Bro unasema kweli kabisa, yaani uko sawa kabisa, big up. Yaani Sisi WaTz hatuna furaha kabisa na nchi yetu.
@SalumAmurHamad2 күн бұрын
C C m, imekataliwa, ndomaanayake wanafanya mambo yakimaajabu ya Upuuzy naujinga, huouchaguzy ni kharamu uchafuzy mkubwa, c C m, hawako Tayary na Democrasia,
@MiriamAziz-z5t8 сағат бұрын
AIBU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA MH. RAIS SAMIA MWENYEWE....CCM....WATENDAJI WA SERIKALI YAKE....USALAMA WA TAIFA NA POLISI... TANZANIA IMEKUWA 'KICHEKESHO' CHA DUNIA!
@rbmdavies882 күн бұрын
Yani kama hawataelewa hii fact cjui lakini hii inatosha kabisa yani ckawahi kusikia speech kama hii imejaa ukweli usio mithilika hapa kilichobaki sasa watanzania....
@ZaidAKissinza2 күн бұрын
Yaani mpaka mseme!!!!
@yassinnabwera42732 күн бұрын
@@ZaidAKissinza Kama una akili timamu huwezi kuisifia CCM kwa haya mambo ya hovyo na ya kishenzi,ya kinyama na ya kijinga wanayoyafanya kwenye hii nchi yetu labda uwe huna akili hamnazo na huna akili timamu.
@JonathanMgaiwa2 күн бұрын
Unalaumu chadema, ulitaka wafanye nini toa basi the way forward. Wananchi wenyewe wamekuwa mabwege sasa chadema wafanye nini, wauwawe wote?
@matiredms9172 күн бұрын
Ni kweli kama walioharibu uchaguzi CHADEMA wanahusikaje na uchafuzi huo. Oneni haya kutoa lawama kwa wasiohusika.
@yassinnabwera42732 күн бұрын
Hujamwelewa,yeye alitaka Chadema ikatae kushiriki huu uchaguzi.
@JonathanMgaiwa2 күн бұрын
@yassinnabwera4273 wangekataa msingejua ujinga wa ccm, wangejificha kwamba wameandaa uchaguzi huru wapinzani wameshindwa kujitokeza
@Jonathan Mgaiwa ni kweli unalosema wangekataa kushiriki uchaguzi CCM wangesema Wameandaa uchaguzi wa huru na haki hivyo kushiriki kumefanya tuzifahamu nia yao ovu!
@yassinnabwera42732 күн бұрын
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa letu inayoletwa na Serikali ya CCM
@gowekogoweko5803Күн бұрын
NAOGOPA TRUMP AKIYASIKIA HAYA ATATUTUKANA TENA😢
@JuliusNdodsa2 күн бұрын
Eti wameshinda kwa kisindo
@fabby11812 күн бұрын
Kwa sababu mkewe anakifua kipana😄
@fabby11812 күн бұрын
Halafu mkewe ana kifua kipana
@teresiagama35782 күн бұрын
Vyama vya upinzani unganeni uchaguzi urudiwe
@marcokaroje89802 күн бұрын
Uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa (blind) hovyo sasa kama umetekeleza ilani yako ya uchaguzi askari na makarandinga kwenye vituo vya kupigia kura wa nini?risasi za moto za nini? Kama siyo uvunjaji wa amani au hayo matendondiyo maendeleo mliyotuletea siku ya uchaguzi Mimi naona walioko madarakani kuna kitu wanakiogopa kisitokee wakishindwa kura