INAUMIZA “MKE WANGU NA WATOTO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA, NIMEWEKEWA SUMU NIFE”

  Рет қаралды 68,915

Millard Ayo

Millard Ayo

6 күн бұрын

Пікірлер: 657
@mamakayla6697
@mamakayla6697 5 күн бұрын
Ee Mwenyezi MUNGU, mwingi wa rehema,msaidie huyu baba,ameitumikia Tanzania lakini hakuna anayejali,mmmmh!!!😢😢😢😢haki yake MUNGU anaijua,kama hawakuhusika,mwezi huu wa 7 wataachiwa huru kwa jina la YESU.Zaburi 71:1 MUNGU ameamuru,tutakakokwenda siku zote,tuokolewe.Hii familia iokolewe kwa jina la YESU. Amen
@jacquelinekennedy5740
@jacquelinekennedy5740 5 күн бұрын
Amen 🙏
@anithamassawe401
@anithamassawe401 5 күн бұрын
Amen
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 күн бұрын
Ishaalah watatoka wahame huko kibosho,wa peleke moro
@aloycesamba998
@aloycesamba998 5 күн бұрын
🙏
@matha3758
@matha3758 4 күн бұрын
Amina ,mungu atatenda
@dycemullah3254
@dycemullah3254 4 күн бұрын
Bado kitambo kidogo mzee wangu utafika mwisho wa shida hii Mungu atakupa ushindi usioutegemea……Amina 🙏🏿
@user-pw2rl5zs1v
@user-pw2rl5zs1v 5 күн бұрын
Ata ongea ya huyu mzee wangu. Anaonekana anabusara na hekima sana na anaonekana dini. Imekaaa anahuruma na anaujua utu. Mungu atakujibu mda so mrefu shekhe wangu amen
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 4 күн бұрын
Alitakiwa ataje simu yake hapo ili apate msaada. Sasa hata tukiomba namba yake, hatuwezi kuiamini. Inasikitisha sana kwa Gynecologist kuishi maisha hayo. Tunaomba haki itendeke 😢😢
@user-go5wb2pi2i
@user-go5wb2pi2i Күн бұрын
Kweli ❤
@emanuelipanga693
@emanuelipanga693 4 күн бұрын
Naomba mweheshimiwa Rais mama yetu mwenye upendo na huruma , Familia ya baba huyu mweheshimiwa Rais msaidie huyu baba wewe ni mama mwenye huruma na upendo sisi ni wapitaji katika Dunia hii mama tunakuomba fanya jambo kuwa huyu baba mungu wangu akubariki mama tazama watu wako wanavyoteswa na watu wenye nia mbaya mama msaidie huyu baba ndy maombi yangu kwako taaluma yake inahitajika kwa nchi yetu mama
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 4 күн бұрын
Jamani khaaa,huu uonevu hauvumiliki mbona😊
@kituapeter
@kituapeter Күн бұрын
wampe familia yake kama kosa hakuna...
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Күн бұрын
Watoto maskini wanahusika je? Mbona sifahamu.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Сағат бұрын
Hakuna lehemahi hii nchi
@abdoulrazakshuaib
@abdoulrazakshuaib 5 күн бұрын
Allah ni mjuzi na mwingi wa huruma atafanya wepesi katika hili president msaidie huyu mzee wetu wenye busara na hekima akutane na familia yake hakuna atakae ishi milele! Inasikitisha sana!
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 күн бұрын
Huyu baba Mungu amtetee. Mwanaume wa kipekee sana. Wengine wangeoa tu bila kujali.
@maizaiwalalaze3358
@maizaiwalalaze3358 2 сағат бұрын
Pole sana baba na Daktari bilal milomo ....naomba Mungu akukumbuke lakini mtazame Mungu tu najua unaumia sana ila rudisha imani yako kwa Mungu kila kitu kitakua sawa soma NAHUMU 1:12 kwenye biblia ...linasema kua ijapokua wana nguvu zilizo timilifu ,ijapokua ni wengi ,hata hivyo watakatwa naye atapita atakwenda zake ijapokua nikutesa sitakutesa tena....lakini pia soma kitabu cha AYUBU .....sisi ni wamoja dini hazitutofautishi na huu ni msaada wangu wa ushauri nakuombea kila la kheri Muheshimiwa Dr Bilal milomo
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 4 күн бұрын
Huyu mzee ana uchungu na ana maumivu makali sana! Allah Amtoe huyu mzee kwenye hili tatizo_ Amiin.
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 5 күн бұрын
jamani huyu baba bado ajapata msaada mpka leo daa hiii nchi jamani mungu amsaidie
@meshacksabuni7541
@meshacksabuni7541 4 күн бұрын
Paschal Mwakyoma, wewe ni bonge la mwandishi aisee. Habari unazotulea zina funzo kubwa sana kwetu kama wasomaji. Keep it up. There's a bright future ahead of you.
@tatubaraka5752
@tatubaraka5752 4 күн бұрын
Uyu baba ana uchungu mwingi sana Mungu akufanyiye wepesi.
@hendrybartalome7947
@hendrybartalome7947 11 сағат бұрын
Kuna wakati watu wote watakukataa, dunia yote itakukataa ila MUNGU HATAKUACHA. Mungu atapigana nao wanaopigana nawe na mwisho UTASHINDA. ZABURI 35:1-9
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 2 күн бұрын
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na akatuumba sisi sote ametupa na pumzi yake pia hajalala Wala hajakusahau anaona chozi lako na anaiona familia yako inachopitia pia ukweli ni kwamba Mungu wetu ni Mungu wa haki na ikiwa hawanakosa wameonewa Mungu atajiinua na kuonyesha ukuu wake ndani ya mtihani huu,Mungu huwaonekani wadhaifu anaonyesh ukuu wao hivyo baba naamini kabisa Mungu wetu si dhalim hata aseme uonge Amesema sintakupungukia wal sintakuacha kama nilivyo kuwa pamoja n Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe kasisitiza tena kasema uwe na moyo mkuu zaidi kimtegemea Mungu na Mungu hatanyamaza.
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 4 күн бұрын
Huyo ndo binadamu sasa😭😭😭😭😭 Ee Mola haya machozi yanayobubujika, yakafanyike fimbo ya kuwaliza wale wote wanaohusika na udharimu huu. Mungu atajibu kwa Vitendo
@user-bv7nm8xt4i
@user-bv7nm8xt4i 3 күн бұрын
Amina kwa damu ya Yesu
@donathajasson6401
@donathajasson6401 4 күн бұрын
Ombeni jambo lolote kwa Jina langu nami nitafanya Eeee Mwenyezi Mungu wasaidie familia hii mwaka huu usiishe waachiliwe huru
@Mnadani-24
@Mnadani-24 5 күн бұрын
Haya machozi hayatadondoka bure hakika, Mungu na akujibu haja ya moyo wako mzee
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 5 күн бұрын
Amina , Mungu futa machozi ya huyu baba! Wewe peke yako ndo mtoa haki.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 4 күн бұрын
Naam ni kweli 😭😭😭💔💔💔
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 4 күн бұрын
Mwacheni alie uchungu uishe yani uyo ni vile tuu anahof ya mungu vinginevyo angejidhuru pia ,,,mungu amtie nguvu huyu baba
@SafiaOmar
@SafiaOmar 2 күн бұрын
Ukiona mwanaume analia ujue shida zimemzidia. Namuombea kwa Allah amuondoshee haya matatizo na mkewe na mwanawe warudi. Hakika subra ni ngumu ila ina malipo mazuri
@user-dr7de3xp1t
@user-dr7de3xp1t Күн бұрын
Allah amsimamie Mzee we² Ilaa wa² wa kibosho punguzeni tamaa za ardhi (ardh ambayo ndo itakayokuja ku²meza)
@jokhaali5893
@jokhaali5893 5 күн бұрын
Dr. Please wapambanie familia yako, ikiwezekana ondoka nao Tanzania omba ukimbizi wa kisiasa nchi za mbali
@nilastephen8265
@nilastephen8265 2 күн бұрын
Chozi la mnyonge hali endi bure. Baba mungu yupo halali wala hasinzi ipo siku mungu ata kujibu maombi yako.
@doreenmkingi3117
@doreenmkingi3117 4 күн бұрын
Mama yetu.. Wewe ni mama tunakuomba Rais wetu msikie huyu baba. Msikilize mhurumie. Tunakuomba mama 🙏Mama Samia tusikie wanao
@user-cx9lt8hh4l
@user-cx9lt8hh4l 4 күн бұрын
InshaAllah litapita tu mzee wetu na utakuwa na family yko kwa uwezo wa Allah
@e11said23
@e11said23 2 күн бұрын
Mzee wangu nime kusikiza kwa umakini sana mpaka moyo umeuma kwa uchungu pole sana malipo yako kwa Allah
@Zuu673
@Zuu673 5 күн бұрын
Sio bure nyuma yake kunawatu wazito maana km ingekuwa ni watu wadogo tu uyu baba zamani angepata utetezi fikiria hii kesi ya muda mlefu sana
@scolasticamayanda9048
@scolasticamayanda9048 Күн бұрын
Kweli nyuma yake kulikuwa na watu wazito sana kwa alivyo zunguka kote imeshindikana sio bure,mungh mpe nguvu huyu baba
@user-eu3xx5kn1w
@user-eu3xx5kn1w 5 күн бұрын
Subhanallah usikufu alhamdulillah Allah atakusaidia zidi kumwomba yeye ndio mweza wayote 😭😭😭🤲🤲🤲
@mamakayla6697
@mamakayla6697 5 күн бұрын
Yaaaani,baba huyu amekonda jamani😢😢😢anawazia familia yake tu.Mwenyezi MUNGU amtunze huyu baba mpaka auone wema wa MUNGU wake.Amen
@issarashid7707
@issarashid7707 2 күн бұрын
Allah akupe subra hakika mtihani mzito na akupe familia yko ikiwa salama inshallah
@piustombili9921
@piustombili9921 4 күн бұрын
"Uislam ni Upendo" Allahu Akbar
@pabloescober6709
@pabloescober6709 19 сағат бұрын
UPENDO wapi mngetuita waklisto makafili😅😅😅
@user-xi3tf5pd7g
@user-xi3tf5pd7g 7 сағат бұрын
yaani hakuna kitu sipendi kama kuitwa kafiri sasa mi huwa sielewi uisalamu gani sasa huu ukiwakuta wanajikuta watu wema , wema upi huo kutuambia sisis dini yetu ya mashetwani daah!
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 4 күн бұрын
Aibu gani hii jamani,haya mambo yanafanyika Tz,unamfanyia dadaako na watoto wake unyama huu. Yaani kwasababu ya kipande cha ardhi itakayokumeza? Yaani dini/kabila iwe sababu. Alafu mzungu akiwabagua mtasema mbaguzi. Hii aibu wakibosho ptuuu...........
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 16 сағат бұрын
Wewe Neema una Akili nyingi Sana!. UMEGUSA KIINI CHA TATIZO. Wengine wanajifanya VIPOFU. WANAKWEPA KUUNYOOSHEA KIDOLE HUU UOVU●
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 4 күн бұрын
Imeniumiza sanaaa, Makonda mbona anasaidia wengi huyu hapa jamani asaidiwe naye
@user-il9wb1tx4h
@user-il9wb1tx4h 5 күн бұрын
Wallahi it's really pain. May Allah( swt) bless you a heart of patience inshaallah. Ameen 😢😢
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 4 күн бұрын
Maashallah. Doctor Bilal Allah akuhifadhi ktk dini ya haki
@junioremmanuel1695
@junioremmanuel1695 Сағат бұрын
Nashindwa la kukoment ilaa huyu huyu Mwenyez Mungu alie hair bas akaonekanike katika familia yako baba yangu
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 5 күн бұрын
Kwenye giza Mungu huonyesha mwanga ,sualà hili najua ufumbuzi utapatikana ,viongozi ,heshimuni kanuni ya kuitwa viongozi, Neno KIONGOZI ,kila neno lina maana yake, sasa watendaji wetu kama huyu baba yetu fuatilieni tujue ukweli uko wapi jamani
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 күн бұрын
Daktari Bingwa magonjwa ya wakina Mama. Du! Mtu na nusu.
@HassanWasiwasi-lq1kh
@HassanWasiwasi-lq1kh 19 сағат бұрын
Hakika sisi sote ni WATUMWA wa M/MUNGU na kwake ndio marejeo yetu, Pole sana MZEE wangu, namuomba MUNGU akupe subra mpaka mwisho wa mtihani huu inshaallah.😢😢😢
@Boyfromtanzania
@Boyfromtanzania 5 күн бұрын
Very sad, That's why I promised myself to live far from Tanzania. And I thank God for where I am today. Tz drama nyingi Sana zinazo kwaza mioyo ya watu.
@asiansky9767
@asiansky9767 4 күн бұрын
Kila mwenye imani hupata mtihani Allah akuwezeshe uishinde mitihani yako mzee wetu na akulipe daraja ya juu😢
@happinessndossa4544
@happinessndossa4544 5 күн бұрын
Hv ni kweli hii nchi viongozi wameshindwa kumsaidia huyu baba kweli ila ipo siku Mungu atamsimamia yey na wataumbuka sana
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 5 күн бұрын
Mara nyingi watu wa maana wana wapuuza wako tayari kupoteza wenye akili zao hii ndio nchi yetu
@athumanfuko199
@athumanfuko199 4 күн бұрын
wasomi wanateseka hivi je wajinga hali yao ipo vip
@user-bv7nm8xt4i
@user-bv7nm8xt4i 3 күн бұрын
Yaan mzee wetu anatia Huruma hii nchi hakuna Amani tunadanganyana tu Amani ipo kwa watawala tu lakn Mungu wetu SI mwepesi wa hasira Atatenda ktk hili
@jokhaali5893
@jokhaali5893 5 күн бұрын
Pole sana mdogo wangu. M. Mungu haghafiliki, utapata haqi zao
@OnlyRuky
@OnlyRuky 5 күн бұрын
Jamaaaaani Allha amsaidie jamani family yakee watokeeeee jamaani haya machozi Mungu atamlipia
@jescamushi7737
@jescamushi7737 4 күн бұрын
Danaher jmn msaidie huyu baba...uwiiii nmeliaaaa jamaniii
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 5 күн бұрын
Unaweza kudhani unapitia magumu lakini ukisikia wengine unajiona kabisa machungu yako ni madogo. Huyu baba anajikaza tu lakini Mungu anajua
@ndennkya9554
@ndennkya9554 2 күн бұрын
Kweli kabisa
@mohamedimuhinga9064
@mohamedimuhinga9064 5 күн бұрын
Mimi nauwakika mama mpenda haki ameshasikia kiliyo Cha uyu mzee akika awatanyongwa iyo familia aitanyongwa Tena labda wawe wameshawauwa,
@anuarymzee9898
@anuarymzee9898 5 күн бұрын
Duuuh kuna wenye vyeo na madaraka Hua wanaona wataishi milele ndio maana wanamaamuzi ya hovyo kabisa Ila wafaham kua hiidunia nimapito tuu MUNGU Akusmamie Kwa haya mapito unayo yapitia 😢😢😢
@marcominja8850
@marcominja8850 5 күн бұрын
pole sana mzee ,ardhi nyingi za ukoo zimelaaniwa ukizing`ang`ania mabaya lazima yakukute.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 күн бұрын
Kabisaa
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 4 күн бұрын
Kweli kabisaaa
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 4 күн бұрын
Mkuu tumia lugha nzuri kwenye hili. Nadhani ardhi ni urithi kutoka kwa mababu zetu. Haswa maeneo ya Vijijini. Nadhani Mila na Tamaduni husika za eneo husika ni muhimu kuheshimiwa.nadhani kama hili lingezingatiwa nafikiri ingeepusha au kurahisisha suluhu kwenye hili swala.
@marcominja8850
@marcominja8850 4 күн бұрын
@@sciencesocietyoftanzania5957 mbona sina nilipotumia lugha mbaya!
@MembeMohamed
@MembeMohamed 4 күн бұрын
@mamasamia president watanzania onesha huruma yako
@jacklinesimon7544
@jacklinesimon7544 18 сағат бұрын
Daaah!!inaumiza mnooo mwenyezi mungu akuvushe katika majaribu unayopitia baba angu IPO siku tu kila aliyeshiriki uovu huo atawapa wanayostahili
@nicksontz6145
@nicksontz6145 7 сағат бұрын
UJASIKIA WATU WASIO JULIKANA
@charlzmboya
@charlzmboya Күн бұрын
MZEE POLE SANA SANA SANAAA!!! HII NCHI IMEKOSA IMEKOSA JUSTICE!!! HAKI!!! NA NDIO MAANA CHADEMA WANA SISITZA UMUHIMU NA UHARAKA WA KATIBA MPYA!!
@nyakahodenis1473
@nyakahodenis1473 4 сағат бұрын
Ayo tv hii imegusa sana nyonyo za watu... Tafadhali watu ambao mnanguvu kubwa ya kupaza Saudi zenu kwenye mitandao ya kijamii mlitazame la huyu baba pia ili haki itendeke
@ezekielbaga1061
@ezekielbaga1061 4 сағат бұрын
Inaumizwa sana dudnia hii Kuna watu wanajimilikisha kana kwamba hawatakufa mungu wanasahau naowatarud udongoni ni mavumbi tu ndiomaana wananaishia kupata maradhi pesa wanazo ficha nje kwa kuiba Africa mwisho we wanawekewa vikwazo ni mungu anawaoneaha dhuluma yao itawayafuna
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u 9 сағат бұрын
Yaani wachaga na mashamba! Mungu awarehemu, kweli kumfanyia hivi MWANADAM,fani ya mke, future ya WATOTO imeishia,WATENDAJI WA SERIKALI HOVYO KWELI
@laurenciamaxwell
@laurenciamaxwell 3 сағат бұрын
Tunaangamia kwa kukosa maarifa,ya nini kung'ang'ana na kipande cha shamba wakati familia ilikuwa na uwezo wa kufanya mambo mengine tu mazuri?baba hukusimama sehemu yako kuiongoza familia yako ki ukweli,ulikosa nini mpaka uwapeleke watoto wako uchagani km vile huna kwako/ kwenu?mke unaambatana nae kwènu/kwako cio kwao,Naomba wengine tujifunze kutokana na mkasa wa huyu baba,nampa pole sana kwa matatizo anayoyapitia,Mungu atamsaidia siku moja ataungana na familia yake tena ktk jina la Yesu Amina
@hayeshimpeziy
@hayeshimpeziy 2 күн бұрын
This country inawatu wabaya sana..kuna watu wanaroho mbaya shetani akasome, imagine kuna mtu ndio aliohumu kwenye kesi hiyo na anaishi poa kabisa bila hata wasiwasi, wala hana hofu ya kujiuliza ubaya wake umeleta athari gani.. Police, Wanasheria na mahakimu mungu amewapa nafasi hizo ili msaidie watu na siio kuwanyanyasa kiukweli sio sawa kabisa, mnakosea mno na ama hakika mungu atawanyoosha hapa hapa duniani..shubamitiii
@hamudzakuwani4149
@hamudzakuwani4149 5 күн бұрын
watu u muhimuu Sanaa haoooo siyoo kuwachezeyaa kijingaa amesomaa kupitiyaa kodi za wana nnjii Leo kuwasaidiyaa mwamuwaribiyaa maishaa
@hamidtv5443
@hamidtv5443 12 сағат бұрын
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun pole sana baba hakika umepitia na unapitia kama waliyopitia mitume na maswahaba na mwisho wake ni ushindi wa kweli na nguvu usikate tamaa na rehma za allaah Allahumma ja alnaa Minal faaiziin 😢😢😢
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 4 күн бұрын
Mungu yupo hawai wala hachelewi. Mungu akufariji sana na yy ndio msemaji wa mwisho.😢 inauma sana. Pole sana mzee wangu. Mungu atayafuta machozi na atalipa gharama
@nursechunga4470
@nursechunga4470 4 күн бұрын
🙌 hiii dunia ni ngum Sana, pole baba, Mungu aitetee familia yako
@andrewkibuyu3735
@andrewkibuyu3735 3 сағат бұрын
Namuomba Mungu kwa uweza wake amrejeshee Baba huyu Famia yake ikiwa hai...inauma sana.
@HASASON
@HASASON 4 күн бұрын
Sio kwa ubaya wala nini lakini naomba kuuliza, mimi sio mtu mzima sana ni kijana mdogo tu lakini hivi kwanini wengi wanaosomeaga upadri baadae wakaja kuacha huwa wanaharibikiwa sana maisha yao yote, nimeona huyu ni mtu wa nne, sijui ni kwanini lakini! 😢
@carolineoyugi7771
@carolineoyugi7771 2 күн бұрын
Sio wote huwa wanaharibiwa Maisha, Dr Slaa ameharibikiwa kimaisha??
@florageofrey9486
@florageofrey9486 Күн бұрын
Iliwahi jifunza sehemu ogopa sana mambo yanayohusisha viapo Ukiapa jitahidi kutekeleza na kuvunja basi jitahidi kunyenyekea Ila yote KWA yote Mungu ni mwenye huruma sana na huruma yake iko wazi kwa wote, na majaribu ni kawaida ya binadamu Mungu mwema atawavusha watashinda Naomba Mungu awasamehe pekee anayo haki ya kutuhukumu. Na awaondolee adhabu na msalaba huu Mateso yao yawe njia ya kuwainua kama alivyomuinua Yusuph . Aliondoshe jaribu hili zito
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 16 сағат бұрын
​@@florageofrey9486 Bi.Flora, Kuna time ktk Maisha unalazimika MBWA, KUMUITA "Mbwa" Hii tabia yenu ya KUTUKUZA BAADHI YA MAKABILA; ITAKUJA KULETA HASIRA YA MUNGU KTK NCHI. Hebu tuwakumbushe "WACHAGA" Waache mambo ya KIFEDHULI HAYA!!. Hawa ni Makaka wanaomfanyia Dada yao na Watoto wake mambo ya KISHETANI KIWANGO HIKI!?
@hassankarume5058
@hassankarume5058 5 күн бұрын
wallah naomba Rais amwone huyu mzee,,,,,haki inauma sanaaaa asee😢😢
@JoyceLinus
@JoyceLinus 3 күн бұрын
Pole sana baba yangu Mungu ni wetu sote atatenda endelea kumuomba bila kuchoka baba yangu
@mwamgazamuya9825
@mwamgazamuya9825 Күн бұрын
Millard tunaomba hii post kila sehemu dunia iyone dhulma hii haki ipatikane tumeumia sana😢😢😢
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 5 күн бұрын
Mungu gusa kilio cha huyu mzee inshaalaah
@allymagimbi7217
@allymagimbi7217 4 күн бұрын
Mungu atasimama na ww mzee
@user-nj2jl7jm2d
@user-nj2jl7jm2d 23 сағат бұрын
Mungu ni mwaminifu na hataacha mtoto wake ateketee limefika mwisho ilo baba yangu Mungu ni mwaminifu
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 5 күн бұрын
Subhana Allah huyu baba bado hajapata msaada mpaka leo kweli?😢kwann mnafanya dhulma hivyo Allah akupe subra baba
@Yayouselim
@Yayouselim Күн бұрын
Huyu mzee anawajuwa vzuri Sana wanaomfanyia uadui na interview ipo wazi kabisa
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 4 күн бұрын
Pole sana Mzee. Ila mwandishi ningependa kama unge balance hii story tusikie na Upande wa pili wa familia inayotuhumiwa
@ukweli255
@ukweli255 3 күн бұрын
Upande wa Pili wa nani...ebu kaaq chini List watu wote unaotaka Story zao za upande huo halafu jiulize...Hili Taifa lina watu wanaroho mbaya sana ni vile Nyerere alitunyima Elimu BORA na wachache waliopata Elimu bora wanaonekana mwiba kwa Serikali na Watumishi wapuuuuzi
@jamesngingo6727
@jamesngingo6727 Күн бұрын
Pole sana mzee wangu Mungu yupo na wewe utakuwa na familia yako tu.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 5 күн бұрын
Duh Mwenyezi Mungu amtie nguvu,it's not easy.
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h 4 күн бұрын
Mama Samia Rais wetu,Mama yetu,naomba umuonee huruma huyu baba,najua unauchungu,naomba umsamehe huyu baba na familia yake
@ZuwenaNoman
@ZuwenaNoman 4 күн бұрын
Allah akbar yaallah yaallah inna lillah waiina ilaehy rejoon mswiba mkubwa huu 😢😢
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 8 сағат бұрын
Dr.nakupa pole saana lakini hakuna kosa kubwa kama kujenga ukweni.ww ulikuwa unajiweza ungewaacha tu ukaangalia menginge.mali hutafutwa uhai ndio shida.wakibosho nawajua ni shidaaah!!!
@scolasticamayanda9048
@scolasticamayanda9048 Күн бұрын
Nyuma yako baba kurikuwa na watu wazito tena viongozi na ndio maana walikufanyia yote hayo nahisi elimu yako ni kikeazo cha viongoz wengi.nskuomba baba nenda kwa kuhani musa kanisani kaombe kwa imani mungu atakutendea
@hyasintasilayo8952
@hyasintasilayo8952 4 күн бұрын
Pole san baba yangu,wameshinda hapa dunian na wala sio kwa Mungu ipo siku
@leokamil6284
@leokamil6284 5 күн бұрын
Hiyo ndio Tanzania na utawala bora na utawala washeria .Tujiulize je ni watanzania wangapi wamesingiziwa wapo ndani wanateseka kila kitu ni maelezo. Tukisema Polisi wauwaji ni hivi sasa kweli kuna laana kubwa sana. 😭
@taharayassin6528
@taharayassin6528 2 күн бұрын
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun Allah atakusimamiya katika matatizo ulonayo Allah awe nawe na kizazi chako Ameen Ameen Ameen yarab
@shedrackpiniel6800
@shedrackpiniel6800 4 күн бұрын
Mungu mpiganie huyu mzee
@Veronicamnjeja
@Veronicamnjeja Күн бұрын
Haki ya mnyonge haipotei ila inacheleweshwa....Yesu anayehukumu kwa haki akasimame kukutetea
@Revelation1412.
@Revelation1412. Күн бұрын
UKIONA MTU MZIMA ANALIA BASI 😢 UJUE MAZITO YAMEMKUTA MUNGU AKUTIE NGUVU BABA YANGU 🙏🏾
@newtontorad5525
@newtontorad5525 2 сағат бұрын
Pole sana mzee. Yupo Mungu atakusaidia
@user-lu8uq6et9p
@user-lu8uq6et9p 20 сағат бұрын
Mungu msaidiye baba umpe moyo wasubira familiya itoke
@evaalphonce
@evaalphonce 4 күн бұрын
Pole sana, acha Mungu afanye kazi yake malipo ni apa dunian
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 5 күн бұрын
Mungu akusaidie baba wangu 😢😢😢
@user-rm1sr3if9n
@user-rm1sr3if9n 4 күн бұрын
Mungu ni mwema atatenda muujiza baba tanzania rushwa imetawala
@BayekeFarijala
@BayekeFarijala 5 күн бұрын
Savi ni wilaya ya Malinyi. Mpogoro haswa. Pole sana
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 Күн бұрын
Naampa pole nyingi huyu mzee. Katika familia baba bora ni mwanaume yule ambaye nahakikisha familiar inakuwa salama kwa ghalama yoyote. Huyu mzee alipojiakwaa hajapatazama licha ya usomi wake! Kosa la kwanza ameshindwa kutumia elimu yake kutatua matatizo ya familiar yake. Kosa la pili amekuwa mbishi, bora unaware mnyonge kwa maslahi mapana ya familiar na sio kung'ang'ania na mwishoe unakuwa na majanga kama hayo. Kosa la tatu hili sio kwa uhakika sana ila inawezekana amemwacha mungu kwa roho na kweli. Kosa la nne sio kwa umihimu sana inawezekana umewasaliti wakatoriki kwa hajui wakatoriki ndo kila kitu unakuta ndo maana jambo lake haliendi popote
@donathajasson6401
@donathajasson6401 4 күн бұрын
Nalia sana kwakweli pole Baba yangu Mungu akutie nguvu familia yako ina karama kubwa sana watoto wako wana vipawa hawatapotea hawatakufa mpaka makusudi ya Mungu kwako yatimie Mungu machozi ya huyu baba yanalalamika kwenye kiti cha Enzi nakuomba Baba Ile damu yako ya thamani iliyomwagika pale msalabani iende katika kiti cha enzi ikafute mashtaka ya huyu ya huyu baba yaliyoletwa mbele zako na mshitaki wetu ibilisi
@user-yd9ds1zs1i
@user-yd9ds1zs1i Күн бұрын
Ewe m/mungu mwingi wa rehema hakuna mola apasae kuabudiwa is ipo kua ni wewe naomba usimamae kwa huyu mzee Amiin
@jordanmwamlima7579
@jordanmwamlima7579 4 күн бұрын
This is so touching, pole sana Dakitari Mungu atafanya njia!
@pendojohn5759
@pendojohn5759 19 сағат бұрын
Mungu hakim wa haki nomba utende katika hili inauma sanaaaaa jamani 😢😢😢haki iko wapi tanzania hiii hapa ni udini na ardhi,dini wapendwa tuliletewa ardhi tunazo nga'ang'ania tutaziacha hatuondoki na chochote!!Naimani familia yako ɓaba itatoka na kuwa huru tena
@ip_header
@ip_header 5 күн бұрын
Asante Millard Ayo TV kwa content nzuri, tunajifunza mengi kupitia interview hii.
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 5 күн бұрын
Dunia imejaa dhulma. Ndio maana kuna siku ya hukumu ya.kiama na kila mmoja atapewa haki yake. Mungu amfanyie wepesi mzee huyu muhimu kwa kazi na huduma yake anayoipa jamii ya tiba
@castoagust7073
@castoagust7073 2 күн бұрын
Naapa wote mliohisika kuiteketeza familia ya huyu baba, Yupo Mungu mtetezi wa wanyonge na mwenye haki, hakika malipo yenu mtayapata 😭
@fortune3502
@fortune3502 2 күн бұрын
Mungu akufanyie malipizi yaliyo mema yarab
@sabihasalim942
@sabihasalim942 4 күн бұрын
Kusoma Oxford sio mchezo hata hapa UK watu wanashindwa huyu mzee ni hodari....niliwahi kusikia story yake kwa channel ingine nililia nikaomba mungu ifike Ayo Tv.
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 күн бұрын
Kabisa Oxford sio mchezo
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 күн бұрын
Yani Tanzania Ndio kubaya hivi si unawenza kusingiziwa kitu na i kafungwa maisha dah mnatutisha tunaotaka kurudi nyumbani
@abdullahminchum9976
@abdullahminchum9976 2 күн бұрын
Ilianzia katika familia baadae ukaingizwa udini, utagundua hili ukisikiza hii between lines. Allah azidi kumpa subra huyu na awape la kuwashughulisha watesi wake
@salumshann7002
@salumshann7002 4 күн бұрын
muda sasa wakupaza sauti kama watanzania kutetea wenye matatizo kama huyu mzee naomba kwa uyte mwemye ushawishi tuanzishe campaign ili mzee huyu apate familia yale ....family ni kila kitu imagine inhekuwa wewe ungekuwa na hali gan ..... #Justice for bilal's family#
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k 4 күн бұрын
May Allah protect you man with wisdom inshallah everything is going be alright inshallah
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 45 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 6 М.
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН