Pole sana mama hata mishawahi kutapeliwa hivi Kwa bahati nzuri nilifanikiwa kumkamata mhusika na Hela ikarudi
@nehemiahbudi57538 ай бұрын
Hao walionunua babati walinunua kihalari kutoka kwenye duka so kesi lazima iwe na mwisho wa mipaka. Watuhumiwa wamekwisha kamatwa kwa kosa la utapeli, kugushi lisiti na wengine kununua bidhaa bila ya kufuata utaratibu, kukwepa kulipa kodi ya manunuzi ila wa mwisho yupo kiharali hatakiwi kubugudhiwa kwani amenunua kiharali kutokea duka lenye usajiri na kupatiwa lisiti halali.
@stanslausbernard59508 ай бұрын
Wewe mama ni mwamba kwelikweli. Hongera kwa kuwakamata hao matapeli.
@PriscaMallya-eo9lw8 ай бұрын
Asante ndugu 🙏
@mariamuyusuph21968 ай бұрын
@@PriscaMallya-eo9lw😊😊😊😊😊
@MaishaBabu-m2g8 ай бұрын
Anatapelije mchaga aisee lazima akamatwe
@neema-ee6qm8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂@@MaishaBabu-m2g
@MimiIta-m9j19 күн бұрын
Kwan mchaga ni nin wanaibiwa tu kama wengine,
@dorahmushi-we6tsАй бұрын
Hongera mwanamke wa shoka, hukukata tamaa, wewe ni mwanamke jasiri sana, wanawake tunaweza....wanawake, tuchague viongozi wanawake, tuna uwezo mkubwa sana.
@nadirmahfoudh18128 ай бұрын
Dada umepambana vizuri sana. Nakuombea kwa Mola ufanikiwe ktk kesi yako. Karibu Zanzibar
@ROZITHOMAS-y4q8 ай бұрын
Polisi babati serikali itazamwe hilo. Mwizi amekamatwa na kithibiti askari hawaangaiki. Mbaya sana tena sana
@altonkanjolonga23808 ай бұрын
polisi wetu changamoto sana
@joharitamimu71417 ай бұрын
Kiukweli polis babat sio salama
@alawiali3475Ай бұрын
Washamegewa fungu wamalize mchezo.
@mfwimiekayuki86928 ай бұрын
Hawa ndiyo polisi wa Tanzania.Mama Pole sana.
@PriscaMallya-eo9lw8 ай бұрын
Asante inaumiza mnoo,, Mungu wa mbinguni atanitetea😭
@agathabaraka60778 ай бұрын
Pole mama kwa mfanyabiashara kuibiwa na dhuluma ni jambo la kuumiza moyo na biashara. Pole Mungu asimamie haki yako.
@josephlorri4318 ай бұрын
Pole mama wa nguvu.. mimi walitaka kunitapeli mazao.. gunia 105 za mahindi (mkenya na m-tz)..tena walikuja shambani wakati wa mavuno.. niliuliza salio kwa mtandao,sikuona pesa..walitaka kufanya fujo..lakini nilishawaita askari wa kituo baada ya kutoona pesa kwa a/c.. Nilikataa wasipakie hadi salio isome..
@mohamedzungufya51518 ай бұрын
Na ndio inavotakiwa, ni mpaka pesa au muamala ureflect kwenye account yako ndo utoe Mzigo
@Deedah48 ай бұрын
Sio wewe tu kuna rafiki yangu yupo njombe anakitengo alikuwa anadhulumiwa mil24 Mungu alisaidia na alikamatwa huyo tapeli na hela akatoa
@hanifasupplies21098 ай бұрын
Pole dada,umepana na mungu akutangulie. Je police babati mna maanisha nini hasa,kubakia na kielelezo cha kesi ya singida. Swala hili haliitaji maelezo.Watanzania tuwe wazalendo, Je vipi kitendo hiki ungefanyiwa wewe , Tafakarii.
@rasnchimbi8 ай бұрын
Huyu mama apewe tuzo ni shujaa kapambana na uovu na kujulisha umma,alipwe gharama alizotumia.
@fatmaahmed86378 ай бұрын
KWELI KABISA hayo maneno.amefatilia mwenyewe safari zote.na bado Wanamzungusha sio wakumpa nguvu.kila kitu kiko wazi..
@JenniferJacob-hh3ij8 ай бұрын
Pia anakuwa Hana zuluma ndo maan
@AzizaMengwa-wg5ikАй бұрын
Hongera dada,pole sana mungu atakusaidia haki yako utaipata,tu mama jasiri, naunastahili pongezi
@latifahassan1238 ай бұрын
Pole sana dadaangu na hongera pia kwa kupambania haki yako mpaka hapo ulipofikia.. mwenyezi mungu atawapa stahiki yao
@PriscaMallya-eo9lw8 ай бұрын
Amina inaumiza sana 😭😭
@BeatriceMrema-r8t10 күн бұрын
Mchaga kwenye kusaka noti hanaga mchezo. Bg Up Mama. Nyie tapeli mjipange upya!!
@frankkashner8 ай бұрын
Mimi nimeameibiwa mzigo wangu ofisi ya kilimanjaro tarehe 25/04 Nilihangaika hivi hivi mzigo nikaja kuukamata Arusha mtuhumiwa anangania ni wake mpaka imefikia tumeenda mahakama ya mwanzo moshi, Lakini hana risiti hata moja wala hajui mzigo ulipopstikana leo ni siku ya 20 bhado ninahangaikia mzigo wangu naamini Mungu atasimama kwenye haki maana mtuhumiwa anajua sheria sana na anauziefu na Mahakama lakini mimi ndio hatua yangu ya kwanza kufika Mahakamani
@annastaziabega4474Ай бұрын
Jamn matapeli muwe n huruma, mimi nimetapeliw zaid y ml 13, mpk leo ninalia tuu
@marcondokeji898226 күн бұрын
Pole sana Bwana Yesu akusaidie.
@CarlB5224 күн бұрын
Mtu yoyote ambae anaingia kwenye chanel yako kwa lengo lakuharibu ugali wako na familia yako mtu huyo usisite kuumaliza maana usipomuwahi wewe atakuwahi ...elewa neno kummaliza
@w405817 күн бұрын
Subhanallah Allaah atakufunguwa kwa njia nyengine ilokuwa na kheri zake
@w405817 күн бұрын
Polisi wetu hukoo mtihani mtupu
@hajjiomary23838 ай бұрын
Pole sana dada ki2 ambacho nimejifunza tanzania tuwe makini tusipate matatizo coz ukiwa na tatizo tu .ujuwe wewe ndo unakwenda kupoteza pesa .kufatilia case mpk kumaliza qe ndo utaingia garama mpk uwache
@HabibuHoseni-sv8hd8 ай бұрын
Hiii nchii ni ngumu sana yan kielelezo kimekamatwa lakn bado tyu 😢😢😢khaa dua ya mdhulumiwa hairud mama mungu atakusaidia na haki yako itapatikan tyu usiwe na shaka upo na mungu alie hai mam
@stevenmwenda30058 ай бұрын
Naongea kwa uchungu hata mimi yalinikuta Arusha gari langu limeibiwa nimelipata police twende tukalikamate tu lije kituoni sehemu salama nimezungushwa mpaka unasema police mnaintrest gani na hilo gari kulikamata kulileta police shida na upowafuatilia police twende kwenye tukio unazungumshwa yaani yakiwakuta watu yaliyonikuta na kama huyo ndo mtajua ninachokisema na huyo mama anachokisema
@bennylove60218 ай бұрын
Hukuwapa ushirikiano😂
@stevenmwenda30058 ай бұрын
Kweli inasikitisha sana na hizi dhulma wanazokula hawajui wanawalisha familia zao dhulma baraka zipi za mungu wanazozitegemea wanakula vyakula wanajiona wajanja kabisa kwa fedha za dhulma inasikitisha sana wazazi wao waliwasomesha kwa shida ili waje wafanye dhulma kwa wengine aibu sana
@GdFf-ik2eoАй бұрын
Pole sana mwanamke mwenzangu mpambanaji Kwa kweli wexi watu wabaya wanarudisha nyumanmarndeleo Dhuruma mbaya Umapata mwisho mbaya pkn watu ndiyo wanadumu kudhurumu Polesn
@BeatriceMrema-r8t10 күн бұрын
Mama Bg Up. Ila askar mjitathimini. Muache kuchumia tumbo kwa makosa yaliyowazi nanyie kuyafumbia macho.
@rafikiwildlife42638 ай бұрын
Hongera sana Mama unastahili tuzo ya heshima
@MohadiTv2 ай бұрын
Kaka ukiwa tajiri kama ivi lazima ujipange
@tielyelibariki895825 күн бұрын
Nakupa pole sana mama hakika we nimpambanaji sana umefanya kazi kubwa sana
@apostle_AngazaGN8 ай бұрын
Pole sana mama, Mungu atakuwa hakimu wako na haki yako itapatikana
@PriscaMallya-eo9lw8 ай бұрын
Kabisa naiman Mungu atanitendea muujiza🙏
@margaretmkangala777420 күн бұрын
Pole sana Bwana amefanya njia pasipo na njia na atakuwezesha kwa jina la Yesu
@abdalamwingwa99256 күн бұрын
Pole Sana Mama Mungu Atakulipa Kwa Jasho Lako .
@BrightonySililo4 күн бұрын
Ww hard ware mtu awez takwa na jasho
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Honger sana kwa hilo umepambana vya kutosha ingekuwa mtu mwingine angekata tamaa
@yukundapeter82008 ай бұрын
Pole sn Mom! Mungu ni mwema.Hayo mambwa yachomwe moto bhana.
@stanslausbernard59508 ай бұрын
Jamani mtendeeni haki huyo mama. Ameteseka sana. Hapa jeshi la pilisi limeonyesha udhaifu mkubwa. Sijui Kuna kitu gani kinachoendelea.
@alawiali3475Ай бұрын
Matapeli washawahonga hao.
@alawiali3475Ай бұрын
Mama hongera kwa kupambania haki yako na kufanikiwa kuwakamata matapeli,hongera sana.
@JumaMukide8 ай бұрын
Pole sana mama makibona haki Yako itapatikana tu 15:10
@fatmaahmed86378 ай бұрын
Hongera sana Dada..wanakana au kuwa wataratibu hawamslizi kazi kuwa wamewajua hao😅 HAKI YAKO ITATOKA KWA JINA LA ALLAH.na wao wanafanya hayo na wanaodjiriki Mungu atawahukumu
@finaakyoo60383 күн бұрын
Yaaani wewe ni mama wa Nguvu Mungu akutetee upate haki yako
@evancetilya1678 ай бұрын
😢Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika kipindi hichi kigumu unachopitia na ninakuombea upate haki yako
@nassorowaziri30768 ай бұрын
Pole Sana Dada na Mungu wangu atakurudishia na mm pia lilishanikuta
@stevenmdoga84148 ай бұрын
Ila huyu mama huwa anadharau Sana dukani kwake basi tu 😂😂😂😂
@simbafuns785kviews8 ай бұрын
vm.tiktok.com/ZMMXhk3yN/
@simbafuns785kviews8 ай бұрын
vm.tiktok.com/ZMMXhk3yN/
@FarajaSijaliАй бұрын
@@stevenmdoga8414heee kumbe
@julianasongolo57108 ай бұрын
Pole sana dada utapata haki yako umepigana sana Mwenyezi Mungu akusimamie.
@AnnastaziaNgozi10 күн бұрын
Hongera sana pisca kumbe ulihama khm uko siginda
@lushiligolegwa40259 күн бұрын
@@AnnastaziaNgozi eeh yupo singida ginery huyu mama
@nicholausmramu8 ай бұрын
Dada pole sana Umepambana sana ila ndohivo tena Mungu Hatokuacha kamwe
@bobdutchbobdutch84438 ай бұрын
Pole sana sister, next time usitoe mzigo mpaka umepata massage kwenye simu Yako
@issalyanali4119Ай бұрын
Siku zingine mtandao kutwa mzima changaoto ,,atafanyaje?
@alawiali3475Ай бұрын
Dawa pokea cash money@@issalyanali4119
@w405817 күн бұрын
Suala nalo
@ndukulusudikucho_8 ай бұрын
Hiyo michezo Polisi wa Babati wanaijua Ndo mana hawakutoa ushirikiano, Ni hatari kuwa Watumishi wanao sahau Viapo hasa likija suala la kulinda raia na Mali zao, hii inatisha Sasa piga picha kusingekuwa CCTV Camera?? Au KZbin? Kwa Miaka Mingi Kuna kundi la Majambazi ndani ya Jeshi la POLISI Sasa hizi technology Ndo zinawaumbua
@DonataJoachimu8 ай бұрын
Pole sana Prisca kweli jasho la mtu alipotei hongera kwa kupambana makibona.
@EmmmaTembo8 ай бұрын
Siku waongo na wezi wakiisha na waaminifu waka jaa kila mahali tangu siku hiyo kila mtu ataona dunia ni sehem nzuri ya kuishi
@josephlorri4318 ай бұрын
Hiyo siku haipo... kuzidiana ujanja ndo raha ya maisha... huko wanakofundisha uaminifu wezi nao wamejaa
@stevenmdoga84148 ай бұрын
Acha anyooshwe maana huwa anadharau Sana dukani kwake😂😂😂😂😂
@Heal.your.soul928 ай бұрын
@@stevenmdoga8414acha roho mbaya ipo siku utakuja pata shida na wewe
@khadjamhozya7 ай бұрын
Haitatokea mpaka mwisho wa dunia
@khadjamhozya7 ай бұрын
@@stevenmdoga8414kumbe
@JacklineMnganya8 ай бұрын
Watu watafute pesa kwa njia halali tuepuke njia za mkato Kwan hujui Mungu alikomtoa mja wake na kuamua kumbariki. Hongera sana mama shujaa
@margarethsaramaki39668 ай бұрын
Pole dada japo umehangaika ila mwenyezi Mungu atazidi kusimama nawe ni haki yako na Mungu atatenda 🙏🏼🙏🏼
@RenaElsworth8 ай бұрын
Pole sana. Umoja pia umeleta mafanikio mazuri. Hongereni
@benjaminwerema87588 ай бұрын
Hiyo michezo tumeizoea sana Huku Dar. Tunawakamata sana hao
@FahiyeFarah68788 ай бұрын
Pole sana kwa Mama itakuwa Alikuwa amechoka sana siku hiyo lakini ndugu zangu risiti pekee ambayo inaweza ikawa halali ni risiti ya machine ya wakala tuu because pesa ikishawekwa unatumiwa message directly kwenye simu na bank Husika Example UTAONA KWENYE TEXT IMEINGIA MESSAGE MTUMAJI CRDB BANK ALLAH AWAJALIE WAFANYABIASHARA WASITAPELIWE AAMIN
@magrethmbangama11998 ай бұрын
Dah pole sana mpenzi ck nyingine biashara za kuweka fedha bank angalia salio kwanza kabla ya kutoa mzigo ndivyo wanavyo fanya kariakoo.
@bahatielias64438 ай бұрын
Kabisa yaani
@annabyekwaso-wt7oi8 ай бұрын
Safi ni ushauri ht mm nimesema mbona simu utujulisha km mtu kaweka pesa au la!Nmb crdb nk zimesetiwa kisahii sana .
@Fx_expertmoneymaker0018 ай бұрын
@@annabyekwaso-wt7oikama ameunganisha na sim banking. Lakn pia muda mwngne mtu unachanganyikiwa. Mteja kaja anachukua mzigo mkubwa kwa mara moja yaan unawaza jinsi ya kumuhudumia haraka arizike aje tena, na hujauza mzigo kama huo mda mref kwa mkupuo, yaan unachanganyikiwa unaona kama zali. Kumbe ww ndo wamepata zali kwako. 😂
@faithjonathan38452 ай бұрын
@@Fx_expertmoneymaker001Mfanyabiashara kuchanganyikiwa kwa ajili ya pesa ukajisahau kutuliza akili hapo tayari huna sifa ya kufanya biashara😅
@DottoCharles-j9jАй бұрын
Yani hawa.wezi nahisi Huwa wanatumia dawa kabisa😂😂😂
@Deedah48 ай бұрын
The struggle was real mama hongera sanaaa na pole sanaaa
@mauajuma37628 ай бұрын
Pole Sana dada prisca MUNGU yupo pamoja nawe endelea kupambana haki opatikane Sadaka yako unatoa kanisani haitakuacha mali ipotee
@PriscaMallya-eo9lw8 ай бұрын
ASANTE DADA MAUA NI MUNGU TUU ALINISIMAMIA MUMMY
@Afsa-z2v8 ай бұрын
OngerA SANA DADA UMEPAMBANA SANA HILO POLISI WA BABATI NI WEZI PIA KWanini hWatoi ushirikiano
@monicakimario29108 ай бұрын
Pole sana Mama, Mungu hatakuacha. Jipe moyo
@kennedyjohn89008 ай бұрын
Hongera kwa polisi wachache wanaojuawa wajibu wao waendelee kumsaidia
@yusuphchristopher30148 ай бұрын
Pole sana mama polisi wetu wana udhaifu mkubwa kwenye ufuagiliaji wa kesi za raia hasa pale wanapoona kama hawana maslai watakayopata, mimi hadi leo nina RB ya polisi ya wizi wa shilling milioni moja na laki nane kwenye biashara yangu tangu 2023 mwezi December ila mpaka tunavoongea kila nikimtafuta askari wa upelelezi niliyekabidhiwa kufuatilia kesi yangu hana msaada wowote zaidi ya kutaka hela, nimeamua kuachana nayo maana niliona napoteza hela zaidi wakati tayari nilishapata hasara
@dominicklabu57288 ай бұрын
Wewe umeonyesha ushirikiano wowote au umemwachia tu mpelelezi
@omarymbaraj80728 ай бұрын
Mama Mkwe hongera sana Mungu atunusuru na Watu wabaya
@wisperfect53208 ай бұрын
Pole sana dada Umepambana sana dada lakin tujufunze kuangalia salio na siyo slip tu kwa pesa nyingi kama hizo na pia naona hao wanajuana na polis iweje vieleezo visiende polis
@hellendaniel38098 ай бұрын
Hongera sana dada. Mimi nilitapeliwa police Arusha hakuna kitu walinisaidia lkn nahisi naenda kufufua RB sasa.
@sarahbuberwa72198 ай бұрын
Hongereni sana polisi wa Singida kwa kazi nzuri
@tumsifumunuo26028 ай бұрын
Mama ww ni mpambanaji. Hongera sanaa
@rukiasalim33768 ай бұрын
Mimi nimeibiwa maharage gunia kumi tumewakamata wezi wakakubali ni kweli wameiba wakawekwa ndani, mwisho wa siku watuhumiwa wote waliachiwa Kwa kutoa pesa Kwa askari mpelelezi wa hiyo kesi, na katika kuwakamata hakuhusika na hakutoa ushirikiano hata kidogo, mtuhumiwa mkuu alitamka yeye mwenyew kutoa laki Tano na ndo alikuwa mtu wa kwanza kuachiwa. Yule askari mungu amlipe sawasawa na matendo yake
@wailosvijevania10498 ай бұрын
Nchi yetu Askari wala Rushwa wanafanya maovu yahalalishwe na wanyonge waendelee kukiona cha moto
@beatricejohnkomba30768 ай бұрын
Mlaani mungu anajua kushungulika nao wanasahau Dunia tunapita
@KasangaKalanga-vo6od8 ай бұрын
Pole sana mama na hongera kwa kufuatilia mali yako bila kukata tamaa
@gibrilmongi56468 ай бұрын
MCHAGA SIO MTU WAKUCHEZEA , HELA ANAIJUA HASA, SUPERWOMAN
@EliauMtishbi-os5ky8 ай бұрын
Congratulations cna Momy Kwa ujasiri inuliwa na Bwana
@Aminmwansile-we8vn8 ай бұрын
Pole sana mama mungu akufanyie wepesi katika hili
@agneselia90008 ай бұрын
Mama unamungu kweli na inaonyesha hujawahi kudhulumu mtu.
@JenniferJacob-hh3ij8 ай бұрын
Kabisa Yan kabisa
@dorahmushi-we6tsАй бұрын
Mali halali, Mungu atailindaga tuu
@dorothmsuya16868 ай бұрын
Yaani jamani mbona wanazidi kimuumiza dada wa watu mpambanaji? Yaani wanagushi hadi risiti za Bank na za TRA! HATARI!!
@uwezawamungumkuu.amaniafrika8 ай бұрын
Dunia hii imejaa kila hatari. Pole sana mama. Pokeni hela taslimu. Dunia majaribu.
@stevenmdoga84148 ай бұрын
Acha anyooshwe maana huwa anadharau Sana dukani kwake huyu mama
@bahariawalk8 ай бұрын
Pole Sana Mama, alakini ukifikia lengo fulani ya kibiashara lazma ku ajiri accountant ambae anahusika na hesabu maana mfanya biashara mkubwa ukiwa busy kutapeliwa nivirahisi Sana. Isitoshe kufanya biashara na bank ambayo ina technologia ya mobile banking mambo yanakuwa rahisi Sana maana wakati ulitumiwa receipt kama wamesha weka hela Kabla ya kupakiza mzigo wewe mwenyewe ungetumia simu yako ama computer kwa ku cheki.
@masoudmakoe5618 ай бұрын
Daha mpaka hapo mama amshukuru mungu kwa hatua hii nampa ploe gharama kubwa sana atakua ametumia na hao polisi wa babati wanashirikiana na huo mfanyabiashara anae nunua vitu vya wizi.
@agnesmartin57168 ай бұрын
Daaah jaman utapel umekuwa mwingi sana
@rosekiwale830210 күн бұрын
Prisca hutapungukiwa daima
@abbynimel-kindy51078 ай бұрын
Dah mtihani kwakweli bongo kweli njoosooo
@summanelson55238 ай бұрын
He bila kuangalia salio kwenye akaunti!!!! Mbona ulitapeliwa kijinga!!! Ila umefight mama kumpata mtuhumia wako!!! Ila huyo aliyekataa gari na mzigo kuchukuliwa Mungu anamuona!!!! Mama Mungu atakulipia!!!!
@bakaribakari64448 ай бұрын
Hawa jamaa huwaga kama wana Kidawa hivi...usiombe ya kukute
@monicagerald66768 ай бұрын
Yaani benki wameturahisishia sana maisha, simbanking,internet banking,app za benki,ukiweka hela Tu ndani ya dakika kadhaa zinaonekana. Watanzania hatupendi technologia,hii inatucost sana.
@RBSMABATI8 ай бұрын
Ni hivi, Hawa jamaa wanakuomba account namba wanaenda kuandaa malipo kwa njia ya cheque. Wanaenda kudeposit amount ya iliyopo kwenye cheque ikinaonekana kama imewekwa kwenye akaunti. Kumbuka cheque ni promise/ahadi kwamba utalipwa pesa flani. Kwahiyo kwa Mara ya kwanza Ile pesa utaiona benk lakin utaambiwa fulan ataweka pesa kwenye akaunt yako kiasi flan kama cheq. Hii nimeishuhudia Mara 2. Na Mara nyingi wanakuja jumamosi na wanakuwa na haraka wakati huo ww unataka kufunga duka ndo wanaingia. Hii hata ww inaweza kukukuta.😢
@fredricksabick-hi1fl8 ай бұрын
@@RBSMABATIkumbe kuna uwezekano wa hela kuonekana na baadae kutoweka😢
@vailethmbulule83398 ай бұрын
Malipo ya cheque yalitaka kunicost ila nilistuka mapema
@jumapiliissa48358 ай бұрын
Polis wamepewa ala wasenge sana ila M/MUNGU kasaidia mpaka apo ulipofikia utapata hakiyako
@PaulinaSengasu8 ай бұрын
Mungu tusaidie wafanya biashara wote hii balaaa sana
@FelisterBazil19 күн бұрын
Pole sana mama wewe ni kamabda mungu akusimamie update haki zako
@johnmsaki79208 ай бұрын
Hongera sana shujaa wa kupambania haki yako
@rahabnkya82768 ай бұрын
POLE dadangu mpendwa umesumbuka, na kama hukuwa na nuda na pesa, hata mabati usingepata bahati iko mikononi mwa Mungu mgawa riziki.
@judithgodfrey65038 ай бұрын
Kama hupati notification ungeangalia Salio dada😢
@SHAFIIMWEHEMBA8 ай бұрын
Kasema alishakwenda benki kutoa salio kakuta hamna
@nasirmohamed15898 ай бұрын
Naona alikuwa busy akaamini muhuri na sahihi hajaangalia print
@ahz69078 ай бұрын
Hata notification wanaweza kutengeneza.kwahyo ni vizuri kuangalia salio 😂
@gibsonjosephat63528 ай бұрын
Notification inatengenezwa wewe.
@stevenmdoga84148 ай бұрын
Acha wamnyooshe maana huwa anadharau Sana dukani kwake huyu mama alinidhulumu mwaka Jana tu hapa mungu yupo asee😂😂😂😂
@janifajani88758 ай бұрын
Kweli haki yamtu aipotei buree ongera mama shujaaaa❤❤❤
@alphoncekagezi49508 ай бұрын
Kwa wizi huo kuna namna mifumo ya bank iliko akaunt ilihusika ama tapeli husika ana vifaa vya electronic anavitumia kutapeli mali.
@SudiChima5 күн бұрын
Kughushi nyaraka za Serikali Ni Kosa Kubwa Sana Kwa Tanzania!! Jeshi la Polisi na Mahakama fanyeni Kazi vyema, Exhibit Vipo sasa Kwanini wasitiwe ndaniii.??? #SisiNiTanzaniA #SisiNiWajenziWaTanzaniaYetu #JudiciaryOfTanzania #SSH
@KokoFimbo8 ай бұрын
Babati apo si ndio kesi ya mbunge imefutwa vile?
@leticiachunga91188 ай бұрын
Babati msumari wa bati 😂😂😂😂 Mungu ndio anaijua babati na mwenye kuikomboa ni Yeye Mungu tu. Wasameheni askari sio wamejitakia ila wameogopa msumari wa bati🤣🤣🤣🤣
@MariaIsaya-y2y8 ай бұрын
Pole Sana dada angu
@AmianaMavura8 ай бұрын
Hongera mwwaya kwa upambanaji
@SophiaKamgunda8 ай бұрын
Kwanza na dereva kanusurka wangemuua
@edinakyaruzi92268 ай бұрын
Kweli kabisa
@mohamedmahera246112 күн бұрын
⅝hyggvhhikj0p0000pp788
@PendoMwagala12 күн бұрын
Polesana mama hivi kwanini wezi wanaachiliwa hivi wangekuwa wanauwawa naona hakungekua na wezi au matapeli Tanzania wanaturudisha nyuma sana kimaendeleo tumewachoka tunaangaika wanakuja baba kiurahis tumewachoka jamani
@kagenzikanala1098 ай бұрын
Duhhh aisee hii nchi yetu.... pole sanaa mama
@stevenmwenda30058 ай бұрын
Tutakimbilia wapi sasa jamani kama kweli kuna kufufuliwa na kusimamishwa mbele ya aliyetumba Mungu tutapata shida na adhabu kali sana
@LovenessFedrick-cy9fh8 ай бұрын
Hao wanaoghushi SI itakuwa wafanyakazi wa bank
@stevenmwenda30058 ай бұрын
@@LovenessFedrick-cy9fh kabisa hao watu waliokamatwa wabanwe wakaonyeshe kama ni mfanyakazi wa Bank siri ifichuke wabanwe wawe mfano kwa wengine kama sio Bank basi wakaonyeshe machine wanaotumia kufodge inawezekana ni mtandao mkubwa sana
@2116-n8 ай бұрын
Mama poleee Sana, POLISI POLISI POLISI ni laaaana
@LerwenceokuloMolle4 күн бұрын
Very good but usijali Kuna mungu
@teddymassawe35838 ай бұрын
Eka sana Mure nimekupenda sanaaa,yaani wewe ni mwanake balaa na nusu
@greenwellnsyukwe47298 ай бұрын
Ni Hatariiii Kwa kweli, hawa matapeli ni wengi Kwa kweli, hata kwenye Lipa namba hizi siyo.
@isayahlesurwa3078 ай бұрын
Pole sana mama usijali mungu atakupa nyingi.
@MsNajma-e6e8 ай бұрын
Waray nawachukia wezi hawa wa kitaperi me nimeibiwa mirioni nane warai mungu awarani na hataturipia pole my
@michaelKilonzo-p3j12 күн бұрын
Kumbe tz kenya ya pili jamani! Inaitaji MUNGU 2!
@djbaddest12208 ай бұрын
Bonge moja la wakili 🎉
@edinalihedule76098 ай бұрын
Mungu atakupatia haki yako mpnz🥰🙏
@noeltheson27507 күн бұрын
polisi babati, polisi babati , polisi babati..
@ScopionScopion-zj9cd8 ай бұрын
happo kwa peter madereva limefika niwakili makini sana ramda waamue kuzulumu2
@philimonmtweve45228 ай бұрын
Huyo mwenye duka iribidi achukuliwe hatua za kisheria kwa sababu kakutwa na mali zawizi inamaana duka lake lote nilawizi tuuu
@awadhally10528 ай бұрын
Kwel kabisaaa
@nigistsheikh78198 ай бұрын
Kabisa
@lodrickmwambene1338 ай бұрын
Sijaelewa
@franciscoabushiri80658 ай бұрын
@@lodrickmwambene133alienunua mzigo kutoka kwa wale wezi achukuliwe hatua
@ashurajengela39268 ай бұрын
Dah mtu unapambana weee anakuja mtu kukutapeli mwee 😢😢😢 pole sana
@richardbamanyi-gu5jp16 күн бұрын
hongera Mama kwa kupambana
@xaverisunday6998 ай бұрын
Inamana hapo kituo cha polisi hakuna dereva wa kuendesha gari au ni dili lenu pmj