu ama nilikuambia ukaseme wewe ni mungu na yesu hapo hatawaruka mbali Sana cjui cku iyo myetez wenu atakuwa Nani cku iyo na hata iyo cku ya HUKUMU pia nimbali yesu atashushwa na aoe azae uliona mungu akiowa mke ebu gfkrie mie chaajabu pia hamfkirii mungu wakuket tumboni mwez Tisa mmm kaz nnayo kabla yeye kuzaliwa Nani alikuwa anacontrol dunia sasa nakuambia yesu ni mtume WA ALLAH tofaut Hana Baba naiyo nimiujiza ya ALLAH
@Asiaha-l7q2 ай бұрын
@@mcback4384 AKILI YAKO INAFANYA KAZ ET ALIYE UMBA DUNIA NIYESU🤣🤣🤣 ADAM ALIKUWA WAP CKU IZO KAMA YESU NDO ALIUMBA DUNIA YAANI KWA AKILI ZAKO UJIULIZ KAMA NDIYE ALIUMBA DUNIA YESU ALIUMBA MARIAM 🤣 ALAFU AKAINGIA TUMBONI KE IYO YAKO KALI KABLA YA YESU KULIPITA WATU WANGAP JIULIZE YE ALIUMBA DUNIA NA KINA ADAM , IBRAHIM NAWENGI WALIKUWAPO SASA JIULIZE WEWE MWENYEWE ALIUMBA MARIAM ALAFU AKAINGIA TUMBONI 🤣 ALLAH NDIYE MMILIK WA MBINGU NA ARIDHI NA VILIVYOMO PAMOJA NA MTUME ISA BIN MARIAM MKAMUITA YESU PERIOD
Mtu anapesa hanamke hana mfanyakazi hana rafiki wakuishinae Wala ndugu mmh mtihan usikumrefu jamani wawili ni wawili kifo ni wajbu ila mkiwa wawili sihaba uwezi ozea ndani
@ednamunuo3546 ай бұрын
Upo and 8.Innocent 0:39 😅iikkkii😅998😊99909
@musampanda36436 ай бұрын
Alisafiri mke
@HannanSomaiyah-wp7ny6 ай бұрын
Dah!Kwa hakika kila unapo ingia kulala tujikabidhi kwa Muumba, Mungu alisha mpangia hata Kama angekuwa ns Mke ,mfanya Kazi,su tafiki ndungu,Wasinge jaaliwa kumuona wakat anakufa,Kifo chake kilishaandikwa afe peke yake 🙏 Mungu akampe pumziko la milele,
@directorabiero3406 ай бұрын
Poleni sana
@kevinkatima49755 ай бұрын
Inaleta maana dah!
@ramadhanihudhaifani43766 ай бұрын
Polen sana wanafamilia. Mungu Awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Marehemu Mungu Ampokee mja wake kwa aman.
@rachelndaki56425 ай бұрын
SubhannALLAH 😭😭ALLAH tupe mwisho mwema YARABBI🤲🤲
@agnesmartin57166 ай бұрын
Eee Mungu tusaidie Taifa la Mungu kama vijana Bwana atusaidie. Nimeumia sana hakika
@ElaremisaTuwatiАй бұрын
Poleni sana wapendwa kwakupoteza kina wenu mungu awefarajakwenu kwakipindi iki kigumu
@jamesmaths22966 ай бұрын
Kuna maswali ya kujiuliza hapa kuhusu response ya Baba mzazi baada ya mdogo mtu kumpa taarifa ya harufu. Badala ya Baba kwenda eneo la tukio fasta alimpa maagizo ya kuita polisi. Baba mzazi alitakiwa awe wa kwanza kushirikiana na uongozi wa mtaa kuvunja mlango na siyo kusubiri polisi. Mtoto anauma jamani na mimi naongea kama baba maana kuna sintofahamu hapa ambayo iko very clear.
@colletatesha52656 ай бұрын
We hujui kufiwa funga bakuli lako
@Thomas-lm1dq6 ай бұрын
Unajua baba yake aliuwa na hali gani kiafya? Alikuwa wapi muda huo? Alikuwa na usafiri karibu?
@fatmakhanii16766 ай бұрын
@@Thomas-lm1dqbora useme mana watu wengine kazi zao ni dhana potofu tu bila kujua huyo baba alikua katika mazingira gani
@RabiaIddi-ci2uz6 ай бұрын
Me naona hata huyo mdogo mtu majibu yake ni mepesi sana. ni kama vile alikuwa tayari anauhakika jamaa kafariki 😢
@yodeatv.com156 ай бұрын
huyo mdogo mtu napata mashaka nae sana kwa maelezo yake. binadam tumetofautiana uwezo wa kutafsir Mambo lkn mm namuunga mkono mtoa post hii Kuna kitu huenda kimejificha
@edsonnelson44646 ай бұрын
Halafu maisha ya mtu kuishi peke yake ndani siyo vizuri mtu anaweza kufa kwa tatizo dogo tu kwa kukosa huduma ya kwanza
@deogratiusyudatadei56586 ай бұрын
Nahicho ndiyo kilicho muuwa huyu chali mm na mfahamu Sana anaugojwa wakifafa
@RachelMalekela6 ай бұрын
Kumbesasa kwann akaepekeake jamani
@AshuuuBakari6 ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658mwenyezi mungu amhaalie kauri thabit
@Hellen-i2y6 ай бұрын
Kweli kabisa vema kuishi hao na mtu mmoja
@betricemainoya41766 ай бұрын
@@deogratiusyudatadei5658ooohhh
@Emma_Bernard4 ай бұрын
Nimesoma nae huyu Brandon, asee pole sana kaka
@Mhandisi20086 ай бұрын
Rest in peace rafiki yangu BENSON, Collegemate wa ARUSHA TECHNICAL COLLEGE.
@leonardjohnson20586 ай бұрын
Huyu alifanya SOA grumet au ???
@salmakeitha38466 ай бұрын
Maisha yana Siri kubwa sna 😢Mungu ndo anajua zaidi
@aloycesamba9986 ай бұрын
Ni kweli
@linnusaloyce65596 ай бұрын
Msilaumu familia nyingine hazina mawasiliano ya kila cku labda kma kuna taarifa mpya au changamoto yoyote ile ndio mawasiliano yanakuwa mengi mm mwenyewe tu kuwasiliana kila cku na nyumban kwetu au ndugu zang ni fumbo kwasabab za kimaisha unawaza kesho yko unawaza mambo kibao salam unaona hazina muda wakati huo kwasabab za kikazi
@AshuraMaulid6 ай бұрын
kweli aisee
@linnusaloyce65593 ай бұрын
@@AshuraMaulid ndio ivyo dada yangu ila cyo km hatuwapendi ila ubize ndugu yangu
@KhadijamussaMachapatАй бұрын
Tena aswaa matajiri Awana muda wa kufuatanafutana kama Sisi Masikini maana Sisi shida zetu zinatufanya tufuatane sasa wenye Pesa Awana muda %😭😭😭
@DorokasiIssa6 ай бұрын
Poleni sana wapendwa mungu awatie nguvu
@jumahili81215 ай бұрын
YESU KRISTO ni Bwana. Mwamini leo uokoke. Siku ya kufa upumzike. Maisha haya ni kivuli cha maisha yajayo. Kama alikuwa na YESU kuozea ndani sii tatizo. Sasa atakuwa amepumzika
@hafsalucky10886 ай бұрын
Poleni sn Wanafamilia, Mungu awatie nguvu.
@Nancy_Daniel6 ай бұрын
Polen sanaaa Lee❤️🙏. May your brother's soul rest in peace🕊 amen 🙏.
@neemanyimbi23555 ай бұрын
Uyo dogo anajua kitu mchukueni maelezo vizuri
@RebeccaYusuf-m2o4 ай бұрын
Kabisa Dogo anajua
@mwajabually53214 ай бұрын
hahah
@EREVUKATV3 ай бұрын
Umekua na mtazamo kama wangu kweli kabisa
@husseinjosephitocho67545 ай бұрын
poleni sana ndugu na jamaa maisha ya mwanadamu hapa duniani ni mafupi sana lakini hilo tukio liwe fundisho kwa jamii mtu upaswi kuishi pekeako kwenye jumba kubwa kama hilo kuna shida unaweza kutokea na ukaitaji msaada na ukaukosa ndio kama uyo ndugu yetu aliefariki pekeake na kukosa msaada mwili kualibika
@hamisaally9686 ай бұрын
Uyo mdogo wake mbona aelewiki pia kama anataka kuchekaa😢 haojiwe vizuriii uyoo, unasikia harufu ujui ya nini unapiga simu kwa baba kwa nini usingepiga simu ya marehemu maana ndo anaishi hapo?
@ElizabethWamcha6 ай бұрын
Nami sijamuelewa😢
@hamisaally9686 ай бұрын
@@ElizabethWamcha ata mie ndugu kwa nini amtafute baba wakati kaka akee ndo anaishi hapo pia alikuwa ajui nini kimempata au kutokea mi naona mtu wa kwanza kumtafuta angekuwa uyo marehemu
@FaustinMarko-t6y6 ай бұрын
Yesi
@bonifacejames345 ай бұрын
Hawezi kueleza Kila kitu hapo lakini kwa akili ya kawaida tu mpaka anamtafuta Kaka yake ina maana hakumpata hewani kwa muda au simu ilikuwa haipokelewi
@uwezontalengwa18275 ай бұрын
@@hamisaally968hata mi sjaelewa,,et akampigia baba
@barnabasstanslaus68956 ай бұрын
We are together mda huo wote I think itakuwa nii i do know but nafikiri ni Mungu tu 😢😢😢
@HASSANBAKARI-q9c6 ай бұрын
HUYO SIO MTOTO WA TAJIRI....MTOTO WA TAJIRI LAZIMA AWE NA UANGALIZI,,HASA KAMA HUJAOA LAZIMA BABA-MAMA MDOGO AU RAFIKI LAZIMA MMOJA WAPO AKUCHEKI..SIKU NZIMA INAPITA HUJAONEKANA WATU HAWASTUKI NI MATAJIRI GANI HAO??MNAISHI VIPI??
@ElizabethKidogomaa6 ай бұрын
Tusali sana
@ernestkatyega57815 ай бұрын
Baba anasema Katie polisi kwanza badala ya kuingia ndani kama mwanàfamilia na kuchunguza kisha wamemzika fasta hapohapo nyumbani kabla ya kuchunguza sababu za kifo hata Kama ameoza 😮 aisee hii Wala haihitaji Elimu Wala degree mtu mwenyewe D mbili atakuwa ameelewa
@barakahazard31825 ай бұрын
D mbili unazo wewe
@LeahGlory-ju2ci5 ай бұрын
Sasa hata wakichunguza wakapata majibu atarud?
@christinewomanoffaith54795 ай бұрын
@@barakahazard3182😂
@mwajabually53214 ай бұрын
yaaaan wamerahisisha mno
@priscaelias11445 ай бұрын
Pole sana kwa Familia Mungu awape faraja
@Realme-xm3sh28 күн бұрын
Sub hanallah 😢😢
@tupacthedon71046 ай бұрын
Arusha ni kama soweto ya South Africa,eeh Yesu tujalie mwisho mwema
@zabibubashiri30346 ай бұрын
😢😢😢😢
@linnusaloyce65596 ай бұрын
Ss kama kaskia arufu alafu aingie bila kuwepo mtu wa ziada je angeiona Hali ya kk yake akazirai nae c angeingia kwenye matatizo jman au angeambiwa yeye kafanya tukio lazima majirani wawepo balozi au mwenyekiti wa kijiji ili atoe izini ya kuvunja mlango kujua kulikoni msiisi vibaya ivyo watu wapo kwenye maumivu ya kumpoteza mwana familia yao tupunguze fikra potofu
@dazuujuma7785 ай бұрын
Hakika na umenena vyema
@HannanSomaiyah-wp7ny6 ай бұрын
Inna lillah wainna ilah rajiun Baki Allah tu 🙏 Allah ampe kaul thabity
@kekiplus1andonly5 ай бұрын
Duh pole sana kwa ndugu ,jamaa na marafiki🙏🙏🙏
@KhadijamussaMachapatАй бұрын
Kwani uwa amuwasiliana jamanii🙄🤔inamaana mtu anaoza ndani ehe
@haryanyawu6405 ай бұрын
Poleni sana wanagqmilia jamani duh inaumiza mnooo mtu kufa akiwa peke yake na mwili kuharibika
@jasminshemsanga87275 ай бұрын
Imenikumbusha kifo cha mama angu mdogo😢😢😢
@IreneIsaya-ek5pc6 ай бұрын
Aisee Ben😭😭😭😭😭
@kennethbenjamin2756 ай бұрын
Duh arusha kila mtu tajiri Any way poleni wanafamilia
@markmushi89406 ай бұрын
Ni matajiri kwa asilimia 70au80 mkuu arusha si seem ya kuishi wachovu
@kevinkatima49755 ай бұрын
Kumbe!@@markmushi8940
@lesliesolomon36245 ай бұрын
Poleni sana....Inahuzunisha
@LipiSuleiman2 ай бұрын
Poleni sana mbele yake nyuma yetu
@givenessdavid37436 ай бұрын
Inawezekana alikuwa mtu wa kujitenga sana sio mtu wa kampani
@shamlimah56826 ай бұрын
Kwa Nini ?
@shantellemwanakombo37036 ай бұрын
Kwasababu hakuna hata mtu mmoja alimtafuta kwa njia ya simu hadi 3days zinapita kweli?@@shamlimah5682
@yasminoluoch1696 ай бұрын
Kwa sababu kuna watu si mtu wa marafiki sana @@shamlimah5682
@IreneIsaya-ek5pc6 ай бұрын
Ni mtu wa kampan tena sanaa
@svt36 ай бұрын
@@shamlimah5682kuishi na watu ni kazi mara nyingine unaona tu ukae mbali na walimwengu kuliko kuzinguwana kila siku
@RUTAMANTZ6 ай бұрын
Mdogo wa marehemu ana changanya luhaa sana bhana
@HannanSomaiyah-wp7ny6 ай бұрын
@@RUTAMANTZ Alhamduli'llah 🙏 Si msomi,What the meaning Mji Wa Arusha,Hakunaga Mambumbumbuu kabisa 🙏
@renaldasilvery1106 ай бұрын
@@HannanSomaiyah-wp7nymmmh!!
@neemareuben3116 ай бұрын
Mungu wangu nyie jamani ina mana hakuwa hata na dem wa kuish nae jaman😢😢😢😢😢
@nadiatanzania6 ай бұрын
Arusha Mungu isaidie ina majanga sana kwakwel😢
@FahadAbubakari6 ай бұрын
Majanga mtu kufariki? Huko kwenu watu hawafi?
@NicksonIsraeli6 ай бұрын
Umewaza Kama nilivyowaza Leo hiyo ajali ya moto mungu atusaidie
@robertigohe74776 ай бұрын
Yesu ni wa muhimu mno
@PrinceHendry-hp8vv6 ай бұрын
Na ndo mkoa pekee ulokua unapatikana tanzanite duniani kabla ya kugawanywa kuwa manyara so kwasisi bado tunaoana tumependelewa wageni ndo wanatuharibia
@nadiatanzania6 ай бұрын
@@PrinceHendry-hp8vv Mungu awasadie msimame sana na maombi 🙏
@GfgGgh-v5z6 ай бұрын
Subhana Allah😢 pole kwa familia
@00chammy5 ай бұрын
Pole sana 🙏🏿
@jumapiliissa48356 ай бұрын
Pole kwa familia M/MUNGU ilaze roho ya marehem mahali pema peponi
@EmilyAlph6 ай бұрын
Wiki,wiki 2 hakuna aliyempigia simu??😰 Duh Apumzike kwa Amani Ben🙏
@farajiissa5605 ай бұрын
Sasa nan atapokea bro inaweza ita tu ukajua yupo bize
@swaiseif29896 ай бұрын
Mimi ninavo ogopa kuishi mwenyew😭😭😭mungu wngu tunaomba mwisho mwema
@Jurbeg6 ай бұрын
Kwaulivyo mrembo ukiishi mwenyewe umejitakia Kama Hauna mume muombe MUNGU akupe mume mzuri natumai itakuwa Hivyo 🙏🙏🙏
@swaiseif29896 ай бұрын
@@Jurbeg niyamume saiv alhamdulilah namshukr mungu
@peninashungu66336 ай бұрын
Arusha ukiwa muuza madini shida Sana
@shantellemwanakombo37036 ай бұрын
Duh alikuwa haishi hata na dada wa kazi jaman😢 hatar hii sana
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Apumzike kwa amani 😢😢😢ndio tujue sie binadamu c chochote c lolote pumzi isituhadae 😢
@NeemaSamson-ti8pc6 ай бұрын
Kabisa
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
@@NeemaSamson-ti8pc 🤝
@FatmaAbdala-bu9zl5 ай бұрын
Daah inauma sanaaa😢
@EmmanuelProtuce6 ай бұрын
Ndiyo zake zimeishia hapo Mungu amlaze vema pepon
@graceabdallah26706 ай бұрын
😢😢hivyo amezikwa bila kufanyiwa vipimo vyovyote au
@muniraahmed6245 ай бұрын
Daah asee Innallillah wainaillah rajiun 🕊️
@nasrachaya6 ай бұрын
Let's pray to Arusha
@deograciousrugambwa20546 ай бұрын
Mortuary wanakataa mwili sasa postmortem atafanyikaje?? Hii nchi ya hovyo sana
@ericdaniels26086 ай бұрын
Uko sahii kabisa, uchunguzi unafanywaje hapo. Ovyo kweli.
@gabrielutou206 ай бұрын
Mojawapo ya sababu ambayo inaweza kufanya postmortem kua ngumu ni kuharibika kwa mwili (decaying ) hivyo hata kama wangepokea bado kupata majibu sahihi ingekua ngumu
@dork87496 ай бұрын
@@gabrielutou20 are u sure?
@josephjohn21146 ай бұрын
@@gabrielutou20kwa teknolojia ya sasa post mortem inafanyika hata baada ya miaka.
@jojotz12106 ай бұрын
Kifo ni fumbo sana😭 mdog angu alifariki ghafla pia sis bila kujua siku nzima ad jion tukaj kujua
@MagidaFafa6 ай бұрын
Dah inauzunisha sana
@faithjonathan38456 ай бұрын
Siku ya kufa utakufa tu hata kama umezungukwa na watu 100. Unaweza kuwa umezungukwa na watu ukadondoka hata chooni ukafa peke yakom na ukishakufa hata kama una watu 700 hapo haisaidii na mwili unabaki hauna hata maumivu yoyote. Tujifunze kumuamini Mungu na kuishi pia vile tunavojisikia kuishi. Kama mtu anataka kuishi mwenye we na aachwe aishi mwenyewe. Tatizo watanzania engi hatujafundishwa kuheshimu matajwa ya watu na machaguo yao katika maisha.
@RhodaKabuka-cw3uw6 ай бұрын
Exactly
@FaustinMarko-t6y6 ай бұрын
Nisawa kufa kupo tu ila angekuwa wako wawil asingeoza namna hii
@evertheobald18115 ай бұрын
@@FaustinMarko-t6y Sawa laki kuoza au kutokuoza hakusaidii kitu mtu akishakufa
@sophiakimaro51746 ай бұрын
Poleni saana jamani.ila maisha ya kuishi pake yako sio mazuri.natamani hata angeweza kishi na ndugu wa mbali tu.wawili ni wawili haswa mida ya usiku.
@aby211115 ай бұрын
1 or 2 weeks? Why not call him before you go, why no one called him all the days he was absent.
@joharikitundu6 ай бұрын
Hii tabia mbaya sana .Tafuta mtu 1 Hadi 5 .Kila siku asubuhi uhongee nayo na kabla ya kulala sema tu usiku mwema
@judyngowi3916 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu, mimi kuna ndugu yangu anaishi Tanga peke yake ikigika jioni sijamsikia lzm nimtafute
@florakibona80426 ай бұрын
Nimewaza kuwa hii familia hawawasiliani au ndo matajiri wapo hivi😭.. kiukweli tunatakiwa kupigiana simu kila sıku na ukiona ndugu yako hapokei simu siku nzima fanya mpango wa kumtembelea
@cbegram61615 ай бұрын
@@florakibona8042mi nakaa hadi miaka miwili😂😂😂😂😂 sijaongea na ndugu wala kuonana, hapafi huyubwa siku tatu mnamlaumu😂😂😂😂 sasa mm si ndiyo ningeoza na kuisha kabisa yani watakuja kuta mifupa hawa ndugu zangu😅😅😅😅 na hivi nalipa kodi ya mwaka😂😂😂 hta sijui kiukweli
@godfreyjohn38475 ай бұрын
Uyu s bensin machange nilisoma nae 😭😭 pamba sec
@saumsaid19666 ай бұрын
Hapa tunajifunza km unaishi pekee yangu uwe na utamaduni wa kusalimia kila siku asubuhi japo wazee au ndugu. Ili ikitokea siku hujasalimia. Wakutafute na waseme sio kawaida yake kutokupigia sm na kusalimia
@MaryMichaelMaryMichael-i7o5 ай бұрын
Hiv mbona hi Arushayetu matukio n ming sana as uku kwenye wilaya ya meru😢😢😢
Cku hz rahc kufa pekee yako yaan ndg zako unaweza kaa hata wk au Zaid na wacsh2ke kwa ukmya wako vjana muoe au mutafute ndg zenu Waco na makaz muish nao kama ndg unahc Hatareee bhac tafuta Dada wa kaz😢😢😢😢😢
@faidhamyovela1796 ай бұрын
Maisha yamebadilika sana
@FatumaJumanne-p4d6 ай бұрын
@@faidhamyovela179 Hakka 2naish kwenye don't spy malife
@cbegram61615 ай бұрын
Mimi nakaa hata miaka 2😂😂😂😂 sasa sijui itakuwaje😂😂😂😂
@FatumaJumanne-p4d5 ай бұрын
@@cbegram6161 Yaan ujiandae kuangukiwa na nyumba ndio kabur lako Maan unaweza ukute Umelipa kodi ya miaka mwenye nyumba hakudai utajzka mwenyewe 😂😂😂😂🤦♀️MUNGU a2str
@TrizzahWanjala6 ай бұрын
Poleni sana waaaah!😢😢😢
@safiakhamiss756Ай бұрын
Huyu mwamba kama sio mgeni
@rehemamnyeke6 ай бұрын
Sema nini Arusha ubinafsi ndio umetawala..kila mtu anajikuta ana maisha yakeee, mnaweza mkawa mnakaa jirani na msionane hata wiki tatu na bado mtu hastuki wala nini na hasa ukiwa wakuja umekwisha for sure😢
@jacquelinemwakasala95636 ай бұрын
Dah hiki kitu Tanzania hii ukienda sehemu ukiwa wa kuja shida sana
@AshuraMaulid6 ай бұрын
Kabiiisaa ubinafisi mwingi sana kule
@lucianagodson4376 ай бұрын
Sio kweli jmn labda mlikutana na WA bahat mbaya
@kanankirannko61746 ай бұрын
Kabisa huku mjini undugu ni siku ya msiba tu ,maisha ya kawaida kutembeleana ni nadra sana ikiwa muhimu sana mnaongea kwenye simu, ila vijijini hakuna maisha kama haya jamani wanatembeleana hii sio tabia nzuri kabisa .ukimkosa Jirani yako siku 2 mpigie japo napo kama kuna la kutokea upelelezi na uchunguzi unakuhusu
@Kibaadvocate6 ай бұрын
Hiyo familia itakuwa na shida ina maana siku tatu bila kuwasiliana
@FaithOluouch756 ай бұрын
Watu tunakaaa week kitafutana inategemea mnakaa nyumba moja au mnafanya kaz pamoja apo tunge laumu
@annafredinandmatandiko84386 ай бұрын
Et jamani
@IreneIsaya-ek5pc6 ай бұрын
Anaishi peke yake hapo na mpangaji mmoja tu ,mpagaji wake ni wakiume nq haishi na familia yake ni mtu wa safari
@naomikatharinaandrewmnkai67606 ай бұрын
Soooooo Sad😭😭😭😭😭😭kwanini afureee Kama c sumu ? Kwa Nini mumzike kabla ya postmortem?
@esamwakilasa5 ай бұрын
Point 😢@@naomikatharinaandrewmnkai6760
@shijandobehe49536 ай бұрын
Mhhhh sio kitu cha kawaida hiki kuna mawili kauliwa na watu au mambo ya Imani za kishirikina ikiwemo kutolewa kafala 😢😢
@Jurbeg6 ай бұрын
👍🤔
@kamarhelo6 ай бұрын
Kutolewa kafara nimekuelewa ndugubyangu
@evertheobald18115 ай бұрын
Kafara tuu hiyo, ck hizi kuna cm bhana kama angekuwa na changamoto lazima angemwambia mtu yeyote wa karibu naye
@peninashungu66336 ай бұрын
Mwandishi mwenye matukio yake mjini😅 haunaga tukio la arusi wa sherehe 😂, ww ni wapi wamekufa wapi wameuwana wapi, wamechinjana wapi😅tuko pamoja na ww ndugu mwandishi mpaka na ww tusikie tukio lako😅
@FatumaJumanne-p4d6 ай бұрын
Jaman Sasa Kla m2 c naktengo chake nmecheka kwenye 2kio la kucktsha 😂😂😂😂
@jovanafidelis28026 ай бұрын
Leo tu nilikuwa namtafakari korumba lebabaz ukiona amepotea ujue Arusha matukio yamepungua! Jana kaonekana kwwnye ajali ya moto
@salhawaziri16686 ай бұрын
Aongezewe mshahara kwa kwel
@aminatanzanya74756 ай бұрын
😂😂😂 Umefany nicheke kwa saut sana wakat habr ya huzun
@SophiaSophiapaulo-cj3ko6 ай бұрын
kwakweli jaman 🙌🙌
@steramwanakira71836 ай бұрын
Stay strong family I can feel your pains for the loss.
@azizaali6876 ай бұрын
Jamani arumeru haupiti hata mwezi tukio juu ya tukio Allah atupe mwisho mwema
@SalomeHaonga5 ай бұрын
Mara mtu kafufuka jana
@SalomeHaonga5 ай бұрын
Mara mtu kafufuka jana
@SalomeHaonga5 ай бұрын
Mara mtu kafufuka jana
@melanialeonard40315 ай бұрын
Hakuna part2?
@batashqiraa99365 ай бұрын
Binaadamu kulala ktk nyumba peke yake bila ya kuwepo mtu mwengine sio jambo sahihi, binadamu tumeekewa mitihani ya kila aina na Mwenyezi Mungu, kwaiyo lolote linaweza kumtokea na kwa wakati wowote kama kuumwa, kufa, kupata ajali nk kwaiyo binadamu sio sahihi usiku kulala peke yake
@Aidhjuma5 ай бұрын
Usiseme hivyo niko poke angu wenye nyumba wamesafiri leo siku ya Tatu na huku hamnaga ujirani😢😢😢Allah Atulinde
@SeverinoLuis-j1h6 ай бұрын
Uyo marehemu ana mke
@annamussa1856 ай бұрын
Eti mtoto wa tajiri,kifo hakichagui bro😂
@idarousomar16 ай бұрын
Kuna umuhimu mkubwa mno wa kuishi na majirani na kujichanganya nao vile vile
@mariasalomelukosi68466 ай бұрын
Au usikute alidhulumiwa
@kamarhelo6 ай бұрын
😢😢😢😢 mmmmhhhh jamani arusha haiishiw na matukio
@helentelemla56236 ай бұрын
Poleni sana wafiwa😊
@TimaMohammed-pn9eh6 ай бұрын
Pole sana kujuliana muhimu
@YusrahMohammed-rq1lz6 ай бұрын
Siku tatu tafrani duniani unanuka vibaya kila mtu hatamani ubaki kwenye ardhi na mortuary pia wanakukataa...lakin sie sie wanadamu tunaringa km hatuozi
@judyngowi3916 ай бұрын
Wewe acha tu , mimi nilishashtuka siku nyingi siringi
@NeemaSamson-ti8pc6 ай бұрын
Ndio hapo sasa ndugu yangu tumejawa na maringo tumesahau kuwa hii miili tulionayo ni uozo tu
@NeemaSamson-ti8pc6 ай бұрын
@@judyngowi391 bora umeshituka mapema umefanya vizuri
@AshuraMaulid6 ай бұрын
Na maisha ya saivi mtu akijipata kidogo tu kimaisha anaringa mnoo mimi nina wifi yangu alikuwa anasoma muda mwingi akihitaji msaada anapewa na kaka yake ambae ni mume wangu alikuwa mpole anaheshima anahuruma....jamani hii miaka mitano kajipata kapata kazi nzuri kafungua maduka ya nguo, viatu, jamani kawa mkali, mbinafsi hataki mawasiliano na ndugu anamtukana mpka kaka yake aliekuwa anamsaidia Mama yake mzazi aliumwa akawa anamnyanyapaa nyie kabadirika mnoo 😢😢😢😢
@sir_ENOCKMACHA6 ай бұрын
@@AshuraMaulid uyo ni mtu wa hovyo sana kwa kujisikia huko
@Klvn_Chriss6 ай бұрын
Arusha mkoa wa mambo na vijambo 😢
@VivianMinja-fu2gx6 ай бұрын
huy s ngomuo diwan 😢😢😢
@Jacklinejohn76 ай бұрын
Emu muwe munaandika kichwa cha habar vizur ukisema tajir mbona anaonekana namaisha ya kawaida tuu all in all mungu amlaze mahali pema
@jasmineeomary20416 ай бұрын
Na ww uwe unasoma vizuri amesema mtoto wa tajiri yani baba ake ndo tajiri sio yy woooii
@dorcaserick44736 ай бұрын
Yaan ni wapuuz sana cjui kwann apotoshe
@nancyg86646 ай бұрын
macho ya jackline yanashida
@husnathabiti41146 ай бұрын
Yule mdogo wa mtu mbona simuelew
@HalimaChuwa-kk5lt6 ай бұрын
@@husnathabiti4114dogo anajikanyaga sana
@seifibrahim38836 ай бұрын
Mtajua vp na mtu kazikwa ata bila kuosha kaharibika, aiwezekani kujua sababu ya kifo ni kumuombea kwa mungu aende salama
@RobertRange-uf3rf5 ай бұрын
Ukisikiliza maelezo ya huyu mtoto kuba haja ya kuhojiw na police
@gracekagoma32316 ай бұрын
Police chunguzeni vizuri😮😢
@chikujuma186 ай бұрын
Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake
@hellennehemia92696 ай бұрын
Nyie kifo ni fumbo sana💔eee mungu tupe mwisho mwema💔
@tatusalehe87756 ай бұрын
Tujitahidi kuishi na watu ndani ya nyumba hata msaada mdogo unakosa
@linnerphilip42606 ай бұрын
Hata postmotum hajafanya au but😢 he was handsome
@farajiissa5605 ай бұрын
Mungu mm nakaaa mwenyewe geto nilinde rafik yangu ni mama tu
@Aidhjuma5 ай бұрын
Kwani huna majirani?
@hkaniugu2 ай бұрын
Kama mimi tu 😢
@InjiliyaUfalmetv6 ай бұрын
Msimlaumu mdogo wake angeingia moja moja napo pangekuwa na tatizo hii nchi ni shida ,Na pia kama anajichanganya kujieleza Kufiwa nikugumu mno ,Binafsi huwa sijui kujieleza