story kama izi hazina views kabisa kama video za diamond na ally kiba pia hata izi views zilizopo zipo negative then usipoona maendeleo unaisema ccm...jamaa kaongea points nyingi nzuri kuliko hiyo ishu ya 7000.. God have a mercy on Tanzania
@lingamakuna59455 жыл бұрын
kabisa,hapa nimejifunza kitu
@mcheshcomedy58094 жыл бұрын
Nakubali brother!!!
@abisaimuhanji36872 жыл бұрын
Watu hawataki kufanya kazi
@richardkobero69887 жыл бұрын
Uthubutu na juhudi ndio vitu muhimu zaidi katika ujasiriamali...Kuna Dada anauza uji anaitwa Porridge point amethubutu na ameweza ,kwanini sisi tushindwe....Vijana tuache kulalamika tupige kazi...
@neemakilomoni42587 жыл бұрын
Nakuamini kwa kuanza na mtaji wa 7000 watu wanazani biashara lazima uanzie milioni no, tena mtaji mdogo ndio unakufanya uwe milionea well done 👍🏾
@africanhappyadventure69517 жыл бұрын
Hakuna Mambo Magumu Kama Unajitumaaaa.. I like it
@jumaelias10197 жыл бұрын
Yuko bomba sana huyu jamaa,maamuz magumu na yenye busara
@CatherineMrema-st8iq6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akakuinue viwango na viwango..nimejifunza kitu ahsante 🙏
@suzanlyamuya44427 жыл бұрын
Safi sana kaka!!! MUNGU akazidi kukuongoza ktk kazi yako na sisi utuombee tufikie salama malengo yetu.
@mosongatz45345 жыл бұрын
👍
@BarakaSanane7 жыл бұрын
hongeraa watu wanatokwa mapovu biashara ni ubunifu ni kitu mhimu hyo 7000 kaitaja general pengine hzo juice kumi na moja ndo ziligharimu 7000 me nakupa hongeraa kwanza kwa uamuzi mgumu wa kuacha ajira sio kila mtu anaweza move foward
@annawinstone94267 жыл бұрын
zanana aliongea kwa uwazi, but mskikaji aficha kidogo mtaji.....but still ameninspire sanaa
@angelamhina30107 жыл бұрын
nimejifunza kitu hongera sana MAKJUICE
@hudsson757 жыл бұрын
angela mhina sasa ashakufundisha kununua, blender, fridge, matunda, glass, na kujenga kibanda kwa elfu saba
@leoniakalimanzira50907 жыл бұрын
Tatzo hana sehem za watu kukaa ,,,kazdiwa Kingdom juice pale kuna pakukaa projector inaonesha mzik mkubwa Yan unaenjoy
@allyathumani1195 жыл бұрын
Jamani!!! Ndiyo mwanzo, hata hao walianza kama yeye...
@HappyEliud-tk6bd4 ай бұрын
Juice watu weng wanachukua takeaway my frend
@iddatysupergirl65817 жыл бұрын
Hongera sana wengi watajifunza ila kwa mtaji wa 7000 binafsi siamin ila kiukwel juice inalipa sana kma ukiithamin
@tcbthemarket93175 жыл бұрын
Elfu saba alienda nunulia matunda
@dianamgani69 Жыл бұрын
Ni kweli mana apo hajaongelea gharama za kununua Brenda cjui ma fridge hzo glass za take away, ujenzi wa kibanda sawa hajatumia mtaji mkubwa ila sio 7000 mana hzo gharama zote za awali zinahesabika kama mtaji pia
@lexalzsoko51632 ай бұрын
@@tcbthemarket9317 YES SIO pamoja na fridge na umeme hapana
@suleimansaid7696 жыл бұрын
Fun juice soon In Sha Allh ndn ya tz more delicious
@petromtakati29757 жыл бұрын
Comment zotw zimepingana na kaul ya mtaji wa 7000, mm naona kweli, kwasababu huenda Alivo kuwa ataanza labda hakuanza hivo hivo alianzia chini kabisa mpaka Sasa yupo hapo alipo
@williumhelbert66446 жыл бұрын
mac nakubali sana mzazi nakumbuka kazi yako yakwanza ya chps lakini umekoma salul broo
@sakarimomoi70407 жыл бұрын
He is fuc**ing genius! Im inspired big up bro 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@husnatgamaah13357 жыл бұрын
Jamani amesema mtaji wa kwanza kwenda nao sokoni ni 7000 hajasemea vifaa🙄🙄 mnakua wagumu kuelewa jmn, hiyo fridge na blender si pengine alikua navyo tangu zaman kwa matumizi yake ya nyumbani??
@francemlwilo15865 жыл бұрын
husnat gamaah safiiii unauelewaaa sanaaaa
@keddlynebonny64623 жыл бұрын
Kwa uelewa wangu mtaji nikuanzia banda, blendar na matunda hivyo bhac ameeleza kitu kidogo sana
@kassimpashua50205 жыл бұрын
Jamani tuwe waelewa Siku ya kwanza aliuza glasi kumi na moja kwa mtaji wa sh.7000/=inawezekana Siku hiyo hakuwa na vifungashio/glass zinazoonekana.Mtanzania thubutu utaweza.
@andrewmalisa18937 жыл бұрын
daah jamaa anarekodi nzito sana juice glass 11 mteja wakwanza alikua mdada 😂😂😂 big up bro
@GovernorNkhulu7 жыл бұрын
👊He is doing something with his life,It's inspiring
@willyjulius77407 жыл бұрын
mtaji wa elfu 7000 sio kweli,afu umeanza ndani ya banda zuri.
@aloycempandana13367 жыл бұрын
Willy Julius ni mitaji wa kununua matunda ajaweka mtaji wa ofisi ambayo ni zaid ya iyo 7000
@iBlaq7 жыл бұрын
Katudanganya hapo hahahaahaha
@shaabanmusa51277 жыл бұрын
Willy Julius Hakuanza hapo hujamfatilia hapo Awwal nvp alianzaa Amini hilo
@theresiathomas39177 жыл бұрын
Willy Julius K
@josephdionizy28685 жыл бұрын
Willy Julius huo n mtaji alioenda nao sokon sheh
@marypartson8409 Жыл бұрын
Hongera mtoto wa Sayuna Shekalaghe
@irenesisamo21845 жыл бұрын
Hongera Mark though nlikuwa sijaonaga upo wapi nimezoea kingdom juice
@iBlaq7 жыл бұрын
Sawa makoye upo sawa brother lakini please kuwa open bwana achakupindisha ukweli... Unasema ulianza mtaji wa 7000 na Hapo hapo unasema ulianza na banda Moja kwa moja je Banda ulijenga kwa shingapi... Au Mimi sijaelewa.... Pia hyo kutembelea wateja ebu naomba tupe strategic ways ili tuamin maaana daaaah nikweli umefanikiwa lakin it seems Kama unaficha ukweli flani ivi.....but anyways sawa huenda ndo Siri zako... Hongera bhna boss
@abra26207 жыл бұрын
Amesema aleinda sokoni kwa 7000 hyo inamaanisha ni ile variable cost sio fixed cost maana ukiangalia kiivo kuna blender za kusaga, glass,mirija, fridge, kodi na vingne
@bone1027 жыл бұрын
abra 26 safi kijana angu
@abra26207 жыл бұрын
bone pamoja sana kaka
@josephdionizy28685 жыл бұрын
Raphael Nkwabi amesema buku Saba ndo alienda nayo sokon afu unawez ukaaanzisha biashara watu wakawekeza biashara ikakuwa
@rickyshabudin40665 жыл бұрын
Uwongo 7000 sio kweli
@kennedymaster20003 ай бұрын
Kwenye kondom umeharibu sana huwezi ukawa unaongelea chakula. Kuku, baga, juice na kondom
@jenivavedasto6367 жыл бұрын
hongera sana bro! big up
@daudm15587 жыл бұрын
Hizo mak juice Hazifiki mikoani...
@JiTuKaBheJa7 жыл бұрын
Sio mwenzako auze juice na ww uuze juice fkiria tafta chako
@anzakuishi94695 жыл бұрын
Hatukuelewi....unaposema mtaji buku7 wakati ushatengeneza banda..na kununua vifaa..kwani hilo nanda hukutumia gharama za kulitengeneza??kwani hyo hela uliyotengenezea banda cyo mtaji??au mtaji maana yake nn??tueleweshane...insipired story ila muwe wakweli mnapotoa success story zenu....
@ibengweboaz43275 жыл бұрын
chacha itinde hapo kweli kazuga, ila muuliza maswali nae hajashtuka, maana haiwezekani gharama za kutengeneza banda usizijumuishe kwenye mtaji, never!
@vincentrajjat88905 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iHern5SAistosM0
@franbar49137 жыл бұрын
Nice!!! You are smart!
@harrymakongwa11477 жыл бұрын
Umeniinspire upo creative sanaa bro..ntakucheki kwa email.
@juliusuronu88127 жыл бұрын
Tatizo watanzania wako na Complement sana....kusema mtaji wa 7000 mimi naamini....natambua mazingira ya kuajiriwa wengi hatuna desturi ya kuweka akiba na ndio mana kila ikifika mwisho wa mwezi kila mtu analia mshahara....Kujiajir kunakufanya mtu usibweteke...Hongera sana kaka
@erickmsallenge37247 жыл бұрын
Julius URONU ni kweli aisee watanzania kila kitu tupo negative sana bila kuangalia kipi tujifunze
@hudsson757 жыл бұрын
Bro ebu jaribu kuichanganua iyo elfu mpaka kuanza biashara
@juliusuronu88127 жыл бұрын
Yeye alimaanisha katumia 7000 kununua material za kutengenezea juice yani matunda, sukari na vitu vingine muhimu kwenye juice..kuweni makini kwenye kusikiliza jambo alisema banda alishatengeneza Before
@alhabibunjuu7157 жыл бұрын
Julius URONU elfu 7 unaeza anza biashara ila huyo muongo
@manernest59026 жыл бұрын
nmependa ushaur wako
@abasiomary96095 жыл бұрын
Jifunze yenye maana,kijana mbali tazama,kusanya mawazo ya jana,pambana japo yanabana
@rubensaitoti68392 жыл бұрын
Hongera sana
@kitimethegreat527 жыл бұрын
Yaani kote nimekuelewa ila umenichefua kwenye mark kondom
@real_a07947 жыл бұрын
Ume plan gud and still u have gud plan and also from ur talk u have also gud system But 4 pple around he can't explain wat u want to hear means he is growing in business... kama umeelewa
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Hongera xana brother ###
@ramseyrmsy33665 жыл бұрын
Elfu saba sio kweli ila mtaji sema ulikua mdogo ila nimependa kua umethubutu kila kijana anatakiwa kuthubutu
@mkingasana4005 жыл бұрын
hongera man kaza
@franciscaaugustino17337 жыл бұрын
Hongera ila jitahid na huku mkoan tuzipate
@saidysaleh74215 жыл бұрын
Hahahaaaaa buaaana weee ,embu fanya wewe ushike huko kwenu naimani umejifunza kitu hapo ko watakiwa kuitumia fursa hyo kufungua yako hapo mkoani kwako
@ChumaCoin5 жыл бұрын
Hyo elf 7 ndio alijenga na hcho kibanda alicho anza nacho au kibanda sio mtaji
@gg-fq4mf5 жыл бұрын
Hongera sana, ila kweny buku 7 umetudanganya
@simontamba12855 жыл бұрын
Jina langu wewe la nini blenda tu bei Ni zaidi ya laki
@stanleyjacob67445 жыл бұрын
Sukari kilo 1800/= Matunda assuming 2000/=take away glass 5000/= 😎
@juhudihardware38835 жыл бұрын
Hahah
@murtazantimba42702 жыл бұрын
Machine ya kusagia bei gani wabogo walishatuonaga kama watu wengi hatuna akili au hatujui kufikilia vzr
@marypartson8409 Жыл бұрын
Yaan nmefunga ofc yangu y juice sbabu ya usimamizi.
@majaliwa_tz50042 жыл бұрын
Uwe Na Mtaji Mkubwa Au Mdogo Kufanikiwa Ni Kujituma Na Kujiwekea Malengo Ila Tofauti Na Ivyo Ata Uanzie Na Mamilion Yanaisha Tu
@ramadhanwiliam64775 жыл бұрын
pendeni kuongea ukweli maaana hamjikubaligi kwann
@hosseamelikioli94105 жыл бұрын
Hhhhh mark condom tena kaka umetisha saana mzee . God bless you 💪💪
@imagepower36415 жыл бұрын
hongera
@inallahitrust18887 жыл бұрын
Nice na inatia moyo kila kitu kinawezekana nikujipanga tu nakutokubali kukata tamaaa
@shabanmohamed15455 жыл бұрын
Kila kitu kinawezekana ,kikubwa ni subira tu na uvumilivu .
@armanichicandow12257 жыл бұрын
MTU kafanya kazi benk unasema mtaji buku 7000
@nyotaamadi83897 жыл бұрын
Armani Frey ww unahonekana una wivu
@zanubaahmed497 жыл бұрын
Mtaji sio pesa alonunulia matunda tu, gharama zote alizotumia biashara ikaanza ndio mtaji, sio kweli 7,000
@armanichicandow12257 жыл бұрын
hapo nimewaelewa
@iviejustified81097 жыл бұрын
Armani Frey What a Lie... ila labda anaongelea mali ghafi alizonunua kwa mara ya kwanza.. labda hivyo
@verenabenjamin24957 жыл бұрын
Mie mwenyewe aijaniingia kichwani
@vailetjoseph64386 жыл бұрын
Hongeraa saaanaa
@iviejustified81097 жыл бұрын
Mie napenda kufahamu ingridients za juice zako boss
@PraygodMbise Жыл бұрын
Brother naomba kuwa supplier wako
@musanjama22117 жыл бұрын
Suala la mtaji wa elfu saba sio kweli
@saleheinnocent76365 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 true boy
@aishaaisha29577 жыл бұрын
Hongera kaka
@adyaa89227 жыл бұрын
Mmmmmh, huyu muhongo sana adi macho
@armanichicandow12257 жыл бұрын
njoo uchukue million tuone kama utaweza kufikia hapo, kesho wakiitwa na makonda mnasema wwanaonewa
@najmabajun17397 жыл бұрын
una onekana una ongea sana alafu vyoooooooooooooote pumba tu
@najmabajun17397 жыл бұрын
sio kila mtu ana weza kuamin ulilazimishayo kukiaminisha
@inodeculture27597 жыл бұрын
uyu dada kama alikataliwa na uyu jamaa
@najmabajun17397 жыл бұрын
+INO DE CULTURE inavo onesha au kashezea alafu kutoka kapa tofauti alivo tarajia ndio maan ana mkandiiiia ana miasila yake ila nn siku zote ukiwa una plan una ishi ishi tu lazima udondokee pua kwa sisi tunao jitambua na nita pambanaji wala atushangai iki alicho kifanya jamaa kufanya kaz benk sio kua tajili ila watu wengi wana jitoa tu ufaham ndio madem wengi mwisho wa picha kutoa povu mtandaon 😂😂😂😂😂😂😂😂
@inodeculture27597 жыл бұрын
+Najma Bajun kweli Najma Bajun alaf cc watanzania wengi tunaanzia Story ya hapo hapo mtu alipo ila autaki kujua ya nyuma zaid uyu jamaa mm nimeanza kumfwatiliaga ckunyingi na anani inspire kuzid kusonga mbele bila kukata tamaa japo wengine wanamponda
@godcompeter98447 жыл бұрын
Broo mm ndo mmliki wa G juice sasa unavy sema mtaji wa elfu saba yan brenda elfu mbili chumba elfu na mia tano yan kila mwez mia tano na matunda bado frig na hiz cup unaz uzia juice be serious wakt una encourage vijana wafany biashara
@hudsson757 жыл бұрын
Godcom peter asante
@jac94957 жыл бұрын
Godcom peter no hajaamanisha hivo amesema kwamba mtaji wake wa kwenda sokoni kununua matunda ni matunda ya elfu 7 sidhani kama amemaanisha gharama za ofisi na vitendea kazi
@manselectorgway85807 жыл бұрын
Kasema alienda sokoni na mtaji wa 7000 ina mana alienda kununua matunda kwa mtaji huo
@theresiathomas39177 жыл бұрын
Godcom peter 6
@josephdionizy28685 жыл бұрын
Bro daaah sikiliza tena upya
@issashomary87115 жыл бұрын
Aache kupotosha watu bhana mtaji wa 7000 sio kweli
@ambaryahayapopo67297 жыл бұрын
ongera sn maisha kujituma
@foteliberty40807 жыл бұрын
Gracius Makoi
@HusseinYusuph-sz8lu8 ай бұрын
Nakubal
@stellahmosha95175 жыл бұрын
Nimekuelewa
@salehgoldberg72375 жыл бұрын
Lipa hayo mafriji ya jamaa aliekupa hapo mana hku hongkong anahangaika kila siku unamgaia elf50 tu ...
@ezekieljacob57955 жыл бұрын
We pumbavu unatoa siri za watu.yanakuhusu? Atalipa tu mdogo mdogo. Makjuice tuwasiliane nikusupply sambusa
@juliusshaban24437 жыл бұрын
watu mnashindwa kuelewa yeye kasema alienda sokoni Na elfu 7 sio mtaji elfu saba
@safaritourstv19095 жыл бұрын
7000 contena kanunua bei gani, na bado kuna friji na brenda ya kusagia matunda ebu acha uongo au jaribu kufafanua kati ya pesa ya kununuria matunda na ya kuanzishia biashara
@chriskalega38557 жыл бұрын
wanatuchoresha hawa
@endruhussen44255 жыл бұрын
kuusumtajiwash 7000 kiukweliamedanganya
@minaziparasu87487 жыл бұрын
Jee TRA unalipialakiniiii
@eliadaabel89917 жыл бұрын
hahaha
@wakafilm30515 жыл бұрын
2inches has a chance
@africangirls4825 жыл бұрын
Elf 7 sio kweli ase
@stephenmateo86775 жыл бұрын
Safi
@priscadaniel74 жыл бұрын
hatari
@yusuphjaphari1547 жыл бұрын
I like it
@alhabibunjuu7157 жыл бұрын
Kwani ukitaja kiasi sahihi cha mtaji utaharibu nini mtaji wa elfu 7 ni uongo bhn implicit cost + explicit cost ndo iwe elfu 7 ...???
@aljerkanfilltrust19435 жыл бұрын
Ongera bro
@mohammadmpinga74047 жыл бұрын
Mtaj Wa 7000 Mhh😎😎
@josephtula55257 жыл бұрын
Mohammad Mpinga hiyo ni hela aliyonunulia matunda kwa siku ya kwanza, alikuwa anajaribu
@mohammadmpinga74047 жыл бұрын
Joseph Tula Boy Kumbuka Alishaajiriw Then Angalia Hyo Location Analipa Tsh Ngap Hzo Resources Anazotumia Tshngap Zote Hzo Ni Mtaj...
@yusuphjaphari1547 жыл бұрын
Siku zijazo namimi nitakuwa mtu Mkubwa Sana
@erickmsallenge37247 жыл бұрын
Yusuph Japhari ni vizuri kujiambia utakuwa mkubwa lkn uwe unachukua HATUA kwa haraka
@ZawadiZawadi-if2sv7 жыл бұрын
Yusuph Japhari 👏 mungu. Akufanyee. wepesi
@yusuphjaphari1547 жыл бұрын
+erick Msallenge asante Kaka na Nimekuelewa Sana
@yusuphjaphari1547 жыл бұрын
+Zawadi Zawadi 92575167 Nashkuru Sana
@bajukul69527 жыл бұрын
Yusuph Japhari wewe ni mtu mkubwa teari
@finahenly645 жыл бұрын
Aliqnza kujenga kibanda kwa elfu 7 au kununua blenda au alikua akisaga na meno 😂
@chwabizobk81605 жыл бұрын
Ila kwel.. maelezo Co kwel hayajajitoshelezaaA
@sharifunyengedi63225 жыл бұрын
Aliacha kazi bank akaanzisha biashara ya sh 7,000? Hmmmm hii ndio Tanzania ya Viwanda 😁😁🤣🤣😃😄😄
@roi25545 жыл бұрын
Big up sanaaa bro una zaid ya kipaji
@kizaabwe7267 жыл бұрын
Safi sana bro God bless u
@calenmichael68532 жыл бұрын
✨🔥
@patrickemmanuelemmanuel93545 жыл бұрын
nzur
@yusuphikaku67285 жыл бұрын
pumbavu wapo wengine so huyo mpaka kuajiriwa kwenye makampuni
@PraygodMbise Жыл бұрын
Mikoani
@lulumahungo64427 жыл бұрын
Sasa hakuanza na elfu Saba
@selemanjuma15955 жыл бұрын
Kwenye mtaji umedanganya
@joycejohn77546 жыл бұрын
waongo wakubwa wanadanganya watu hawa
@bashirikimamula66437 жыл бұрын
Safi boy
@deevon33645 жыл бұрын
7000 uo ndo mtaji wa matunda
@davidone47057 жыл бұрын
Ongela
@fibolychifunda66397 жыл бұрын
Acha uongo wewe,huwezi kusema ushafanya kazi benki na kampuni ya simu halafu useme umeanza na mtaji wa 7000,kwa hiyo walikuwa wakikulipa mshahara 7000,UMEWEZEZESHWA or there's something behind the gam3
@josephdionizy28685 жыл бұрын
Fiboly Chifunda mtaji alienda kununulia matunda .......elewa alienda kununulia matunda ya buku sab Hilo swala la office hajataja gharama ya office n sh ngap
@kbjuomaly84665 жыл бұрын
Dah:inavutia mno
@daudm15587 жыл бұрын
Tunazikosa hafanye utaratibu
@josephngasa37275 жыл бұрын
nmekuelewa"brother umepambna kwel kwel
@fredyjohnwaifakaratz24737 жыл бұрын
WABONGO BWANA SO SO SO SO SO KIBAAAAAAAAAO... PUMBAVU
@daudm15587 жыл бұрын
Kama mwanza
@armanichicandow12257 жыл бұрын
huyu alitimuliwa bank kwa wizi wa pesa
@nyotaamadi83897 жыл бұрын
Armani Frey acha wivu ww
@GovernorNkhulu7 жыл бұрын
Armani Frey 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KhadijaKhadija-mk6jf7 жыл бұрын
jaman we dad kila coment yko unamponda huyo kaka kwann?wivu unakusumbua ww alfu humtakii mema Allaaaa
@danielmtui1397 жыл бұрын
ww, hujinyaki ww
@mariamunightiness47765 жыл бұрын
Armani Chicandow ila sa hz kapiga bingo
@ramadhanwiliam64775 жыл бұрын
wewee acha uongo maaana hilo banda lakwako ama
@suzanmangi93167 жыл бұрын
unaonekana unaubinafisi ww hutaki wengine wapate
@bone1027 жыл бұрын
Suzan Mangi kwan lazima upate kupitia mgongo wake pambana na hali yako
@armanichicandow12257 жыл бұрын
ndo wanavyoongea kumbe unga ndo biashara
@entertainmentplace34607 жыл бұрын
Armani Frey if yua lazy husizingizie unga na ww uza unga ufike hapo kwanini binadamu tunakuwa wapesi wa kuukumu wenzetu haraka wakifanikiwa na kua na fikra ovyooooo!!!we jipige kando wacha wenye bidii wapambane watafikia malengo yao ww unaonekana mtu ambae huwezi endelea juu umejawa na negativity in yu my dear husiwe ivo na unafunza nn wadogo zetu wamelemewa kweli aeza kua ni unga but kumbuka kuna vijana wadogo wanatamani kua kama yy so ukisema ivo unawavunja moyo wacha kua mtu mbinafsi
@erickmsallenge37247 жыл бұрын
Negativity mind....kamwe huwezi kusonga mbele kwa kuamini kila aliefanikiwa anafanya mambo haramu.....change ur mindset......
@entertainmentplace34607 жыл бұрын
erick Msallenge i support you 100%but cant blame her koz africans we r full of negativity minded kuamini uchawi n bla bla ukisikia uchawi ni pale mtu ataki mwenzake afanikiwe surely wen will we come out from this negativity !!mostly tunajifikiria wenyewe tunakua wabinafsi fikirieni na kizazi kinachotufuata!!
@pancrasmassawe34167 жыл бұрын
Armani Frey aimaniisha kwamba hakuwa na pesa nyingine alikuwa nazo but si unajua uwezi ukaanza kutengeneza labda juice nyingine wakati ujajua unawateja wangapi au itapokelewa vizuri