Miladiayo hongera kwa kazi nzuri ya kuhubiri pamoja na jkk
@shalomizrael6674 жыл бұрын
Mungu ambariki sana
@amoskahindi7256 Жыл бұрын
I love you my Daddy, from Kenya
@shalomizrael6674 жыл бұрын
Asante YESU kwaajili ya akina PAULO wanyakati hizi za mwisho. Huu ni uamsho,, YESU niongozee IMANI.
@blessthegreat62104 жыл бұрын
God bless you Bishop Kakobe..
@sylvestermhojaaron96594 жыл бұрын
Napenda sana jinsi kakombe alivyo isimamia KWELI YA MUNGU , hasa maisha ya utakatifu, kuhusu mavazi ya heshima, mapambo ya mwilini,
@paulwambugu28365 ай бұрын
True Gospel ndio hii sasa Mzee be blessed
@mwansakalile7133 жыл бұрын
thank you servant for the word of life
@rachelmalimbwi17484 жыл бұрын
Mwenye sikio na asikie nia zetu zibadilike kwa jina LA Yesu,hongereni sana watumishi wa Yesu Kristo
@firbertpius28963 жыл бұрын
Hatuwezi kuwana jukwa la kumuhubili kristo kwanamnahiyo maana ninyiwenyewe mkotofauti na mafundisho yakweli. Sasa mnawezaje kuchanganya kweli na uongo kuwakitukimoja"
@davidmwatonoka19736 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akuongezee miaka mingi amina
@aaronswai69352 жыл бұрын
Mungu akubariki Askofu Kakobe!
@lilygracexx19753 жыл бұрын
Huu ujumbe sichoki kuusikia .barikiwa sana mchungaji Kakobe
@carlosmgimwatv34864 жыл бұрын
Aisee Hili JKK RIBARIKIWE SANA
@Kumbukwa834 жыл бұрын
Haleluyaaaa asante Jehovah kwa uamsho huu mkuu...
@geraldremmy24724 жыл бұрын
Baba Kakobe na Baba Gamanywa mnaturudisha kwenye msingi wa injili ya Yesu Kristo. Bwana awabariki na kuwalinda, muwe na uzee mwema. Mmenilea kwa nyakati tofauti tofauti.
@shalomizrael6674 жыл бұрын
Amina
@eagleentertainment87934 жыл бұрын
kakobe nakupenda sana
@newforcejv97214 жыл бұрын
Ukisikia neno lolote la kakobe unaweza ukaishi
@bubasha973 жыл бұрын
Amen ubarikiwe kwa kazi unayo ifanya kwa ajili ya BWANA Mungu wetu
@kakajoespicturescompany75284 жыл бұрын
Na Sisi Burundi tunaitaji kitabu hicho Askofu tutakipata aje ?
@gabrielisack77864 жыл бұрын
Barikiwa sana Kakobe
@kiranjaevaredi77503 жыл бұрын
Wow MUNGU n mwema sana barikiwa sana mtumishi
@pirminmatumizi54644 жыл бұрын
Tukio hili Ni kubwa mno. Nalilinganisha ktk siku zetu na Azusa Street Revival ya Tanzania. NASHAURI: Watumishi wa Mungu waasisi wa JKK (Bishops Gamanywa na Kakobe, Mtume Fernandez), tumwombe BWANA Mungu awawezeshe kuzunguka Nchi nzima kwa Kongamano kama hili. Tuikomboe Nchi hii ambayo imejisalimisha tena kwa demons kupitia kuwatambua tena Machifu-viongozi wa jadi.
@jackline6547 Жыл бұрын
Amen
@mariammulungu9884 жыл бұрын
barikiwasana JKK
@jumamasau72374 жыл бұрын
Baba zangu Mungu awazidishie neema
@mocranaburugi34864 жыл бұрын
Raw gospel, hii ndo injili inayotakiwa kuhubiriwa mana sasa hivi makanisani watu wana utapiamlo wa kiroho
@akanishabani57894 жыл бұрын
Mimi nakkbali sana Askofu Kakobe wewe una vitu vya rohoni sana! Mtu wa mwilini hawezi kuelewa.
@topluxury41633 жыл бұрын
Hallelujah!!!! Praise God
@pirminmatumizi54644 жыл бұрын
Yeah, JKK imekuja kwa wakati muafaka kabisa. Tumepona!
@godjuma-nm9sz Жыл бұрын
Safiiiiiiiiiiii
@shadrackkabula43434 жыл бұрын
Hakika huu ni uamsho siku za mwisho.
@samwellwiza53394 жыл бұрын
Waganga wamevaa suti na wameingia makanisani wakitokea bagamoyo sababu shughuri imeamia makanisani....
@barakamathayo77804 жыл бұрын
Injili ya moto sana hii na ni tamu
@albinusmruga5592 жыл бұрын
Mavazi ya kihaba zakaria
@ezekielezekiely84762 жыл бұрын
Kwa injili hii,purtin,unajitengenezea mazingira gani.tafakatini enyì wenyemamulaka,Bwana awatie nuru macho yenu ya nje na ndani.
@massawejacob4 жыл бұрын
Kweli sasa yahitajika wakristo kujitambua na kusoma biblia
@stewartmillanzi31914 жыл бұрын
TUNATAKA INJILI YA KWELI NA SI MAZINGAOMBWE YA WAGANGA WA KIENYEJI WALIOVAA SUTI NA KUBEBA BIBLIA. Wazee wetu endeleeni kukemea, kuonya na kuliekeza Kanisa. THIS IS FULL GOSPEL...!!
@johnniclous26774 жыл бұрын
Watu wanaakili na wanakuhemu acha
@chalesnguyaine99914 жыл бұрын
Me kuna mtu nlimkopesha hela akapeleka kwa waganga wa kienyeji na akaenda na picha yangu so akaichukua nyota yangu na nlivoombewa nyotaangu ilingaaa tena jaman Mungu anaweza kama kuna mtu amekuendea kwa waganga ili kuharibu nyota ako dawa Ni tafuta kwa Kristo maana kitarudi tu pia kwa upande wa laana Babako mwenyew anaweza akakulaani au Babu yako na ikakukuta ila ukisima imara mbele za Mungu hakika laana hiyo itafutika
@leonardkigutu71904 жыл бұрын
Jina la mtu yeyote alijatajwa hapa bali injili tu ya Yesu Kristo..mtu km unamakandokando yako yasiyompendeza Mungu kwa Injili hii lazima utachemka tu na kusema hovyo hovyo...watu wanajaa kwa manabii na mitume wa uongo kutafuta heti keki za upako,maji,mafuta, kweli!!? tumrudie Yesu jina lake peke yake linaweza kuokoa na kuponya,si mafuta na matakataka mengine.
@priscaalphonce16624 жыл бұрын
kabisa
@yusuphmkapa9343 жыл бұрын
Wote Hawa wanajuana mkumbuke yeye alikuwaje je ameondoa boliti lake jichoni mwake?
@johnniclous26774 жыл бұрын
Kwan ww watumishi wote utaka wahubili kama ww mbona ww unawakataza watu wasisuke hatusemi au unataka tuyaseme na yakwako ww ni kiongozi hautakiwi kuhubili watu Unatakiwa uhubili neno la mungu sio kusema watu ww unafikili hao unaowase hawana watu wao
@davfreemarket4814 жыл бұрын
john niclous imekugusa nini mtumishi badalika!
@priscaalphonce16624 жыл бұрын
pole kaka hajamuhubiri mtu amehuburi kweli ya Mungu inayotakiwa. Pamoja na maonyo. Sio swala la mavazi. Yeye anaihubiria roho yako iliyopotea kwa mafunuo ya wanaojiita watumushi kumbe ni utapel mtupu. Hii ndio injili Yesu aliyoiagiza ihubiriwe na sio pokea gari, pokea nyumba, pokea hela za miujiza nk. JKK Mungu wa mbinguni azudi kuwatunza na kubariki kwa kitetea Imani
@vanbeezy2584 жыл бұрын
Sio maneno yake ipo kbibilia kabsa wanawake wasisuke na wakiwa pakuabudia wafunike vichwa vyao