INAUMIZA “MKE WANGU NA WATOTO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA, NIMEWEKEWA SUMU NIFE”

  Рет қаралды 158,873

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@mamakayla6697
@mamakayla6697 6 ай бұрын
Ee Mwenyezi MUNGU, mwingi wa rehema,msaidie huyu baba,ameitumikia Tanzania lakini hakuna anayejali,mmmmh!!!😢😢😢😢haki yake MUNGU anaijua,kama hawakuhusika,mwezi huu wa 7 wataachiwa huru kwa jina la YESU.Zaburi 71:1 MUNGU ameamuru,tutakakokwenda siku zote,tuokolewe.Hii familia iokolewe kwa jina la YESU. Amen
@jacquelinekennedy5740
@jacquelinekennedy5740 6 ай бұрын
Amen 🙏
@anithamassawe401
@anithamassawe401 6 ай бұрын
Amen
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
Ishaalah watatoka wahame huko kibosho,wa peleke moro
@aloycesamba998
@aloycesamba998 6 ай бұрын
🙏
@matha3758
@matha3758 6 ай бұрын
Amina ,mungu atatenda
@dycemullah3254
@dycemullah3254 6 ай бұрын
Bado kitambo kidogo mzee wangu utafika mwisho wa shida hii Mungu atakupa ushindi usioutegemea……Amina 🙏🏿
@allykama3352
@allykama3352 5 ай бұрын
Amiin
@Kyeli-ct4vo
@Kyeli-ct4vo 5 ай бұрын
Amen, hilo ni shambulio la kiroho. Msogelee Yesu, atakushindia magumu. Utapata faraja na amani moyoni mwako. Shida zitatatuliwa kimbingu, yaani kwa namna ya ajabu.
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 4 ай бұрын
Amiin
@LucasMapundu
@LucasMapundu 6 ай бұрын
Ata ongea ya huyu mzee wangu. Anaonekana anabusara na hekima sana na anaonekana dini. Imekaaa anahuruma na anaujua utu. Mungu atakujibu mda so mrefu shekhe wangu amen
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 6 ай бұрын
Alitakiwa ataje simu yake hapo ili apate msaada. Sasa hata tukiomba namba yake, hatuwezi kuiamini. Inasikitisha sana kwa Gynecologist kuishi maisha hayo. Tunaomba haki itendeke 😢😢
@AngelaLyimo-d7x
@AngelaLyimo-d7x 6 ай бұрын
Kweli ❤
@NeemaDavid-uj8sr
@NeemaDavid-uj8sr 5 ай бұрын
Duh so painful
@flaviafaustine43
@flaviafaustine43 3 ай бұрын
Yaan kuna watu tunapewa uongoz kuumiza wengine lakn hawajui kama watastaafu na kukaa vijijin hao!!!!?
@flaviafaustine43
@flaviafaustine43 3 ай бұрын
Inauma sana dr Mungu akutie nguvu maana hakuna maref yasiyo na ncha.
@emanuelipanga693
@emanuelipanga693 6 ай бұрын
Naomba mweheshimiwa Rais mama yetu mwenye upendo na huruma , Familia ya baba huyu mweheshimiwa Rais msaidie huyu baba wewe ni mama mwenye huruma na upendo sisi ni wapitaji katika Dunia hii mama tunakuomba fanya jambo kuwa huyu baba mungu wangu akubariki mama tazama watu wako wanavyoteswa na watu wenye nia mbaya mama msaidie huyu baba ndy maombi yangu kwako taaluma yake inahitajika kwa nchi yetu mama
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 6 ай бұрын
Jamani khaaa,huu uonevu hauvumiliki mbona😊
@kituapeter
@kituapeter 6 ай бұрын
wampe familia yake kama kosa hakuna...
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Watoto maskini wanahusika je? Mbona sifahamu.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 6 ай бұрын
Hakuna lehemahi hii nchi
@magrethkimaro4662
@magrethkimaro4662 5 ай бұрын
Mungu mwenyewe anajua maana sisi hatuelewi Nini kimejificha ndani ya hii hukumu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 ай бұрын
Huyu baba Mungu amtetee. Mwanaume wa kipekee sana. Wengine wangeoa tu bila kujali.
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 5 ай бұрын
Dah. Hii Nchi ngumu Sana. Kuna watu wana Roho MBAYA SANA. Sikujua mtu anaweza kuwa Mtumishi wa Umma na Akafanya hivyo, Jaji anaye hudumiwa Kila kitu anashindwa kutenda haki. Pole Sana Mzee. Mungu atusaidie
@meshacksabuni7541
@meshacksabuni7541 6 ай бұрын
Paschal Mwakyoma, wewe ni bonge la mwandishi aisee. Habari unazotulea zina funzo kubwa sana kwetu kama wasomaji. Keep it up. There's a bright future ahead of you.
@maizaiwalalaze3358
@maizaiwalalaze3358 6 ай бұрын
Pole sana baba na Daktari bilal milomo ....naomba Mungu akukumbuke lakini mtazame Mungu tu najua unaumia sana ila rudisha imani yako kwa Mungu kila kitu kitakua sawa soma NAHUMU 1:12 kwenye biblia ...linasema kua ijapokua wana nguvu zilizo timilifu ,ijapokua ni wengi ,hata hivyo watakatwa naye atapita atakwenda zake ijapokua nikutesa sitakutesa tena....lakini pia soma kitabu cha AYUBU .....sisi ni wamoja dini hazitutofautishi na huu ni msaada wangu wa ushauri nakuombea kila la kheri Muheshimiwa Dr Bilal milomo
@Zafaabutterfly
@Zafaabutterfly 5 ай бұрын
😢😢😢Allah ni mwingi wa rehma na hakika atasimama na wewe katika hili inshaallah
@Zafaabutterfly
@Zafaabutterfly 5 ай бұрын
Haki itatendeka bi idhni llah
@TamalyMichael
@TamalyMichael 5 ай бұрын
Huyu baba amenyoka sana na kinachomsaidi Ana elimu na kufahamika sna ila angekuwa mtu wakawaida ashaisha mungu akusimamie mzee wangu daah😢😢
@jumamdaki9691
@jumamdaki9691 5 ай бұрын
Kiza hakiondoi Kiza Bali kiza huondolewa na Mwanga..Allah S.W.T ni Nuru amabayo haijawahi kushindwa na Kiza it's a matter of time. Allah S.W.T akufanyie wepesi Dr.Bilal
@abdoulrazakshuaib
@abdoulrazakshuaib 6 ай бұрын
Allah ni mjuzi na mwingi wa huruma atafanya wepesi katika hili president msaidie huyu mzee wetu wenye busara na hekima akutane na familia yake hakuna atakae ishi milele! Inasikitisha sana!
@ismail-vf4zw
@ismail-vf4zw 5 ай бұрын
Ivi hii ni tanzania yetu ya amani ndiyo baba analia hivi na anakosa msaada, Mungu ampe njia ya kuweza kutatua hili suara, na kikubwa zaidi huyu ni doctor amewasaidia watu wengi, Leo anatendewa hivi, haya maumivu anayo pitia yatakuja kulipwa, mungu anawaona, mzee usikate tamaa zaidi kumuomba mungu mpaka haki ipatikane, pole sana baba🙏🙏🙏😢😥😢
@juliethhope7281
@juliethhope7281 5 ай бұрын
Amen
@hendrybartalome7947
@hendrybartalome7947 6 ай бұрын
Kuna wakati watu wote watakukataa, dunia yote itakukataa ila MUNGU HATAKUACHA. Mungu atapigana nao wanaopigana nawe na mwisho UTASHINDA. ZABURI 35:1-9
@EdinaTamba
@EdinaTamba 5 ай бұрын
Mungu najua unajua mapito ya huyu baba uliyemuumba pamoja na familia yake , Nakuomba Mungu wa mbinguni utende muujiza kama ulivotenda kwa Paul nasila milango ya gereza ikafunguka tenda leo Mungu wangu, ulisema walipo 2 , 3,wakiomba utasikia na kujibu maombi yao, naomba nasi utusikie Mungu wangu ninakuamin mwaka huu hauishi familia itaachiwa huru na watu watajua uko Mungu usiyepokea rushwa.
@RobertEmmanuel-pl9jj
@RobertEmmanuel-pl9jj 6 ай бұрын
Mungu mwenye kujua ya sirini yote yaliyo nyuma ya jambo hili, Ee Mungu usinyamaze kwaajili ya hili, Munguuwe msemaji wa mwisho maan wewe ndio mwenye haki. Dunia hapa tunapita tu hata ungekuwa nani , Mungu atusaidie tuishi tukijua Mungu ni mkuu kuliko vyote ...Pole sana 😢😢😢 baba katika yote Mungu ajitwalie utukufu kwaajili ya hili....Eee Mungu nyosha mkono wako 😢😢😢😢 Baba ,baba , Mungu najua wewe pekeyako unainua vilivyo vinyonge kuahibisha vilivyo na nguvu, naomba Mungu jitwalie utukufu kwaajili ya baba huyu, Mungu wewe unatuwazia mema na unatupenda bila kujali madhaifu yetu hauwahi wala hauchelewi 😢😢😢😢😢Ee Mungu 😢😢😢😢moyo wangu umeuma pole baba. Mungu anaona mapito yako....atakushangaza mbele ya adui na watesi wako......Mungu ni mkuu ...Mungu kama ulivyotupenda hata ukamtoa kristo kwaajili yetu ili tuwe huru Kwa damu Ya Yesu mwanao mpendwa natangaza uhuru usio na mipaka kwa ibrahimu salma na mama yao... Na abdurazack akawe kama yusufu aameeen
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 6 ай бұрын
Mwacheni alie uchungu uishe yani uyo ni vile tuu anahof ya mungu vinginevyo angejidhuru pia ,,,mungu amtie nguvu huyu baba
@Mnadani-24
@Mnadani-24 6 ай бұрын
Haya machozi hayatadondoka bure hakika, Mungu na akujibu haja ya moyo wako mzee
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 6 ай бұрын
Amina , Mungu futa machozi ya huyu baba! Wewe peke yako ndo mtoa haki.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 6 ай бұрын
Naam ni kweli 😭😭😭💔💔💔
@elizabertassey
@elizabertassey 5 ай бұрын
Hakika machozi yake hayataenda bure
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 6 ай бұрын
Huyo ndo binadamu sasa😭😭😭😭😭 Ee Mola haya machozi yanayobubujika, yakafanyike fimbo ya kuwaliza wale wote wanaohusika na udharimu huu. Mungu atajibu kwa Vitendo
@JacklineJohnson-q9k
@JacklineJohnson-q9k 6 ай бұрын
Amina kwa damu ya Yesu
@pendothomas7258
@pendothomas7258 5 ай бұрын
In Jesus name Amen 🙏
@Margrethjonesmshana
@Margrethjonesmshana 5 ай бұрын
Kwa kweli kisasi sio chetu yaaani MWENYEZI MUNGU atawaadhibu
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 6 ай бұрын
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na akatuumba sisi sote ametupa na pumzi yake pia hajalala Wala hajakusahau anaona chozi lako na anaiona familia yako inachopitia pia ukweli ni kwamba Mungu wetu ni Mungu wa haki na ikiwa hawanakosa wameonewa Mungu atajiinua na kuonyesha ukuu wake ndani ya mtihani huu,Mungu huwaonekani wadhaifu anaonyesh ukuu wao hivyo baba naamini kabisa Mungu wetu si dhalim hata aseme uonge Amesema sintakupungukia wal sintakuacha kama nilivyo kuwa pamoja n Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe kasisitiza tena kasema uwe na moyo mkuu zaidi kimtegemea Mungu na Mungu hatanyamaza.
@asiansky9767
@asiansky9767 6 ай бұрын
Kila mwenye imani hupata mtihani Allah akuwezeshe uishinde mitihani yako mzee wetu na akulipe daraja ya juu😢
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 5 ай бұрын
Allahumma aamin 🤲
@ZaynabZubeir
@ZaynabZubeir 4 ай бұрын
AMIN ALLAHHUMMA AMIN
@RaheemaOmn
@RaheemaOmn 6 ай бұрын
Subhanallah usikufu alhamdulillah Allah atakusaidia zidi kumwomba yeye ndio mweza wayote 😭😭😭🤲🤲🤲
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 6 ай бұрын
Maashallah. Doctor Bilal Allah akuhifadhi ktk dini ya haki
@shalimwansite776
@shalimwansite776 5 ай бұрын
Dini ya haki ndio ipoje😅
@irenemollel4363
@irenemollel4363 5 ай бұрын
Comment ya kipuuzi kweli, dini ya haki kathibitisha Mungu au? Acha ushamba
@EliaminiJoshua
@EliaminiJoshua 5 ай бұрын
Utopolo huo uliocomment
@jacquejoseph1422
@jacquejoseph1422 5 ай бұрын
Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo yuko pamoja nawe siku zote usikate tamaa Mungu atakusaidia🙏
@madreks253
@madreks253 5 ай бұрын
Pole sana Baba. Mungu akupe amani na utulivu shida zitapita. Inasikitisha sana na kuumiza moyo kusikia story kama hii. Kweli nchi hii hamna haki...kumuona Baba mtumzima analia kwa uchungu kwa ajili ya familia yake inasikitisha. Shame to leaders in Tanzania and corrupt system, this is a lawless country, tunaitaji system nzima na serikali nzima ibadilishwe...Baba afadhali uhamie nchi nyingine and claim assalym...
@jokhaali5893
@jokhaali5893 6 ай бұрын
Pole sana mdogo wangu. M. Mungu haghafiliki, utapata haqi zao
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 6 ай бұрын
Daktari Bingwa magonjwa ya wakina Mama. Du! Mtu na nusu.
@RoyLiganja
@RoyLiganja 5 ай бұрын
Aii hii ni uchungu aisee Mungu yupo na atakuponya wewe na familia yako itatoka salama Amin
@happinessshilie4019
@happinessshilie4019 6 ай бұрын
Pole sana Baba hakimu wa kweli ni MWENYEZI MUNGU atakupigania 😢
@mamakayla6697
@mamakayla6697 6 ай бұрын
Yaaaani,baba huyu amekonda jamani😢😢😢anawazia familia yake tu.Mwenyezi MUNGU amtunze huyu baba mpaka auone wema wa MUNGU wake.Amen
@YunicGrayson-lk3bk
@YunicGrayson-lk3bk 5 ай бұрын
Pole Sana baba😭huyo binadam anpofanya anasahau Kama Kuna malipo hapa duniani anaweza asilipwe yeye Ila akalipwa kwa watoto wake nizambi kubwa Sana adi watoto unaweka ndani ukiwa wewe unaludi watoto wako wanakupokea wa mwenzio umewaweka ndani popote ulipo mungu anakuona machozi ya baba huyu hayaendi bule yanatembea mpaka kwenye kizazi chako baba mungu akulipe kwa haki
@BakariImran-q6l
@BakariImran-q6l 6 ай бұрын
InshaAllah litapita tu mzee wetu na utakuwa na family yko kwa uwezo wa Allah
@Boyfromtanzania
@Boyfromtanzania 6 ай бұрын
Very sad, That's why I promised myself to live far from Tanzania. And I thank God for where I am today. Tz drama nyingi Sana zinazo kwaza mioyo ya watu.
@juliethhope7281
@juliethhope7281 5 ай бұрын
UYU BABA AMENIUMAAAAA!AMENIUMAAAAAAA😢EEH YESU NYOOSHA MKONO WAKO BABA.KILA ANAEFANYA KINYUME NA WEWE UKANYOOSHE UPANGA WAKO.BINADAM WAMEKUA KAMA WANYAMA😢
@e11said23
@e11said23 6 ай бұрын
Mzee wangu nime kusikiza kwa umakini sana mpaka moyo umeuma kwa uchungu pole sana malipo yako kwa Allah
@tatubaraka5752
@tatubaraka5752 6 ай бұрын
Uyu baba ana uchungu mwingi sana Mungu akufanyiye wepesi.
@CareenUronu
@CareenUronu 5 ай бұрын
Eee mwenyenzi Mungu, wewe ni baba mwenye huruma ni mwingi wa rehema, tunaomba ukatende jambo la kushangaz ktk familia hii, wanaomchimbia kaburi wakafukiwe hko wenyew jmn. Allah allah tutakuhusudu ww pekee molaar. Ww pekee ndio tegemez la hii familia na tunaamini hvi punde watakua huru kwa nguvu zako mungu.
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 6 ай бұрын
Imeniumiza sanaaa, Makonda mbona anasaidia wengi huyu hapa jamani asaidiwe naye
@everlyne8595
@everlyne8595 5 ай бұрын
Atasaidiwa tu
@johnmarubiri6729
@johnmarubiri6729 20 күн бұрын
Mungu pekee atosha
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 6 ай бұрын
Unaweza kudhani unapitia magumu lakini ukisikia wengine unajiona kabisa machungu yako ni madogo. Huyu baba anajikaza tu lakini Mungu anajua
@ndennkya9554
@ndennkya9554 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@noelakataraiha6692
@noelakataraiha6692 5 ай бұрын
😂jaman had huruma kweli
@tajimwambole3115
@tajimwambole3115 5 ай бұрын
Yaani Mimi nimejifunza kabisa hapa kushukuru hivi nilivyo jamani kuna watu wanapitia Magumu
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 5 ай бұрын
@@tajimwambole3115 kabisaa
@ROSEMASALA-fe5fw
@ROSEMASALA-fe5fw 5 ай бұрын
Sure
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 6 ай бұрын
Huyu mzee ana uchungu na ana maumivu makali sana! Allah Amtoe huyu mzee kwenye hili tatizo_ Amiin.
@MariyimJumanin
@MariyimJumanin 3 күн бұрын
Mim mwenyewe nalia jaman khaa ee Mollah fungua njia
@dainesmrswinston2988
@dainesmrswinston2988 5 ай бұрын
Baba mpe Yesu maisha yako ..ni jambo dogo sana kwa Yesu tunaowatu kama wewe Yesu amewashindia.. njoo kwa Yesu baba .huyu Yesu kweli yupo na anaweza kutenda sanaaa... utashangaa yeye ni zaid ya mtu yeyote...
@sarahjidiku
@sarahjidiku 6 ай бұрын
Hawatanyongwa kwa Jina YESU Amina.
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 6 ай бұрын
Mungu yupo hawai wala hachelewi. Mungu akufariji sana na yy ndio msemaji wa mwisho.😢 inauma sana. Pole sana mzee wangu. Mungu atayafuta machozi na atalipa gharama
@jokhaali5893
@jokhaali5893 6 ай бұрын
Dr. Please wapambanie familia yako, ikiwezekana ondoka nao Tanzania omba ukimbizi wa kisiasa nchi za mbali
@AdamuIbrahimu-e9m
@AdamuIbrahimu-e9m 5 ай бұрын
Pole sana Mzee. Hukumu ipo juu Yao hao watesi wako. Watapigwa na kuhukumiwa mara saba Kila siku mbele ya KITI Cha Enzi. Haki ya Mungu itasimama vema.
@nilastephen8265
@nilastephen8265 6 ай бұрын
Chozi la mnyonge hali endi bure. Baba mungu yupo halali wala hasinzi ipo siku mungu ata kujibu maombi yako.
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 6 ай бұрын
Kwenye giza Mungu huonyesha mwanga ,sualà hili najua ufumbuzi utapatikana ,viongozi ,heshimuni kanuni ya kuitwa viongozi, Neno KIONGOZI ,kila neno lina maana yake, sasa watendaji wetu kama huyu baba yetu fuatilieni tujue ukweli uko wapi jamani
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 6 ай бұрын
jamani huyu baba bado ajapata msaada mpka leo daa hiii nchi jamani mungu amsaidie
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 5 ай бұрын
Hata mm uwanashangaa mbaka Leo surely
@HusseinArbogast
@HusseinArbogast 5 ай бұрын
Nchi yenye amani dah! Wakati wengine wanateswa namna hii m/mungu mfanyie wepesi mzee wetu
@MagrethFrank-q9c
@MagrethFrank-q9c 5 ай бұрын
mm nimelia mpa bas mungu fanya jambo jipya ufute machungu yake
@deborahmollel3170
@deborahmollel3170 5 ай бұрын
Eee Mungu mpe haja za moyo wake mja wako huyu aliyejeruhiwa vibaya,Na ukajidhihirishe kwa wabaya wote waliomtenda ubaya mtu huyu wapate adhabu yako isiyokua na pingamizi🙏🏾🙌Amen
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 6 ай бұрын
Mungu gusa kilio cha huyu mzee inshaalaah
@donathajasson6401
@donathajasson6401 6 ай бұрын
Nalia sana kwakweli pole Baba yangu Mungu akutie nguvu familia yako ina karama kubwa sana watoto wako wana vipawa hawatapotea hawatakufa mpaka makusudi ya Mungu kwako yatimie Mungu machozi ya huyu baba yanalalamika kwenye kiti cha Enzi nakuomba Baba Ile damu yako ya thamani iliyomwagika pale msalabani iende katika kiti cha enzi ikafute mashtaka ya huyu ya huyu baba yaliyoletwa mbele zako na mshitaki wetu ibilisi
@ColethaMerick
@ColethaMerick 6 ай бұрын
Nimeshindwa yazuia machozi huruma ya Mungu na iwe juu yako baba. Hapa mshitakie Mungu tu naamini kwa wema wake atajibu mapema mno na wataaibika na kufedheheka mno.
@Zuu673
@Zuu673 6 ай бұрын
Sio bure nyuma yake kunawatu wazito maana km ingekuwa ni watu wadogo tu uyu baba zamani angepata utetezi fikiria hii kesi ya muda mlefu sana
@scolasticamayanda9048
@scolasticamayanda9048 6 ай бұрын
Kweli nyuma yake kulikuwa na watu wazito sana kwa alivyo zunguka kote imeshindikana sio bure,mungh mpe nguvu huyu baba
@aishawhite1107
@aishawhite1107 5 ай бұрын
Hakika maana hata watu anaowasema ni watu wazito mfano Asha rose na wengn ila siku zote haki ya mtu haipotei haijalishi ni miaka mingp duniani na hata akhera haki itasimama kikumbwa tunakuombea Mungu baba uwe na Moyo waujasir na uvumilivu siku zote na kauli yako ya kuwa hakuna anaishi duniani milele ndio iwe nguvu ya kukufanya usimamie haki ya familia yako haijalishi utafia vitani au laa kikumbwa utakuwa shahidi wa familia yako duniani na akhera
@doreenmkingi3117
@doreenmkingi3117 6 ай бұрын
Mama yetu.. Wewe ni mama tunakuomba Rais wetu msikie huyu baba. Msikilize mhurumie. Tunakuomba mama 🙏Mama Samia tusikie wanao
@rehemamohamedy4007
@rehemamohamedy4007 5 ай бұрын
Mmmmh! Aisee kuna watu wanapitia mapito makubwa kwenye hii Dunia. Ya Allah wafanyie wepesi waja wako hawa.
@johnsonsamson7378
@johnsonsamson7378 5 ай бұрын
Ayo tv. kuna watu wanateseka sana na hii nchi fanya tafiti zaidi uone. Achana na habari za Udaku fanya hii kazi Mungu atakuweka mahali
@MagrethFrank-q9c
@MagrethFrank-q9c 5 ай бұрын
watu wanyonge haki atuna
@donathajasson6401
@donathajasson6401 6 ай бұрын
Ombeni jambo lolote kwa Jina langu nami nitafanya Eeee Mwenyezi Mungu wasaidie familia hii mwaka huu usiishe waachiliwe huru
@gracelazaro8731
@gracelazaro8731 4 ай бұрын
Mungu akukumbuke babangu, akuinulie msaada, haki yako na familia yako iinuke. Mungu si mwanadam, na wote waliotia mikono yao katika kutimiza uharibifu mkono wa Mungu ukawe juu yao
@happinessndossa4544
@happinessndossa4544 6 ай бұрын
Hv ni kweli hii nchi viongozi wameshindwa kumsaidia huyu baba kweli ila ipo siku Mungu atamsimamia yey na wataumbuka sana
@BimHamdi
@BimHamdi 6 ай бұрын
Mara nyingi watu wa maana wana wapuuza wako tayari kupoteza wenye akili zao hii ndio nchi yetu
@athumanfuko199
@athumanfuko199 6 ай бұрын
wasomi wanateseka hivi je wajinga hali yao ipo vip
@JacklineJohnson-q9k
@JacklineJohnson-q9k 6 ай бұрын
Yaan mzee wetu anatia Huruma hii nchi hakuna Amani tunadanganyana tu Amani ipo kwa watawala tu lakn Mungu wetu SI mwepesi wa hasira Atatenda ktk hili
@JasminMiraj-y4o
@JasminMiraj-y4o 5 ай бұрын
Baba haki yamtu haipotei baba hakika Mwenyezimungu anakusikia wallah inauma inshaallah utafika salama nakuombea kwa Allah subhannah wataallah hakika yeye ndo hakimu mwadilifu kuliko mahakimu wote
@GatekaFatma
@GatekaFatma 5 ай бұрын
Innamaal uusri yusra Allah anajuwa zaidi yetu haki itatendeka insha Allah zidisha subira insha Allah
@Japharyhh
@Japharyhh 5 ай бұрын
Mungu hakuna kitu anashindwa katika dunia hii panga pangua ila kwa mungu kuna kila haki ndomaana vyote unavyo viona hapa duniani hata dunia na vitu vyote vipo chini yake mzee wangu mungu anakusikia na anajibu/atajibu aminia tunakuombea na kujiombea 🙏
@softena100
@softena100 5 ай бұрын
Peter Kibatala hii kesi size yake,ataipangua jamhuri mpaka RPC atajuta,namwombeni wakili msomi Peter Kibatala hapa maramoja🙏
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 5 ай бұрын
Au Tundu Lisu apewe hii kesi
@tktastytreats1882
@tktastytreats1882 5 ай бұрын
Upo sahihi
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 5 ай бұрын
Huyo peter kibatala anapatkana wapi Jamani tunaomba namba zake.@softena100
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 5 ай бұрын
@@softena100 tafadhali namba namba ya huyo Peter Kibatala ndugu yangu nakuomba sana
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry 5 ай бұрын
Daah pole Sanaa baba Mungu ndio muweza wakila jambo atakufanyia wepesi yote yatapita maisha yenu yataendelea tunamuombea 😢😢😢ameen ameen 🙏
@nursechunga4470
@nursechunga4470 6 ай бұрын
🙌 hiii dunia ni ngum Sana, pole baba, Mungu aitetee familia yako
@lilianmacha3810
@lilianmacha3810 5 ай бұрын
Watu wanaharibu future za watu, Mungu awape ushindi na watu wote waliohusika katika hili waaibishwe, watoil wao ja vizazi vyao
@mohamedimuhinga9064
@mohamedimuhinga9064 6 ай бұрын
Mimi nauwakika mama mpenda haki ameshasikia kiliyo Cha uyu mzee akika awatanyongwa iyo familia aitanyongwa Tena labda wawe wameshawauwa,
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 23 күн бұрын
Pole sana baba yangu mwenyezi Mungu akupe Subra ipo siku wata toka ipo siku baba mwenyezi Mungu ana Kupa nitukhan tuu rakn ipo siku uta shinda tuu 😢😢pole sana rakn pia muone Makonda ata kusaidia baba pole sana 😢😢😢
@issarashid7707
@issarashid7707 6 ай бұрын
Allah akupe subra hakika mtihani mzito na akupe familia yko ikiwa salama inshallah
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 5 ай бұрын
Pole sana mzee hii ndo nchi yetu. Babu seya anayajua haya yanayokupata
@softena100
@softena100 5 ай бұрын
Napata wapi mawasiliano ya huyu baba,Millard ayo naomba namna ya kumpata huyu baba tafadhali🙏
@monalisapaschal7362
@monalisapaschal7362 5 ай бұрын
Nenda Instagram page ya Millard ayo chukua number yao
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 5 ай бұрын
My madam softena ulipo nipo
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 5 ай бұрын
@@softena100 Tafadhali naomba mawasiliano ya Peter kibatala tafadhali
@luuramadhan2771
@luuramadhan2771 5 ай бұрын
Inasikitisha sana nimelia sana nimeumia kama ni baba mzazi Allah mfanyie wepesi huyu baba🙏
@mercypatrick1444
@mercypatrick1444 5 ай бұрын
Umempata?
@hyasintasilayo8952
@hyasintasilayo8952 6 ай бұрын
Pole san baba yangu,wameshinda hapa dunian na wala sio kwa Mungu ipo siku
@hassankarume5058
@hassankarume5058 6 ай бұрын
wallah naomba Rais amwone huyu mzee,,,,,haki inauma sanaaaa asee😢😢
@swahabuyussufu1484
@swahabuyussufu1484 5 ай бұрын
Daah nimejickia kulia 🥺🥺 inaumiza sana pole sana babaangu mungu akusaidie akusimamie inshallah haki yako utaipata 😢
@BayekeFarijala
@BayekeFarijala 6 ай бұрын
Savi ni wilaya ya Malinyi. Mpogoro haswa. Pole sana
@anuarymzee9898
@anuarymzee9898 6 ай бұрын
Duuuh kuna wenye vyeo na madaraka Hua wanaona wataishi milele ndio maana wanamaamuzi ya hovyo kabisa Ila wafaham kua hiidunia nimapito tuu MUNGU Akusmamie Kwa haya mapito unayo yapitia 😢😢😢
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 5 ай бұрын
Nimesikiliza story ya huyu baba😢 daah Mungu amtiee nguvu jaman arudishiwe family yke jaman daah hakuna kitu cha thaman kama familia💘🙏🏾
@Redher-o7q
@Redher-o7q 6 ай бұрын
Wallahi it's really pain. May Allah( swt) bless you a heart of patience inshaallah. Ameen 😢😢
@wisdomnelson6003
@wisdomnelson6003 5 ай бұрын
hii duni ngumu sana🙏🏼 ufike tu ule mwisho wa kizazi cha tatu nacha nne😭😭 binadamu wamekuwa wakatili sanaa😭😭😭😭😭😭🌏 baba kapata aradhi makubwa kwa sababu ya wanadamuwenye tamaa ya kumwaga damu za watu😭😭😭😭😭😭 na adui sikuzote hatiki mbali,
@salhaahmad1868
@salhaahmad1868 5 ай бұрын
Yupo Allah ambae ni haqul mubiinu, namuomba Allah aipokee dunia yngu kwa juu yko.
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 6 ай бұрын
Mungu akusaidie baba wangu 😢😢😢
@yasintaphares7890
@yasintaphares7890 Ай бұрын
Amin yesu anaweza kufanya jambo jipya kama wapo hai mwaka huu mwishon wataachiwa huru mwez wa kumi na mbili amin yesu anafanya tena anafanya mambo makubwa naamin katika hilo
@ip_header
@ip_header 6 ай бұрын
Asante Millard Ayo TV kwa content nzuri, tunajifunza mengi kupitia interview hii.
@jacklinesimon7544
@jacklinesimon7544 6 ай бұрын
Daaah!!inaumiza mnooo mwenyezi mungu akuvushe katika majaribu unayopitia baba angu IPO siku tu kila aliyeshiriki uovu huo atawapa wanayostahili
@nicksontz6145
@nicksontz6145 6 ай бұрын
UJASIKIA WATU WASIO JULIKANA
@DealDeskPro
@DealDeskPro 6 ай бұрын
This country inawatu wabaya sana..kuna watu wanaroho mbaya shetani akasome, imagine kuna mtu ndio aliohumu kwenye kesi hiyo na anaishi poa kabisa bila hata wasiwasi, wala hana hofu ya kujiuliza ubaya wake umeleta athari gani.. Police, Wanasheria na mahakimu mungu amewapa nafasi hizo ili msaidie watu na siio kuwanyanyasa kiukweli sio sawa kabisa, mnakosea mno na ama hakika mungu atawanyoosha hapa hapa duniani..shubamitiii
@neemakrekamoo4789
@neemakrekamoo4789 5 ай бұрын
Mungu awaadhibishe wote waliohusika kumtesa huyu baba na familia yake, sawasawa na Mapenzi yake. Amen!!!binadamu wanakosa utu kumtesa mtu anaeokoa maisha ya watu.
@piustombili9921
@piustombili9921 6 ай бұрын
"Uislam ni Upendo" Allahu Akbar
@pabloescober6709
@pabloescober6709 6 ай бұрын
UPENDO wapi mngetuita waklisto makafili😅😅😅
@OliverEdivery
@OliverEdivery 6 ай бұрын
yaani hakuna kitu sipendi kama kuitwa kafiri sasa mi huwa sielewi uisalamu gani sasa huu ukiwakuta wanajikuta watu wema , wema upi huo kutuambia sisis dini yetu ya mashetwani daah!
@piustombili9921
@piustombili9921 5 ай бұрын
@@pabloescober6709 wanaoita wakristu makafiri ni makapuku
@kautharjay5868
@kautharjay5868 5 ай бұрын
​@@OliverEdivery nyie mbona mnasema waislam dini ya majini 😂😂 mnambizana makanisabni je mpo sawa.kafiri ni mtu asiekuwa muislam
@kautharjay5868
@kautharjay5868 5 ай бұрын
​@@pabloescober6709nyie mnaita uislam dini ya majini
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 5 ай бұрын
Anasema alisomea upadiri, na akisomeshwa na kanisa, inawezekana alishaingia ktk maagano ya upadiri omayo ni unayafanya kwa akili na moto wako binafsi. Sada kukiuka maagano Yako na Mungu inaleta laana. Ushauri : Mungu ni mwingi wa rehema, akumbuke alipoangukia , akiri makosa na kutubu kutoka rohoni, Mungu aingilie kati. Pole sana .
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 5 ай бұрын
Wewe umenena kweli. Maana kwa sisi wakatoriki sacramenti ya ndoa na ya utawa huwezi kuzichanganya. Kuna mahala alikosea sana na bahati binadamu huwa hatukubali.kuadmit makosa yetu muda wote tunatafuta wa kumsingizia. Hata watu wengi wanaotekwa na kuuwawa unakuta ni watu waliojiingiza katika mfumo wa maisha usio sahihi, na baada ya hapo ndiyo unakuta mtu anaingiza hata ukoi mzima kwenye matatizo..so ndugu wengine wataonekana kama wanainewa kumbe kuna mtu mmoja aliwaingiza katika hayo matatizo na hataki kusema ukweli
@SafiaOmar
@SafiaOmar 6 ай бұрын
Ukiona mwanaume analia ujue shida zimemzidia. Namuombea kwa Allah amuondoshee haya matatizo na mkewe na mwanawe warudi. Hakika subra ni ngumu ila ina malipo mazuri
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 2 ай бұрын
pole lakini mwandishi hujauliza uhusika wao kwenye hayo mauaji ulikuaje ? ukiua lazia kunyonywa fikiria aliyeuwawa ni kiongozi, balozi wa nyumba kumi ndie mjumbe mwenyewe. Mjumbe ana kosa gani hadi auwawe. Hatari saana hongera Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri na Mahakama kwa kazi nzuri, haki ni pamoja na kufungwa.
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 6 ай бұрын
Dunia imejaa dhulma. Ndio maana kuna siku ya hukumu ya.kiama na kila mmoja atapewa haki yake. Mungu amfanyie wepesi mzee huyu muhimu kwa kazi na huduma yake anayoipa jamii ya tiba
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 6 ай бұрын
May Allah protect you man with wisdom inshallah everything is going be alright inshallah
@marcominja8850
@marcominja8850 6 ай бұрын
pole sana mzee ,ardhi nyingi za ukoo zimelaaniwa ukizing`ang`ania mabaya lazima yakukute.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 6 ай бұрын
Kabisaa
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 6 ай бұрын
Kweli kabisaaa
@Ars-t2k
@Ars-t2k 6 ай бұрын
Mkuu tumia lugha nzuri kwenye hili. Nadhani ardhi ni urithi kutoka kwa mababu zetu. Haswa maeneo ya Vijijini. Nadhani Mila na Tamaduni husika za eneo husika ni muhimu kuheshimiwa.nadhani kama hili lingezingatiwa nafikiri ingeepusha au kurahisisha suluhu kwenye hili swala.
@marcominja8850
@marcominja8850 6 ай бұрын
@@Ars-t2k mbona sina nilipotumia lugha mbaya!
@MembeMohamed
@MembeMohamed 6 ай бұрын
@mamasamia president watanzania onesha huruma yako
@furahakasasila574
@furahakasasila574 5 ай бұрын
Pole sana baba. Mungu anyooshe mkono wake juu yako hayo unayopitia yaishe.
@Ars-t2k
@Ars-t2k 6 ай бұрын
Pole sana Mzee. Ila mwandishi ningependa kama unge balance hii story tusikie na Upande wa pili wa familia inayotuhumiwa
@ukweli255
@ukweli255 6 ай бұрын
Upande wa Pili wa nani...ebu kaaq chini List watu wote unaotaka Story zao za upande huo halafu jiulize...Hili Taifa lina watu wanaroho mbaya sana ni vile Nyerere alitunyima Elimu BORA na wachache waliopata Elimu bora wanaonekana mwiba kwa Serikali na Watumishi wapuuuuzi
@Luckyme-b4i
@Luckyme-b4i 5 ай бұрын
Acha mambo yako
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 5 ай бұрын
Upande wa pili watuhumiwa Majaji?
@MamaKendrick-l3z
@MamaKendrick-l3z 5 күн бұрын
Upande wa pili upi hao wachaga ndio tabia zao wanapenda kugombea sana ardhi ! Yaan hii chorea mstari .
@MerryAbiadhar
@MerryAbiadhar 5 ай бұрын
Nimechelewa kuonq ila mungu wa mbinguni analiona hilo chozi wote wahusikika watahukumia na hukumu ya mungu. Kwa jina lake yesu. Pia mungu ampe afadhali ya moyo huyu baba
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 6 ай бұрын
Subhana Allah huyu baba bado hajapata msaada mpaka leo kweli?😢kwann mnafanya dhulma hivyo Allah akupe subra baba
@zawadimwambungu8940
@zawadimwambungu8940 5 ай бұрын
Mungu amtetee huyu Mzee kwa kweli, Kuna Watu Wengi Wanaumia sana, lakini Mambo yamejificha, Mungu kwa Mara ya kwanza anaangamiza, ilikuwa ni dhambi ya dhuluma, Mungu Yupo, Akuone na akutete kwa kweli
@monicambarikiwa9532
@monicambarikiwa9532 5 ай бұрын
“Dunia tunapita kila kitu kitabakia”. Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho. MUNGU akutie nguvu na kukukumbukia mema Baba.
@zareenamomo1522
@zareenamomo1522 4 ай бұрын
😢😢sema alhamdulillah tu babaangu hii ndio tz haki utaipata kwa ALLAH INSHALLAH 🙏 LIA UCHUNGU UPUNGUE POLE SANA BABAANGU NDIO MITIHANI YA DUNIA ALLAH ANAKUPIMA IMAN YAKO😢😢😢😢M/MUNGU AKUTIE NGUVU INSHALLAH 🙏
@JANEBGOYA
@JANEBGOYA 6 ай бұрын
Yaani wachaga na mashamba! Mungu awarehemu, kweli kumfanyia hivi MWANADAM,fani ya mke, future ya WATOTO imeishia,WATENDAJI WA SERIKALI HOVYO KWELI
@MagrethFrank-q9c
@MagrethFrank-q9c 5 ай бұрын
mama samia mama yangu ingilia kati msaidie uyu baba
@MagrethFrank-q9c
@MagrethFrank-q9c 5 ай бұрын
uwiiiii dunia hii tabuu😭😭😭😭😭
@richardswai5206
@richardswai5206 5 ай бұрын
Mungu yupo atafungua mlango wa gereza. Angekuwa mudy angeshakunywa sumu
@brendabeatus2193
@brendabeatus2193 5 ай бұрын
Mungu yupo anaona na anasikia All will be well mzee Haki itafanyika tu
@JoyceLinus
@JoyceLinus 6 ай бұрын
Pole sana baba yangu Mungu ni wetu sote atatenda endelea kumuomba bila kuchoka baba yangu
@hamudzakuwani4149
@hamudzakuwani4149 6 ай бұрын
watu u muhimuu Sanaa haoooo siyoo kuwachezeyaa kijingaa amesomaa kupitiyaa kodi za wana nnjii Leo kuwasaidiyaa mwamuwaribiyaa maishaa
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 111 М.
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН