Scott Pizza Uko Vzr Hongera Kwamawazo Bora Jenga Bland Ssa Jitangaze Vyakutosha Namini Utafika Mbali zaidi
@newbornhaule16356 жыл бұрын
Upo vizuri Scort acha hao wanaokudis hata kama wanasema wazazi wako wanakusupport Wewe unaakili yapo matahira mengi yanayosaidiwa na wazazi wenye vipato lakini yanaishia kuishi na kuponda Raha tu keep it up Wabongo wengi tumejawa wivu tu.
@jumasaid88926 жыл бұрын
Kweli kbsa
@magrethdaniel65096 жыл бұрын
great
@lizety1996 жыл бұрын
Acheni huo wivu.. Kuwa mtoto wa familia ya kishua sio tiketi ya kumponda hivyoo. Mbona watoto wengi wa kishua wakipewa magari wanaishia kufanya starehe na wanawake. Kila siku ni kuhama vijiwe vya starehe mpaka kero. Hongera dogo... Songa mbele Mungu atakusaidia
@shadyally11156 жыл бұрын
Gud
@hotmedia23576 жыл бұрын
Nice
@mammyali34246 жыл бұрын
Umesema vizuri waambie wivu ni kidonda
@arthurmwakanyamale76516 жыл бұрын
sana mkuu
@lipymuscat47794 жыл бұрын
tena watoto wa kishua wingi ni marioo..huyu scotts ana akili ya biashara
@07medy6 жыл бұрын
Hongera sana kijana..japo kumpa credit mzazi kua aliku support kwa zaidi ya 70% si dhambi..just simple maths..14mil umeuza gari aliokupa..your own total savings haiwezi zidi 20mil hatakama uliuza simu na uka save..and the rest 41mil zimetoka kwao wazazi..still uko na bright business mind but admitting you got a huuuge push from your parents is not a crime..great work by the way the future is yours to grab.
@Myright8886 жыл бұрын
Hapa ni kujifunza kwamba mtotp mwenye akili ya kutumia mali za wazazi vizuri kuinvest vya kwake. Mtoto mwenye akili hakwenda kutumia kwa mambo ya dunia. Na kwa kua bado umri mdogo basi Mungu aweze kumsimamia tu hadi mwisho. Big up kijana.
@martinkaijage71406 жыл бұрын
Huyu Jamaa ni mfano WA kuigwa na watu wampe support kwa kwenda kujipatia pizza ya ukweli
@seamansilver18406 жыл бұрын
Mungu nisaidie Nizae mtoto mwenyewe Akili kama huyu....nakuomba Baba
@sawiajaffarysawia19146 жыл бұрын
Seaman Silver amina mungu ni mwema siku zote
@lykamlaki12185 жыл бұрын
Amen
@muchunofrank13266 жыл бұрын
Utajiri ingawa ni mgumu, ila unaanza kichwani, kama alipewa gari akauza point inaanzia, wangapi wako tayari kuuza vitu ambavyo haviingizi pesa mfano hata tv au simu ya bei kuwa mtaji, point ya kusema ametoka familia ya kitajiri inaweza isiwe issue sana, ila wazazi wake hasa mama naona kampa elimu nzuri ya biashara
@luckbwoy33156 жыл бұрын
Point
@bettymassanja8816 жыл бұрын
Clever boy, keep it up cleverly as you have already done so far.
@hidayaseif63796 жыл бұрын
Kabisa
@alphayomeseyeki27356 жыл бұрын
picha zilizo tafisiriwa
@mranzuann79506 жыл бұрын
nimelike bila hata ya kumaliza kuisoma hii comment, Umeongea bonge la point bro
@rillsrills91836 жыл бұрын
Hongera sana. Kuweza ku execute idea kama hii na kuwa kitu tangible wewe ni watofauti sana hapa Tz ukilinganisha na umri wako..
@stevenpaul48186 жыл бұрын
KIJANA YUPO vizuri licha ya kuwezeshwa na wazazi lakini YUPO vizuri sana KWANI kuna watu wangapi ambao wanapewa mitaji au kukopa pesa benki wanaishia kununua magari tu na kuhonga Big up sana mdogo wangu
@hameesj.57636 жыл бұрын
Dogo upo vizuri smart sana. Kuanzia wazo lako ulilokuja nalo na namna unavyoli-implement inaonyesha ni kiasi gani umejaliwa na unajitoa kujiajiri. Hongera sana na iwe ni funzo kwa vijana wote tulio na ndoto za kufanikiwa kimaisha. Umenivutia sana kwa wazo lako na hakika kila jambo linawezekana. Mungu akujalie katika ndoto zako.
@yolakahmathews69136 жыл бұрын
Well done kijana, licha ya kwamba wazazi wanazo. Ulitambua ya kwamba gari ni liability na si asset.
@kbmhd6 жыл бұрын
Yolakah Mathews what is asset
@na0m1fes515 жыл бұрын
kevin mpinda asset ni kituu kinachokuleteaa faidaaaa kama kiwanjaa, biashara
@emanuelsolomoni70036 жыл бұрын
Input to output to result. Anacho cha kutufundisha ila kwa m2 wa kawaida sana si rahisi rahisi kufika investment hyo kwa miaka yake. Ila kwa wakishua nao wana angle yao ya kujifunza. Asante millard ila hzo title bro unaumiza na unaweza wapasua vichwa wale vijana wakawaida sana. Hongera scout nistry yako kama ya MO yan vipo ila unavipeleka kuzalisha na sio kuvitumia na kuvifilisi.
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Hongera sana kijana Mungu akutie nguvu na moyo mkuu ktk utendaji wako wa kazi nk vijana wachache sana wenye akili kama yako ya kuuza gari na kuanzisha biashara wengi wa vijana akipewa gari mmmmmhu watamkoma mtaani najua vijana wengi wanapenda kuwa na gari za kufanyia starehe hata kama hana biashara ya kumuingizia pesa .Mungu aibariki kazi ya mikono yako uzidi kufanikiwa zaidi.
@r-jay74046 жыл бұрын
Kuwa Na Wazo/Lengo/Ndoto Ni Kitu Cha Kwanza.. Utekelezaji Ni Kitu Cha Pili.. Haijalish Una-support au Laa.. Hongera Sana Scott Kwa Uthubutu..
@jenipherchristopher22306 жыл бұрын
Yaani unaakili sanaa.. maana wangekuwa watoto wengine wangebweteka tu na hizo mali za wazazi. siku wakifa unaanza kupata tabu.. wewe piga kazi mdogo wangu.. ila hongera kwa wazazi wako maana wamekufundisha akili ya biashara..
@nkuhimmary60076 жыл бұрын
hongera sana mdogo wangu daaar 💕 #muchrespect... broo God bless you 🙌🙏
@fatumahengo68496 жыл бұрын
kweli watoto wangapi wa matajiri na tunawaona kiishia ulevi tu hongera sana kijana mungu akusimamie kazi zako
@vicksmithy226 жыл бұрын
Big up Scotty acha waseme tyuu ur so young kid Mbna kuna wengine Jaman wanapew lkn wanaishia kuspend tyuu Wew unayeona ni mteremko kapew ungepew wew hlo alteza si ungeishia kuhonga tyuuu khaa kweny ukwel tuseme kajitahd sanaaaaa
@jeremiahmasunzu34376 жыл бұрын
Interested wapo wengi wanaotoka family ambazo ni classic lakini wanaishia Kula serve,mapenzi mengi ya starehe lakini pia Hongera kwa wazazi kukupa support niwazazi wachache ambao anaweza kukubali mawazo ya mwanae nakuwa independent mind.God help you
@jeremiahmasunzu34376 жыл бұрын
@@ziggyhendrixx7445 Asante kwa kuelewa
@ziggyhendrixx74456 жыл бұрын
jeremiah masunzu nawe pia
@willykaovela54856 жыл бұрын
Pesa hufata mwenye pesa.gonga like
@chwabizobk81605 жыл бұрын
Sure
@benlaizer99365 жыл бұрын
Akina MO, Dangotte na wengine wengi wamekuta mitaji ya baba zao wakatuliza vichwa Leo ni mabilionare cha ajabu kipi bwana mdogo kupata support ya wazazi? Huyu dogo yupo positive sana bhana Kwan wangap wana nafasi hizo lakini wamechezea
@Linkay894 жыл бұрын
Well done young man. I will definitely support him when in Tanzania. May God’s grace keep covering him and his in Jesus’ name, Amen.
@newagecommunications72586 жыл бұрын
Congratulations, wewe ni mfano,haters ni kawaida ya wabongo,exposure sifuri
@suzanmgaya43235 жыл бұрын
Scotts mungu aihibariki kazi yamikono yako naaje akupe mke mwenyewe ufahamu kama wako mjengefamilia nzuri iliyo imala
@agnessjohn9606 жыл бұрын
Tukipata vijana 10 tu kama huyu, hata Mungu atatubariki zaidi na umaskini utaisha loh.. Totally inspired
@heraldloshi18646 жыл бұрын
Hongera sana Scot,kila la heri kwenye uwekezaji wako.Pizza za Scott kwenye soko la dunia inawezekana.Kaza buti,mengine muachie Mwenye enzi MUNGU.
@mussaomary71735 жыл бұрын
sawa anajitahidi.hongera.haijalishi katoa wapi mtaji.asitudanfanye uokezaji huo hapo kwa macho ya mimi fundi.ni zaidi 200.
@nasramsami34106 жыл бұрын
hongera kwa kujiongeza scotts ni wachache sana wenye plan za maisha wengi wanatumia hela za wazazi wao vibaya
@hamadshein82725 жыл бұрын
Kila cment hongera hongera. Nyie wavivu tu kaz mnazijua za kuingza pesa ila hela zenu zimeunganikana na nafsi zenu.mnao mkitoa tu hela mnakufa.fanyen kazi mkalia hongera hongera.
@dynesmsofe93146 жыл бұрын
G.N hongera sana dear one for the big step yu reached God be by yur side...if yu wish good for him weka like yako hapo
@adamhamisi61614 жыл бұрын
Big up dogo nimemkubali sana#2021
@AMBINHED6 жыл бұрын
Good luck scott so proud of you ! Watoto wengi wa washua ni mambumbubu tu . Huyo kajitahidi sana kusevu hela na wazAZI WAMEMWONGEZA KUTOKANA NA KUMWAMINI GOOD JOB SCOTT PIZZA . Tuige mifano hii sio ya kuva Vikuku 🙏👏👏👏
@enlightenedoness22284 жыл бұрын
Hongera sana Scott we ni mpambanaji💪🏾
@ommybrain96076 жыл бұрын
aah mwenye nacho ataongezewa asie nacho utangoja kwanza
@asiyaboss55786 жыл бұрын
😅😅😅😅
@lykamlaki12185 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂
@na0m1fes515 жыл бұрын
OMMY BRAIN hahaahahaaha sawaaa
@bintiiddy70434 жыл бұрын
😁😁😁🤣🤣😂😂😂
@kallamujunior93956 жыл бұрын
Fikiria kwanza wangapi wamesha Pata pesa nyingi kwa kuhaso lkn mpaka leo wamefulia. Mwisho Mwampamba nawengine wengi tu lkn hawakuwa na uwezo wakufikiria alipo fikiria huyo Dogo kuzaliwa kwenye familia yenye uwezo sio tija. Apongezwe na apewe support pia
@isramabasi11635 жыл бұрын
Oya braza sicti safsana umenifundisha kitu asante sana mungu akujariye
@magrethwezza13392 жыл бұрын
Scot umeweza umeweza umeweza tenaaaaaaaa Mungu akulinde
@maureenmwandezi96466 жыл бұрын
... am inspired☺️big up scott.. i knw il reach smwea like u at dis tender age😥😥😥G.O.E..🙏🙏
@TheSalma19996 жыл бұрын
Ana akili sana tumsaport mwenzetu jamani hata kama tajiri yuko smart sana huyu kijana
@jacksonlusagalika6 жыл бұрын
wabongo wengi wanapenda kuwa katika hali sawa yaki maisha hivyo ukiwa kwenu kuna uwezo wanakuita wakishua na hawatakupenda, lengo lao mgekua maskini kama baadhi yao na ukiwa katika hali ya chini pia kukushika mkono ni ngumu sana, "People will love you and support you when it's beneficial".
@normallivesmatterwhysilent76436 жыл бұрын
Hongera sana brother ..mungu akusaidie uendelee!!#scoots pizza
@deboramwanyanje60336 жыл бұрын
Hongera sana. Kufikiri pia Si jambo dogo
@joycemartin53065 жыл бұрын
Ongera sana scott ww ni kijana mwerevu utakua mbali kimaisha.nimependa sana kaz yako.
@abdulazizsharif29846 жыл бұрын
Hongera sana Bro na big up 2sana but ukae chonjo na Madem wa kibongo maana wana..... Mungu akupe zaidi
@na0m1fes515 жыл бұрын
AbdulAziz Sharif kweli kabisaaa bongo tenaa 😂😂
@kedyjohn18486 жыл бұрын
Saafi sana Bwana Scott: am sure it’s gonna be my next destination with my sisters, mother or future girlfriend. I’m super impressed 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@geoffmaster67944 жыл бұрын
Nice.boy keep it up.dont.and never give up jah bless
@ummohamed44046 жыл бұрын
Bora uwe mfano wa Watanzania . Maana sehemu nyingine nichafu sana tena hasa Mkata sehemu zao zinachafua roho. Kuku nnje na nnzi kibao.meza chafu sahani chafu. Ila wewe uwe mfano wa Tanzania uliokuwa bora.
@pabloescoba42606 жыл бұрын
I'm not Tanzanian but I understand a bit of Swahili but this young guy should be a role model to all young Tanzania not diamond, coz one thing we African are so behind our counterparts like Indian or white is they save and only spend when is necessary. Even though he had a helping hand but choose to do business in order to batter him self, rather than wait for handouts from his parents. After pain must come pleasure, is a mater of time before his hard works pays off. I love Tanzania 🇹🇿 the safest place to live in Africa.
@joniajohn47163 жыл бұрын
Well said👏🏽👏🏽👏🏽
@islamkumba83835 жыл бұрын
Ongera kaka Scotts mungu akuongoze kwenye biashara yako amen!!!!
@hijamaulidi73823 жыл бұрын
Yy aliuza gari la babaake kma mm niataman nifany kitu ttz umaskin na luck of support
@ruthmaivaji19736 жыл бұрын
Safi sana...ajili kubwa hiyo ya kujitegemea na utafutaji...uko vzr kijana.
@crausmasala85725 жыл бұрын
One day my son will do this if god wishes
@nk_fx98934 жыл бұрын
if u teach him
@selemanihussein50736 жыл бұрын
Hiyo Scott’s pizza ipo huku marecani na nilishaga wai kwenda kuliya pale, sikubali kama kaanzisha yeye. sema kaingia share na wamiliki wa hiyo kampuni ya 🇺🇸. Alafu wekea watu waliyoanza chini kwenda juu siyo waliyoanza juu kwenda juu ni upuuzi tu. Hapo kwa vijana wa hali yakawaida hujawapa hamasa yoyote.
@kariana81136 жыл бұрын
Haijalishi pesa kapewa na baba wala babu anaakili ya akhera siyo ya duniani..upo vizir scott angekuwa mtu mwingne hyo gari ingekuwa fashion show tu uko snapchrt na kubeba videm.ila unaakili ya kuzaliwa nayo utapata pesa zaidi ya hapo ya kujenga gari haina maana yoyote ile kila siku service kama simu ya torch
@dreezynetworks68966 жыл бұрын
I always like to watch ayo videos and I do follow him on instagram, after that I go for the comment section to see what the majority of the so called 'patriotic T anzanians' are commenting. And I have discovered that most of us are illiterate we all want to be of the same level. Well lets take as example from this video, most of us have congratulated this young blood well lets face it he has a bright future ahead and that is how great rich men rise up. Being rich is a state of mind it concerns not the capital you have got. Despite the fact that there are the well wishers but also some stupid fellas who know nothing but dissing. We shall always remain poor. MTOTO WA USWAHILINI ATA BAKI KUWA WA USWAHILINI TU. if the problem was the wealthyness of his parents then we all have a problem. First let us understand one thing do we all know how other countries think of us? they do say the way we speak of this poor lad let me put this clear. Tanzania sisi ni wakishua tuna utajiri wa kila aina ila ulishawahi jiuliza kwa nini sisi ni maskini? If you can answer that question well u may now have found a reason to shut the FUCK UP, all who are dissing this young lad
@maureenmwandezi96466 жыл бұрын
wereva u are... u r a great one😍😍
@alfredmnzava32956 жыл бұрын
i like this,
@mwinyimkuumwimbe82356 жыл бұрын
Me nazan kwanza utayar wk cz kuna weng wanasaportiwa na wazz wanafunguliwa mirad lkn mwisho wa cku wanakula mtaji so big up young brother
@nawihadj66746 жыл бұрын
yeah upo sahihi snaa
@dorothygeorvid65576 жыл бұрын
Hongera sana Scott. Hata muonekano wako unaonesha you're bright and you have vision. I see bright future ahead of you and all your dreams shall come true
@issamakamba55696 жыл бұрын
huyo dogo anaakili sana pongez kwake..MTU inamuuma sana dogo kutusua ..ukiona roho inakuuma ujue ukizeeka utakua mchaw ndug yang badilika sasa..unasimu isiyo pungua laki moja na nusu ambayo unaweza ukabuni biashara hata ya kutembeza tyuu.. wabongo bwana...
@bisadibisadi68626 жыл бұрын
Nimefurahi sanaa good naomba unoajili mm nimpishi mnzuri wa piza
@TheApraries6 жыл бұрын
Millard ungefanya kutafuta watu wa maana for such interviews! Mtu katumia dakika 8 zote kushangaa maisha ya huyu kijana na kumuuliza repetitively "so hujatafuta pesa umepewa milioni 15" I feel like there could be a lot to mine from this sort of project and person especially the will and how he went about setting up his business,market etc. Ila jamaa kaharibu interview
@hamedyshella61956 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wanguu ayo ndiyo mafanikio tunayo yataka siyo yakina daimond mara majumba haiwereki ana meck vp ila maisha yake lakini we mdogo wanguu wakishuwa unatuektiya tim,king majutooolll
@barakakephasi62926 жыл бұрын
haiwezi ikawa inspiration kwa vijana hii wale wenye hali ya chini , kila kitu amepewaa saasa hii itawasaidia wale wenye uwezo Ila hawana akili na usikute hata hii in yawazazi wake
@msdeogras32176 жыл бұрын
Respect brohh.........Umefundisha
@thomasenockgogomoka60566 жыл бұрын
That's really Nice hongera SNA kijana for such inspiration.
@lizernest78525 жыл бұрын
this is pure financial genius right here...
@onlinemateustv19256 жыл бұрын
Sijui lakini ila kwa pesa hiyo ni nyingi sana kuwekeza kwenye biashara hiyo ukilinganisha uzito wa mkwanja aliowekeza na faida ya kila siku sijui kama vingefanana OK vizuri sana akaze but 75 si mtaji ni zaidi ya mtaji
@arafiakasuke5106 жыл бұрын
We Pizza inalipa hatar
@elijareliya95286 жыл бұрын
Hiyo biashara ikichangamka anaweza kuingiza a minimum of 200k kwa siku piga hesabu in a month ni 6m. Hela yake inarudi in 2 or 3 years. Then from there ni faida tu.
@reevesmirondo6 жыл бұрын
Congrats Geof. Mungu akutangulie dogo
@jacklinkangero33396 жыл бұрын
Very good boy, umeweza! Maneno yao hayatakushusha, so me to I can!
@afyandogo5 жыл бұрын
hii kitu inategemea na familia uliotoka sisi wengine tumekua katika nyumba za kupanga wazazi wetu halitete hutegemei kupata mil 10 unakawaza kufanya biashara zaidi yakuwaza kujenge nyumbu kwa historia ya familia yake halali afanye hayo maamuzi hongera sana
@nemencembale56415 жыл бұрын
Congrats kwake.....kwa umri huo na kwa mtaji huo.... huyo ni risk taker.....
@husnajohn60106 жыл бұрын
Mimi mpishi mzuri wa piza natafuta Kazi nilikuwa Oman miaka 15 sasa hivi nipo Tanzania mpishi mzuri najijuwa natafuta Kazi ya kupika
@mustaphahassan5896 жыл бұрын
Husna John maa shaa ALLAH
@hundamaniamania8725 жыл бұрын
Anatamani hta kutomtaja baba yke duuh eti Sansana mama😁😁pumbavu we sema salute unaakiki + kuanzisha Pizza tena bongo duuh
@teddysonboniface2826 жыл бұрын
Watu wengi naona Hamjaelewa mnasema kuwa Hii story aiwezi ikawaamasisha chochote kwakua uyu kijana kwao wanapesa basi naye ndomana anapesa, Hapana sikweli tunacho jifunza hapa nikwamba unaweza ukawa na Umri mdogo lakin ukafanya jambo kubwa lapili unaweza ukawa unamiliki kitu chenye Thamani ambacho ukiuza ni mtaji mfano unamiliki smart phone yabei lakin huna biashara yoyote, kumbe unaweza ukauza smart phone yako na ukaendesha biashara, Sivyema kusema kwamba yule aliyekuwa maskini sanaa akifanikiwa ndotupate elimu kwake
@fatmachambotanzania93795 жыл бұрын
Hongera sana Mwenyezi Mungu akusimamie
@eurozbsimoniz68666 жыл бұрын
Ila mi nampa pongez huyu dogo kwa kuuza gari nijambo hambalo vijana weng humu tusingeweza kwenye utaftaji hapo Jamaa kakuta kitonga jamaa Ila sisi wengine kupewa hata zawad ya bike hatujawai pewa ila niutaftaji wetu ndio umetufanya tuvipate
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Na Familia kuwa vizuri inachangia, licha ya yote.
@mustaphahassan5896 жыл бұрын
Saumu Hassan kweli kabisa dada
@deotv5034 жыл бұрын
Ilaa tukumbukee Luna msemoo unasemaa kuzaliwaa masikinii xio shidaa ila kufaa masikinii ni tatizoo lako
@stannerbeats6 жыл бұрын
kiufupi ni mipango ya mungu na imetimia bless up
@magrethamalliya80316 жыл бұрын
Hongera sana. Mungu akutangulie.
@tabuselemani68695 жыл бұрын
tuungane dogo langu hata mie niko vizuri kutengeneza pizza na ina ladha ya kipekee kabisa mambo ni💪💪
@Bruno4cus6 жыл бұрын
Ujasili mmoja wa ajabu na wenye maamuzi magumi kwa kizazi chetu hiki congrats Bro
@jacksonshadrack37195 жыл бұрын
I will follow your way toward success congrants bro
@normanmjomba13785 жыл бұрын
#Kazi ibarikiwe ... Malengo ufanikishe .... #You challenged me bro...
@HassanHassan-ud8rx6 жыл бұрын
Mungu amsaidie anapiga hatua nzuri sana huyu kijana mungu akipenda
@mosesskabelege57616 жыл бұрын
We bwana wew huyo kwao wote wako na pesa,, mother iko pesa & dady pesa iko. Ni wachache sana wazaz wakupe ki2 bila kuenyeka mzeee, alipendwa na wazaz wake huyo.
@mariamukajiru18986 жыл бұрын
Ukisoma comment utagundua wengi hatujielewi tunachokiandika , huyu kijana amejitambua na kuamua kuanza kujiwekezea mana uzima wa binadamu kuna Leo na kesho ameamua kusimama mwenyewe hata kama wazazi wanacho ...piga kazi dogo...tumeona watoto wa kishua wengi hawapendi kujishughulisha .
@arthurmwakanyamale76516 жыл бұрын
Hongera sana mkuu
@fatumahengo68496 жыл бұрын
Na mtoto wa kimasikini pesa ya hivyo kwanza angekumbuka kujenga ili apate pa kujihifadhi na kitakachobaki ndio angefanya kibiashara kidogo lkn huyu wazazi wake mashaalah pesa wanayo kwa hiyo lazima hiyo pesa yote lazima aiweke kwenye biashara
@barakamwenda76746 жыл бұрын
Tatzoo so kijina tajirii ana focused ya maishaaa
@Jeff_Tz6 жыл бұрын
Hongera mdogo wangu japo wa kishuaà but umekaza mbali sanaa
@Silyvesta2 жыл бұрын
Hongera sana bwana Scott 🍕
@ilynpayne74915 жыл бұрын
Bora wa ana uko vizuri da san kaka
@almasygharib73556 жыл бұрын
Kuna watoto nyengine zinaweza kufanya tuwachukie wazazi wetu😂😂😂 dah hahahaha yan hata baskeli wengine hatujawahi kuzawadiwa hata tukifaulu
@masuzyatz88244 жыл бұрын
Hahahaha kwel
@tatukhalifa32414 жыл бұрын
@@masuzyatz8824 😂
@RichFeelingsForex6 жыл бұрын
salute chief. hongera sana
@alfredylusambo21715 жыл бұрын
Rich kka mbona ujib
@jayratumaulid5826 жыл бұрын
Daah hongera sana Scott's
@minjacsd18745 жыл бұрын
Kuna wazazi wana hela nyingi kuliko wazazi wako ila wanatamani kuwa na mtoto Kama wewe Licha ya kuwa na PESA ila watoto ni Mizigo 2 Safi Sana Kwa investment ya m75 kuna ajira vijana wenzetu umewabeba hapo kupitia wewe good
@neemasanga41346 жыл бұрын
congratulations bro, haters ni kawaida ya wabongo
@siamawolle92036 жыл бұрын
acheni izo, wapo wanaopewa mamilioni lakini kuzitumia kwa akili shida aisee, scot fire
@sawiajaffarysawia19146 жыл бұрын
Sia Mawolle umeona nikweli kabisa
@yusuphbotea29516 жыл бұрын
hongera maana unaakili ya maisha ingekuwa mwengine tena wa kishua ahhhh angekula maisha tu